Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu kifungo cha miaka 15 jela, Hassan Suleiman (23) mkazi wa Kitunda, kwa kupatikana na hatia ya kumdhalilisha mtoto wa miaka mitatu kwa kumchezea sehemu zake za siri kwa vidole.
Akisoma hukumu hiyo jana, Hakimu Mkazi Mwandamizi, Hassani Juma alisema kuwa mshitakiwa huyo atatumikia kifungo hicho iwe fundisho kwa wengine.
Pia Mahakama hiyo imefikia
Jela Miaka 15 kwa kumchezea mtoto Sehemu za Siri
↧
↧
Rais Kikwete Afanya Ziara ya Kushtukiza Uwanja wa Ndege Dar kukagua utayari wa Tanzania kukabiliana na Ebola
Rais Jakaya Kikwete, amefanya ziara ya kushtukiza katika maeneo kunakofanyika maandalizi ya kukinga nchi dhidi ya maambukizi ya virusi vinavyosababisha homa hatari ya ebola, ikiwemo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam.
Akizungumza katika ziara hiyo jana, Rais Kikwete alisema ameshitukiza makusudi na aliipanga juzi usiku na kuianza jana asubuhi,
↧
IPTL Yamdai Zitto Kabwe Fidia ya sh. Bilioni 500
Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, wakimtaka Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe awalipe fidia ya Sh bilioni 500 kutokana na kutoa kashfa dhidi yao.
IPTL, Kampuni ya Pan Africa Power Solutions Tanzania Limited (PAP) na Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni hayo mawili, Harbinder Seth
↧
Suala la Uraia Pacha bado JIWE GUMU Bunge maalumu la Katiba
Uraia pacha kwa Watanzania walioko nje ya nchi jana uliendelea kutawala katika mijadala kwenye Bunge la Katiba huku wengi waliochangia wakikubaliana wasio na uraia Katiba iruhusu wapewe chini ya utaratibu wa uraia wa pacha.
Wachangiaji wengi walisema hakuna sababu ya kuwanyima uraia hao kwa kisingizio kuwa sio wazalendo.
Selemani Ali alisema Watanzania walioenda nje ya nchi
↧
Bia ya Kibo Gold Lager ya Serengeti Breweries ltd yashinda tuzo ya medali ya dhahabu ya Ubora Duniani ya Monde Selection
BIA ya Kibo Gold Lager imechaguliwa kuwa mshindi wa medali ya dhahabu kwa ubora duniani inayotolewa na ‘Monde Selection’. Kibo ilipokea utambulisho huo wa kimataifa wakati wa sherehe za 53 za kila mwaka zilizofanyika huko Bordeaux, Ufaransa.
‘Monde Selection’ ni tuzo zinazotolewa kila mwaka tangu mwaka 1961, kwa ajili ya bidhaa za vinywaji na chakula. Huendeshwa na kampuni ya Biashara
↧
↧
Mwanamke Aanguka kwenye Bodaboda, Akanyagwa na Lori na kufariki dunia papo hapo
Mwanamke anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 amekufa papo hapo baada ya kudondoka kwenye pikipiki aliyokuwa amepanda na kisha kukanyagwa na gari.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura amesema kuwa ajali hiyo ilitokea jana mchana katika barabara ya Bagamoyo eneo la Tangibovu ambapo gari likiendeshwa na dereva asiyefahamika akitoka kwa Alysykes kuingia barabara ya
↧
Mkazi wa Ilemela jijini Mwanza Ajitundika mtini na Kujinyonga.....Wananchi washindwa kumtambua, Polisi waamuru mwili uzikwe
Mwanaume mmoja mkazi wa Kiseke, Ilemela jijini Mwanza amekutwa amekufa baada ya kujinyonga kwa kamba juu ya mti huku mwili wake ukiwa umeharibika vibaya na kuvuja maji....
