Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

CHADEMA Wampiga na kumjeruhi Vibaya mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba

$
0
0
MJADALA kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya, umeingia hatua nyingine baada ya Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Thomas Mgoli, kupigwa na kulazwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma na wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).   Kutokana na hali hiyo, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amewaonya wajumbe wa bunge hilo, kuacha kuhamishia mijadala baa,

Magufuli: Nipo tayari kushtakiwa

$
0
0
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema yupo tayari kufungwa jela kuliko kuendelea kuwavumilia watu wanaokwamisha ujenzi wa miundombinu ya barabara kwa kukimbilia mahakamani.   Sambamba na hilo, pia amepiga marufuku uchimbaji wa mchanga pembezoni mwa mto uliokuwa eneo la daraja la Lugalo, ikiwa ni pamoja na kuwapa tahadhari ya kuwafungia wafanyabiashara walio karibu na eneo hilo

Kamati ya Wassira yabariki adhabu ya kifo ( Kunyongwa)

$
0
0
LICHA ya sheria ya kunyonga kupigiwa kelele na jumuiya za kimataifa, wajumbe wa kamati namba sita ya Bunge Maalumu la Katiba wamependekeza iendelee kutumika nchini.   Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Dodoma jana, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Steven Wassira, alisema hali hiyo ilijitokeza wakati wa kujadili Sura ya nne ya Rasimu ya Katiba.   “Wapo baadhi ya wajumbe walitaka adhabu

Shibuda, Arfi: Tupo tayari kuadhibiwa CHADEMA

$
0
0
Wabunge wa Chadema, Said Arfi na John Shibuda wamesema hawana hofu yoyote juu ya uamuzi utakaochukuliwa dhidi yao na uongozi wa chama hicho kwa kitendo chao cha kuhudhuria vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.    Wakati Shibuda na Arfi wakieleza hayo, Mbunge wa Viti Maalumu wa chama hicho, Leticia Nyerere ameibuka na kudai kuwa hakuwahi kushiriki katika vikao vya Bunge hilo, ila alipita

Kibonde wa Clouds FM aachiwa kwa dhamana Oysterbay

$
0
0
Mwandishi wa habari, Ephraim Kibonde jana aliachiwa kutoka Kituo cha Polisi Oysterbay, Dar es Salaam alikokuwa akishikiliwa tangu mwishoni mwa wiki kwa tuhuma za kusababisha ajali ya gari na kutoa lugha ya matusi kwa askari wa usalama barabarani.    Mwanahabari huyo alikamatwa Jumamosi asubuhi kwa tuhuma za kusababisha ajali hiyo na kuendsha gari akiwa amelewa.   Kamanda wa polisi wa

Mume Wa Mtu anayedaiwa kumpa mimba MBWA Wake Kufikishwa mahakamani muda wowote

$
0
0
Lile sakata la mume aliyetajwa kwa jina la Hamis Juma (pichani akiwa na mkewe), mkazi  wa Majohe Mji Mpya, Ilala jijini Dar kudaiwa na mkewe, Cecilia Hamis kwamba amempa mimba  mbwa yameibuka mapya.   Ijumaa iliyopita, Uwazi lilifika kwenye ofisi za Taasisi ya Kutetea Haki za Wanyama ambapo mmoja wa maofisa aliyedai si msemaji maalum, alisema wapo katika mchakato wa kufuatilia madai

Homa ya INI ni Hatari kuliko UKIMWI

$
0
0
UGONJWA wa homa ya ini umeonekana kuwa tishio kwa wananchi kuliko Ukimwi baada ya takwimu ya miezi mitatu kuonesha maambukizi yake yapo kwa wastani wa asilimia 5.6 dhidi 1.6 ya maambukizi ya Ukimwi hatua inayodhihirisha hatari ya ugonjwa huo.   Kwa mujibu wa takwimu hizo zilizotolewa na Mpango wa Taifa wa Damu Salama Tanzania (NBTS) huku ikiwataka wananchi kuchukua hatua, hali hiyo pia kwa

