Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mbowe na wenzake 8 washindwa kujitetea Mahakamani.....Kesi Yapigwa Kalenda

$
0
0
Viongozi 9 wa CHADEMA, akiwemo Mwenyekiti  wake Freeman Mbowe wameshindwa kuanza kujitetea katika kesi ya uchochezi inayowakabili Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa sababu mawakili wanaowatetea wanasimamia kesi Mahakama Kuu ya Tanzania.
 
Leo viongozi hao 9 walitarajia kuanza kujitetea baada ya Mahakama hiyo kuwakuta na kesi ya kujibu kutokana na ushahidi wa mashahidi 8 uliofungwa na Upande wa Mashitaka.

Wakili Gaston Garubindi amedai hayo leo Jumanne Septemba 17, 2019  akieleza kuwa maelekezo aliyopewa na wakili Peter Kibatala anaomba shauri hilo liahirishwe.

"Wakili Profesa Safari (Abdallah) yuko Mahakama Kuu Shinyanga mbele ya Jaji Mkeha na Kibatala yuko Mahakama Kuu mbele ya Jaji Tiganga baada  ya kupata wito wa dharura jana kutakiwa afike mahakamani hapo leo,” amedai wakili Garubindi.

Wakili Garubindi amedai wakili mwingine katika kesi hiyo, Hekima Mwasipu yuko Mahakama Kuu Tanga kwenye kesi ya madai namba 7/2019 mbele ya Jaji Mruma.

Sababu nyingine iliyoelezwa na wakili Garubindi ni mshtakiwa wa pili, mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji  Peter Msigwa na mshtakiwa wa nane, mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche wamefiwa na ndugu zao hivyo wanafanya taratibu za kwenda kwenye mazishi.

Wakili mkuu wa Serikali, Faraji Nchimbi alipinga sababu hizo kutokana na kutoelezwa Profesa Safari yupo katika kesi gani, sambamba na barua ya wito.

Kuhusu Mchungaji Msigwa na Heche kusafiri, amesema kuna haja ya kusikia kutoka kwa washtakiwa wenyewe pamoja na kupata uthibitisho ikiwemo cheti kwa ajili ya kumbukumbu ya mahakama.

Hakimu Simba baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili alieleza kutoridhishwa kuahirisha kesi hiyo kwa siku 20 na kuipanga kuendelea Septemba 24 hadi 27 na Oktoba 1 hadi 3, 2019.

Waziri wa Kilimo: Tutachukua Hatua Dhidi Ya Wala Rushwa Katika Wizara Ya Kilimo

$
0
0
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Serikali imesema kuwa inaendelea kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya watumishi wanaobainika endelea kubainika wakijihusisha na vitendio ovu vya rushwa.

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga ameyasema hayo leo tarehe 17 Septemba 2019 wakati akifungua kikao kazi kilichowakutananisha Wenyeviti wa Bodi na Taasisi za Wizara hiyo, Wakurugenzi na Watendaji wakuu wa Bodi na Taasisi kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya wizara ya Kilimo Jijini Dodoma ili kujadili utekelezaji wa mikakati waliyojiwekea.

Alisema kuwa serikali inayoongozwa na Mhe Rais Dkt John Pombe Magufuli imejipambanua kukabiliana na wala rushwa hivyo yeyote anayebainika hakutakuwa na huruma badala yake atapelekwa mahakamani.

“Wenyeviti na Wakurugenzi msipoisaidia serikali kuchukua hatua dhidi ya watumishi wanaotoa au kupokea rushwa maana yake na ninyi ni sehemu yaw ala rushwa na kama sio sehemu lazima tuchukue hatua”

“Nimeyasema haya hadharani sina lengo la kumtishia mtu yeyote katika hili badala yake nimelisema ili hatua zichukuliwe” Alisisitiza Mhe Hasunga
Ni lazima kukumbuka kuwa wajibu mkubwa wa watumishi ni kuhakikisha kuwa dira inafikiwa kwa mujibu wa mkakati uliowekwa.

Mhe Hasunga amesema kuwa wizara ya Kilimo itapimwa katika ammbo makubwa matano, ambayo ni kuongeza uzalishaji wa chakula na tija katika kilimo ili kuimarisha usalama wa chakula na lishe.

Jambo la pili ni kwa namna gani wizara imewezesha upatikanaji wa fedha za kigeni jambo huku jambo la tatu ikiwa ni kupimwa kuwa kilimo kinakuwa kwa asilimia ngapi na kinachangia kiasi gani kwenye pato la Taifa.

Jambo la nne alilolitaja Mhe Hasunga ni kuhusu upatikanaji wa malighafi sahihi kwa ajili ya viwanda nchini, huku jambo la tano ikiwa ni kipimo cha idadi ya ajira zitakazokuwa zinapatikana kwenye sekta ya kilimo, huku jambo la sita ikiwa ni namna ushirika utakavyokuwa umeimarika pamoja na usimamizi madhubuti wa ardhi kwa ajili ya kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji.

Mhe Hasunga alisema kuwa endapo maeneo hayo matano yatafanyiwa kazi ipasavyo ni wazi kuwa serikali kupitia wizara ya kilimo itakuwa imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kabisa kukibadilisha kilimo kuwa cha kibiashara na sio cha kujikimu.

Alisema kuwa maendeleo ya Sekta ya Kilimo na Tasnia ya Ushirika nchini itaimarika baada ya kuzinduliwa mfumo rasmi wa mauzo ya mazao ya kilimo kupitia Soko la Bidhaa Tanzania (TMX).

TMX ina lengo la kuongeza ufanisi katika juhudi za Serikali za kurasimisha mifumo ya masoko ambayo imekuwa na changamoto kwa muda mrefu; kwa kuwaunganisha Wauzaji na Wanunuzi wa bidhaa, kuleta ushindani kwenye bei, kupunguza gharama za uendeshaji biashara na kuweka uwazi.

Amesema kuwa mbali na soko la bidhaa pia kuzinduliwa kwa Mfumo wa Kielektoniki wa usajili wa wakulima na mfumo wa kielekroniki wa Kusimamia Biashara (Agricultural Trade Management Information System – ATMIS) utaimarisha makusanyo ya maduhuli na tozo kwa kuhakikisha huduma zote za utoaji vibali, leseni na vyeti unafanyika kielektroniki na pia kudhibiti udanganyifu katika hati na nyaraka za huduma hizo.

