Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

MAUAJI: Watoto wadaiwa kumnyonga mwenzao wa miaka mitatu

$
0
0
Wakazi wa Kijiji cha Masusu, Kata ya Gisambalang wilayani Hanang’ katika Mkoa wa Manyara wamepatwa na mshtuko kutokana na tukio lenye utata la kuuawa mtoto Omary Hamis mwenye umri wa mitatu, kisha mwili wake kutundikwa juu ya mti.    Inadaiwa kuwa Omary aliuawa na watoto wenzake wawili ambao ni wakazi wa kijiji hicho kwa kumpiga kwa fimbo kisha kumnyonga na baadaye kuutundika mwili

Picha 4 za Kimahaba za Wema Sepetu na Ommy Dimpoz

$
0
0
Wema  Akiwa  na  SHEMEJI  yake  ndani  ya  pozi  matata    

Ajali ya Basi Yaua Watu 20 Mkoani Dodoma

$
0
0
Takribani watu 20 wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya basi la Moro Best lililokuwa linatoka Mpwapwa kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la Pandambili, Kongwa mkoani Dodoma leo.  Baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya Mkoa Dodoma huku wengine wakipelekwa Hospitali ya Mpwapwa.        

Rais Kikwete Atunukiwa Tuzo Nyingine ya Kimataifa......Tuzo hiyo ni ya kuwa Nyota wa Demokrasia Afrika

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa tuzo la kimataifa – zamu hii kwa kuwa mshindi waTuzo la Nyota wa Demokrasia Afrika  2014 – Icon of Democracy Award Winner for 2014 in Africa.   Kwa mujibu wa barua aliyoandikiwa Rais Kikwete na kupokelewa Ikulu, Dar Es Salaam, Rais Kikwete amekuwa mshindi wa kwanza, na kwa mbali kabisa,

Misukule ya Gwajima Yatinga Polisi.....Ndugu, Wazazi kuitwa ili kuthibitisha vifo vyao

$
0
0
Baada  ya  hivi  karibuni  kutoa  waraka  mzito  unaowalenga  watumishi  wa  mungu  kwa  kile  alichodai  kuwa  ni  ukiukwaji  wa  sheria  za  mungu, Nabii Hosea  Chamungu  ametangaza  rasmi  kuiwasilisha  ripoti  ya  misukule  feki  mikononi  mwa  jeshi  la  polisi  ili  hatua  za  kisheria  zichukuliwe.... Akiongea  kwa  kujiamini, Nabii  Cha Mungu  alimuonyesha  mwandishi  baadhi  ya 

Huddah Monroe AMZIMIKIA Ali Kiba

$
0
0
Ujio mpya wa Ali Kiba ulikuwa unasubiriwa kwa hamu na mashabiki wake ambao wanaoenesha kumpokea kwa mikono miwili tangu alipotambulisha nyimbo zake mbili ‘Mwana na Kimasomaso’, ingawa Mwana imeonekana kupenya zaidi.   Mrembo wa Kenya aliyewahi kuwa mshiriki wa Big Brother Africa, Huddah Monroe aka The BossChick alikuwa mmoja kati ya mashabiki wa dhati walioimiss sauti ya Ali Kiba na

Chris Brown yuko hatarini, Majirani wapya watishia kumpiga risasi

$
0
0
Mwimbaji wa Loyal, Chris Brown ambaye alitoka jela hivi karibuni na kuamua kutafuta amani kwa kuhama nyumba aliyokuwa akiishi kukwepa ugomvi na majirani zake ni kama ameruka majivu na kukanyaga moto.   Kwa mujibu wa TMZ, mwimbaji huyo aliamua kuuza nyumba yake ya kifahari iliyokuwa Hollywood Hills kufuatia ugomvi wa kila siku na majirani zake waliomfikisha kwenye vyombo vya sheria mara