NEC Yatoa Ufafanuzi kuhusu daftari la kudumu la Wapiga kura

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura linalotarajiwa kuanza hivi karibuni linamhusu kila raia mwenye sifa ya kupiga kura.   Ufafanuzi huu unakuja wakati pakiwa na mawazo tofauti ya nani hasa anatakiwa kushiriki katika zoezi hilo huku baadhi ya watu wakidhani kuwa jambo hili linawahusu wale ambao hawakupata kujiandikisha kupiga kura

Wapakistani Waliokamatwa na Madawa ya Kulevya Watoroka nchini

$
0
0
Mtuhumiwa Abdul Ghan Peer Bux. ****** Imeelezwa kwamba Wapakistani wawili, Abdul Ghan Peer Bux na Shahbaz Malk (pichani) waliokamatwa  wakiwa  na  Watanzania  wanaotuhumiwa kwa kukutwa  na  madawa ya kulevya wametoroka nchini. Watuhumiwa hao walikamatwa Februari 21, 2011 wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya  shilingi  bilioni 6.2,  Mbezi Beach  maeneo ya  Jogoo  jijini Dar sa

MAUAJI YA KUTISHA: Majambazi Yaua Baba na Mama na kumjeruhi mtoto wa Miezi Minne ( Picha zinatisha)

$
0
0
Watu wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamevamia na kuwaua mume na mke na kumjeruhi mtoto mchanga mwenye umri wa miezi 4 aliyeachwa na mama yake aliyeuawa  katika tukio lililotokea kijiji cha Murvyagira wilayani Ngara mkoani Kagera Ijumaa ya Agost 08,2014. Kwa mujibu wa mtoto mkubwa wa marehemu amesema majambazi hao walivamia nyumbani kwao majira ya saa 3 usiku ambapo walitumia panga na

Wanawake wayazuia magari ya jeshi yaliyokuwa yakiwapeleka waume zao kupigana na Boko Haram

$
0
0
Ripoti kutoka Nigeria zinaeleza kuwa Jumamosi iliyopita kundi kubwa la wanawake lilijitokeza na kuzuia magari ya jeshi yaliyokuwa yamewabeba wanaume wao na wake zao yakielekea katika mji wa Gwosa, sehemu ambayo inadhibitiwa na kundi la Boko Haram.   Kwa mujibu wa Prime Times ya Nigeria, wanawake hao walizua geti la barracks katika mji wa Borno huku wengine wakilala barabarani

Kanye na Kim waonesha mahaba mazito ndani ya lift, ni muongozo kwa Jay Z na Beyonce?

$
0
0
Neno ‘elevator’ au lift liliandikwa sana baada  ya Jay Z kupigwa vibao na Solange kisa kutaka kufanya michepuko na kushindwa kumuonesha Beyonce mapenzi ya dhati.   Hii imekuwa tofauti kwa Kanye West na Kim Kardashian ambao waliamua kuoneshana mahaba ndani ya lift na hawakusubiri tendo lao hilo kuvujishwa kupitia video kama ugonvi wa wenzao, wao wamejipiga selfie na kupost mapema.  

Audio: Diamond Afunguka kuhusu Wasanii wa Tanzania Wanaotaka kushindana nae

$
0
0
Joto la ushindani kati ya wasanii wa Tanzania linazidi kupanda huku mashabiki na vyombo vya habari wakidaiwa kuchochea kuni kwa namna moja au nyingine.   Diamond Platinumz ambaye ndiye msanii anaekabiriwa na ushindani mkubwa zaidi kwa sasa kwa kuwa yuko mstari wa mbele zaidi wa mafanikio katika muziki hapa nchini na kuvuka mipaka kuiwakilisha Tanzania, amewashauri wasanii wanaotaka

Shibuda Afichua Siri za CHADEMA...Adai Walimwahidi kumpa Helkopta mbili.....Amlipua Lissu na kumuita Interahamwe

$
0
0
SIKU moja baada ya Mbunge wa Maswa Magharibi, mkoani Simiyu, Bw. John Shibuda kutangaza kuachia ngazi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mbunge huyo ameibuka tena na kusema aliahidiwa kupewa helikopta mbili na uongozi wa chama hicho aweze kuzitumia katika kampeni za Uchaguzi Mkuu 2010 lakini hakupewa.   Alisema uongozi wa chama hicho ukiongozwa na Katibu Mkuu, Dkt.

