Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Jack Wolper alia na Ulawiti

$
0
0
Wakati  sheria  ikizidi  kuwatia  hatiani  wale  nguli  wa  kulawiti  watoto, staa  wa  bongo  movie, Jackline  Wolper  amesema  kuwa  hata  kwa  upande  wake  huwa  anasikitishwa  na  vitendo  hivyo  kwani   kufanya  hivyo  ni  kuwatia  doa  katika  maisha  yao...... Staa  huyo  alisema  kuwa  kitendo  cha  kulawiti  mtoto  ni  cha  kinyama  na  kwamba  haoni  sababu  ya kucheka  na 

Waliomuua Sista Kapuri wa Kanisa Katoliki wakamatwa.....Yumo dereva wa Boda boda wa Tabata, walioiba mamiliono Barclays nao wanaswa

$
0
0
JESHI la Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia watu nane wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi sugu. Wawili kati yao wanahusishwa na tukio la kuuawa kwa Sista Cresencia Kapuri (50) wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam katika Parokia ya Makoka.   Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi Dar es Salaam, Suleiman Kova alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari, jana.

Usultani waitesa CHADEMA....Samson Mwigamba aibuka tena, ampongeza Msajili....Katibu na viongozi 9 wa kata waachia ngazi

$
0
0
TUHUMA za ubabe na usultani wa baadhi ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), bado umeendelea kukitesa na kukipasua vipande chama hicho.    Hatua hiyo imetokana na baadhi ya viongozi, akiwemo Mwenyekiti wake Taifa, Freeman Mbowe, kupigwa ‘stop’ kuwania tena nafasi hiyo baada ya kubainika Katiba ya CHADEMA imechakachuliwa ili kuondoa kipengele cha ukomo wa viongozi.

Lowassa aweka wazi utajiri wake.....Azungumzia Kuhusu Afya yake, Bomu la Ajira na sababu za kwenda kwa TB Joshua

$
0
0
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema madai kwamba yeye ni tajiri hayana ukweli wowote. Amesema yeye ni mfugaji na anamiliki ng’ombe zaidi ya 800 katika Jimbo la Monduli, mkoani Arusha.    Lowassa alisema hayo katika mahojiano maalumu yaliyofanyika ofisini kwake wiki iliyopita mjini Dodoma.    “Haya madai hayana hata chembe ya ukweli hata kidogo, isipokuwa mimi nadhani

Taarifa kuhusu ndege iliyodondoka alfajiri ya July 02 Kenya

$
0
0
Taarifa kutoka Kenya zinaarifu watu wanne waliokua kwenye ndege iliyokua ikipaa kutoka uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta Nairobi kuelekea Mogadishu Somalia wamefariki dunia baada ya Ndege hiyo kuanguka katika eneo la Utawala dakika chache baada ya kupaa.   Ajali hiyo imetokea alfajiri ya July 02 na inaaminika kwamba ndege hiyo ilikua iondoke mapema kusafirisha zao la Mirungi na bidhaa

Diamond kuachia video mbili kwa mpigo, ni tofauti na alizowahi kufanya

$
0
0
Diamond Platinumz ametangaza kupitia Instagram kuwa ataachia video mbili kwa mpigo ikiwa ni siku chache baada ya kumalizana na BET Awards 2014.   Mashabiki wake wategemee kuona video mbili kwa wakati mmoja ambazo ni moja ya wimbo aliofanya na mkali wa Kukere, Iyanya wa Nigeria, na nyingine ya wimbo wenye asili ya ngoma za kitanzania Kitorondo aliyoipa jina la MdogoMdogo.   Diamond

Loveness Diva aendeleza sifa za Kijinga

$
0
0
Mtangazaji  maarufu  wa  Clouds  Fm  Loveness  Diva  ameposti  picha  katika  account  yake  ya  Instagram  akiwa  ameuanika  mwili  wake  wote  kwa  jamii.... Mtangazaji  huyo  ameamua  kujidhalilisha  tena  bila  kujali  nafasi  yake  ya  kazi  kwa  kile  kinachoelezwa  kuwa  ni  kutafuta  kick.... Mashibiki  wengi   hasa  Followers  wake  wamemuelezea  mtangazaji   huyo    kama  mtu

Unataka kuongeza mwili au unene? Unataka kutengeneza shape ya mwili wako kwa kutumia lishe asilia ? Kama jibu ni ndio basi BOFYA HAPA.

