Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

BREAKING: Freeman Mbowe na Esther Matiko Washinda rufaa ya dhamana yao dhidi DPP

$
0
0
Mahakama ya Rufaa imetupilia mbali pingamizi la Serikali kupinga Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko kusikilizwa shauri lao la kuomba kupewa dhamana katika Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam

Hivyo kesi ya Mh. Mbowe na  Matiko inarudi Mahakama kuu kwa ajili ya kusikilizwa kama ilikuwa halali kwa Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu kufuta dhamana zao au hapana.

Novemba 23, 2018 Jaji Wilbard Mashauri akiwa Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, alifuta dhamana ya Mbowe na Matiko kutokana na kukiuka masharti ya dhamana.

Wawili hao walikata rufaa katika Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga uamuzi wa Kisutu kufuta dhamana yao ambapo rufani yao ilipangwa kwa Jaji Sam Rumanyika.

Hata hivyo, baada ya Mahakama Kuu chini ya Jaji Sam Rumanyika kusikiliza mapingamizi ya pande zote iliamua kuanza usikilizaji wa rufaa hiyo.

Upande wa serikali ukiongozwa na Wakili wa Serikali Mkuu, Paul Kadushi ulidai kuwa wamekata rufaa katika Mahakama ya Rufani kupinga maamuzi yaliyotolewa na Mahakama Kuu.


Mkubwa Fella Awajia Juu Wanaomtukana Kutokana na Kifo Cha Ruge

$
0
0
Mtendaji Mkuu wa Mkubwa na Wanawe Youth Organization Mkubwa Fella ameamua kufunguka kuhusiana na ukaribu aliokuwa nao na Marehemu Ruge Mutahaba pamoja na taarifa za msiba kumuumiza kutokana na wawili kujuana tokea mwaka 1995 na kusaidiana vitu vingi.

Fella ameongeza na kusema kuwa watu kwenye mitandao inabidi waache kutukana kwa sababu  Marehemu Ruge ana mchango mkubwa kwenye maisha ya muziki na walikutana hata kabla ya Ruge kwenda kwenye matibabu na hivyo cha muhimu ni kumuombea.

“Najua tumeumia wengi na kila mtu anajua uchungu wa kuondokewa mfano mie najua uchungu wa kufiwa na baba, mama mpaka mtoto machungu yote nimepitia kweli msiba unauma alafu kati ya watu wa karibu na Ruge kati ya watu wake 10 sikosi kwani alijua umuhimu wangu nami nilijua umuhimu wake sasa kwa msiba wa mwanangu bosi wangu nimeumia ila nami nipo kwenye ibada napitia naumwa ila naona wapenda ukolofi wanatukana sijuhi wao wanaitaji nifanyeje chengine

“Namini mie na marehemu tunajuana kuliko wewe unaepita kwenye ukurasa kutukana watu unajua vita ngapi tulipigana kuusogeza mziki huu na tasnia hii nimejuana na Ruge 1995 mpaka leo sasa usilete utashi wa biashara kutukana watu mie nilipata bahati kuagwa na brother na wakati anatarajia kwenda kwenye matibabu kabla ajazidiwa yeye ndio alinambia kijana wako mmoja kwenye ya moto atakusumbua ila kuwa makini tena akanisifu najua moyo wako mpana utashinda

“Kuna siku alinambia Fella nikirudi salama napenda tukae tujue tunajengaje mnara timilifu sasa wewe mwenye account yako ya kutukana watu sio vizuri msiba ni mkubwa alafu kulia kila mtu anakilio chake sasa usikae ukaona unavyo lia wewe na mwengine uwe sawa lakini najua yatapita ila nakumbuka baba yangu alifariki 2006 siku iyo ilikuwa Fiesta Arusha nimetoka home alfajiri natua Arusha napigiwa mzee kafariki nakumbuka Boss Kusaga na Ruge walinambia usiuzunike siku hii ila sema asante

