Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Interview: Linah azungumzia muziki wake, mpango wa kwenda BBA, reaction baada ya kupata taarifa ya ndoa ya Amini na..(Audio)

0
0
Mwimbaji wa kike aliyepiga hatua kubwa hivi karibuni na kusainiwa na kampuni ya kubwa ya Afrika Kusini NFZ, Linah alifanya mahojiano exclusively na Times Fm na kufunguka zaidi kuhusu mambo muhimu katika muziki wake.   Linah alizungumzia masuala muhimu yanayohusu muziki wake. Jinsi alivyofanya kazi na kundi la Uhuru ‘Ole Themba’ na alivyojipanga kulikabili soko la kimataifa.  

Picha: Beyonce atumia 'kucha' kujibu taarifa za kutaka kuachana na Jay Z

0
0
Taarifa za maandilizi ya talaka kati ya wanandoa Jay Z na Beyonce zimendelea kuandikwa na vyombo vikubwa vya habari ambavyo huaminika sana nchini Marekani na Uingereza. Taarifa hizo zinazotolewa na vyanzo vya karibu zinaeleza kuwa wanandoa hao wameshatengana hata vyumba vya kulala wakati wakiwa wanaendelea na tour yao.   Hata hivyo, Beyonce amekuwa kimya huku akitumia lugha

Picha: Christina Aguilera apiga picha akiwa UCHI kuonesha ujauzito wake

0
0
Mwimbaji Christina Aguilera meamua kupiga picha akiwa mtupu kwa ajili ya jarida la ‘V Magazine’ la mwezi huu.   Katika picha hizo, mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 33 na mjamzito anaekaribia kujifungua, ameonesha umbo lake akiwa na mwanae tumboni huku akiwa amejifunika sehemu ya kifua chake na mikono.   Inaelezwa kuwa Christina ndiye aliyemuita mpiga picha Brian Bowen Smith kwa

Mjumbe wa UKAWA atinga bungeni

0
0
Wakati wajumbe wa Bunge la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakiendelea na msimamo wa kususia vikao vinavyotarajiwa kuanza leo mjini Dodoma, mmoja wa wajumbe wake jana aliripoti bungeni na kujiandikisha.  Mjumbe huyo, Clara Mwatuka ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu (CUF), alionekana katika Viwanja vya Bunge saa 6:30 mchana akiwa ameongozana na wabunge kadhaa wa

Rais Kikwete: Nitakuwa Rais wa mwisho kuongoza Tanzania masikini

0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa anataka na anatamani kuwa Rais wa mwisho wa Tanzania kuongoza nchi ambayo ni maskini na hivyo atatumia muda wake uliobakia katika uongozi kuelekeza nchi kwenye mwelekeo huo.   Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa jambo la msingi kabisa la kama Watanzania watanufaika na ugunduzi wa gesi asili ama

Msichana aliyepigwa na mtoto wa Obama atoa kauli ya kushangaza

0
0
Mtoto wa rais wa kike wa Marekani, Malia Obama mwenye umri wa miaka 16 alimpiga/alimgonga kwa bahati mbaya msichana aliyefahamika kwa jina la Bridget Truskey walipokuwa katika tamasha kubwa la muziki la Lollapalooza nchini Marekani.    Msichana huyo amewashangaza watu baada ya kuonesha kufurahishwa sana na tukio hilo  kutokana na umaarufu wa Malia Obama.   Truskey ametweet

Bifu la Diamond na Ali Kiba......Nay wa Mitego atamani kutembeza kipigo kikali kwa wanaochochea ugomvi huo

0
0
Ushindani kati ya Diamond na Ali Kiba ambao siku zote mimi nauita ‘ushindani usio rasmi’ huku wengine wakiutafsiri kama ‘beef’ umetengeneza mitazamo tofauti kati ya wadau wa muziki Tanzania.   Hivi karibuni, G-Lover alitoa mtazamo wake kuhusu tofauti iliyopo kati yao huku akimpa credit kila mmoja.   Akiongea na Fadhili Haule  katika Sunrise ya 100.5 Times Fm, Nay wa Mitego

