Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Waziri wa Madini, Doto Biteko Awatoa Hofu Wawekezaji Wa Nje.....Kasema Mabadiliko Sheria ya Madini ya Mwaka 2017 hayana lengo la kuwakandamiza

$
0
0
Waziri wa Madini, Doto Biteko amewatoa hofu Wawekezaji wa Nje na kueleza kuwa, Mabadiliko yaliyofanywa katika Sheria ya Madini ya Mwaka 2017, hayana lengo la kuwakandamiza isipokuwa yamelenga katika kuifanya rasilimali madini kuwanufaisha wote, wawekezaji na watanzania.

Aliyasema hayo Januari 4, 2019 katika kikao baina yake na Balozi wa Canada nchini Pamela O’Donnel, ambacho pia kilihudhuriwa na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo, Kamishna wa Madini, Mhandisi David Mulabwa, Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango, Augustine Ollal.

Akielezea lengo la kuonana na uongozi wa juu wa Wizara, Balozi O’Donnel alisema amefika ili kupata uelewa wa mabadiliko mbalimbali yaliyotokea katika sekta ya madini pamoja na maeneo mengine ili kuwatoa hofu wawekezaji kutoka katika taifa lake wanaopenda kuwekeza nchini.

Pamoja na nia yake ya kupata ufumbuzi kwa masuala ya Sheria ya Madini, Balozi O’Donnel alihoji kuhusu masuala mengine ikiwemo utawala wa kisheria, mikataba ya madini, kodi na tozo mbalimbali pamoja na upatikanaji wa vibali vya kufanya kazi nchini kwa wananchi kutoka nchini Canada.

Akijibu hoja hizo, Waziri Biteko aliwataka wawekezaji kutoka nchini Canada kutokuwa na wasiwasi kwa mabadiliko hayo na kuwataka kutembelea ofisi ya madini ili kupata ufafanuzi wa jambo lolote lenye utata katika kufanikisha nia njema ya kuwekeza nchini. “Tupo kwa ajili yao, wasisite kupata ufafanuzi wa jambo lolote linalohusu sekta ya madini,” alisisitiza.

Aliongeza kuwa, mataifa mbalimbali duniani yanafanya mabadiliko katika masuala mbalimbali na kueleza kuwa, si vibaya kwa Tanzania kufanya mabadiliko kwa jambo lolote ambalo lina manufaa kwa taifa.

Waziri Biteko alieleza kuwa, madini ni rasilimali inayokwisha, hivyo ni muhimu madini yanapochimbwa yawaletee faida watanzania  na pindi  yatakapokwisha wajivunie rasilimali madini iliyokuwepo kutokana na maendeleo yaliyoletwa na Madini hayo kama vile barabara bora, shule, ujenzi wa vituo vya Afya na masuala mengine ya maendeleo.

“Sheria ya awali ilikuwa hainufaishi taifa na watanzania ndio maana mabadiliko yanafanyika.Mabadiliko ni kitu kizuri, tunahitaji rafiki atakayesababisha mabadiliko kutokea hivyo hawana haja ya kuogopa, tunawakaribisha kuwekeza” alisisitiza Biteko.

Akifafanua zaidi, Biteko alieleza kuwa, mabadiliko ya sheria ya madini yamekuwa yakifanyika kulingana na sera inayoongoza. Alieleza kuwa tangu kutungwa kwa sheria ya madini mwaka 1998 mabadiliko yamefanyika kwa awamu mbili yaani mwaka 2010 na mwaka 2017 lengo likiwa ni moja tu, rasilimali madini iweze kulinufaisha taifa na Watanzania.

Aidha, alibainisha kuwa mabadiliko ya kisheria yanayotokea katika sekta ya madini yanapitia mchakato wa kutosha kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali wa sekta na hayatokei kwa ghafla kama inavyozungumzwa.

