Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mtoto wa Mwaka mmoja Afariki Dunia baada ya kutumbukia kwenye ndoo ya maji

0
0
MTOTO wa umri wa mwaka mmoja amekufa baada ya kutumbukia kwenye ndoo ya maji nyumbani kwao, wakati akicheza.   Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya wa Kihenya, tukio hilo ni la juzi saa 4:30 asubuhi katika eneo la Buza.   Alisema mtoto huyo, Najma Omary alikuwa akicheza nje ya nyumba yao kulikokuwa na ndoo ya maji na alitumbukia kwa kutanguliza kichwa na kunywa maji

Gari la NaneNane Laua Wafanyabiashara 8.....Liliacha barabara likiwa na mwendokasi na kuwafuata kwenye Biashara zao

0
0
WATU wanane wamekufa papo hapo, wengine tisa wakijeruhiwa na kulazwa katika Hospitali ya Nyangao mkoani Lindi baada ya gari aina ya Land Rover, mali ya Halmashauri ya Mji Masasi kupata ajali katika kijiji cha Mtama wilaya ya Lindi Vijijini mkoani  Lindi.   Gari hilo lenye namba za usajili STL 1615, lilikuwa linatokea Lindi ambako maofisa wa Halmashauri ya Masasi walikuwa wanashiriki katika

Rais Kikwete aalikwa kuitembelea Malawi

0
0
Rais wa Malawi Peter Mutharika amemualika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete kuitembelea nchi hiyo kwa ziara ya kiserikali na kutaka kumalizika kwa mgogoro wa mpaka wa ziwa Nyasa kati ya nchi hizo mbili. Kulingana na taarifa iliyotolewa na kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu jijini Dar es salaam jana imesema Rais Mutharika amemualika Rais Kikwete kwa dhana ya

Ndugu Watano Watembea kwa Miguu na Mikono...

0
0
FAMILIA moja ya Uturuki inawapasua kichwa wanasayansi, kutokana na wanandugu watano kutokuwa na uwezo wa kutembea kama binadamu, na badala yake wanatembea mithili ya wanyama, wakitumia miguu na mikono.   Hata hivyo, katika uchunguzi wao wa awali, wanasayansi hao wameeleza kuwa, hali iliyowakumba wanandugu hao haina uhusiano na mabadiliko ya binadamu, kwamba wanaanza kurudi katika zama za

RPC Njombe Apata Ajali.....Mlinzi wake Afariki Dunia

0
0
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Fulgence Ngonyani na dereva wake, Nuaka Seme wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Njombe ya Kibena baada ya kupata ajali ya gari iliyomuua mlinzi wa kamanda huyo, usiku wa kuamkia jana, eneo la kiwanda cha miwati (TANWAT).   Ngonyani akizungumza hospitalini hapo, alisema ilitokea kati ya saa tatu na saa nne usiku katika barabara ya Makambako -Njombe.

"Bunge lisitishwe"......Maridhiano shakani...tuendelee na chaguzi zijazo

0
0
Mwanasiasa mkongwe na mjumbe wa Halmashauri Kuu  (CCM), Dk. Raphael Chegeni ,  ameungana na wadau wengine wakiwamo wanasiasa na wanaharakati mbalimbali kutaka Bunge Maalumu la Katiba lisitishwe. Ametilia mashaka mchakato wa katiba mpya unaoendelea kujadiliwa bungeni Dodoma, akieleza kuwa hautaweza kupata mariadhiano bila kuwagawa Watanzania na kushauri bunge hilo kusimama kwanza

Mtu mmoja auawa kikatili kisha mwili wake kuchomwa moto Morogoro

0
0
Mtu mmoja ambaye hakuweza kufahamika mara moja ameuwawa kikatili kisha mwili wake kuchomwa moto na watu wasiofahamika  katika eneo la mkundi manispa  ya Morogoro.   Kwa mujibu wa wananchi walishuhudia tukio hilo  wamesema wameshuhudia kundi la madereva wa pikipiki wakimshusha mtu huyo kisha kummwagia mafuta ya taa na kumchoma moto ambapo wameomba jeshi la polisi kufuatilia tukio hilo

Shibuda Ajitoa CHADEMA.....Atangaza hatagombea Ubunge kupitia chama hicho

0
0
MBUNGE wa Maswa Magharibi, John Shibuda (Chadema), amesema hatagombea ubunge kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu ujao, kwa kuwa amechoshwa na kauli za vitisho na kejeli dhidi yake, zinazotolewa na baadhi ya viongozi wa juu wa chama hicho.   Amesema hayo jana kwa nyakati tofauti, wakati akizungumza na wazee wa Mji wa Maswa na Malampaka wilayani humo, alipokuwa akijibu swali lao kuhusu

Magazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 11 Agosti 2014

0
0
Magazeti  ya  Leo  Jumatatu ya  tarehe  11  Agosti  2014

Mtoto wa mwaka mmoja Abakwa jijini Arusha

0
0
Mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja tunayemtaja kwa jina moja la Devota wa Sokoni One jijini Arusha, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru kufuatia kubakwa na njemba moja iitwayo Rajabu Mkoba (30), mkazi wa eneo hilo. Tukio hilo lilitokea Jumapili ya Agosti 3, mwaka huu ambapo mtuhumiwa huyo anadaiwa kumbaka mtoto huyo kwa saa 9 na alimrejesha nyumbani kwa mama yake

Wassira Awapongeza UKAWA Waliorudi Bungeni

0
0
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Bw. Stephen Wassira, amewapongeza wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kwa kuamua kurudi bungeni ili kuendelea na mijadala ya Rasimu.   Alisema wajumbe hao hawapaswi kubezwa bali wanastahili pongezi kwa kutambua umuhimu wa kutengeneza Katiba kwa maslahi ya nchi na Watanzania kwa ujumla.

