Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mwasisi wa CHADEMA Afunguka....."Nililipwa mshahara sawa na Mwalimu Nyerere"

$
0
0
Inawezekana likawa jambo nadra kutokea kwa sasa, lakini enzi za uongozi wa Mwalimu Julius Nyerere lilitokea.    Ni baada ya mwasisi huyo wa Taifa kuamua kwa hiari kupunguza mshahara wake kwa asilimia 10 ili kupunguza pengo baina ya maskini na wale wenye kipato cha juu, uamuzi ambao ulifuatwa na aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wakati huo, Edwin Mtei.   Mwaka 1968,

Rais Kikwete: Hatufikirii Vita na Malawi.....Awataka Wananchi kutumia maji ya Ziwa Nyasa na kula Samaki kwa Raha zote

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete amesema kamwe Tanzania haitatumia nguvu kumaliza mvutano kati yake na Malawi kuhusu mpaka kati ya nchi hizo, huku akiongeza kuwa, Tanzania haioni mantiki ama busara yoyote kuingia vitani na nchi yoyote jirani kwa sababu yoyote ile.   Alitoa uhakikisho huo kwa Malawi na nchi nyingine jirani wakati alipohutubia mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na mamia kwa mamia ya

"Hata kama ni Mwezi wa Ramadhani, haki ya Tendo la Ndoa lazima Nipewe"....Mume wa Jack Pantezel

$
0
0
Mume  wa  mcheza  filamu  za  kibongo  Jack  Pantezel, Gadna  Dibibi  amesema  kuwa  mwezi  mtukufu  wa  Ramadhani  ni  haki  kwake  kufanya  jambo  lolote  kwa  mke  wake  kwani  wao  ni  wanandoa, hivyo  hawawezi  kujinyima  haki  yao  ya  msingi.... Dibibi  amesema  kuwa  wamekuwa  wakikutana  na  mkewe  na  kulimenya  tunda  tamu  nyakati  za  usiku  baada  ya  kufuturu  lakini  si 

Aunt Ezekiel: Sijawahi Mvulia Nguo Diamond na Sifikirii Kumtongoza

$
0
0
Wakati  ikidaiwa  kuwa  mwanadada  Aunt  Ezekiel  anamzunguka  Wema  Sepetu  na  kula  Penzi  la  shemeji  yake  Diamond, sasa  ameamua  kufunguka  na  kudai  kuwa  kamwe  hawezi  kumsaliti  Wema  na  kikubwa  anachokiheshimu  ni  kwamba  anajua  Diamond  ni  mpenzi  wa  ndugu  yake..... Aunt  alisema  hajawahi  kulala  na  Diamond, wala  kumuomba  kutoka   kimapenzi  kama  watu 

Flora Mbasha kudaka Mimba: Gwajima Akimbia Nchi....Auza kila kitu, Familia Aificha....Waumini sasa kugawana mpaka mbao za Kanisa

$
0
0
Kufuatia  sakata  la  Flora  Mbasha  na  mumewe  likumuhusisha  moja  moja  kiongozi  wa  kiroho  Mchungaji  Gwajima, habari  tulizozipata  ni  kwamba  mchungaji  huyo  amekimbia  nchi.... Habari  toka  chanzo  cha  kuaminika  kilichopo  ndani  ya  kanisa  la  mchungaji  huyo  ni  kuwa  Gwajima  hivi  sasa  ameshauza  karibia  robo  tatu  ya  mali  zake  na  kwamba  moja  kati  ya  magari

Kitale (Mkude Simba) amwagia sifa kedekede Riyama Ally.