$
0
0
Je ! Unataka  kuongeza  mwili  au  unene?  Unataka  kutengeneza  shape  ya  mwili  wako  kwa  kutumia  lishe  asilia  bila  kulazimika  kutumia  madawa  yenye  kemikali ? Kama  jibu  ni  ndio  basi  hii  ni  habari  njema  sana  kwako.   Neema  Herbalist  &  Nutritional  Foods  Clinic  ni  kituo  cha  tiba  asilia  na  vyakula-lishe. Tunapenda  kuwafahamisha  wateja  wetu  kuwa  tunayo

Ripoti: Oscar Pistorius yuko kwenye hatari ya Kujiua

$
0
0
Ripoti ya wanasaikolojia inaeleza kuwa mwanariadha Oscar Pistorius yuko kwenye hatari ya kujiua kwa kuwa ana matatizo makubwa ya kisaikolojia hivi sasa.   Ripoti ambayo ilisomwa na mwanasheria wa upande wa utetezi inaeleza kuwa Ocar Pistorius alikuwa akiombeleza kifo cha girlfriend wake Reeva Steenkamp aliyemuua kwa kumpiga risasi.   Hata hivyo ripoti ya Jumatatu ya madaktari iliyosomwa

Balozi wa Libya Tanzania ajiua kwa Risasi

$
0
0
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania leo imepokea taarifa kutoka ubalozi wa Libya nchini ikieleza kuwa aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya Bw. Ismail Nwairat, amefariki dunia jana kwa kujipiga risasi.   Taarifa hiyo ya ubalozi imeeleza kuwa kifo hicho kimetokea majira ya saa saba mchana ofisini kwa Kaimu Balozi huyo katika jengo la Ubalozi wa Libya ambapo

Majambazi yashambulia kwa Risasi Gari la Magereza jijini Dar likiwa na wafungwa ndani .....Shuhuda asimulia tukio zima

$
0
0
Kwa mujibu wa mdau aliyeshuhudia tukio lote hilo live anatupasha:   Ishu ilikuwa hivi, kuna gari ndogo ilikuwa inatokea njia ya Kawe kwenda Shopperz au ilikuwa inaelekea mjini kwa kutumia hii njia ya Mwai Kibaki road. Hiyo gari ndogo ilipofika Maeneo ya Million Hairs Salon jirani kabisa na Regency park hotel ikakwama kwenye foleni ndefu sana. Nyuma ya hiyo gari ndogo kulikuwa na

Rais Kagame azungumzia uhusiano kati ya Rwanda na Tanzania.....Asema Rwanda na Tanzania ni mataifa ndugu na yataendelea kuwa ndugu

$
0
0
Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema kwamba Rwanda na Tanzania ni mataifa ndugu na yataendelea kuwa ndugu kwa sababu yanachangia undugu huo.  Rais Paul Kagame ameyasema hayo mjini Kigali kwenye kikao na waandishi wa habari. Hata hivyo ameonya kwamba Rwanda itapambana na yoyote anayeshirikiana na FDRL. Amesema dunia hii ni ya ajabu maana inawasikiliza na kuwatunza wauaji halafu

Mwanamke aliyemtesa Hausigeli ( binti wa kazi ) kwa miaka miwili naye Ahenyeshwa......Wananchi washangilia

$
0
0
Mwanamke Yasinta Rwechengura, mkazi wa Boko wilayani Kinondoni, Dar anayekabiliwa na kesi ya kutuhumiwa kumtesa hausigeli wake kwa miaka miwili (siku 730), amejikuta akihenyeshwa mahakamani. Hayo yamemkuta juzi alipofikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya Kinondoni kujibu tuhuma zinazomkabili ambapo alikuwa akipokea amri kutoka kwa askari na kumfanya kukosa raha

