Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Joyce Kiria Atukanwa baada ya kuingilia Sakata la Flora Mbasha na Mumewe

$
0
0
Mtangazaji anayejihusisha zaidi na mambo ya haki za wanawake Bongo, Joyce Kiria amenangwa na watu mbalimbali mitandaoni kwa kile kinachoonekana kuingilia sakata la mwimbaji wa Injili nchini, Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha, akionekana zaidi kumtetea Flora. Mmoja wa watoa maoni katika mtandao wake aliandika: “Joyce acha kujidhalilisha, huoni kama unapoteza utu wako? Naanza

Semina Muhimu toka RafikiElimu Foundation......Hii si ya kukosa, Bofya Hapa kwa maelezo zaidi

$
0
0
Taasisi  ya  RafikiElimu  FOUNDATION  kupitia MRADI  WA  WANAWAKE  SALAMA  TANZANIA  inapenda  kuwaalika  wanawake  wote  waishio  jijini  Dar  Es  salaam  kushiriki  katika   SEMINA  YA  UTENGENEZAJI  WA  VYAKULA –LISHE.   Mafunzo  yatakayo  tolewa  katika  semina  hii, ni  pamoja  na  UANDAAJI, UTENGENEZAJI  NA  UTAYARISHAJI  WA  VYAKULA-LISHE  MAALUMU  KWA  WAGONJWA  NA  WATU  WANAO 

Unataka kuongeza mwili au unene? Unataka kutengeneza shape ya mwili wako kwa kutumia lishe asilia ? Kama jibu ni ndio basi BOFYA HAPA.

$
0
0
Je ! Unataka  kuongeza  mwili  au  unene?  Unataka  kutengeneza  shape  ya  mwili  wako  kwa  kutumia  lishe  asilia  bila  kulazimika  kutumia  madawa  yenye  kemikali ? Kama  jibu  ni  ndio  basi  hii  ni  habari  njema  sana  kwako.   Neema  Herbalist &  Nutritional  Foods  Clinic  ni  kituo  cha  tiba  asilia  na  vyakula-lishe. Tunapenda  kuwafahamisha  wateja  wetu  kuwa  tunayo

Mbunge ataka Arusha iwe kanda maalumu ya Kipolisi

$
0
0
Mbunge wa viti maaluma Arusha Catherine Magege ameiomba serikali kuanzisha kanda maalumu ya kipolisi kwa jiji la Arusha ili kuimarisha ulinzi ambao umekuwa ukizorota siku hadi siku huku maisha wa wakazi wake yakiwa hatarini. Kufuatia mfululizo wa mabomu baadhi wa kazi wa jiji la Arusha wameiomba serikali kuingilia kati swala hilo kwa kuwa watu wamekuwa na hofu ya kushiriki katika

Ray C amjibu TID baada ya kumtukana Matusi ya Nguoni

$
0
0
Ray C ambaye hivi sasa ameanzisha Ray C Foundation iliyojikita katika kusaidia watu walioathirika na matumizi ya madawa ya kulevya amemjibu msanii mwenzake TID kufuatia matusi aliyomporomoshea kupitia Instagram siku  kadhaa zilizopita.   Ray C amepost instagram ujumbe unaowajuza mashabiki wake kuhusu hali ya mama yake aliyekuwa mgonjwa na kisha akayajibu ya TID.   “Hi everyone!!!Asanteni

Taswira za Majeruhi wa bomu la Arusha wakiwa Hospitali ya Selian

$
0
0
Baadhi ya majeruhi wakiwa katika hospitali ya Rufaa ya Selian mkoani Arusha wakipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu kwenye mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine uliopo karibu na Mahakama Kuu jijini Arusha usiku wa kuamkia Julai 7, mwaka huu.   Katika mlipuko huo, watu nane walijeruhiwa vibaya huku mmoja akikatwa mguu baada ya kuumia sana.  

