Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Picha za Kajala Masanja Masanja akifanya Mahaba Zavuja

$
0
0
Mshiriki  wa  filamu  mpya  ya  Fundi  Seremala, Kajala  Masanja  ameanza  kumfichua  mpenzi  wake  mpya  baada  ya  kuingiza  mtandaoni  picha  inayomuonyesha  akipigana  mabusu  na  kijana  mmoja  ambaye  hakujulikana  jina  lake  mara  moja, anayehisiwa  kuwa  mpenzi  mpya  wa  mwigizaji  huyo..... Kajala  ambaye  katika  filam  ya  Fundi  Seremala  ameigiza  kama  mmoja  wa 

Keyshia Cole adaiwa ni MSAGAJI....Video yake mpya yazua utata

$
0
0
Keyshia  Cole  ambaye  hivi  karibuni  amepigana  chini  na  mume  wake  Daniel Gibson 'Boobie', mwishoni  mwa  wiki jana  aliachia  video  yake  mpya  ya  wimbo  wa  She, ambayo  ilishangaza  wengi  kutokana  na  kuwamo  matukio  ya  muonekano   wa  kushabikia  mahusiano  ya  kimapenzi  ya  jinsia  moja ( Usagaji ) Katika  video  hiyo, Keyshia  Cole  anaonekana  akimchezea  kimahaba 

Tundu Lissu Atangaza kugombea Urais 2015.....Mbowe atia neno!!

$
0
0
MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), kwa mara ya kwanza amefunguka na kusema ana nia ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 iwapo chama chake kitaridhia.   Ametoa kauli hiyo ikiwa ni miaka miwili tangu Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), alipojitokeza hadharani akisema kwamba hatawania tena ubunge katika jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu ujao na

Rayuu Aomba RADHI Kwa Picha zake za Uchi......"Naiomba radhi familia yangu kwa yote niliyofanya"

$
0
0
Msanii  anayefanya  vizuri  kunako  tasnia  ya  filamu  Bongo, Rayuu  Bagenzi  'Rayuu'  ambaye  amewahi  kukumbwa  na  skendo  kibao  ikiwemo  kupiga  picha  za  nusu  uchi  pamoja  na  kuonyesha  michoro  ya  tatoo  katika  sehemu  zake  nyeti  amedai  kuwa  amelazimika  kubadili  mwenendo  wake  hivyo  kuomba  radhi  kwa  kuikwaza  Familia  yake, ndugu, jamaa  na  marafiki Rayuu  aliamua

Penny kumchezesha Diamond NGOLOLO Kwenye harusi Yake

$
0
0
Mtangazaji  wa 93.7  E-FM  kupitia  kipindi  cha  Genge,  DVJ Penny  ambaye  wiki  kadhaa  zilizopita  picha  zake  zilisambaa  mtandaoni  zikimuonyesha  akiwa  amevishwa  pete   ya  uchumba  huku  mwanaume  aliyefanya  tukio  hilo  akiwa  ni  kitendawili, hatimaye  mwanadada  huyo  ameibuka  na  kumuweka  wazi  mpenzi  wake..... Akiongea  na  mwandishi  wetu, rafiki  wa  karibu  wa  Penny

" Sijawahi Kuridhishwa kimapenzi ( kufikishwa kileleni) na Mwanaume yeyote tangu nianze Mapenzi"...Efranciya Mangii

$
0
0
Staa  wa  filamu  ambaye  anashika  nafasi  ya  kwanza  kwa  kufungasha  Tanzania  nzima, Efranciya  Mangii  ameibuka  na  kupasua  jipu  kuwa  licha  ya  kuzalishwa  mtoto  mmoja  lakini  hakuna  mwanaume  aliyewahi  kumridhisha  kimahaba ( kumfikisha  kileleni). Akiteta  na  Mpekuzi  wetu  jijini  Dar  es  Salaam, Efranciya  ambaye  amewahi  kukumbwa  na  skendo  ya  kujihusisha  na 

Ephraim Kibonde na Gardner Habash Wapandishwa Kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni

