Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Nay wa Mitego Asimilia maisha yake kabla ya kuwa Staa.....Asema alikuwa MWIZI Balaa na amelala polisi mara 7

$
0
0
Kwa mara ya kwanza staa wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameibuka na kuuelezea upande wa pili wa maisha yake kuwa kabla hajawa mwanamuziki alikuwa mwizi balaa!   Akizungumza na mwandishi wetu ana kwa ana jijini Dar es Salaam juzi, staa huyo alikiri kupitia katika majanga kibao maishani mwake likiwemo la kulala katika vituo mbalimbali vya polisi vya jijini Dar kufuatia

Zaidi ya nyumba 300 zavunjwa Kawe, jijini Dar es Salaam......Wananchi Walaani kitendo hicho

$
0
0
Zaidi ya kaya 300 zenye wakazi zaidi ya 100 za Kawe Tanganyika Pecus jijini Dar es salaam hazina makazi baada ya kuvamiwa na kundi la watu waliotumwa na shirika la nyumba la taifa kuvunja nyumba zao bila taarifa zozote za kuwataka kuhama makazi hayo.   Wakazi hao wamelaani kitendo hicho na kuiomba serikali kuingilia kati zoezi linaloendelea la kuvunjwa kwa nyumba hizo ili kuwapa muda

Rais Kikwete ajiunga na Viongozi Wengine wa Afrika katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani jijini Washington Dc

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak Obama Julai 5, 2014.  Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani  ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika ukumbi wa State

Picha: Binti wa Rais Kagame, Ange aiteka White House kwa Uzuri wake

$
0
0
Wakati ambapo marais wengi wa Afrika wameenda na wake zao kwenye mkutano na Rais Barack Obama, Rais Paul Kagame wa Rwanda amechagua kwenda na binti yake, Ange. Awali watu  walidhani  kuwa  mke wa Rais wa Cameroon, Chantal Biya anaweza kuwa kivutia kwa wengi kutokana na nywele zake, lakini inavyoonesha Angel Kagame ‘ameichukua show’ kwa urembo na urefu wake kama wa Twiga.  Chantal

Linex Atangaza Nia Yake Ya Kugombea Ubunge Kupitia Chama Kipya Cha ACT - Tanzania......Asema Mwenyekiti wa chama hicho ni Zitto Kabwe

$
0
0
Baadhi ya Mastar wa Tanzania wameamua kuweka wazi nia zao za kugombea nafasi za uongozi katika ngazi mbalimbali,miongoni mwa watu hao kwa sasa ni msanii kutoka Kigoma All Stars aitwaye  Linex Mjeda.  Amekua wazi kutaja chama ambacho anategemea kugombania nafasi yake ya ubunge aliyosema kuwa tayari ana jimbo anasubiri muda tu na chama alichosema anategemea kugombea ni chama kipya cha ACT.

UKAWA Yameguka....Wabunge Wawili wa CHADEMA Watinga Bungeni, Wengine tayari wapo Dodoma Wanajishauri

$
0
0
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni mwanachama wa CHADEMA, Leticia Nyerere (kushoto) akitoka kujaza fomu ya mahudhurio ya vikao vya Bunge hilo huku akisindikizwa na mjumbe mwenzake, Steven Ngonyani ************** Kumekucha  katika Bunge Maalumu la Katiba, ambapo sasa baadhi ya wajumbe wa Bunge hilo wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamekiuka viapo na vitisho vya

Viatu Virefu Vyamtia AIBU Maimartha.....Vyamtegua, adondoka chini

$
0
0
Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse amejikuta akiteguka mguu baada ya kudondoshwa na viatu virefu alivyokuwa amevaa.    Mwandishi alimshuhudia Maimartha akiwa anachechemea kwenye sherehe moja ya kitchen party hivi karibuni huku akiwa bado amevaa viatu virefu na alipoulizwa kulikoni anachechemea alijibu kwamba aliteguka mguu baada ya kudondoshwa na viatu virefu.   “Nimeumia mguu

MUKOBA achaguliwa kuwa Rais Mpya wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi ( TUCTA)

$
0
0
Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), umemchagua Rais wa Chama cha Walimu (CWT), Gratian Mukoba, kuwa Rais wa shirikisho hilo katika uchaguzi uliokwenda raundi mbili, baada ya raundi ya kwanza kukosa mshindi.   Katika raundi ya kwanza, kura zao zilishindwa kutimia baada ya kila mgombea kwenda chini ya nusu ya idadi ya wajumbe wa mkutano huo mkuu wa Tucta.   Katika

Rais Kikwete kukabidhiwa Katiba Mpya ifikapo Oktoba 31 mwaka huu......CCM wazuiwa kujadili UKAWA

$
0
0
Siku moja baada ya Bunge Malumu la Katiba kufanya mabadiliko ya kanuni kwa ajili ya kuwabana wajumbe wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Mwenyekiti wa Bunge hilo Samuel Sitta amepanga kumkabidhi Rais Jakaya Kikwete katiba mpya inayopendekezwa ifikapo Oktoba 31 mwaka huu. Taarifa iliyotolewa na kusainiwa na Katibu wa Bunge Maalumu la Katiba,Yahaya Hamis Hamad,

Rais Kikwete akutana na Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika jijini Washngton DC, Marekani

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika aliyemtembelea kumjulia hali kwenye hoteli ya Ritz Carlton katika kitongoji cha George Town jijini Washington DC, Marekani, ambapo wote walikuwa wamefikia.  Rais Kikwete na Rais Mutrharika, ambao walikuwa miongoni mwa viongozi wa Afrika walioalikwa kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara

