Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

RC Makonda afunguka: "Niliomba familia iniondoe kwenye ratiba, Mungu akinipa kibali nitasema".

$
0
0
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesema kwamba kutokana na uchungu alioupata wa kuondokewa na 'kaka' yake Ruge Mutahaba, alikosa hata cha kuzungumza kwa jamii, na kuitaka familia kumtoa kwenye ratiba ya kuongea.

Akizungumza kwenye tukio la kuaga mwili wa marehemu Ruge Mutahaba katika ukumbi wa Karimjee, Paul Makonda amesema kwamba alipata wakati mgumu sana kutokana na taarifa za kifo cha Ruge, hivyo walipomwambia yupo kwenye ratiba ya kutoa salam za rambi rambi, aliomba familia isimuweke kwani hana cha kuongea, na kufikia hatua ya kukesha akimuomba Mungu ampe neno la kuongea ambalo mpaka sasa hajajua aseme nini.

“Jana wakati tunajadiliana habari ya kutoa salamu za rambirambi, kwangu nilikuwa na wakati mgumu sana kwa sababu Ruge ni zaidi ya rafiki kwangu, na familia ilikuwa inajua, nkawa natafakari nasema nini mwishowe ikafika hatua nikawaambia niondoeni kwenye ratiba, kwa sababu tangu nilipopata taarifa za kumpoteza kaka yangu Ruge, sikupata nafasi ya kusema chochote kile, si kwa sababu nilikuwa sitaki, lakini niseme nini kwa ndugu yetu mpendwa, usiku kucha nilikuwa namuuliza Mungu naenda kusema nini”, amesema Paul Makonda.

Paul Makonda ameendelea kwa kusema kwamba........  “mpaka leo nimefika hapa asubuhi, sina cha kusema, nimemsihi sana Mungu nipatie hata neno moja la kusema, lakini Mungu bado hajanipa cha kusema, Mungu akinipa kibali cha kusema atanipa na cha kusema”.

Sambamba na hilo Paul Makonda amewaomba radhi wakazi wa Dar es salaam kwa usumbufu walioupata jana wakati wakitoka kupokea mwili uwanja wa ndege, na kusema kwmaba alifanya hivyo ili kumpa heshima Ruge Mutahaba.

Nandy Amwaga Machozi....Ashindwa Kuimba Jukwaani

$
0
0
Msanii Nandy ameshindwa kuimba  cover ya wimbo wa  muimbaji wa muziki Injilj, Angel Bernald uliokuwa ukipendwa na Ruge Mutahaba.

Nandy alifanya Rimix  hiyo ya "Nikumbushe Wema Wako" wenye maneno yanayogusa, yakisisitiza wema wa Mungu wakati wa magumu.


Wimbo huo ulikuwa kati ya nyimbo bora sana kwa marehemu Ruge na akiwa hospitali ulipigwa mara nyingi sana kumfariji.



Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya March 4

Kwanini Ukate Tamaa ....Rudisha Furaha Na Heshima ya Ndoa Yako sasa

$
0
0
KWANINI UKATE TAMAA ,RUDISHA FURAHA NA HESHIMA YAKO  kwa kutumia Dawa hii hiitwayo SUPER  MUMBl, kwa ajili ya nguvu za kiume na NYAMOLO 3 MIX ni kwaajili ya kuongeza maumbile

 Kwa mwanaume aliye kamilika anatakiwa awe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya Mara mbili au zaidi hapo utamlidhisha mpenzi wako.kiume .TIBA YA TATIZO LAKO NI; Dawa hiitwayo SUPER MUMBI,(huongeza homoni za kiume ziitwazo testosterone), dawa hii ipo kwenye mfumo wa vidonge na unga wa asili ambavyo avina madhara kwa mtumiaji ambayo hutibu matatizo matatu kwa pamoja;-

1).itakufanya urudie tendo la ndoa zaidi ya Mara tatu bila kuchoka.
2).ltakufanya uchelewe kufika kileleni kwa dk.15 hadi 20 kwa tendo la kwanza.
3).lnaimarisha uume uliolegea na uliosinyaa na kuupa nguvu maradufu.

Je unamaumbile madogo pamoja na uume mfupi? NYAMORO 3 MIX ni suluisho la tatizo lako. Na ni dawa inayoboresha maumbile ya kiume kwa kunenepesha na kurefusha kwa saizi kuanzia inch. 5 hadi 8 kwa muda mfupi sana .Dawa hizi huanza kufanya kazi kwa mda wa dk.30 .

Pia ninatibu;- KISUKARI, PRESHA, MATATIZO YA UZAZI , NGIRI, PUMU, MALARIA SUGU, VIDONDA VYA TUMBO, CHANGO AINA ZOTE ,BP, NK.

IGEMEJA, ni dawa ya mvuto wa biashara,  Pia humvuta mke,Mme,hawara ,mchumba

Pia ipo dawa ya kupunguza matiti,unene ,tumbo,na kitambi ,hupunguza mafuta ,kuondoa makovu,chunusi,michilizi mwilini na kuongeza hipsi, makalio na mguu wa bia nk. Kwa maelezo zaidi wasiliana na DR,SHANGATA Anapatikana Dar es salaam-Mbagala

Simu no, 0756241666 au 0672186977
       Huduma hii utaipata popote ulipo,kwa wale mliopo nje ya Dar es salaam mtatumiwa kwa njia ya mabasi

Spika Za Masikioni Chanzo Cha Matatizo Ya Usikivu

$
0
0
Na WAMJW – Dar Es Salaam
Spika za masikioni maarufu kwa jina la “Headphones” zimetajwa kuwa chanzo kinachopeleka tatizo la usikivu hafifu kwa watu.

Hayo yamesemwa jana na Waziri mwenye dhamana ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu alipokuwa akizungumza na wananchi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila Jijini Dar Es Salaam katika kuadhimisha siku ya usikivu duniani.

Waziri Ummy amesema kuwa matumizi ya simu za kisasa yameongeza kasi ya watu kutumia spika za masikioni jambo ambalo linahatarisha kuwa na watu wengi wenye matatizo ya usikivu.