$
0
0
MTANGAZAJI wa Clouds FM, Ephraim Kibonde na mwenzake, Gardner Habash wa Times FM leo wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa kusababisha ajali na kudharau amri ya polisi na kutoa lugha ya matusi.   Watangazaji hao wamesomewa mashitaka hayo na Wakili wa Serikali, Salim Mohammed mbele ya Hakimu Aniseta Wambura.   Kibonde na Gadna wanadaiwa

Huyu Ndo DEMU Mpya wa Diamond Plutnumz....Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ndiye aliyepika futari kwa kina Diamond, Wema ashauriwa kujitoa mapema

$
0
0
Yaliyomtokea  Miss  Tanzania  2006, Wema  Sepetu  mwaka  jana  huenda  yakajirudia mwaka  huu  baada  ya  kugundilika  mahusiano  mapya  baina  ya  Diamond   na  msanii  wa  muziki  aina  ya  Afro  Pop  na  mtangazaji  wa  kipindi  cha  Dance  100%  kinachorushwa  kupitia  kituo  cha  Televisheni  ya  vijana  EATV, Menina  Atick  a.k.a  Menina  la  Diva..... Taarifa  toka  vyanzo  vya 

Dalili za Ugonjwa wa Homa ya INI na Jinsi Unavyoambukizwa ( Ugonjwa huu ni hatari kuliko UKIMWI)

$
0
0
Homa  ya  Ini ni ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya virusi ambavyo vikishaingia mwilini hushambulia ini kabla ya kugeuka maradhi sugu.Virusi hivyo vinaitwa HBV (Hepatitis B Virus). Virusi hivyo husambazwa kwa njia ya damu au majimaji mengine ya mwilini, mfano mate au jasho. Watu takriban 1,000,000 wanapoteza maisha duniani kote kutokana na ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B). Ugonjwa

Baby Madaha Anusurika Kubakwa baada ya kupanda jukwaani akiwa na kivazi cha nusu uchi

$
0
0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Baby Joseph Madaha amenusurika kubakwa nchini Kenya baada ya kupanda jukwaani akiwa ametinga kivazi cha nusu utupu. Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita katika mji wa Naivasha uliopo Nairobi nchini humo ambapo mwanadada huyo alipopanda jukwaani akiwa amevaa sketi fupi iliyokuwa imeacha sehemu kubwa ya mapaja wazi, wanaume wakware

Ugonjwa wa EBOLA Waingia Dar es Salaam......Wagonjwa wawili wagundulika kuwa nao

$
0
0
Ugonjwa wa Ebola umeingia nchini kufuatia watu wawili wanaodhaniwa kuwa na maambukizi yake kuwasili nchini. ‘Wagonjwa’ hao wamepelekwa katika kituo maalum kilichotengenezwa na serikali kwa ajili ya waathirika wa ugonjwa huo kilichopo wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam. Mpekuzi jana ilishuhudia watu wawili wanaodhaniwa kuwa na ugonjwa huo wakiwa wamefikishwa katika kituo hicho

Mrembo Amwagiwa Mafuta ya Moto Usoni kisa mume wa mtu

$
0
0
Mwanadada aliyefahamika kwa jina moja la Mbuva, mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar, hivi karibuni amejikuta akiharibiwa uso wake kwa kumwagiwa mafuta ya moto na shosti wake aitwaye Mama Sofia, kisa kikidaiwa ni mume wa mtu. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo inadaiwa mama Sofia alimfanyia mwenzake unyama huo akimtuhumu kutembea na bwana wake.Akisimulia

Diamond Ampiga Vijembe Wema Sepetu....Adai kuchoshwa na tabia yake ya kuwa na mashoga Wapenda Anasa na Wanywa Pombe

$
0
0
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemtupia vijembe mpenzi wake Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram  akionekana kuchukizwa na tabia ya staa huyo kupenda maisha ya starehe zisizo na faida. Katika ujumbe huo, Diamond ameandika kuwa angewaona mashabiki wa mrembo huyo wana akili na mapenzi ya dhati kama wangemshauri apunguze mashoga wapenda anasa na kuacha

