Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Waziri Lugola Ataka Wanaomkejeli Rais Wasakwe na Wakamatwe

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ameliagiza Jeshi la Polisi nchini Tanzania kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) kuwasaka watu wanaotoa maneno ya uchochezi dhidi ya Rais John Magufuli na Serikali.

Akizungumza na  waandishi wa habari leo Jumatatu Februari 13, 2019 jijini Arusha Lugola amesema wanaotoa maneno ya uchochezi  kupitia simu zao, Blogs na makundi ya WhatsApp watasakwa popote na kuchukuliwa hatua za kisheria.

“Watanzania tumieni vizuri mitandao ya kijamii, msitumie kuvuruga amani ya nchi, usijidanganye unaweza kufanya uchochezi na usikamatwe,” amesema akidai watu hao wanamchonganisha Rais Magufuli na wananchi.

“Kama unatoa kauli za kumtukana Rais na uchochezi ina maana kuna watu nyuma wanakutuma,” amesema Lugola.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamis ya February 14

TAKUKURU Yaomba Kumhoji Mshitakiwa Kesi ya kutakatisha fedha inayomkabili Mkurugenzi Mkuu wa zamani NIDA

$
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,imekubali mshtakiwa wa tano, Xavery Kayombo, katika kesi ya kutakatisha fedha inayomkabili Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu na wenzake watano, kwenda kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).

Amri hiyo ilitolewa jana Februari 12,2019 na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Salum Ally, baada ya upande wa Jamhuri kuwasilisha maombi kwamba mshtakiwa huyo anakwenda kuchukuliwa maelezo yake.

Wakili wa Serikali, Leonard Swai, alidai kesi hiyo imepangwa kwa ajili ya kutajwa na upande wa Jamhuri unaomba kibali cha kumchukua mshtakiwa kwenda kumhoji Takukuru.

Hakimu alisema mahakama yake imekubali mshtakiwa huyo kwenda kuhojiwa kwa siku moja kisha apelekwe mahabusu.

Alisema kesi hiyo itatajwa Februari 19, mwaka huu na washtakiwa wataendelea kukaa mahabusu.

Baada kesi hiyo kupigwa kalenda, ndugu na wanafamilia wa washtakiwa walilalamikia hatua ya mahakama kuendesha kesi hiyo katika chumba kidogo badala ya ukumbi wa mahakama ya wazi.

Baadhi yao waliangua vilio kutokana na kukosa kuonana na ndugu zao walioko mahabusu, huku wakidai kuwa wamesafiri kutoka mikoani kwa ajili ya kusikiliza kesi hiyo.

“Tumetoka Mbeya kuja kusikiliza kinachoendelea katika kesi za ndugu zetu, lakini tumeshindwa kusikia kwa sababu ya watu kufurika katika chumba kidogo walipoingia washtakiwa,” alisema mmoja wa wanaodaiwa kuwa wanafamilia wa washtakiwa hao huku akiangua kilio.

Mbali na Maimu na Kayombo washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Meneja Biashara wa (NIDA), Aveln Momburi, Mkurugenzi wa Kampuni ya Aste Insurance Brokers, Astery Ndege, Ofisa Usafirishaji, George Ntalima, Mkurugenzi wa Sheria, Sabina Raymond.

Awali washtakiwa hao walikuwa wakikabiliwa na mashtaka 26 likiwamo la uhujumu uchumi, ila Januari 28,2019 waliachiwa huru na mahakama hiyo baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kusema hana nia ya kuendeleza mashtaka dhidi yao.

Hata hivyo, baada ya washtakiwa kuondolewa mashtaka hayo na kuachiwa huru walikamatwa tena na walifikishwa katika mahakama hiyo kisha kusomewa mashtaka mapya 100 yakiwamo 25 ya utakatishaji fedha.

Video: Cadelana - CHEKECHA

Serikali Yazitaka Hospitali Binafsi Kuchangia Gharama Za Damu

$
0
0
Na WAMJW – DSM
Mpango wa Taifa wa Damu salama imetakiwa kuhakikisha Hospitali Binafsi zote zinaanza kuchangia gharama za huduma za afya ili kupata mgao wa damu.

Hayo yamesemwa jana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile wakati alipofanya ziara ya kukagua mashine za kupima sampuli za damu na utendaji kazi wa Mpango wa Taifa wa Damu salama.

Katika ziara hiyo Dkt. Ndugulile amesema kuwa ni lazima Mpango huyo uhakikishe unajiendesha wenyewe na kuhakikisha unapunguza gharama za utegemezi kwa Wafadhili na Serikali katika kutimiza majukumu yake.

“Ni lazima kupunguza gharama za utegemezi kwa Wafadhili na Serikali kwa kuanzisha mfumo wa uchangiaji gharama za huduma za Afya wakati Sera inaelekea kukamilika, Mpango unapendekeza kurudisha gharama kutoka Hospitali binafsi kupitia njia ya Bima” Alisema Dkt. Ndugulile

Dkt. Ndugulile alisema kuwa Idadi kubwa ya wanaokuja kuchukua Damu katika Taasisi hiyo ni Hospitali Binafsi ukilinganisha na Hospitali za Umma, ambapo mfumo wake ni wakutoza huduma kwa Wananchi (Biashara)

“Wanaokuja kuchukua Damu nyingi hapa, wengi ni Hospitali Binafsi, kuliko hata za kwetu za umma, Damu nyingi tunawapa, lakini hawa tukiwapa Damu hizi, wao wanaenda wanatoza pesa, kwahiyo sisi tunawatengenezea bidhaa bure halafu wao wanaenda kutoza pesa, hata senti tano sisi hatupati, sio sahihi” alisema Dkt. Ndugulile.

