Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mama Ajifungua Watoto WANNE Katika Hospitali 2 kwa siku 2 Tofauti mkoani Mwanza

$
0
0
MKAZI wa Kijiji cha Lupili wilayani Misungwi Mkoa wa Mwanza, Tecla Kazimili (24), amejifungua watoto wanne, watatu wa kike na mmoja wa kiume kwa njia ya kawaida katika hospitali mbili tofauti na siku mbili tofauti.   Katika hospitali ya kwanza, ambayo ni zahanati ya Kijiji cha Lupili Agosti mosi mwaka huu, Tecla alionekana ana ujauzito wa mtoto zaidi ya mmoja ambapo wakati wa kujifungua,

Nora APANGUA Tuhuma za Kuchoropoa Mimba

$
0
0
Msanii  aliyewahi  kutamba  miaka  ya  nyuma  na  kundi  la  Kaole  Nuro  Nassoro  'Nora'  ameamua  kufunguka  baada  ya  tuhuma  nzito  iliyokuwa  inamkabili  ya  kudaiwa  kuchoropoa  mimba  ya  msanii  mwenzake..... Nora  anadaiwa  kuwa  katika  uhusiano  na  mmoja  wa  wasanii  wa  siku  nyingi  huku  wiki  za  hivi  karibuni  akifululiza  kwenda  hospitali  na  wambeya  wakadai  ni 

Ali Kiba: Lulu Michael anafaa kuwa MKE.....Ammwagia Misifa ya kushangaza

$
0
0
Kwa mara ya kwanza, staa anayeitikisa nchi kwa sasa na wimbo wake wa Mwana, Ali Kiba amefunguka kuwa mwigizaji kiwango Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ anafaa kuwa mke (wife material) huku akiweka wazi sifa kibao alizonazo.   Kiba ambaye hivi karibuni ameibua mijadala mingi katika mitandao ya kijamii, usafiri wa umma na kwenye baa juu ya ujio wake mpya akisemekana kurudia kiti

Mwanamke Aliyejeruhiwa kwa bomu la polisi akatwa kiganja cha mkono wa Kulia

$
0
0
Mkazi wa Mbagala Zakhiem, Mwanaharusi Hamis amepoteza kiganja chake cha mkono wa kulia baada ya kulipuliwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu lililorushwa na polisi wakati wakitawanya wananchi.    Mwanaharusi alilipuliwa na bomu hilo Agosti Mosi 2014, saa 3:00 usiku alipokuwa anatoka ndani kwenda msalani.   Akizungumza na mwandishi jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Wodi ya

Rais Kikwete na Marais 46 Afrika wakutana na Rais Obama

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete yuko Marekani kwa ziara ya siku tisa nchini humo ambako miongoni mwa mambo mengine, atahudhuria Mkutano wa Kwanza wa Kihistoria wa Viongozi wa Bara la Afrika na Marekani ulioitishwa na Rais Barack Obama.   Mkutano huo wa siku mbili unafanyika kuanzia leo ukianza na mkutano wa biashara kati ya Afrika na Marekani.  Unafuatiwa na mkutano wenyewe wa Marekani na Afrika

Heche AMLIPUA January Makamba.....Asema Hana SIFA za kugombea Urais 2015

$
0
0
MWENYEKITI wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Bw. John Heche, amemtaka Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Bw. January Makamba ambaye pia ni Mbunge wa Bumbuli, mkoani Tanga, kuacha kufikiria urais kwani Watanzania hawataki Rais kijana bali wanahitaji mtu atakayeweza kuongoza nchi.   Bw. Heche aliyasema hayo katika mkutano wa hadhara

Mashoga na Wasagaji kutoka Kenya, Uganda wakutana jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Kivukoni 3 ulioko katika Hoteli ya Serena

