Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Irene Uwoya afanya kituko.....Apiga picha za nusu Uchi na kuzitundika mtandaoni, mashabiki wadai Anajiuza

$
0
0
Katika  hali  isiyokuwa  ya  kawaida, msanii  mkubwa  wa  bongo  movie, Irene  Uwoya  ametupia  picha  mtandaoni  akiwa  hana  nguo  ya  juu  kiasi  cha  kutafsiriwa  vibaya  na  mashabiki  wake  kwamba  ameanza  kujiuza.... Uwoya  alijipiga  picha  hiyo  na  kuitupia  mtandaoni  akiwa  ameandika  ujumbe  wa   kuwananga  watu  waliompa  ushauri  wa  kutorudia  kitendo  hicho  kwa  kuwa 

Lulu Michael kawa Mtamu balaaa....

$
0
0
Mcheza  Filamu  maarufu  nchini  Elizabeth  Michael  'Lulu'  ameonekana  kwenye  mtadao  wa  Instagram  akiwa  ametupia  picha  zake  zenye  muonekano  wa  kunoga, kaiva, kawa  mtamu balaa.. Picha  zinajieleza, Kazi  kwenu  wanaume, na  ikumbukwe  tu  kuwa  Lulu  bado  yupo  SINGLE(  Hana  mtu )

Rose Ndauka: Jiheshimu ili Uheshimike

$
0
0
Mkali  wa  filamu  za  Kibongo, Rose  Ndauka  amesema  kuwa  katika  maisha  yake  amejiwekea  utaratibu  wa  kujiheshimu  ndio  maana  anaheshimika  na  watu  wa  kila  rika , tofauti  na  ilivyokuwa  miaka  ya  nyuma  alipokuwa  anakumbwa  na  skendo  za  mara  kwa  mara.... Akizungumza  na  mwandishi, Ndauka  alisema  kuwa  akili  aliyonayo  sasa  ni  ya  kikubwa  na  anaangalia  malezi

Justin Bieber anasa mrembo huyu baada ya kurushiana makonde na Orlando kwa ajili ya msichana

$
0
0
Mwimbaji Justin Bieber ambaye jana alitawala vichwa vya habari baada ya kurushiwa makonde na muigizaji Orlando Bloom kwa ajili ya mrembo Miranda Kerr, ameonesha jinsi alivyo na kisu kirefu zaidi kwa watoto wazuri.   Bieber ameonekana akila bata kwenye yacht katika eneo la Ibiza na mrembo wa Australia anaefahamika kwa jina la Shanina Shaik.   Shanina Shaik ambaye ni mwanamitindo

Lady Jay Dee kuwasili Dar August 3 akitokea Marekani na tuzo ya AFRIMMA

$
0
0
Anaconda, Lady Jay Dee ambaye ameshinda tuzo ya AFRIMMA kama mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki atatua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, August 3 mwaka huu akitokea Marekani. Akiongea na mwandishi, meneja wa Lady Jay Dee, Captain Gardener G. Habash amesema kuwa mwimbaji huyo anatarajia kuondoka Houston, Marekani August 1 na kuingia Dar es Salaam

Diva kwa GK: You are the most romantic, the most perfect husband taken by me....i love you baby

$
0
0
FAIDA  kubwa mwanaume anaweza kupata akidate na Loveness Diva ni promo  za kutosha mbele ya followers wake kwenye mitandao ya kijamii. Ukimtoa Mo Rocka, huenda GK akawa boyfriend wa mtangazaji huyo wa Clouds FM aliyewahi kumwagiwa jumbe za mahaba kuwazidi hata Prezzo na Mr Anonymous aka mwanasiasa! Katika muendelezo wake wa kuutangazaji ulimwengu jinsi anavyojisikia kuwa ‘first lady’

Tido Mhando akabidhi ofisi baada ya kumaliza mkataba wake na Mwananchi (MCL)