Lady Jay Dee awashukuru mashabiki baada ya kupokea tuzo ya AFRIMMA

$
0
0
Lady Jay Dee ameipokea tuzo ya AFRIMMA ya mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki siku mbili baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo hiyo.   Baada ya kuishika mkononi tuzo hiyo ambayo inakuwa tuzo yake ya 30, Jide aka Commando amewashukuru mashabiki wake kwa ushiriano waliouonesha kwake.    “Tuzo yangu ya 30. Asanteni kwa ushirikiano, nimeipokea na ninarudi nayo nyumbani. Shhhhhh! !!! Kimya

Ubora hafifu wa Elimu Wakwamisha AJIRA Kwa Wahitimu wa Vyuo Vikuuu......Wizara Yakiri kwamba Wengi wao HAWAAJIRIKI

$
0
0
Ubora hafifu wa wahitimu wa vyuo vikuu kiasi cha kusababisha wengine kutoajirika, vimeigusa serikali na sasa inatarajia kuja na mpango wa kukabili hali hiyo.   Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imekiri kwamba rejea mbalimbali za waajiri zinaonesha upo  upungufu katika ubora wa wahitimu kiasi cha kutoajirika, jambo ambalo imesema haiwezi kulinyamazia.   “Rejea mbalimbali za waajiri

ANGALIZO: Simu za Mkononi na Komputa hupunguza nguvu za Kiume

$
0
0
Watanzania wametakiwa kuwa makini wanapotumia simu na kompyuta, kwani ndio chanzo cha matatizo mbalimbali yakiwemo ya kutoona, kutosikia, upungufu wa nguvu za kiume na vifo.   Mshauri wa masuala ya teknolojia, Alex Mpompo aliyasema hayo juzi kwenye semina inayohusu teknolojia katika Parokia ya Roho Mtakatifu Segerea, Jimbo Kuu la Dar es Salaam.   Mpompo alisema matatizo yanayochangiwa

Wema Sepetu Aanika Ugomvi wake na Mama Yake Mzazi.....Asema chanzo ni mama kumkataa Diamond

$
0
0
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu ametaja sababu zinazomfanya aingie katika mgogoro na mama yake mzazi, Miriam Sepetu kuwa ni suala la uchumba wake na Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambao alikuwa akiupinga mara kwa mara. Akiongea  na  mwandishi, Wema alisema kwa muda mrefu alikuwa akitofautiana kauli na mama yake katika suala zima la uhusiano wake na Diamond lakini anamshukuru Mungu

Mfanyakazi wa Ndani ( Hausigeli ) anusurika kufa baada ya kukatwakatwa mapanga na Bosi Wake.

$
0
0
Msichana wa kazi za ndani, Fonolia Lembres (12) amenusurika kuuawa na mwajiri wake aliyetambulika kwa jina la Emmanuel Msovera ambaye ni kondakta wa Hiace, baada ya kushambuliwa kwa kipigo na kukatwakatwa mapanga mwilini. Fonolia ambaye kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa Mount-Meru, jijini Arusha, amejeruhiwa vibaya kwa kukatwa kiganja cha mkono wa kushoto na maeneo

Majina ya Wanaopiga Mabomu Arusha Kuanikwa Hadharani

$
0
0
Watuhumiwa wa mabomu katika maeneo mbalimbali mkoani Arusha, watawekwa hadharani hivi karibuni ikiwa ni pamoja na umma kuelezwa kilichotokea na waliowatuma.   Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alisema hayo juzi alipokuwa akihutubia sherehe za Baraza la Idd jijini Dar es Salaam.   Alisema ingawa hatua za kisheria zinaendelea kwa baadhi ya watuhumiwa kufikishwa mahakamani na kufunguliwa kesi,

Fahamu alichoamua Kingwendu baada ya mkewe KUBAKWA akiwa amelewa

$
0
0
Muigizaji wa filamu za Kiswahili, mchekeshaji Kingwendu yuko katika wakati mgumu baada ya mkewe kubakwa na jirani yake wakati akiwa amelewa pombe.   Baada  ya  jitihada  nyingi  za  kumtafuta Kingwendu, hatimaye  mwandishi  alifanikiwa  kumpata  na  kukiri  kuwa  alizipata habari hizo wakati ambapo yuko safarini na majirani walimueleza kilichotokea kuwa mkewe na jirani huyo aliyembaka

