Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Video hii ya utengenezaji wa 'Anaconda' ya Nicki Minaj ingekuwa Tanzania ingepigwa marufuku Mapema sana

$
0
0
Rapper wa Young Money, Nicki Minaj amepiga hatua ya pili, siku chache baada ya kutoa kionjo cha video ya wimbo wake wa ‘Anaconda’ na sasa amewaonesha mashabiki kilichojiri katika utengenezaji wa video hiyo.   Video hiyo yenye dakika mbili na sekunde 47 inaonesha matukio kadhaa ambayo ni kinyume kabisa cha maadili ya nchi yetu na kwa kuzingatia baadhi ya video za wasanii wa Tanzania

Msichana wa kihindi aachana na familia yake tajiri na kuhamia kijijini kwa kijana Mkenya

$
0
0
Tumezoea kuona kwenye filamu au tamthilia simulizi la msichana mrembo anaotoka katika familia ya kitajiri aliyechagua kuyaacha maisha ya raha na kuishi uswahilini  na kijana anaempenda.   Huko Kenya, kumeripotiwa tukio halisi lililovuta hisia za wengi na kuzungumzwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, ambapo msichana wa kihindi ameamua kuachana na familia yake tajiri

Wahamiaji haramu 28 wakamatwa Kigoma

$
0
0
Idara ya uhamiaji mkoani Kigoma, imewakamata raia 26  wa Burundi na wawili kutoka kongo DRC na Rwanda, baada ya kuingia na kuishi nchini kinyume cha sheria .   Idara hiyo pia imewarejesha raia 11 wa burundi waliomaliza kifungo baada ya kuhukumiwa mwaka mmoja uliopita kwa makosa ya kuingia nchini bila vibali.   Afisa uhamiaji mkoa wa kigoma Ambrose Mwanguku amesema raia hao ambao

CCM yawalalamikia Jaji Warioba na wajumbe wa tume yake kuhusu kauli zao kwa rais Kikwete

$
0
0
Chama cha Mapinduzi -CCM kimedai kuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba Jaji Joseph  Warioba na baadhi ya wajumbe wa tume yake wamemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa chama hicho rais  Jakaya  Kikwete   Hatua hiyo imefikiwa kutokana na Mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya mwalimu Nyerere ambao umefanyika Jumatatu wiki hii na kwamba kupitia mdahalo huo Jaji Warioba na wajumbe wa

Bob Junior azungumzia tetesi za kufanyiwa fujo na mume wa msichana aliyekuwa akifanya nae video

$
0
0
Siku mbili zilizopita kumekuwa na taarifa mitaani kuwa mwimbaji ambaye pia ni producer wa Sharobaro Records, Bob Junior alifanyiwa fujo na mwanaume mmoja anaedaiwa kuwa mume wa msichana aliyekuwa anafanya naye video.   Taarifa hizo zilieleza kuwa tukio hilo lilifanyika maeneo ya Mlimani City wakati Bob Junior alipokuwa akishuti vipande vya wimbo wake wa ‘Bolingo’ huku msichana huyo

Sherehe za Nane Nane kitaifa zinafanyika mkoani Lindi leo

$
0
0
Tanzania leo inaadhimisha kilele cha maonyesho ya wakulima na wafugaji nane nane ambapo kitaifa yanafanyika mkoani Lindi. Maonyesho hayo ambayo mwaka huu yamegawanywa kikanda kwa bidhaa tofauti ikiwa Nyanda za juu kusini yatafanyika jijini Mbeya ambapo yatakua maalumu kwa kilimo wakati Kanda ya kaskazini yatafanyika Dodoma ambapo itakua maalumu kwa mifugo na Lindi ndipo yatapofanyika