Bunge la Katiba Laanza tena....Hii ni HOTUBA ya Mwenyekiti Samuel Sitta wakati wa ufunguzi wa Awamu ya pili ya bunge hilo

0
0
Karibuni tena Dodoma Waheshimiwa Wajumbe wa Bunge Maalum la kutunga Katiba ya nchi yetu. Sote tuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu wetu kwa kuendelea kutupa uhai na afya hadi leo kutuwezesha kuwepo ndani ya ukumbi huu. Tupo humu ili tuitekeleze kazi waliyotukabidhi Watanzania wenzetu milioni arobaini na sita (46) ya kuwapatia Katiba mpya. Dhamana hii ni nzito na haistahili

Aunt Ezekiel Anusurika KUPIGWA Baada ya Kufumaniwa na Mume wa Mtu.....

0
0
Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson anadaiwa kukinukisha nyumbani kwa Wema Isaac Sepetu baada ya kunusurika kufumaniwa na mume wa mtu, Moses Peter Iyobo a.k.a Moze Iyobo ambaye ni densa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’. Habari zisizokuwa na shaka zinadai kwamba tukio hilo lilijiri Jumapili iliyopita nyumbani kwa Wema, Kijitonyama, Dar ambapo Aunt alisababisha tafrani

Rose Mhando AMTAMANI Gwajima......Aahidiwa kujengewa Kanisa huko Dodoma

0
0
Nyota wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando amesema anatamani sana kuhamia kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima kutokana na mahubiri yake mazuri.   “Natamani nihamie katika kanisa la Mchungaji Gwajima lakini mimi huwa napenda kumuita Askofu kwa sababu ya upako alionao, naomba ikiwezekana na mimi nihamie hapa,” alisema Rose. Katika siku ambayo

Laana ya Mama Yake Yamtisha Wema Sepetu

0
0
NYOTA  wa  Filamu  za  kibongo  Wema  Sepetu  amesema  kuwa  katika  maisha yake  anajitahidi  hakosani  na  mama  yake  mzazi, Mirium Sepetu  ili  kukwepa  kupata  laana  ya  kile  ambacho  anaweza  kumtamkia  na  kuharibu  mwelekeo  mzima  wa  malengo  yake  aliyojipangia  kuyatimiza  akiwa  ndani  ya  ndoa  yake...... Akizungumza  na  Mpekuzi, Wema  alisema  kuwa  ndio  maana  kipindi 

Shemeji wa Rais Mstaafu Zanzibar ( Mansour Yussuf Himid) Apandishwa Kizimbani na kusomewa mashitaka matatu

0
0
Shemeji wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,  Aman Abedi Karume, Mansour Yussuf Himid, anaendelea kusota rumande baada ya jana kusomewa mashtaka katika Mahakama ya Mkoa wa Vuga kumiliki silaha kinyume na sheria.  Masour alifikishwa mbele ya Hakimu Khamis Ramadhan Abdallah wa mahakama hiyo jana chini ya ulinzi mkali wa polisi na usalama wa taifa na kusomewa mashtaka

Bodaboda 100 wavamia kituo cha Polisi na kuwajeruhi Askari

0
0
Kundi la waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 100 ,  wamevamia kituo cha Polisi cha kata ya Kiroka wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro  na  kuzusha  vurugu. Hatua hiyo inadaiwa imetokana na kuchoshwa na vitendo vya uonevu wanavyofanyiwa na askari wa kituo hicho vya kuwakamata na kuwageuza kitega uchumi wanapokuwa hawana makosa. Mmoja wa wakazi wa kata

UKATILI: Inspekta wa Polisi atiwa mbaroni kwa tuhuma za kumuua mwanaye

0
0
Kamishna Kova akiwa na RPC mpya wa Temeke, Kihenya Kihenya ************* Jeshi la Polisi linamshikilia Inspekta wake, Celestine Makene (40) kwa madai ya kumpiga hadi kumsababishia kifo mtoto wa kaka yake, Alerd Makene (16).    Makene anadaiwa kutenda kosa hilo Julai 24, mwaka huu katika makazi ya polisi, Mtoni Kijichi, Dar es Salaam na anashikiliwa katika Kituo cha Chang’ombe.  