“Unakuta kijana kuanzia asubuhi mpaka jioni ameweka spika za masikioni anasikiliza muziki hawajui wanajiweka katika hatari ya kupata tatizo la usikivu” amesema Waziri Ummy na kuendelea kusema kuwa kundi la vijana liko hatariki kupata matatizo ya usikivu.

Waziri Ummy ametumia nafasi hiyo kutoa rai kwa wananchi kupunguza matumizi ya spika za masikioni ili kuweza kujikinga na matatizo ya usikivu.

“Nitoe rai kwa vijana wapunguze matumizi ya spika za masikioni kwa muda mrefu, tusipo kuwa makini tunaweza kujikuta tuna taifa lenye watu wengi wenye matatizo ya kutosikia vizuri” amesema Waziri Ummy.

Aidha, Waziri Ummy amesema kuwa tatizo la usikivu hutokea pia kwa njia mbalimbali ikiwemo kwa kuzaliwa na tatizo hilo au kulipata ukubwani kutokana na sababu nyinginezo ambazo zinaambata kwa kukaa kwa muda mrefu kwenye sehemu zenye kelele nyingi pamoja matatizo yanayoambata na afya ya sikio.

Waziri Ummy amesema kuwa ni jambo jema kuona sasa matibabu ya matatizo ya usikivu hafifu yanapatikana hapa hapa nchini huku akiwataka wananchi kukata bima za afya ili kuweza kupata matibabu kwa uhakika.

“Serikali imechukua hatua mbalimbali kuhakikisha tatizo hili linazuiliwa kabla ya kutokea lakini pia kuhakikisha matibabu yanapatikana yakiwemo kutumia mashine ya mawimbi ya sauti, upasuaji wa kuziba tundu la ngoma ya sikio pamoja na kupandikizwa vifaa vya kusaidia kusikia” amesema Waziri Ummy.

Hata hivyo alisema takwimu zinaonyesha kuwa mwaka 2018 Hospitali ya Muhimbili imefanikwa kuwapatia wagonjwa 116 vifaa vya mawimbi ya sauti, wagonwja 43 walifanyiwa upasuaji wa kuziba tundu la ngoma ya sikio.

Waziri Ummy amesema kuwa Serikali itaendelea kuboresha huduma za matibabu ya kibingwa na kuhakikisha matibabu yanapatikana hapa hapa nchini.

Awali akitoa taarifa yake Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Bw. Makwaiya Makani amesema kuwa wamekuwa wakifanya jitihada mbalimbali katika eneo la usikivu ikiwemo kutoa huduma ya upandikizaji vifaa vya usikivu kwa Watoto wenye matatizo ya hayo.

“Tangu mwezi Juni mwaka 2017 tayari watoto 21 wamepandikizwa vifaa vya usikivu kitaalam kwa jina la ‘cochlear implants” amesema Bw. Makani

Bw. Makani amesema kuwa wameendesha kliniki ya siku mbili katika Hospitali ya Mloganzila kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya matatizo ya usikuvu ambapo watu 264 wamejitokeza kati yao watu 172 walihitaji uchunguzi zaidi wa usikivu, watu 64 wamekutwa na matatizo ya usikivu na tayari wamepatiwa rufaa kwa ajili ya matibabu zaidi na watu 31 wamekutwa na nta za masikioni,pia watu 26 wamekutwa na maambukizi kwenye masikio ambao wamepatiwa rufaa ya matibabu zaidi.

Tatizo la usikivu linazidi kuongezeka siku hadi siku. Inakadiriwa kuwa zaidi ya asilimia 5 ya watu duniani wana tatizo la usikivu. Tatizo hili litaongezeka maradufu kila mwaka. Inatakiwa kila mmoja achukue hatua kujikinga na tatizo hili ikiwemo kuepuka sehemu zenye kelele na pia kusikiliza mziki kwa sauti kubwa na kwa muda mrefu na kwa kutumia spika za masikioni.

Naibu Spika Atumia Dakika Tano Kukusanya Milioni Saba Za Ujenzi Wa Kanisa Makambako

$
0
0
Na Amiri kilagalila Njombe
Naibu spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk.TULIA ACKSON ameungana na wanawake wa kanisa la Tanzania assembles of God T.AG Makambako na kufanikiwa kukusanya shilingi milioni saba zitakazo saidia ujenzi wa kanisa hilo.

Akiwa katika ibada ya maadhimisho ya sikukuu ya wanawake watumishi wa kristo wa kanisa hilo lililopo mjini Makambako,Dk Tulia kwa kushirikiana na baadhi ya wabunge mkoani Njombe na wanawake wa kanisa hilo amesema kuwa wameshirikiana kukusanya fedha hiyo ili kuonyesha ushiriki wao katika Baraka ya ujenzi wa kanisa.

Hata hivyo Dk.Tulia amewakumbusha wanawake kuwalinda wanaume,kuilinda jamii ,Taifa pamoja na ulimwengu mzima kwa kuwa wanawake ndio tegemeo.

“Katika kitabu cha methali 31 kinazungumzia mama kufanya yampasayo kufanya,lakini kama wanawake tumepewa kazi ya kuwalinda wanaume na kwa maana hiyo tupaswa kuilinda jamii yetu,taifa letu na ulimwengu mzima unatutegemea sisi hasa wanawake wakrito wamchao bwana”Alisema Dk.Tulia

Makamu Askofu wa T.A.G  Njombe kaskazini ambaye pia ni mchungaji mwenyeji wa kanisa hilo Mch.PATRICK LUHWAGO amesema kuwa ili mwanamke aweze kufanikiwa katika utumishishi uliotukuka ana wajibu wa kujifunza kwa watu waliotangulia na waliofanya vizuri.