Inakadiriwa kuwa mtu huyo alijinyonga siku tatu zilizopita na chanzo cha kifo hicho bado hakijafahamika kutokana na mtu huyo kutoaacha ujumbe wowote huku wakazi wa eneo
↧
Kifalu cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Chapata Ajali na Kuua Wanajeshi watatu na Raia Mmoja
Kutoka Lindi kuna taarifa ambayo imethibitishwa pia na kamanda Mpinga
kuhusu ajali iliyotokea Mtwara ambayo imehusisha gari la Jeshi la
Wananchi Tanzania(Jwtz)imeripotiwa asubuhi ya leo na shuhuda wa eneo
hilo.
Msafara huo wa Wanajeshi ulikuwa ukitokea Mtwara kuelekea Nachingwea
kwenye camp kubwa ya Jeshi na ajali hiyo imetokea maeneo ya Mnolela
kijijini Lindi,kwa mujibu wa
↧
Mkutano wa UKAWA na waandishi wa habari .....Bofya hapa
Umoja wa katiba ya wananchi nchini Tanzania-UKAWA- uliolisusia Bunge
maalum la katiba tokea mwezi Aprili, leo ulikuwa na mkutano na waandishi
habari .
Madhumuni ya mkutano huo ni kueleza msimamo wa UKAWA kuhusu yalioafikiwa
katika mazungumzo kati ya viongozi wa vyama vya kisiasa vinavyoundwa
kile kinachojulikana kama Kituo cha Demokrasia Tanzania na Rais jakaya
Kikwete kuhusu mkwamo
↧
↧
Basi la Super Feo Lagonga mti na Kupinduka huko Songea....Wawili wafariki dunia, 30 wajeruhiwa vibaya
Watu wawili wamepoteza maisha
huku wengine wakijeruhiwa baada ya ajali mbaya iliyotokea leo katika eneo la Sanangula nje kidogo ya mji wa Songea mkoani Ruvuma ikilihusisha basi la Super Feo linalofanya safari
zake kati ya Songea - Makambako lililoacha njia na kugonga mti.
Chanzo
cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni mwendo kasi.
↧
Nafasi za Kazi ya Mitindo na Uigizaji wa Filamu.....Kama ulikuwa unatafuta nafasi ya kuigiza kwenye filamu bila mafanikio basi hii ni nafasi yako!
Wewe ni msichana mwenye kipaji cha mitindo lakini haujui uanzie wapi? Wewe ni msichana mwenye kipaji cha kuigiza ? Unatafuta nafasi ya kuigiza kwenye filamu ? Kama jibu ni ndio basi hii ni habari njema sana kwako.
Kampuni inayo jihusisha na ku- manage wanamitindo pamoja na wasanii wenye vipaji mbalimbali inatangaza nafasi za kazi zifuatazo :
↧
Diva Afunguka tena.....Adai Zitto Kabwe ni mume wake na anatambulika kisheria, Asema hayupo tayari kuachana naye kirahisi
Mtangazajiwa Kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa
kupitia Radio Clouds FM ya jijini Dar, Loveness Malinzi ‘Diva’ kwa mara
ya kwanza, amejilipua kuzungumzia uhusiano wake na Zitto Kabwe kwamba
walikuwa mke na mume.
Katika mahojiano maalum na mwanahabari wetu jijini Dar juzi, Diva
alisema anashangazwa na baadhi ya vyombo vya habari kumnyima uhuru wa kuongelea suala lake na ‘zilipendwa
↧
Sitta akomaa na Bunge la Katiba....Asema Bunge litakuwa limekamilisha kila kitu ifikapo Octoba 4, Atangaza mkakati wa wajumbe kupiga kura hata wakiwa nje ya nchi
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ‘amekomaa’
kuhakikisha Bunge Maalumu la Katiba linafanya kazi kwa kasi na
kukamilisha kila kitu ifikapo tarehe yake ya mwisho, Oktoba 4, ikiwamo
kupiga kura za kupitisha Katiba inayopendekezwa kazi ambayo amesema
itafanywa hadi nje ya nchi kwa wajumbe watakaokuwa huko.