Polisi Yaanza kuchunguza Mauaji Tata ya Wanawake wawili jijini Arusha

$
0
0
Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha, Liberatusi Sabas, amesema jeshi lake lipo kwenye uchunguzi dhidi ya mauaji na kujeruhi wanawake Jijini Arusha, bila kuchukuliwa kitu chochote. Amesema kwa sasa kumekuwepo na matukio mawili ya kuvamiwa kwa wanawake na kujeruhiwa kwa risasi, huku wahusika wakitokomea kusikojulikana bila kubeba kitu chochote.   Ametaja tukio la kwanza limetokea eneo

Ali Kiba Unfollows Everyone On His Instagram. Find Out Why

$
0
0
After a long silence, Cinderella hitmaker Ali Kiba has been making headlines alot lately for his beef with Diamond, his new tracks and most recently, his unfollowing spree on a social media Platform. Ali Kiba who has a huge following on instagram decided to unfollow all the people he was following  without any explanation. This was followed by mixed reactions from his fans prompting him

PHOTO: Diamond’s Controversial Interview With Ex Girlfriend Jokate Mwegelo

$
0
0
Even for a superstar like Diamond Platnumz, not everyday does he get to be interviewed by his ex girlfriend in front of the whole world. But then again given that he has dated quite a number of Tanzanian hotties, it is not unlikely.   Diamond was recently interviewed by his Girlfriend Jokate  Mwegelo  for a TV show and knowing Diamond and his love for social media, he posted the

Mbowe: Usaliti hauna msamaha.....Said Arf atinga bungeni, Shibuda, Nyerere na Mwatuka Wanyimwa posho

$
0
0
Mjumbe wa Bunge la Katiba (Chadema) Said Arfi  akisaini karatasi ya mahudhurio bungeni jana, kabla ya kwenda  kushiriki mjadala wa kamati  yake  ********** Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema chama chake hakitavumilia vitendo vya usaliti na kwamba mwanachama yeyote atakayekiuka maagizo ya chama hicho atachukuliwa hatua kali.    “Katika hili hatutakuwa na mchezo na naomba

Mabomu Yarindima Msibani.....Jeneza Latelekezwa, Sugu awatupia Lawama Polisi

$
0
0
Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amelishutumu Jeshi la Polisi mkoani humo kuwa ndiyo chanzo cha vurugu baada ya juzi kutumia mabomu ya machozi kuwazuia wafuasi wa Chadema na waombolezaji kuubeba mikononi mwili wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Itiji,  Ezekiel  King kwa lengo la kutembea nao kwa miguu kutoka Hospitali ya Rufaa Mbeya hadi nyumbani kwake Itiji kuuzika.   

Mwanamke Apandishwa kizimbani kwa kosa la Kumdhalilisha Hausigeli wake.....Alikuwa akimchoma bisibisi sehemu za Siri

$
0
0
Mkazi wa Singida Mjini, Jacqueline Kweka (30) jana alipandishwa mahakamani mjini Hai akikabiliwa na tuhuma za kumfanyia ukatili mfanyakazi wake wa ndani (15).    Inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alikuwa akimpiga mfanyakazi wake huyo sehemu mbalimbali za mwili ikiwamo kumvuta nyama za sehemu za siri kwa kutumia bisibisi.   Baada ya tuhuma hizo kuibuliwa na raia wema, mtuhumiwa huyo

Mahekalu ya Mchungaji Lwakatare Yavunjwa jijini Dar

$
0
0
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Makazi jana imebomoa nyumba nne zilizojengwa ndani ya kiwanja namba 314 zilichopo eneo la Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam zinazomilikiwa na Mchungaji Getrude Rwakatare kwa tuhuma kuwa alivamia eneo hilo.   Kazi hiyo ya ubomoaji, ilitekelezwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi na iliendeshwa kwa pamoja na maofisa wa Ardhi kutoka wizarani na Manispaa ya Kinondoni,

JWTZ Yang'ara tena Kimataifa......Yachaguliwa Kuunda Jeshi la Amani Afrika

$
0
0
JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ) limeendelea kung’ara kimataifa, ambapo jana jeshi hilo lilitamkwa kuwa miongoni mwa majeshi ya nchi za Afrika, yatakayounda Jeshi la Kulinda Amani Afrika.   Taarifa za ndani kutoka Mkutano wa Kimataifa wa Wakuu wa Nchi na Serikali zaidi ya 50 za Afrika na Marekani, ambao umehudhuriwa pia na Rais Jakaya Kikwete, zimeeleza kuwa moja ya kazi za jeshi hilo,

MAJANGA.....Baba Mzazi Amtundika Mimba Mwanawe wa kumzaaa!!

