Waziri wa Afya wa Democratic Republic of Congo amethibitisha habari
ya kwanza kuwepo kwa watu 8 waliopimwa na kukutwa na virusi vya ugonjwa
wa Ebola. Mr Felix Kabange Numbi alisema,”The results are positive. The
Ebola virus is confirmed in DRC”.
DRC imekuwa ni nchi ya kwanza nje ya Africa Magharibi kuthibitisha
uwepo wa wagonjwa wa Ebola. Ugonjwa huu umeshasababisha vifo vya watu
Watu 8 wagundulika kuwa na virusi vya Ebola nchini Congo.
↧
↧
Pinda: Nitagombea Urais....Afichua sababu zilizomvuta kutangaza nia......Atataja sifa zake na makundi yanayomfagilia
Waziri
wa Mkuu Mizengo Pinda, amevunja ukimya na kuamua kutangaza nia yake ya
kutaka kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2015.
Pinda alitangaza nia hiyo juzi usiku Ikulu ndogo ya Mwanza jijini Mwanza,
mara baada ya kuwaalika wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) toka mikoa sita ya Kanda ya Ziwa.
Habari kutoka vyanzo vyetu vya kuaminika zilieleza kuwa Waziri
↧
Tamasha la Fiesta 2014 Lawa Gumzo Mkoani Tanga
Vanessa Mdee a.k.a Vmoney akiimba jukwaani huku akiwa na staili yake ya kipekee kabisa.
Barnaba Boy akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya uwanja wa Mkwakwani mkoni Tanga mwishoni mwa wiki.
Wadau nao walikuwepo kupata selfie ya Globu ya jamii ndani ya Fiesta.
Linah akilinogesha jukwaa la Fiesta na wimbo wake wa Ole Temba.
Kwa jijna la Kisanii
↧
Kesi Ya Kanumba Na Lulu Yasikilizwa Kimya kimya, Lulu Hajui Kinachoendelea
Baada ya kimya cha muda mrefu, imefichuka kwamba kesi ya kuuawa kwa aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba imechukua sura mpya baada ya kuanza kusikilizwa kimyakimya.
WATU WANATAKA KUJUA KINACHOENDELEA
Uchunguzi umebaini kwamba watu wengi wana kiu ya kujua kinachoendelea katika kesi hiyo ambapo ilidaiwa kwamba imehamishwa eneo la wazi (open) na
↧
Uchaguzi Chadema vurugu tupu....Kundi la Wanaodaiwa Wasaliti Laibuka, Viongozi wahaha kuwadhibiti wanaokimbilia Kortini
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kimebaini njama
za kupandikiziwa mamluki wenye nia ya kuvuruga uchaguzi wa chama hicho
pamoja na mabaraza yake unaotarajiwa kufanyika Septemba 14, mwaka huu.
Kutokana na hali hiyo, Chadema imedai kubaini uwepo wa mamluki hao
ambao wengi wamejitokeza kuwania nafasi mbalimbali katika chama hicho
huku wakikosa sifa stahili na hata
↧
↧
Makada CCM wamgwaya Pinda
SIKU moja baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutangaza nia ya
kujitosa kuwani urais katika Uchaguzi Mkuu 2015, baadhi ya wanachama wa
CCM na wasomi wamekuwa na maoni tofauti.
Hali hiyo imekuwa tofauti ambapo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara,
Philip Mangula, alishindwa kueleza kwa undani kauli hiyo ya Pinda huku
akisema hawezi kuzungumza jambo lolote kwa sasa hadi pale atakapomaliza
↧
Bagamoyo : Mke wa Mchungaji ajifungua hirizi baada ya ujauzito wa miezi 9
Na Edson Mkisi Jr
Wazee wetu walishawahi kuneno kwamba; Ukishangaa ya Mussa utayaona ya
filauni! Ndivyo unavyoweza kuanza kusema kuhusiana na tukio la
kushangaza lililotokea Kijiji cha Udindila Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa
Pwani.
Mchungaji wa Kanisa la EAGT aliyetambulika kwa jina la Boniface
Onesmo alijikuta akibubujikwa na machozi mara baada ya kushuhudia mkewe
Bi. Benta Boniface
↧
Boko Haram yatangaza himaya yao Nigeria
Kundi la wanamgambo wa Boko Haram limesema kuwa
limebuni taifa la kiislamu katika miji na vitongoji inavyotawala
kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Kiongozi wa Boko Haram Abubakar Shekau
alizungumza kwenye kanda ya video iliyotolewa ili kupongeza wapiganaji
wake kwa kuchukua udhibiti wa mji wa Gwoza mapema mwezi huu.
Haijabainishwa iwapo Bwana Shekau ameahidi kutii Muungano wa
↧
Wanajeshi 480 wa Nigeria watorokea Cameroon
Wanajeshi 480 wa Nigeria wametorokea nchi
jirani ya Cameroon kufuatia makabiliano makali dhidi ya wapiganaji wa
kundi la kiislamu la Boko Haram.
Msemaji wa jeshi la Cameroon Luteini Kanali
Didier Badjek amethibitisha kisa hicho na kusema kuwa wamepokonywa
silaha na sasa wamewekwa katika shule .
Mapigano hayo yanaendelea karibu na mji ulioko mpakani wa Gamboru Ngala.
↧
↧
Benjamin Mkapa ampigia Pinda debe kiaina.....Asema ni kiongozi anayekubalika kwa wananchi
Rais mstaafu, Benjamini Mkapa amempigia debe Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda kiana akisema ni kiongozi anayekubalika kwa wananchi,
hivyo wananchi wamuunge mkono kwenye nafasi yake ya sasa.
