Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unatatizo la kufika kileleni mapema?....Bofya hapa ukutane na maajabu ya dawa ya Jiko katika kutibu tatizo hilo

0
0
Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa  dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Dawa  hii iitwayo  JIKO  ni  ya  asili  kabisa  (PURE HERBAL) na inaponyesha  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za kiume

Fahamu kuhusu Ugonjwa wa EBOLA na Chanzo kamili cha Virusi vya Ugonjwa huo na Namna ya Kuchukua Tahadhari

0
0
Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vijulikanavyo kwa lugha ya kitaalamu “Ebola Virus”,  ugonjwa wa damu kutoganda.  Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa ujumla kama Homa za Virusi zinaazosababisha kutokwa na Damu mwilini,(Viral Haemorrhagic Fevers) . Chanzo kamili cha virusi vya ugonjwa huu hakijulikani. Katika orodha ya watu 10 waliopata kirusi cha Ebola

H.Baba: Diamond muoe Wema muishi kwa ‘raha mustarehe’

0
0
Msanii wa muziki na filamu H.Baba ambaye yupo ndani ya ndoa na msanii mwenzake Flora Mvungi ametoa maoni yake kwa kile kinachooendelea kati ya pande mbili za kishabiki za Diamond na mpenzi wake Wema. Kupitia ukurasa Instagram, H.Baba amesema: Tanzaniteone uyo anawaambia sina chakusema kuhusu baba yangu na mama yangu ila baba analolakuwaambia Wema na Naseeb. Wema kapewa lawama nyingi

Lady Jaydee ajibu tetesi za kuachana na Gadner kwa picha ya pete ya ndoa kidoleni

0
0
Wanasema picha huongea maneno 1,000. Baada ya kuendelea kwa uvumi kuwa ndoa ya Lady Jaydee na Gadner G Habash imevunjika, muimbaji huyo amepost picha akionesha pete ya ndoa kwenye kidole chake. Kupitia ukurasa wake wa Facebook wa Lady Jaydee ameandika ujumba tofauti na picha lakini mashabiki wake wameelewa kuwa ni ujumbe anaoutoa kufuatia tetesi hizo.  “Kucha zimekosa rangi ya

Moto Wateketeza Kituo cha Kupoozea Umeme cha Mjini Moshi Leo Asubuhi

0
0
Transforma zinazosambaza umeme katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi Mkoani Kilimanjaro zilizoko eneo la Bomambuzi zimewaka moto leo asubuhi  muda mfupi baada ya kutokea shoti ambayo haijafahamika chanzo chake ni nini.    Moto huo umetokea majira ya saa 1:10 na kusababisha maeneo kadhaa ya mji wa Moshi kukosa umeme hadi sasa.    Mwandishi ameshuhudia kikosi cha zimamoto kutoka

Dereva wa Basi la UDA Apewa Kibano kizito na Trafiki Baada ya kuleta Ubabe wakati alipotakiwa kutii sheria bila shuruti.

0
0
Devera wa Basi la Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA) ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, amejikuta akipewa kibanokizito  na askari wa usalama barabarani ‘trafiki’ baada ya kuleta ubabe wakati alipotakiwa kutii sheria bila shuruti. Tukio hilo la aina yake lililosababisha usumbufu kwa abiria wa basi hilo, lilitokea juzi Bamaga-Mwenge jijini Dar kufuatia dereva huyo

Irene Uwoya: Hakuna Vazi nisilopenda kulivaa Kama Chupi

0
0
Mrembo na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli. Irene amesema hayo alipokuwa akizungumza na magazine maarufu ya burudani ya VIBE.   Alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye kabati lake,  “Chupi – sipendi kabisa hilo vazi” Alisema Irene uwoya.

#BringBackOurWema: Mashabiki wa Diamond nao waanza kampeni dhidi ya Wema

0
0
Baada ya mashabiki wa Wema kuamua kuanzisha kampeni maalum dhidi ya Diamond wakimtaka amrudishe wema wao kwenye game walilomzoea #BringBackOurWema, mashabiki wa Diamond nao wameibuka na yao.   Katika Instagram imefunguliwa akaunti maalum ya watu wanaojiita TeamDiamondTz nao wameanzisha kampeni ya kumtetea Diamond huku wakimtaka Wema kuachana na starehe zisizo na faida kama

Gari lililobeba MAITI kumi laua watu Wawili Mikese

0
0
Gari la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), lililokuwa likisafirisha maiti 10  za watu kwenda katika Hospitali ya Mtakatifu Francis Ifakara, wilayani Kilombero, limewagonga watu wawili waliofariki dunia papohapo, eneo la Mtego wa Simba, Mikese mkoani Morogoro.    Waliokufa katika ajali hiyo iliyotokea saa 5:25 asubuhi jana ni dereva na abiria wa bodaboda.   Maiti hizo zilizokuwa

JIWE Laporomoka jijini Mwanza na kuua Watu Wanne.....Laponda nyumba 2 Usiku wa Manane... Lafunika mume, mke, mtoto aponea chupuchupu

0
0
Vilio na simanzi jana vilitawala kwa wakazi wa maeneo ya Sinai-Mabatini, baada ya vifo vya watu wanne wa familia mbili tofauti, vilivyotokana na mvua iliyosababisha miamba mikubwa ya mawe kuporomoka na kuponda nyumba zao usiku wa manane.  Tukio hilo la kusikitisha limeripotiwa kutokea saa nane usiku kuamkia jana, wakati mvua   iliyoambatana na upepo wa wastani ilipokuwa ikiendelea

"Wema Sepetu Badilika, Diamond Yamemfika Shingoni mpaka Anafunguka"......Hii ni kauli ya Mange Kimambi