“Mwenyezi Mungu kwa kunipatia ili kuiona siku ya mwisho ya baba sasa kama nilipewa mawaidha aya na nikashinda sasa ili la msiba wa boss Ruge muhimu naona ni kumuombea kwa mwenyezi Mungu amuweke pahala pastahiki. nasi tunae subiri time yetu tuwaombee dua marehemu wetu wote tuseme Inshaallah pia instar iwe kipasha habari isiwe ibada eti umu kama ndio mwenyezi Mungu anakagua. kweli wakati mgumu ila tuikaribishe subraaaaa na Inshaallah mwenyezi Mungu tuongoze Amen"

Mwili wa Ruge Mutahaba utawasili leo saa 9:00 Alasiri....Hii ni Ramani ya Njia Rasmi ya Kuulaki Mwili Huo

$
0
0
Mwili wa mpendwa wetu Ruge Mutahaba utawasili leo saa 9:00 Alasiri kutoka South Africa. 

Hii ni Ramani ya njia rasmi mwili utakapopita hadi kufikishwa Hospital ya Lugalo kupumzishwa. 

Wakazi wa jiji la Dar es salaam na meaneo ya jirani mtajipanga pembezoni mwa Barabara kuulaki mwili wa mpendwa wetu ukipita.

Kwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Mafupi na Upungufu wa Nguvu za Kiume? Suluhisho Hili Hapa

$
0
0
Tatiza, hili limekuwa likiwaathiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako tofauti na wanaume wengine. Kwa kawaida, mwanaume anatakiwa awe na uume, usiopungua nchi 6-7au-8 ,vinginevyo mtu huyo anamatatizo.

Magonjwa yanayoababisha Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Ni Kama Vile, Kisukari ,presha, Ngiri Ya Kupanda Na Kushuka, Kiuno, Maumivu Ya Mgongo, Tumbo Kuuma Chini Ya Kitovu, Tumbo Kujaa Gesi. Yote Matatizo Yote Haya husababisha Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Kushindwa Kufanya Kazi Kwa Mwenza Wako  .

SUPER MIZIZI, ni dawa inayozalisha HORMONES ZA CETROGEN,na kufanya, uume kukuwa na kuongzeka sazi utakayo na kuzibua mrija iliyosinyaa,

NSHOLA; ni dawa bora, ya kurudisha nguvu za kiume kwa kutibu kabisa  tatizo hilo na kukupa  hamu ya  kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara nne 4 bila kuchoka 

Pia  kuna dawa za kutibu presha ya kupanda na kushuka, kisukari , kuondoa mafuta  mwilini na maumivu ya mgogo kiuno, matazo, ya hedhi kwa wanawake, hedhi zisizokuwa na mpangilio.

NKANYA; ni dawa ya mvuto wa kimapenzi ,mchumba mpenzi aliyekuacha, mke, mme atakurudia .

NKOMA; Ni dawa kuongeza HIPS na mguu wa bia kwa wadada ,

NGAKAMA ,ni dawa ya kutibu miguu kufa ganzi na kuwaka moto, huduma zetu ,zipo ,vizuri, popote pale dawa utaletewa! 

DR SITTA, amebobea kwa tiba asilia 

Kwa Dar anapatikana mbagala Zakhem.  Songea ,bombambili, Shinyanga, Kahama ,mjini, Kwa ,maelezo, Zaidi , Piga Simu 0763172670/ 0715172670,/ ,Sema ,haloo, Dr Sitta... Wote  mnakalibishwa. 

LIVE: IGP Sirro Anazungumza Na Waandishi Wa Habari

$
0
0
LIVE: IGP Sirro Anazungumza Na Waandishi Wa Habari

Dudu Baya Aachiwa Kwa Dhamana

$
0
0
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, limemuachia kwa dhamana msanii  Godfrey Tumaini (Dudu Baya) baada ya kumshilikia kwa saa kadhaa.

