Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

"GREEN GUARD" WATUHUMIWA KUWAJERUHI VIONGOZI WA CHADEMA HUKO MOROGORO

$
0
0
Taarifa ambazo zimepatikana kwenye mitandao jamii zinaelezwa kuwa, jana usiku katika kata ya Minepa jimbo la Ulanga Magharibi, vijana waliosadikiwa kuwa wa “green guard” waliwavamia viongozi wa CHADEMA na kuwajeruhi... Waliojeruhiwa  ni Mwenyekiti wa Jimbo bw. Kibam Ally Mohammed (aliyevaa shati ya michirizi), Katibu wa Jimbo bw. Lucas Lihambalimo (aliyevaa shati jekundu) na Bw.

KIJANA MMOJA AKUTWA AMEKUFA KATIKA NYUMBA INAYOJENGWA, KIGOGO, DAR

$
0
0
Mwili ukiwa eneo la tukio. Ukiwa umefunikwa.                   Mashuhuda wa tukio hilo. Kijana mmoja aliyefahamika wa kwa jina la Kobero, leo asubuhi amekutwa akiwa amekufa kwenye chumba kimoja cha nyumba ambayo ilikuwa haijamalizika kujengwa maeneo ya Kigogo Luhanga jijini Dar es Salaam.  Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, marehemu alikutwa na chupa iliyokuwa na

CHADEMA NA CCM WAKATANA MAPANGA MKOANI IRINGA

$
0
0
MWENYEKITI wa Baraza la Wazee wilayani Kilolo, Lunyiliko Nyaulingo amelazwa katika Hospitali ya mkoa Iringa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mgololo amelazwa Hospitali ya wilaya ya Mufindi baada ya kujeruhiwa vibaya na watu wanaodaiwa ni wanachama wa CCM katika kampeni za mwisho za kuwania nafasi ya udiwani. Sambamba na hiyo Katibu wa CCM kata ya Ng’ang’ange wilayani Kilolo, Wilhad Ngogo (

UKWELI WA MAMBO KUHUSU MAMA ALIYEAMUA KUISHI JUU YA PAA LA NYUMBA HUKO MBEZI BEACH

$
0
0
WIKI iliyopita kuliibuka sakata zito lililochukua nafasi kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, lililomuhusisha mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Hezelina Mrema mkazi wa Mbezi Beach, eneo la Tangi Bovu jijini Dar es Salaam, kuamua kuishi juu ya paa la iliyodaiwa kuwa ni nyumba yake. Hatua hiyo ilisababisha baadhi ya wanaharakati kujitokeza na kuahidi kumsaidia mama

MAJINA YA WASHINDI WA TUZO ZA FILAMU ZA STEPS ENTERTAINMENT HAYA HAPA

$
0
0
Yafuatayo ni majina ya washindi wa tuzo za filamu kwa mwaka 2012/13 toka kampuni ya steps entertainment zilizofanyika juzi usiku kwenye ukumbi wa hoteli ya blue Pearl iliyopo ubungo jijini Dar es Salaam.Katika tuzo hizi Merehemu steven Kanumba aling'ara kwa kupata tuzo nyingi kuliko waigizaji wote kwa kupata tuzo tatu.Mwigizaji bora wa kiume ni JB kupitia filamu ya ‘Nakwenda kwa

MAPENZI YA JINSIA MOJA YAOTA MIZIZI MKOANI MOROGORO....MAAMBUKIZI YA UKIMWI NAYO YAONGEZEKA

$
0
0
HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro inakabiliwa na changamoto ya kukua kwa maambukizi ya Ukimwi, baada ya kushamiri kwa biashara ya mapenzi ya jinsia moja.  Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa, Naibu Meya Manispaa ya Morogoro, Lidya Mbiaji, alisema kuwa kumekuwa na tatizo kubwa la kushamiri kwa vichocheo vya ngono, hali inayochangia kukua kwa kiwango cha maambukizi ya

MWANAMKE AVUA NGUO NA KUCHEZA UCHI BAADA YA KUZIDISHA POMBE HUKO MBAGALA ZAKHEIM

$
0
0
DADA mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulukana mara moja aliuacha hoi umati wa watu waliokuwa kwenye baa moja hivi (jina kapuni) huko mbagala Zakheim mara baada ya kuvua nguo zote na kubaki uchi wa mnyama na hivyo kusababusha hali ya taharuki katika maeneo hayo.     Chanzo cha habari  kinadai kuwa dada huyo alifika maeneo hayo akiwa vizuri kabisa... Uchafu wake 

WABUNGE WA CHADEMA WAGOMA KUINGIA BUNGENI KUFUATIA BOMU LA ARUSHA...IGP ATOA NAMBA YAKE KWA MTU YEYOTE MWENYE TAARIFA

$
0
0
Wakati Jeshi la Polisi nchini limesema limepata taarifa za mwonekano wa mtu aliyetupa bomu katika mkutano wa kampeni wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Arusha, Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema wabunge wake leo hawataingia bungeni.   Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mbowe alisema wabunge hao watawasili Arusha kwa ajili ya kuungana na wananchi pamoja

VIDEO: MWANAMKE ABAKWA NA KUZIKWA AKIWA MZIMA...POLISI WAMFUKUA NA KUKUTA AMEKWISHAFARIKI

$
0
0
<!-- adsense --> Matukio ya kikatili  yameendelea  kutikisa nchini Nigeria  baada ya mwanamke  mmoja  kubakwa  na  kuzikwa  akiwa  mzima.... Taarifa  toka  katika mitandao ya kinigeria zinadai kuwa mwanamke huyo alibakwa  na kisha wabakaji wakamfunga miguu na mikono.....   Zoezi la  kumfukua likiendelea.....     Mwili wa dada huyo ukifukuliwa    Mwili umekwisha fukuliwa, bahati

