Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Video Mpya: Rayvanny Ft Diamond Platnumz - Tetema

$
0
0
Video Mpya: Rayvanny Ft Diamond Platnumz - Tetema

Mwili Wa Mtoto Watelekezwa Kwenye Ndoo Makambako

$
0
0
Na.Amiri kilagalila
Wanawake mkoani njombe wametakiwa kuacha Tabia ya kutoa ujauzito na kutupa watoto wachanga wasio na hatia kwa kisingizio cha Ugumu wa Maisha kwani kufanya hivyo ni kinyume na matakwa ya Haki za Binadamu.

Hayo yamesemwa na wananchi wa mtaa wa Mangula katika Halmashauri ya Mji wa Makambako  mara baada ya kumkuta mtoto mchanga anayekadiliwa kuwa na miezi saba ambaye amewekwa kwenye ndoo na kutupwa na mama ambaye hajafahamika jina lake mpaka sasa katika eneo la uwanja wa amani mjini makambako.

Aidha mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mangula uliopo kata ya Mji mwema Roina Ngimbuchi amethibitisha kuokotwa kwa mtoto huyo, ambapo amesema kuwa mhusika wa tukio hilo mpaka sasa hajafahamika lakini serikali  inaendelea na upelelezi wa kumbaini mtu ambaye amehusika na tukio hilo  la kinyama linalo kiuka haki za watoto.

Mganga mfawidhi wa hospital ya Makambako Kesha mgunda  amekiri kupokea mwili wa mtoto mchanga na kueleza kuwa mwili huo umehifadhiwa katika hospitali hiyo.

Hata hivyo mganga mfawidhi wa hospitali hiyo amewataka akina mama na wanawake wote kutumia uzazi wa mpango ili kuepukana na mimba zisizo tarajiwa ili kuepuka kufanya matukio yanayohatarisha uhai wa watoto.

Nape ataja sababu kujiuzulu Uenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii

$
0
0
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema, amejiuzulu Uenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii ili apate muda wa kufanya kazi jimboni kwake. Amesema yanayozungumzwa kuhusu uamuzi wake ni mambo ya barabarani hivyo yaachwe huko.

Nape amesema kuwa amechukua uamuzi huo kwa kuwa umebaki muda mfupi kwa yeye kutimiza alichowaahidi wananchi jimboni kwake na kwamba anataka aache alama kwenye jimbo hilo hivyo akiendelea na kazi nyingine atashindwa.

Kauli hiyo ameitoa jana Februari 6,2019, na kuongezea kuwa CCM inapaswa kutafuta majibu kwa kizazi cha vijana badala ya kuendelea kutegemea historia kama mtaji wa kuendelea kubaki madarakani kwani isipofanya hivyo inaweza kupata shida kwa kuwa vijana ni kundi kubwa na hawaijui historia.

"CCM ikiweza kutafsiri ukuaji uchumi kutoka kwenye karatasi kwenda kwenye maisha ya wananchi itawavutia vijana wengi watakaopiga kura mwaka 2020 kwa kuwa itaboresha huduma za msingi zikiwemo za maji, afya, barabara, elimu na nyinginezo", Amesema Nape.

Ameongeza kuwa CCM ipo madarakani kwa sababu wananchi wanakipenda chama hicho, hivyo lazima kifanye mambo yatakayosababisha kiendelee kupendwa na kisifanye mambo ikaonekana inapindapinda, inatumia nguvu, na inapaswa kushawishi mioyo ya watu kupitia kazi zake.

Credit: Habari Leo

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya February 8

Viwanja Vikubwa Vinauzwa: Bunju na Mapinga (Baobab sec)

$
0
0
Viwanja Vikubwa Vinauzwa: Bunju na Mapinga (Baobab sec)

Viwanja viko Baobab sec, ni mpakani mwa Bunju na Mapinga. Viko umbali wa km 2 kutoka Main Road (DSM to Bagamoyo Road). Viwanja viko sehemu nzuri inayofaa kwa Makazi, Biashara na Ufugaji.

