Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Lulu Atia Team Kwa Kina Terrence J Kuisaka Namba Ya Simu Ya Justin Bieber

$
0
0
Vile vituko vya reja reja kutoka kwa Tanzanian star actress Elizabeth Michael "Lulu" bado vinaendelea. Habari mpya zinasema kuwa juzi Lulu alienda kwenye seminar ya kuzungumza na wasanii wa Tanzania namna ya kukuza sanaa ya nchini huku watoa mada wakubwa wakiwa mastaa wa Marekani Terrence J, David Banner na Shaka Zulu...   Kwa mujibu wa vyanzo  vyetu, lengo kubwa la Lulu kuhudhuria

Kesi ya Mume wa Flora Mbasha Yapigwa Kalenda.....Bofya Hapa kuona kilichojiri Jana Mahakamani

$
0
0
Mume wa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Frola Mbasha,Mr.Emanuel Mbasha  jana alipandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashtaka mawili yanayo mkabili ya ubakaji.  Katika kesi hiyo, hakimu Wilbert Luago alilazimika kuhairisha kesi hiyo kwa muda wa nusu saa kwa hoja aliyoitoa Mbasha kwamba ana wakili wa kumtetea lakini alishindwa kufika kutokana na

Watuhumiwa 17 wa UGAIDI wafikishwa Mahakamani chini ya Ulinzi Mkali wa Magari 8 ya Magereza, FFU na Polisi-Raia

$
0
0
Watu 17 wamepandishwa kizimbani  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kujihusisha na vitendo vya ugaidi.   Washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo jana saa 7:30 mchana wakiwa chini ya ulinzi mkali.   Kulikuwa na  magari mawili ya jeshi la Magereza, magari mawili yaliyokuwa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na manne yaliyokuwa na askari

Lori laparamia klabu cha Pombe ....Laua Watano papo hapo, Watatu ni ndugu wa familia moja na wawili waliosalia ni Mume na Mke

$
0
0
Vilio na simanzi vimetalawa katika kitongoji cha Isimila old stone age cha  kijiji cha Ugwachanya wilaya ya Iringa Vijijini mkoani Iringa baada ya watu watatu kufa papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa kwa kugongwa na lori kwenye kilabu cha pombe za kienyeji.  Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo juzi jioni baada ya lori hilo

Ally Kiba Azungumzia Ugomvi wake na Diamond.....Bofya hapa kumsikiliza

$
0
0
Mtaani kumekua na stori nyingi sana zinazowahusisha mastar kutoka Kigoma Ally Kiba pamoja na Diamond Platnumz na maneno mengi yamekua ni kuhusu uhusiano wao kama wanamuziki.  Wengi wao wanasema kuwa Ally Kiba na Diamond Platnumz wana Bifu na kama lipo watu wanatamani kujua chanzo cha hilo bifu na kwa sasa kama wana mpango wowote wa kufanya kazi pamoja.   Ally Kiba kapatikana na

Irene Uwoya afunguka juu ya tuhuma za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu

$
0
0
Nyota wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya amefunguka juu ya tuhuma za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu zilizoripotiwa na mitandao mbalimbali ya habari nchini hivi karibuni.   Akizungumza exclusively nasi, Irene amesema kuwa haelewi hizo tuhuma zimetoka wapi na wala hajui aanzie wapi kuzijibu maana siyo yote yaliyoripotiwa ni kweli.   Tuhuma hizo zilidai kuwa, mwanadada huyo

Maajabu ya Dawa ya JIKO katika Kumaliza na Kuponyesha Tatizo la Nguvu za Kiume

$
0
0
Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa  dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Dawa  hii iitwayo  JIKO  ni  ya  asili  kabisa  (PURE HERBAL) na inaponyesha  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za kiume

Taarifa kamili Kuhusu tukio la HAUSIBOI aliyempasua kichwa mtoto kisha kula ubongo wake na yeye Kujikata Uume Wake

$
0
0
Asubuhi ya July 18 kutoka Moshi zilitoka taarifa za mfanyakazi wa ndani wa kiume [Houseboy] kumpasua kichwa mtoto mdogo wa darasa la 3 kisha ubongo wake kuamua kuutafuna. Baada ya kumaliza tukio hilo kilichofuata ni yeye kuukata uume  wake. Hapa utawasikiliza mashuhuda wa tukio hili pamoja na kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro  wakiliongelea  tukio  hilo  la  kusikitisha.