Aidha, Dkt. Ndugulile amewaagiza viongozi wa Mpango wa Taifa wa Damu salama kushirikiana na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili kuangalia ni namna gani Damu iwe ni moja ya vitu vitakavyo gharamiwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.

“Muwahusishe Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, kuangalia jinsi gani damu itakuwa inagharamiwa na Bima ya Afya, mtuletee mapendekezo na sisi tutafanya maamuzi” Alisema Dkt. Ndugulile.

Mbali na hayo Dkt. Ndugulile ameagiza kufanya maboresho ya mfumo wa Takwimu kuanzia kwenye ukusanyaji wa mapato  mpaka hatua ambayo mgonjwa anapata damu hiyo jambo litakalosaidia kuboresha huduma kwa wananchi.

Kwa upande mwingine Dkt. Ndugulile ameagiza  kuweka mikakati ya kuhakikisha wanawabakishia wachangiaji Damu ambao wanakuja kuchangia, hii inatokana na takwimu kuonesha Wachangiaji wa Damu wa hiari wanapungua kutoka 67% mpaka 63%  mwaka 2017-2018.

“Taarifa yenu ya Mwaka 2017-2018 inaonesha kwamba, wachangiaji Damu wa hiari wanapungua kutoka  67% mpaka 63% , maana yake bado kuna changamoto, na kuna kazi tunatakiwa kufanya ikiwemo kuweka mikakati ya kuhakikisha kwamba tunaowapata Mara ya kwanza kuendelea kuwa nao” Alisema Dkt. Ndugulile

Naye Meneja Mpango wa Taifa wa Damu salama Dkt. Magdalena Lyimo amesema kuwa Mpango una mkakati wa kuboresha mfumo wa ukusanyaji taarifa na Takwimu za kielektroniki unaunganishwa nchi nzima ili kuleta tija na ubora wa huduma za damu salama nchini.

Kwa upande mwingine Dkt. Lyimo amesema kuwa Mpango umefanikiwa katika kipindi cha Mwaka 2018  kwa kushirikiana na timu za Mikoa na Halmashauri ulikusanya jumla ya chupa 307,835 ambayo ni sawa na Chupa 6 kwa kila watu 1000, huku Shirika la Afya Duniani linapendekeza kukusanya chupa 10 kwa kila watu 1000, makusanyo hayo ni sawa na ongezeko la chupa 73,882 sawa na 32% ikilinganishwa na Takwimu za 2017.

Dkt. Magdalena Lyimo aliendelea kusema kuwa kwa Mwaka 2018, Wastani wa chupa 25,653 zilikusanywa kila mwezi na damu zote zilipimwa magonjwa ya HIV,Kaswende pamoja na makundi ya damu, huku matarajio ni kuongeza damu hadi kufikia chupa 375,000 kwa Mwaka 2019.

Naibu Waziri Ikupa Ahimiza Vyama Vya Watu Wenye Ulemavu Kushirikiana Na Serikali

$
0
0
Na; OWM (KVAU) – Dodoma
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu, Mhe. Stella Ikupa ameviasa Vyama vya Watu wenye Ulemavu nchini kuhakikisha wanashirikiana na Serikali katika kuendeleza ustawi wa Watu wenye Ulemavu.

Naibu Waziri Ikupa ameyasema hayo alipofanya ziara Mkoani Dodoma kukagua utekelezaji wa masuala ya Watu wenye Ulemavu ndani ya mkoa huo, ambapo alikutana na viongozi Mkoa na Vyama vya Watu wenye Ulemavu.

Mhe. Ikupa alieleza kuwa ushirikiano baina ya Serikali na vyama vya watu wenye ulemavu ni muhimu katika kuhakisha haki na masilahi ya watu wenye ulemavu yanalidwa kwa kuzingatia Sera, Sheria na Miongozo mbalimbali.

“Serikali imeendelea kuchukua hatua na kutekeleza jukumu lake la kuhamasisha na kuwalinda watu wenye ulemavu nchini kwa kuhakikisha haki za kundi hilo maalumu zinatekelezwa,” alisema Ikupa

Aidha, alisisitiza uongozi wa Mkoa kuhakikisha unahusisha mahitaji maalumu ya wenye ulemavu katika bajeti wanazozitenga, kutoa elimu na taarifa juu ya upatikanaji wa dawa, mafuta ya watu wenye ualbino na vifaa saidizi, na uundwaji wa kamati za kuhudumia wenye ulemavu.

Aliongezea kuwa, ni vyema Maafisa Maendeleo ya Jamii pamoja na maafisa ustawi wa jamii wakahakikisha wanawasaidia watu wenye ulemavu wanapokabiliana na changamoto kwenye uandikaji wa maandiko ya kuomba mikopo.