AJIRA: Watu 6,740 kuwania nafasi 47 tu za kazi TBS LEO

$
0
0
Watu 6,740 leo wanatarajia kufanyiwa usaili wa kuwania nafasi 47 zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Aprili, mwaka huu.    Usaili huo unataka kufanana na ule wa Idara ya Uhamiaji ambao ulihusisha waombaji 10,000 waliokuwa wakiwania nafasi 70, utafanyika leo na kesho katika Ukumbi wa Yombo wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.   Ili kuepuka kuchaguliwa kwa waombaji wenye

Lowassa: Sifadhili ACT-Tanzania.....Asema ni Upuuzi kuhusishwa na chama hicho cha Siasa, Adai ni mpango wa kumchafua na kumgombanisha

$
0
0
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema hatua ya kuhusishwa kwake na Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) ni upuuzi na mwendelezo wa mikakati ya kumchafua.   Kauli ya Lowassa imekuja siku moja baada ya kuhusishwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), kwamba kwa pamoja wamekuwa wakipanga mikakati ya siri ya kuhujumu chama hicho.  

UKAWA wakutana na Waandishi wa habari.....Wasistiza Kutorejea Bungeni , waweka wazi masharti yao

$
0
0
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA),umesema  umesikitishwa na kauli za baadhi ya viongozi wa dini zilizotolewa wakati wa baraza la Iddi za kuwataka warejee katika bunge maalum la katiba huku viongozi hao wakinyamaza bila ya kukemea matendo yaliyosababisha wajumbe wa umoja huo  kususia vikao vya bunge hilo.   Akizungumza kwa niaba ya wajumbe wa umoja huo, Mwenyekiti wa chama cha

Rais Kikwete ahutubia Taifa mwisho wa Mwezi Julai, 2014 .....Ashangaa upotoshwaji unaofanywa na UKAWA juu ya mchakato wa Katiba Mpya

$
0
0
Utangulizi Ndugu wananchi; Naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, kwa kutujalia uzima na kutuwezesha kwa mara nyingine tena kuzungumza na taifa juu ya masuala muhimu yanayohusu nchi yetu. Mwezi wa Saba tunaoumaliza leo ulikuwa na matukio mengi baadhi yakiwa makubwa na kushtusha na mengine yalikuwa matukio ya kawaida.   Mashambulio ya Mabomu Ndugu Wananchi;

Nisha: Sijaona mwanaume wa kunipa MIMBA

$
0
0
Msanii  wa  Filamu  za  kibongo  Salma  Jabu  'Nisha'  amedai  kuwa  hamjui  mwanaume  atakayeweza  kuitwa  baba  wa  watoto  wake  kwani  kila  mwanaume  anayemtaka  kimapenzi  huwa  haamini  kama  anaweza  kutimiza  hilo  katika  maisha  yake  ya  mapenzi..... Nisha  alisema  hivi  sasa  ni  mapema  sana  kuwa  na  mawazo  ya  namna  hiyo  kwani  bado  anatafakari, na  kudai  hawezi 

Batuli: Nasaka Mwenye Pesa atakayekuwa tayari kunilipia Ada ya uhudumu wa Ndege

$
0
0
BATULI  amesema  kuwa  anahitaji  kwenda  kusomea  uhudumu  wa  ndege  lakini  anashindwa  kufanya  hivyo  kwa  sababu  ya  kubanwa  na  maisha, lakini  endapo  atapata  mtu  wa  kumlipia  ada  yupo  tayari  kuachana  na  filamu  na  kwenda  kusoma. Mrembo  huyo  akizungumza  na  mwandishi  hivi  karibuni  aliweka  wazi  ishu  hiyo  kwa  madai  kwamba  anahitaji  kutimiza  ndoto  yake  juu
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images