Waziri Biteko alisema serikali imekusudia kuziwezesha benki za ndani kukua na hivyo kuwataka wawekezaji kutunza fedha zao katika benki za ndani na endapo wawekezaji watataka kutunza fedha zao katika benki za nje watumie benki zenye usajili nchini Tanzania.

Kuhusiana na suala la upatikanaji wa vibali kwa wataalamu wa kigeni kufanya kazi nchini, Biteko alifafanua  kuwa, Serikali haizuii wataalamu kutoka nje kufanya kazi nchini isipokuwa kuwepo uwazi na uwajibikaji na Serikali ikijiridhisha na  kubaini kuwa nchini hakuna mtaalamu wa kufanya kazi fulani serikali haitasita kutoa kibali kwa watu kutoka nje ya nchi kuja kufanya kazi nchini.

Kwa upande wa utawala wa kisheria, Biteko alikiri kuwa Serikali ya Awamu ya Tano inaongoza nchi kwa Sheria na taratibu bila kuchagua wala kubagua.

Biteko alitanabaisha kuwa kutokana na ukweli kwamba wapo watu ambao wamejikita katika kuamini mitazamo hasi na hawataki ukweli ni suala gumu kubadili mitazamo yao, na kueleza kuwa, itakuwa rahisi kwa wale watakaokubali ukweli na kubadili mitazamo hasi waliyonayo juu ya serikali ili kwenda sambamba.

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo alisema, wawekezaji ni wadau muhimu wa maendeleo na hakuna taifa lolote lililo tayari kuwakatisha tamaa wadau wa maendeleo.

Aidha, alibainisha mambo manne yaliyopelekea Sheria ya Madini kufanyiwa marekebisho ili kukidhi matakwa ya taifa na watu wake kwa ujumla na kusema kuwa mambo hayo ni pamoja na kuongeza mapato kwa taifa kwa kuongeza mrabaha wa madini ya vito na almasi kutoka asilimia 5 mpaka asilimia 6.

Alisema, suala lingine ni uongezaji thamani wa rasilimali madini inayopatikana nchini ili inaposafirishwa nje ya nchi iwe ya viwango vyenye ubora mkubwa na hivyo kusaidia kuongeza mapato kwa taifa. Aidha, amebainsha kuwa kuna baadhi ya madini kama ya graphite yanayoongezwa thamani kwa asilimia 90 na kusafirishwa nje ya nchi kuongezewa ubora zaidi.

Akifafanua hilo, Nyongo alisema ili kulipelekea taifa kuwa na viwanda vya kutosha, serikali imefanya mabadiliko hayo ili kupata wawekezaji watakaojenga viwanda vya kuchakata madini nchini ili yasafirishwe yakiwa katika viwango bora na kupelekea ongezeko la fedha za kigeni nchini.

Pia, Naibu Waziri Nyongo alizungumzia suala la uwajibikaji wa wawekezaji kwa jamii ya kitanzania na kusema kuwa, ili kuwafanya wawekezaji kuwatumia wazawa katika kufanikisha shughuli za uchimbaji na biashara ya madini, Sheria mpya imeweka wazi masuala mbalimbali yanayopaswa kufanywa na wazawa na manunuzi ya baadhi ya mahitaji kufanyika ndani ya nchi na si vinginevyo ikiwa ni pamoja na kuajili wazawa.

Mwisho Naibu Waziri Nyongo alizungumzia suala la kuzuia wawekezaji kumiliki leseni wasizozifanyia kazi. Alisema  kuwa, wapo  baadhi ya wawekezaji wamekuwa wakitumia leseni za madini  kuombea mikopo katika taasisi za kifedha nje ya nchi na baada ya kupata mikopo hiyo wamekuwa  wakiendesha shughuli zao nje ya Tanzania.

Alibainisha kuwa, ili kuwabana wawekezaji hao sheria imekuja ikiweka wazi muda maalum wa mmiliki wa leseni kumiliki leseni hiyo vinginevyo maeneo yanarudishwa serikalini ili kutoa fursa kwa watu wenye nia ya kufanya kazi kuendelea na kazi.