“Unakuta kikundi cha watu wenye ulemavu wanakuwa wabunifu na wanawazo zuri la kuanzisha mradi au biashara lakini wanakumbana na changamoto ya kuaandaa andiko la miradi yao na hivyo kuwafanya wakate tamaa mapema,” alisema Ikupa

Pia, aliwasii Maafisa Ustawi wa Jamii kuwa na takwimu sahihi za idadi ya watu wenye ulemavu na kuendelea kuweka mifumo mizuri ya kutunza taarifa hizo.

Kwa upande wake Katibu Tawala wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Bw. Edward Mpogolo aliunga mkono na kuyapokea maelekezo yote ya Naibu Waziri na kumhakikishia kuwa Mkoa wa Dodoma utakuwa mstari wa mbele katika kutekeleza maagizo aliyoyatoa.

 “Tutafanya kazi kwa ushirikiano mzuri na Vyama vya Watu wenye Ulemavu ili kuangalia namna bora ya kuwahudumia kwa kuzingatia mahitaji yao,” alisema Mpogolo.

Naye Katibu wa SHIVYAWATA Mkoa wa Dodoma, Bw. Justus Ng’wantalima alimpongeza Naibu Waziri kwa jitihada ambazo amekuwa akizifanya katika kutetea Watu wenye Ulemavu.

Katika ziara hiyo Naibu Waziri Ikupa, alitembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, Chama cha Walemavu Sulungai kinachojishughulisha na ushonaji wa viatu vya wazi (kobasi) na utengenezaji wa majiko. Vilevile Mhe. Ikupa alitembelea shule ya Viziwi iliyopo Jijini Dodoma.

Mpelelezi nguli wa jeshi la Marekani Asaliti na Kuisaidia Iran.....FBI Wamsaka

$
0
0
Waendesha mashtaka wa Marekani wanamtuhumu Monica Witt aliyekuwa afisa wa kikosi cha anga cha jeshi la nchi hiyo kwa kuasi na kuwa mpelelezi wa jeshi la Iran akiwalenga aliokuwa akifanya nao kazi awali.

Kwa mujibu wa waendesha mashtaka hao, Monica alivigeuka vikosi vya Marekani mwaka 2013 akitumia maarifa ya kipelelezi ya kijeshi kuhujumu jeshi la nchi hiyo.

Shirika la Ujasusi la FBI limeeleza kuwa mwanamke huyo alikuwa miongoni mwa watu waliokuwa na hati ya usalama wa hali ya juu alipokuwa akifanya kazi na jeshi la Marekani kati ya mwaka 1999 na 2013.

Aidha, watu wannne ambao ni raia wa Iran wanasakwa kwa tuhuma za kujaribu kuweka program ya kipelelezi kwenye kompyuta zinazomilikiwa na Monica.

Idara ya Hazina ya Marekani pia imeyafungia makampuni mawili ya Iran ambayo ni New Horizon Organization na Net Peygard Samavat kwa tuhuma za kuhusika kuwezesha kifedha mpango huo wa Iran.

“Hii ni siku mbaya kwa Marekani, ambapo raia mwenzetu ameisaliti nchi,” alisema Mwanasheria Mkuu Msaidizi, John Demers.

Monica anadaiwa kuvujisha siri za ndani za jeshi la Marekani kwa Iran yakiwemo majina ya wapelelezi na taarifa za ndani za oparesheni kadhaa.

Kupitia nyaraka za mashtaka, wapelelezi wameeleza kuwa mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 39 alipelekwa Mashariki ya Kati kwa ajili ya kufanya kazi maalum zilizobeba oparesheni za siri.

Kiwanda Cha Global Packaging Chapunguza Changamoto Ya Uagizaji Vifungashio

$
0
0
Na Lilian Lundo – MAELEZO
Kiwanda cha Global Packaging (T) Limited kilichopo Halmashauri ya Mji wa Kibaha, Mkoa wa Pwani kimepunguza kwa kiasi kikubwa uagizaji wa vifungashio nje ya nchi.

Hayo yameelezwa mapema wiki hii na Meneja Mradi wa kiwanda hicho, Hatibu Njuwila wakati wa mahojiano maalum na mwandishi wa habari hii.

“Kiwanda kilianza uzalishaji Januari, 2017 na  kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli , kinazalisha tani 150 za mifuko au vifungashio kwa mwezi,” amesema Njuwila.

Ameendelea kusema, wateja wakubwa wa kiwanda hicho ni wakulima wanaozalisha bidhaa za nafaka kama vile mahindi, mtama na mchele, bidhaa zinazotokana na madini na mazao mengine yanayohitaji vifungashio.

Amesema, lengo la uanzishwaji wa kiwanda hicho ni kupunguza uagizaji wa vifungashio nje ya nchi kutokana na kuwepo na uigizaji mkubwa wa vifungashio kutoka nje ya nchi kwa gharama kubwa.

Aidha amesema, mafanikio waliyoyapata katika kipindi cha miaka miwili tangu kuanza kwa uzalishaji wa kiwanda hicho ni pamoja na kuajili wafanyakazi 98 ambao wote ni Watanzania,  ambapo kwa asilimia kubwa ni kutoka Halmashauri ya Kibaha.

Mafanikio mengine ni kupunguza kwa kiasi kikubwa uagizaji wa vifungashio kutoka nje ya nchi, kulipa kodi mbalimbali za Serikali Kuu pamoja na Halmashauri ambapo imeongezea Serikali mapato.