Dudu Baya alikamatwa juzi Jumatano na polisi na kufunguliwa jalada la kesi lenye namba OB/RB/2029/2019 la matumizi mabaya ya mitandao.
 
Hatua hiyo ilikuja  baada ya Waziri wa Habari na Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe kuagiza Jeshi la Polisi na Baraza la Sanaa la Taifa(Basata) kumchukulia hatua mwanamuziki huyo kwa makosa ya kumdhihaki, aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji, Ruge Mutahaba kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kinondoni, Mussa Taibu amesema walimwachia msanii huyo jana Alhamisi, Februari 28 saa 9:00 mchana baada ya kumaliza kumuhoji.

Rais Magufuli atoa ndege kusafirisha mwili wa Ruge Mutahaba

$
0
0
Rais John Magufuli ametoa ndege moja ya serikali kwa ajili ya kuusafirisha mwili wa marehemu Ruge Mutahaba utakaopelekwa Bukoba kwa maziko.

 Msemaji wa familia, Raymond Kashasha amesema hayo leo Machi 1, 2019 alipozungumza na waandishi wa habari..

Ruge anatarajiwa kuzikwa  siku ya Jumatatu kijijini kwao Kiziru wilayani Bukoba mkoani Kagera na atasafirishwa kutokea Dar es Salaam siku ya Jumapili, Machi 3.

Kutana na Dr Majebele Kutoka Mwagala Ukoo wa Watemi .....Anatibu Busha, Nguvu za Kiume, Vidonda vya Tumbo, Presha

$
0
0
DR MAJEBELE KUTOKA MWAGALA UKOO WA WATEMI NI MTANZANIA HALISI.
**********************************
Anatoa tiba ya mitishamba iliyo na ubora asilia ya kienyeji.
🔖(1)Anatatua tatizo la nguvu za kiume linalowatesa wanaume wengi duniani_chanzo Cha tatizo hilo ni maelezo mafupi yafuatayo:
♦Kama uliwahi kuugua kichocho wakati yu mdogo mbeleni nguvu za kiume lazima zipungue.
♦Kama uliwahi kuwa na chango lolote nguvu za kiume lazima zipungue.
♦Vyakula vya kisasa, mafuta mengi, msongo wa mawazo, kukaa kipindi kirefu zaidi ya masaa 8,.
________________________________
📌MWAGALA 4 POWER,
NI dawa iliyochanganywa mizizi 66 .NI Bora na yenye kutoa tatizo la kutokua na  nguvu za kiume kwa kina baba pia inafanya kazi kwa haraka sana,okoa ndoa yako Sasa usitembee na aibu,kimoja kwa dakika 2 na huwez kurudia tena tiba Sasa yapatikanikal,usinywe dawa ya kuongeza nguvu kunywa dawa ya kuponyesha tatizo la nguvu miaka mingi,ni dawa ya mfumo wa   unga tu
🔸NI dozi ya siku 7🔸
Utakua umepona milele,pia unaruhusiwa kutumia kama Kinga inafanya kazi ndani ya masaa 2
MWAGALA 4 POWER Sasa ni suluhisho la nguvu za kiume.
________________________________
📌LUGOBHI na NGOLOLO ni   dawa ya kubadili maumbile yaliyosinyaa na kurefusha usilalamike uume mfupi tumia LUGOBHI utarefuka size uitakayo,tumia NGOLOLO kwa kuufanya uume uwe mnene size uitakayo dozi siku 7 
🔸mabadiliko ndani ya siku 2 ipo ktk mfumo wa unga tu.🔸
________________________________
📌UGOMOLA,
Ni mchanganyiko wa miti 8 wenye kutibu kisukari ulichosumbuka nacho kwa mda mrefu iwe ya kupanda au kushuka, dawa hii inaponesha kabisa dozi siku 18 na itakupa mabadiliko mazuri sana kabla ya siku 18,anaruhusiwa kutumia mwny umri wa miaka15_ na kuendelea.
🔸Ni mfumo wa unga tu.🔸