Kimbia Umasikini......Kuwa tajiri kwa mtaji wa laki 2 na Nusu tu kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji. Tazama Hapa

$
0
0
Mpendwa msomaji wetu, yawezekana umekuwa ukiwaza sana nini ufanye ili uweze kufanikiwa na kuondokana na adha za umaskini.  Kulalamika tu vyuma vimekaza haitakusaidia kitu kama hutaki kujiongeza ili uongeze kipato chako.

Yako mambo mengi ya kufanya ili kujikwamua kiuchumi. Usitegemee mshahara wako tu. Mimi nataka kukufungua macho kwa jambo moja tu tena kwa uchache. Jambo hili anaweza kulifanya mwenye mtaji mkubwa au mdogo.
 
Somo  ni dogo tu lakini naamini wapo watakaopata mafanikio makubwa sana.
 
Unaweza kuanza kwa mtaji wa Mil.1 mpaka laki tano au hata chini ya hapo.

==>>Mfano. Unaweza kutumia Tsh 250,000 kununua kuku 25 kwa bei ya Tsh 10,000 kwa kuku mmoja (kadirio la juu) Majogoo watakuwa 5 kwa uwiano wa 1:4.

Hii ina maana kuwa wakishaanza kutaga utakuwa na

vifaranga 20 x 10 = 200Watunze vizuri.

Wale vifaranga tunakadiria kuwa majike watakuwa 150 ambao ndani ya miezi 3 au zaidi nao wataanza kutaga.

Utakuwa na kuku 200 + 25( ulioanza nao) =225 ndani ya miezi 6. Miezi 6 inayofuata 225 - (majogoo 55) = 170 Hii ina maana kuwa 170 x 10= 1,700.

Ndugu msomaji, hayo niliyotoa ni makadirio ya chini sana hivyo mpaka mwisho wa mwaka utakuwa na kuku zaidi ya 2000. 

Mwaka utakaofuata utakuwa na kuku wangapi baada ya kuuza kuku 1,000. Ukiuza utabaki na kuku 1000, kati yao tuseme majike ni 750. Ndani ya Miaka 2 maanake ni  750(majike) x 10 = kuku 7500 (uza wengine upate pesa ya kutumia) . 

Tuseme sasa utabakiwa na kuku jike  3000 x 10( jike moja ni mayai 10) = kuku 30,000. 

Kutegemea na uwezo wako mpaka mwisho wa mwaka wa pili utakuwa umefanikiwa sana kuukimbia UMASIKINI

Kumbuka huu ni mwongozo tu, fanya utafiti na ufuatilie zaidi.

Super Mkongo: Kiboko ya Matatizo ya Nguvu za Kiume

$
0
0
********************************
SUPER MKONGO MPYA,
_______________________________
********************************
Ni dawa bora ya kutibu na kumaliza matatizo yote ya nguvu za kiume na sababu zake zote kama vile,

- kuwahi kufika kileleni dakika moja ushakojoa
- maumbile kusinyaa na kulegea wakati wa tendo
- kukosa hamu ya tendo la ndoa
- kushindwa kurudia tendo la ndoa
- uume kusimama kwa kulegea
- uume kulegea katikati ya tendo
- kuathirika kwa kujichua kwa muda mrefu
- kuishiwa nguvu kutokana na punyeto.

