Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mke wa Mtu Amwagiwa Maharage ya Moto kisa mume wa mtu

$
0
0
Mke wa mtu, Mwajuma Prima amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwagiwa mwilini sufuria la maharage yalitokuwa yakichemka jikoni, kisa kupeleka maneno ya umbeya kwa mume wa mtu. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri juzikati majira ya saa 12:00 jioni ambapo mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Fatuma ndiye anayehusishwa na msala huo uliotokea nyumbani kwake maeneo ya Mtaa wa

Mtoto wa Shule ya KATA Aibuka kidedea Shindano la Insha SADC

$
0
0
Watoto wa Kitanzania kutoka shule za kawaida na zile za kata, wameendelea kuipa nchi heshima kimataifa, kwa kuongoza katika mashindano ya kitaaluma.   Jana mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Naboti iliyopo Makambako mkoani Njombe, Neema Mtwanga (16), aliibuka mshindi wa kwanza miongoni mwa washindani 39 katika Shindano la Utunzi wa Insha,lililoandaliwa na Jumuiya ya

Marehemu Waendelea kulipwa Mishahara

$
0
0
 Utaratibu mpya wa Hazina kulipa mishahara moja kwa moja kwa watumishi wa halmashauri, umefichua ‘mchezo mchafu’ wa watumishi waliofariki na watoro kulipwa mishahara.   Akisoma risala ya washiriki mafunzo ya utekelezaji wa awamu ya pili ya Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari (MMES) mwishoni mwa wiki iliyopita, Mwenyekiti wa washiriki hao, Ramadhani  Chomolla, alisema Serikali imepata

Zahanati ya Ebola yavamiwa, polisi waingia mtaani kusaka wezi na wagonjwa waliotoroka

$
0
0
Kituo maalum kilichotengwa kwa ajili ya kuwaangalia watu wenye dalili za ugonjwa wa Ebola katika mji mkuu wa Liberia, Monrovia kimeshambuliwa na watu wasiojulikana waliopora vifaa.    Kwa mujibu wa BBC,  tukio hilo lilifanyika usiku wa Jumamosi iliyopita na watu takribani 30 walioliokuwa wamewekwa katika kituo hicho kwa lengo la kuangaliwa kama wana dalili za Ebola walitoroka.  

Lulu awajibu wanaosema hawezi kumpata Justin Bieber

$
0
0
Muigizaji Elizabeth Michael aka Lulu anaendelea kuonesha hisia zake kwa Justin Bieber na sasa ameeleza kuwa atakuwa anamuandikia ujumbe kila Jumatatu.   Kupitia Instagram, Lulu amepost picha ya Justin Bieber 'JB' akiwa kifua wazi akipiga kinanda na kuandika ujumbe akiwajibu wale wanaodai kuwa anaota ndoto za mchana na kwamba hatampata. “Mapemaaaa...Kabla cku haijawa ngumu..! Haya ni

CHADEMA Dar kufanya maandamano makubwa kumshnikiza Rais Kikwete kulivunja Bunge la Katiba

$
0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Dar es Salaam, jana kimetoa tamko la kufanya maandamano ili kumshinikiza Rais Jakaya Kikwete, alivunje Bunge Maalumu la Katiba.   Pia chama hicho kinatarajia kutoa tamko juu ya kauli aliyoitoa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema juu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).   Tamko hilo limetolewa na Mwenyekiti wa Baraza

Mwanamke auawa, achunwa ngozi Mbeya

$
0
0
WATU wasiofahamika wamemuua mwanamke mkazi wa Kijiji cha Idiwili, Kata ya Iyula wilayani Mbozi na kumchuna ngozi ya shingo.   Pamoja na kumchuna ngozi marehemu, wauaji hao pia walinyofoa macho, ulimi na koromeo la marehemu.   Baada ya mauaji hayo ya kinyama wauaji hao waliutelekeza porini mwili wa marehemu huyo, Angelina Kameza (26).   Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Barakaeli

Tembo wavamia makazi ya watu na kuua, Longido mkoani Arusha

$
0
0
Kundi la Tembo limevamia makazi ya wananchi wa kata ya Tingatinga wilayani Longido mkoani Arusha na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kujeruhiwa.   wananchi wa kata hiyo wamedai kuwa aliyeuawa na Tembo hao ni mtoto wa miaka Tisa aliyetajwa kwa jina la Fred Joseph na Bw Paulo Lukasi ambaye amejeruhiwa na kulazwa hosipitalini.  

Kitambulisho cha Uraia Hakitatumika Kupigia Kura

$
0
0
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesisitiza vitambulisho vya uraia, havitatumika  kupiga kura katika uchaguzi mkuu,  isipokuwa   kadi  zitakazotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi  (NEC).   Mkurugenzi wa Uchaguzi,  Julius Mallaba alifafanua jana jijini Dar es Salaam kwamba ni makosa kudhani   kuwa  vitambulisho vinavyotolewa na Nida, vinaweza kutumika kupiga kura.   “Haiwezekani

Mwigulu:Nimeombwa kugombea urais 2015.....Adai kutumiwa ujumbe na wazee kutoka Butiama, Pia wapo vijana wa kutoka vyuo vikuu

$
0
0
Wakati baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kupigana vikumbo kuwania urais wa 2015, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema ameombwa na watu mbalimbali wakiwamo wazee na wasomi kuwania nafasi hiyo. Hata hivyo, Nchemba amesema kwa sasa hafikirii suala hilo kwani amebanwa na utekelezaji wa jukumu alilokabidhiwa na Rais. Nchemba, ambaye pia ni Naibu

