Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Aachwa na mkewe baada ya madaktari kuupunguza uume wake kwa bahati mbaya

0
0
Madaktari nchini Canada wameingia katika matitizo makubwa baada ya kukosea na kumkata mwanaume mmoja sehemu ya uume wake na kupunguza kwa urefu wa inch 1 (sentimeta 2.5).   Kwa mujibu wa QMI la Canada, mwanaume huyo anadaiwa kufika hospitali akihitaji matibabu baada ya kuumia bahati mbaya wakati wa tendo la ndoa na kupata mshituko hivyo kulazimika kufanyiwa upasuaji ili kumsaidia

Tajiri adaiwa kumbaka mtumishi wake (house girl) mwenye umri wa miaka 14 siku 4 baada ya kuanza kazi na kisha kukimbilia mafichoni

0
0
Mfanyakazi wa ndani, miaka 14 mkazi wa kijiji  cha Mdenge, Kata ya Likombe katika Wilaya ya Mtwara, amebakwa na mwajiri wake usiku wa kuamkia jana na kumsababishia maumivu makali na kisha kutokomea kusikojulikana. Akiongea na FikraPevu jana Jumatatu Juni 16, 2014, Mama mzazi wa mtoto huyo, mwenye umri wa miaka 36, amesema mtoto wake amekumbana na masahibu hayo siku nne tangu aanze kufanya

Mbunge Vicky Kamata atoa wimbo mpya uitwao....'Moyo wa Mtu Kichaka'.....Hii ni baada ya yeye kuugua na ndoa yake kukwama kufungwa

0
0
Mh. Vicky Kamata aliwasili Bungeni Dodoma na kama ilivyo ada alipokewa vizuri na kila mbunge aliyekutana naye.    Wabunge wengi walimpa pole baada ya kuugua siku chache kabla ya ndoa yake na kumtakia kila la kheri, huku wengi wakiamini kilichotokea ni mpango wa Mungu na kua Ndoa yake ipo na itakuwepo siku yoyote Mungu akiamua kulitimiza kusudi lake juu ya Mh. Vicky Kamata..   

Update: Mume wa Flora Mbasha akamatwa na kupandishwa kizimbani kwa tuhuma za Ubakaji.....Ashindwa masharti ya dhamana, apelekwa Rumande

0
0
MSANII Emmanuel Mbasha (32) na mume wa Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, amefikishwa  Mahakama ya Wilaya ya Ilala akikabiliwa na mashitaka mawili likiwemo la ubakaji.Mshtakiwa huyo ambaye ni mfanyabiashara na mwimbaji alisomewa mashitaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Wilberforce Luago.Wakili wa Serikali Nassoro Katuga alidai kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo mawili maeneo ya Tabata Kimanga,

Hii ndio kauli ya Rais Kenyatta baada ya mashambulizi mawili yaliyoua Wakenya 70

0
0
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kuwa mauaji yaliyofanywa katika mji wa Mpeketoni, Pwani ya Kenya hayakufanywa na kundi la wapiganaji wa kiislamu la Al Shabaab.   Kauli ya Rais Kenyatta inakuja siku moja baada ya kundi hilo kukiri kufanya mauaji yaliyotokea Mpeketoni Jumapili usiku  na  kuua  watu  zaidi  ya  50.   Akitoa hotuba yake ya kitaifa, Rais Kenyatta pia amesema maafisa

Maelezo Muhimu kwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano Mwaka 2014

0
0
Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya Mtihani wa Kidato cha Nne Tanzania Bara mwaka 2013. 2.0 WATAHINIWA WALIOFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE, MWAKA 2013 Jumla ya watahiniwa 427,679 walisajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha

Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano mwaka 2014

0
0
Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya Mtihani wa Kidato cha Nne Tanzania Bara mwaka 2013.  -------------------------------------------- Majina  ya  Wanafunzi  waliochaguliwa  kujiunga  Kidato  cha  Tano  mwaka  2014 1.

Magazeti ya Leo Jumatano ya tarehe 18 June 2014

0
0
                      Magazeti  ya  Leo  Jumatano  ya  tarehe  18  June  2014

Picha na maelezo ya bomu lililoonekana Mtwara jioni ya Juni 16

0
0
Hili ni bomu ambalo jioni ya June 16 2014 kwenye kijiji cha Mdui kata ya Mawala wilaya ya Mtwara vijijini kwenye mkoa wa mtwara liliokotwa na watoto waliokuwa wakicheza karibu na eneo la makaburi.  Taarifa ilitolewa Polisi baadaye ambapo baada ya wataalamu kuja na kuchunguza waligundua ni bomu la kurusha kwa mkono ambalo lina namba TNT MORTAR BOMB 60MM,LOT SOL 618 ambapo Polisi kwa

Lowassa: Bomu la ajira kwa vijana Litalipuka muda wowote.....Asema vijana 10,500 waliojitokeza hivi karibuni kwenye usaili Uwanja wa Taifa ni Ushahidi tosha

0
0
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema vijana 10,500 waliojitokeza hivi karibuni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kufanya usaili wa nafasi 70 za kazi katika Idara ya Uhamiaji, ni ishara kuwa bomu la ajira litalipuka muda wowote.    Akizungumza na waandishi wa habari jana nje ya Viwanja vya Bunge, Lowassa alisema Serikali ni lazima ihakikishe inatengeneza ajira kwa kuwa

Mwanamke Ajifungua Mtoto Mwenye Kichwa Cha Ajabu Mkoani Singida.....Hakuwahi kuhudhuria Clinic tangu abebe Mimba

