Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Taarifa Rasmi kutoka Jeshi la Magereza dhidi ya Uzushi kuwa Babu Seya na Mwanae Wameachiwa Huru

$
0
0
Hivi sasa kuna taarifa zimesambaa kupitia Ujumbe mfupi wa simu (SMS) na mitandao ya kijamii zikihusisha kuachiliwa huru kwa wafungwa wawili wanaotumikia Kifungo cha Maisha gerezani. Wafungwa hao wanaotajwa ni Nguza Vicking(Maarufu kwa jina Babu Seya) na Johnson Nguza (Maarufu kwa jina la Papii Kocha) - Katika picha ya maktaba juu. Napenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa taarifa

Irene Uwoya: Sipendi Wanaume Wanene au Wenye vitambi maana hawana Lolote Kitandani

$
0
0
Star wa filamu za  kibongo, Irene Uwoya anadaiwa hana mzuka kabisa wa kutoka kimapenzi  na wanaume wanene au wenye vitambi kwa madai si lolote kitandani wanaishia kuhema hema tu.   Inadaiwa kuwa Uwoya anapenda wanaume wasio wanene, wenye miili ya kimazoezi na wasio na vitambi kwa madai wako vizuri sana kunako sita kwa sita na mwenyewe huvutiwa nao sana.   Chanzo kimoja kutoka kambi ya

Lulu Michael adaiwa Kuwa Na Ubabe Na Kisirani Cha Kutodumu Na Wanaume..... Tajiri Wa Madini Asalimu Amri.

$
0
0
Star wa filamu nchini aliyejaaliwa mvuto wa  kipekee, Lulu Elizabeth Michael anadaiwa  kutodumu na mwanaume sababu ya kuendekeza ubabe na kutaka kum-control mwanaume anayekuwa naye.   Inadaiwa Lulu hataki mchezo, mwanaume akishakuwa nae basi lazima ahakikishe hafurukuti. Taarifa  zinadai  kuwa miezi ya  hivi karibuni alikuwa na jamaa mmoja mdogo kimapenzi akammwaga na baada ya muda

JK, Ukawa Wakubalina katiba mpya Ipatikane baada ya Uchaguzi mkuu 2015.....Vyama vya siasa kukuaa kufanya marekebisho ya 15 ya katiba ya 1977

$
0
0
HATIMAYE mvutano kati ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na Serikali umefikia kikomo baada ya pande mbili hizo kukubaliana na Rais Jakaya Kikwete kuboresha Katiba ya mwaka 1977 na kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu mwakani.   Hatima hiyo ilifikiwa jana kwenye kikao kilichofanyika kati ya Rais Kikwete na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kinachoundwa na vyama vyenye wabunge ambavyo ni

Msajili wa Vyama: Pingamizi la Mbowe ni matokeo ya kunipuuza

$
0
0
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kuwekewa pingamizi la kutogombea nafasi hiyo kwa awamu ya tatu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amesema kinachotokea kwenye chama hicho ni matokeo ya kupuuza ushauri wake.   Mbowe amewekewa pingamizi na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, Kansa Mbarouk, ambaye

Zittto Kabwe Afunguka..."‘Ikishindikana urais, nitagombea ubunge Kigoma Mjini"

$
0
0
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe anaonekana yuko njiapanda kati ya nia yake ya kugombea urais au ubunge, lakini kwa jinsi mwenendo wa kuandika Katiba Mpya ulivyo, ni dhahiri ataendelea kugombea nafasi kuingia bungeni.   Hata hivyo, mbunge huyo kijana hatarudi Kigoma Kaskazini ambako ameongoza kwa vipindi viwili; atagombea jimbo la Kigoma Mjini.   Septemba 23 mwaka huu, Zitto

Nafasi za Mafunzo ya Utengenezaji wa Mashine za kutotoresha Vifaranga Vya Kuku

$
0
0
Taasisi  ya  RafikiElimu  FOUNDATION  kupitia  MRADI  WA  ELIMU  YA  UJASIRIAMALI  MIJINI  NA  VIJIJINJI  inatangaza  nafasi  za   MAFUNZO  YA  UTENGENEZAJI  WA  MASHINE  ZA  KUTOTOLEA  VIFARANGA  WA  KUKU. Mashine   zitakazo fundishwa  kutengeneza  ni  INCUBATOR   ( MANUAL & AUTOMATIC) ZENYE  UWEZO  WA  KUTUNZA  JOTO  KWA  SAA  48 PAMOJA  NA  KUTOTORESHA  MAYAI   KUANZIA  240  HADI  5000.

Mitihani ya darasa la saba kuanza kesho Jumatano

$
0
0
WANAFUNZI 808,111 wa Darasa la Saba kesho wanaanza mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika kwa siku mbili mfululizo.   Akizungumza jana Kamishna wa Elimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Eustella Bharalusesa alisema idadi hiyo ni kwa wanafunzi wote wanaofanya mtihani kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza.   Miongoni mwa hao, 783,223 ni wanaofanya kwa Kiswahili na

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO

$
0
0
Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Dawa  hii iitwayo  JIKO  ni  ya  asili  kabisa  (PURE HERBAL) na inaponyesha  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za kiume

TCRA Yaonya kuhusu mitandao ya Bure

$
0
0
Mamlaka ya Mawasilino Tanzania(TCRA), imehadharisha juu ya matumizi ya mitandao ya bure ‘WiFi’ katika maeneo ya halaiki kufanya miamala ya fedha.   Aidha Mkuu wa Kitengo cha Huduma ya Mawasiliano wa TCRA, Isaac Mruma alisema kitengo chake kinapokea malalamiko mengi kuhusu wizi wa kwenye simu.   Alishauri watu kutopenda kutumia mitandao hiyo ya bure maeneo ya halaiki kuhamisha fedha kwa