Matarajio ya kiwanda hicho ni kuzalisha vifungashio vyenye ubora na ambavyo vinakidhi mahitaji ya wateja ambayo itaongeza thamani ya mazao na uhifadhi na kupata masoko ya uhakika ndani na nje ya nchi.

Global Packaging (T) Limited imejipanga vyema kutekeleza sera ya Serikali ya viwanda kwanza kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025, inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

Makamu Wa Rais Azungumza Na Wasanii Kuhusu Athari Za Matumizi Na Biashara Ya Dawa Za Kulevya

$
0
0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wasanii nchini kuiga mambo yenye kuleta manufaa kwa jamii.
 
Makamu wa Rais ameyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati akihutubia Wasanii wa Sanaa mbalimbali waliohudhuria Kongamano la Wasanii nchini dhidi ya tatizo la dawa za kulevya.

“Naamini kuwa wasanii hawa ni vioo vya jamii lakini baadhi yao wamekuwa wakitumika kama ‘mapunda’ kusafirisha dawa na wengine kudumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya” alisema Makamu wa Rais.

Makamu wa Rais aliwaasa wasanii hao kujiepusha na matumizi na biashara ya dawa za kulevya ambapo aliwaambia dawa za kulevya zina madhara mengi kiuchumi, kisiasa, mazingira, kiafya na kijamii, pia hudhoofisha afya za watumiaji na kuathiri uwezo wa kufanya kazi.

Kongamano hilo lililobeba kauli mbiu inayosema Usanii bila kutumia au kubeba Dawa za Kulevya inawezekana, Chukua Hatua.

Makamu wa Rais amepongeza kwa kuanzisha vituo 6 vya huduma ya methadone ambapo jumla ya waathirika 6,300 wametibiwa kwenye vituo hivi.

Makamu wa Rais ameagiza Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kuharakisha  miongozo hiyo na itakuwa vyema ikiwa kwenye udhibiti wa Dawa za hospitali zenye asili ya kulevya ili zitolewe na Bohari ya Kuu ya Madawa (MSD) badala ya watu binafsi.

Pamoja na mambo mengine Makamu wa Rais ametoa rai kwa vyombo vya ulinzi na usalama hususani polisi na maafisa uhamiaji kuhakikisha kuwa bidhaa zinazovuka mipaka yetu zisiwe bidhaa zinazokuja kuharibu Taifa.

Kwa upande mwingine Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana , Ajira na Walemavu) Mhe. Jenista Mhagama  alisema Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Uongozi wa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amedhamiria kutokomeza dawa za kulevya hapa nchini.

Wakati huohuo, Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harisson George Mwakyembe alisema amefurahishwa na nia njema iliyoonyeshwa na wasanii ya vita dhidi ya matumizi na biashara ya dawa za kulevya.

Lugola ahoji dereva wa Tundu Lissu kutopigwa risasi

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema kuna haja ya dereva ya Mbunge wa Singida Mashariki, Adam Bakari kueleza kwanini alipohisi kuwa wanafuatiliwa na watu wa siojulikana siku ya kushambuliwa kwa Lissu hawakuchukua hatua ya kulipeleka gari kituo cha polisi.

Kangi Lugoa ametoa kauli hiyo jana Jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema maelezo ya dereva huyo yanatia shaka, wanataka awaeleze mambo kadhaa yatakayosaidia uchunguzi wa tukio hilo.

"Kwa hali ya kawaida ni jambo la kushangaza risasi zote hizo wanasema 38, hata moja haikumpata dereva huyu,” alisema Lugola.

Waziri huyo pia amehoji risasi hizo kutoharibu kisanduku kilichopo katikati ya gari hilo sehemu ya mbele, kinachotenganisha dereva na abiria.

Kuhusu eneo hilo kuondolewa kamera za CCTV, Lugola amesema nyumba za Serikali jijini Dodoma hazina kamera hizo.

“Huu ni upotoshwaji mkubwa ambao unalenga kuwadanganya wananchi na kuwataka waichukie Serikali yao na Rais John Magufuli na mimi kama waziri wa mambo ya ndani sitokubali,” alisema.

Alibainisha kuwa eneo alilokuwa akiishi mbunge huyo linalindwa na askari wa kampuni binafsi za ulinzi, si polisi na kubainisha kuwa kutokana na utata huo ndio maana wanamtaka mbunge huyo na dereva wake kutoa maelezo kukamilisha upelelezi.

“Wao ndio walikuwepo watuambie hawa waliompiga risasi ni wanawake au wanaume, ni wanene au wembamba, warefu au wafupi,” alisema.

Kutana na Bingwa wa Kutibu Tatizo Sugu la Nguvu za Kiume, Vidonda vya Tumbo kwa Tiba Asili

$
0
0
Ninatibu gonjwa lililosumbua  kwa muda mrefu yaani NGUVU ZA KIUME kwa dawa iitwayo MWAGALA NUNDANUNDA POWER Hutibu na kupona kabisa na kufanya kuongeza hamu ya tendo la ndoa na utaweza kurudia tendo zaidi na zaidi mpaka uchoke mwenyewe,.

Ii kupona kabisa tumia dawa mpaka umalize dozi, dozi yake Ni siku 6 tu,Ni ya miti shamba iliyoboreshwa kwa mfumo wa vidonge na unga.

MMALE;komesha ya maumbile madogo .Kama tatizo limeanzia utotoni huchukua siku 6.