DR. NCHIMBI AWAFARIJI WAHANGA WA BOMU NA KUTEMBELEA SEHEMU ILIYOLIPULIWA BOMU

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Emmanuel Nchimbi akiwa katika viwanja vya Soweto Arusha palipotokea mlipuko wa bomu wakati wa kufunga kampeni za kuwania udiwani wa kata za jijini arusha za chama cha CHADEMA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Emmanuel Nchimbi akiwa katika viwanja vya Soweto Arusha palipotokea mlipuko wa bomu wakati wa kufunga kampeni za kuwania udiwani wa kata za

PICHA ZA MAZISHI YA MSANII LANGA KILEO

"MLIPUKO WA BOMU LA ARUSHA ULIPANGWA NA CHADEMA WENYEWE".....NAPE NNAUYE

$
0
0
Itakumbukwa tarehe 16/06/2013 ilikuwa ni siku ya uchaguzi mdogo wa madiwani kwa baadhi ya kata nchini. Uchaguzi huo umefanyika kwenye kata ishirini na mbili (22) -kati ya kata ishirini na sita (26) zilizotangazwa kufanya uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi wazi. Matokeo tuliyoyapata toka kwenye maeneo yaliyofanya uchaguzi yanaonyesha kuwa kati ya kata 22 zilizofanya uchaguzi CCM tumeshinda

MAKAHABA WANAOJIUZA SINZA WATIWA MBARONI NA MGAMBO WA JIJI

$
0
0
Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata akinadada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao maarufu kama Machangudoa katika eneo la Sinza.  Picha hizi ( juu)  zinaonesha  namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria <!-- adsense -->

VIDEO YA MLIPUKO WA BOMU LA TAREHE 15 HUKO ARUSHA

$
0
0
Hii ni video fupi ambayo nimepata katika mtandao wa youtube ikionesha jinsi bomu hilo lilivyolipuka na wananchi kutawanyika<!-- adsense -->

VIDEO MBILI ZA MAZISHI YA MSANII LANGA KILEO

$
0
0
Hizi ni video zinazoonesha shughuli nzima ya kuuaga mwili wa Langa Kileo na baadaye kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar Wakati wa kuuaga mwili <!-- adsense -->

VIDEO YA NAPE NNAYE AKIWAVAA CHADEMA NA KUDAI KUWA WANAHUSIKA NA MLIPUKO WA BOMU

$
0
0
Wakati jeshi la polisi na vyombo mbalimbali vya usalama vikihaha kumtafuta mtu aliyerusha bomu katika mkutano wa kampeni huko Arusha chama cha mapinduzi CCM kimetoa tamko kuhusiana na tukio hilo na kukishutumu moja kwa moja chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kuwa wao ndio wanaohusika na tukio hilo .    <!-- adsense -->

MSHIRIKI WA TANZANIA ( FEZA KESSY ) AKIMUOGESHA MSHIRIKI WA ZIMBABWE ( HAKEEM) NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER

$
0
0
<!-- adsense --> Video hizi  hutolewa na big borther wenyewe kwa jamii kama sehemu ya shindano hilo.... Wahiriki wote wa big brother wanajua  ya  kwamba jumba hilo limezingirwa na kamera kila kona.Kwa hiyo, kama mtu ataamua kufanya ufuska au kukaa uchi basi ajue kamera zitamrekodi na kumwanika hadharani.... Masharti hayo hujuzwa mapema kabla ya kuanza kwa shindano hilo... Hakeem

KAULI YA SERIKALI KUHUSU KITITA CHA MILIONI 100 KWA MTU ATAKAYEMTAJA MTU ALIYERUSHA BOMU ARUSHA

$
0
0
Zifuatazo ni nukuu za maneno yaliyotolewa na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, sera, uratibu na bunge William Lukuvi kuhusu hilo bomu ambalo lililipuliwa kwenye mkutano cha Chadema Arusha. “Mtu asiejulikana alirusha kitu katika kundi la watu kilichosababisha mlipuko mkubwa, mkutano huu ulikua na ulinzi wa jeshi la Polisi wakiwa na magari mawili… askari walisimama upande wa Kaskazini ya

CATHY WA BONGO MOVIE ALIA NA USHIRIKINA ULIPO NDANI YA TASNIA HIYO....AWATAKA WASANII WAMRUDIE MUNGU

$
0
0
Mwigizaji wa Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’  naye amenyanyua kinywa chake na kuonesha jinsi gani anakerwa na wasanii wanaoshinda kwa waganga ili kutafuta ustaa. Akiongea na mwandishi  wetu hivi karibuni, Cathy alisema kuna baadhi ya wasanii (hakuwataja majina) wamekuwa na tabia za kuzunguka kwa waganga wakitafuta kuwa juu katika tasnia ya filamu suala ambalo halipendezi na kuwasihi

BAADA YA NAPE KUITUHUMU CHADEMA, MBOWE NAYE AFUNGUKA NA KUDAI KUWA BOMU LILIRUSHWA NA FFU NA USHAHIDI ANAO

$
0
0
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefichua siri kuhusu tukio la mlipuko wa bomu lililotokea jusi katika viwanja vya Soweto, jijini Arusha.Katika kauli yake jana, Mbowe ameibua tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi, ambapo alidai kuwa askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) ndiye aliyerusha bomu hilo.Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa,
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images