“Ili kufanya utumishi uliotukuka mwanamke anatakiwa kujifunza kwa waliotangulia na waliofanya vizuri kwa kuwa wapo waliofanya vibaya kama akina Sara waliokuwa wakimshauri mumewe awe na nyumba ndogo na ni mtumishi wake wa kazi na baadaye kuanza kugeuka na kuwa mkali ,kwa hiyo ushauri wangu kwenu muishi maisha matakatifu nay a kumpendeza Mungu”alisema Askofu PATRICK  LUHWAGO

Naye mbunge wa jimbo la Makambako DEO SANGA  ametumia nafasi hiyo kuishukuru serikali kwa kuiwezesha halmashauri ya mji huo kupata fedha za miradi mbali mbali ukiwemo mradi wa ujenzi wa hospital.

JULIET MOLLEL na MONIKA MAZIKU ni miongoni mwa wanawake waumini wa kanisa hilo mjini Makambako wanasema kuwa kutokana na mafunzo waliyoyapata kama wanawake wataendelea kuwa walinzi na viongozi katika jamii.

“Kutokana na mafunzo haya hakika yametubariki na mh.Naibu spika ametukumbusha kitu kizuri sana kwamba mwanamke ni mlizi katika jamii yetu hivyo hatuwezi kuishia tu kuilinda jamii bali hata kuendelea kutoa elimu juu mafundisho ya neon la Mungu ili wanawake tuendelee kuwa na hofu ya Mungu”alisema MONIKA MAZIKU

Naibu Waziri Atoa ONYO Kwa Wanaohudumia Watalii

$
0
0
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu amewanyoshea kidole baadhi ya wahitimu wa masomo ya utalii wanaoajiriwa katika maeneo mbalimbali nchini wanaoshindwa kutafsiri vyeti na elimu waliyoipata vyuoni kwa kutoa huduma bora kwa watalii nchini.

 Amesema bado kuna tatizo la watoa huduma wengi katika maeneo ya hoteli ambao ni wavivu, wasiojituma,wenye kukosa ubunifu na wasiotumia lugha nzuri kwa watalii.

Akizungumza wakati wa mahafali ya 38 kwa  wahitimu 21 wa kozi ya ukarimu yanayotolewa bure kupitia mradi wa Trade Aid, kwenye mji mkongwe wa kihistoria wa Mikindani uliopo  katika Manispaa ya Mikindani mkoani Mtwara, Mhe.Kanyasu amewataka wahitimu hao pindi  watakapoajiriwa waoneshe utofauti na kuwa mfano bora  kwa kuchochea utalii katika mikoa ya Kusini.

 Amesema mradi huo wa Trade Aid umekuwa ukitoa mafunzo hayo  kwa muda wa miezi sita kwa  wanafunzi wenye elimu mchanganyiko kuanzia  darasa la saba na kuendelea lengo likiwa kuisaidia jamii ya Mikindani kuchangamkia fursa za utalii.

 Aidha, wanafunzi wanaohitimu mafunzo hayo kila mwaka huajiriwa moja kwa moja kwenye sekta ya hoteli nchini kutokana na ubora wao.

Amesema watalii wengi wanaokuja nchini ni matokeo ya huduma bora na pale inapotokea wamehudumiwa vibaya hawawezi tena kurudi.

Hata hivyo, Mhe Kanyasu amesema licha ya kuwa kuna vyuo vingi vinavyotoa mafunzo hayo kuanzia ngazi ya cheti hadi shahada, bado watoa huduma walio wengi wamekuwa na uwezo mdogo wa kuwahudumia watalii kwa viwango vya juu ikilinganishwa na elimu waliyonayo.

Amesema licha ya   wafanyabiashara  kujenga Hoteli za kitalii katika maeneo mbalimbali nchini wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya kuwapata watoa huduma wenye uwezo wa kutoa huduma bora za kumfanya mtalii aongoze siku za kukaa nchini kutokana na huduma alizopata.

Kwa upande wake Meya wa Manispaa ya Mikindani, Mhe. Elias Mwanjise akizungumza wakati wa mahafali hayo ametoa wito kwa wahitimu hao pindi  watakapojiriwa wafanye kazi kwa bidii na maarifa ya hali ya juu hali itakayopelekea watalii wengi kuja nchini.

Pia amewataka  wazazi wasiwaozeshe binti zao wanaomaliza darasa LA saba na badala yake wachangamkie fursa hiyo ambayo ni nadra kupatikana katika maeneo mengine.

Naye Meneja wa Mradi wa Trade Aid nchini Tanzania,Barnabas Mwambe  amemweleza Naibu Waziri Mhe. Kanyasu kuwa wahitimu wanaomaliza katika Chuo hicho karibu wote wamekuwa wakiajiriwa  kutokana na ubora wao na jinsi walivyoandaliwa.

Amebainisha kuwa mkazo waliouweka Chuo hapo ni mafunzo kwa vitendo kuliko nadharia ili kuwajengea uwezo wahitimu kutoa huduma bora.

Mbali ya kutoa mafunzo hayo bure,  Meneja Mradi huo amesema kuwa wamekuwa  wakiwafungulia akaunti za benki pamoja na kuwawekea kiasi cha shilingi 150,000 kwa ajili ya nauli wakati wakitafuta kazi pamoja na kupewa  kadi ya mafao uzeeni.

Mmoja wa wahitimu wa mafunzo hayo Bi. Husna Ally akizungumza wakati wa mahafali hayo amesema baada ya kuhitimu mafunzo ameanza kuona mwanga wa maisha kutokana na elimu ya darasa la saba aliyokuwa nayo.

Jinsi Dawa Za Asili Za Kuongeza Ukubwa Wa Mwili Zinavyo Fanya Kazi.

$
0
0
Kwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali za kitaalamu, makalio  ya  mwanadamu  yanaundwa  na  vitu  vikuu  vitatu  ambavyo  ni  ( 1 )  Misuli  ( 2 ) Tishu  na  ( 3 )  Mafuta .  Vitu  vyote  hivi  vitatu  vinafunikwa  na  ngozi.

Kwa  mantiki  hiyo  basi , ukubwa  na  shape  ya  makalio  ya  mtu  hutegemeana  na  vitu  hivyo  vitatu  nilivyo  viorodhesha  hapo  juu  yani  uwingi na  ukubwa  wa  misuli, tishu pamoja  na  uwingi wa  mafuta kwenye  makalio.