MMEGELE; Ni mixer ya miti 48 kwa kutibu ugonjwa wa kisukari kupanda na kushuka,na kupona kabisa dawa huu hutumika kwa siku 14, kisukari kwako inabaki historia.

SEESE,Ni dawa ya Uzazi kwa wasiofanikiwa kupata watoto awe baba au mama haijalishi una umri gani tumia SEESE uone mafanikio

ITULA,Ni dawa ya kutibu ngiri na Busha bila kufanyiwa operation,dozi ya Busha siku 21 dozi ya ngiri siku 4 na kuuma kwa korodani dozi siku 4.

CHAVAGI,Ni dawa ya heshima sehem za kazi na biashara na kusikilizwa uyasemayo mbele za watu au mitafaruko ndani ya nyumba.

NANGANANGUMU MIXER,Ni dawa ya kutibu tezi dume bila kufanyiwa operation tiba ya tezi dume ipo mlangoni kwako kwa mda wa siku 7 na kupona kabisa..

MUHALE NANSELYA,Ni dawa ya miguu kufa ganzi,kuuma kuwaka moto,magoti,dozi siku 8..

GEMBE,Ni dawa ya kuondoa michirizi,nyama uzembe,chunusi pia kutengeneza shape nzuri.

SUNGURURU,Ni dawa ya kutibu vidonda vya tumbo na kilungulia dozi siku 4.

KASELA NA TALIGURA,Ni dawa ya kukupa utajiri,Pete ya bahati,

HUDUMA ZANGU MASAA 12 PIA NASAFIRISHA KWA WATU WA MBALI NIPO DAR NA SHINYANGA 
 
NO.0753 928 576
 YOUR WELCOME.

Je Unaupungufu Wa Nguvu Za Kiume au Maumbile Mafupi na Membamba...Suluhu iko hapa

$
0
0
Acha kusubilia mpaka mke au mpenzi wako akwambie Mme wangu wewe ni dhaifu tuwepo kitandani,unatakiwa ujitambue mapema ,kwa mwanaume aliyekamilika  na mwenye nguvu za kutosha  ili kumridhisha mke au mpenzi wake anatakiwa awe na uwezo wa kurudia zaidi ya Mara mbili lakini kama unakomea moja au mbili hapo ujue umejilidhisha wewe tu sio na yeye, ili uwe mwanaume mwenye uwezo kamili tumia dawa yako hii hapa

 SUPER MAJINJAS MIX; dawa hii ni tofauti na ambazo uliwai kutumia inamichanganyo ya miti na matunda zaidi ya saba ndio maana inakupa uwezo wa ,KURUDIA TENDO ZAIDI YA MARA TATU,NA ITAKUFANYA UCHELEWE KUFIKA KILELENI DAKIKA 10-15 KWA TENDO LA KWANZA,NA PIA HUIMALISHA MISULI ILIYOLEGEA NA KUSINYAA KWA WALE AMBAO WALIPIGA SANA PUNYETO,dawa hii ni ya vidonge na unga na haina madhara yoyote

MAKAKANUA NO 5 MPYA; dawa hii uboresha uume saizi upendayo UREFU WA INCHI 5,6,7,NA 8 NA UPANA WA CM 2,3,4 NA 5 dawa hii ipo ya kunywa na kupaka  na pia usahidia zaidi kwa mwanaume aliyefanyia tohara ukubwani,

ISENYE NO 3; hii ni dawa kwa wenye kisukari dozi siku 21 tatizo la kisukari na ndio chazo kikubwa cha kuishia nguvu za kiume,

NGWALUSA ; hii ni dawa ya uzazi ambayo ufungua milija ya uzazi ata kwa wale walifungwa uzazi,zipo dawa za busha,vidonda vya tumbo,miguu au viungo kufa gazi kupungza kitambi,minyama uzembe,na matiti makubwa 

FIKA NTUNZU HEBRISTI CLINIC ILIYOPO MBAGALA ZAKHEMU Njoo mpaka ulipo ukumbi wa DAR LIV ni dakika tano tu kufika ofisi ilipo

 Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0744040721, 0683645920 DR BRUNO pia unaweza ukaletewa popote ulipo

Usikate Tamaa....Okoa Ndoa yako kwa Tiba Hii ya Asili

$
0
0
Usikate tamaa ondoa maradhi yako, maana matatizo haya yamekua yakiasili watuwengi kisaikolojia hasa baada ya kujiona wako tofauti sana na wengine kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamapunguvu katika mwiliwake.

Kunasababu nyingi sana zinazosababisha matatizo haya, chango hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngili :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli. Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na marakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kushindwa kabisa

MASISA 3POWER :- nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa mfumo wa vidonge, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka 15-90 , inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uludie tendo la ndoa zaidi ya mara nne (4) birahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk (20-30 )

YONINANI:- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwa mda mfupi sana,

SUPER MORINA :- nidawa inayotibu ama kutatua tatizo la kisukali kwawaliohangaika bila mafanikio, huondoa tatizo la kisukali na kupona kabisa, vilevile ninadawa ya magonjwa sugu km vile presha, vidondo vya tumbo, miguu kuwakamoto, muwasho mwilin, kaswende,uzazi nk.

LUGIMBA :- nidawa ya mvuto wa mapenzi, humtuliza mke, mme, mchumba, hawara au mtu yoyote .