$
0
0
MKAZI wa Kijiji cha Bwekela wilayani Igunga mkoani Tabora, Kashinje Shima, anatafutwa na Uongozi wa kijiji hicho, kwa kumpa ujauzito mwanawe wa kumzaa mwenye umri wa miaka 17.   Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Bwekela, ambaye pia ni Kaimu Ofisa Mtendaji wa Kata ya Igoweko, Robert Ruhende, alilaani kitendo kilichofanywa na mzazi wa mtoto huyo na kusisitiza kuwa sheria lazima ichukue mkondo

Kibonde wa Clouds FM Atiwa Mbaroni

$
0
0
Mtangazani Mahiri wa Redio Clouds FM Ephrahim Kibonde akidhibitiwa na Askari wa Usalama barabarani.  *****************  Kibonde anadaiwa kusababisha ajali  leo asubuhi  eneo la Makumbusho, baada  ya gari aliyokuwa akiendesha kuigonga gari ya dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walifika eneo la tukio na kupima ajali, Kibonde alipoona hivyo akarudi nyuma na kuendesha gari lake kuondoka eneo

CHADEMA kuwajadili wabunge wasaliti Waliopuuza maagizo ya chama na kwenda kuhudhuria vikao vya Bunge Maalumu la Katiba

$
0
0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema kitawachukulia hatua kali wabunge wake iliyowaita kuwa ni wasaliti kwa kupuuza maagizo ya chama na kwenda kuhudhuria vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma. Mkuu wa kurugenzi ya sheria ya CHADEMA na msemaji wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Tundu Lissu amesema hayo leo jijini Dar es Salaam muda mfupi baada

Basi la 5 Aliance Lateketea kwa Moto Leo.....Hizi ni picha 3 za basi hilo likiwaka moto

$
0
0
Basi la kampuni ya 5 Aliance ambalo linafanya safari zake kati ya Mtwara na Dar es salaam limeungua   moto asubuhi ya August 09 likitokea Mtwara kuelekea Dar es salaam.  Taarifa ya awali inasema kuwa hakuna abiria aliyepata madhara yoyote juu ya kuungua kwa basi hili ambalo limeteketea kijiji cha Mihambwe mkoa wa Lindi.  

BIASHARA CHAFU: Mwanafunzi wa Chuo Kikuu alazimishwa Kurekodi Mkanda wa Ngono

$
0
0
Kweli dunia ina mambo! Kuna watu wanajaribu kutumia kila fursa inayopatikana kujinufaisha kwa kupata fedha hata ziwe ‘chafu’, kwao kitu cha maana ni kupata utajiri kwanza.   Kundi la watu wanaofanya biashara ya kusafirisha watu, wamekuwa wakitumia fursa ya ukosefu wa ajira kama chambo cha kuwanasa vijana na kuwaingiza kwenye biashara haramu kama ukahaba.   Hivi karibu kundi hilo

Nyumba ya Mwanaume aliyekuwa AKIWALAWITI Watoto wa Kiume huko Moshi yateketezwa kwa moto na wananchi wenye hasira kali

$
0
0
Wananchi wenye hasira, wameteketeza kwa moto nyumba ya mkazi wa Kijiji cha Mwika Uuwo, Wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro, wakimtuhumu kulawiti wanaume  wenzake.    Hasira za wananchi hao zilifikia kiwango kisichohimilika baada ya mtuhumiwa huyo mwenye umri wa miaka 42, kudaiwa kumlawiti mtoto wa  kiume mwenye umri wa miaka 12 kijijini hapo juzi.   Wananchi wa kijiji hicho
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images