0
0
Mange kimambi ambaye ndiye aliyemuibua Wema Sepetu kwa kumshawishi kushiriki Miss Dar Indian Occean 2006 na hatimaye Wema Sepetu kushinda Miss Tanzania 2006 amefunguka kwa kusema kuwa hawezi kumtetea Wema baada ya Diamond kufunguka kuwa Wema anapenda starehe na  ana mashoga wapenda anasa badala ya kujikita kufaya kazi kujiletea amendeleo.   Mange amesema kuwa anakubaliana na alichokisema

10 Bora shindano la Tanzania Movie Talents Wapatikana

0
0
Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakifuatilia Filamu fupi iliyochezwa na baadhi ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakati ilipokuwa ikionyeshwa kwenye runinga kubwa katika Ukumbi wa Makumbusho. Kutoka Kulia ni Single Mtambalike au Rich Rich katikati ni Vyonne Cherry au Monalisa na Kushoto ni Jaji Mkuu wa Shindano hilo Roy Sarungi.  Mahosti wa

Jeshi la Polisi Latangaza kuanza Uchunguzi Wa Kina dhidi ya Freeman Mbowe , Dk. Slaa , Lissu, Mnyika na Godbless Lema Wanaotuhumiwa kwa Mauaji na Vitendo vya kigaidi

0
0
JESHI la Polisi limetangaza kuanzisha uchunguzi wa kina dhidi ya viongozi wa kitaifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliotajwa na kada wa zamani wa chama hicho, Habibu Mchange, kujihusisha kupanga na kutekeleza njama zenye mwelekeo wa ugaidi.   Limesema tuhuma zilizotolewa na Mchange zimelishtua, hivyo zinapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa hali ya juu, unaohusisha

Sumaye ashauri kusitishwa kwa Bunge la Katiba

0
0
Waziri mkuu wa zamani nchini Tanzania Fredrick Sumaye amependekeza kusitishwa kwa mjadala wa katiba mpya unaoendelea mjini Dodoma kwa kuwa inaonekana dhahiri kuwa si muda muafaka wa kupata katiba mpya kwa sasa. Amesema kusitishwa kwa mjadala huo kutatoa fursa kwa watanzania kujipa muda zaidi wa kutafakari ili kufanikisha upatikanaji wa katiba muafaka kwa wakati unaofaa.   Kauli

Abiria Wateseka kwa Zaidi ya Saa Sita Kibamba Dar

0
0
Abiria waliokuwa wanaelekea mkoani Mwanza kutoka Dar na gari la Princes Shabaha jana walikwama kwa saa sita baada ya basi hilo lenye namba za usajili T105 AVX  kuharibika maeneo ya Kibamba jijini Dar es Salam na kusababisha usumbufu miongoni mwa abiria hao.  Abiria wakiwa eneo lilipoharibika basi hilo pasipo kujua hatima yao.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Awataka UKAWA Warudi Bungeni.....Asisitiza kuwa Rais Kikwete hana Mamlaka kisheria ya Kulivunja Bunge hilo

0
0
Mwanasheria mkuu wa serikali nchini Tanzania Jaji Fredrick Werema amesema hakuna sheria inayompa mamlaka Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kulivunja bunge maalum la katiba hivyo amewataka umoja wa katiba ya wananchi UKAWA kurejea katika bunge hilo kwa lengo la kupata maridhiano ya pamoja.   Jaji Werema amesema hayo jana jijini Dar es salaam wakati alipokuwa akizungumza na

Johari Amrushia Dongo Irene Uwoya.....Awararua Waigizaji Wa Kike Wanaojichia Na Kupoteza Mvuto.

0
0
Msanii  Johari Blandina 'Chagula' ambaye ni star mkongwe Swahiliwood amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kuutunza muonekanio wake na kuwa kama kijana licha ya umri wake kuwa mkubwa tofauti na baadhi ya waigizaji wenzake wa kike ambao hujiachia na kuonekana wazee licha ya umri wao kuwa mdogo.   Akizungumza na Filamucentral Johari alisema: "Wasanii wa kike wengi ni watoto wadogo lakini kwa

Ali Kiba awataka watu wasimgombanishe na Diamond

0
0
Ali Kiba ameeleza kutopendezwa na maelezo yanayoandikwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa yeye na Diamond wana ugomvi.   Akiongea na Bongo5 mwimbaji huyo amesema wapo watu ambao hutumia hata akaunti fake za Facebook kwa lengo la kuwagombanisha.   “Kila mtu anaandika anachotaka juu ya mimi na Diamond, mpaka wengine wanatumia akaunti fake za Facebook kutukosanisha, ndio maana nikasema

Alichokisema Omotola ni fundisho kwa waigizaji wa Tanzania kuhusu SKENDO

0
0
Muigizaji wa kike wa Nigeria mwenye umaarufu mkubwa usioambatana na 'skendo', Omotola ameeleza sababu zinazomfanya asiwe na habari chafu kwenye vyombo vya habari.   Kikubwa alichokieleza ni uamuzi wa kuishi maisha sahihi na kwamba inaanza na tabia halisi ya mtu mwenyewe.   “Daima watu wataanza kufikiria vitu kuhusu wewe na inaweza kuwa inaumiza, hasa pale unapochagua kuishi maisha

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ( NIDA) Yazindua Rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu Mkoani Mtwara

0
0
Ndugu Joseph Makani, Mkurugenzi Mifumo ya Komputa akisoma hotuba kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, wakati wa uzinduzi wa kuanza kwa zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu mkoani Mtwara. ************* Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imezindua rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu kwa wananchi na wakazi wa mkoa wa Mtwara, zoezi ambalo litadumu
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images