Epuka aibu hii leo kwa kutumia SUPER MCONGO MPYA, kiboko ya matatizo haya.
_______________________________
Pia kuna MCONGO POWER Kiboko ya uume mdogo inaboresha maumbile ya uume kwa kurefusha na kunenepesha kwa saizi uipendayo haijalishi umri hata kwa walioathirika na upigaji punyeto.
_______________________________
Kwanza fahamu sababu zinazopelekea kuwa na upungufu wa nguvu za kiume na uume mdogo.
_______________________________
(1) kujichua (punyeto) kwa muda mrefu maana hupelekea misuli ya uume kulegea.
(2) ngiri
(3) kuugua chango la uzazi kwa muda mrefu.
(4) kupungukiwa hormone za testosterone.
(5) ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi na visivyo na virutubisho  vya kutosha.
(6) kutokufanya mazoezi na mwenendo wa maisha.
(7) kisukari.
(8) tumbo kuunguruma na kujaa gesi.
(9) maumivu ya kiuno nk.
_______________________________
Kwanini uhangaike? Kwanini uhuzunike?
Hii ni spesho kwa waliotumia madawa mengi bila kufanikiwa hakika hautajuta kuitumia. _______________________________
WASILIANA NA:
DR. MCONGOMANI
SIMU NO:
📞0658816558
📞0682323682
Popote ulipo huduma hii inakufikia
_______________________________
********************************

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro Afanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi wa Mikoa.

Nkoma: Tiba Asili ya Tatizo la Nguvu za Kiume

$
0
0
NKOMA
_________________________
NKOMA Ni dawa bora ya nguvu za kiume  yenye mchanganyiko wa mitishamba (7) yenye maajabu yafuatayo/

🔖 (1) inatibu upungufu wa nguvu za kiume mara dufu na kuimalisha misuli ya uume uliolengea wakati wa tendo la ndoa/
🔖 (2) Kurefusha maumbile ya kiume yaliyorudi ndani kuazia nchi 5 - 9/
🔖 (3) kunenepesha uume cm 5 ya upana itakufanya uchelewe kufika kileleni dk 15 - 20 kwa tendo la kwanza na utakuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya 2-4 bila hamu kuisha/

📌 Na inatibu kabisa, unashauriwa uitumie dawa hii kama kinga ya magonjwa sugu./
 📌 Haijalishi umri hata kama una miaka 85 itumie huanza kufanya kazi dk 50 tu na haina madhara yoyote kwa mtumiaji/

📍📍📍📍📍📍📍📍📍
            MATATIZO HAYA HUSABABISHWA NA.
_________________________
🔖 (1)Tumbo kujaa gesi, na kuunguruma chini ya kitovu/
🔖 (2)Choo kama cha mbuzi/
🔖(3)Ngiri/
🔖(4)Kama umejichua sana punyeto/
🔖(4)Kaswende/
🔖(5)Gono/

📌Haya yote husababisha kuishiwa nguvu za kiume na kuwa na uume mdogo/
📌 Itumie leo, bado hujachelewa ni tofauti na nyingine.
_________________________
DR MAKOBA ANAPATIKANA DAR ES SALAAM, PIA UNAWEZA KULETEWA POPOTE ULIPO.
___________________________
WASILIANA NA
Dr MAKOBA SIMU.
📞0754832349
📞0683490600
____________________________
*****************************

Waziri Lugola Asema Tanzania Ipo Salama Na Imara

$
0
0
Na Mwandishi Wetu.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema Tanzania ni kisiwa cha amani na pia ipo imara katika Bara la Afrika licha ya uwepo wa baadhi ya watu wachache wanaoichafua taswira yake kwa maslahi yao binafsi.

Lugola ameyasema hayo jijini Dodoma leo, alipokua anazungumza na Balozi wa Sweden nchini, Anders Sjoberg, ofisini kwake alimueleza kuwa, Rais Dk John Magufuli anaendelea kuiongoza nchi vizuri, na mpaka sasa Tanzania ipo imara na itaendelea kuwa imara, na wageni mbalimbali wanakaribishwa kuja nchini kuwekeza, kufanya utalii pamoja na masuala mbalimbali ambayo yatawezesha nchi kupata maendeleo zaidi.