WASILIANA NA DR CHIPUPA NAPATIKANA DAR ES SALAAM KUMBUKA HUDUMAHII ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO  0620510598  / 0743543944

Umoja wa Watanzania Ujerumani Wasema hawataki mkutano na viongozi wa vyama vya kisiasa

$
0
0
Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani, umetoa taarifa ya kwamba hawapo tayari kujishughulisha kwa namna yoyote ya shughuli za vyama vya  kisiasa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na kuaanda mikutano ya wanasiasa nchini humo.

Kupitia barua iliyoandikwa na kiongozi wa umoja huo, Ephraim Makanja imeeleza mbali na kuandaa mikutano, Watanzania waishio ujerumani hawaruhusiwi kufanya mapokezi ya viongozi wa kisiasa kwa kuwa wamepata taarifa kwamba wapo wanasiasa wanataka kuwageuza jukwaa la kisiasa.

Bw. Makanja ameeleza kwamba, anawaasa watanzania wanaoishi ujerumani kutotumika kwa namna moja ama nyingine katika kuandaa mikutano ya aina hiyo na kwamba umoja huo hautakubali kutumika kama jukwaa.

"Hatutaki mkutano na viongozi wa vyama vya kisiasa kwani sisi sio kambi ya siasa," Imeeleza sehemu ya barua hiyo.

Tamko hili la Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani limekuja kiwa ni siku chache kupita tangu Mbunge wa Singida Mashariki , Tundu Lissu alipopata nafasi ya kuzungumza Washington DC na watanzania waishio nchini Marekani.

Waziri Kairuki Akutana Na Kufanya Mazungumzo Na Balozi Wa Dernmark Nchini

$
0
0
NA.MWANDISHI WETU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji Mhe.Angellah Kairuki amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Dernmark nchini Einar Jensen juu ya masuala ya maboresho ya mazingira ya biashara pamoja na uwekezaji nchini.

Mazungumzo hayo yamefanyika jana Februari 13, 2019 katika Ofisi yake Jijini Dodoma kwa lengo la kujadili na kuona namna bora ya kuimarisha masuala ya uwekezaji nchini kwa kuzingatia fursa zilizopo katika sekta mbalimbali ikiwemo Kilimo, Mifugo na Uvuvi.

Alimtaka balozi kuendelea kuona fursa na kuzitumia hususan katika kuwekeza kwenye viwanda hasa vya nguo, mazao ya biashara pamoja na kilimo kwa kuwa ndiyo maeneo yenye fursa nyingi pamoja na kuleta chachu ya ukuaji wa viwanda nchini.

“Ni vizuri kuendelea kuimarisha mazingira ya biashara ili kuendelea kuvutia wawekezaji hasa maeneo ya kilimo na viwanda vya nguo kwa kuwa vinatija katika ukuaji wa uchumi,”Alisitiza Kairuki

Aidha aliendelea kumpongeza balozi huyo kwa kutumia muda wake kumtembelea ofisi kwake kwa lengo la kuendelea kushirikiana na Tanzania katika masula ya kuboresha mazingira ya biashara pamoja na kuendelea kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia baina ya nchi hizo mbili.

“Kipekee nikushukiuru  kwa kutembelea ofisi yetu na hii ni ishara nzuri yakuimarisha mahusiano  ya kidiplomasia ambayo yatasaidia Serikali yetu kuendelea kuwa na mazingira rafiki kwa wawekezaji  kuzingatia fursa zilizopo katika maeneo mengi ikiwemo; Sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi nchini”alisisitiza kairuki

Kwa upande wake Balozi wa Dernmark nchini, Einar Jensen aliahidi kuendelea kushirikiana na Serikali katika maeneo ya maboresho ya biashara ikiwa ni pamoja na kuwekeza nchini katika sekta mbalimbali

“Nimefarijika kukutana na Waziri mwenye dhamana ya uwekezaji na kupata muongozo wa masuala ya uwekezaji nchini na kuendelea kutumia fursa zilizopo Tanzania na ninaahidi kutoa ushirikiano ili kuleta chachu katika ukuaji wa viwanda kwa kuleta wawekezaji katika sekta mbalimbali,”alisistiza Jensen.

=MWISHO=

Waziri Kairuki: Serikali Kuendelea Kujenga Mazingira Wezeshi Na Endelevu Katika Sekta Ya Kilimo.

$
0
0
NA. MWANDISHI WETU
Serikali imedhamiria kuendelea kujenga mazingira wezeshi na endelevu katika Sekta ya Kilimo kupitia sera imara na zenye kutekelezeka.

Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji Mhe.Angellah Kairuki wakati akifungua Kongamano la Tano la Wadau wa Sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kuhusu Sera Jijini Dodoma kwa niaba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa tarehe 13Februari, 2019.

Waziri alieleza kuwa, dhamira ya Serikali inaenda sambamba na mchango wa sekta ya Kilimo katika uzalishaji pamoja na ukuaji wa uchumi nchini kwa kuzingatia namna sekta hiyo inavyochangia katika maeneo mengi ikiwemo,utoaji wa ajira kwa wananchi waliowengi.

“Ni mambo ambayo yanajieleza yenyewe na kila mmoja wetu anayajua vizuri.  Asilimia 65.5 ya Watanzania wanategemea ajira na maisha yao kwenye kilimo, pia kinachangia asilimia 95 ya mahitaji ya chakula nchini na asilimia 65 ya mali ghafi ya viwanda vyetu,”alisema Kairuki

Aidha aliongezea kuwa, asilimia 30 ya fedha za kigeni hutokana na mauzo ya nje ya mazao na bidhaa za kilimo na huchangia asilimia 25 kwenye pato la Taifa.