📌IDUNI,
Ni mchanganyiko wa miti 4 yenye kutibu presha kwa haraka sana.
🔸dozi siku 3 ina mfumo wa unga.🔸
________________________________
📌KOONYA,
Ni dawa ya mchanganyiko wa miti 10 inayotibu tezi dume kwa mda wa siku 14 haihitaji kulazwa unatumia na kuendelea kufanya mambo yako,
🔸NI mfumo wa unga tu🔸
________________________________
📌MALEMALE,
Hutibu busha bila operation na kusambaa kabisa kwa siku 20.
🔸Dawa hii IPO katika mfumo wa unga tu.🔸
________________________________
📌MWENDO WA YEGE,
Ni dawa yenye kufanikisha:
🔖Kumvuta umpendae aliyekuacha wakati bado unampenda pia
🔖Inafanya kazi kwa haraka sana.
🔸Matokeo ndani ya masaa 4,ina mfumo wa unga tu🔸
________________________________
📌KONDWAHULI,
NI dawa yenye uwezo mkubwa kuzuia CHUMAULETE, iwe:
🔖Nyumbani au katika
🔖Biashara pia
🔸Haina kikomo ni hadi milele🔸
________________________________
📌SALE,NI dawa ya kutibu miguu,kiuno magoti kuwaka Moto,
🔸Dozi siku 10, Mfumo wa unga.🔸
________________________________
📌MALELA,
NI dawa ya kutibu:
🔖Vidonda vya tumbo
🔖Tumbo kujaa gesi
🔖Minyoo tumboni
🔖Kilungulila au muungurumo tumboni.
🔸mfumo wa unga  dozi siku 5🔶
________________________________
📌SALIUNGU,NI dawa ya kuvutia wateja ktk biashara yako unayofanya..
________________________________

📌TOBO,NI dawa ya uzazi kwa akina mama waliohangaika  bila kupata watoto kwa mda mrefu,kutoa uvimbe tumboni,pia kupanga mayai yaliyo mbali na kumaliza chango lolote.dozi NI siku 12 na kupona kabisa,NI mfumo wa unga tu.
________________________________
📌NUNDANUNDA,ni dawa inayotibu kupooza/strock,msongo wa mawazo na uti wa mgongo.
________________________________
📍Kama una tatizo ambalo halijaorodheshwa hapo utanifahamisha,huduma kuanzia saa 1 asubuhi_1jioni.kama huwezi kufika nilipo nakuletea dawa mwenyewe unayohitaji..Nipo ktk mikoa miwili tu SHINYANGA &DAR ES SALAAM (kinondoni na temeke)..Piga namba
📞+255 753 928 576 (WhatsApp)
📞+255 716 608 959
----------------------------------------
For non tanzanian residents, please contact us through Whatsapp number
📞 +255 753 928 576
For the delivery of our services
______________________________
________________________________

Je Kwanini Baadhi Ya Wanaume Wengi Wana Ukosefu Ama Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

$
0
0
JE KWANINI BAADHI YA WANAUME WENGI WANA UKOSEFU AMA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO ???

Pata sululisho la matatizo haya na  magonjwa mengine utapona kwa mda mfupi sana hatakama ulihangaika mpaka ukakata tamaaa 

GALIMBO 3 MIX  ni dawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa aina mbili ili kukidhi mahitaji ya mtumiaji, imetengenezwa kwa muundo wa vidonge pamoja na unga kwaajili ya kuponesha tatizo moja kwa moja , huimalisha misuli ya uume iliyolegea wakato wa tendo la mdoa ,na kukufanya ucherewe kufika kileleni kwa mda wa dk ( 20 - 45 ) itakufanya uludie tendo la ndoa zaidi ya Mara tatu nira hamu kuisha wara kuhisi kuchoka vilivile huzalisha viini vya uzazi ( manii ) 