MWISHO

Waziri wa Madini- Sijaridhika ushirikishwaji Wananchi Migodini

$
0
0
Na Issa Mtuwa - Geita
Pamoja na kuupongeza Mgodi wa Dhahabu wa Geita  (GGM) katika masuala ya ulipaji kodi, utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa jamii (CSR) na kuwa mgodi namba moja nchini kwa utekelezaji wa Sheria za Madini, bado serikali hairidhishwi na namna mgodi huo na mingine inavyowashirikisha wananchi moja kwa moja.
 
Kauli hiyo ilitolewa Septemba 16 na Waziri wa Madini Doto Biteko mjini Geita   kwenye mkutano uliowakutanisha wafanyabiashara  na watoa huduma mbalimbali  mkoani Geita , wananchi na uongozi wa GGM. Mkutano huo uliokuwa na lengo la kufahamishana fursa za kibiashara na utoaji huduma  zilizopo kwenye mgodi wa GGM.
 
 “Naomba niwe mkweli, mgodi wa GGM ni wakwanza hapa nchini katika ulipaji wa kodi, utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya jamii (CSR) lakini sijaridhishwa na namna ambavyo mgodi unavyo washirikisha wananchi moja kwa moja ili waone umaana wa uwepo wa raslimali hii katika mazingira yao,” alisema Biteko.
 
Aliongeza kuwa, ni wajibu wa GGM kuwaeleza wananchi fursa zilizopo na namna mgodi unavyowashirikisha ili madini yanapokwisha   wananchi wabaki na kumbukumbu ya uwepo wa dhahabu hapa mkoani humo. 
 
Pia, Waziri Biteko alitaka baada ya mkutano huo kuwe na maazimio yatakayo ratibiwa na kusimamiwa na Mkuu wa Mkoa  huku akisisitiza maazimio hayo kueleza  namna mgodi huo unavyokwenda mkieleza namna mnavyokwenda kuwahusisha wananchi.
 
Kwa upande mwingine, Waziri Biteko amekemea vikali vitendo vya udanganyifu unaofanywa na baadhi ya watu wanaopewa fursa ya kufanya biashara na migodi na kueleza kwamba, amekuwa akipokea malalmiko ya udanganyifu na wizi kwenye migodi unaofanywa na baadhi ya wasio wema na amewataka kubadilika na kutenda haki ili kuongeza imani ya kuendelea kuwatumia watoa huduma wa ndani.
 
Waziri Biteko alisema kuanzia sasa Kamishna Msaidizi anaye shugulikia masuala ya  Ushiriki wa Nchi na Wananchi katika Sekta ya Madini (Local Content) kutoka ofisi ya Kamishna wa Madini atakuwa anapita kukagua namna utekelezaji wa masuala ya Local content yanavyo tekelezwa na hii sio kwa mgodi wa GGM peke yake bali kwa migodi yote hapa nchini.
 
Pamoja na kuelezwa kuwa mpaka sasa mgodi wa GGM una asilimia 97 ya wafanyakazi ni wazawa, bado haitakuwa na maana kama maamuzi ya mambo mbalimbali yatakuwa yanasubiri asilimia 3 ya wafanyakazi wanaotoka nje. 
 
Halikadhalika, Waziri Biteko aliwakumbusha watendaji wote wa Wizara ya Madini na Taasisi zake zote kuhusu agizo alilolitoa akiwa ziarani Mkoani Lindi wiki mbili zilizopita kuendelea kufuatilia yanayojiri kwenye ziara zake hususani viongozi kwani patafika mahali wananchi  na wadau watatakiwa kupatiwa  majibu ya papohapo ili kuondokana na kero bila kusubiri muda mrefu. Hivyo, alimtaka kila mtendaji kuwa tayari kupokea simu pindi atakapo muhitaji na kutolea majibu.
 
Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel alisema bado kwenye mgodi wa GGM kuna “figisu figisu” katika kuwapatia ajira wana Geita kwa visingizo mbalimbali na hususan ujuzi wa lugha ya Kiingereza  na kuwataka kubadilika katika hilo.
 
“Kuna figisu figisu ya utoaji wa ajira pale mgodini, moja ya sababu mnasema lugha, hicho Kiingereza sio ndio kinachofanya kazi, hiyo lugha sioni ulazima wake na sio wakati wote watakuwa wanaongea muda mwingi ni wakufanya kazi wakiwa wenyewe hata kisukuma watakuwa wanaimizana kufanya kazi,” alisema Mhandisi Gabrile. 
 
Naye. Meneja Mkuu wa Mgodi wa GGM Richard Jordinson alisema kama mgodi wamedhamiria kuifanya jamii ya Geita kuwa sehemu ya mgodi na ndiyo sababu tayari wamewisha sainishana mikataba mbalimbali ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Na kuongeza,  ni dhamira yao kuiona Geita yenye dhahabu inakuwa na  nuru ya dhahabu na wako tayari kushirikiana na jamii na serikali, kutii mamlaka za  serikali na kufuata marekebisho yote yaliyofanywa kwenye sheria ya madini na ndio maana  wameamua kukutana na wadau ili wajadili masuala yote.
 
Aidha, Uongozi wa GGM umemshukuru Waziri Biteko na wafanyakazi wote wa wizara kwa ushirikiano  wanao upata mara kwa mara kwani wanaifanya kazi yao kuwa rahisi, mara zote wamekuwa wakijadiliana na kukubaliana katika masuala mbalimbali.
 
Afisa Mtendaji Mkuu wa  Kampuni ya Anglo Gold Ashanti  Bara la Afrika, Sicelo Ntuli alisema mgodi GGM mwaka 2018 ulitenga bilioni 9.2 kwa ajili ya miradi ya maendeleo kwa mkoa wa Geita peke yake na wanatarajia kuanza kutekeleza miradi hiyo mwaka wa fedha wa  2019/20.

Watendaji Wizara Ya Kilimo Watakiwa Wajipange Kufikia Malengo

$
0
0
Watendaji wa wizara ya kilimo na taasisi zake wameagizwa kufanya kazi kwa weledi na maarifa ili kuweza kufikia malengo ya uzalishaji mazao nchini.
 
