JESHI la Polisi Wilaya ya Kinondoni jijini Dar limekamata viungo
mbalimbali vya binadamu vilivyowekwa kwenye mifuko ya plastiki na
kuhifadhiwa katika machimbo ya kokoto ya Bunju nje kidogo ya jiji la Dar
es salaam.
Taarifa za tukio hilo zimethibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camilius Wambura ambapo amesema kuwa jeshi la polisi limeanza uchunguzi
Viungo vya Binadamu Vyanaswa Bunju Dar es Slaam
↧
↧
Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 22 July 2014
Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 22 July 2014
↧
Polisi Yatoa TAMKO Kuhusiana na Viungo vya Binadamu vilivyokamatwa Jana jioni jijini Dar.....Bofya hapa Kumsikiliza Kamanda wa Polisi
Polisi wa kituo kidogo cha polisi Usalama kilichopo maeneo ya Bunju A
Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam jana usiku walilazimika
kufyatua mabomu ya machozi pamoja na risasi kutawanya kundi kubwa la
wananchi waliokuwa wamekizunguka kituo hicho kwa madai ya kutaka
kuwachukuwa watuhumiwa wanaoadaiwa kukutwa na shehena ya viungo vya
binadamu.
Tukio hilo lililoibua hofu kubwa
↧
Mke wa polisi afia nyumbani kwa dereva wa bodaboda
Jeshi la Polisi linamshikilia dereva mmoja wa pikipiki, maarufu
kama bodaboda wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro baada ya mke wa askari
polisi kukutwa amekufa chumbani kwa dereva huyo.
Tukio hilo ambalo limezua gumzo kubwa wilayani
humo lilitokea juzi saa 12:00 jioni katika eneo la New Mwanga wilayani
humo na mtuhumiwa akidaiwa kukutwa akiwa amelewa chakari.
Mkuu wa Wilaya ya
↧
Sakata la Viungo vya Binadamu vilivyonaswa Dar: Watu 8 Watiwa Mbaroni
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam,Suleiman Kova akizungumza na Vyombo vya habari mbalimbali mapema leo makao makuu ya jeshi la polisi jijini Dar kuhusiana na sakata la viungo vya binadamu vilivyokamatwa jana ambapo Kamanda Kova amesema kuwa watu wanane wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo. Kamanda Kova amesema kuwa jopo la Wataalamu saba limeundwa kuchunguza tukio hilo na
↧
↧
Maisha ya Ray C Hatarini.....Wavuta Bangi waiwinda Roho yake Usiku na Mchana
Wiki za hivi karibuni mwanamuziki wa bongo fleva ambaye pia ni mwanaharakati wa kupinga matumizi ya dawa za kulevya Rehema Chamila 'Ray C' amepatwa na misukosuko mingi ambayo haikuwa mbali sana na mahusiano na dawa za kulevya....
Ni wiki mbili zilizopita tangu mwanadada huyo achezee kichapo toka kwa mwanamuziki wa bongo fleva Rashid
↧
Vinara wa Mabomu Wakamtwa wakiwa na Mabomu 7, Risasi 6 na Baruti jijini Arusha
JESHI la polisi hapa nchini limefanikiwa kuwatia mbaroni vinara wa
milipuko ya mabomu hapa nchini, Yusufu Ally (30) na mkewe Sumaina Juma
(19), wakazi wa Sombetini, wakiwa na mabomu ya kurusha kwa mkono aina ya
Gurnet saba, risasi sita za shotgun, baruti, mapanga mawili na bisibisi
moja.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa, Mkurugenzi wa
Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI),
↧
Magazeti ya Leo Jumatano ya Tarehe 23 July 2014
Magazeti ya Leo Jumatano ya Tarehe 23 July 2014
↧
Wema Sepetu: Ugonjwa wa Ngozi Umeniharibu
MISS Tanzania 2006/07 Wema Sepetu amesema ugonjwa wa
ngozi ulioshambulia sehemu ya shavu lake la kushoto umeharibu urembo
wake na kumfanya ashindwe kutoka.
Akizungumza kwa huzuni, Wema alisema hakutegemea kama tatizo hilo
lingekuwa kubwa, kwani lilianza kama kipele kidogo ambacho baadaye
sehemu kubwa ilivimba na kuharibu mwonekano wake.
“Ulianza muwasho, kikawa kipele kisha
↧
↧
Aunt Ezekiel: Filamu hazilipi.....Mafanikio yetu yanatokana na Sapoti ya Wanaume au Wapenzi Wetu
STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya
wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya
waume au wapenzi wao kwa kuwa soko la filamu limeharibika.
“Filamu kwa Tanzania hakuna soko, walau wanaume, si wanawake,
huwezi kunilinganisha mimi na Ray… Mimi kama si kuwa mwanamke, sidhani
kama leo hii bado ningekuwepo katika filamu, kwa sababu kwa
↧
Kifo cha mke wa askari Polisi aliyefia kwa dereva wa bodaboda bado ni UTATA
Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Shaibu Ndemanga
Wingu zito limegubika kifo cha mke wa askari polisi wa wilayani
Mwanga, Kilimanjaro aliyefia chumbani kwa dereva wa bodaboda.
Uchunguzi
wa awali wa polisi unadai kuwa mwanamke huyo alilala chumbani huko usiku
mzima wa kuamkia Jumapili, siku ambayo maiti yake iligunduliwa saa 12
jioni.