Sambamba na hilo waziri alieleza kuwa jitihada za Serikali ya Awamu ya Tano tangu imeingia madarakani imeendelea kutambua umuhimu wa kilimo katika kuongeza tija maeneo ya uzalishaji na mna haja ya kuleta msukumo zaidi katika kukiendeleza.

Pamoja na jitihada za Serikali katika kuimarisha sekta hiyo, Waziri alibainisha baadhi ya changamoto zinazoikabili sekta hiyo ikiwemo na sehemu kubwa ya kilimo kutegemea jembe la mkono, matumizi madogo ya mbegu bora zinazotoa mazao mengi na kuhimili maradhi na athari za kimazingira, matumizi ya maji ni kidogo mno pamoja na kilimo kutegemea mvua  bila kuwekeza katika kilimo cha umwagiliaji chenye uhakika.

“Tunategemea mno mvua ya Mwenyezi Mungu hatujatumia vya kutosha maji aliyotuwekea juu ya ardhi na chini ya ardhi kwa kilimo katika hekta milioni 44 zinazofaa kwa kilimo nchini hekta milioni 29 zinafaa kwa kilimo cha kumwagilia lakini ni asilimia 1 tu ya ardhi hiyo inamwagiliwa. Tumejipa lengo la kuongeza kilimo kinachomwagiliwa nchini,”alisisitiza Kairuki

Kairuki alihamasha wakulima kuendelea kutumia mbolea kutokana na Tanzania kutumia wastani wa kilo19 kwa hekta kiwango ambacho ni kidogo kulinganisha kiwango cha takribani kilo 50 kwa hekta kinachotumiwa na Jumuiya na Nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Kwa upande wake Naibu Waziri Kilimo, Mhe.Omari Mgumba alieleza jitihada za serikali kuendelea kuhakiki madai ya madeni yenye ukakasi ya Wakala wa pembejeo wanaosambaza mbegu na mbolea wanaoidai serikali kiasi cha shilingi bilioni 35.

“kama mnavyofahamu mwaka ukipita wa fedha madeni yanahamia Wizara ya Fedha kwa hatua zingine ikiwemo kuyachunguza na kujiridhisha ambapo hadi sasa yamebainika kuwa na ukakasi katika takwimu na tofauti ya taarifa na Serikali inaendelea kufuatilia hujuma zilizofanyika ili kujiridhisha,”alisisitiza Mgumba.

Naye Mwenyekiti wa Baraza la Kilimo Chuo cha Kilimo cha Sokoine ,Jackline Mkindi alipongeza uwepo wa kongamano hilo ambalo litatoa fursa za kujadili na kueleza changamoto wanazokumbana nazo hususani upande wa usambazaji wa Pembejeo  nchini na madeni yaliyopo ambayo hadi sasa ni sh.bilioni 39.9 ambazo zinapaswa kulipwa na serikali.

“Tunaimba Serikali ishushe bei na kuendelea kulipa madai sahihi kwa wanao stahili pamoja na kutataua changamoto za wakulima kutofikia gharama za pembejeo na kuwasaidia kujikamua katika uzalishaji kwa kuwa na pembejeo bora na kwa wakati,”alisema Mkindi.

Kongamano limeandaliwa na Jukwaa la Uchambuzi wa Sera za kilimo kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Sekta binafsi na za umma ili kuleta mageuzi katika sekta ya Kilimo na kuchangia katika ukuaji wa Viwanda na kuhudhuriwa na takribani zaidi ya washiriki 300 nchini.

=MWISHO=

Wambura Kuendelea Kusota Rumande....Mahakama Yagoma Kuifuta Kesi wala Kumpa Dhamana

$
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema haina mamlaka ya kumfutia kesi wala kumpa dhamana Michael Wambura baada ya Wakili wake Majura kuiomba imfutie mashitaka mteja wake kwa madai kwamba mashtaka  hayo sio ya uhujumu uchumi.

Wambura anakabiliwa na mashtaka 17 ambayo anadaiwa kuyatenda  katika ofisi za TFF, kati ya Julai mwaka 2004 na mwaka 2015

Inadaiwa kuwa Julai 7, mwaka 2004, Wambura alighushi barua akaiwasilisha TFF akijifanya barua hiyo imeandikwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jek System Limited ikidai malipo ya mkopo wa Dola za Marekani 30,000  zilizokopwa na TFF pamoja na riba.

Wambura anadaiwa alijipatia fedha hizo kwa nyakati tofauti na anashtakiwa kwa mashtaka mawili ya kutakatisha fedha ambapo, kati ya Agosti 15 na Oktoba 24 alitakatisha Sh 25,050,000 na 75,945,024 huku akijua fedha hizo ni zao la kosa la kughushi.


Kesi imeahirishwa hadi February 28 mwaka huu.