Agizo hili limetolewa leo (17.09.2019) jijini Dodoma na Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga wakati wa kikao kazi cha watendaji wa wizara ,taasisi na bodi za mazao kujadili taarifa za utekelezaji wa malengo ya mwaka 2018/2019
 
Waziri Hasunga amewajulisha watendaji hao kuwa bado wizara na taasisi zake hazijafanikiwa kufikia lengo ya uzalishaji wenye kuzingatia tija na kuwezesha kilimo kiwe cha kibiashara
 
“Takwimu zinaonyesha hatujafanya vizuri kwenye kusaidia upatikanaji wa masoko ya mazao ya wakulima nchini kwa kipindi cha mwaka 2018/2019” Waziri Hasunga alieleza
 
Aliongeza  jukumu la wizara ni kuhamasisha uzalishaji na kuhakikisha mazao ya wakulima yanaongezwa thamani  ili kuwa na soko la uhakika
 
Waziri Hasunga alisema changamoto ya masoko kwa mazao ya wakulima inahitaji kuwekewa mfumo mahsusi wa utatuzi ,hivyo ni jukumu la wataalam kuja na mipango mizuri ya utekelezaji.
 
‘Wizara yetu inasimamia aina 85 za mazao nchini  “ hii inafanya wizara kuhitaji weledi na utaalamu kupata ufumbuzi wa haraka wa  changamoto za mazao haya, alisisitiza Waziri Hasunga
 
Waziri wa kilimo ametaja  malengo sita (6)  ambayo serikali ya awamu ya tano inatumia kupima utendaji kazi wa wizara hiyo kwa mwaka 2019/2020, kwanza ni kuhakikisha nchi inazalisha chakula cha kutosha na kuwa na usalama wa chakula.
 
Pili,kilimo kinachangia upatikanaji wa fedha za kigeni, na tatu kilimo kinatoa mchango mkubwa katika pato la taifa zaidi ya asilimia 30 ya sasa.
 
Kigezo cha nne ni malighafi kiasi gani inapatikana kwa matumizi ya viwandani,tano kiasi gani cha ajira zimezalishwa katika sekta ya kilimo na sita namna gani wizara inasimamia ushirika nchini kuwa na tija na kuondoa kero.
 
Katika hatua nyingine Waziri Hasunga amewapongeza watendaji wote waliopo chini ya wizara hiyo kwa utendaji mzuri uliofanikisha Tanzania kuongoza kwa uzalishaji wa mazao ya chakula kati ya nchi za Afrika Mashariki mwaka 2019
 
“Nawapongeza wote waliosaidia nchi yetu kuzalisha mahindi kwa asilimia 103 na kuongoza Afrika Mashariki hali iliyofanya nchi kuwa una utoshelevu wa chakula wa asilimia 119” alipongeza Waziri Hasunga.
 
Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Pamba nchini Marco Mtunga ameelezea mafanikio ya zao  hilo kuwa  hadi kufikia mwezi huu Septemba tani 301,132 za pamba zimekusanywa toka kwa wakulima ikilinganishwa na tani 222,039 mwaka 2018
 
Ameongeza kusema kuwa bodi  imefanikiwa kusambaza chupa milioni sita za viuatilifu kwa wakulima katika msimu huu 2019/2020 ili kudhibiti magonjwa kwenye zao hili.
 
Hata hivyo,Mtunga ameeleza kuwa zao la pamba linakabiliwa na changamoto kubwa ya soko kutokana na ukosefu wa wanunuzi wa uhakika. 
 
“Tunaiomba serikali iingilie kati suala la upatikanaji wa soko la uhakika la pamba hususani katika mkoa wa Katavi ambako mvua sasa imeanza kunyesha na wakulima bado hawajauza pamba yao” alisema Mtunga
 
Katika hatua nyingine,Mwenyekiti wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko Monica Mbega amesema bodi imefanikiwa mwaka huu kuanza kuzalisha unga wa mahindi tani 180 kwa siku  katika viwanda vya Arusha (60),Iringa (60) na Dodoma(60) zinazokidhi viwango vya soko la kimataifa.
Mwisho.
 
Imeandaliwa na ‘
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wizara ya Kilimo

Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

$
0
0
Dalili:mwili kuchoka,maumivu ya mgongo na kiuno,kutopata choo vizuri hata ukipata choo kinakuwa kigumu

Misuli  kulegea na kusinyaa hata kushindwa kufika kileleni miguu kuuma na kuwaka moto:

TIBA YAKE:

TULLO4 MIX.Ni dawa pekee inayoweza kutibu matatizi hayo, inarudisha nguvu za kiume mara dufu na kukufanya urudie tendo la ndoa zaidi mara tatu bila kuchoka au kukinai.

NTINJE3 PUMP.Ni dawa inayoongeza maumbile na kukupa umbile la kudumu.Itumie tiba hii kuokoa ndoa yako na kuokoa kukimbiwa na umpendae.
GASELA: Ni dawa mvuto kumvuta umpendae na kumrudisha alie mbali .

NTOBO: Inatibu KISUKARI:siku7 na kuzalisha insulin kwa wingi na kumfanya mwenyetatizo hili kupona kabisa ugonjwa wa kisukari.

mpigie DR LIZENGO .OFISI IPO MBAGALA SABASABA.SIMU 0655283534/0621737576

Tatizo la Upungufu wa nguvu za kiume na maumbile madogo

$
0
0
Upungufu wa nguvu za kiume na maumbile  madogo huchangiwa na upungufu wa Vichocheo vya hormones  za getrogeni.

Wanaume wengi kwa sasa wamekuwa na upungufu wa nguvu za kiume na kuwa na maumbile  madogo  kutokana na kupungukiwa na virutubisho mwilini na kusababisha ndoa nyingi kuvunjika au ugomvi usio isha ndani ya nyumba 

Tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume sio geni na  tiba sahihi ya kukutibia tatizo lako utaipa  NTUZU HEBRISTI CLINIC iliyopo mbagara zakhemu inatoa uduma bora zaidi tofauti na ulizowai kutumia 

MTINJETINJE; ni dawa ya kisukari ambayo  hutibu kisukari na kuifanya iwe normal 6-8 

MAJINJAS ;hii ni dawa ya nguvu za kiume ambayo hutibu matizo yafatayo. 1 kushindwa kurudia tendo 
2 kuwahi kufika kabla mwenzi wako hajafika
 3  maumbile ya kiume kulegea na kusinyaa 
4 maumbile madogo na kuingia ndani hasa kwa wale wanaojichua.