$
0
0
MASHOGA kutoka nchi tatu za Afrika Mashariki wamekutana kwa siku mbili jijini Dar es Salaam.   Taarifa zilizopatikana jijini Dar es Salaam, zinasema mashoga hao walikutana juzi katika Ukumbi wa Kivukoni 3 ulioko katika Hoteli ya Serena na kuwashirikisha wasichana wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile.   Kwa mujibu wa taarifa hizo, mashoga hao wapatao 50 walitoka katika nchi za Kenya

Rais Karume amfuata shemeji yake mahabusu....Ni Mansour Yussuf Himid aliyekamatwa juzi kwa tuhuma za kukutwa na silaha

$
0
0
Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,  Mansour Yusuph Himid akiwa  Makao Makuu ya Polisi Zanzibar juzi, baada ya kukamatwa nyumbani kwake, Chukwani kwa tuhuma za kumiliki silaha kinyume na sheria.  *********  RAIS mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, jana alifika katika Kituo Kikuu cha Polisi Mwembe Madema mjini Zanzibar, kumtembelea shemeji yake, Mansour Yussuf

"Siwezi kujadili upuuzi huu" asema Rais Kikwete kuhusu tetesi kuwa alimuokoa Ridhiwani baada ya kukamatwa na dawa za kulevya!

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sina muda kujadili upuuzi huu kuhusu Ridhiwani – Rais Jakaya Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa ni mkusanyiko wa upuuzi mtupu madai kuwa yeye Rais alishiriki kumwokoa mtoto wake, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ambaye alikuwa amekamatwa na madawa ya kulevya

Video 3 za Maisha ya kifahari ya mfanyabiashara Alex Massawe anayetafutwa na Interpol

$
0
0
Dola za Kimarekani, magari ya kifahari, mijengo yenye hadhi ya mahekalu ndio maisha ya mfanyabiashara maarufu kutoka Tanzania, Alex Massawe anayetafutwa na polisi wa kimataifa, Interpol. Video iliyowekwa kwenye mtandao wa Instagram inamuonesha mfanyabiashara huyo akiendesha gari la kifahari lenye thamani ya dola 120,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 200.   “Hello guys you can

Agnes Masogange apata uraia wa Afrika kusini na kubadili jina, sasa aitwa ‘Thando’

$
0
0
Video vixen maarufu wa Bongo Agnes Gerald maarufu zaidi kwa jina la Agnes Masogange ambaye kwa miezi kadhaa sasa amehamishia makazi yake Afrika Kusini, amebadili jina na huenda akawa raia wa huko! Kupita Instagram mrembo huyo mwenye umbo ‘matata’ alianza kwa kupost picha ya pasi ya kusafiria ya Afrika Kusini kama ishara kwamba amepata uraia mpya wa nchi hiyo. Kuthibitisha kile

Vilio na machozi vyawatawala wachezaji wa Taifa Stars baada ya kufungwa, matumaini ya AFCON 2015 yapotea rasmi

$
0
0
Mchezaji wa Taifa Stars, Shomari Kapombe akilia kwa uchungu baada ya Stars kupoteza nafasi ya kucheza hatua ya makundi kuwania nafasi ya kucheza Kombe la Afrika 2015. ************* Timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars jana iliondolewa rasmi kwenye michuano ya kuwania kufuzu kucheza kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2015 kwa kufungwa mabao 2-1 na Msumbiji aka The Mambas.  

Bibi wa mjini Songea ajitengenezea jeneza ili akifa azikwe nalo

$
0
0
Bibi Scholastica akiwa kwenye jeneza alilojiandalia  ****************** Mkazi mmoja wa Kijiji cha Lundusi Kata ya Peramiho wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma,Bibi Scholastica Mhagama amesema miaka mingi ameishi maisha ya dhiki na kunyanyaswa bila msaada kutoka kwa jamii anayoishi hali ambayo imemfanya amuombe Mungu amchukuwe ili azikwe kwenye jeneza alilojiandalia. “Kila siku naomba