“Mheshimiwa Balozi nchi yetu ipo salama na tunaendelea kuijenga kwa juhudi zote, Sweden na Tanzania ni marafiki kwa miaka mingi, yangu kipindi cha uongozi wa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, hivyo tutaendelea kushirikiana nanyi ipasavyo, nakukaribisha sana Dodoma na hapa ndio makao makuu ya nchi,” alisema Lugola.

Lugola aliongeza kuwa, anaikaribisha Serikali ya Sweden pamoja na wananchi wake wafike nchini kuwekeza katika maeneo mbalimbali yakiwemo utalii, pamoja na masuala ya biashara.

Waziri na Balozi huyo, pia walijadiliana masuala ya ushirikiano katika kuendelea kuimarisha usalama nchini, huku Lugola akimwambia Balozi huyo mikakati ya nchi katika kuimarisha ulinzi ambapo Serikali inatarajia kufunga kamera usalama (CCTV) katika Jiji la Dar es Salaam, Mwanza na Arusha kwa lengo la kuimarisha ulinzi zaidi.

Waziri Lugola alimuhakikishia Balozi huyo kuwa Tanzania itaendelea kuwa salama kwa kuwa Wizara yake imejipanga vizuri kuendelea kuwalinda raia na mali zao pamoja na wageni wote waishio nchini.

“Mheshimiwa Balozi nashukuru sana kwa kunitembelea, najisikia furaha kwa ujio wako na karibu sana wakati wowote, Wizara yangu pamoja na nchi yangu kwa ujumla tutaendelea kushirikiana nanyi katika masuala mbalimbali,” alisema Lugola.

Hata hivyo, Balozi Sjoberg alifurahi kuonana na Waziri huyo pamoja na kufika Makao Makuu ya Serikali jijini Dodoma ikiwa ni mara yake ya pili tangu alipofika nchini kwa ajili ya kuiwakilisha nchi yake, pia alimuhakikishia ushirikiano zaidi kati ya Sweden na Tanzania.

Nkoma: Tiba Asili ya Tatizo la Nguvu za Kiume

$
0
0
NKOMA
_________________________
NKOMA Ni dawa bora ya nguvu za kiume  yenye mchanganyiko wa mitishamba (7) yenye maajabu yafuatayo/

🔖 (1) inatibu upungufu wa nguvu za kiume mara dufu na kuimalisha misuli ya uume uliolengea wakati wa tendo la ndoa/
🔖 (2) Kurefusha maumbile ya kiume yaliyorudi ndani kuazia nchi 5 - 9/
🔖 (3) kunenepesha uume cm 5 ya upana itakufanya uchelewe kufika kileleni dk 15 - 20 kwa tendo la kwanza na utakuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya 2-4 bila hamu kuisha/

📌 Na inatibu kabisa, unashauriwa uitumie dawa hii kama kinga ya magonjwa sugu./
 📌 Haijalishi umri hata kama una miaka 85 itumie huanza kufanya kazi dk 50 tu na haina madhara yoyote kwa mtumiaji/

📍📍📍📍📍📍📍📍📍
            MATATIZO HAYA HUSABABISHWA NA.
_________________________
🔖 (1)Tumbo kujaa gesi, na kuunguruma chini ya kitovu/
🔖 (2)Choo kama cha mbuzi/
🔖(3)Ngiri/
🔖(4)Kama umejichua sana punyeto/
🔖(4)Kaswende/
🔖(5)Gono/

📌Haya yote husababisha kuishiwa nguvu za kiume na kuwa na uume mdogo/
📌 Itumie leo, bado hujachelewa ni tofauti na nyingine.
_________________________
DR MAKOBA ANAPATIKANA DAR ES SALAAM, PIA UNAWEZA KULETEWA POPOTE ULIPO.
___________________________
WASILIANA NA
Dr MAKOBA SIMU.
📞0754832349
📞0683490600
____________________________
*****************************

Je Kwanini Baadhi Ya Wanaume Wengi Wana Ukosefu Ama Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

$
0
0
JE KWANINI BAADHI YA WANAUME WENGI WANA UKOSEFU AMA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO ???