Viko Viwanja vya size tofauti:
20/20 (sqm 400) bei milion 5
20/30 (sqm 600) bei milion 8
20/40 (sqm 800) bei milion 10
sqm 2000 bei milion 25
sqm 2400 bei milion 31
Eka nzima (64/64) bei milion 48

Luksa kulipa kwa awamu 2, kianzio ni 75% na luksa kujenga mara tu baada ya kulipa awamu ya kwanza.

Biashara hii haina dalali/udalali. Mpigie Mhusika: call 0758603077, whatsap 0757489709

Ukipata ujumbe huu, mjulishe ndugu/jamaa/rafiki.

Waliobainika Mauaji Ya Watoto Njombe Kuanza Kuburuzwa Mahakamani

$
0
0
Na AMIRI KILAGALILA
Serikali mkoani Njombe inategemea kuanza kuwaburuza mahakamani siku chache zijazo wale wote waliouhusika na mauaji ya watoto wadogo mkoani Njombe kutokana na upelelezi kukamilika kwa baadhi ya kesi

Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher olesendeka ameyasema hayo jana mbele ya makamu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM Tanzania bara Philip Mangula katika mkutanao na mabalozi wa halmashauri ya mji mdogo wa makambako pamoja na viongozi wa chama hicho mkoa uliofanyika katika ukumbi wa shule ya secondari makambako mjini humo.

“Tulijipanga vizuri  tuliomba nguvu ya ziada kutoka makao makuu ya jeshi la polisi,tumekwenda vizuri mheshimiwa makamu na wahusika karibu wote tumewapata,tumeamua kuchimba kujua mzizi wa waganga ambao wanaondesha ramli chonganishi na kundi la pili kushughulika na kundi la hawa wanaokodiwa kuondosha uhai wa watu,tumeshugulika na makundi karibia yote tunakwenda vizuri nadhani kuanzia leo na kesho kesi nyingi zitaanza kuunguruma mahakamani kutokana na kukamilika kwa baadhi ya kesi”alisema Olesendeka

Katika hatua nyingine mkuu huyo wa mkoa amewatoa hofu wananchi wa mkoa wa Njombe kutokana na taharuki hiyo huku akionyesha kusikitishwa na ushahidi wa awali kuonyesha wahusika wengi wanaohusika na mauaji hayo ni ndugu wa familia hizo.

“Hali ya Taharuki imeondoka tunaenelea na shughuli lakini nikuhakikishie Makamu kwamba hakuna mganga wa jadi aliyehusika katika mauaji haya atakayebaki na hakuna mwananchi aliyehusika na vitendo hivi atakayeachwa bila kufikishwa katika mikono ya sheria,lakini kwa bahati mbaya sana wimbi hili waliohusika ni ndugu wa hawa waliondokewa na watoto wao baadhi yao wanaokamatwa kuhojiwa mpaka sasa ni ndugu wa karibu huwezi kuamini”alisema tena Olesendeka

Naye makamu mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philp Mangula amesema kuwa lengo la kukutana na viongozi hao ni kuwakumbusha miongoni mwa malengo ya chama hicho ikiwemo kulinda na kudumisha uhuru wa nchi na Raia wake.

“Nimekuja hapa kuwakumbusheni hilo,tupo katika mazingira ya hofu,wasiwasi na kutiliana mashaka na hofu imetanda hii imetokana na taarifa zisizo za uhakika na uvumi, watu siku hizi mitandaoni wanavumisha mambo hawana uhakika na wanachokisema ni lazima kuondoa taarifa zisizo kuwa na usahihi,taifa zima limeshtuka ndio maana Rais akamtuma waziri wa mambo ya ndani hili jambo ni la hovyo nah ii ni aibu kwa sisi kama wakazi wa mkoa huu na mimi nikiwemo” alisema Mangula

Mpaka sasa jumla ya watuhumiwa 29 wanashikiliwa na jeshi la polisi Mkoani Njombe kwa ajili ya uchunguzi dhidi ya mauaji ya watoto 7 huku wengi wao wakiwa ni waganga,wafanyabiashara,ndugu pamoja na wananchi waliojichukulia sheria mkononi na kusababisha vifo vya baadhi ya wananchi waliosadikiwa ni miongoni mwa wauaji wa watoto.