$
0
0
Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja maarufu wa kijamii  nchini, mwigizaji wa vichekesho na filamu nchini, Kitale almaarufu kama Mkude Simba amemwamgia sifa kedekede mwigizaji mwigine anayefanya vizuri kwenye upande wa filamu nchini Riyama Ali kama ishara ya kuonesha upendo wake kwa mwanadada huyo.   Huku akiwa ameweka picha ya mwanadada Riyama, Kitale aliandika:   "Huyu mdada

Gazeti la MAWIO Lapelekwa Mahakamani

$
0
0
MKURUGENZI Mtendaji wa kampuni ya AP Media and Consultant Limited, Bw. Peter Keasi, amefungua shauri la madai dhidi ya Mhariri wa gazeti la kila wiki la Mawio na mwandishi wa gazeti hilo Jabir Idrissa, akidai malipo ya billioni mbili kama fidia kwa kumkashifu yeye pamoja na kampuni yake.   Kupitia kwa wakili Mhe. Alloyce Komba wa kampuni ya uwakili ya Haki Kwanza, Keasi

Magazeti ya Leo Jumatatu ya July 21 2014

$
0
0
                      Magazeti  ya  Leo  Jumatatu  ya  July  21  2014

Walimu Wenye Digrii Mbioni kufundisha Shule za Msingi.....Rais Kikwete asema kufanya hivyo si kuwashushia Hadhi bali ni Mageuzi makubwa sekta ya Elimu

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete amesisitiza nia ya Serikali kutumia wahitimu wake wa vyuo vikuu, kufundisha shule za msingi huku akiwaweka sawa kwa kuwaambia kufanya hivyo si kuwashushia hadhi.   Hatua hiyo ya walimu wenye Shahada kuanza kufundisha shule za msingi tofauti na ilivyozoeleka, chini ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 1995, ni sehemu ya mageuzi makubwa, yanayotarajiwa kufanyika katika

CCM, CHADEMA Wamgombea Dude

$
0
0
Baada ya kutangaza nia ya kugombea ubunge, staa wa sinema Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amesema anapata wakati mgumu kwa kuwa vyama vikubwa vya siasa vinamgombea..  Akizungumza na mwanahabari wetu, Dude alisema kuwa awali alikuwa agombee kupitia Chadema, lakini baadaye CCM nao kupitia kiongozi mmoja mwenye wadhifa mkubwa serikalini alimtaka agombee kupitia tiketi ya chama hicho, jambo

Ngumi Zapigwa ndani ya Kanisa la Moravian Dar.....Polisi Wapiga Mabomu, Waumini 29 Wakamatwa

$
0
0
JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, jana limelazimika kutumia mabomu ya machozi na kuwatia mbaroni waumini 29 wa Kanisa la Moravian Usharika wa Kinondoni, Dar es Salaam baada ya kutokea vurugu za waumini kanisani hapo.   Akizungumza na Majira, Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camillius Wambura, alikiri jeshi hilo kuwatia mbaroni waumini hao na kusema kuwa, taratibu

Binti aliyetumikishwa kwenye Madanguro China ahojiwa na Polisi kwa masaa 11

$
0
0
Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol), Tawi la Tanzania, limemhoji kwa saa kumi na moja binti aliyerubuniwa na kupelekwa China ambako kwa miezi mitatu alikuwa akitumikishwa kwenye madanguro nchini humo.    Siku chache zilizopita, Mwananchi liliandika mfululizo, makala kuhusu msichana Munira Mathias, (si jina lake halisi) aliyetumikishwa kwenye madanguro nchini China, baada ya

IPTL yaomba Mahakama Kuu Dar Imfunge Mdomo Kafulila

$
0
0
Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ikiomba itoe amri ya kumfunga mdomo Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR- Mageuzi), David Kafulila.    Kampuni hiyo imewasilisha maombi hayo siku chache tu baada ya kumfungulia mashtaka ya kashfa mbunge huyo kwa kuituhumu kujipatia Sh200 bilioni kutoka katika Akaunti ya Escrow ndani