Pata sululisho la matatizo haya na  magonjwa mengine utapona kwa mda mfupi sana hatakama ulihangaika mpaka ukakata tamaaa 

GALIMBO 3 MIX  ni dawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa aina mbili ili kukidhi mahitaji ya mtumiaji, imetengenezwa kwa muundo wa vidonge pamoja na unga kwaajili ya kuponesha tatizo moja kwa moja , huimalisha misuli ya uume iliyolegea wakato wa tendo la mdoa ,na kukufanya ucherewe kufika kileleni kwa mda wa dk ( 20 - 45 ) itakufanya uludie tendo la ndoa zaidi ya Mara tatu nira hamu kuisha wara kuhisi kuchoka vilivile huzalisha viini vya uzazi ( manii ) 

YOLAN  hurefusha na kunenepesha  maumbile madogo ya uume na kuwa na uume kuanzia nchi (6-8) tiba kwa mda mfupi sana

Zipo sananu nyingi sana zinazosababisha matatizo hayo  km vile -:punyeto, kisukali,ngili,chango,vidonda vya tumbo,  tumbo kuunguluma na kujaa gesi maumivu ya mgongo ama kiume ,kolodani moja kuvimba ama kuingia ndani  presha nk 

Matatizo haya yote sio mageni, kigeni ni tiba sahihi ya kuponesha matatizo hayo

SUPER MBUKE -:  nidawa ya kuponesha tatizo la kisukali kwa mda mfupi sana , usihangaike wara kuteseka tumia dawa ya mitishamba kwaajili ya tatizo hili na upone kabisa

NTINJIWA  nidawa ya mvuto wa biashara,kazi, kupandishwa cheo,kumfanya mfanyakazi apendwe na bos wake

Pia ninadawa za kumvuta mme , mke,mchumba,hawara, au mtu yoyote unaemuhitaji katika maisha yako hata km yupo mbali na atatulia na kukutimizia cjovjote utakacho na kumfunga asiwe na mtu mwingime ,

Pata tiba za magonjwa mbalimbali ikiwemo miguu kuwaka moto, mgongo,bawasili ,kaswende ,gono na mengine mengi

KWAUSHAULI NA TIBA WASILIANA NA DR CHIKAGO    0759 208 637

Km huna nafasi ya kufika ofisini hudumahii utaletewa hapo ulipo , kwa wale wa mikoani natuma kwanjia ya basi

Ondoa Kibamia Na Tibu tatizo la Nguvu Za Kiume Kwa Dawa Hii Ya Mitishamba

$
0
0
JILO HERBAL CLINIC

ONDOA KIBAMIA NA ONGEZA NGUVU ZA KIUME KWA DAWA HII YA MITISHAMBA AMBAYO NI KOMESHA KWA TATIZO SUGU LA NGUVU ZA KIUME

SUPER MBONGOSHI; Ni dawa ya mitishamba ambayo inatibu tatizo la nguvu za kiume inakufanya kuchelewa kufika kileleni na kuongeza hamu ya kuendelea kufanya tendo.
 
SUPER MBONGOSHI2 Ni dawa ya mitishamba ambayo ina nenepesha na kurefusha maumbile mafupi au yaliyosinyaa na kuufanya kuwa imara dawa hii inasafisha mishipa ya Uume ambayo imedhurika na matatizo mbali mbali kama vile kupiga punyeto kwa mda mrefu,ngiri,kisukari,vidonda vya tumbo na mengine mengi.
 