$
0
0
Francis Nanai (kulia) na Tido Mhando (kushoto) wakati wa makabidhiano   Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications Limited(MCL), Tido Mhando jana (July 31) amekabidhi ofisi baada ya kumaliza mkataba wake wa miaka miwili na nusu na kampuni hiyo.   Nafasi ya Mhando sasa imechukuliwa na Francis Nanai ambaye hapo kabla alikuwa Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa MCL (CEO) tangu

Nafasi za Mafunzo ya Utengenezaji wa Mashine za kutotoresha Vifaranga Vya Kuku

$
0
0
Taasisi  ya  RafikiElimu  FOUNDATION  kupitia  MRADI  WA  ELIMU  YA  UJASIRIAMALI  MIJINI  NA  VIJIJINJI  inatangaza  nafasi  za   MAFUNZO  YA  UTENGENEZAJI  WA  MASHINE  ZA  KUTOTOLEA  VIFARANGA  WA  KUKU. Mashine   zitakazo fundishwa  kutengeneza  ni  INCUBATOR   ( MANUAL & AUTOMATIC) ZENYE  UWEZO  WA  KUTUNZA  JOTO  KWA  SAA  48 PAMOJA  NA  KUTOTORESHA  MAYAI   KUANZIA  240  HADI  5000.

Uganda yalegeza Masharti ....Yafuta sheria dhidi ya ushoga ambayo ilisababisha mataifa ya magharibi kuinyima misaada.

$
0
0
Mahakama ya kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ambayo ilisababisha mataifa ya magharibi kuinyima msaada.   Kadhalika sheria hiyo ilizua gumzo sana sio tu Uganda bali kote duniani ambapo mataifa ya Magharibi yalilazimika kuingilia kati.    Mahakama ilisema kuwa mswada huo kabla ya kuidhinishwa kuwa sheria ulipitishwa na wabunge ambao idadi

Watuhumiwa 19 wa UGAIDI Wapandishwa kizimbani jijini Arusha

$
0
0
WATUHUMIWA19 wa milipuko ya mabomu jijini Arusha leo wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi na kusomewa mashitaka ya mauaji, kula njama na kushawishi, ugaidi huku wakitakiwa  kutojibu chochote. Kesi yao imeahirishwa na itatajwa tena Agosti 15, mwaka huu.  

Nyumba zaidi ya 700 zateketezwa kwa moto Tabora

$
0
0
Jumla ya kaya 366 hazina mahala pa kuishi baada ya nyumba zao zipatazo 785 ambazo zinaitwa mabanda, pamoja na mabanda ya tumbaku 118, kuchomwa moto na magunia zaidi ya 600 kuteketezwa,katika kile kilichodaiwa kuwa walikuwa wakiishi ndani ya hifadhi za Usoke, Igombe na Ugala, wilayani Urambo mkoani Tabora kinyume cha sheria.   Wakizungumza kwa masikitiko walipohifadhiwa na wananchi

Wimbo mpya wa Nicki Minaj ‘Anaconda’ unaotarajiwa kutoka rasmi Agosti 4 umevuja, Usikilize hapa

$
0
0
Wiki hii Nicki Minaj alitangaza kusogeza mbele tarehe ya kutoa single yake mpya iitwayo ‘Anaconda’ ambayo hapo awali ilipangwa kutoka Jumatatu ya Julai 28, na sasa itatoka Jumatatu ya Agosti 4.  Lakini jana single hiyo imevuja na kuanza kusambaa mtandaoni japo ikiwa na ubora mdogo (LQ). Isikilize hapa.

Chris Brown apigwa chini tena na mpenzi wake Karrueche Tran kisa Rihanna!