Argentina Watinga Fainali, Kumenyana na Ujerumani Jumapili hii

$
0
0
Argentina wakishangilia baada ya kutinga fainali kwa ushindi wa penalti 4-2. Lionel Messi akijaribu kumtoka Nigel de Jong wakati wa mtanange huo. Nahodha wa Uholanzi Robin van Persie akimiliki mpira dhidi wa wachezaji wa Argentina. Mshambuliaji wa Uholanzi, Arjen Robben akifanyiwa madhambi na beki wa Argentina, Martin Demichelis. Mashabiki wa Argentina wakipozi kabla ya mtanange huo.

Magazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 10 July 2014

$
0
0
              Magazeti  ya  leo  Alhamisi  ya  tarehe  10  July 2014

Diamond Amliza Mama yake.....Wema Sepetu afanya kazi ya Ziada kumbeleleza

$
0
0
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefanya tukio la kihistoria kiasi cha kumliza mama yake mzazi, Sanura Kassim ambaye alimwaga machozi kama mtoto mbele za watu.   Tukio la mama Diamond kumwaga machozi lilishuhudiwa na kamera za Amani, juzi Jumatatu, mishale ya saa mbili usiku nyumbani kwake, Sinza jijini Dar es Salaam ambako kulikuwa na ‘bethidei’ ya mama huyo.

Rais Kikwete Amuasa January Makamba....Amtaka asilazimishe kugombea Urais Mwakani kwa sababu wakati ukifika Atapata, Amtaka akubali ushauri wa wazee.

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete amezungumzia nia ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba kutaka kuwania urais mwakani, akisema mwanasiasa huyo kijana “anataka mambo makubwa, lakini hajamshirikisha”.    Hii ni mara ya kwanza kwa Rais Kikwete kutoa maoni yake kuhusu wanachama wa CCM wanaotaka kuwania urais, baada ya chama hicho kuwaonya makada sita kwa tuhuma za

Alshabab waishambulia Ikulu ya Somalia

$
0
0
Wanamgambo wa Alshabab walijipenyeza katika eneo la ikulu ya Somalia yenye ulinzi mkali na kufanya mashambulizi Jumanne iliyopita ikiwa ni wiki moja baada ya kulishambulia bunge la nchi hiyo.   Maafisa wa Somalia wamesema wakati wa shambulizi hilo, ulinzi ulikuwa umeimarishwa vya kutosha na rais Hassan Sheikh Mohamud na familia yake walikuwa salama ingawa wavamizi hao walilipua

FIFA yatangaza kifungo cha soka kwa Nigeria

$
0
0
Shirikisho la soka duniani FIFA, limeliangushia rungu la adhabu shirikisho la soka nchini Nigeria NFF, baada ya viongozi wa serikali ya nchi hiyo kushindwa kutimiza masharti waliyopewa tangu mwishoni mwa juma lililopita.   FIFA wameichukulia hatua Nigeria kwa kulifungia kwa muda usiojulikana shirikisho la soka nchini humo, kutokana na viongozi wa Serikali kuingilia mambo ya soka hatua

Sio Siri Tena ..... Diana Kimaro Na Manaiki Sanga Katika Dimbwi Zito La Kimapenzi.

$
0
0
Mastaa wa filamu nchini Diana Kimaro na Manaiki Sanga ni wapenzi. Juzi zilipenyezewa habari kuwa Manaiki anatoka na Diana Kimaro na kwasasa wameshibana vya kutosha kila mtu yupo hoi kwa mwenzake kama mlenda. Uzuri ni kuwa wakati udaku huo ukipenyezwa Manaiki mwenyewe alikuwepo eneo hilo ambapo wasanii kadhaa walikuwa wakifuturu pamoja hivyo haraka sana tukampiga swali la moto Manaiki

Irene Uwoya Na Jaguar Wadaiwa Kukutana Faragha Nchini Kenya, Minong'ono Yaanza

$
0
0
Latest news zinasema kuwa star wa filamu nchini Irene Uwoya amekutana faragha Nairobi, Kenya na star mwenzake wa muziki toka nchini humo Jaguar.  Chanzo kimoja kilicho karibu na Uwoya kikizungumza nasi  kimesema kuwa wawili hao kuna deal wanafikiria kufanya pamoja lakini hana uhakika mpaka sasa ni deal gani "Uwoya na Jaguar wamekutana faragha kuna issue zao wana-talk ila sijui ni