Uingereza kuanzisha benki ya mbegu za kiume

$
0
0
Nchi ya Uingereza imeanzisha benki ya taifa ya mbegu za kiume inayotarajiwa kuondokana na tatizo la upungufu wa mbegu hizo. Wapenzi wa jinsia ya kiume na kike , wale wa jinsia moja pia wanawake wasio na wenza watanufaika na huduma hii mpya ambapo kutoka jamii zisizofahamika watakuwa na uwezo wa kuchagua wachangiaji kutoka katika jamii nyingine...   Benki hii itakayosimamiwa na mfuko

Video: Mwanamke avua nguo na kubaki UCHI mbele ya sanamu ya hayati Nelson Mandela Afrika Kusini mchana kweupe

$
0
0
Kisa cha mwanamke mmoja nchini Afrika Kusini aliyevua nguo zote na kubaki Uchi  kama  alivyozaliwa na kusimama mbele ya sanamu kubwa ya hayati Nelson Mandela, kimewaacha wapita njia na majirani waliokuwepo karibu na eneo hilo midomo wazi. Kwa mujibu wa gazeti la Star, Jumatatu mchana ya wiki iliyopita mwanamke huyo ambaye hakufahamika alifika eneo la Sandton, Johannesburg ilipo sanamu hiyo

Bodi ya mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa Kauli kuhusiana na Kucheleshwa kwa posho ya mafunzo kwa vitendo

$
0
0
Bodi ya mkopo ya Elimu ya Juu nchini Tanzania (HESLB) inashughulikia tatizo la wanafunzi wanaokwenda kwenye mafunzo kwa njia ya vitendo ikiwa na baada ya kulalamikiwa na jumuiya ya wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (TAHLISO). Akizungumza na East Africa Radio , Mkurungenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi hiyo, Bw. Cosmas Mwaisobwa amesema wanatambua kuchelewa kwa

Kikongwe wa Miaka 80 Aishi kwa Kula Udongo

$
0
0
  Katika hali ya kushangaza na kusikitisha sana, kikongwe mmoja aitwaye Athuman Ngusa Kulaba (80) amekuwa akiishi kwa kula udongo wa nyumba anayoishi kwa sababu ya kukosa chakula cha kibinadamu. Kikongwe huyo alikutwa na Uwazi hivi karibuni nyumbani kwake, Chanika wilayani Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam baada ya majirani kusema kwamba wamekuwa wakimshuhudia akipata mlo huo kwa karibu mwaka

Mume Wangu Kampa MIMBA Mbwa wetu......Nilimfumania mimi mwenyewe kwa macho yangu akingonoka naye

$
0
0
Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Cecilia Hamis (pichani), mkazi wa Majoe Mjimpya Relini jijini Dar es Salaam amemlalamikia mumewe aliyemtaja kwa jina la Hamis Juma kwamba ametembea na mbwa wao mweusi hadi kumpa mimba.   Akizungumza na Uwazi mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwake, mwanamke huyo alisema alibaini hilo wiki mbili zilizopita. “Nililigundua hilo wiki mbili

Trafiki FEKI Aibua Mazito.....Akutwa na Leseni 40, Radio Call na Pea 7 za Jeshi la Polisi

$
0
0
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, jana imelitolea ufafanuzi sakata la kukamatwa kwa askari 'feki' wa Kikosi cha Usalama Barabarani (trafiki), katika kata ya Chamazi, Mbagala Majimatitu, Wilaya ya Temeke, jijini humo.   Mtuhumiwa huyo, Bw. Robson Emmanuel (30), alikamatwa Agosti 2 mwaka huu, akijifanya Ofisa wa Polisi katika kikosi hicho.   Akizungumza na waandishi wa habari

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unatatizo la kufika kileleni mapema?....Bofya hapa ukutane na maajabu ya dawa ya Jiko katika kutibu tatizo hilo

$
0
0
Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa  dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Dawa  hii iitwayo  JIKO  ni  ya  asili  kabisa  (PURE HERBAL) na inaponyesha  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za kiume
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images