Waziri Mkuu: TFF Hakikisheni Tunaibuka Na Ushindi AFCON

$
0
0
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lihakikishe Tanzania inaibuka na ushindi katika fainali za michuano ya Afrika ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 mwaka 2019.

Mashindano ya mpira wa miguu kwa Vijana wenye umri wa chini ya  miaka 17 barani Afrika (AFCON) yanayotarajiwa kufanyika mwaka huu nchini Tanzania.

Ametoa agizo hilo  jana asubuhi (Alhamisi, Februari 7, 2019) Bungeni jijini Dodoma katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu wakati akijibu swali la Mbunge waKilolo, Venance Mwamoto.

Mbunge huyo alitaka kufahamu Serikali imeyahusishaje mashindano hayo ya AFCON na mkakati wa kuendeleza utalii nchini, ambapo Waziri Mkuu amesema maandalizi yote yanaendelea kufanyika na Serikali imejiandaa vya kutosha kupokea wageni hao.

Waziri Mkuu amesema TFF inaendelea na maandalizi ya mashindano hayo ya vijana chini ya umri wa miaka 17 baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) kuipa Tanzania uenyeji wa fainali hizo.

Amesema Watanzania wanatakiwa wawe wazalendo na kuipa ushirikiano timu yao ili kuhakikisha inaibuka mshindi kwenye fainali hizo.

Pia Waziri Mkuu amesemaWizara ya Maliasili na Utalii itatumia mashindano hayo kwa kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini.“Tutawapeleka Kilwa wakaone majengo ya zamani yaliyokaliwa na Waarabu na maeneo mengine.”

Waziri Mkuu amewasihi Watanzania kutumia fursa ya mashindano hayo yanayotarajiwa kufanyika nchini kwa kufanya shughuli mbalimbali zitakazowaongezea kipato.“Kwa kupitia mashindano hayo sisi kama Watanzania tumejipanga huduma zote zipo , za Chakula, Hoteli na usafiri.”

Hata hivyo, Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kuipongeza Wizara Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo kwa kazi kubwa ya kushawishi  FIFA kuyaleta mashindano haya hapa nchini pamoja na ujio wa Rais wa FIFA, pia TFF kwa uratibu wa mashindano hayo sasa.

IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,

Waziri Lukuvi Aongoza Mawaziri Sita Kujadili Changamoto Sekta Ya Ardhi

$
0
0
Na Munir Shemweta, Dodoma
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi jana tarehe 7 Februari 2019 ameongoza kikao cha Mawaziri wenzake sita kujadili changamoto mbalimbali za matumizi ya sekta ya ardhi.

Mkutano huo unaohusisha pia Makatibu Wakuu wa Wizara hizo unafuatia maagizo yaliyotolewa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli januari 15, 2019 kwa wizara hizo kukutana na kushughulikia changamoto katika matumizi ya sekta ya ardhi kwa nia ya kutatua migogoro.

Mawaziri wanaoshiriki kikao hicho ni kutoka Wizara ya Maliasili na Utaliii, Wizara ya Kilimo, Uvuvi na Mifugo, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wizara ya Maji, Wizara ya Ulinzi, Wizara ya Muungano (Mazingira) pamoja na ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Kikao hicho cha Mawaziri kimetanguliwa na mfululilizo wa vikao vya timu ya wataalamu kutoka wizara hizo ikioongozwa na Kamishna wa Ardhi nchini Marry Makondo kwa nia ya kutafuta suluhu ya migogoro ya ardhi ambayo imekuwa ikijotokeza katika maeneo mbalimbali nchini.

Muendelezo wa vikao vya aina hiyo ni jitihada za Rais John Pombe Magufuli kuhakikisha migogoro ya ardhi nchini inapungua kama siyo kuisha kabisa na hivyo kuleta faraja kwa wananchi wanaoishi maeneo yenye migogoro ambao wamekuwa wakiishi kwa wasiwasi.