KWA USHAURI NA TIBA FIKA OFISINI MBAGALA ZAKHEMU KARIBU NA BENKI YA KCB utaona bango letu kanda ya ziwa yupo wakala wetu MWANZA mpigie DOKTA AGU SIMU   whatsAp 0783185060. 0620113431

Iran Yagoma Kufanya Mazungumzo ya Aina Yoyote ile na Marekani

$
0
0
Kiongozi Mkuu wa Kidini nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei amesema " Hakutakuwa na mazungumzo ya ngazi yoyote na Marekani"-kauli ambayo inamaanisha, kuondosha dhana ya uwezekano wa kufanyika mkutano kati ya marais wa mataifa hayo mawili katika Umoja wa Mataifa baadae mwezi huu. 

Televisheni ya taifa ya Iran imemnukuu Khamenei akisema huo ndio msimamo wa uongozi mzima wa taifa na maafisa wote katika Jamhuri hiyo ya Kiislamu. 

Kumekuwa na taarifa zenye kueleza uwezekano wa kufanyika kwa mkutano kati ya Rais Donald Trump na mwenziwe wa Iran, Hassan Rouhani, wakati wa Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa inayotarajiwa kufanyika mwezi huu mjini New York, Marekani. 

Iran mara zote imeitaka Marekani kurejea katika makubaliano ya nyuklia ya mwaka 2015. 

Tangazo la Iran limekuja wakati jana Jumatatu Trump alitangaza kwamba inaoenesha kama Iran ilikuwa nyuma ya shambulio la bomu dhidi ya eneo la viwanda vya mafuta vya Saudi Arabia.

Mwandishi wa Habari Godfrey Dilunga Afariki Dunia

$
0
0
Aliyekuwa  Mhariri wa Gazeti la Jamhuri, Godfrey Dilunga, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Septemba 17, 2019, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es Salaam, alikokuwa akipatiwa matibabu.

Mwili wake tasafirishwa kwenda Morogoro kesho Septemba 18, 2019, na msiba uko Kimara Stop-Over jijini Dar es Salaam kwa dada yake.

Waziri Mkuu: Sijaridhishwa Na Gawilio Linalotolewa Na Kiwanda Cha Kilombero

$
0
0
WAZIRI MKUU Kassimu Majaliwa amesema hajaridhishwa na gawio la sh milioni 800 linatolewa na kiwanda cha Sukari cha Kilombero ambacho uzalishaji wake ni kikubwa ikilinganishwa na kiwanda cha sukari cha Moshi TPC ambacho kinatoa gawio la sh. billion 15 kwa mwaka.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne, Septemba 17, 2019) wakati alipotembelea kiwanda hicho, akiwa katika siku ya nne ya ziara yake ya kikazi Mkoani Morogoro. Amevitaka viwanda vya sukari nchini kuzaliza sukari ya kutosha ili kukidhi mahitaji.

Akizungumzia kuhusu vibali vya uagizaji wa sukari, Waziri Mkuu amesema Serikali iliamua kutoa nafasi ya kuagiza sukari kwa wenye viwanda ili kuepuka ujanja uliokuwa ukifanywa na baadhi ya wafanyabiashara ambao walikuwa wakiagiza sukari kutoka nje ya nchi ambayo nyingine ilikuwa haina ubora.

Hata hivyo, Waziri Mkuu amesema Tanzania bado kuna uhitaji mkubwa wa sukari hususani ya viwandani, hivyo kusababisha Serikali kutoa vibali kwa wamiliki wa viwanda kuagiza sukari kutoka nje ya nchi. “Viwanda vya ndani vya sukari vihakikishe vinaongeza uzalishaji wa sukari ya viwandani ili kukabiliana na upungufu uliopo.

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba amesema mahitaji ya sukari kwa mwaka huu nchini yameongezeka hadi kufikia tani 710,000 ikilinganishwa na tani 610,000 za mwaka jana.

Amesema ongezeko hilo limechangiwa na kuongezeka kwa viwanda vipya vinavyotumia sukari ya viwandani, ambapo kwa sasa mahitaji ya sukari ya viwandani yamefikia tani 165,000.

Amesema mahitaji ya sukari za majumbani kwa sasa ni tani 545,000, ambapo kiwanda cha Kilombero kinazalisha tani 134,000, kiwanda cha Manyara tani 6,000, kiwanda cha Mtibwa tani 39,000 na TPC cha Moshi tani 100,000.

Naibu Waziri huyo amesema ili kukabiliana na upungufu wa sukari Serikali imeweka mkakati wa kuanzishwa kwa viwanda vipya vya sukari vya Bagamoro ambacho kitaanza kuingiza awamu ya kwanza ya sukari sokoni tani 35,000 ifikapo mwaka 2022 na kiwanda cha Mkulazi kinatarajiwa kuzalisha tani 200,000 na cha Mbigili tani 50,000.

Akitoa taarifa za kiwanda hicho Mwenyekiti wa Bodi ya Sukari Balozi Amry amesema Kampuni ya Sukari ya Kilombero imezingatia kikamilifu wito wa Serikali wa kukuza uzalishaji na kuweka mipango thabiti ya upanuzi wa uzalishaji wa kilimo cha miwa na kiwanda cha kusindika miwa. Mradi huo utagharimu sh. bilioni 700.

Katika hatua nyingine,Waziri Mkuu ametoa muda wa wiki mbili kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilosa awe amechimba visima katika kata ya Ruaha kwa ajili ya kuwawezesha wakazi wa eneo hilo kupata maji safi na salama.

Ameyasema hayo baada ya wakazi wa kata hiyo kusimamisha msafara alipokuwa akielekea kata ya Malolo. Amesema halmashauri hiyo inakusanya zaidi ya sh. bilioni mbili kwa mwaka hivyo inatakiwa kutenga kiasi cha fedha za mapato kugharamia miradi ya maendeleo ya wananchi.

Waziri Mkuu amesemaSerikali inatekeleza Kampeni ya Rais Dkt. John Magufuli ya kumtua mama ndoo kichwani, ambayo inalenga kuwaondolea wananchi tatizo la upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama kwa kuhakikisha huduma hiyo inapatikana karibu na maeneo yao.