Tafiti  mbalimbali  za  kisayansi  zinaonyesha  kuwa mtu  anaweza  kufanya  mazoezi  maalumu  kwa  ajili  ya  kukuza  misuli  ya  kwenye  makalio.

Vile  vile  inawezekana  kwa  mtu  kula  kwa  wingi  vyakula  vyenye  mafuta  kwa  ajili ya  kuongeza  kiasi  cha  mafuta  kwenye  makalio.

Hata  hivyo  wana sayansi  wana  tahadharisha  kuwa  kula  vyakula  vyenye  mafuta  kwa  lengo la kuongeza  ukubwa  wa  makalio kunaweza  pia  kusababisha  mafuta  hayo  kwenda  katika  sehemu  zingine  za  mwili  yani  mtu  kuongezeka pia  katika  sehemu  mbalimbali  za  mwilini mwake  kama  vile tumbo  na kunenepa  mwili mzima.

Jinsi    dawa  za  asili  za  kuongeza  ukubwa  wa  makalio  zinavyo  fanya  kazi.

Kwa  mujibu wa  tafiti  mbalimbali  za  kisayansi, dawa za  asili  za  kuongeza  ukubwa  wa  makalio  zinafanya  kazi  kwa kukuza  misuli  ya  kwenye  makalio  na  kuongeza  kiwango  cha  mafuta kwenye  ngozi ya  ndani  ya  makalio.

 Katika  kuongeza  kiwango  cha  mafuta  kwenye  makalio, dawa  hizo  za  asili  hufyonza  mafuta  kutoka  katika  sehemu mbalimbali  za  mwili na  kuyaelekeza  kwenye  makalio  na  hivyo  kumfanya  makalio  ya  mtumiaji  yaongezeke  na  kuwa  makubwa.

Kwa  kawaida  dawa  nyingi  za asili  zinazo  tumika  kwa  ajili  ya  kuongeza  ukubwa  wa  makalio  hutumika kwa  muda  wa  siku  thelathini  na  huanza  kuonyesha matokeo  baada ya  siku  kumi  na  tano.

Kwa  maoni  na  ushauri  kuhusu  tiba  mbalimbali  za  asili, fika  katika  duka  la  kuuza  dawa  za  asili  la  NEEMA  HERBALIST.  Tunapatikana  UBUNGO  jijini  DAR  ES  SALAAM  nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO PLAZA  karibu  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING.

WASILIANA  NASI  KWA  SIMU  NAMBA  0693  005 189.

Na  kwa  elimu  zaidi  kuhusu  tiba  mbalimbali za  asili, tutembelee  kila  siku  kupitia  tovuti  yetu :


Ruge kuzikwa kiheshima leo na maelfu ya watu Bukoba

$
0
0
Ruge Mutahaba ambaye alikuwa mmoja kati ya wahasisi wa Clouds Media, atazikwa leo Jumatatu March 4, 2019  huko nyumbani kwao Bukoba.
 
Mapema jana mwili wa Marehemu Ruge Mutahaba uliwasili kiwanja cha ndege cha Bukoba majira ya saa 3 asubuhi na kupokewa na maelfu ya watu.
 
Wakati mwili umewasili jana wakazi wa Mji huyo walionekana wakilia kwa uchungu baada ya kumpoteza Ruge ambaye anadaiwa amewafungulia njia watu wengi.

LIVE: Rais MAGUFULI Akiwaapisha MAWAZIRI Wapya

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, leo Machi 04, anawaapisha Dk. Augustine Mahiga kuwa Waziri wa Katiba na Sheria na Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Super Mbushi Power:ni Maalum Kwa Wenye Matatizo Ya Upungu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

$
0
0
Wanaume wengi wamekuwa na upungufu wa Nguvu za kiume na kuwa na maumbile madogo ya kiume .

Magonjwa kama Kisukari,Presha,Ngiri ya kupanda na kushuka,Tumbo kuunguruma chini ya kitovu,Kutokupata choo vizuri,Tumbo kujaa gesi,Unywaji wa pombe kupita kiasi Pamoja na msongo wa mawazo huchangia kwa kiasi kikubwa upotevu wa nguvu za kiume

Tumia dawa za mitishamba ambayo haina madhara kwa mtumiaji hata awe na miaka 70-85 inatibu na kumaliza matatizo hayo kwa mda mfupi tu.

SUPER MBUSHI POWER:Hii ni dawa yenye uwezo mkubwa wa kuongeza nguvu za kiume mara dufu; huanza kufanya kazi ndani ya dk kumi na tano(15)toka uitumie.
(1)Itakufanya uwe na NGUVU za ajabu ukiwa unafanya tendo la ndoa
(2)Inaongeza hamu ya kurudia tendo la ndoa bila kuchoka.(3)Itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa mda wa dk 27 kwa tendo la pili nakuendelea bila kuchoka.

NKINDA:INAREFUSHA NA KUNENEPESHA MAUMBILE YA KIUME SAIZI INAYOKUBARIKA KIAFYA KUANZIA nch 3-71/2 NA UNENE CM 2-4.
(4)Itaimalisha mishipa ya uume uliolegea
(5)Inasaidia kusafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kuongeza kasi ya msukumo wa damu ndani yauume,na inasidia kuzarisha HORMONES ZA CETROGEN,Vile vile inazalisha kwa wingi mbegu za kiume yaani(manii)

NGUMO: Ni dawa inayotibu Kisukari kwa mda wa wiki mbili(14)tu nakuwa  nomo.

NGITO:Ni kwale waliochwa na mpenz,mke,hata kwa wewe unayetafuta mchumba majibu ni ndani ya masaa kumi na mbili(12)tu.

WASILIANA NA DR.SEMEKA 

TEL 0753-459433 -ANAPATIKANA MAGOMENI MAPIPA.

