Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Waraka wa Zitto wamponza Waitara

$
0
0
Sakata la waraka wa Mkakati wa Mabadiliko uliosababisha kuvuliwa vyeo ndani ya Chadema kwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe limeibuka kwa sura mpya, safari hii likimkwamisha Ofisa wa Sera na Utafiti wa chama hicho makao makuu, Mwita Waitara kuwania uongozi.    Waitara amekumbana na kigingi hicho hivi karibuni katika uchaguzi wa chama hicho Mkoa wa Mara baada ya kuwekewa

Mnyika kumshtaki Waziri Mkuu Mizengo Pinda Mahakamani

$
0
0
Mbunge wa Jimbo la Ubungo Jijini Dar es Salaam Mh. John Mnyika anakusudia kumshtaki mahakamani Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda kwa kosa la ofisi yake kushindwa kutangaza tarehe pamoja na maadalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Akizungumza Jijini Dar es Salaam huku akiwa ameambatana na mwanasheria wake, Mh. Mnyika amesema moja ya hoja zilizomo katika shauri watakalofungua kuwa ni

Shilole: Mpenzi Wangu Hunitibu Vizuri Sana Kitandani

$
0
0
Staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungua kinywa chake na kusema mpenzi wake wa sasa, Nuh Mziwanda ndiye anayemtibu vizuri kunako ‘sita kwa sita’ japokuwa watu wengi wamekuwa wakiudharau mwili wake. Akizungumza na mwandishi wetu bila kung’ata maneno, Shilole alisema wengi wanashindwa kujua kwamba mtu anaweza kuwa na mwanaume mwenye umbo kubwa lakini akawa hayajui mapenzi

Rais Kikwete akutana na bibi yake Rais Obama wa Marekani jijini Nairobi

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani, Mh. Barack Obama, Mama Sarah Obama walipokutana jana kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete akijiandaa kurejea nchini.   Mama Sarah Obama anatarajia kuzindua taasisi ya kusaidia elimu kijijini Kogelo nchini Kenya, alikozaliwa Baba yake na Rais Obama wa Marekani itakayofahamika

Kijana Achomwa Moto Akidaiwa Kuiba Baiskeli Morogoro

$
0
0
Kijana  anayesadikiwa kuwa kibaka na ambaye hajafahamika jina lake, jana asubuhi amechomwa moto hadi kufa akidaiwa kuiba baiskeli maeneo ya Nane Nane mjini Morogoro, jirani na shule ya Sekondari ya Alfa James ambayo ni maarufu kama Shule ya Father Pekupeku.   ”Jana majira ya saa moja asubuhi tumeona vijana wanne wakimfukuza mwenzao, walipofika hapa kwenye mabweni ya shule ya Alfa,

Jeshi la Polisi Latoa Onyo kali kwa Wanaotumia Vibaya Mitandao

$
0
0
Jeshi la Polisi nchini limetoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao vibaya ikiwemo kutuma ujumbe wa matusi, uchochezi, picha za utupu sanjari na kukashifu viongozi wa Serikali, dini na watu mashuhuri.   Akizungumza Dar es Salaam, Septemba 3,2014  Msemaji wa Polisi, Advera Senso alisema kuwa tayari baadhi ya watu wameshakamatwa na kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma hizo na wengine

Wakazi wa Jiji la Mwanza Wahofia Kulishwa Nyama za Mbwa

$
0
0
Wakazi wa Butimba, Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza  wanahofia kulishwa nyama ya mbwa kufuatia ngozi za mnyama huyo kuokotwa mara kwa mara zikiwa zimechunwa na kuondolewa  kwato.    Hivi karibuni, ngozi nyingine ya mbwa iligundulika saa 5:00 asubuhi eneo la kona ya kuelekea Gereza Kuu la Butimba ambapo wananchi wa eneo hilo walikusanyika kuishuhudia.   Hata hivyo, haikuweza

Lulu Michael Ampa Somo Mtoto wa Milioni 50 za TMT

$
0
0
Muigizaji  mwenye mvuto wa aina yake katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ amempa somo mshindi wa Shindano la Tanzania Move Talent ‘TMT,’ Mwanafaa Mwinzago kuwa asibweteke na ushindi aliopata bali azingatie masomo. Akizungumza na Mwandishi, Lulu alisema ni kweli binti huyo ana kipaji na ilikuwa haki kushinda milioni 50 ila ajue bado ni mtoto na anatakiwa

Bunge lakataa elimu ya kidato cha nne kwa wabunge

$
0
0
Pendekezo la Rasimu ya Katiba kuwa wabunge walau wawe na elimu ya kidato cha nne limetupiliwa mbali na wajumbe wa Bunge Maalumu, baada ya Kamati karibu zote kulikataa.    Kamati hizo zimependekeza kigezo cha elimu kuanzia walau kidato cha nne kama sharti muhimu la mtu anayetaka kugombea Ubunge kiondolewe, badala yake mgombea ama ajue tu kusoma na kuandika, au ajue kusoma na kuandika

Mshtakiwa wa ugaidi aonyesha alivyolawitiwa na kuingizwa miti na Polisi

$
0
0
MMOJA wa watuhumiwa wa ugaidi katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI) Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed (43), amevunja ukimya mahakamani baada ya kuonyesha suruali ilivyolowa kwenye makalio akisema ni madhara ya kulawitiwa na kuingizwa miti na polisi.   Mshtakiwa huyo, Salum Ally Salum, aliamua kufanya hivyo juzi ili kuithibitishia

Msichana Alazimishwa Kufunga Ndoa na Mbwa

$
0
0
Msichana wa miaka 18, raia wa India aliyetajwa kwa jina la Mangli Munda amefunga ndoa na mbwa baada ya kulazimishwa na wazazi wake kufanya hivyo kwa imani kuwa atafukuza roho za kishetani na mikosi inayomsonga.   Mbwa huyo alitafutwa na baba mzazi wa mrembo huyo na kufanyika sherehe kubwa ikiwa na vitendo vyote vinavyofanywa na ya bibi harusi na bwana harusi kwa taratibu zao za ndoa.