Januari 2019 Mawaziri watano wakioongozwa na Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Suleiman Jafo walikutana mkoani Kigoma kujadili changamoto katika Hifadhi za Misitu na Mapori ya Akiba ya Moyowosi mkoani Kigoma. Hifadhi hiyo imekuwa na mgogoro kwa muda mrefu kutokana na wananchi kuendesha shughuli za kiuchumi katika hifadhi hizo.

Wimbo Mpya: Barakah the Prince – Bad Girl

$
0
0
Wimbo Mpya: Barakah the Prince – Bad Girl

Je Unaupungufu Wa Nguvu Za Kiume au Maumbile Mafupi na Membamba...Suluhu iko hapa

$
0
0
Acha kusubilia mpaka mke au mpenzi wako akwambie Mme wangu wewe ni dhaifu tuwepo kitandani,unatakiwa ujitambue mapema ,kwa mwanaume aliyekamilika  na mwenye nguvu za kutosha  ili kumridhisha mke au mpenzi wake anatakiwa awe na uwezo wa kurudia zaidi ya Mara mbili lakini kama unakomea moja au mbili hapo ujue umejilidhisha wewe tu sio na yeye, ili uwe mwanaume mwenye uwezo kamili tumia dawa yako hii hapa

 SUPER MAJINJAS MIX; dawa hii ni tofauti na ambazo uliwai kutumia inamichanganyo ya miti na matunda zaidi ya saba ndio maana inakupa uwezo wa ,KURUDIA TENDO ZAIDI YA MARA TATU,NA ITAKUFANYA UCHELEWE KUFIKA KILELENI DAKIKA 10-15 KWA TENDO LA KWANZA,NA PIA HUIMALISHA MISULI ILIYOLEGEA NA KUSINYAA KWA WALE AMBAO WALIPIGA SANA PUNYETO,dawa hii ni ya vidonge na unga na haina madhara yoyote

MAKAKANUA NO 5 MPYA; dawa hii uboresha uume saizi upendayo UREFU WA INCHI 5,6,7,NA 8 NA UPANA WA CM 2,3,4 NA 5 dawa hii ipo ya kunywa na kupaka  na pia usahidia zaidi kwa mwanaume aliyefanyia tohara ukubwani,

ISENYE NO 3; hii ni dawa kwa wenye kisukari dozi siku 21 tatizo la kisukari na ndio chazo kikubwa cha kuishia nguvu za kiume,

NGWALUSA ; hii ni dawa ya uzazi ambayo ufungua milija ya uzazi ata kwa wale walifungwa uzazi,zipo dawa za busha,vidonda vya tumbo,miguu au viungo kufa gazi kupungza kitambi,minyama uzembe,na matiti makubwa 

TUNAPATIKANA DARES SALAAMU buguruni na MOROGORO YUPO WAKALA na MWANZA YUPO MTAA WA BIZA C, NA KAHAMA MJINI kwa mawasiliano zaidi piga simu 0744040721, 0683645920 DR BRUNO pia unaweza ukaletewa popote ulipo

Usikate Tamaa....Okoa Ndoa yako kwa Tiba Hii ya Asili

$
0
0
Usikate tamaa ondoa maradhi yako, maana matatizo haya yamekua yakiasili watuwengi kisaikolojia hasa baada ya kujiona wako tofauti sana na wengine kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamapunguvu katika mwiliwake.

Kunasababu nyingi sana zinazosababisha matatizo haya, chango hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngili :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli. Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na marakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kushindwa kabisa

GALIMBO 3POWER :- nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa mfumo wa vidonge, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka 15-90 , inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uludie tendo la ndoa zaidi ya mara nne (4) birahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk (20-30 )

YONINANI:- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwa mda mfupi sana,

SUPER MORINA :- nidawa inayotibu ama kutatua tatizo la kisukali kwawaliohangaika bila mafanikio, huondoa tatizo la kisukali na kupona kabisa, vilevile ninadawa ya magonjwa sugu km vile presha, vidondo vya tumbo, miguu kuwakamoto, muwasho mwilin, kaswende,uzazi nk.

