Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Kauli ya Wema kuhusu uhusiano wake na Diamond: ....."Tunapendana mpaka tumepitiliza"

$
0
0
Wema Sepetu amesema uhusiano wake na Diamond Platnumz kwa sasa ni imara kwakuwa wamepitia mambo mengi pamoja yaliyowafunza mengi. Akiongea na Bongo5 hivi karibuni akiwa jijini Durban, Afrika Kusini alikoenda kuhudhuria tuzo za MTV MAMA, Wema alisema hakuna ambacho hawajawahi kukupitia katika uhusiano wao ulioanza tangia mwaka 2014.   “Tumeexperiance good time together, bad time

Flora Mbasha Avamiwa nyumbani kwake.....

$
0
0
SIKU chache baada ya tuhuma za ubakaji na mzozo wa familia ya mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emanuel Mbasha, mambo mengine yameibuka.    Yaliyoibuka safari hii ni taarifa kwamba, juzikati, Flora alivamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake, Tabata Kimanga jijiini Dar dakika chache baada ya yeye kuingia na gari akitokea mafichoni anakoishi kwa sasa.   Kwa

Kombe la Dunia: Uholanzi yaitandika Hispania mabao 5-1

$
0
0
Robin Van Persie akimlamba chenga kipa wa Hispania, Iker Casillas kabla ya kuifungia Uholanzi bao la nne katika ushindi wa 5-1 kwenye mechi ya Kundi B Kombe la Dunia. ******* Mabingwa watetezi wa kombe la dunia, Hispania wamerudishwa darasani na Waholanzi waliokuwa na hasira ya kulipiza kisasi cha kufungwa kwenye fainali ya mwaka 2010 kwa kupokea kichapo cha aibu cha mabao matano kwa

Kombe la Dunia: Mexico yaibuka na Ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Cameroon

$
0
0
Oribe Peralta akiipatia bao Mexico katika dakika ya 61 ya mchezo. Cameroon wameanza vibaya Fainali za Kombe la Dunia baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mexico kwenye mechi iliyopigwa usiku  nchini Brazil.    Bao la Mexico limefungwa na Oribe Peralta katika dakika ya 61 ya mchezo.   <!-- adsense -->

Magazeti ya Leo Jumamosi ya tarehe 14 June 2014

$
0
0
                          Magazeti  ya  Leo  Jumamosi  ya  tarehe  14  June  2014

Simulizi la Kusisimua: Mwanamke Msagaji Ameniambuka Virusi vya UKIMWI

$
0
0
Zuwena ( sio jina lake halisi ), ni mwanamke wa kitanzania mwenye umri wa miaka 43. Kwa sasa mwanadada huyu anaishi na virusi vya ukimwi. Mwanadada huyu anabainisha namna alivyo pata maambukizi ya VVU kwa kujamiiana na mwanamke mwenzake, ama kwa lugha nyingine, Zuwena anaeleza namna ambavyo mwanamke msagaji alimuambukiza v.v.u wakati wakiwa na uhusiano wa jinsi moja...  Fuatilia kisa

Dawa za nywele zinazosababisha uvimbe wa kizazi kwa wanawake

$
0
0
Dawa za kulainisha nywele (relaxer) zimekuwa zinapendwa na wanawake wengi wa Afrika kwa kuwa zina uwezo wa kulainisha nywele na kumfanya apendeze na awe wa kuvutia.   Hata hivyo, wataalamu wa afya wanadai kuwa dawa hizo zinasababisha uvimbe kwenye kizazi kutokana na kemikali za dawa hizo ambazo huingia mwilini kupitia majeraha au ngozi wakati wa kupaka.   Daktari wa Manispaa ya Ilala,

Picha: Baba Mlezi wa Mtoto wa Boksi akilia kwa uchungu Mahakamani baada ya kesi kubadilishwa na kuwa ya MAUAJI