YOLAN  hurefusha na kunenepesha  maumbile madogo ya uume na kuwa na uume kuanzia nchi (6-8) tiba kwa mda mfupi sana

Zipo sananu nyingi sana zinazosababisha matatizo hayo  km vile -:punyeto, kisukali,ngili,chango,vidonda vya tumbo,  tumbo kuunguluma na kujaa gesi maumivu ya mgongo ama kiume ,kolodani moja kuvimba ama kuingia ndani  presha nk 

Matatizo haya yote sio mageni, kigeni ni tiba sahihi ya kuponesha matatizo hayo

SUPER MBUKE -:  nidawa ya kuponesha tatizo la kisukali kwa mda mfupi sana , usihangaike wara kuteseka tumia dawa ya mitishamba kwaajili ya tatizo hili na upone kabisa

NTINJIWA  nidawa ya mvuto wa biashara,kazi, kupandishwa cheo,kumfanya mfanyakazi apendwe na bos wake

Pia ninadawa za kumvuta mme , mke,mchumba,hawara, au mtu yoyote unaemuhitaji katika maisha yako hata km yupo mbali na atatulia na kukutimizia cjovjote utakacho na kumfunga asiwe na mtu mwingime ,

Pata tiba za magonjwa mbalimbali ikiwemo miguu kuwaka moto, mgongo,bawasili ,kaswende ,gono na mengine mengi

KWAUSHAULI NA TIBA WASILIANA NA DR CHIKAGO    0759 208 637

Km huna nafasi ya kufika ofisini hudumahii utaletewa hapo ulipo , kwa wale wa mikoani natuma kwanjia ya basi

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Makamishina wa Jeshi la Polisi.....IGP Sirro Awapangua Makamanda

$
0
0
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro amefanya mabadiliko ya kiuongozi kwa maofisa wa jeshi hilo baada ya Rais John Magufuli kufanya uteuzi wa makamishna wapya.

Akizungumza na vyombo vya habari leo Machi Mosi, IGP Sirro amewataja makamishna walioteuliwa na Rais Magufuli kuwa ni Charles Mkumbo ambaye anakwenda kuongoza kamisheni ya intelijensia na Liberatus Sabas ambaye anakuwa mkuu wa operesheni na mafunzo.

Wengine ni Leonard Lwabuzala ambaye ataongoza kamisheni ya fedha na logistics na Benedicto Wakulyamba ambaye anakuwa mkuu wa kamisheni ya utawala na menejimenti ya utumishi na Shaaban Mlai ambaye ataongoza kamisheni ya maabara ya uchunguzi wa kisayansi.

Mbali na makamishna hao, Sirro amefanya mabadiliko ya kiutawala kwa maofisa wa jeshi hilo; James Mushi ambaye alikuwa kamanda wa polisi mkoa wa Ruvuma anakuwa Mkuu wa Chuo cha Polisi (CCP) Moshi wakati RPC wa Njombe, Renata Mzinga akirudishwa Makao Makuu.

Sirro amewataja makamanda wapya wa mikoa kuwa ni Amon Kakwale (RPC wa Temeke), Jonathan Shana (RPC Arusha), Marwa Mahiga (RPC Ruvuma), Salum Hamduni (RPC Njombe) na Zuberi Chembela (RPC Ilala).

Viongozi wengine waliohamishwa vituo vya kazi ni Mihayo Nsekela (ofisi ya operesheni na mafunzo), Simon Haule ambaye alikuwa RPC wa Shinyanga anarudishwa Makao Makuu na Yusuph Sarungi ambaye alikuwa RPC Songwe anakuwa mkuu wa kitengo cha kushughulikia wizi wa mifugo (SPU).

