Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

"WASANII TUTAZIDI KUPUKUTIKA MAANA TUNAROGANA SANA..NATAMANI KUACHA MUZIKI ILI NIYANUSURU MAISHA YANGU"....SHILOLE

$
0
0
MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, suala la wasanii wa muziki kurogana linamuumiza kichwa kiasi cha kufikiria kuachana na kazi hiyo. Akiongea na mwandishi wetu pasipo kuwataja  wabaya  wake, Shilole alisema hivi sasa ‘kesi’ za wasanii kurogana zimeshika kasi kuliko siku za nyuma na anashindwa kuelewa ni kwa nini watu wanamuasi Mungu kwa

OMMY DIMPOZ AMTANDIKA TUSI MAREHEMU NGWEA....ANADAI KUWA HAWEZI KUFA MASIKINI KAMA NGWEA NA AMECHOKA KUZIKA MASIKINI

$
0
0
KWELI asiye na adabu hakosi sababu ya kuharibu, mwenye mdomo mchafu ni ada yake kutoa neno chafu, mwanamuziki chipukizi, Omar Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amedhihirisha kuwa ana kiwango cha juu sana cha dharau kwa kumdhihaki na kumtusi mtu aliyetangulia mbele za haki. Omar Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’. Utamaduni wetu Tanzania na kama ilivyo kwa mafundisho ya dini kupitia vitabu vinne

DIAMOND PLATNUMZ AWAPONDA BARAZA LA SANAA LA TAIFA -BASATA

$
0
0
Diamond Platnumz amelishukia Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA kuwa linaurudisha nyuma muziki wa Tanzania kutokana na kutoruhusu kuanzishwa kwa tuzo zingine za muziki nchini tofauti na Kilimanjaro Music Awards... Akiongea kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM leo, Diamond amesema hatua hiyo inamfanya ahisi kuna kitu kimejificha ndani ya baraza hilo.“Kwanini Tanzania tuna tuzo moja,

VIDEO: MWANAMKE ANASWA AKIVUNJA AMRI YA SITA VICHAKANI HUKU AKIWA NA MTOTO MCHANGA MGONGONI

$
0
0
<!-- adsense --> Mwanamke  mmoja  amenaswa  akifanya  uchafu  porini  huku  akiwa  na  mtoto  mchanga  mgononi... Tukio  hilo  la  kusikitisha  liliwanasa  wawili  hao wakiridhishana  chini  ya  kichaka  huku  mtoto  mchanga  akionekana  kulia  kwa  huzuni..... Haijafahamika  mara  moja  kama  watu  hao  ni mtu  na  mume  au  ni  wazinzi  tu...!!! VIDEO  HAPO  CHINI

OBAMA AAHIRISHA SAFARI YAKE YA KUTEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA TANZANIA

$
0
0
Rais Obama ambaye ameamua kukatiza ziara yake ya kitalii Tanzania kwa ajili ya kushughulikia kwanza matatizo ya wananchi wake. Magari ya kivita 56 ambayo yatatakiwa kumsindikiza Obama katika safari yake ya kitalii Tanzania   Askari walenga shabaha watakaokuwa wanamlinda na wanyama wakali Meli ya kivita itakayokuwa ufukweni ikiwa na ndege za kivita na wafanyakazi wa dharura na wauguzi.

WATU WAFURIKA KWENYE SHOW YA LADY JAYDEE NDANI YA NYUMBANI LOUNGE

$
0
0
<!-- adsense --> Hivi ndivyo hali ilivyo ndani ya Ukumbi huu wa Nyumbani Lounge,Namanga jijini Dar es Salaam ambapo leo hii kuna bonge moja la show la Mwanadada mkongwe kwenye tasnia ya muziki hapa nchini,Lady Jay Dee ambaye anatimiza miaka 13 tangu alipoanza kazi yake ya muziki.katika show hii wanamuziki mbali mbali wamepanda jukwaani akiwepo Mh. Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini

MWANA FA AMEAMBULIA PATUPU.... HIZI NI PICHA NA VIDEO YA SHOW YAKE

$
0
0
Nilikua narudi mjini nikitokea Kigamboni kupumzisha akili. Sasa nikapita pale opposite na iFM kucheki kama Mwana FA  kala shavu. FA  katia  huruma sana. Yaani mlangoni kulikuwa na  wanafunzi wachache wa IFM ambao walikua wakiingia  kwa  bei  ya  kandambili.  Jamaa wa mlangoni walikua wakiwabembeleza watu wachukue tickets japo kwa 10,000/= lakini madent wa IFM walikomaa mpaka kwa

PICHA ZA SHOW YA LADY JAYDEE NYUMBANI LOUNGE.... WATU WALIJAA MPAKA WAKAANZA KUBEBANA

$
0
0
Mwanadada Judith Mbibo aka Lady Jaydee usiku wa kuamkia Jumamosi ya June 15 amefanikiwa kuweka historia kwenye muziki wa Tanzania kwa kulijaza eneo zima la Nyumbani Lounge alipokuwa akifanya show yake ya kuadhimisha miaka 13 tangu aanze muziki.  Katika show hiyo, Lady Jaydee amesindikizwa na wasanii mbalimbali wakiwemo Juma Nature, Sugu, Profesa Jay, Wakazi, Grace Matata na

BABA AMKANA MTOTO KISA ANA NYWELE ZA KIARABU.....MAMA AKASIRIKA NA KUMTUPA, POLISI WAMTIA MBARONI

$
0
0
Binti mmoja aliyefahamika kwa jina la Khadija Idd anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro  akidaiwa kumtupa barabarani mtoto wake mwenye umri wa miezi 6 baada ya mwanaume aliyezaa naye kumkataa. Shuhuda wetu ambaye ni dereva wa bodaboda aliyefahamika kwa jina la Shabani, alisema tukio hilo lilitokea Juni 11, mwaka huu maeneo ya Mafiga karibu na Msikiti wa Mahita ambapo

VIDEO: MAJIBU YA CHADEMA KUHUSU KAULI YA MWIGULU NCHEMBA

$
0
0
Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Mafunzo wa CHADEMA, Benson Kigaila amesema Serikali ya CCM inapanga na kutekeleza mauaji ili kutengeneza propaganda dhidi ya CHADEMA.<!-- adsense -->

WATU WATATU WAFARIKI DUNIA KWENYE MLIPUKO WA BOMU ULIOTOKEA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA JIJINI ARUSHA JIONI YA LEO

$
0
0
Uwanja wa Soweto ambapo Mkutano wa Chadema kufunga kampeni za kuwania Udiwani Kata ya Kaloleni Jijini Arusha ulikuwa unafanyika umegeuka kuwa uwanja wa vilio baada ya kinachodhaniwa kuwa bomu kulipuka na kuua watu watatu na zaidi ya 50 kujeruhiwa vibaya huku baadhi yao wakiwa wamevunjika miguu. Katika Mkutano huo walikuwapo pia Mwenyekiti wa Chadema na  Mbunge wa Arusha Mjini, Mh

TID AAPA KUMTANDIKA OMMY DIMPOZ ...KOSA NI TUSI ALOMTUKANA NGWEA.....

$
0
0
Msanii T.I.D naye ameingilia   kati  tuhuma za Ommy Dimpoz kumtukana marehemu Albert “Ngwair”    kwa  kuahidi  kumdunda  popote  atakapomuon.... Hiki ndicho  alichosema msanii TID kwenye ukurasa wake ea facebook kuhusu hilo. “Hawa watoto wadogo wanakuja na kandambili kuomba kuimba sasa hivi wanajifanya wao wanazo hela sana na kututusi sisi especially mkali wangu Albert wallahi