(mwisho)
IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,

Kiboko Ya Matatizo Ya Nguvu Za Kiume, Maumbile Madogo,Pamoja Na Magonjwa Sugu

$
0
0
SUPER MORISIS; nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa muundo wa vidonge na unga  , Huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka (15-85)   Inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii)  inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa  tendo la ndoa na itakufanya uwe na hamu ya kurudia tendo la ndoa zaidi ya maratatu (3)bila hamu kuisha wala kuhisi kuchoka na  itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa mda wa dk 18-45

SUNUPER;   Hurefusha na kunenepesha maumbire madogo ya uume uliosinyaa ,  matatizo haya huchagizwa ama husababishwa na tumbo kuunguruma na kujaa gesi hatimae kinyesi kuwa km cha mbuzi, ngili, kisukari, presha korodani moja kuvimba au kuingia ndani nk yote haya yanatibika kabisa na kupona kwa mad mfupi sana,

Pia nidawa ya vidonda vya tumbo miguu kuwaka moto na kupata nganzi, maumivu ya mgongo na kiuno 

ONDOA MATATIZOYAKO YOTE  ninadawa ya uzazi kwa pandezote mbili, kupunguza unene kitambi ( nyama uzembe)        kuondoa makovu mwilini, kuzuia mimba kuharibika,kusafisha nyota,  kuzuia majini wachafu, pete ya bahati,  kurudisha mali iliyopotea au kuibiwa 

Kwahuduma na msaada wasiliana na DR. GALIMBO  call 0759 208 637

watsap  0620510598

Ofisi Ya Makamu Wa Rais Yaadhimisha Siku Ya Tabaka La Ozoni Duniani Kwa Kutoa Mafunzo Kwa Mafundi Mchundo Wanaoshughulikia Majokofu Na Viyoyozi.

$
0
0
Utafiti wa kisayansi katika tabaka la ozoni katika karne ya ishirini ulithibitisha kumong’onyoka kwa  tabaka hilo kutokana na kulundikana angani kwa kemikali aina ya chloroflourocarbons (CFCs), halons, methyl choroform, methyl bromide, carbon tertrachoridena nyinginezo. 

Hayo yalisemwa na Mkuu wa Chuo cha VETA– Chang’ombe Bi Vaileth Mfumbwa wakati wa warsha ya mafunzo kwa Mafundi mchundo wanaoshughulikia majokofu na viyoyozi  ikiwa ni maadhimisho ya siku ya tabaka la ozoni Duniani  iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais, iliyofanyika katika Chuo cha VETA-Chang’ombe jijini Dar Es Salaam.
 
Aliongeza kuwa Kemikali hizi hutumika katika majokofu, viyoyozi, vifaa vya kuzimia moto, ushafishaji chuma, utengenezaji wa magodoro, madawa na manukato ya kupulizia, ufukizaji wa udongo katika vitalu vya tumbaku na mashamba ya maua na ufukizaji wa mazao katika maghala kabla ya kusafirishwa nje ya nchi. Matumizi ya kemikali hizi yapo kwa wingi katika nchi zilizoendelea na zinazoendelea, kama Tanzania.
 
Akimkaribisha Mgeni Rasmi, Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira Bi Kemilembe Mutasa  alisema kuwa , Kitaifa maadhimisho ya mwaka huu ya Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni yanafanyika jijini Dar es Salaam ambapo Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira kwa kushirikiana na Wakufunzi wa Chuo cha Ufundi Dar es salaam wamepanga kutoa mafunzo kwa vitendo kwa mafundi mchundo wanaohudumia majokofu na viyoyozi kuhusu njia bora za kuhudumia vifaa hivyo; kutoa elimu jinsi ya kutumia vitambuzi vya gesi; na kubadilisha tekinolojia zinazotumia kemikali haribifu kwa tabaka la Ozoni kwa kemikali mbadala. 
 
“Katika maadhimisho haya, tunakumbushwa kuwa katika Mkutano wa 28 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Monteral uliofanyika nchini Rwanda mwaka 2016, nchi wanachama zilikubaliana kupunguza uzalishaji na utumiaji wa  kemikali jamii ya Hydrofluorocarbons (HFCs) ambazo pia hujulikana kama R-143a kwa jina la biashara  na kukubaliana kuzuia ongezeko la joto la dunia kwa nyuzi joto 0.5 (0.5 degrees Celsius)” alisema Bi. Mutasa 
 
Warsha hiyo ya mafunzo ya siku moja imekua chachu kwa Mafundi Mchundo wanaoshughulikia majokofu na viyoyozi kwa kufundishwa njia mbalimbali za kiutaalamu za kutumia wanapokua katika shughuli zao za kila siku.  Mafunzo hayo yalitolewa na Wakufunzi wa Chuo cha Ufundi-VETA Chang’ombe jijini Dar Es Salaam.

Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

$
0
0
Dalili:mwili kuchoka,maumivu ya mgongo na kiuno,kutopata choo vizuri hata ukipata choo kinakuwa kigumu

Misuli  kulegea na kusinyaa hata kushindwa kufika kileleni miguu kuuma na kuwaka moto:

TIBA YAKE:

TULLO4 MIX.Ni dawa pekee inayoweza kutibu matatizi hayo, inarudisha nguvu za kiume mara dufu na kukufanya urudie tendo la ndoa zaidi mara tatu bila kuchoka au kukinai.

NTINJE3 PUMP.Ni dawa inayoongeza maumbile na kukupa umbile la kudumu.Itumie tiba hii kuokoa ndoa yako na kuokoa kukimbiwa na umpendae.
GASELA: Ni dawa mvuto kumvuta umpendae na kumrudisha alie mbali .

NTOBO: Inatibu KISUKARI:siku7 na kuzalisha insulin kwa wingi na kumfanya mwenyetatizo hili kupona kabisa ugonjwa wa kisukari.

mpigie DR LIZENGO .OFISI IPO MBAGALA SABASABA.SIMU 0655283534/0621737576

Ofisi Ya Makamu Wa Rais Yaadhimisha Siku Ya Tabaka La Ozoni Duniani Kwa Kutoa Mafunzo Kwa Mafundi Mchundo Wanaoshughulikia Majokofu Na Viyoyozi.