Wema Sepetu Amlipua Kajala, Kisa UNAFIKI

$
0
0
Wema Isaac Sepetu (25), amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.   Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani

Steve Nyerere: Natamani kuwa RAIS wa Tanzania

$
0
0
Mwenyekiti  wa  Club  ya  Bongo  Movie  Unity, Steven Mengere  'Steve  Nyerere' ndoto  yake  ni  kuwa  mmoja  wa  viongozi  wa  ngazi  ya  juu  hapa  nchini  ikiwa  ni  pamoja  na  kuwa  Rais  kwani  uwezo  wa  kuwaongoza  watanzania  anao. Akizungumza  na  Mpekuzi, msanii huyo  amesema  kuwa  kitendo  cha  kuchaguliwa  kuwa  katibu  kata  ya  Bwawani, Kinondoni  jijini  Dar es  Salaam 

Rayuu: Sikuenda KUROGA, Sumbawanga ni Nyumbani

$
0
0
Msanii  anayefanya  vizuri  katika  tasnia  ya  filamu  nchini, Alice  Bagenzi  'Rayuu'  amesema  amekuwa  akisikia  maneno  ya  chinichini  kwamba  ameenda  Sumbawanga  Kuroga.... Tetesi  hizo  za  Rayuu  kwamba  ameenda  Sumbawanga  kuroga  zimeanza  kuvuma  baada  ya  watu  kuhoji  kuwa  jina  lake  linaonyesha  yeye  ni  Mhaya, lakini  chakushangaza  amekuwa  akienda  Sumbawanga  mara

Chid Benz, Dudubaya, TID: Kama ngumi Piganeni na Matumla, Kaseba au Ckeka.... Mwanamke hapigwi, Msituachie Ngeu watoto wa wenzenu

$
0
0
Mwandishi: Joyce  Kiria. Ukatili wa kijinsia haukubaliki hata kidogo, wengine tunapambana usiku na mchana kutokomeza vitendo hivi vya Ukatili na Udhalilishaji, cha ajabu watu maarufu sasaivi wamechachamaa kuendekeza vutendo hivyo..  Mara Dudubaya kampiga Mke wake, mara Tid kamtukana RayC, Mara Chidbenz kampiga mzazi mwenzake, mara Ezden kampiga mkewe, mara Chidbenz kampiga RayC!!!!

Shilole: Ntafunga Ndoa na Mziwanda niwafunge Midomo WANAFIKI

$
0
0
Msanii  wa  maigizo  na  muziki  wa  kizazi  cha  leo, Zena  Mohammed  'Shilole'  amekuja  juu  na  kusema  anashangazwa  na  habari  zilizozagaa  mjini  kuwa  yeye  amekataliwa  ukweni.... Akiongea  na  Mpekuzi, Shilole  amesema: "Nashangaa  watu  wanasema  eti  nimekataliwa  ukweni  kisa  umri  wangu  kuwa  mkubwa  kuliko  wa  mwanaume. Ninachokijua  mimi  umri  haujalishi  katika 

CHADEMA Jimbo la Kigoma Kaskazini: Tamko kuhusu kuondoka kwa waliokuwa Viongozi ngazi ya Mkoa

$
0
0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Kigoma Kaskazini tunapenda kutoa taarifa kwa umma kutokana na sintofahamu inayotaka kulazimishwa mbele ya jamii kuhusu uimara wa chama chetu mkoani Kigoma. Tangu jana na leo kumeenea taarifa zinazowahusu watu watatu, Jaffari Kasisiko, Msafiri Wamarwa na Mama Malunga Masoud, ambao vyombo mbalimbali vya habari vimeandika kuwa wamehama

TV Station Ya Kimataifa Yamchukua VJ Penny Kutangaza Filamu Za Kitanzania.