Uchunguzi huo pia unadai kuwa mtuhumiwa ndiye
↧
Wakuu wa shule za serikali zilizofanya vibaya katika matokeo ya Form Six wapewa mwezi mmoja kujieleza.....Miongoni mwa shule hizo ni Tambaza na Iyunga
Wakuu wa shule za serikali zilizofanya vibaya kwenye matokeo ya
mtihani wa kidato cha sita mwaka huu pamoja na Maofisa elimu wa Mikoa
wamepewa muda wa mwezi mmoja ili kubaini chanzo cha shule zao kuwa na
ufaulu hafifu.
Baada ya kubaini chanzo hicho cha ufaulu hafifu wanatakiwa kutoa
taarifa kwa katibu mkuu Tawala za mikoa na serikali za mitaa-TAMISEMI.
Miongoni mwa shule
↧
Nyumba Nne zachomwa moto kwa tuhuma za Ushirikina
Wakazi
wa kijiji cha Nguruka wilayani Uvinza mkoani Kigoma, wamechoma nyumba
nne za familia moja yenye zaidi ya watu ishirini na kuteketeza vyakula
na mali nyingine zenye zaidi ya shilingi milioni mia moja baada ya
kumtuhumu mmoja wa wanafamilia kwa ushirikina.
Mwenyekiti wa kitongoji cha mkoronga katika kijiji cha nguruka Matei
Charles ambaye alimuokoa mtuhumiwa wa uchawi
↧
↧
Is This Diamond’s Response To Ali Kiba?
The ongoing ‘beef’ between Bongo musical giants Ali Kiba and Diamond
Platnumz seems to be here to stay.
They say they don’t have a problem
with each other but is hard to believe them because their actions say
otherwise.
Cinderella hitmaker Alikiba appeared in a promo for the
popular Sporah show that is scheduled for Tuesday where he declared that
he did not have any problem with the ‘
↧
Diamond Platnumz Confirms Wedding With Wema Sepetu
Tanzanian superstar DiamondPlatnumz is enjoying the fruits of his hard
work in his musical career but that does not mean that he is putting his
personal life on a hold.
He has been moving from one country to another to attend award
ceremonies, hold down performances and work on his musical projects and
it is safe to say everything is working out great for him.
His movie
actress and
↧
Mabweni ya Shule yateketea kwa Moto Monduli
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Erikisongo wilayani Monduli
wamenusurika kifo baada ya vyumba vitano vya mabweni yao kuteketea na
moto leo asubuhi.
Moto huo ambao inaelezwa chanzo chake ni hitilafu ya umeme ulizuka
wakati wanafunzi hao wakiwa darasani. Hakuna mtu yoyote aliyedhurika
lakini mali kadhaa za wanafunzi zimeteketea.
Kikosi cha Zimamoto kutoka Arusha kilifika wakati
↧
Kilichoendelea katika kesi ya Mbasha Mahakamani jana July 23 2014: Mbasha kakubali kauli 2 kati ya 4 zilizo katika shitaka lake
KESI ya ubakaji inayomkabili mume wa Flora Mbasha ambae ni mwimbaji
maarufu wa nyimbo za injili Tanzania Emmanuel Mbasha (32), ilitajwa tena
July 23 2014 katika mahakama ya wilaya ya Ilala ambapo Mbasha amesomewa
tena mashataka yake huku akikubali sentensi mbili tu kati ya nne
zilizosomwa.
Akisoma hoja hizo mbele ya hakimu Wilbert Luago, mwendesha mashtaka
wa serikali Nasoro Katunga
↧
↧
Miaka Miwili ya Ndoa: Aunt Ezekiel aanza kusaka Mtoto
Mwigizaji nguli katika
tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel (pichani) anadaiwa kuanza kusaka
mtoto ikiwa ni miaka miwili tangu afunge ndoa na Sunday Dimonte.
Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Aunt, siku si nyingi staa huyo
atakwenda kuweka makazi ya muda kwa mumewe Dubai hadi atakapopata
ujauzito.
Akizungumza na Amani hivi karibuni, rafiki huyo ambaye aliomba jina
lake
↧
Tiba na Kinga ya UKIMWI Yanukia......Watafiti wagundua dawa ya kuangamiza kabisa virusi vya Ukimwi ( VVU)
Watafiti katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba cha Temple,
Marekani wamegundua dawa ya kuangamiza Virusi Vya Ukimwi (VVU) ambayo ni
ya uhakika zaidi ukilinganisha na zilizowahi kupatikana katika tafiti
za awali duniani.
Dawa yao inaweza kutumika kwa tiba ya wanaoishi na VVU na kinga kwa wale ambao bado hawajaambukizwa.
Mmoja wa watafiti hao, Dk Kamel Khalili aliwaambia
waandishi
↧
Sakata la Viungo vya Binadamu kutupwa Dar: Chama cha Madaktari chataka Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) Kifungwe
Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimesema Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) sanjari na hospitali iliyo chini yake, vinastahili kufungiwa.
Tamko hilo la chama limekuja huku mamlaka mbalimbali zinazohusika na usimamizi wa karibu wa vyuo vikuu vya matibabu zikikiweka chuo hicho kiporo, kusubiri uchunguzi wa tuhuma zinazokikabili za kutupa viungo vya binadamu
↧
More Pages to Explore .....