$
0
0
Mama mzazi wa Omari Mtonga, Devotha Dibagula wa pili kutoka kushoto akimwangalia mwanaye Omari Mtonga anayeangua kilio baada ya mahakama ya hakimu mkazi kuwabadilishia mashtaka kutoka yale ya kula njama na kumtesa Nasra Rashidi (4) wakati wa uhai wake na kuwa kesi ya mauaji. ********* Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro  juzi  iliwabadilishia mashtaka washitakiwa watatu katika kesi ya

Bibi kizee Mchawi adondoka toka Angani jijini Mwanza akiwa bila nguo.....Wananchi wataka kumchoma moto, polisi wamuokoa

$
0
0
Jana  jiji  la  Mwanza  lilikumbwa  na  kituko  cha  aina  yake  baada  ya  bibi  mmoja   kukutwa  akiwa  uchi  wa  mnyama  baada  ya  kudondoka  toka  angani  akiwanga.... Baada  ya  kuhojiwa  na  kundi  kubwa  la  wananchi  lililokuwa  limemzunguka, bibi  huyo  alidai  kuwa ametoka Bariadi lakini wenzake  aliokuwa nao walimshusha baada ya kutokea ugomvi  wakiwa  angani. Bibi  huyo 

Undani wa Sakata la Hausigeli mwingine ( binti wa kazi ) aliyekatwa katwa kichwani na kung'atwa na bosi wwake

$
0
0
Mtoto Merina Mathayo (15) amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (Moi) Muhimbili Dar es Salaam, baada ya kuteswa na kujeruhiwa  kichwani kwa kipigo maeneo mbalimbali ya mwili na bosi wake kwa miaka miwili.    Merina amelazwa Moi baada ya kupewa rufaa na Hospitali ya Mwananyamala alipokuwa amelazwa awali, kutokana na majeraha hayo ambayo yanadaiwa kusababishwa kung’atwa kwa meno na

Mheshimiwa Komba amsifia mkewe.....Asema hajawahi ona mwanamke mzuri na mvumilivu kama mkewe

$
0
0
"Sijawahi  kuona  mwanamke  mzuri  na  mwenye  imani  kama  mama  Komba ( Salome ) jamani, unajua  kulea  watoto  ambao  mama  zao  wapo  duniani  ni  kazi  sana," alisema  Komba  katika  kipindi  cha  mkasi  kinachorushwa  na  East  African  Television Mheshimiwa  Komba  alisema  ana  watoto  tisa  wakiwemo  wa  ndani  ya  ndoa  na  nje ya  ndoa  na  wote  wamelelewa  na  mke  wake 

Kigogo wa Tanesco amkana mkewe kortini katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka

$
0
0
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi William Mhando, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kuwa mshitakiwa wa pili (Eva Mhando) katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, si mke wake.  Mhandisi Mhando alitoa madai hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi, Frank Moshi, alipokuwa akisomewa maelezo ya awali katika kesi hiyo na Wakili wa

Picha: Hatimaye mwili wa msanii George Tyson wazikwa leo nchini Kenya

$
0
0
Mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) aliyefariki dunia Mei 30, mwaka huu kwa ajali mbaya ya gari nchini Tanzania na kusafirishwa kwao,Kenya umezikwa siku ya leo kijijini kwao Siaya  nchini Kenya.  Mama wa Marehemu George Tyson, Mwongozaji Filam maarufu nchini Tanzania na Kenya akiweka udongo katika kaburi la mtoto wake, George Tyson .

Taarifa kwa umma kuhusu zoezi la Usaili wa nafasi ya mkaguzi msaidizi wa Uhamiaji lililofanywa na wizara ya mambo ya ndani ya nchi

$
0
0
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imebaini taarifa mbalimbali zinazozungumzwa na ambazo zimetolewa katika baadhi ya vyombo vya habari kuhusu zoezi la usaili wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji lililofanywa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi tarehe 13 katika Uwanja mpya wa Taifa, Dar es Salaam.   Wizara ingependa kutoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya tuhuma zilizotolewa na baadhi ya wadau