Kichanga kisichokuwa na kichwa, kifua chaokotwa

$
0
0
Maiti ya mtoto mchanga ikiwa haina kichwa wala kifua imekutwa ikiwa imefukiwa na mtu asiyejulikana kwenye pagala la nyumba. Habari zilizothibitishwa na Kamanda wa polisi wa mkoa wa Ruvuma, Mihayo Misikhela  zimesema tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 3 subuhi Lizaboni. Kamanda Misikhela alisema inadaiwa siku ya tukio mwili wa mtoto huyo uligunduliwa na mafundi washi waliokuwa

Baba amuingilia bintiye kinyume cha maumbile

$
0
0
Vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia bado vinaendelea Zanzibar baada ya watu wawili kushikiliwa na polisi kwa tuhuma za kubaka. Katika tukio lililotokea Agosti 4, mwaka huu Muhammed Khafidh Thabit (50), anadaiwa kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 14. Mtuhumiwa huyo alimuingilia binti yake huyo kinyume na maumbile na kumsababishia madhara makubwa mwilini wake.

JK aitisha Kamati Kuu ya Dharura....Kutua Dodoma na Siri nzito Moyoni, kauli yake kufungua Ukurasa Mpya kesho.....Rungu kuwaangukia waliotangaza kugombea Urais

$
0
0
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, ameitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu kitakachofanyika Dodoma kesho.   Habari za uhakika zilizopatikana Dar es Salaam jana, zinasema moja ya ajenda kubwa inayoweza kutawala kikao hicho ni mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba ambalo limesusiwa na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).   Kwa muda sasa

Irene Uwoya amtaka Ndikumana Yanga, mwenyewe aogopa kulogwa.....Asema Uwoya bado ni Mke wake na wanapendana sana

$
0
0
BINTI aliyejaliwa uzuri wa sura anayeng’ara kwenye filamu za Kibongo, anamshawishi mumewe Hamad Ndikumana aje kucheza Yanga ya chini ya kocha, Marcio Maximo.   Ndikumana ambaye kwa sasa anaichezea Vital’o ya Bujumbura, Burundi ameweka wazi kwamba binti huyo, Irene Uwoya ambaye ni mkewe ni shabiki wa Jangwani na amekua akimshawishi kila mara kwamba atue Jangwani ili awe naye karibu

Freeman Mbowe Aikimbia tena Mahakama

$
0
0
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freemon Mbowe, ameshindwa kuhudhuria Mahakamani kutoa ushahidi wake katika kesi inayomkabili, huku wakili wake akishindwa kufika mahakamani hapo. Mbowe ambeye pia ni Mbunge wa Jimbo la Hai, anakabiliwa na mashtaka ya kumshambulia mwangalizi wa ndani katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010. Kesi hiyo iliyoko katika Mahakama ya

Trafiki Anusurika kufa baada ya Kuvaana Uso kwa Uso na Gari Dogo eneo la Bamaga Mikocheni jijini Dar es salaam

$
0
0
Askari mmoja wa kikosi cha usalama barabara ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amenusurika kufa baada ya kupata ajali akiwa anaendesha pikipiki ya polisi ambayo ilikosa mwelekeo na kugongana uso kwa uso na gari dogo lenye namba za usajili T 681 CUX eneo la Bamaga Mikocheni jijini Dar es salaam ambapo gari hilo lilikuwa likiandeshwa na mwanamke mmoja huku mashuhuda wa

Tanzia: Jaji Lewis Makame afariki Dunia

$
0
0
Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi-(NEC), Jaji Lewis Makame amefariki baada ya kuugua maradhi ya moyo kwa muda mrefu.   Jaji Makame alikuwa amelazwa katika hospitali ya AMI iyopo Mikocheni, Dar es Salaam tangu July mwaka huu hadi mauti ilipomfika leo Alfajiri.   July, 28 rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete alikwenda kumjulia hali msaafu huyo wa NEC

Manyaunyau awataka wanasiasa wakubwa wanaomfuata kwa siri waweke wazi, aeleza anachofanya wakati wa uchaguzi

$
0
0
Mganga wa jadi maarufu anaefahamika kama Dr. Manyaunyau amesema kinapofika kipindi cha uchaguzi, wanasiasa wengi wakubwa humfuata kwa lengo la kutaka awasaidie lakini siku zote wanafanya kwa kujificha sana.   Akiongea na  Times Fm, Manyaunyau amewataka wanasiasa hao kutofanya kwa siri kwa kuwa anachokifanya yeye ni ufundi wa jadi ambao nchi nyingine unajulikana mwanasiasa huweka wazi

MPASUKO Bongo movies! Steve nyerere adaiwa kuingia mitini na hela za maandalizi ya maombi ya wasanii waliofariki

$
0
0
Klabu ya Bongo Movie Unity imedaiwa kuingia kwenye mpasuko mkubwa baada ya baadhi ya viongozi kutangaza kuachia ngazi kwa madai ya kuwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amechikichia mtonyo (fedha) mwingi wa klabu kwa masilahi yake Kwa mujibu wa chanzo makini kilicho ndani ya klabu hiyo, juzikati viongozi wote wa klabu hiyo walikaa kikao kilichoitishwa na katibu wao, William

Dudu Baya: Sijabahatika kumpata mwanamke ninayemtaka, nakutana na machizi

$
0
0
Msanii wa Hip Hop kutokea Mwanza, Godfrey Tumaini aka Dudu Baya amesema kuwa majanga anayopata kwenye mahusiano yake yanatokana na kutompata mwanamke anayemhitaji. Akizungumza na Mkasi TV hivi karibuni, Dudu Baya amesema wanawake wengi anaokutana nao wanakuwa ni machizi.   “Kwanza sijabahatika kukutana na mwanake ambae mimi namtaka, nafikiri Mungu bado hajanipa huwaga nakutana na
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images