DR.JILO Pia anatibu magonjwa mengine kama vile kisukari,ngiri,ugumba,pressure n.k

KWA HUDUMA ZA JILO HERBAL CLINIC WASILIANA NA DR.JILO SASA UPATE DAWA HII .UTATUMIWA POPOTE PALE ULIPO PIGA SIMU
0752723508

Bunge Larejea Tena Baada ya Taharuki Iliyowafanya Wambunge Wakimbie Asubuhi

$
0
0
Baada ya kikao cha Bunge kuharishwa kutokana na taharuki iliyotokana na ving’ora kulia, Spika wa Bunge Job Ndugai amesema mpaka sasa hawafahamu chanzo cha tukio hilo.

Kabla ya kuahirishwa kwa kikao cha Bunge saa 5:03 asubuhi kilikuwa kikiongozwa na mwenyekiti wa Bunge, Najma Giga.

“Nawapeni pole. Hadi sasa hivi hatujajua chanzo tutakapojua tena baadaye tutaelezana sababu ya kulia kwa ving’ora,” amesema.

Amesema kama kuna maswali ya wabunge yamebaki watayafanyia utaratibu huku akiwapa pole wabunge na kwamba wataalamu wanaendelea kufanya uchunguzi.

Watumishi wa Umma 827 Wapata Mafunzo Nje ya Nchi

$
0
0
Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma.
Watumishi wa Umma 827 kutoka katika Wizara, Idara zinazojitegemea na Wakala wamepatiwa mafunzo nje ya Tanzania mwaka 2017/18 ili kuwapa uelewa, ujuzi na maarifa mapya ya kumudu majukumu yao katika kutekeleza malengo ya Taifa.

Hayo yameelezwa leo, Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Kuteuliwa, Mhe. Janeth Masaburi juu ya mpango wa Serikali wa kutenga fedha kwa ajili ya mafunzo ndani na nje ya nchi kwa watumishi wa Umma ili kuwajengea uwezo na kuleta tija kwa Taifa.

“Serikali imeimarisha ushirikiano wa wadau mbalimbali wa maendeleo hususani Australia, India, Japan, China, Indonesia, Jamhuri ya Watu wa Korea ambapo kupitia wadau hao watumishi 827 walipata fursa za mafunzo ya muda mfupi na mrefu katika nchi hizo,” amesema Dkt. Mwanjelwa.

Aidha, amesema katika mwaka 2016/17 washirika hao walitoa nafasi za mafunzo ya muda mfupi na mrefu kwa watumishi 654.

Amesema, Serikali katika kutambua umuhimu wa kuwapatia mafunzo Watumishi wa Umma ili kutekeleza majukumu yao kwa weledi na ufanisi ilitenga shilingi 54,470, 327,822 kwa ajili ya kugharamia mafunzo ya ndani na nje ya nchi. Aidha, katika mwaka wa fedha 2018/19 jumla ya shilingi 39,839,347,632 zimetengwa kwa ajili hiyo.

Sera ya Menejimenti na Ajira ya Mwaka 1999 na marekebisho yake ya mwaka 2008 Kifungu 4.8, Sera ya Mafunzo katika Utumishi wa Umma ya Mwaka 2013 Kifungu 4.2 na Kanuni ya Kudumu za Utumishi wa Umma za mwaka 2009 kifungu G.1 (Vifungu vidogo 7, 9, 10, 11) zinasisitiza kuhusu umuhimu wa kila mwajiri katika utumishi wa Umma kuandaa na kutekeleza Mpango wa Mafunzo wa mujibu wa tathimini ya mahitaji ya mafunzo (Training Needs Assessment).

Serikali Yatoa Siku 24 Kuhuisha Machapisho

$
0
0
Na Beatrice Lyimo-MAELEZO
Serikali imetoa notisi ya siku 24 kwa wamiliki wa machapisho (magazeti na majarida) ambayo bado hayajahuisha leseni zao kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 kuhakikisha wanahuisha leseni hizo hadi ifikapo Machi 21, 2019 vinginevyo hayataruhusiwa kuchapishwa.

agizo hilo limetolewa na Mkurugenzi Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi leo Jijini Dodoma wakati akiongea na Wanahabari kuhusu utekelezaji wa masuala mbalimbali ya Serikali ikiwemo utekelezaji wa Sheria ya Huduma ya Habari.