LUGIMBA :- nidawa ya mvuto wa mapenzi, humtuliza mke, mme, mchumba, hawara au mtu yoyote umpendae na kumfanya akutimizie chochotekile unachokitaka kutoka kwake na kumfunga asiwe na mtu yoyote zaidi yako.

WASILIANA NA DR CHIPUPA NAPATIKANA DAR ES SALAAM KUMBUKA HUDUMAHII ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO  0620510598  / 0743543944

Video Mpya: G Nako Ft Aslay & Rich Mavoko – Edda

$
0
0
Video Mpya: G Nako Ft Aslay & Rich Mavoko – Edda

Jeshi la Polisi Shinyanga Laua Majambazi Mawili

$
0
0
Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, wameuawa kwa kupigwa risasi na Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga.
 
Jeshi la Polisi linasema tukio hilo lilitokea wakati watuhumiwa hao wakiwakimbia askari walipokuwa wakijibizana kwa risasi na wenzao, ambao walikwenda kukamatwa katika eneo ambalo hujificha kwenye vichaka la Buhaghija mjini hapo.

Tukio hilo limetokea juzi usiku, wakati majambazi hao wakiwapeleka askari polisi kuwaonyesha mahali ambapo wamejificha wenzao kwenye vichaka hivyo, kama eneo lao la kukutana kupanga njama kabla ya kwenda kufanya uhalifu.

Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Simon Haule, aliwataja watuhumiwa waliouawa kuwa ni Godfrey Ntabazi (29), mkazi wa Mahina jijini Mwanza, na Ramadhani Masoud (33), mkazi wa Ngokolo mjini Shinyanga, na kwamba miili yao imehifadhiwa kwenye hospitali ya mkoa huo.

“Majambazi hawa wawili awali tulikuwa tumewakamata na baada ya kuwahoji tukawaamuru watupeleke kwa wenzao mahali ambapo huwa wanakutana, na baada ya kufika eneo la tukio risasi zikaanza kurindima kutoka kwa wenzao, na wao wakaanza kutukimbia ndipo tukawapiga risasi,” alisema Haule.

“Wakati tukiwakimbiza kwenda kupatiwa matibabu katika hospitali ya rufani ya mkoani hapa, walifariki dunia wakiwa njiani, huku wenzao wakifanikiwa kutoroka na tunaendelea kuwasaka ili tuwatie nguvuni na kuchukuliwa hatua kali za kisheria,” aliongeza.

Alisema katika eneo la tukio zilikamatwa bunduki mbili pamoja na risasi nne, ambazo zilikuwa zikitumiwa kufanyia uhalifu katika maeneo mbalimbali ya mkoani Shinyanga, Geita na Tabora, na kubainisha kuwa majambazi hao ni sugu na walishafungwa jela mara nyingi.

Aidha, alisema jeshi hilo pia lilifanya upekuzi nyumbani kwa watuhumiwa hao wa ujambazi, ambapo kwa Godfrey Ntabazi walikuta akiwa na chupa za pombe mbili aina ya K-Vant, dawa ya kuwekea mbwa ili kuwafubaza na nyumbani kwa Ramadhani Masoud walikamata TV nne, deki tano, sabufa tatu na baiskeli moja.

CHADEMA wamshtaki FIFA Rais wa TFF.....Wadai amemdhalilisha Tundu Lissu

$
0
0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania kimeandika barua kwenda kwa Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Gianni Infantino likimshtaki Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia kwa kutoa kauli za kibaguzi na unyanyasaji.

Katika barua hiyo ya kurasa mbili, iliyosainiwa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa chama hicho, Tumain Makene imeonyesha masikitiko yake kwa kitendo cha Karia kutumia mchezo wa soka kuonyesha chuki na ubaguzi dhidi ya Tundu Lissu ambaye Septemba 7, 2017 alishambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 jijini Dodoma.