Benedict Mapugila ameteuliwa kuongoza kikosi cha bandari wakati Michael Marwa anapelekwa makao makuu Zanzibar. Sirro amesema Albert Nyamhanga na Nsato Marijani wanakwenda Idara ya Wakimbizi ambayo iko chini ya Idara ya Uhamiaji

Marekani yatoa zawadi ya mabilioni kwa Atakayefanikisha Kumkamata Mtoto wa Osama Bin Laden

$
0
0
Marekani imetangaza zawadi ya $1 milioni (sawa na 2,345,300,000 za Tanzania) kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa mtoto wa kiume wa kiongozi wa Al-Qaeda, Osama Bin Laden.

Taarifa rasmi ya Serikali ya Marekani imeeleza kuwa Hamza Bin Laden amekabidhiwa jukumu la kuwa kiongozi wa Al-Qaeda na anapanga mashambulizi ya kigaidi.

“Serikali ya Marekani inatoa zawadi kwa taarifa kuhusu Hamza Bin Laden. Tunawahakikishia usiri mkubwa na uwezekano wa kuhamishwa eneo ulipo upo. Kama unazo taarifa, tafadhali wasiliana na ubalozi wa Marekani ulio karibu nawe,” tafsiri ya sehemu ya taarifa ya Marekani.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa Hamza anaweza kuwa karibu na mipaka ya Afghanstan na Pakistani.

Hivi karibuni, alisambaza video na sauti zenye jumbe za kuwahamasisha wafuasi wa kundi hilo duniani kutekeleza mashambulizi dhidi ya Marekani na marafiki wao wa Magharibi kwa lengo la kulipiza kisasi cha kifo cha baba yake.

Mwaka 2011, kikosi namba mbili cha makomando wa Marekani kilivamia maficho ya Osama Bin Laden katika mji wa Abbottabad nchini Pakistani na kumuua. Osama anatajwa kuagiza utekelezaji wa mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11, 2001 nchini Marekani ambayo yalisababisha vifo vya takribani watu 3,000.
 
Hamza Bin Laden ambaye anakadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 hivi sasa, anadaiwa kuwa amemuoa binti wa Mohammed Atta, ambaye alihusika kuteka moja kati ya ndege za abiria na kugonga mnara wa jengo la Biashara (World Trade Center) jijini New York.

Barua ambazo zilipatikana kwenye nyumba ya Osama baada ya kuuawa, zinadaiwa kuonesha jinsi ambavyo alikuwa akimkubali na kumpa nafasi Hamza kama mtoto wake mpendwa zaidi na ambaye anaweza kuchukua jukumu la kuiongoza Al-Qaeda.

Osama ambaye ni mzaliwa wa Saudi Arabia alienda Afghanistan miaka ya 1980 ambapo alijiunga na kundi la Mujahideen lililokuwa linasaidiwa na Marekani kupigana na vikosi vya Soviet ambavyo vilikuwa vimeikalia ardhi ya Afghanistan.

Alianzisha taasisi kwa kwa ajili ya kuwasaidia watu waliokuwa wanajitolewa kuungana na Mujahideen kupigana kuikomboa ardhi ya Afghanistan, aliita taasisi hiyo ‘Al-Qaeda’. Mwaka 1989 aliondoka Afghanistan. Alirejea tena mwaka 1996 na kuanzisha kambi ya kutoa mafunzo ya kijeshi kwa maelfu ya wapiganaji wenye mlengo wa imani ya itikadi kali.

Baada ya muda, Al-Qaeda ilitangaza rasmi vita dhidi ya Marekani, Israel na washirika wao.

Updates: Mwili wa Ruge Mutahaba Wawasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

$
0
0
Mwili wa  Mkurugenzi  wa Vipindi na Uzalishaji  Clouds Media Group, Ndugu Ruge Mutahaba  umewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ukitokea Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu.