Mjumbe Halmashauri Kuu ya CCM Ataja Kilichomuondoa Lowassa CHADEMA Na Kurudi CCM

$
0
0
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa Mjini mkoani Iringa, Joseph Mgongolwa amesema kazi nzuri inayofanywa na Rais Dkt.John Magufuli ndiyo iliyomfanya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa kurejea ndani ya chama hicho kutokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
 
Amesema, Rais Dkt. Magufuli ameendelea kujiwekea alama za kihistoria ndani na nje ya Tanzania kutokana na mbinu shirikishi anazotumia kila siku kuhakikisha anatekeleza ahadai alizozitoa kwa Watanzania wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015.
 
Mgongolwa aliyasema hayo mwishoni mwa wiki wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Savanah mjini hapa kuelezea namna ambavyo kasi ya utendaji kazi ya Rais Magufuli itakavyozidi kuwaunganisha Watanzania bila kujali itikadi zao.
 
Alisema, Rais Magufuli licha ya kukumbana na vipingamizi vingi kutoka ndani na nje ya nchi katika utekelezaji wa majukumu yake ya maendeleo, bado ameendelea kuonyesha ujasiri wa hali ya juu ndiyo maana matokeo yake yanaanza kuonekana sasa.
 
"Kurejea kwa Waziri Mkuu mstaafu mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa ndani ya CCM si kwa kushinikizwa na mtu yeyote, bali yeye mwenyewe aliona namna ambavyo mheshimiwa Rais Magufuli anavyotekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.
 
"Miradi ambayo imezidi kuliletea Taifa letu heshima kubwa, pia amekuwa akitatua hatua kwa hatua kero mbalimbali za wananchi,kununua ndege kwa ajili ya shirika letu la ndege,kufufua uchumi wa nchi na kutumia mapato ya ndani ya nchi kufanya mambo makubwa kwa maslahi ya Taifa letu," alisema Mgongolwa.
 
Pia aliwataka wengine warudi nyumbani ili waunganishe nguvu ya pamoja katika kulijenga Taifa.
 
Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa alirejea CCM mwishoni mwa wiki huku akionyesha tangu awali kuguswa na namna ambavyo Rais John Magufuli anavyotekeleza shughuli za maendeleo kwa ufanisi huku akimpongeza.

Watatu wafikishwa Mahakamani wakituhumiwa kwa wizi wa mitandaoni

$
0
0
Na Tiganya Vicent, Tabora
Watu watatu wanaotuhumiwa kujihusisha na wizi wa mitandaoni wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Tabora wakikabiliwa na tuhuma nne.
 
Shauri hilo la uhujumu uchumi linawakabili Rajab Said Makwaya, Rashid Idd Kayombo na Said Shaban Issa wote wakazi wa Manispaa ya Tabora.
 
Upande wa mashitaka ukiongozwa na Wakili Tito Mwakalinga ulidai mbele ya hakimu mkazi mfawidhi wa mkoa wa Tabora, Chiganga Mashauri kuwa, watuhumiwa walitenda makosa hayo kati ya Februari 23 hadi 24 mwaka huu.
 
Wakili Mwakalinga aliieleza Mahakama hiyo kuwa, kila mtuhumiwa anakabiliwa na makosa mawili ya kukutwa na mali inayodhaniwa imepatikana isivyo halali pamoja na kutengeneza mpango wa kitapeli ili kujipatia fedha kupitia mtandao.
 
Ilidaiwa kuwa, mnamo Februari 24 mwaka huu Mtaa wa Kariakoo, Manispaa ya Tabora watuhumiwa walikutwa wakimiliki nyumba moja kila mmoja zikiwa na thamani ya jumla ya shilingi milioni 105 ambazo walizipata kinyume cha sheria. 

Siku hiyo mtuhumiwa Rajab Makwaya alikutwa akimiliki nyumba yenye thamani ya milioni 35, Rashidi Issa akimiliki nyumba ya milioni 30 na Said Shaban anamiliki nyumba ya milioni 40.
 
Wakili Mwakalinga alidai katika shitaka la nne kuwa kati ya Februari 23 hadi 24 mwaka huu watuhumiwa walitengeneza mpango wa udanganyifu wa kujipatia fedha kupitia mitandao ya simu.
 
Aliongeza kuwa kwa kupitia mtandao wa simu waliweza kumdanganya Zengwe Josephine na kujipatia shilingi milioni mbili kinyume na kifungu cha 6(b) na kifungu namba 57(1) na 60 cha sheria ya uhujumu uchumi iliyofanyiwa marejeo mwaka 2002.
 
Watuhumiwa hawakutakiwa kujibu chochote mahakamani hapo na walipelekwa rumande hadi leo kesi yao itakapotajwa tena.

Sakata la Lowassa Kurudi CCM Lamuibua Tundu Lissu

$
0
0
Mbunge wa Singida Mashariki na Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu amejitokeza na kumtakia heri Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kufuatia uamuzi wake wa kurejea Chama Cha Mapinduzi.

Lowassa ametangaza kurejea CCM mapema Machi 1, 2019 ambapo alipokelewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Dkt, John Pombe Magufuli katika ofisi ndogo za makao makuu ya chama hicho yaliyopo Lumumba Jijini Dar es salaam.

Lissu ameandika; "Mzee Edward Lowassa mwenyewe amesema amerudi 'nyumbani.' Maana yake ni kwamba alikuwa 'ugenini' tangu Julai 2015. Hakutuhonga wala hakununua Chama chetu kama tulivyotukanwa huko nyuma.

"Tulimkaribisha na kumpatia majukumu ya kutuongoza kwenye mapambano ya 2015. Na alitekeleza majukumu hayo vizuri kwa kadri alivyoweza, na kadri tulivyomwezesha. Matunda ya kazi yake, na ya kazi yetu, yanajulikana.

"Sasa mwendo wa 'ugenini' umemshinda. Misalaba ya upinzani imekuwa mizito sana. Ameamua kurudi 'nyumbani' kupumzika.

"Na pengine sasa wataacha kumtishia kumnyang'anya mafao yake ya kisheria kama Waziri Mkuu mstaafu, badala ya kumlaani kwa kuondoka kwetu 'ugenini', mimi namtakia kila la kheri na mapumziko mema 'nyumbani' kwake sisi tutaendelea na safari yetu ya Canaan".