$
0
0
Button ya uhusiano wa mwimbaji Chris Brown na mrembo wake Karrueche Tran imewekwa ‘Off’ kwa mara nyingine na sababu ni Rihanna. Siku chache zilizopita kuna shabiki mmoja alipost picha ya Chris Brown akiwa kitandani na Rihanna na kumtag Breezy ambaye naye ali ‘like’, kwa mujibu wa TMZ hiyo ni moja ya sababu ya Karrueche ku’switch off button’ yao kwa mara nyingine.   Ripoti zinasema

Taarifa kwa Umma kuhusu Kuchukua TAHADHARI Dhidi ya Ugonjwa wa Ebola

$
0
0
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA UGONJWA WA EBOLA Mnamo mwezi wa Machi 2014 Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ilipokea taarifa kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu ugonjwa wa Ebola katika nchi za Afrika Magharibi ambao ulianzia katika ya Guinea na kusambaa katika nchi za Siera Leone, Liberia na Nigeria. Hadi tarehe 31 Julai, 2014 idadi ya wagonjwa ilikuwa 1323 na

UKAWA Wafunga Mjadala......Wasisitiza hawatarudi bungeni

$
0
0
KAMA ndivyo, huenda Bunge Maalumu la Katiba, linalotarajiwa kuanza awamu ya pili ya vikao vyake keshokutwa mjini Dodoma, litafanyika bila ya kuwa na wajumbe kutoka kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).   Hali hiyo inatokana na kauli ya Ukawa, inayoundwa na viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani na wafuasi wao, kwamba hawatashiriki katika Bunge hilo na kwenda mbali zaidi, wakidai

Askofu Kakobe: Ninaunga mkono Ukawa kususia Bunge la katiba

$
0
0
Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe ameongeza chumvi katika Mchakato wa Katiba kwa kueleza kuwa anaunga mkono msimamo wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutorejea kwenye awamu ya pili ya vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.    Kakobe pia alimtupia lawama Rais Jakaya Kikwete akisema  hotuba yake ya kufungua Bunge hilo ndiyo chanzo cha kuvuruga

Shambulio la Israel katika shule ya UN Palestna Laua Watu 10

$
0
0
Baadhi ya majeruhi katika shambulio hilo wakipatiwa huduma ya kwanza. Mpalestina huyu akijaribu kuokoa maisha ya mtoto baada ya kushambuliwa na Israel leo. Mmoja wa majeruhi katika shambulio hilo akipelekwa kituo cha afya. Baadhi ya Wapalestina wakilaani mashambulio yanayofanywa na Israel nchini huo huku miili na majeruhi ikiwa chini. Majeruhi wakizidi kupatiwa huduma ya kwanza. *

Askari FEKI Mwingine wa Usalama barabarani Anaswa jijini Dar

$
0
0
Askari feki wa Usalama Barabarani ambae Jina lake halikufahamika haraka akiwa chini ya Ulinzi mkali wa Askari Polisi (hayupo pichani) mara baada ya kukamatwa kwa kujifanya ni askari wa usalama barabarani huku akifahamu kuwa ni kosa kisheria.  Inasemekana Mtuhumiwa aliwahi kuwa askari wa Usalama barabarani ambapo kituo chake cha Kazi kilikuwa Mkoa wa Pwani na ni mmoja kati ya askari

PICHA: Muigizaji Pastor Myamba apewa zawadi ya Tsh milioni 250 na Gari Jipya baada ya kufunga ndoa

$
0
0
Kwa ukubwa wa zawadi aliyopewa, huenda harusi ya Pastor Myamba ikawa harusi ya staa wa Tanzania iliyofana na yenye stunts zaidi.  Muigizaji huyo wa filamu aliukimbia mji wa Dar na kwenda kufungia harusi yake visiwani Zanzibar ambako hakuishia kualika mastaa wenzie tu, bali pia zawadi alizopewa, zinatosha kuanzisha kampuni yake nyingine.   Kwa mujibu wa JB aliyehudhuria harusi hiyo,

Bunge la katiba kuanza Kesho bila UKAWA

$
0
0
BUNGE Maalumu la Katiba litaendelea na vikao bila kujali uwepo au kutokuwapo kwa baadhi ya wajumbe waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, ambaye ndiye Mratibu wa Bunge hilo, alitoa kauli hiyo jana wakati wa mdahalo ulioandaliwa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images