Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Rais Kikwete awaita Ukawa Ikulu....Ataka mambo yenye utata yawekwe kando

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete amesema yupo tayari kukutana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ili kunusuru mchakato wa Katiba mpya.   Kauli hiyo ya Rais Kikwete imekuja siku chache baada ya baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kupinga hatua ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumtuma Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, kusaka suluhu na viongozi wa Ukawa.   Akizungumza na

Ada ya Sekondari kufutwa....Rais Kikwete aahidi Elimu Bure

$
0
0
Serikali inajipanga kufuta ada za sekondari, ili elimu kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne, itolewe bure.    Rais Jakaya Kikwete, alisema hayo juzi katika mkutano wake na wanajumuiya ya Chuo Kikuu cha Mzumbe cha Morogoro, na wakazi wa vijiji vya jirani na chuo hicho, katika ziara yake inayoendelea katika Mkoa wa Morogoro iliyoanza Agosti 20.   “Sasa hivi tunaangalia jinsi ya

Saba Mbaroni kwa tuhuma za kupora na kuua Wanawake jijini Arusha

$
0
0
Watu saba wamekamatwa Jijini Arusha  kwa tuhuma za kuhusika kwenye mauaji ya unyang’anyi wa kutumia silaha kwa wanawake.   Wanadaiwa pia kusababisha   kifo cha mtoto, Christen  Nickos mwenye umri wa miaka mitatu na nusu  mkazi wa Olasiti hapa.   Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas alisema watu wawili kati ya saba ambao

Malaria Yaua Mhamiaji Haramu wa Ethiopia

$
0
0
Mmoja wa raia wa Ethiopia waliokamatwa kwenye msitu wilayani Bagamoyo wakituhumiwa kuwa wahamiaji haramu na kulazwa hospitalini kutokana na matatizo ya afya, amefariki akipatiwa matibabu.   Dawita Alalo (25) ambaye alikuwa miongoni mwa wahamiaji haramu 11 waliolazwa kwenye kituo cha afya cha Chalinze, wilayani Bagamoyo,  alifariki juzi  kwa ugonjwa wa malaria.   Kaimu Kamanda wa Polisi

Hakuna Mjumbe wa Bunge Maalumu anayedai Posho

$
0
0
Ofisi ya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, imefafanua juu ya kuchelewa kwa posho wa wajumbe wa bunge hilo, ikisema zilichelewa kutokana na sababu za kiutaratibu wa fedha na kwamba kwa sasa hakuna mjumbe anayedai posho.   Ufafanuzi huo ulitolewa jana na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki wa Bunge, Jossey Mwakasyuka.   Alisema taarifa hizo ni za upotoshaji na zina lengo la kuwadhalilisha

Mkapa Ajitosa Vita Dhidi ya Viongozi Walafi

$
0
0
Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ameungana na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, kuunga mkono mapendekezo ya Sheria ya Mgongano wa Maslahi.   Akizungumza jana wakati akifungua kikao cha kujadili mapendekezo ya kutungwa kwa sheria hiyo,  Mkapa alisema mtumishi  au kiongozi anayedhani kuwa sheria   hiyo ni kandamizi, huenda akawa na tatizo la kutumia vibaya

Tiwa aeleza alivyonyanyaswa na Wazungu

$
0
0
Msanii wa muziki Tiwa Savage kutoka nchini Nigeria ameweka wazi kuwa, amewahi kukumbana na changamoto kubwa ya kuonewa na wenzake kipindi akiwa mtoto, kutokana na asili yake ya uafrika. Tiwa amesema kuwa, alikabiliana na changamoto hii akiwa shuleni wakati walipokuwa wakiishi Jijini London, rangi na lafudhi yake ya kinaijeria vikiwa ni vitu ambavyo vilimfanya aonekane tofauti na

Video: Mkurugenzi wa Vodacom amwagiwa maji kuanzisha kampeni kuchangia Fistula #FistulaIcebucketChallenge

$
0
0
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania, Rene Meza amekuwa wa kwanza kumwagiwa maji ya barafu kwa lengo la kushiriki kampeni iliyoanzishwa na Vodacom kuchangia akina mama wajawazito wenye ugonjwa wa Fistula #IcebucketChallenge au #IceBongo.   Kampeni hii imenzishwa na Vodacom kwa kutumia mfano wa kampeni maarufu iliyoanzishwa nchini Marekani kwa ajili ya kuchangia utafiti wa matibabu ya

Diamond na Dabo watajwa kuwania tuzo za 'IRAWMA', Marekani

$
0
0
Wasanii wa Tanzania,  Diamond Platinumz na Dabo (wa Dancehall) wametajwa kuwania tuzo za IRAMWA (International Reggae and World Music Awards), Marekani.   Wimbo wa MdogoMdogo wa Diamond umemuwezesha kutajwa kuwania tuzo hizo katika kipengele cha The Best African Song/Entertainer akichuana na Davido (Aye), Awilo Longomba (Bendeke), Willy Paul Msafi (Tam Tam), Eddy Kenzo (Sittya Loss),

Tamko la mkuu wa mkoa wa Kigoma baada ya watu wawili kufa kwa Ebola Congo DRC

$
0
0
Taarifa zinaarifu kwamba kati ya Wagonjwa nane waliokutwa na Ebola huko Congo DRC, wawili kati yao wamefariki dunia.  Taarifa hizi zimeendelea kuwashtua na kuwafanya majirani kuzingatia tahadhari ambapo mkuu wa mkoa wa Kigoma Issa Machibya amesema: "Pamoja na tishio la ugonjwa huu kwamba uko DRC Congo (DRC ya mbali sana kule kaskazini wanakopakana na Afrika ya kati na Sudan),