Rihanna anataka kununua club kubwa ya soka ya UK, amuomba ushauri Didier Drogba

$
0
0
Rihanna anasemekana kuwa na nia ya dhati kutaka kununua club ya soka ya Uingereza na tayari amezungumza na Didier Drogba ambaye ni rafiki yake wa karibu ili ampe ushauri. Muimbaji huyo mwenye miaka 26 pia amepanga kuanzisha chuo cha michezo nchini kwao Barbados na kisha anapenda kuwa mwenyekiti ama mmiliki wa club kubwa ya Uingereza.  Chanzo kilicho karibu na Rihanna kilidai kuwa

TundaMan aeleza alichoshauriwa na Ali Kiba baada ya kupokea simu na kuugua,.... "inawezekana ni ushirikina"

$
0
0
Mwimbaji wa Tip Top Connection, TundaMan aliwashangaza wengi baada ya kueleza kuwa alipokea simu yenye namba nyingi asizozielewa na ghafla akapata mshtuko na kuishiwa nguvu, hali iliyomsababisha akimbizwe hospitali ambapo alipewa matibabu.   Licha ya kuwa wataalam na mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) walieleza wazi kuwa kitaalam simu haiwezi kabisa kuwa chanzo cha tatizo hilo,

Penzi la Shilole na Mziwanda laanza Upya baada ya Wawili hao kuzinguana na kisha kutemana

$
0
0
Mapenzi ya Nuh Mziwanda na Shilole yaliyoripotiwa kuvunjika hivi karibu yamerudi kwa nguvu zaidi siku ya jana   ambapo  wapenzi  hao walisambaza  picha kupitia account zao za  Instagram wakiwa pamoja kama ishara ya mapenzi yao kuongezeka zaidi.    Nuh na Shilole wote waliweka picha instagram kuonyesha wamepatana na mapenzi yatadumu zaidi ya miezi kadha iliyotabiriwa.    

Wema Sepetu Ajichora Tattoo Mpya kumuenzi Marehemu baba yake

$
0
0
Staa Wema Sepetu jana ametambulisha tattoo yake mpya aliyojichora mkononi iliyoandikwa Daddy Sepetu kupitia Instagram ikiwa ni kumbukumbu ya baba yake.  

Watu 93 wakamatwa kwa kuvamia shule jijini Mbeya

$
0
0
Jeshi la polisi Jijini Mbeya linawashikilia wananchi wa kijiji cha Lupembe Wilayani Kyela wapatao 93 kwa kuvamia shule ya sekondari Mwingo wakiwa na silaha mbalimbali za jadi. Wananchi hao wamefanya uvamizi huo kwa kile kinachoelezwa kuwa walikuwa wakiwataka walimu na wanafunzi wa shule hiyo waondoke katika eneo la shule wanalodai kuwa ni mali ya kijiji.   Kwa mujibu wa kaimu

Rais Kikwete: Tunakwamishwa na uzalishaji na matumizi madogo mno ya umeme

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa moja ya sababu kubwa zinazokwamisha maendeleo makubwa zaidi na ya haraka zaidi ya Afrika ni uzalishaji mdogo na matumizi ya chini mno ya umeme. Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa hali hiyo inaeleza jinsi ongezeko la uzalishaji na matumizi ya umeme linavyoweza kuharakisha maendeleo ya Afrika na

Diamond Platnumz Is More Than Grateful To Be Alive (See Why)

$
0
0
Many of us are used to complaining about every little thing in life whether good or bad. We will complain about not having a job and then complain even more when we get one.  An underground artist will  complain about poor publicity when he is struggling to make it, and then complain about poor pay or something else when he gets the publicity he so desired, but not Diamond Platnumz.

Alichokisema Anti Ezekiel baada ya kusemekana anatoka kimapenzi na dansa wa Diamond Platnumz.

$
0
0
Mwanzoni mwa wiki hii miongoni mwa stori ambazo zilitoka na kuenea kwenye magazeti kadhaa ni pamoja na inayomhusu Anti Ezekiel kusemekana kuwa anatoka na dansa wa Diamond Platnumz.    Taarifa ya awali ilidai kuwa mpenzi huyo wa dansa wa Diamond alienda kufanya vurugu nyumbani kwa Anti Ezekiel,Anti Ezekiel kapatikana na kaongelea mahusiano yake na Moses Iyobo ambaye ndiye dansa wa

Jack Wolper adaiwa kutibua Uchumba wa Nay Wa Mitego na Siwema

$
0
0
Mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amefungukia madai ya kutoka na msanii wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper na kudai kuwa wao ni washikaji tu ila ukaribu wao umesababisha mtifuano kati yake na mchumba wake, Siwema. Akizungumza na mwandishi Nay alisema, watu wamekuwa wakieneza kuwa yeye na Wolper wanatoka kiasi cha kumkosesha amani Siwema na kufikia wakati f’lani wakatibuana.

Picha: Floyd Mayweather huogeshwa na msichana maalum asiye mpenzi wake, kama mtoto vile!!

$
0
0
Bondia Floyd Mayweather ambaye anadaiwa kutumia pesa nyingi sana kwa maisha ya anasa ameweka wazi maisha yake ya ndani na kuonesha jinsi anavyohudumiwa bafuni kwa kuoshwa na msichana maalum asiye mpenzi wake.   Floyd amepost picha na ujumbe Instagram akiogeshwa bafuni na mrembo mmoja na kueleza kuwa hivyo ndivyo huianz siku daima. “This is how I get my day started everyday –MR MY
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images