Wakati akipokelewa na uongozi mkuu wa CCM, Lowassa mwenyewe hakubainisha nini sababu ya kurejea CCM, bali aliishia kusema kuwa amerudi nyumbani.

Kwanini Uhangaike Na Magonjwa Yanayowezekana Kupona?..........Tiba Sahihi Imewasili

$
0
0
Asilimia 60- 80 ya wanaume wameathilika kisaikologia baada ya kujiona wako tofaut na wengine kimaumbile na kupungukiwa nguvu za kiume , mwanaume aliekamilika kimaumbile anatakiwa awe na maumbile yasiyo pungua nchi 6-8 tofautina hapo anaupungufu ,

zipo sababu nyingi zinazosababisha mapungufu hayo ambazo ni :- upigaji wa punyeto ( mastervation) ,ngili,KISUKARI,vidonda vya tumbo,maumivu ya mgongo ama kiuno,unene(kitambi) tumbo kuunguluma na kujaa ges, matatizo haya huchangia kwa kiasi kikubwa sama kukosa nguvu za kiume vilevile maumbile kuwa madogo na kiingia ndani (kunywea)

GALIMBO 3 POWER :- hii nidawa kiboko kwa matatizo ya nguvu za KIUME,ni dawa ya Asili tuliyo jaaliwa na mwenyezi MUNGU huimarisha misuli ya uume wakati wa tendo la ndoa na kuzalisha viini vya uzazi (manii) vilevile utaludia tendo zaidi ya mara tatu bila ham kuisha pamoja na kuchelewa kufika kilele takiriban dk 20 - 45 kwatendo moja.

SUNUPER :- hii nidawa ya Asili Hurefusha na kune nepesha maumbire madogo ya UUME , hurefusha urefu wa nchi (6-8 )na unene wa sm( 3-4) huanza kufanya kazi masaa machache baada ya kuanza kuitumia,( tiba niyakudumu ikishakutibu,

Nina dawa ya kutokomeza KISUKARI na kupona kabisa hata kama kimekusumbua kwa mda mrefu mpaka ukajikatia tamaa  tiba ipo na utatumia vyakula vyote bila tatizo baada ya kupona ,

Pia ninadawa ya Vidonda vya tumbo,Ngiri, miguu kuwaka moto, mvuto wa mapenz ( kumvuta mke /mme/mpenzi/hawara/ama yoyote unaemuhitaji) dawa za biashara, uzazi kwa akina mama na akina baba (pande zote) pata dawa ya bawasili bila kufanyiwa upasuaji,

KWAMAELEZO NA MSAADA WASILIANA NA DR SILIMBA NAPATIKANA DAR ES SALAAM

 SM O620510598 / 0743543944

Nb km huna nafasi huduma hii inakufikia popote ulipo kwaware wa mikoani tunatuma kwa njia ya mabasi

Sumaye Afunguka Kinachowafanya Watu Waondoke CHADEMA Na Kurudi CCM

$
0
0
Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Pwani CHADEMA Fredrick Sumaye, amesema yapo mashinikizo mbalimbali yanayowataka viongozi waliotoka Chama Cha Mapinduzi na kuhamia Upinzani warudi ndani ya Chama hicho huku akibainisha kuwa vitendo vingine wanavyofanyiwa ni vya kuwaumiza.
 
Akizungumza na kipindi cha East Africa Breakfast kinachoruka East Africa Radio, Sumaye amesema wapo watu wanaowafuata na kuleta maneno, na hata kutendewa mambo mbalimbali ya lakini yeye bado ameendelea kuwa na msimamo wake.

Amesema kwamba wakati anahamia CHADEMA alikuwa na maamuzi yake hiyo hawezi kujali vitendo anavyofanyiwa au kwa kushurutishwa na mtu.

"Mimi nilipotoka CCM nilitoka kwa hiyari yangu. Siwezi kurudi kwa kushurutishwa na mtu yeyote. Siyo maneno tu yanayotutaka turudi huko, bali yapo mambo mengi tunatendewa ili turudi lakini kila mtu ana uamuzi wake. Kama una maamuzi yako imara hata kama utatendewa mambo fulani fulani utasimama na misimamo yako huku unaumia", ameema Sumaye.

Akizungumzia kuhusu madhara na aathari ambazo Lowassa atazisababisha kwa kuhama Chama, Sumaye amesema CHADEMA ilikuwa imara hata kabla ya Lowassa kujiunga nao.

"Lowassa alikwenda CHADEMA baada ya kuonekana kwamba ameonewa kule CCM, lakini siyo kwamba tulikikuta sifuri. Tulikuta chama hiki kimeshajiimarisha sehemu nyingi hata kama siyo nchi nzima lakini kilishakuwa kikubwa. 

"Tuseme ukweli yale mafuriko ya 2015 hayakusababishwa na Lowassa pekee kwani hata 2010 wakati Dk. Slaa anagombea na Kikwete utaona tofauti ilikuwa ndogo ni kwamba watu wanataka mabadiliko," Sumaye.

Sumaye ameongeza kwamba, "Kuna factor ya kwamba watu walishaichoka CCM tangu 2010 wakataka mabadiliko lakini hata sasa watataka mabadiliko sana, kuondoka kwa Lowassa hakuwezi kusababisha pengo".

RC Mhandisi Evarist Ndikilo Akaribisha Kampuni 13 Kujenga Viwanda Kwenye Mkoa Wake ....." Pwani hatuko tayari kuwakosa wawekezaji"

$
0
0
Serikali ya Mkoa wa Pwani,kupitia Mkuu wa Mkoa huo Mhandisi Evarist Ndikilo amesema hawako  tayari kuzikosa kampuni 13 ambazo zimepelekwa mkoani kwake kutokana na jitihada za Mkurugenzi wa Makampuni ya Kiluwa Group, Mohammed Kiluwa.

Mhandisi Ndikilo amebainisha hayo  ofisini kwake baada ya majadiliano kati ya wawekezaji kutoka China, viongozi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) pamoja na idara nyingine serikalini zinazohusika na uwekezaji.