Hivi ndivyo Ali Kiba Alivyopagawisha Serengeti Fiesta Tanga.....Mashabiki walimlazimisha kuurudia wimbo wake mara 10

$
0
0
Gwiji la muziki wa kizazi kipya, Alikiba, alitoa burudani   ya  nguvu kwa Wanatanga kwa wimbo wake mpya-Mwana Dar es salaam- usiku wa Serengeti Fiesta Tanga, katika viwanja vya Mkwakwani jinjini Tanga, hali  iliyomfanya  alazimishwe  na  mashabiki  hao  kuurudia  wimbo  huo  mara  10  zaidi. Akiwa jukwaani, Alikiba alilazimika kuuruduia wimbo huo kwa zaidi ya mara 10  kwani pindi

Rais Kikwete Amteua Ali Siwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Ndugu Ali Idi siwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kigali, nchini Rwanda. Uteuzihuo umefanyika kufuatia kuwepo kwa nafasi wazi iliyoachwa na Balozi Dkt Mwita Marwa Matiko ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria. Ndugu Ali Siwa amekuwa katika utumishi wa umma tangu mwaka 1977 na uweza

Picha Zinatisha: Msicha wa kazi achomwa moto sehemu zake za siri kisa Kakojoa kitandani

$
0
0
Habari  kutoka  mkoani  Arusha  zinaarufu  kuwa  msichana  mmoja  wa  kazi ( hausigeli)  ameungua  na  kuharibika  vibaya  sehemu  zake  za  siri  baada  ya  kuchomwa  moto  na  bosi  wake.... Kwa  mujibu  wa  mtu  aliyetutumia  picha  za  tukio  hilo, Binti  huyo  anadaiwa  kuchomwa  moto  baada  ya  kukojoa  kitandani  usiku  akiwa  amelala. Tunaendelea  kupekua  undani  wa  tukio 

CCM yasema Itachunguza kama ni kweli Waziri mkuu Mizengo Pinda alifanya kampeni za Urais Akiwa jijini Mwanza

$
0
0
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa kitafanya uchunguzi wa kina ili kujiridhisha kabla ya kuchukua hatua dhidi ya Waziri mkuu Mizengo Pinda iwapo matamshi yake ya kutangaza nia ya kuwania Urais  kwenye uchaguzi mkuu hapo mwakani yaliambatana na vitendo vya kufanya Kampeni. Awali CCM kiliwahi kuwaonya baadhi ya vigogo kadhaa ambao walionyesha kuanza kufanya kampeni mapema ambapo

Nina Mimba ya Mbasha sio Gwajima -Flora Mbasha

$
0
0
Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ambae pia ni Mke wa Emmanuel Mbasha amefunguka na kusema kuwa hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na na Mchungaji wa Kanisa la kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima...   Flora amesema hayo leo alipokuwa akichat Live kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV katika kipengele cha Kikaangoni Live kinachofanyika kila siku ya Jumatano kuanzia saa Sita

Zitto Kabwe Afunguka kuhusu Uhusiano wake wa Kimapenzi na Loveness Diva wa Clouds Fm

$
0
0
Kwa mara ya kwanza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ameibuka na kuzungumzia uhusiano wake na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ na kufuta uvumi mzito uliokuwa ukizagaa kuwa wawili hao ni wapenzi. Zitto alifunguka hayo juzi kupitia kipindi cha Mkasi kinachorushwa na Televesheni ya East Africa ambapo alikanusha kuwa hana uhusiano wowote wa mapenzi licha ya

Kijana Avua Nguo baada ya Kufika Kilele cha Mlima Kilimanjaro

$
0
0
KIJANA Ben Boleyn aliamua kuvua nguo baada ya kufika kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro nchini chenye joto la kati ya sentigrade 10 hadi 12. Ben alifanya hivyo baada ya kuwekeana dau la shilingi 500 na mwenzake miongoni mwa aliopanda nao mlima huo. Kijana huyo mwenye miaka 18 alipanda mlima huo katika kuchangisha fedha kusaidia watoto wa kituo cha kulea watoto cha Acorns

Halima Mdee Amwaga Machozi hadharani baada ya kukabidhiwa fomu ya kuwania uenyekiti wa Bawacha

$
0
0
Vigogo wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), watachuana katika kinyang’anyiro cha kuwania uenyekiti wa baraza hilo baada ya jana baadhi ya wanawake kujitokeza kumchukulia fomu Mbunge wa Kawe, Halima Mdee.    Mbunge huyo anaungana na Mbunge wa Viti Maalumu, Chiku Abwao na wanachama wengine, Lilian Wasira na Sophia Mwakagenda ambao nao wamesharejesha fomu kuwania nafasi hiyo

Rais Kikwete apongezwa kukutana na UKAWA

$
0
0
Wadau wengi wamepongeza hatua ya Rais Jakaya Kikwete kukubali kukutana na viongozi wa vyama vya siasa wakiwamo wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa lengo la kunusuru mchakato wa Katiba mpya. Abubakar Kapera, mkazi wa Kata ya Nyamanoro jijini Mwanza, alisema uamuzi wa Kikwete ni mzuri wa kukubali kukutana na kuzungumza na Ukawa, lakini hatua hiyo imechelewa. “Amechukua

Rais Kikwete kuhutubia Taifa Jumapili

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete anatarajia kufanya ziara mkoani Dodoma ambako atazindua  miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwamo ya barabara, maji na kulihutubia Taifa kwa kuongea na wazee. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi, alisema Rais ataanza ziara mwishoni mwa wiki hii  kulihutubia Taifa mwishoni mwa mwezi huu Jumapili ijayo.  Kwa mujibu wa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images