Jeshi la Polisi laanza kuwasaka waliohusika na mlipuko wa bomu huko Zanzibar ambapo mtu mmoja amefariki na wengine 7 wamejeruhiwa

$
0
0
Wakazi wa Zanzibar wako katika hali ya wasiwasi baada ya  kushuhudia tukio lengine la  kulipuka bomu kwa viongozi wa dini huku safari hii likiua kijana mmoja na kujeruhi saba.   Kwa mujibu wa mkurugenzi wa upelelzi na makosa ya jinai zanzibar Sacp Yussf Ilembo,  bomu hilo lilitupwa na mtu au watu wasijulikana ambao walikuwemo ndani ya gari lilkuwa halina  namba za usajili ....  

Kombe la Dunia: Uruguay yakalia kuti la Moto....Yachapwa 3-1 na Costa Rica, Suarez akalia benchi mwanzo mwisho

$
0
0
Edinson Cavan aliifungia Uruguay bao la kuongoza kwa njia ya mkwaju wa penati. Joel Campbell, Oscar Duarte na Marcos Urena waliifungia  Costa Rica mabao yaliyowapa ushindi wa 3-1 Luis Suarez alikaa benchi, lakini hakutumika katika mchezo wa wa usiku huu. - See more at: http://shaffihdauda.com/?p=2114#sthash.PwSsNkBz.dpuf Edinson Cavan aliifungia Uruguay bao la kuongoza kwa njia ya mkwaju

Colombia waanza vizuri kombe la dunia kwa kuilaza Ugiriki 3-0

$
0
0
Goli la mapema lililofungwa na mlinzi Pablo Armero katika dakika ya tano ya mchezo, kisha mshambuliaji Abel Aguilar Gutierez katika dakika ya 58 akifunga kwa mguu wa kushoto katika dakika ya 58 na lile la mwisho lililofungwa na kiungo James Rodriguez yaliifanya timu hiyo ya Amerika Kusini kuibuka na ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Ugiriki iliyoanza na wachezaji kumi wa klabu ya Olympiacos

England yaanza vibaya kombe la dunia.....Yachapwa 2-1 na Italia

$
0
0
Straika wa Italia, Mario Balotelli (kushoto) akiifungia timu yake bao la ushindi dhidi ya England usiku huu. Timu  ya Taifa ya England  imeanza vibaya kombe la dunia baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya timu ya Taifa ya Italia maarufu kwa jina la Azzuri mjini Manaus  katika mchezo wa kundi D.   Italia walikuwa wa kwanza kuandika bao la kuongoza katika dakika ya 35

Rais Mpya wa Malawi kuoa wiki Ijayo baada ya kuishi maisha ya ukapera kwa zaidi ya miaka 30

$
0
0
Wiki mbili baada ya kuitwaa rasmi Ikulu ya Malawi, Rais mpya wa nchi hiyo, Profesa Peter Mutharika anatarajiwa kufunga ndoa na Gertrude Maseko Jumamosi ijayo, baada ya kuishi maisha ya ukapera kwa zaidi ya miaka 30.   Mutharika, mdogo wa Rais wa Pili wa Malawi, Bingu wa Mutharika ambaye kwa sasa ni marehemu, alikuwa mume wa Christophine G. Mutharika, raia wa Visiwa vya Carribean na

Utabiri wa Nabii: Mwanamuziki mkubwa wa Bongo Fleva atafia Jukwaani kabla ya kumalizika kwa mwaka huu wa 2014

$
0
0
Nabii  anayetikisa  kwa  maono  ya  vitu  mbalimbali  Hosea  Chamungu  'Mzee  wa  maono'  ameibuka  na  jambo  zito  baada  ya  kufunga  kwa  siku  tatu  mfululizo  huku  akifanya  maombi  nyikani...... Akiongea  na  mwanahabari  wetu  mapema  wiki  hii, nabii  Chamungu  alisema  kuwa  amekuwa  na  desturi  ya  kufunga  siku  tatu  kila  wiki  ili  kupata  maono  ya  mambo  mbalimbali 
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images