Ambapo Mhandisi Ndikilo  ametumia nafasi hiyo kuzungumzia juhudi ambazo zinafanywa na Kiluwa za kuleta wawekezaji kuwekeza mkoani humo zikiwemo Kampuni hizo 13 ambazo zimekuja kuwekeza na wamepata baraka za mkoa wake.

Amefafanua baada ya kikao cha majadiliano Mhandisi Ndikilo amesema kazi iliyobaki ni kuangalia namna wawekezaji hao watakavyomalizana na mamlaka nyingine za nchi ili kufuata taratibu zinazotakiwa.

 “Hawa watu wamejipanga kuwekeza katika viwanda mbalimbali 13,  mtaji wanao wapo tayari kuanza hata kesho. Naagiza kila idara ifanye kazi yake ili hawa wawekezaji tusiwakose,” amesema Mhandisi Ndikilo.

Katika maelezo yake kutokana na kutumia muda wa zaidi ya saa sita kujadiliana kuhusu mustakabali wa wawekezaji hao wakiwa na kamati ya ulinzi na usalama na maofisa mbalimbali wakiwemo wa TIC na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi Ndikilo alisema:

“Fursa na sifa tulizonazo kama mkoa kunavutia wawekezaji wengi, ila kama tunavyofahamu uwekezaji haufanyiki angani bali kwa kutumia ardhi, kulikuwa na mvutano kuhusu ardhi ndio mana tumetumia muda mwingi kujadiliana.

“Vilevile tumejadili mambo mengi kuhusu aina ya uwekezaji mkubwa unaotaka kufanyika, sote tumeridhia namna walivyojipanga wamekuja na mitaji mikononi na aina ya bidhaa na huduma watakazozalisha, wanataaka kuhamisha teknolojia kutoka China kuja Tanzania. Ndiyo maana nimetoa wiki mbili majibu yapatikane hawa wawekezaji waanze kazi.”

Akizungumzia eneo la uwekezaji la Kiluwa Free Processing Zone, Mhandisi Ndikilo amesema hatakubali kuona wazo hilo la mtanzania mzalendo linapotelea hewani wala kuona wawekezaji wanakwenda nchi jirani kwa kukimbia mizengwe nchini.

“Mkoa wetu una ardhi kubwa ya uwekezaji, Kibaha ina maeneo mengi nay a kutosha hata kule Mlandizi tuna ekari zaidi ya 5,000 hazijaguswa. Hivyo, nataka waelewe Mkoa wetu ni wa amani ndio mana tumeiita na kamati ya ulinzi na usalama ishiriki mkutano huu.

“Serikali inataka kuipeleka nchi katika uchumi wa kati kwa kutegemea viwanda, sasa tukiona watu wenye nia ya kuanzisha viwanda wanasumbuliwa hatuwezi kukaa kimya. Taratibu zote wamefuata lakini ikionekana mkoa wangu ndio kikwazo sitakubali,” amesema Mhandisi Ndikilo.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Geofrey Mwambe amesema kazi ya kuleta wawekezaji ni ya serikali. Hivyo, wanavyoona watu wanaisaidia serikali hawawezi kuwavunja moyo.

“Hawa ni wa mwanzo tu wapo wengi, kati ya hao 13 tayari wawekezaji sita wameshakuja na vifaa vyao wanasubiri kupewa ruhusa waanze kazi. Kuna viwanda vya Battery, bidhaa za ngozi na mabehewa,” anasema Mwambi.

Mwakilishi wa kundi la wawekezaji hao ambaye ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Sinoma East Africa Co. Limited,  Lu Xiaoqiang alisema wameichagua Tanzania kwa kuwa wanaamini kuna fursa nyingi za uwekezaji na kwa muda wa miaka 10 waliyofanya kazi nchini wamevutiwa na namna watanzania walivyo wakarimu.

“Tupo tayari kushirikiana na watanzania na kuwafundisha ujuzi wa mambo mbalimbali, tunataka kuanzisha viwanda vya bidhaa za plastiki, chuma, battery na vifaa vingine vya kielektroniki. Tunahamisha utaalamu kutoka China kuja Tanzania,” alisema Xiaoqiang.

Wakati huo huo  Kiluwa amesema TIC inawaelekeza nini cha kufanya hivyo hawawezi kuwaangusha na wataendelea kufanya kazi nao kadiri ya uwezo wao.

“TIC kazi yao imeshakamilika, huwa wanatupatia elimu ili kufuata taratibu zinazostahiki kusajili wawekezaji, naishukuru Serikali ya Mkoa wa Pwani kwa msaada mkubwa iliyotoa kwetu na kukubali kutusikiliza hadi kuelewa lengo letu katika uwekezaji.

“Kuna zaidi ya Dola za Kimarekani Milioni 100 zinatakiwa kuwekezwa hapa, hiyo ni fursa ya ajira na Mamlaka ya Mapato Tanzania itaongeza mapato.

“Hawa wawekezaji wamejipanga hawana muda wa kupoteza, kati ya viwanda 13 wawekezaji sita tayari wameshaleta hadi vifaa wanasubiri kupewa ruhusa tuwaanze kazi,” alisema Kiluwa.

 Amesema ni jukumu la Watanzania kila mmoja kwa nafasi yake kuhakikisha maono ya Rais Dk.John Magufuli ya kuhamasisha ujenzi wa viwanda unafanikiwa kwa vitendo,hivyo mkakati wake ni kuendelea kuhamasisha wawekezaji kuja kuwekeza nchini.

“Nina ardhi ya kutosha kwa ajili ya uwekezaji,hivyo wawekezaji ninapowamasisha kuja nchini kuwekeza pia nawaeleza na uwepo wa ardhi na wakija nchini wanakwenda TIC ambako ndiko watapewa utaratibu kwani niliamua hati ya ardhi niliyonayo kwa ajili ya uwekezaji iwe wazi kwa TIC pia,” ameongeza.