0
0
Mwanamke  mmoja  mkazi  wa  Kintinku, Wilayani  Manyoni  mkoani  Singida  amejikuta  akimwaga  machozi  baada  ya   kujifungua  mtoto  mwenye  kichwa  cha  ajabu (  tepe tepe).  Tukio  hilo  limetokea  jana  asubuhi    katika  hospitali  ya  Kintinku  Health  Center  iliyopo  Wilayani  Manyoni..... Akiongea  na  Mpekuzi  kwa  sharti  la  kutotajwa  jina  lake  kwa  madai  kuwa  yeye  si 

Hili ni Dili alilolipata Jokate Mwegelo kwenye sabuni inayotumia sura yake

0
0
Mwanamitindo Jokate Mwegelo ameibuka na ubunifu mpya wa sabuni ya kuogea inayokwenda kwa jina la Mo  yenye  sura  yake. Dili  hili  amelipata  ikiwa ni baada ya kutesa na bidhaa ya ndala  iliyokuwa  na  sura  yake  pia.   Akipiga stori na mwanahabari wetu, Jokate alisema uzinduzi wa sabuni hiyo unatarajiwa kufanyika leo Jumatano, Juni 18, mwaka huu ambapo yeye na timu yake watatembea

Majibu ya Ridhiwani Kikwete kuhusu NEC na kwa wanaosema anamiliki vituo vya mafuta

0
0
Inawezekana hili likawa moja kati ya maswali uliyonayo na hujawahi kupata nafasi ya kumuuliza muhusika au inawezekana ikawa ni ishu ambayo umewahi kuisikia au kuisoma kwenye chombo chochote cha habari.  Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ambae ni mtoto wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete kwenye exclusive interview na millardayo  anasema:   "Kuwa mtoto wa Rais

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili wa Nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji Awamu ya Pili

0
0
1. Orodha ya majina ya wafuatao, ni wasailiwa waliopita awamu ya kwanza ya usaili wa kuandika (Aptitude test).   2. Usaili wa awamu ya Pili ni wa ana kwa ana (Oral interview). Utafanyika katika Bwalo la Maafisa Magereza, Ukonga kwa tarehe zilizopangwa kuanzia saa 1:30 Asubuhi. 3. Kila msailiwa anaelekezwa kufika na vitu vifuatavyo:-  cheti halisi cha kuzaliwa  vyeti halisi vya shule

Magazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 19 June 2014

0
0
                          Magazeti  ya  Leo  Alhamisi  ya  Tarehe 19  June  2014

Mume wa Flora Mbasha Apata Dhamana.....

0
0
MUME wa Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) anayekabiliwa na kesi ya ubakaji amepewa dhamana katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar baada ya kutimiza masharti.   Mbasha amefikishwa mahakamani hapo akitokea Gereza la Keko alikopelekwa Juni 17 mwaka huu akikabiliwa na kesi ya kumbaka shemeji yake.   Mbasha baada ya kutolewa kwenye mahabusu ndogo ya mahakamani hapo alionekana

Maneno ya Director Mtitu kuhusu Kesi ya Emanuel Mbasha na Roho ya Kikatili aliyo nayo Flora Mbasha

0
0
Zikiwa  siku  chache  zimepita  tangu kesi ya Emmanuel Mbasha ambaye ni mume wa mwimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasha ianzwe kusikilizwa kwenye mahakama ya wilaya ya Ilala Dar es salaam ,baadhi ya wadau wametoa ya moyoni juu ya kesi hii.  Miongoni mwa watu walioguswa na kutoa ya moyoni ni muongozaji wa filamu mbalimbali Tanzania Wiliam Mtitu ambaye katika ukurasa wake wa Instagram

Wabunge wa CHADEMA waumbuana Bungeni

0
0
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) amemshukia Leticia Nyerere (Viti Maalumu-Chadema) kwa kumtaka aende CCM kwa sababu bado Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete ana nafasi za kuteuwa wabunge. Hadi sasa Rais Kikwete ameshateua wabunge wanane kati ya nafasi 10 alizopewa kikatiba.    Mdee aliyasema hayo jana alipokuwa akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Fedha kwa mwaka

Kituo cha TV chafungiwa baada ya kuonyesha Picha za Rais Museven akiwa amesinzia Bungeni

0
0
Serikali ya Uganda imekifungia kituo kikubwa cha Televisheni cha nchi hiyo NTV kuripoti habari zozote zinazomhusu Rais baada ya kurusha hewani picha zinazomuonyesha Rais Yoweri Museveni amesinzia bungeni.   Mkurugenzi wa kituo cha habari za serikali Dennis Katungi amenukuliwa akisema: “Rais ana tabia zake wengi mnajua, huwa anatafakari na wanajua lakini bado wameonyesha picha hizo na

Polisi nchini Kenya yamkamata mtu anayedaiwa kuendesha Account ya Twitter inayomilikiwa na Al Shabaab

0
0
Maafisa wa polisi wa Kenya wamemtia nguvuni mshukiwa anayetuhumiwa kuendesha akaunti ya Twitter ambayo ina uhusiano na kundi la kigaidi la Al shabaab na uliotoa habari kwamba Al shabaab walihusika kutekeleza mauaji eneo la Mpeketoni kaunti ya Lamu. Kwa mujibu wa Ripota  Julius Kepkoech  toka  Kenya, Katibu wa wizara ya Mambo ya ndani na usalama wa taifa, Mutea Iringo amethibitisha
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images