"Mpitisheni Waziri Magufuli Urais 2015".....Huu ni ushauri waliotoa Wakazi wa Tegeta kwa CCM

$
0
0
KATIKA hali isiyo ya kawaida, baadhi ya wakazi wa Tegeta, Dar es Salaam, wamekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumpitisha Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli awe mgombea wa chama hicho kwenye nafasi ya urais katika Uchaguzi Mkuu 2015, kutokana na uchapakazi wake kwenye sekta ya ujenzi wa barabara nchini.   Wakazi hao walitoa ushauri huo jana wakati Dkt. Magufuli akiwa na Mkuu wa Mkoa huo,

Wema Sepetu: Najuta Kumrudia Diamond

$
0
0
Takribani  wiki  sasa  kumekuwa  na  taarifa  zinazoeleza  kuwa  Miss  Tanzania  2006, Wema  Sepetu  hayuko  sawa  katika  mahusiano  yake  ya  kimapenzi  na  nguli  wa  Bongo  Fleva, Diamond  Plutnumz.... Kutokana  ta  taarifa  hizo, Mpekuzi  iliamua  kupekua  undani  wake  na  ndipo  ilipokutana  na  kilio  kipya  cha  Wema  Sepetu  kuhusiana  na  kuzushiwa  taarifa  mbalimbali 

Aunt Ezekiel Anaswa na Mume Wa Mtu......Ni siku chache baada ya kuahidi kumpa penzi, Madai ya kulala pamoja hotelini yaenea kila kona

$
0
0
Staa wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa na vituko, Aunt Ezekiel (katikati) akiwa karibu na dansa wa Wasafi Classic, Moses Yobo.  ****** Staa wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa na vituko, Aunt Ezekiel amenaswa live akijivinjari na mume wa mtu. Aunt alinaswa akiwa na mnenguaji wa Wasafi Classic, Moses Yobo anayepiga mzigo chini ya Nasib Abdul ‘Diamond’ katika shoo ya Fiesta iliyofanyika

UKAWA Waanza Vita Upya.....Watangaza Maandamano nchi nzima endapo Rais Kikwete hatasitisha Bunge la Katiba

$
0
0
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umemtaka Rais Jakaya Kikwete kusitisha Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma na iwapo hatafanya hivyo utaongoza maandamano nchi nzima.    Umoja huo pia umeeleza kuwa kuendelea kwa Bunge hilo ni sawa na kuvuruga mchakato wa kupata Katiba Mpya, kuiweka nchi rehani, kufuja fedha za walipakodi, kuwahadaa Watanzania kwa kupitisha Katiba

Mtoto Auawa kwa KIPIGO na baba yake mzazi

$
0
0
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Katavi ACP Dhahiri Kidavashari ****** JESHI la Polisi Wilaya ya Sumbawanga, mkoani Rukwa, linamtafuta mkazi wa Malangali, Bw. Saimon Paskali kwa kosa la kuwapiga watoto wake, kumuua mmoja na kukimbia kusikojulikana.   Tukiio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana baada ya mtuhumiwa kurudi nyumbani akitokea kwenye Sherehe ya Komonio akiwa amelewa na kuanza

JWTZ kuadhimisha miaka 50 kwa staili ya aina yake

$
0
0
Jeshi la Wananchi la Tanzania JWTZ  jana limezindua rasmi maadhimisho ya miaka 50 ya jeshi hilo huku likiahidi uimara wa askari wa jeshi hilo katika kukabiliana na maadui wa kivita. Waziri wa Ulinzi wa Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi ambaye ndie alikuwa mgeni rasmi alisema maadhimisho hayo yatahusisha mazoezi ya kijeshi yenye lengo la kupima uwezo wa jeshi katika
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images