Amesisitiza katika kufanikisha uwekezaji kwake anaona ni jambo jema kwani kikubwa anachoamini mbali ya watanzania kupata ajira,teknolojia ambayo inaletwa na wawekezaji itabaki nchini kwa maslahi ya Watanzania.”,Ninachokifanya ni kama nang’oa teknolojia nje naileta nyumbani.”

PICHA 14: Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa Kanda ya Ziwa Wajitokeza Kumuaga Ruge Mutahaba katika viwanja vya Gymkhana Bukoba

$
0
0
Mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds, Ruge Mutahaba yatahudhuriwa na vigogo zaidi ya kumi wakiwemo Mawaziri, Wabunge na Wakuu wa Mikoa.

Ratiba iliyotolewa leo asubuhi Jumatatu Februari 4,2019 inawataja baadhi ya vigogo hao ambao ni mawaziri na wizara zao kwenye mabano ni Dk Hamisi Kigwangalla (Maliasili na Utalii), Dotto Biteko (nishati), January Makamba (Muungano mazingira), Angela Kairuki(uwekezaji) na Juma Aweso ambaye ni Naibu Waziri wa Maji.

Pia, wabunge wanaotajwa kwenye ratiba hiyo ni Nape Nnauye (Mtama-CCM), Rudhiwani Kikwete (Chalinze-CCM), Aieshi Hilary (Sumbawanga Mjini- CCM) na wabunge wote wa Mkoa wa Kagera na wakuu wa wilaya.

Pia, yatahudhuriwa na Wakuu wa mikoa ya Simiyu (Anthony Mtaka), Mwanza (John Mongella), Mara (Adam Malima) na Mkuu wa Wilaya ya Kakonko, Kanali Oseah Ndagala.
Waziri wa Madini, Mhe. Dotto Biteko akiwasili katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba asubuhi hii katika ibada ya kumuaga aliyekuwa mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Group marehemu Ruge Mutahaba .
Mkuu wa Mkoa Mara, Mhe. Adam Malima akiwasili kwenye viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba asubuhi ya leo kuhudhuria ibada ya mazishi ya aliyekuwa mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Group marehemu Ruge Mutahaba inayofanyika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba.
Hali ilivyo katika viwanja vya Gymkhana ndani ya manispaa ya Bukoba, ambapo viongozi mbalimbali, wananchi na wasanii wamejitokeza kumuaga aliyekuwa mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Group marehemu Ruge Mutahaba.
Mbunge wa jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza Mhe. Stanslaus Mabula akimpa pole mkurugenzi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba asubuhi hii katika ibada ya kumuaga aliyekuwa mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Group marehemu Ruge Mutahaba.
Mbunge wa jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza Mhe. Stanslaus Mabula akisalimiana na mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe baada ya kuwasili katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba asubuhi hii kumuaga aliyekuwa mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Group marehemu Ruge Mutahaba.

Mbunge wa jimbo la Sumbawanga mjini, Mhe. Aeshi Hillary akisalimiana na mbunge wa jimbo la Kigoma mjini, Mhe Zitto Kabwe  katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba asubuhi hii katika ibada ya kumuaga aliyekuwa mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Group marehemu Ruge Mutahaba.

Dawa Za Nguvu Za Kiume Na Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa

$
0
0
Asilimia 45-80 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kutowatimizia vyema wake au wapenz wao na kuwasababishia kutoka nje ya mahusiano yao. 

NINI CHANZO CHA HAYO? Kupiga punyeto,Ngiri, Vidonda vya tumbo, Korodani moja kuvimba, Msongo wa mawazo, Presha, Magonjwa ya zinaa, Kufanyiwa tohara ukiwa na umri mkubwa, Kisukari. 

DR. LUTAJA Sasa anakuletea tiba sahihi ya tatizo la Nguvu za kiume. 

NTOMBO :Hii hutibu na kuponya kabisa tatizo la Nguvu za kiume, utakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila kuchoka na itakufanya uchelewe kafika kileleni kwa mda wa dk 20-45. Dawa hii imechanganywa na miti 18,Hata wazee wenye umri mkubwa wa zaidi ya miaka 85 wanapona kabisa okoa mahusiano yako, ndoa yako sasa. 

SUNGURURU MIX:Ndio tiba sahihi kwa wale wenye maumbile madogo hurefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo nchi 3-8 na unene cm 2-5,dawa hii ipo katika mfumo wakupaka nakunywa na haina madhara yoyote kwa mtumiaji :Hii ni tiba tofauti kabisa nazile ambazo umekwisha wahi kutumia. 

Pia tunadawa za , Uzazi, Pumu, Malaria sugu, miguu kuwaka moto, Kaswende, Kisonono pamoja na mvuto wa mpenzi.

 DR. LUTAJA ANAPATIKANA DAR-ES-SAALAM Simu 0713-821823 kwa wale wa mikoani huduma hii utaipata popote ulipo.

Waziri MPYA wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba Kabudi Atoa ONYO Kwa Wanaoichafua Tanzania

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi, amewataka watu wanaoisema vibaya Tanzania kukaa kimya kwa sasa.

Profesa Kabudi amesema hayo leo Jumatatu Februari 4, Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kuapishwa kuwa waziri wa wizara hiyo na Rais John Magufuli aliyemteua juzi baada ya kufanya mabadiliko madogo ya mawaziri.

“Jana haikuwa siku nzuri kwangu niliamshwa na watu wengine kuambiwa kwamba nimeteliuwa katika nafasi hii, lakini nashukuru kwa kunipa nafasi.

“Huu si wakati wa kuisema nchi yetu, kuibeza na kuipagaza… nchi yetu ilijengwa na mwasisi Mwalimu Julius Nyerere, yeyote Mtanzania mwenye tatizo na nchi hii atutendee jambo moja tu, akae kimya.

“Tuna jambo moja tu kubwa la kujenga mahusiano na wale wanaoitakia mema nchi yetu,” amesema Profesa Kabudi.

Pamoja na Profesa Kabudi, pia Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Augustine Mahiga aliapishwa na baadhi ya Makamishna wa Jeshi la Polisi.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images