$
0
0
Vipindi vya TV kuhusu filamu za kitanzania vinazidi kuongezeka kila siku katika harakati za kuzidi kuitangaza tasnia ya filamu Swahiliwood.  Habari mpya ni kuwa mtangazaji maarufu nchini VJ Penny soon ataonekana katika kipindi kipya kinachohusu filamu za kitanzania ambacho kitaonekana katika kituo cha kimataifa kinachoonekana nchi za Afrika mashariki na kati.   Mishe mishe za

Masogange Azianiaka Tatoo zake za Tumboni

$
0
0
VIDEO  Queen  nambari  moja  Bongo  Agness  Masogange  amepost  picha  katika  mtandao  wa  kijamii  akiwa  na  mpenzi  wake  kitandani  ambaye  hakumtambulisha  jina  wakiwa  wamejichora  tatoo  hadi  tumboni.... Masogange  ambaye  haishi  vituko  kila  siku  katika  mitandao  alitupia  picha  tofauti  zikionyesha  tatoo  zilizomo mwilini  mwake  na  kuwatakia  watanzania  Asubuhi  njema

Mr. Tanzania Amzimikia Jack Wolper......"Nakupenda Sana Kamdoli kangu"

$
0
0
Modo  wa  Tanzania  anayejulikana  kwa  jina  la  Calisah  ambaye  amewahi  kushiriki  Mr.Tanzania  2013-2014  ameandika  picha  za  kimahaba  katika  picha  za  msanii  maarufu  wa  filamu, Jackline  Wolper  'Gambe'... "Umenifanya  nisitamani  mwanamke  yeyote  katika  dunia hii.Nakupenda  sana  Wolper  Gambe  wangu  coz  i get everything  from  you.I love  you  kamdoli  kangu, kichuna 

Mabomu ya Machozi Yatumika kuwatawanya Wananchi waliovamia na kuanza kuchota mafuta kwenye lori la kubeba mafuta baada ya kupata ajali Mkoani Iringa.

$
0
0
Jeshi la polisi mkoani Iringa limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi ambao walivamia na kuanza kuchota mafuta kwenye lori la kubeba mafuta baada ya kupata ajali.    Ajali hiyo imetokea jana eneo la msitu wa serikali wa Saohil wilayani Mufindi kwenye barabara kuu ya Iringa –Mbeya ambapo watu wawili walijeruhiwa kwenye ajali hiyo.   Polisi wamelazimika kutumia mabomu

Kahaba wa Tanzania Asimulia Jinsi alivyousambaza UKIMWI kwa Maelfu ya Wanaume

$
0
0
MWANAMKE mmoja wa Kitanzania aliyefanya ukabaha kwa miaka 18 katika miji mbalimbali ya Tanzania, likiwemo Jiji Kuu la kibiashara la Dar es Salaam na mingine ya Namibia, ameibuka na kueleza jinsi alivyotenda dhambi ya kusambaza Ukimwi kwa wanaume wakware.   Licha ya kukiri kufanya hivyo, akisema kwa siku alipanga hadi wanaume watano,tena bila ya kutumia kinga akisema alidhamiria kuusambaza

Idd el Fitr kuswaliwa kitaifa Dar es Salaam.....Mgeni Rasmi ni Rais Kikwete

$
0
0
WAKATI Waislamu wakiwa ukingoni mwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, imefahamika kuwa, swala ya Idd el Fitr itafanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete.   Hayo yalisemwa juzi na Shehe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum wakati wa futari iliyoandaliwa na Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda kwa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images