Mtoto wa Miaka 8 Adaiwa Kulawitiwa na Mwendesha Boda Boda

$
0
0
Mtoto mwenye umri wa miaka nane anadaiwa kulawitiwa na jamaa aliyetajwa kuwa ni mwendesha bodaboda. Tukio hilo lilijiri hivi karibuni mjini hapa ambapo katika maelezo ya mtoto huyo wa kiume alidai kwamba, akiwa anatoka shule na mwenzake, njiani walisimama wakawa wanaokota matunda aliyoyataja kwa jina la ntalali.   Alisema ghafla mtuhumiwa alitokea na kumtaka mtoto huyo ampeleke

Kanisa Lafungwa baada ya Mchungaji wa kanisa hilo kufumaniwa Live na Mke wa Mtu akijiandaa kungonoka naye Ndani ya Kanisa

$
0
0
Mwanzoni  mwa Mwezi  July  2014, Mchungaji Michael Semeni wa Kanisa la Living Word Ministry lililopo Ukonga- Majumba Sita jijini Dar es Salaam  alifumaniwa  live  akijiandaa  kuvunja  amri  ya  sita  na  muumini  wake  ambaye  ni  mke  wa  mtu  ndani  ya  ofisi  yake. Mchungaji Semeni alinaswa akiwa na mwanamke huyo aitwaye Erizabert Kisanda, mkazi wa jijini Mwanza ambaye alifika Dar

Waumini wa Kanisa la Anglikana Temeke jana nusura WAZIPIGE wakati wa ibada

$
0
0
Kiongozi wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Askofu Dk Valentino Mokiwa.   Waumini wa Kanisa la Anglikana la Watakatifu wote Temeke, jana nusura wazipige wakati ibada ikiendelea ambapo hali hiyo ilijitokeza baada ya kusomewa barua ya utambulisho wa Padri Samweli Kilango ambaye waumini hawamtaki kwa madai ya ufujaji wa fedha.   Baada ya kusomwa barua hiyo na Katibu wa Kanisa hilo, Hamuli

Mtoto wa Miezi 7 ALAWITIWA na Baba yake Mzazi

$
0
0
Mtoto mwenye umri wa miezi saba amelawitiwa na baba yake mzazi.    Mtoto huyo alifikishwa Hospitali ya Amana katikati ya wiki iliyopita kwa maelezo kuwa ana maradhi ya kuharisha, lakini baada ya madaktari kumfanyia uchunguzi walibaini kuwa mtoto hakuwa na ugonjwa wa kuhara, bali alikuwa amelawitiwa.   Muuguzi wa hospitali hiyo ambaye hakupenda jina lake litajwe, alisema walimpokea

Maajabu ya Dawa ya JIKO katika Kumaliza na Kuponyesha Tatizo la Nguvu za Kiume

$
0
0
Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa  dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Dawa  hii iitwayo  JIKO  ni  ya  asili  kabisa  (PURE HERBAL) na inaponyesha  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za kiume

Vita ya Urais Yashika Kasi.....Walimu Waunda MTANDAO Kumuunga mkono January Makamba.

$
0
0
Moto wa uchaguzi mkuu umezidi kupamba baada ya mtandao wa walimu vijana nchini kujitokeza hadharani na kuahidi kumpigia kampeni Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba katika safari yake ya kuwania urais.    Pia, mtandao huo uliahidi kuwafanyia kampeni Makamba na vijana wenzake wote watakaojitokeza kuwania ngazi mbalimbali za uongozi bila kujali itikadi za

Vurugu ndani ya Kanisa la Moravian Dar: Waumini 29 waliotwangana NGUMI Jana Kanisani Wafikishwa Mahakamani Leo

$
0
0
Waumini wapatao 29 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni leo jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kufanya fujo hadharani katika Kanisa la Moravian lililopo Mwananyamala-Msisiri ” A” Wilaya ya Kionondoni.   Katika kesi hiyo iliyounguruma kwa muda wa saa mbilli imeelezwa kuwa Julai 20 mwaka  huu katika  kanisa hilo lililopo eneo la Mwananyamala Msisiri ‘A’ waumini  hao
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images