Basi la Amani lapata Ajali maeneo ya Salanda mkoani Tabora, mtoto mmoja Afariki Dunia

$
0
0
Basi la Amani Express likitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam limepata ajali usku wa kuamkia leo maeneo ya Salanda mkoani Tabora, ambapo mtoto wa miaka mitatu amepoteza maisha na abiria kadhaa wamepata majeraha. Mashuhuda wanahisi kuwa  chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi. Pichani abiria wakitafuta vitu vyao  Abiria wakiendelea kutafuta vitu vyao Baadhi ya abiria walionusurika katika

Walimu Wauana Mkoani Dodoma kwa Ugomvi wa Sh. 1000 ya bili ya Umeme.....Walikuwa ni marafiki waliokuwa wakiishi nyumba moja na kufundisha shule moja

$
0
0
JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Hombolo Justus Jackson (28) kwa tuhuma ya kumuua mwalimu mwenzie kwa kukataa kulipa sh. 1,000 ya bili ya umeme aliyo takiwa kuchangia marehemu. Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, David Missime amemtaja mwalimu aliyeuwawa kuwa ni Fredy Ndahani (29) mwalimu wa shule ya Hombolo. Misime amesema walimu hao wote

VJ Penny Achumbiwa.....Sasa kuanza Maisha Mapya baada ya kutemana na Diamond

$
0
0
Mtangazaji maarufu nchini VJ Penny ambaye alikuwa mpenzi wa Diamond Platnumz amechumbiwa.  Kupitia Instagram Penny ameweka picha akiwa amevaa pete ya uchumba  na  kuandika  ujumbe  huu: “Road trip ….site her we come…cc @halimakimwana1.”  Pia juzi  tulisikia   kuwa Penny amechumbiwa ingawa hatukupata habari kwa kina mpaka Penny mwenyewe alipoweka picha Instagram  akiwa  amevaa  pete  ya

Bodaboda wahoji dhana ya wao kujiajiri

$
0
0
Waendesha bodaboda Jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, jana wamehoji ipo wapi dhana ya wao kujiajiri, huku mamlaka ya mkoa na jiji hilo zikiwazuia kuingia na abiria kwenye maeneo ya katikati ya jiji la Dar es Salaam. Akizungumza na East Africa Radio, Afisa Habari wa Jumuiya ya wendesha Bodaboda jijini Dar es Salaam Bw. Abdallah Bakari amemuomba rais Jakaya Kikwete kuingilia kati

Vanessa Mdee azungumzia uwezekano wa kushiriki Big Brother, ampendekeza Raheem Da Prince wa Times FM

$
0
0
LEO July 11  ndo siku ambayo usaili wa kuwatafuta washiriki watakaoiwakilisha Tanzania katika reality show ya Big Brother nchini Afrika Kusini utaanza kufanyika.  Mara nyingi zinapokaribia siku za usaili mashabiki mbalimbali huweka ubashiri wao wa mastaa ambao wanadhani wanafaa kwenda kutuwakilisha.  Vanessa Mdee ni miongoni mwa mastaa mabao walitajwa na baadhi ya watu kuwa anaweza

Rose Ndauka Amkimbia Mumewe

$
0
0
Staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka hivi karibuni aliamua kumkimbia mumewe Malick Bandawe, kisa mfungo wa Ramadhani ambapo sasa anaishi Kigogo na mama yake mzazi.  Akipiga stori na mwanahabari wetu, Rose alisema amelazimika kwenda nyumbani kwao ili kumpisha mumewe atimize nguzo hiyo ya Uislam bila kipingamizi kutokana na kutokufunga ndoa.   “Mimi sifungi hivyo nimeona pia ni
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images