Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Askari wa Jeshi la Wananchi ( JWTZ ) afariki dunia mazoezini Mlima Kilimanjaro.....Mwingine Asagika Mguu

$
0
0
Ofisa mmoja wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) amefariki dunia na mwingine amesagika mguu baada ya mawe kuporomoka wakati wakipanda Mlima Kilimanjaro katika mazoezi.    Wanajeshi hao ni miongoni mwa maofisa 263 wa JWTZ waliopanda mlima huo mrefu kuliko yote barani Afrika kwa makundi kuanzia Julai 12, mwaka huu kupitia njia ya Rongai iliyopo wilayani Hai.   Habari za

Magazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 17 July 2014

$
0
0
                    Magazeti  ya  Leo  Alhamisi  ya  Tarehe  17  July  2014

Mwanamke aliyeiba Mtoto huko Sumbawanga ili kulinda Ndoa Yake Ahukumiwa Mwaka mmoja Jela

$
0
0
Mkazi wa kijiji cha Kisumba, Manispaa  ya Sumbawanga, Halima Nambeya (18)  ametupwa jela mwaka mmoja na Mahakama ya wilaya ya Sumbawanga baada ya kukiri kosa la kuiba mtoto mchanga  wa kiume  kwa lengo la  kulinda ndoa yake  ili  asiachike  kwa kukosa mtoto.   Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Frednand Rwegasira  alisema mtuhumiwa huyo alimuiba mtoto  huyo  katika eneo la Jangwani

Njaa Yamliza Baby Madaha......Akesha akiomba mwezi mtufuku wa Ramadhani Uishe haraka

$
0
0
Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amesema kuwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani umembana kiuchumi kwani kumbi nyingi za starehe zimefungwa kwa hiyo anashindwa kupata pesa.   Akiongea  na  mwandishi wetu, Baby Madaha alisema kwa upande wake michongo yake mingi ya hela anaipata kupitia kumbi za starehe hivyo kwa sasa fedha haingii kabisa.   “Naomba Mwezi

Mganga wa Jadi anaswa Gesti na Wake za Watu......Alikuwa akiwatengenezea dawa kwa kuwavua Nguo Zote Kisha kuwachezea Nyeti zao

$
0
0
Mume  na  Mke  wakizozana. ************ Mganga wa jadi almaarufu sangoma aliyetajwa kwa jina la Wadebi Jinasa amepata aibu ya karne baada ya kunaswa ‘live’ na wake za watu kwenye gesti moja (jina linahifadhiwa) iliyopo Tandika jijini Dar es Salaam.   Tukio hilo la aina yake lilijiri maeneo hayo, usiku wa manane wa kuamkia Jumanne iliyopita, wakati waumini wa Dini ya Kiislamu

Rais Kikwete aandaa Futari kwa Viongozi wa Dini ya Kiislamu Ikulu Dar es Salaam

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na  viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu  katika futari aliyowaandalia ikulu jijini Dar es salaam. Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaza sauti) akiongoza dua katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu

Waziri Makalla aonja Joto ya Jiwe Ubungo......Mkutano wavunjika baada ya wafuasi wa CHADEMA na CCM kushikana mashati mbele yake

$
0
0
NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla, ameondolewa chini ya ulinzi wa polisi katika mkutano wa hadhara baada ya kuibuka kwa vurugu zilizotokana na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wale wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).   Vurugu hizo zilizoambatana na kutoleana maneno ya kejeli na kuvutana mashati zilidumu kwa takribani dakika 30 na zilitokana na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya

UNYAMA: Bibi Kizee Auawa kikatili kwa Kucharangwa Mapanga huko Shinyanga

$
0
0
Na Kadama Malunde-Shinyanga Mwanamke mmoja aitwaye Milembe Masanja(50) mkazi wa kitongoji cha Muhida kijiji na kata ya Busangi wilayani Kahama mkoani Shinyanga ameuawa kikatili kwa kucharangwa mapanga kichwani  na   kukatwa mikono yote miwili na watu wawili waliokodishwa na familia moja kutekeleza mauaji hayo. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo na kamanda wa polisi

Flora Mbasha na Mumewe HAWAJAPATANA

$
0
0
Imebainika  kwamba  waimbaji  wa  muziki  wa  Injili  nchini, Flora Mbasha  na  mumewe, Emmanuel  Mbasha  hawajapatana  kama ilivyodaiwa  awali  na  taarifa  zinasema  kuwa  mwanadada  huyo  ameanza  maisha  yake  kivyake  kwa  kupanga  nyumba  nyingine  mbali  na  mumewe.... Habari  za  kuaminika  toka  ndani  ya  familia  ya  Flora  zinasema  kuwa  msanii  huyo  amekuwa  na  wakati mgumu

Makalio ya Koleta Yadatisha Watu Mlimani City

$
0
0
Msanii wa filamu, Coletha Raymond ‘Koleta’ hivi karibuni aliibua gumzo maeneo ya Mlimani City jijini Dar kutokana na kivazi alichokuwa amevaa huku makalio yake yakionekana kuongezeka kwa kiasi kikubwa.   Tukio hilo lilitokea juzikati wakati  Koleta alipokuwa akitoa kwenye lango kuu kuelekea ilipo ‘parking’ ya magari akiwa na mwanaume aliyeonekana kama mpenzi wake. Wakiwa katika eneo