Boko Haram wazuia watu kuzika maiti

$
0
0
Taarifa za kutisha zimeibuka kutoka mjini Bama moja ya miji ambayo ilitekwa na wapiganaji wa kiisilamu wa Boko Haram Kaskazini Mashariki ya Nigeria   Seneta mmoja wa eneo hilo,Ahmed Zanna, aliambia BBC kwamba wakazi hawaruhusiwi kuwazika jamaa wao waliouawa na wapiganaji hao. Inaarifiwa miili imetapakaa katika barabara za mji huo ambao Boko Haram imeuteka.   Kundi hilo

Rapper Azma aachia wimbo unaofundisha wanaume kuwafikisha wapenzi wao kileleni......Video iko hapo chini

$
0
0
Rapper Azma Mponda ameamua kujitolea kupitia ngoma yake kuwafunda wanaume wenzake namna ya kuwafikisha wapenzi wao katika kilele cha raha wakati wa tendo maarufu zaidi duniani, ngono. Akiongea na Mpekuzi, Azma amesema ameamua kuachia wimbo wake huo uitwao ‘Jinsi ya Kumkifikisha Mpenzi Wako Kileleni’, baada ya kuona amekuwa akifanya nyimbo zenye ujumbe wa kijamii kwa muda mrefu lakini

Amng'ata midomo mpenzi wake wakati wanakiss kwa kuhisi ana mchepuko wa Facebook

$
0
0
Huffington Post limeripoti habari kutoka Uingereza ya kusikitisha ya kijana Rhys Culley kumng’ata vibaya midomo mpenzi wake Chanttelle Ward mwenye umri wa miaka 18 wakati anamkiss baada ya kuwa na ugomvi unaohusisha na wivu wa mapenzi.   Kijana huyo wa miaka 23 alikuwa na wasiwasi baada ya kuhisi kuwa mpenzi wake alikuwa anachat na mwanaume kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook

Big Brother Africa kuwasafirisha washiriki na maproducer popote pale nyumba mpya itakapopatikana ‘duniani’

$
0
0
M-Net na Endemol South Africa wamesema wanatafuta nyumba nyingine yenye kamera popote pale duniani, baada ya ile iliyokuwa imeandaliwa kwaajili ya kipindi cha Big Brother Afrika 2014 kuripotiwa kuungua mapema wiki hii. Msimu wa tisa wa Big Brother Afrika: Hotshots ambao umepangwa kuanza Jumapili hii (kama swala la moto sio stunt), ulitangazwa kuahirishwa kuzinduliwa kwa tarehe hiyo

Al- Qaeda Yatoa Tangazo Jipya

$
0
0
kiongozi wa kundi la kigaidi la Al- Qaeda, Ayman Al-Zawahiri ametoa tangazo kuwa kundi hilo limefungua tawi jipya nchini India.    Kwa kujibu wa BBC, katika tangazo hilo lilitolewa kupitia kipande cha video linaeleza kuwa nia ya kuanzisha tawi hilo ni kutaka kuhakikisha wanapandisha bendera za Jihad kusini mwa bara la Asia kama walivyoweza katika maeneo kadhaa nchini Iraq na Syria

Meneja Barclays adaiwa kuwasiliana na majambazi kupanga wizi

$
0
0
MENEJA wa Benki ya Barclays Tawi la Kinondoni, Alune Kasilika, amedaiwa kuwa aliwasiliana na watuhumiwa wa tukio la ujambazi katika benki hiyo wakiandaa utekelezaji wake.   Hayo yalidaiwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Wakili wa Serikali, Janeth Kitali, mbele ya Hakimu Mkazi Nyigulile Mwaseba, wakati akiwasomea washtakiwa maelezo ya awali.   Kitali alidai siku ya

Mahakama ya Kadhi yazikwa Rasmi

$
0
0
SUALA la Mahakama ya Kadhi ambalo lilizua mjadala mkali kwenye Kamati za Bunge la Bunge Maalumu la Katiba na kuundiwa kamati ndogo iliyoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu Hasan, limezikwa rasmi.   Hali hiyo imejidhihirisha jana kutokana na kutozungumziwa katika uwasilishaji wa maoni ya walio wengi, wakati kamati hizo zikiwasilisha maoni yake juu ya sura ya tisa na

Ajali ya Mabasi Yaua Watu 36 na kujeruhi 76 mjini Musoma

$
0
0
Basi la Kampuni ya J4 EXPRESS lenye nambari za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Kilari Mkoani Mara likiwa limeumia vibaya sana baada ya kugongana uso kwa uso na Basi lingine la Kampuni ya MWANZA COACH lenye nambari za usajili T 736 AWJ katika eneo la SabaSaba,Mjini Musoma leo  mchan. Watu 36 wamepoteza maisha papo hapo na wengine kujeruhiwa vibaya sana.Kwa mujibu

Mganga Mkuu wa Mara Azungumzia Ajali Mbaya iliyotokea leo Musoma

$
0
0
Mganga  Mkuu  wa  Mara  Azungumzia  Ajali  Mbaya  iliyotokea  leo  Musoma
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images