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mh. Paul Makonda tayari tayari yupo  uwanjani hapo kwa ajili ya kupokea Mwili wa  Ruge Mutahaba

Pia, gari litakalobeba mwili wake tayari nalo limeshawasili hapa  uwanjani

Wabunge wa CHADEMA Suzan Kiwanga w na Peter Lijualikali Warudishwa Rumande

$
0
0
Wabunge wa Chadema Suzan Kiwanga wa jimbo Mlimba na Peter Lijualikali wa Kilombero na wafuasi saba wa chama hicho wamerudishwa rumande hadi Machi 4.

Uamuzi huo umefikiwa na mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro iliyoridhia ombi la upande wa Jamhuri la kuwaongezea muda ili waweze kuwasilisha kiapo cha nyongeza cha kupinga dhamana ya washtakiwa hao.

Washtakiwa hao wamekaa ndani kwa wiki moja sasa tangu walipofikishwa mahakamani hapo mara ya kwanza Februari 25 na leo walifikishwa tena mahakamani hapo chini ya ulinzi mkali wa polisi wenye silaha.

Kabla ya kutoa uamuzi wa kuahirisha kesi hiyo ya jinai namba 43 ya mwaka 2019, hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama hiyo Elizabeth Nyembele alipokea hoja kutoka upande wa Jamhuri ukiongozwa na wakili wa Serikali Neema Haule na upande wa utetezi ukiongozwa na wakili Bathelomew Tarimo.

Wakati wakiwasilisha hoja hizo uliibuka mvutano mkali wa kisheria baina ya upande wa Jamhuri na upande wa utetezi na hivyo Hakimu Nyembele aliamua kuahirisha kesi hiyo kwa muda wa dakika 15 ili kupitia hoja zote.

Baada ya kupitia hoja hizo, baadaye alikubali ombi la upande wa Jamhuri la kuongeza muda kwa ajili ya kuwasilisha kiapo cha nyongeza cha kupinga dhamana ya washtakiwa hao kwa kuzingatia kuwa muda uliotolewa awali ulikuwa mchache.

Baadhi ya hoja za kisheria walizokuwa wakivutana mawakili hao ni pamoja na sababu za kushindwa kuwasilisha kiapo hicho kwa wakati ambao upande wa Jamhuri ulidai kuwa mtu anayehusika kusaini kiapo hicho ambaye ni SP Rashidy Njiku amesafiri kwenda Kilosa kikazi.

Akikazia hoja hiyo Wakili wa Jamhuri, Neema Haule amedai kuwa si kila mtu anaweza kusaini kiapo hicho bali yupo mtu mwenye mamlaka ya kukisaini na kwamba hawana nia yoyote ya kuchelewesha kesi hiyo.

Wakili wa utetezi Tarimo amedai kuwa kitendo wanachokifanya upande wa Jamhuri kinaionyesha wazi mahakama kuwa hawana nia ya kuwasilisha kiapo hicho cha pingamizi la dhamana na hivyo aliiomba mahakama kutowasikiliza.

Mapema wakifikishwa mahakamani hapo mbunge Kiwanga alionekana akitembea bila ya viatu (peku) baada ya kandambili zake kumpa mshtakiwa mwenzake hata hivyo kabla ya kurudishwa rumande wanachama wa Chadema walimnunulia kandambili mpya.

Wabunge hao na wenzao saba wanashitakiwa kwa makosa nane likiwemo la kuharibu mali na kuchoma moto ofisi ya Serikali ya kijiji cha Sofi wilayani Malinyi.

Mkuu wa mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti Afika Nyumbani kwa Ruge Kuangalia Maandalizi ya Mazishi Ya Ruge

$
0
0
Mkuu  wa mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti amefika nyumbani kijijini kabale, Bukoba  katika msiba wa Ruge Mutahaba ili  kuungana na kamati ya maandalizi kwa ajili ya kukamilisha mipango ya mazishi.

Mwili wa Ruge tayari umeshawasili nchini ukitokea Afrika Kusini na Utazikwa Jumatatu  March 4, 2019

Breaking News: Edward Lowassa Atangaza kuhama CHADEMA na kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo

$
0
0
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amerejea Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Machi Mosi 2019. 