Pia, Mkapa amesema uadilifu wa Pinda ndiyo chanzo
cha watu kumwamini na kumkubali kutokana na kazi nzuri anayoifanya
serikalini, hivyo ni kiongozi mfano wa kuigwa.
Mkapa alitoa kauli hiyo juzi
↧
Mwanafunzi Amuua Mwanaye kwa kumnyonga na kisha kumficha uvunguni
Mwanafunzi wa Chuo cha Uuguzi Chimala wilayani
Mbarali, Mkoa wa Mbeya, Vena Mtati (27) (pichani) anashikiliwa na Jeshi
la Polisi Mkoa wa Iringa kwa madai mazito ya kumuua mtoto wake kwa
kumnyonga, kumtumbukiza kwenye mfuko wa rambo na kuutia ndani ya mfuko
wa salfeti kisha kuuficha chini ya kitanda.
Tukio hilo la kikatili ambalo limewashangaza wengi, hasa ikizingatiwa
kuwa mtuhumiwa
↧
Mfanyabiashara wa Madini Ajiua kwa kujipiga Risasi akikwepa kufia mikononi mwa wananchi wenye hasira kali
MFANYABIASHARA maarufu wa madini ya dhahabu amejiua kwa kujipiga risasi kichwani. Amefanya hivyo wakati akiwakimbia wananchi wenye hasira na wachimbaji wadogo kwenye machimbo ya Kalole Kata ya Bugarama wilaya ya Kahama, baada ya kumjeruhi mguuni kwa kumpiga risasi mchimbaji mdogo wa machimbo hayo.
Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Shinyanga Justus Kamugisha alisema ofisini kwake mjini hapa jana
↧
Tanesco yakataa umeme wa bei ghali
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) limekataa mkataba wa kununua umeme wa makaa ya mawe kwa gharama kubwa kutoka Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), kwa kuwa utavuruga mpango wao wa kupunguza gharama ya umeme kwa wananchi.
Akizungumza juzi mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, Meneja Uzalishaji wa Tanesco Makao Makuu, Costa Rubagumya, alisema bei ya umeme wa NDC kwa
↧
↧
Bunge lajigeuza Tume ya Warioba.....Lapokea maoni ya makundi mbalimbali, Katibu atetea.....Warioba Aponda
Kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kukusanya maoni ya makundi
na wananchi mbalimbali, kimepokewa kwa hisia tofauti, baadhi ya wasomi
wakisema ni kinyume cha sheria na kuonyesha kutapatapa huku Mwenyekiti
wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akisema
linafanya kazi ambayo tayari tume yake ilishaifanya.
Hata hivyo, Katibu wa Bunge hilo, Yahya Khamis
Hamad
↧
Video: Tazama Shilole na Nuh Mziwanda walipokula ‘denda’ jukwaani kwenye show ya ‘Turn Down For What’
Shilole aka Shishi baby pamoja na baby wake Nuh Mziwanda usiku wa juzi katika ukumbi wa Maisha Club kwenye show ya ‘Turn Down For What,’ walifanya kile walichokifanya Jay Z na Beyonce juzi hiyo hiyo kwenye tuzo za MTV VMA, yaani kuoneshana upendo hadharani kwa njia ya kula denda (kiss) jukwaani.
Shilole na Nuh Mziwanda ni
↧
Mkapa aibua mjadala mzito baada ya kujiweka kando kuzungumzia suala la mchakato wa Katiba Mpya
Hatua
ya Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, kujiweka kando kuzungumzia suala la
mchakato wa Katiba Mpya na mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba, imeibua
maoni tofauti ya wananchi huku baadhi wakisema anakosea na wengine
wakimtetea kwa maelezo kuwa uamuzi huo ni matokeo ya busara ya hali ya
juu aliyo nayo.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (Saut), Profesa Mwesiga
Baregu,
↧
Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO
Neema
Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa
mbalimbali za asili.
Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa
tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha kabisa tatizo
la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hii iitwayo
JIKO ni ya asili kabisa (PURE HERBAL) na inaponyesha na
kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume
↧
↧
Uhusiano kati ya Pete za Bahati na Mafanikio katika Maisha ya Mwanadamu
Kabla hatujafahamu kuhusu pete za
bahati ni vyema na haki tukajua kuhusu IMMO Ring.
IMMO
Ring ni pete inayo undwa na madini aina tano ambayo ni Shaba, Dhahabu, Fedha,
Zinki na Chuma jambo ambalo ni muhimu sana katika
kuvuta na kuweka uwiano kati ya maisha ya mwanadamu ( human
life ) na vitu asiliavinavyo mzunguka ( nature ).
Hii ni kwa
↧
Kigogo Atiwa mbaroni baada ya KUMLAWITI Msichana wake wa kazi
Mtoto Rose (kushoto) aliyelawitiwa, na mwenzake Diana aliyetoroshwa na kigogo mmoja aliyetajwa kwa jina la Moses.
****
Wakati watetezi wa haki za binadamu wakizidi kupiga vita matukio ya
unyanyasaji wa watoto na wanawake, kigogo mmoja aliyetajwa kwa jina la
Moses anadaiwa kumlawiti mtoto, Rose (16) na kumtorosha mwingine aitwaye
Diana (12) ambaye ni denti wa darasa la nne.
Kigogo huyo
↧
Mapya yaibuka urais wa Pinda
SAKATA la Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kutangaza nia ya kuwania urais,
limeibua mapya baada ya makatibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kudai
walipewa mafuta lita 60 na posho.
Wakizungumza jijini Mwanza jana kwa sharti la kutotajwa majina yao, baadhi ya makatibu hao walishangazwa na kauli ya Mwenyekiti wa
CCM Mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo, kudai kuwa hakukuwa na kikao hicho
cha siri.
↧
More Pages to Explore .....