Picha ya Diamond akiwa na MBWA Yazua Kasheshe

$
0
0
Diamond Platinumz ambaye jina lake halisi la dini ya kiislamu ni Naseeb Abdul ameshambuliwa Instagram na baadhi ya mashabiki baada ya kupost picha akiwa beach huko ughaibuni huku ameshikilia kamba iliyomfunga mbwa.   Mashabiki wengi walimshambulia wakielekeza point yake kwenye suala la imani ya dini ya kiislamu huku wakiunganisha tukio hilo na mwezi mtukufu wa Ramadhani.  

Magazeti ya Leo Ijumaa ya tarehe 4 July 2014

$
0
0
                          Magazeti  ya  Leo  Ijumaa  ya  tarehe  7  July  2014

Jeshi lasema hakuna Kuruta anayekufa kwa ukatili akiwa katika mafunzo ya JKT

$
0
0
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limekanusha taarifa zilizosambazwa kuwa vijana wa mujibu wa sheria, wanaoendelea na mafunzo katika kambi  za JKT, kuwa wanakufa kwa ukatili.   Hayo yalisemwa jana na Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania  (JWTZ),  Luteni Kanali Erick Komba wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.   Alisema taarifa hizo potofu zimesambazwa kwa

Lulu Michael aanika UPAJA nje kuwatega Wanaume

$
0
0
GAUNI alilovaa msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael hivi karibuni alipokuwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Watu limeonesha kuwatega wanaume hasa wakware kufuatia kuuanika ‘upaja’ wake.   Akiwa ndani ya Ukumbi uliopo ndani ya Hoteli ya Serena, Posta jijini Dar, Lulu alionekana amevalia gauni refu lakini pembeni likiwa na mpasuo mkubwa ambapo kila alipokaa, mapaja yake

SabaSaba: Wasanii wa 'Original Comedy' wageuka wahudumu wa Mgahawa waliouanzisha

$
0
0
Maonesho ya 38 ya sabasaba yanaendelea katika eneo la Sabasaba, Dar es Salaam. Makampuni, vikundi na watu mbalimbali wamefika kwa wingi kuonesha bidhaa zao kwa mtindo utakaowawezesha kuwa karibu zaidi na wateja wao.   Kundi la Ucheshi la ‘Original Comedy’ linaloundwa na wachekeshaji kama Joti, Masanja Mkandamizaji, Wakuvanga, Mpoki na Mack Regani limeanzisha mgahawa halisi kwenye

Jokate Mwegelo APANGUA tuhuma za kuvunja ndoa ya Dida

$
0
0
Mtangazaji wa Kipindi cha The One Show, Jokate Mwegelo ‘Jojo’ amefunguka kuwa hahusiki na kuvunjika kwa ndoa ya Khadija Shaibu ‘Dida’ kwani ni mshikaji wake na wanaheshimiana.   Akijibu tuhuma kuwa, yeye anahusika na kuparaganyika kwa ndoa hiyo kufuatia ‘ku-fall in love’ kwa mume wa Dida, Edzen Jumanne ambaye ni mtangazaji mwenzake, Jokate alisema:   “Yaani watu wanapenda kuungaunga

Undani wa Bomu lililolipuka jijini Arusha, Idadi ya Waliojeruhiwa pamoja na Kauli ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kuhusiana na tukio hilo

$
0
0
Watu wanane, wanne wakiwa wa familia moja, wamelipuliwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu na kujeruhiwa vibaya wakati wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine, jijini Arusha.   Mgahawa huo ulioko mtaa wa Uzunguni jirani na Mahakama Kuu, Kanda ya  Arusha, ulilipuliwa  saa 4.30 usiku wa kuamkia jana.   Tukio hilo limekuja siku nne tangu Shehe na
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images