Werema, Sophia Simba nusura wazichape kikaoni

0
0
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba nusura wapigane baada ya kupishana kauli wakati wa mjadala wa ndani ya Kamati Namba Sita inayoongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira.    Habari kutoka ndani ya kamati hiyo inayofanyia vikao vyake katika moja ya kumbi za Dodoma

Recho atamani kurudi Shule

0
0
Msanii  wa  muziki  wa  kizazi  kipya  Recho  amesema  kuwa  pamoja  na  umaarufu  wake  anahitaji  sana  kurudi  shule  ili  aweze  kuongeza  uwezo  wake  wa  kuimba... Recho  alisema  kuwa anaamini  baada  ya  kutimiza  ndoto  yake  ya  kurudi  shule  mambo  yake  mengi  yatakuwa  mazuri  kwani  hata  muziki  wake  utazidi  kufika  kimataifa  ikiwa  ni  pamja  na  kuimba  nyimbo  ambazo

Vera Sidika na Matiti FEKI

0
0
Video  Queen  maarufu  mjini  Nairobi  Kenya  hivi  majuzi  aliwashtua  watu  baada  ya  kupost  picha  ya  matiti  yake  yakiwa  yamekuwa  makubwa  kuliko  yalivyokuwa  mwanzoni  na  akasema  hivi:   "Feels  good  to  be  back.Had  really  missed  Nairobi.Now....ya'll  be  nice  and  say  hello  to  my  new  twins." Baada  ya  maneno  hayo, Vera  alimalizia  na  hash tag  kibao #

Naibu Waziri Anusurika kupigwa na Wakulima huko Simiyu

0
0
Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika,Godfrey Zambi amenusurika kupata kipigo kutoka kwa wakulima wa zao la pamba katika kijiji cha Marekano wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kwa madai ya kutoridhishwa na majibu aliyoyatoa juu ya mbegu za pamba zisizo na manyoya(Quton)kutoota katika msimu uliopita wa kilimo. Tukio hilo limetokea juzi kijijini hapo wakati Naibu Waziri huyo alipofanya

Taarifa ya Usaili ya Jeshi la Polisi Tanzania kwa wakazi wa Mbeya

0
0
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, BARAKAEL .N. MASAKI – ACP anawatangazia Wananchi wote ya kuwa orodha ya majina ya vijana waliomaliza Kidato cha Nne mwaka 2013 na cha Sita mwaka 2014 na kuchaguliwa kufanya usalii wa kujiunga na Jeshi la Polisi inapatikana kwenye tovuti ya Polisi: www.policeforce.go.tz au wafike ofisi ya kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya iliyopo Forest jirani na Mahakama

Mamia ya wananchi Wafurika jijini Dar kwa Nabii anayedaiwa kuponya watu UKIMWI.....Msanii mmoja wa filamu atoa ushuhuda jinsi alivyopona

0
0
Nabii Samwel Mahela  wa Kanisa la Pentecostal Power Ministry (PPM) lililopo Mikocheni A (katikati mwenye suti), akitoa huduma ya maombezi katika kanisa hilo. *****  MSANII wa Filamu aliyejitambulisha kwa jina moja la Jane amedai amepona ukimwi baada ya kuombewa katika Kanisa la Pentecostal Power Ministry (PPM) lililopo Mikochezi A. Akizungumza mbele ya waumini wa kanila hilo Dar es

Binti wa Kazi Amwagiwa UJI wa Moto na mke wa Bosi wake kisa Wivu wa Mapenzi

0
0
MSICHANA mmoja mkazi wa eneo la Minga katika Manispaa ya Singida (muuza duka), amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri yake na kumsababishia maumivu makali kutokana na kile kinachosadikiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Muuguzi wa zamu katika Hospitali ya mkoa wa Singida, wodi namba mbili ya wanawake, Anna Sprian amefahamisha kuwa binti huyo amejeruhiwa sehemu za sikio

Mganga wa Jadi Aua mgonjwa wake kwa kumtandika fimbo kichwani wakati akimtibu nyumbani kwake

0
0
Na Kadama Malunde-Shinyanga Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Vicent Kawawa(28) ameuawa kwa kupigwa na fimbo na kitu kizito kichwani na mganga wa kienyeji aliyekuwa anamtibu ugonjwa wa akili nyumbani kwake katika kijiji cha Buduba kata ya Nyandekwa wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga SACP Justus Kamugisha alisema tukio hilo limetokea Agosti

Nyani Ajipiga mamia ya Picha....Mmiliki wa Kamera iliyotumika apata wakati mgumu

0
0
Mtandao wa Wikipidia umekataa kufuta picha ambayo Nyani ilijipiga ikisema kuwa kwa sababu picha hiyo ilipigwa na Nyani ambaye ni mnyama wala sio binadamu, basi inakuwa mali ya umma. Hii ni baada ya mpiga picha, mmiliki wa kamera iliyotumika na Nyani huyo kujipiga picha, kusihi Wikipedia kufuta picha hiyo na kudai kuwa Wikipedia ilikuwa inaingilia haki zake za umiliki wa picha hiyo.  
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images