$
0
0
Utafiti wa kisayansi katika tabaka la ozoni katika karne ya ishirini ulithibitisha kumong’onyoka kwa  tabaka hilo kutokana na kulundikana angani kwa kemikali aina ya chloroflourocarbons (CFCs), halons, methyl choroform, methyl bromide, carbon tertrachoridena nyinginezo. 

Hayo yalisemwa na Mkuu wa Chuo cha VETA– Chang’ombe Bi Vaileth Mfumbwa wakati wa warsha ya mafunzo kwa Mafundi mchundo wanaoshughulikia majokofu na viyoyozi  ikiwa ni maadhimisho ya siku ya tabaka la ozoni Duniani  iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais, iliyofanyika katika Chuo cha VETA-Chang’ombe jijini Dar Es Salaam.
 
Aliongeza kuwa Kemikali hizi hutumika katika majokofu, viyoyozi, vifaa vya kuzimia moto, ushafishaji chuma, utengenezaji wa magodoro, madawa na manukato ya kupulizia, ufukizaji wa udongo katika vitalu vya tumbaku na mashamba ya maua na ufukizaji wa mazao katika maghala kabla ya kusafirishwa nje ya nchi. Matumizi ya kemikali hizi yapo kwa wingi katika nchi zilizoendelea na zinazoendelea, kama Tanzania.
 
Akimkaribisha Mgeni Rasmi, Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira Bi Kemilembe Mutasa  alisema kuwa , Kitaifa maadhimisho ya mwaka huu ya Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni yanafanyika jijini Dar es Salaam ambapo Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira kwa kushirikiana na Wakufunzi wa Chuo cha Ufundi Dar es salaam wamepanga kutoa mafunzo kwa vitendo kwa mafundi mchundo wanaohudumia majokofu na viyoyozi kuhusu njia bora za kuhudumia vifaa hivyo; kutoa elimu jinsi ya kutumia vitambuzi vya gesi; na kubadilisha tekinolojia zinazotumia kemikali haribifu kwa tabaka la Ozoni kwa kemikali mbadala. 
 
“Katika maadhimisho haya, tunakumbushwa kuwa katika Mkutano wa 28 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Monteral uliofanyika nchini Rwanda mwaka 2016, nchi wanachama zilikubaliana kupunguza uzalishaji na utumiaji wa  kemikali jamii ya Hydrofluorocarbons (HFCs) ambazo pia hujulikana kama R-143a kwa jina la biashara  na kukubaliana kuzuia ongezeko la joto la dunia kwa nyuzi joto 0.5 (0.5 degrees Celsius)” alisema Bi. Mutasa 
 
Warsha hiyo ya mafunzo ya siku moja imekua chachu kwa Mafundi Mchundo wanaoshughulikia majokofu na viyoyozi kwa kufundishwa njia mbalimbali za kiutaalamu za kutumia wanapokua katika shughuli zao za kila siku.  Mafunzo hayo yalitolewa na Wakufunzi wa Chuo cha Ufundi-VETA Chang’ombe jijini Dar Es Salaam.

Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

$
0
0
Dalili:mwili kuchoka,maumivu ya mgongo na kiuno,kutopata choo vizuri hata ukipata choo kinakuwa kigumu

Misuli  kulegea na kusinyaa hata kushindwa kufika kileleni miguu kuuma na kuwaka moto:

TIBA YAKE:

TULLO4 MIX.Ni dawa pekee inayoweza kutibu matatizi hayo, inarudisha nguvu za kiume mara dufu na kukufanya urudie tendo la ndoa zaidi mara tatu bila kuchoka au kukinai.

NTINJE3 PUMP.Ni dawa inayoongeza maumbile na kukupa umbile la kudumu.Itumie tiba hii kuokoa ndoa yako na kuokoa kukimbiwa na umpendae.
GASELA: Ni dawa mvuto kumvuta umpendae na kumrudisha alie mbali .

NTOBO: Inatibu KISUKARI:siku7 na kuzalisha insulin kwa wingi na kumfanya mwenyetatizo hili kupona kabisa ugonjwa wa kisukari.

mpigie DR LIZENGO .OFISI IPO MBAGALA SABASABA.SIMU 0655283534/0621737576

Kiboko Ya Matatizo Ya Nguvu Za Kiume, Maumbile Madogo,Pamoja Na Magonjwa Sugu

$
0
0
SUPER MORISIS; nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa muundo wa vidonge na unga  , Huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka (15-85)   Inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii)  inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa  tendo la ndoa na itakufanya uwe na hamu ya kurudia tendo la ndoa zaidi ya maratatu (3)bila hamu kuisha wala kuhisi kuchoka na  itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa mda wa dk 18-45

SUNUPER;   Hurefusha na kunenepesha maumbire madogo ya uume uliosinyaa ,  matatizo haya huchagizwa ama husababishwa na tumbo kuunguruma na kujaa gesi hatimae kinyesi kuwa km cha mbuzi, ngili, kisukari, presha korodani moja kuvimba au kuingia ndani nk yote haya yanatibika kabisa na kupona kwa mad mfupi sana,

Pia nidawa ya vidonda vya tumbo miguu kuwaka moto na kupata nganzi, maumivu ya mgongo na kiuno 

ONDOA MATATIZOYAKO YOTE  ninadawa ya uzazi kwa pandezote mbili, kupunguza unene kitambi ( nyama uzembe)        kuondoa makovu mwilini, kuzuia mimba kuharibika,kusafisha nyota,  kuzuia majini wachafu, pete ya bahati,  kurudisha mali iliyopotea au kuibiwa 

Kwahuduma na msaada wasiliana na DR. GALIMBO  call 0759 208 637

watsap  0620510598

Ofisi Ya Makamu Wa Rais Yaadhimisha Siku Ya Tabaka La Ozoni Duniani Kwa Kutoa Mafunzo Kwa Mafundi Mchundo Wanaoshughulikia Majokofu Na Viyoyozi.

$
0
0
Utafiti wa kisayansi katika tabaka la ozoni katika karne ya ishirini ulithibitisha kumong’onyoka kwa  tabaka hilo kutokana na kulundikana angani kwa kemikali aina ya chloroflourocarbons (CFCs), halons, methyl choroform, methyl bromide, carbon tertrachoridena nyinginezo. 