OMMY DIMPOZ AWAPIGIA MAGOTI WATANZANI AKIOMBA ASAMEHEWE KWA TUSI LAKE

$
0
0
Baada   ya  watanzania  kumwandama  Ommy  Dimpoz  kutokana  na  tusi  alomtukana  marehemu  Ngwea,  msanii  huyo  ameamua  kuwapigia  magoti  watanzania  na  kuwasihi  wamsamehe..... Hali  hiyo  imekuuja  baada  ya  watu  mbalimbali  kutangaza  kumsaka  Ommy  kwa  lengo  la  kumwadabisha  kwa  kumpa  kichapo   kikali... Miongoni  mwa watu  hao  ni  TID ambaye  leo  kupitia  ukurasa 

MLIPUKO WA BOMU WASABABISHA UCHAGUZI WA MADIWANI JIJINI ARUSHA USOGEZWE MBELE

$
0
0
Tume ya taifa ya Uchaguzi imesimamisha kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata nne jijini Arusha.  Akizungumza kwa njia ya simu na Radio TBC FM,kutoka Zanzibari mwenyekiti huyo wa tume ya uchaguzi alisema kuwa wameamua kusimamisha uchaguzi huo ili kuwapa nafasi vyombo vya usalama kuchunguza swala hilo. Alisema kuwa sheria inawapa mamlaka kufanya hivyo pale wanapogundua kuwa

DR. MARY NAGU ANUSURIKA KUCHOMWA MOTO NA WAFUASI WA CHADEMA

$
0
0
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu pamoja na Mbunge wa Babati Vijijini, Jitu Soni (CCM), wamenusurika kuchomwa moto na wafuasi wa Chadema usiku wa kuamkia jana. Tukio hilo lilitokea usiku wa manane, baada ya wafuasi wa Chadema, wakiongozwa na Mbunge wa chama hicho Jimbo la Karatu, Mchungaji Israel Natse, kuvamia nyumba waliyokuwa wamefikia Nagu na

BETTY NA BOLT WANASWA TENA WAKIVUNJA AMRI YA SITA NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER

$
0
0
Mu Ethiopia Betty na mu Sierra Leon Bolt wameanikwa  tena  na  camera  za  Jumba  la  big  Brother  wakivunja  amri  ya  sita. Hii  ni  mara  ya  pili  kwa  washiriki  hao  kutenda  tendo  hilo la  aibu  ndani  ya  kamera  hizo  <!-- adsense -->

HATIMAYE KIM KARDASHIAN AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

$
0
0
NI siku ya furaha kwa Kanye West! Kim Kardashian amejifungua mtoto wa kike Jumamosi asubuhi katika hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center, Los Angeles, mtandao wa OMG umethibitisha.Inasemekana Kardashian, 32, alikuwa na West pembeni mwake wakati wa kujifungua, kumkaribisha duniani binti yao mwezi mmoja kabla ya muda uliotarajiwa. Tarehe halisi ya kujifungua ilitazamiwa kuwa Julai 11."

VIDEO YA NATASHA WA MALAWI AKIPIGA PUNY*TO NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER

$
0
0
<!-- adsense --> Camera  za  jumba  la  big brother  zimeendelea  kuaanika  mambo  yanayoendelea  ndani  ya  jumba  hilo  Mashiriki  toka  Malawi  amekuwa  ni  mshiriki  wa  kwanza  kuanikwa  na  camera  hizo  akijichua ( akipiga  puny**t)  bafuni.... Kuitazama  video  hiyo  ni  sharti  uwe  mtu  mzima. <<  VIDEO  YA  NATASHA>><!-- adsense -->

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TUKIO LA BOMU ARUSHA

MKASA MZIMA KUHUSU KUPIGWA KWA MBUNGE NASSARI KATIKA KITUO CHA KURA MAKUYUNI

$
0
0
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari ameshambuliwa na vijana wa Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi, Mkoa wa Arusha aliyejulikana kwa jina la Kalanga na  kulazimika kulazwa katika hopitali ya Selian Mkoani Arusha katika fujo zilizotokea katika kituo cha kupigia kura cha Zaburi, kata ya Makuyuni, Wilaya ya Monduli mkoani Arusha. Akizungumza kutoka
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images