Kilichoendelea Leo Mahakamani Katika Kesi Ya Freemani Mbowe na Vigogo Wengine CHADEMA

$
0
0
Kesi namba 112/2018 inayowakabili baadhi ya viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe na wabunge wengine saba wa chama hico, imeendelea leo, Alhamisi, Februari 14, kwa kutajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Kesi hiyo iliyokuwa ikisikilizwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ambaye aliteuliwa kuwa Jaji, ilitajwa leo mbele ya Hakimu Mfawidhi, Kevin Mhina, ambapo shauri la kesi hiyo limeitishwa kwa ajili ya kutajwa na bado linasubiri rufaa ya kupinga dhamana iliyokatwa na upande wa mashtaka dhidi ya Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko, ambayo itaanza kusikilizwa Februari 18, 2019  katika Mahakama ya Rufaa.

Hakimu Mhina ameahirisha kesi hiyo hadi Februari 28, 2019 kwa ajili ya kutajwa huku akieleza kuwa itapangiwa hakimu mara baada ya rufaa kusikilizwa.

Novemba 23, 2018 Jaji Mashauri alipokuwa hakimu mkazi mkuu wa mahakama ya Kisutu alifuta dhamana kwa Mbowe na Matiko kutokana na kukiuka  masharti ya dhamana.

Baada ya uamuzi huo, washitakiwa hao wanaowakilishwa na wakili Peter Kibatala walikata rufaa mahakama kuu kupinga kufutiwa dhamana.

Hata hivyo, baada ya mahakama kuu chini ya Jaji Sam Rumanyika kusikiliza mapingamizi ya pande zote iliamua kuanza usikilizaji wa rufaa hiyo.

Upande wa Serikali ukiongozwa na mwanasheria, Paul Kadushi ulikata rufaa katika mahakama ya Rufaa  kupinga uamuzi uliotolewa na kuiomba mahakama kuacha kuendelea kusikiliza rufaa hiyo kwa sababu haina mamlaka.

Super Moringa : Dawa Bora Ya Nguvu Za Kiume na Maumbile Madogo

$
0
0
SUPER MORINGA DAWA BORA YA NGUVU ZA KIUME NA KUREFUSHA UUME NA KUNENEPESHA UUME
_________________________
🔖🌸SUPER MORINGA Ni dawa bora ya nguvu za kiume  yenye mchanganyiko wa mitishamba (7) yenye maajabu yafuatayo/

🔖 (1) inatibu upungufu wa nguvu za kiume mara dufu na kuimalisha misuli ya uume uliolengea wakati wa tendo la ndoa/
🔖 (2) Kurefusha uume uliorudi ndani kuazia nchi 5 - 9/
🔖 (3) kunenepesha uume cm 5 ya upana itakufanya uchelewe kufika kileleni dk 15 - 20 kwa tendo la kwanza na utakuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya 2-4 bila hamu kuisha/

📌 Na inatibu kabisa
 📌 Haijalishi umri hata kama una miaka 85 itumie huanza kufanya kazi dk 50 tu na haina madhara yoyote kwa mtumiaji/

🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳            
MATATIZO HAYA HUSABABISHWA NA.
_________________________
🔖 (1)Tumbo kujaa gesi, na kuunguruma chini ya kitovu/
🔖 (2)Choo kama cha mbuzi/
🔖(3)Ngiri/
🔖(4)Kama umejichua sana punyeto/
🔖(4)Kaswende/
🔖(5)Gono/

📌Haya yote husababisha kuishiwa nguvu za kiume na kuwa na uume mdogo/
📌 Itumie leo, bado hujachelewa ni tofauti na nyingine.
_________________________
DAR ES SALAAM OFISI IPO BUGURUNI SHELI AU UNAWEZA KULETEWA POPOTE ULIPO.
___________________________
WASILIANA NA
Dr ATHUMAN SIMU.
📞0714 884 677
📞0767 104 343
____________________________
*****************************

Dawa Za Nguvu Za Kiume Na Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa

$
0
0
Asilimia 45-80 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kutowatimizia vyema wake au wapenz wao na kuwasababishia kutoka nje ya mahusiano yao. 

NINI CHANZO CHA HAYO? Kupiga punyeto,Ngiri, Vidonda vya tumbo, Korodani moja kuvimba, Msongo wa mawazo, Presha, Magonjwa ya zinaa, Kufanyiwa tohara ukiwa na umri mkubwa, Kisukari. 

DR. LUTAJA Sasa anakuletea tiba sahihi ya tatizo la Nguvu za kiume. 

NTOMBO :Hii hutibu na kuponya kabisa tatizo la Nguvu za kiume, utakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila kuchoka na itakufanya uchelewe kafika kileleni kwa mda wa dk 20-45. Dawa hii imechanganywa na miti 18,Hata wazee wenye umri mkubwa wa zaidi ya miaka 85 wanapona kabisa okoa mahusiano yako, ndoa yako sasa. 

SUNGURURU MIX:Ndio tiba sahihi kwa wale wenye maumbile madogo hurefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo nchi 3-8 na unene cm 2-5,dawa hii ipo katika mfumo wakupaka nakunywa na haina madhara yoyote kwa mtumiaji :Hii ni tiba tofauti kabisa nazile ambazo umekwisha wahi kutumia. 

Pia tunadawa za , Uzazi, Pumu, Malaria sugu, miguu kuwaka moto, Kaswende, Kisonono pamoja na mvuto wa mpenzi.

 DR. LUTAJA ANAPATIKANA DAR-ES-SAALAM Simu 0713-821823 kwa wale wa mikoani huduma hii utaipata popote ulipo.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images