Hayo yalisemwa na Mkuu wa Chuo cha VETA– Chang’ombe Bi Vaileth Mfumbwa wakati wa warsha ya mafunzo kwa Mafundi mchundo wanaoshughulikia majokofu na viyoyozi  ikiwa ni maadhimisho ya siku ya tabaka la ozoni Duniani  iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais, iliyofanyika katika Chuo cha VETA-Chang’ombe jijini Dar Es Salaam.
 
Aliongeza kuwa Kemikali hizi hutumika katika majokofu, viyoyozi, vifaa vya kuzimia moto, ushafishaji chuma, utengenezaji wa magodoro, madawa na manukato ya kupulizia, ufukizaji wa udongo katika vitalu vya tumbaku na mashamba ya maua na ufukizaji wa mazao katika maghala kabla ya kusafirishwa nje ya nchi. Matumizi ya kemikali hizi yapo kwa wingi katika nchi zilizoendelea na zinazoendelea, kama Tanzania.
 
Akimkaribisha Mgeni Rasmi, Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira Bi Kemilembe Mutasa  alisema kuwa , Kitaifa maadhimisho ya mwaka huu ya Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni yanafanyika jijini Dar es Salaam ambapo Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira kwa kushirikiana na Wakufunzi wa Chuo cha Ufundi Dar es salaam wamepanga kutoa mafunzo kwa vitendo kwa mafundi mchundo wanaohudumia majokofu na viyoyozi kuhusu njia bora za kuhudumia vifaa hivyo; kutoa elimu jinsi ya kutumia vitambuzi vya gesi; na kubadilisha tekinolojia zinazotumia kemikali haribifu kwa tabaka la Ozoni kwa kemikali mbadala. 
 
“Katika maadhimisho haya, tunakumbushwa kuwa katika Mkutano wa 28 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Monteral uliofanyika nchini Rwanda mwaka 2016, nchi wanachama zilikubaliana kupunguza uzalishaji na utumiaji wa  kemikali jamii ya Hydrofluorocarbons (HFCs) ambazo pia hujulikana kama R-143a kwa jina la biashara  na kukubaliana kuzuia ongezeko la joto la dunia kwa nyuzi joto 0.5 (0.5 degrees Celsius)” alisema Bi. Mutasa 
 
Warsha hiyo ya mafunzo ya siku moja imekua chachu kwa Mafundi Mchundo wanaoshughulikia majokofu na viyoyozi kwa kufundishwa njia mbalimbali za kiutaalamu za kutumia wanapokua katika shughuli zao za kila siku.  Mafunzo hayo yalitolewa na Wakufunzi wa Chuo cha Ufundi-VETA Chang’ombe jijini Dar Es Salaam.

Wizara Ya Kilimo Yafanya Maaandalizi Ya Sera Mpya Ya Kilimo

$
0
0
Waziri wa Kilimo Japheti Hassunga leo  amekutana na Menejimenti ya wizara,wakuu wa Taasisi na  Wenyeviti wa Bodi za Mazao  zilizopo chini  ya Wizara.  

Lengo la mkutano huu wa siku mbili unaofanyika  katika ukumbi wa wizara Jijini Dodoma  ni kujadili maandalizi ya sera mpya ya kilimo ya mwaka 2019 na kuondoa mapungufu yaliopo katika sera ya mwaka 2013. 

Akiongea katika kikao kazi hicho Waziri  Hasunga ameeleza umuhimu wa kuwa na sera mpya ya kilimo ni kufanya kilimo kuwa na tija na cha kibiashara ,hivyo kuleta maendeleo makubwa katika sekta ya kilimo 

“Tunataka sera mpya ya kilimo ilenge kukifanya kilimo kuwa shughuli kuu ya kiuchumi itakayochangia kukuza uchumi wa nchi na kuongeza ajira” alisisitiza Waziri Hasunga. 

 Waziri Hasunga amebainisha kwamba sera mpya  inatakiwa kukamilika  kabla ya mwisho wa mwaka huu ili kutoa fursa kwa Bunge kutunga sheria na kanuni za kilimo. 

Aidha katika mkutano huu wizara ya kilimo itajadili na kupitia taarifa ya utekelezaji wa shughuli kwa mwaka 2018/2019 na kuweka mkakati madhubuti wa utekelezaji mipango utendaji kazi ya wizara kwa mwaka 2019/2020. 

Kikao hicho kinahudhuriwa na Manaibu Waziri Hussein Bashe na Omary Mgumba,Katibu Mkuu Mhandisi Mathew Mtigumwe na Naibu Katibu Mkuu Prof.Siza Tumbo. 

Mwisho.
Imeandaliwa na;
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wizara ya Kilimo-DODOMA

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano September 18

Serikali Yawawezesha Vijana 18,000 Mafunzo Ya Kilimo Kupitia Teknolojia Ya Kitalu Nyumba

$
0
0
Na; Mwandishi Wetu
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imefanikiwa kuwawezesha vijana wapatao 18,000 kunufaika na mafunzo ya Kilimo cha kisasa kwa teknolojia ya kitalu nyumba (Green house).

Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama alipotembelea na kukagua maendeleo ya mafunzo hayo kwa vijana katika Wilaya ya Chemba na Kondoa, Jijini Dodoma.

Alisema kuwa Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu iliamua kuanzisha Programu ya kukuza ujuzi nchini kwa lengo la kuwawezesha vijana kupata ujuzi wa kutosha ambao utakaowasaidia kufanya shughuli zenye tija na zitakazowawezesha kujikwamua kuichumi.

“Programu hii ya Kilimo cha kisasa kupitia teknolojia ya Kitalu Nyumba ni sahihi kwa vijana kwa kuwa aina hiyo ya kilimo kitawahamasisha vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa kupenda na kushiriki kwa wingi kwenye kilimo cha aina hiyo,” alisema Mhagama

Alieleza kuwa mradi huo ulikusudia kutekelezwa kwenye Halmashauri zote nchini ambapo awamu ya kwanza imefanikiwa kuwafikia vijana katika Mikoa 12 na Halmashauri 83 walioweza kupata ujuzi na stadi za kazi ikionesha jitihada za Serikali katika kutatua changamoto ya jira kwa vijana.