Sitta alilazimika kutoa matamko mawili kwa nyakati
tofauti,
↧
↧
Mbowe: Atakayeruhusu CCM kushinda bila kupingwa tutamshughulikia
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe amesema kiongozi yeyote ndani ya chama hicho ambaye ataruhusu
mgombea kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushinda uchaguzi bila kupingwa
atashughulikiwa.
Mbowe alitoa kauli hiyo jana wakati akifungua uchaguzi wa Baraza la
Vijana la Chadema (BAVICHA) uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City,
jijini Dar es Salaam.
↧
Moto wateketeza vyumba 20 vya kulala wanafunzi
Vyumba 20 vya bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari ya African
Muslim, iliyoko Kata ya Kaloleni, Manispaa ya Moshi, mkoani
Kilimanjaro, vimeteketea kwa moto.
Moto huo ambao ulizuka juzi saa 1:45 jioni na kuwaka kwa zaidi ya saa
tano, ulianzia katika choo cha shule hiyo, jirani na Bweni la Makka
kabla ya kuruka kwenye chumba cha jirani na kusambaa kwenye vyumba 20
vilivyoko
↧
Esha Buheti Apigwa Vijembe kwa kuwa na makalio madogo.....Mwenyewe ajitetea, asema Mwanamke sura Makalio ni majaaliwa
Kitendo cha kutojaaliwa makalio
makubwa kwa staa wa filamu za Kibongo, Esha Buheti kimemsababishia
anangwe na wasanii wenzake.
Akiongea na mwandishi wetu, Esha alisema anafahamu na
anawashangaa watu wanaoponda maeneo hayo ya mwili wake kwani kwa upande
wake anaamini kuwa mwanamke sura, makalio majaaliwa kwani hata mwanaume
aliyemuoa analijua hilo na anampenda jinsi alivyo.
“
↧
Abakwa, Anyongwa kisha mwili wake Watupwa Kichakani
Mkazi wa Kijiji cha Bupu wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, Forodesi Ntabegera (30) ameuawa kwa kubakwa, kisha kunyongwa na watu wasiojulikana, kisha mwili wake kutupwa kichakani.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Athuman Mwambalaswa alieleza kuwa Ntabegera alinyongwa na watu hao kwa kutumia kitenge chake alichovaa.
Mwambalaswa alisema Septemba 9 mwaka huu saa 8:00 mchana wakazi
↧
↧
Dawa za kuongeza Uchungu ni hatari kwa Wajawazito
Matumizi ya dawa za kienyeji kwa ajili ya kuongeza uchungu na kujifungua mapema, imeelezwa kuchangia zaidi vifo kwa wajawazito.
Mganga Mkuu wa Mkoa Kigoma, Dk Leonald Subi alisema hayo mjini Kigoma kwenye kikao cha wadau wa afya.
Kikao hicho kilihusisha kufanya tathmini na kuona hatua za kuchukua kukabiliana na vifo vya wajawazito na watoto wakati wa kujifungua mkoani humo.
↧
Msako wa Bodaboda Zenye Namba za Njano Waanza
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imesema usajili wa pikipiki maarufu kama ‘bodaboda’ utafanywa pamoja na kukagua namba zenye rangi ya njano huku zikiwa zinafanya biashara, jambo ambalo ni kinyume.
Meneja Mawasiliano wa Sumatra, David Mziray alisema hayo Dar es Salaam wakati akizungumza na mwandishi wetu kuhusu usajili wa namba za pikipiki pamoja na zenye
↧
Mrema ataka Rais Kikwete aongezewe muda
MBUNGE wa Vunjo ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
Augustine Mrema (TLP), amesema kuna haja Rais Jakaya Kikwete aongezewe
muda wa kuongoza nchi.
Alisema kama Rais Kikwete ataongezewa muda, atapata muda wa kukamilisha mchakato wa Katiba ambao ndiye aliyeuanzisha.
Mmoja wa wajumbe waliohudhuria kikao kati ya Rais Kikwete na Kituo
cha Demokrasia Tanzania (TCD)
↧
More Pages to Explore .....