Mchange Apangua tuhuma za mauaji ya Dk. Slaa.....Asema Tuhuma hizo ni za Kipuuzi na ni dalili ya kifo cha CHADEMA

$
0
0
Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Habibu Mchange, ameibuka na kuponda hoja za kumuhusisha kupanga njama za kutaka kumuua Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa.   Alisema tuhuma hizo ni upuuzi na ni dalili ya kifo kwa chama hicho.   Hatua hiyo ya Mchange imekuja siku chache baada ya madiwani wawili wa Chadema Mkoa wa Shinyanga waliokuwa CCM,

Ikulu yawakatisha tamaa UKAWA.....Yasema Rais Kikwete Hawezi Kulisitisha Bunge la Katiba, Yadai hakuna sheria inayompa Mamlaka hayo

$
0
0
MKURUGENZI wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Salva Rweyemamu, amesema hata kama viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakikutana na Rais Jakaya Kikwete, hakuna kitakachobadilika kuhusu mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba.   Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Salva alisema katu hatua hiyo haitaweza kusitisha Bunge hilo akiwataka warejee bungeni na

Wasukuma Wapigwa Marufuku Kutembea na Fimbo Mitaani......Ngoma za "Chagula Mayu" nazo zapigwa marufuku

$
0
0
UONGOZI wa Serikali kwenye Tarafa ya Ngaherango, Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro, umepiga marufuku wafugaji wa kabila la Wasukuma kwenye tarafa hiyo, kutembea na fimbo mitaani ili kukomesha tabia ya kuchapana ovyo hata kusababisha mauaji.   Akizungumza katika mkutano wa hadhara kwenye vijiji vya Ngoheranga na Ihowanja wilayani humo, Ofisa Tarafa wa Kijiji cha Ngoheranga, Conrad

Hatimaye Jackie Cliff Ahukumiwa Kwenda Jela Miaka 6 Nchini China.

$
0
0
Baada ya kushikiliwa kwa takriban miezi tisa kwa kesi ya madawa ya kulevya ‘unga’, hatimaye model maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Cliff’ amehukumiwa kifungo cha miaka 6 jela huku kukiwa na uwezekano wa kupunguziwa adhabu ikawa ndogo zaidi. Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Jack, modo huyo alihukumiwa Jumatatu iliyopita (Agosti 11, mwaka huu) kwenye Mahakama ya Macau huko

Rais Kikwete: Rasimu ya Katiba haitambui Uraia Pacha

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete amesema suala la uraia wa nchi mbili linaonekana kutokuwa na nguvu kwa sasa kutokana na kutojitokeza katika Tume ya Mabadiliko ya Katiba, hivyo kutoingia katika Rasimu ya Katiba inayojadiliwa sasa bungeni.    Kauli ya Rais Kikwete imekuja wakati suala hilo likionekana kuwagawa wajumbe katika Kamati za Bunge Maalumu, kutokana na kuwapo kwa mapendekezo kwamba suala

Taarifa MPYA ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa Ebola kuingia Tanzania.

$
0
0
Ugonjwa wa Ebola ambao kwa sasa umeingia kwenye headlines za dunia kutokana na kuripotiwa kwenye nchi mbalimbali za Afrika sasa umeingia kugusa vichwa vya habari na kuihusisha Tanzania.  Waziri wa Afya wa Seif Rashid amesema wagonjwa waliohisiwa kupata maambukizo hayo kutokana na dalili za awali ni kutoka Benin na Mtanzania lakini baada ya vipimo wameonekana hawana maambukizo hayo.

Wema Sepetu: Namchukia Halima Kimwana ( Dada yake Diamond) Mpaka basi

$
0
0
Wema Sepetu a.k.a Beautiful Onyinye amekula kiapo cha kumchukia dada wa hiyari wa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’, Halima Kimwana ambaye wamekuwa na bifu kwa kipindi kirefu huku sababu zikiwa hazijulikani. Akipiga stori na mwandishi wetu hivi karibuni, Wema alisema ugomvi wake na Halima Kimwana hautaisha na siku zote atamuonyesha chuki za wazi sababu hana upendo naye hata
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images