"Tunaandika barua hii kuelezea masikitiko yetu na kupinga kauli iliyotolewa na Rais wa TFF, Wallace Karia ambayo inaunga mkono uvunjaji wa haki za binadamu, uhuru wa kuzungumza na kuchochea ubaguzi wa kisiasa jambo ambalo ni kinyume na miiko ya mchezo wa mpira wa miguu unaosimamiwa na Fifa," imeeleza sehemu ya barua hiyo.

Barua hiyo ambayo pia imeelekezwa kwa Shirikisho la Soka Afrika (Caf) na Karia mwenyewe, imeambatanishwa pia na ushahidi wa kipande cha video kinachomuonyesha Rais huyo wa TFF akitoa kauli hiyo.

February 2 2019 shirikisho la soka Tanzania TFF lilifanya mkutano mkuu wa mwaka shirikisho hilo jijini Arusha na kujadili mambo mbalimbali, moja kati ya vitu vilivyoibuka katika mkutano mkuu ni kauli ya Rais wa shirikisho hilo Wallace Karia alipotaja jina la Tundu Lissu akimtolewa mfano Michael Wambura.

Michael Wambura alikuwa Makamu wa Rais wa TFF kabla ya kufungiwa maisha kujihusisha na soka, hivyo Wambura kwa sasa ni kama ana mpinga Karia kiasi cha Wallace Karia kumfananisha Wambura na Mbunge wa Singida Mashariki  kupitia tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu.

Karia alinukuliwa akisema kauli inayoeleza kuwa atawashughulikia wakina Tundu Lissu wa soka akimlenga Wambura, kitu ambacho hakijawafurahisha CHADEMA na sasa wameamua kuandika barua kuipeleka shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA kumshitaki Wallace Karia.

Rais Mstaafu Mkapa atangaza kujiuzulu nafasi yake ya kiongozi wa jopo la usuluhishi wa mgogoro wa Burundi

$
0
0
Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa amefikia maamuzi ya kujiuzulu nafasi yake kiongozi wa jopo la usuluhishi wa mgogoro wa Burundi baada ya kuteuliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki mwaka 2016.

Kwa mujibu wa Idhaa ya Kiswahili ya Ufaransa (RFI)  Benjamini Mkapa amefikia maamuzi hayo baada ya kudai jumuiya hiyo kushindwa kuunga mkono jitihada za kumaliza mgogoro huo.

Januari 31, Benjamin Mkapa aliwasilisha baadhi ya ripoti kwenye jumuiya hiyo ambayo mpaka sasa haijawekwa wazi nini ambacho kilielezwa kwenye ripoti hiyo.

Kuhusiana na mgogoro huo Benjamin Mkapa amesema "serikali na upinzani wanapaswa kuzungumza na kukubaliana kuhusu mfumo wa kisheria na taratibu zinazohitajika kufanyika kwa uchaguzi ujao.

Aidha Mkapa ametoa wito wa kuwepo kwa mazungumzo yatakayo washirikisha wadau wote kwa kufuata iliyowekwa katika mazungumzo ya awali na ameomba viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kushiriki.

Katika mkutano wa 17 wa Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika Arusha 2016 uliazimia kumteua Rais huyo Mstaafu wa awamu ya tatu kuwa kiongozi wa jopo la usuluhishi wa mgogoro wa kiungozi nchini Burundi

Panga Chumba, Nyumba, Au Partment Kwa Kodi Ya Miezi Mitatu Jijini Dar Es Salaam.

$
0
0
Je  wewe  ni  mkaazi  wa  jijini  Dar  Es  Salaam ?  Unatafuta  chumba  cha  kupanga, nyumba  ya  kupanga, au  Apartment ya kupanga  ambayo  utalipia  kodi  kwa  muda  wa  miezi  mitatu ?

Je  wewe  ni  mkaazi  kutoka  mkoani ambae  unatamani  kuanza  maisha  jijini  Dar  Es  Salaam  lakini  haujui  mahali  pa  kupata  chumba  au  nyumba  ya  kupanga  kwa  bei  nafuu  kwa  malipo  ya  kodi  basi  hii  ni  habari  njema  sana  kwako.