Agness Masogange ahojiwa Uwanja wa Ndege Dar kwa zaidi ya masaa 10

0
0
Kikosi Kazi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya nchini kimemhoji kwa zaidi ya saa 10, msanii Agnes Gerald ‘Masogange’ kuhusiana na tuhuma za kukamatwa na dawa aina ya crystal methamphetamine huko Afrika Kusini, Julai mwaka jana.    Kamanda wa Polisi Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gedfrey Nzowa alisema jana kuwa Masogange alianza kuhojiwa juzi usiku baada ya

Mke na Mume Wakutwa na Madawa ya kulevya

0
0
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limewakamata  watu watano wakiwa na magunia saba ya madawa ya kulevya aina ya bhangi wakiwemo mke na mume. Awali askari wa Kitengo cha Kuzuia Madawa ya Kulevya Mkoani hapa wakiwa doria walipata taarifa toka kwa raia wema iliyoeleza kuwepo kwa watu wanaosafirisha madawa hayo.   Mara baada ya kupata taarifa hiyo askari hao waliweka mtego maeneo ya Sanawari

Wanaodaiwa kumuua Afisa Usalama wa Taifa Wafikishwa Mahakamani leo

0
0
Watuhumiwa wakiwa wamembeba mtuhumiwa mwenzao ambaye inadaiwa kuwa ni afisa usalama wa taifa. ****** Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo imwapindisha kizimbani watu wanne wanaodaiwa kumuua kwa kumpiga risasi Ofisa Usalama wa Taifa, Sylvanus Mzeru maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, Aprili 29, mwaka huu usiku.   Watuhumiwa hao ni Mohamed

JUKATA lakemea njama za kuzima Mjadala wa Katiba Mpya

0
0
Jukwaa la katiba nchini Tanzania limesikitishwa na namna Bunge Maalumu la Katiba linavyotaka kunyamazisha sauti na mijadala ya wananchi, kuhusu kasoro zinazojitokeza katika mchakato unaoendelea wa kutafuta katiba mpya. Mwenyekiti wa Jukwaa hilo Bw. Deus Kibamba ametoa kauli hiyo katika mahojiano na East Africa Radio  jijini Dar es Salaam, ikiwa ni siku moja tangu kuanza kwa vikao

Kesi ya "Mtoto wa Boksi" yabadilishiwa hakimu

0
0
Washtakiwa watatu wanaokabiliwa na mashtaka ya mauaji dhidi ya mtoto Nasra Rashid Mvungi, wamelazimika kubadilishiwa hakimu baada ya hakimu wa awali, kupata dharura na kutokuwepo mahakamanani hapo.   Washtakiwa hao ambao kesi yao imekuwa ikifikishwa na kutajwa, mbele ya hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro, Mary Moyo, walilazimika kupandishwa kizimbani

Jokate Mwegelo Apata Mpenzi Mpya Baada Ya Kusema Yupo Single

0
0
Muigizaji wa filamu Tanzania Jokate Mwegelo ambaye pia ni Miss Tanzania no.2 wa mwaka 2006 anaonekana tayari amepata mpenzi mpya baada ya kupost picha inayoonekana katka mtandao mmoja wa kijamii akiwa na mwanaume mmoja jina halijatambulika haraka wakiwa kimahaba zaidi.  Wiki iliyopita Jokate ambaye pia ni mtangazaji wa  Channel O, mwanamuziki na designer alisema yupo single na
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images