“Jumla ya vijana 100 katika kila halmashauri wameweza kujifunza kati yao vijana 20 wamejifunza namna ya kujenga vitalu nyumba na vijana 80 wamejifunza shughuli za kilimo katika kitalu nyumba,” alisema Mhagama

Aliongeza kuwa mradi huo umewajengea vijana hamasa katika kujishughulisha kwenye kilimo kwa kuwa wataweza kulima katika eneo dogo na kupata mazao kwa wingi ambayo wataweza kuuza nje ya nchi ama kwenye viwanda vilivyopo nchini.

“Sehemu kubwa ya mazao mtakayozalisha kwenye vitalu nyumba kama vile Mbogamboga, Matango, Nyanya, Hoho ni rahisi kupata soko nje ya nchi na kilimo cha aina hiyo akisubiri msimu huu ni wa kupanda mazao fulani,” alisema Mhagama

 Aidha Waziri Mhagama alitoa maagizo kwa viongozi wa Halmashauri zilizonufaika na mradi huo kuhakikisha wanasimamia ipasavyo shughuli zinazoendelea, ikiwemo kuwapatia vijana fursa za mitaji kupitia Mikopo ya halmashauri itakayo wawezesha vijana kutengeza vitalu nyumba vyao binafsi sambamba na kuwahamasisha kuanzisha viwanda vidogo vitakavyokuwa vinazalisha malighafi zitokanazo kwenye vitalu nyumba hivyo.

“Halmashauri zote zilizonufaika na mradi huu zihakikishe zinatengeneza mfumo madhubuti utakao hakikisha mradi huo unakuwa endelevu pamoja na kuwahamasisha vijana wengi ili waweze kunufaika na mafunzo hayo,” alisisitiza Mhagama.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Mhe. Simon Odunga aliahidi Mhe. Waziri kusimamia ipasavyo mradi huo ikiwemo kuwawezesha vijana na kuwahamasisha vijana wengine kushiriki kwa wingi kwenye teknolojia hiyo ya Kilimo cha Kitalu nyumba.

“Tutaunga mkono jitihada za Serikali katika kuwawezesha vijana, tunaahidi kutunza mradi huu ili kusaidia wananchi wa chemba kuweza kunufaika nao,” alisema Odunga

Naye mmoja wa vijana walionufaika na mafunzo hayo Bw. Juma Ramadhani alisema kuwa mafunzo hayo yamekuwa chachu kwao na yatawasaidia kuondokana na umaskini kwa kuwa wameweza kujifunza njia bora za kilimo.

“Tunamshukuru Mhe. Rais, Dkt. John Magufuli kwa kutuletea mradi huu inaonesha namna Rais wetu anavyotupigania vijana, tunahaidi kutumia ujuzi tuliopata kuwaelimisha vijana wenzetu ili na wao waweze kunufaika pia,” alisema Ramadhani

Katika ziara hiyo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama aliweza kutembelea na kukagua maendeleo ya mafunzo kwa vijana kupitia Teknolojia ya kilimo cha Kitalu Nyumba (Green House) katika Wilaya ya Chemba na Kondoa.

MWISHO

Migogoro Ya Ardhi Yatajwa Kama Changamoto Kubwa Inayo Wakabili Watendaji Wa Kata Na Vijiji Mkoani Kagera.

$
0
0
Na Avitus Benedicto Kyaruzi, Kagera.
Watendaji wa Kata na Vijiji katika Halamashauri ya Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera Wametakiwa kutoa utumishi uliotukuka kwa wananchi, kuwapokea, kuwasikiliza na kutatua kero zao tena kwa kuwapa maandishi si maneno tu.

Hayo yalisemwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti  Septemba 16, 2019 wakati akizungumza na Watendaji wa Kata na Vijiji katika Halamashauri ya Wilaya ya Missenyi alipokuwa akiwakumbusha wajibu wao wa utendaji wa kazi katika maeneo yao.
 
Pia aliwakumbusha kuwa wasiwe miungu watu bali wawe watu wa chini kabisa na kutoa huduma iliyotukuka kwa wananchi ili kusukuma gurudumu la maendeleo mbele vile vile Watendaji hao wawe mstari wa mbele katika kukusanya kodi ya Serikali

Katika hatua nyingine Watendaji hao wa Kata na Vijiji walimweleza Mkuu wa Mkoa  kuwa changamoto kubwa kwao ni migogoro ya ardhi kwa maeneo wanayoyaongoza ambapo aliwaelekeza wakae na wahusika na kuimaliza migogoro hiyo na kuwashauri wananchi wanaomiliki ardhi hizo kuzipima ili kuondoa migogoro ya kesho.

Brigedia Gaguti  aliwataka watendaji  wa Kata na Vijiji kuvaa kofia zote za vyombo vya Ulinzi na Usalama wa nchi, na kuoneza kuwa  wao ni Askari Polisi, Uhamiaji, Usalama wa Taifa na ni askari Jeshi wa ulinzi wetu katika maeneo yenu ya kazi, simamieni majukumu yenu kwa nguvu zote bila kupepesa macho hakuna wa kuwababaisha.

Mkuu wa Mkoa Mhe. Gaguti  aliwakumbusha watendaji hao kuwa Serikali ya Awamu ya Tano ni Serikali ya ugatuzi wa madaraka kuwa wanao wajibu wa kuhakikisha suala la ulinzi na usalama linamarishwa na mtu wa kwanza kuwajibika ni Mtendaji wa Kijiji akifuatiwa na Mtendaji wa Kata kuzuia uhamiaji haramu na vitendo vya uvunjifu wa amani.
 
“Mimi kama Mkuu wa Mkoa sitegemei kupokea kero yoyote katika ofisi yangu ambayo Mtendaji hajashughulika nayo, ninyi mnatakiwa kuhusika na kila jambo la mwananchi hakuna jambo lolote ambalo Mtendaji anatakiwa asilijue katika kijiji chake au Kata yake hata kama ni jambo la kifamilia.” Alisisitiza Mkuu wa Mkoa Gaguti
 
Pia Mhe. Gaguti aliwakumbusha Watendaji hao kusimamia miradi yote ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali ikiwa ni pamoja na kujihusisha na kero za wananchi akitolea mfano wa Vyama vya Msingi katika maeneo yao kuwa wakulima wakati wakihangaika kulipwa fedha zao Watendaji wanakaa pembeni kama jambo hilo haliwahusu kumbe wao wanatakiwa kufanya ufuatiliaji kuhakikisha kila mkulima amelipwa au apewe  majibu sahihi kwanini hajalipwa.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Latest Images