Linah Aiga Rasmi THT

$
0
0
Mwanamuziki ambaye ni zao la Jumba la Vipaji Tanzania ‘THT’ Estalina Sanga ‘Linah’ ameaga rasmi jumba hilo ambapo inadaiwa kwa sasa atakuwa chini ya Kampuni ya No Fake Zone ‘NFZ’ inayoendesha shughuli zake nchini Afrika Kusini.  Akizungumza na Mwanahabari wetu msemaji wa kampuni hiyo aliyewahi kushiriki Shindano la Big Brother Africa 2003, Abergail Brigette Plaatjies ‘Abby’ alisema

Magazeti ya Leo Ijumaa ya Tarehe 18 July 2014

$
0
0
                                Magazeti  ya  Leo  Ijumaa  ya  Tarehe  18  July  2014

Lulu Atia Team Kwa Kina Terrence J Kuisaka Namba Ya Simu Ya Justin Bieber

$
0
0
Vile vituko vya reja reja kutoka kwa Tanzanian star actress Elizabeth Michael "Lulu" bado vinaendelea. Habari mpya zinasema kuwa juzi Lulu alienda kwenye seminar ya kuzungumza na wasanii wa Tanzania namna ya kukuza sanaa ya nchini huku watoa mada wakubwa wakiwa mastaa wa Marekani Terrence J, David Banner na Shaka Zulu...   Kwa mujibu wa vyanzo  vyetu, lengo kubwa la Lulu kuhudhuria

Miili zaidi ya 100 yaokotwa baada ya ndege ya Malaysia 'Kutunguliwa' Ukraine

$
0
0
Mabaki ya miili zaidi ya 100 yameokotwa jirani na eneo ilipoanguka ndege ya Malaysian Airlines kule Grabovo jirani na mpaka wa Ukraine na Urusi .    Reuters iliripoti mapema Alhamisi kuwa ndege hiyo yenye namba MH17 ilianguka jimboni Donetsk ikiwa njiani kuelekea Kuala Lumpur ikitokea mjini Amsterdam, Uholanzi.   Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa ndege hiyo ‘imetunguliwa’ na aidha

Trafiki 27 Watimuliwa Kazi kwa Rushwa

$
0
0
PICHANI: Askari trafiki wakiwa kazini katika moja ya mitaa ya Dar es Salaam. Askari  27 wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani wamefukuzwa kazi ndani ya kipindi cha miezi sita kutokana  na kujihusisha na  makosa ya rushwa.   Kikosi hicho ambacho kimeonya dhidi ya unyanyasaji na ushawishi wa rushwa kwa waendesha pikipiki (bodaboda), kimesema mikakati ya uchunguzi na upelelezi

Kesi ya Mume wa Flora Mbasha Yapigwa Kalenda.....Bofya Hapa kuona kilichojiri Jana Mahakamani

$
0
0
Mume wa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Frola Mbasha,Mr.Emanuel Mbasha  jana alipandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashtaka mawili yanayo mkabili ya ubakaji.  Katika kesi hiyo, hakimu Wilbert Luago alilazimika kuhairisha kesi hiyo kwa muda wa nusu saa kwa hoja aliyoitoa Mbasha kwamba ana wakili wa kumtetea lakini alishindwa kufika kutokana na

Watuhumiwa 17 wa UGAIDI wafikishwa Mahakamani chini ya Ulinzi Mkali wa Magari 8 ya Magereza, FFU na Polisi-Raia

$
0
0
Watu 17 wamepandishwa kizimbani  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kujihusisha na vitendo vya ugaidi.   Washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo jana saa 7:30 mchana wakiwa chini ya ulinzi mkali.   Kulikuwa na  magari mawili ya jeshi la Magereza, magari mawili yaliyokuwa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na manne yaliyokuwa na askari

Lori laparamia klabu cha Pombe ....Laua Watano papo hapo, Watatu ni ndugu wa familia moja na wawili waliosalia ni Mume na Mke

$
0
0
Vilio na simanzi vimetalawa katika kitongoji cha Isimila old stone age cha  kijiji cha Ugwachanya wilaya ya Iringa Vijijini mkoani Iringa baada ya watu watatu kufa papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa kwa kugongwa na lori kwenye kilabu cha pombe za kienyeji.  Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo juzi jioni baada ya lori hilo

Vigogo 6 Wanaoutafuta Urais ndani ya CCM Watishwa tena.....Yadaiwa wakibainika Watapoteza Sifa ya kugombea nafasi hiyo 2015, Kamati kuwajadili tena Agosti mwaka huu

$
0
0
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitawapima mwezi ujao Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe ili kujua ni kwa kiasi gani wametekeleza masharti yatokanayo na adhabu wanazotumikia kutokana na kukiuka kanuni na taratibu za chama hicho kwa kutangaza kabla ya wakati juu ya nia yao ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu 2015.

Ally Kiba Azungumzia Ugomvi wake na Diamond.....Bofya hapa kumsikiliza

$
0
0
Mtaani kumekua na stori nyingi sana zinazowahusisha mastar kutoka Kigoma Ally Kiba pamoja na Diamond Platnumz na maneno mengi yamekua ni kuhusu uhusiano wao kama wanamuziki.  Wengi wao wanasema kuwa Ally Kiba na Diamond Platnumz wana Bifu na kama lipo watu wanatamani kujua chanzo cha hilo bifu na kwa sasa kama wana mpango wowote wa kufanya kazi pamoja.   Ally Kiba kapatikana na
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images