Lowassa ambaye alikuwa Mjumbe wa Kamati kuu CHADEMA alihama CCM na kujiunga CHADEMA, Julai 2015 ambapo aligombea Urais kwa tiketi ya Chama hicho.

Amepokelewa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli  katika ofisi ndogo za chama hicho Lumumba jijini Dar es Salaam


Rais Magufuli Atoa ONYO Kali kwa Viongozi Wanaowatoza Ushuru Wajasiliamali

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameonya kuwa hatamvumilia kiongozi yeyote wa Mkoa, Wilaya ama Halmashauri ya Wilaya, Mji, Manispaa na Jiji atakayebainika kuhusika kuwatoza ushuru ama tozo yoyote wajasiriamali wadogo waliopatiwa vitambulisho.

Rais Magufuli ametoa onyo hilo wakati akizungumza na wananchi katika Mtaa wa Lumumba Jijini DSM, muda mfupi baada ya kutoka katika Ofisi Ndogo za Chama Cha Mapinduzi (CCM) alikoongoza kikao cha viongozi wenzake wa CCM.

Rais Magufuli amefafanua kuwa kiongozi yeyote atakayebainika kuwatoza wajasiriamali wadogo wenye vitambulisho atachukuliwa hatua ikiwa ni pamoja na kuvuliwa madaraka, na hivyo ametaka wajasiliamali hao wasibughudhiwe.

Katika tukio hilo Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, akiwa na baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM ambao ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally Kakurwa, wamempokea Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa ambaye ametangaza kurudi CCM ikiwa ni zaidi ya miaka mitatu tangu alipotangaza kujiunga na chama cha upinzani.

Rais Magufuli ametoa wito kwa Watanzania kudumisha amani, umoja, udugu na mshikamano na kujielekeza katika ajenda kuu ya ujenzi wa Taifa, badala ya kupoteza muda mwingi kwa marumbano yasiyo na tija.


Kauli ya Katibu Mkuu CHADEMA Baada ya Lowassa Kurudi CCM

$
0
0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kuondoka kwa mwanachama wake, Edward Lowassa na kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM) hakutakuwa na madhara yoyote.

 Hayo yamesemwa leo Ijumaa Machi 1, 2019 na Katibu Mkuu wa chama hicho kikuu cha upinzani Tanzania, Dk Vicent Mashinji muda mfupi baada ya Lowassa ambaye ni waziri mkuu wa zamani kutangaza uamuzi huo.

“Tunamtakia maisha mema huko aendapo yeye ni mtu mzima anajua anachokifanya,” amesema Dk Mashinji..


Kwa upande wake Mbunge wa Iringa Peter Msigwa amesema:Kama kuna jambo la maana kubwa Lowasa amefanyia CHADEMA, ni kuondoka CHADEMA kurudi CCM.

Picha 11: Tazama Picha za Mapokezi ya Lowassa Baada ya Kuhama CHADEMA na Kurejea CCM

$
0
0
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa leo Ijumaa Machi Mosi, 2019 ametangaza uamuzi wa kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM).

Lowassa amerejea katika chama chake cha zamani shughuli iliyofanyika ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam na kupokelewa na Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Tanzania, John Magufuli.

Tazama picha hapo chini

Ratiba rasmi ya kuaga mwili wa Ruge, Dar es salaam Kesho Jumamosi March 2

$
0
0
Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba umewasili nchini leo mchana, 1, Machi, 2019.

Mwili wake unatarajia kuagwa Jumamosi, 2 Machi, 2019 katika ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar es salaam kabla ya kusafirishwa mkoani Kagera kwaajili ya mazishi yatakayofanyika Jumatatu, 3 Machi, kijijini kwao Kiziru wilayani Bukoba.

Hii hapa ni ratiba rasmi ya kuuaga mwili wake.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya March 2

Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images