AFRICANDADAZ    wanakuletea  orodha  ya  vyumba  na  nyumba  za  kupanga  jijini  Dar  Es  Salaam  kwa  malipo  ya  kodi  ya  miezi  mitatu.

Vyumba  na  nyumba  hizo  vinapatikana  katika  maeneo mbalimbali  jijini  Dar  Es  Salaam  kuanzia

 Bunju, Goba, Hananasif, Kawe, Kibamba, Kigogo, Kijitonyama, Kimara, Kinondoni, ,Mabibo, Magomeni, Makuburi, Makumbusho, Makurumula, Manzese, Mbezi, Mburahati, Mbweni, Mikocheni, Msasani, Mwananyamala, Mzimuni, Ndugumbi, Sinza, Tandale, Ubungo Buguruni, Chanika, Gerezani, Ilala, Jangwani, Kariakoo, Kinyerezi, Kipawa, Kitunda, Kisutu, Kivukoni, Kiwalani, Mchafukoge, Mchikichini, Msongola, Pugu, Segerea, Tabata, Ukonga,Upanga East, Upanga West, Vingunguti, Azimio, Chamazi, Chang'ombe,   Charambe, Keko,Kigamboni,Kibada, Kimbiji, Kisarawe II, Kurasini, Makangarawe, Mbagala,Mbagala Kuu,Miburani,Mjimwema,Mtoni,Pemba Mnazi, Sandali,Somangira,Tandika,Temeke,Toangoma,Vijibweni, hadi Yombo Vituka

Unachotakiwa  kufanya  ni  kutembelea  kila  siku  kwenye  blogu  yetu  ili  upate  kuona  update  ya  vyumba , nyumba  na  Apartments  zinazo pangishwa  katika  maeneo  mbalimbali  ya  jijini  Dar  Es  Salaam  kwa  kodi  ya  kuanzia  miezi  mitatu.

Kwa  taarifa  zaidi  kuhusu  vyumba, nyumba  na  Apartments  mbalimbali  zinazo  pangishwa  jijini  Dar  Es  Salaam  kwa  kodi  ya  kuanzia  miezi  mitatu. Tutembelee:

Wimbo Mpya: Nikki Mbishi Ft. Fama – KAMA NAMUONA

$
0
0
Wimbo Mpya: Nikki Mbishi Ft. Fama – KAMA NAMUONA

Dawa Mpya Asilia Ya Nguvu Za Kiume

$
0
0
Baada Ya Watu Kuhangaika Mda Mrefu Bila Kupata Dawa Ya Uhakika Ya Kumaliza Na Kuondoa Tatizo La Nguvu Za Kiume Sasa Dr.mbulana Ana Dawa Mpya Ya Mitishamba Ambayo Ni Komesha Kabisa Kwa Tatizo Sugu La Nguvu

SUPER MGUNO ;Ni dawa ya mitishamba inatibu kabsa tatizo la nguvu za kiume inakufanya uwe na uwezo wa kuchelewa kufika kileleni pia inakufanya uweze kufanya tendo mara 3 hadi 4 bila kuchoka

SUPER MGUNO2; Hi dawa ya mitishamba inayo nenepesha na kurefusha Uume mfupi ulio sinyaa na kuufanya uwe imara na inasafisha mirija ya uume na kuupa nguvu wakat wa tendo.

Dawa hii ni dawa inayo tibu mtu yeyote ambae amepata tatizo ili kutokana na sababu mbali mbali kama vile kupiga punyeto kwa mda mrefu,magonjwa kama vile kisukari,ngiri,vitonda vya tumbo n.k

Pia DR.MBULANA ANATIBU MAGONJWA KAMA KISUKARI,NGIRI,VIDONDA VYA TUMBO,UZAZI N.K

DR huyu anapatika DAR ES SALAAM PIA HUDUMA HII UNATUMIWA POPOTE ULIPO NA MIKOANI TUNATUMA KWA NJIA YA MABASI

MAWASILIANO
DR.MBULANA
0714092127

Rudisha heshima yako Kwa Mpenzi Wako, Mke Wako...Tumia Tiba Hii ya Asili

$
0
0
Rudisha heshima yako sasa kwa kutumia Dawa hii iitwayo SUPER GAFINA, kwa ajili ya nguvu za kiume na NKOLOMIJE ni kwaajili ya kuongeza maumbile.