Hashim Juma Issa Awa Mwenyekiti Mpya baraza la Wazee CHADEMA

$
0
0
Safu mpya ya Baraza la Wazee Taifa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imetangazwa ambayo Mwenyekiti wake ni mkazi wa Zanzibar, Hashim Juma Issa.   Mkurugenzi wa Mafunzo na Uchaguzi wa chama hicho, Benson Kigaila, alisema nafasi ya Makamu Mwenyekiti katika baraza hilo ni Susan Lyimo na Katibu Mkuu ni Rodrick Lutembeka.   Nafasi ya Mwenyekiti wa baraza hilo la wazee,

TCD Yatoa Tamko kuhusu mchakato wa katiba na Uchaguzi mkuu wa 2015

$
0
0
VIONGOZI Wakuu wa Vyama vya siasa vyenye Wabunge vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wamekuwa katika mashauriano ya zaidi ya mwezi mmoja tangu tarehe 2 Agosti mwaka huu huku wakishauriana juu ya mwenendo wa mchakato wa Katiba Mpya na jinsi ya kuwa na uchaguzi ulio huru na wa haki hapo mwakani.    Akiongea kwa niaba ya viongozi wengine wa kituo hicho, Mhe. John Cheyo

Video Mpya: Togola- Dully Sykes

$
0
0
Angalia video mpya ya wimbo wa Dully Sykes, Togola. Imeongozwa na Adam Juma wa Visual Lab.

Kaburi la mmoja kati ya waliopata ajali ya basi Musoma lafukuliwa na watu wasiojulikana

$
0
0
Kaburi la mmoja kati ya watu waliopoteza maisha katika ajali mbaya iliyohusisha mabasi ya Mwanza Coach na J4 katika eneo la Sabasaba, Musoma, Mara limekutwa likiwa limefukuliwa na watu wasiojulikana jana asubuhi.   Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichofika katika eneo la makaburi ya Musoma Basi, ndugu wa marehemu aliyetajwa kwa jina la Juma Sai walienda asubuhi kuangalia kaburi ikiwa ni

Diamond kufanya show ya bure Stuttgart Ujerumani kuwafidia mashabiki

$
0
0
  Diamond Platinumz na uongozi wake wameridhia ombi la promoter wa Stuttgart, Ujerumani na msanii huyo atafanya show ya bure September 20 kwa lengo la kuwafidia mashabiki waliofanya vurugu baada ya kutoridhishwa na utaratibu wa show yake mwezi uliopita.   Mwimbaji huyo wa MdogoMdogo ameweka wazi uamuzi wa kurudi Ujerumani kupitia Instagram.   “YES!!!! STUTTGART GERMANY!!! on this 20th of

Diamond apiga mbili kwa mpigo, ashinda tuzo Australia na atajwa kuwania tuzo ya MTV Europe Music

$
0
0
Neema inazidi kumuangia Diamond Platinumz na jana amepata habari njema baada ya kutajwa kuwania tuzo ya MTV EMAs huku akipokea tuzo kutoka nchini Australia.   Diamond amewapa mashabiki wake habari njema za ushindi wa tuzo ya AAMA ya Australia kupitia tiketi ya collabo aliyopewa na Desert Eagle, wimbo unaoitwa ‘Everyday’.   “Ningependa niwajulishe kuwa kijana wenu nimepata tunzo nyingine

Ripoti: Tanzania yaongoza kulalamikiwa kwa matumizi mabaya ya Instagram duniani

$
0
0
Mtandao wa Instagram unaohusisha uwekaji picha umeendelea kupata mashabiki wengi nchini Tanzania lakini wengi kati ya watumiaji hao wameisababisha kuwa kati ya nchi zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya mtandao huo duniani kote.   Ripoti hiyo imetolewa na Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasialiano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy katika mahojiano maalum aliyofanya na Ibrahim Issa wa

Uamuzi mgumu: Rais hataongeza muda Bunge la Katiba.....Sitta Aitisha Vikao vya Dharura kamati ya Uongozi

$
0
0
Makubaliano baina ya Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kutaka Bunge Maalumu lifikie ukomo Oktoba 4, mwaka huu yamezua sintofahamu mjini hapa huku uamuzi huo ukionekana kuwachanganya viongozi wa Bunge hilo.    Kutwa nzima ya jana, viongozi wa Bunge Maalumu walishinda kwenye vikao vya mashauriano huku wabunge wa CCM wakitarajiwa kukutana jana usiku

Dk. Slaa: Sina barua ya msajili inayonitaka niitishe mkutano wa Kamati Kuu ili kufanya marekebisho ya Katiba

$
0
0
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema hajawahi kupokea barua yoyote kutoka kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, inayowataka waitishe mkutano wa Kamati Kuu ili kufanya marekebisho ya Katiba yao.   Wakati Dk. Slaa anatoa kauli hiyo, Julai, mwaka huu, Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa chama hicho, John Mnyika,

Wimbo mpya na wa kwanza wa Emmanuel Mbasha toka kuanza kwa kesi yake ya kubaka

$
0
0
Mpaka sasa wanandoa ambao ni Waimbaji wa nyimbo za Injili Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha hawajarudiana na kuendelea kuishi pamoja toka ianze kesi ya kubaka inayomkabili Emmanuel ambae inadaiwa alimbaka mdogo wa Flora. Pamoja na kwamba kesi yake inaendelea, Emmanuel ametoa wimbo wake mpya wa ambao ndio huu unaoweza kuusikiliza hapa chini.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images