Kwa mwanaume aliye kamilika anatakiwa awe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya Mara mbili ,ila ukiwa unapiga moja tena kwa shida wewe ujue  unamatatizo ya upungufu wa nguvu za kiume.

TIBA YA TATIZO LAKO NI; Dawa iitwayo SUPER GAFINA, dawa hii ipo kwenye mfumo wa vidonge na unga wa asili ambavyo havina madhara kwa mtumiaji ambayo hutibu matatizo matatu kwa pamoja;-

1).itakufanya urudie tendo la ndoa zaidi ya Mara tatu bila kuchoka.

2).ltakufanya uchelewe kufika kileleni kwa dk.15 hadi 20 kwa tendo la kwanza.

3).lnaimarisha uume uliolegea na uliosinyaa na kuupa nguvu maradufu.

Je unamaumbile madogo pamoja na uume mfupi? NKOLOMIJE ni suluisho la tatizo lako. Na ni dawa inayoboresha maumbile ya kiume kwa kunenepesha na kurefusha kwa saizi kuanzia inch. 5 hadi 8 kwa muda mfupi sana .Dawa hizi huanza kufanya kazi kwa mda wa dk.30 ukisha tumia guarantee miaka 50  ikishakutibu.

Pia ninatibu;- KISUKARI, PRESHA, UZAZI, NGIRI, PUMU, MALARIA SUGU, VIDONDA VYA TUMBO, CHANGO AINA ZOTE ,BP, NK.

IGULYATI, ni dawa ya mvuto wa biashara, kazi,kupandishwa cheo na humfanya mfanyakazi kupendwa na mwajiri wake. Pia humvuta mke,Mme,hawara ,mchumba unae muitaji utampata kwa dk.30 tu na atatulia na kumfunga asitoke nje ya ndoa, Pia natoa Pete za bahati ambazo zimetajirisha wengi.

Pia ipo dawa ya kupunguza matiti,unene ,tumbo,na kitambi ,hupunguza mafuta ,kuondoa makovu,chunusi,michilizi mwilini na kuongeza hipsi, makalio na mguu wa bia nk. 

Kwa maelezo zaidi wasiliana na DR,HOSUTWA .Anapatikana Mbagara

Simu no, 0756241666 na 0672186977.

       Huduma hii utaipata popote ulipo

Serikali Yapiga Marufuku Kusafirisha Wanyama Hai Nje ya Nchi

$
0
0
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla amesema kuanzia sasa Serikali ya Tanzania haitaruhusu usafirishaji wa wanyama hai nje ya nchi.

Kauli hiyo imefuta agizo la Wizara hiyo ambayo iliweka zuio la miaka mitatu na Mei, 2019  ilikuwa ndiyo mwisho wa zuio hilo.

Kigwangalla ametoa kauli hiyo bungeni jijini Dodoma leo Ijumaa Februari 8, 2019 wakati akijibu swali la nyongeza la mbunge wa Muheza (CCM),  Balozi Adadi Rajabu.

Mbunge huyo alitaka kujua Mei, 2019 Watanzania wataanza kusafirisha wanyama hai ikiwemo akina mama wa kijiji cha Fanusi wilaya ya Muheza ambao husafirisha vipepeo.

"Niseme wazi kuanzia sasa hatutaruhusu wanyama hai kusafirishwa kwenda nje ya nchi na  wale waliokuwa wanafanya biashara hiyo watafute njia nyingine," amesema Kigwangalla.

Katika swali la msingi Rajabu aliuliza ni lini wananchi wa kijiji cha Fanusi wataruhusiwa kusafirisha vipepeo nje ya nchi kwa kuwa si wanyama.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images