“Kwa mujibu wa Sheria mpya ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016, wamiliki wote wa magazeti na majarida wanapaswa kuhuisha leseni zao kila mwaka na  tulitoa notisi kwa ambao hawajahusiha, wapo walioitikia wito na wapo waliokaidi, orodha kamili imewekwa katika www.maelezo.go.tz” ameeleza Dkt. Abbasi.

Aidha, Dkt. Abbasi ameongeza kuwa, utekelezaji wa Sheria ya Huduma za Habari unaendelea hivyo wakati wowote kuanzia sasa chombo cha kwanza cha kusimamia wanahabari yaani BODI YA ITHIBATI itaundwa ambapo kazi yake kubwa ni kusajili wanahabari, kuwapa vitambulisho vya kitaaluma na kusimamia maadili yao.

katika kuhakikisha kuwa Waandishi wa Habari wanatekeleza majukumu yao bila vikwazo na pia wananchi wanapata taarifa mbalimbali, Dkt. Abbasi ametoa wito kwa Watendaji mbalimbali wa Serikali katika ngazi zote kutoa habari na kueleza utekelezaji wa ahadi mbalimbali za Serikali kwani ni takwa la Katiba na Sheria.

“Natumia mkutano huu kuwakumbusha watendaji mbalimbali wa Serikali katika ngazi zote kuwa, isipokuwa kama habari husika imezuiwa kisheria, kwa sasa kutoa habari na kueleza utekelezaji wa ahadi tulizoahidi ni takwa la Katiba na Sheria na si utashi mtu binafsi. Tutaanza kufuatilia watendaji wanaokaidi matakwa haya ya kikatiba” amefafanua Dkt. Abbasi.

Mbali na hayo Dkt. Abbasi amesema kuwa Serikali itaendelea kutekeleza kwa kasi wajibu wake kwa umma ikiwemo kuhakikisha hali ya amani, utulivu, kusimamia utawala bora na utawala wa sheria.

Taarifa Kwa Umma Kuhusu Taharuki Iliyotokea Mapema Leo Bungeni

Rais Magufuli kuzindua Mahakama Zinazotembea(Mobile Court) Kesho

$
0
0
Na Erick Msuya – MAELEZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli (Kesho February 6) anatarajia kuzindua Mahakama zinazotembea (Mobile Court) Jijini Dar es Salaam ikiwa ni mpango mkakati wa Mahakama wa kumaliza mlundikano wa kesi.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Usimamizi wa Mashauri wa Mahakama ya Tanzania, Eva Nkya uzinduzi huo utafanyika katika sherehe  za siku ya Sheria kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.

Mpango huo wa Makahama zinazotembea umekuja kufuatia maombi ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma kwa Rais Ikulu January 29 mwaka huu Jijini Dar Es Salaam wakati akiwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu ombi lililohusu kuimarisha miundombinu ya Mahakama,kuongeza Mahakama zinazotembea (Mobile Court) na kuongeza rasilimali Watu.

Akizungumza katika hafla ya kuwaapisha viongozi hao Ikulu Jijini Dar es Salaam ,Rais Magufuli alisema wazo la kuwa na Mahakama hizo zinazotembea ni wazo jema na la ubunifu katika kushughulikia kero za wananchi hususan katika upatikanaji wa haki. 

Mpaka sasa nchini Tanzania tuna mahakama za Mwanzo 960, kata zaidi ya elfu 3 ambazo hazina mahakama, serikali imeona si vyema kukaa kusubili majengo ya mahakama mpaka kujengwa kwa kipindi kirefu, hivyo kuanzishwa kwa magari haya yatakuwa mkombozi kwa wananchi waishio katika kata zisizo kuwa na mahakama.

Dhana ya mahakama zinazotembea ni mahususi kwa kuwapunguzia gharama wananchi wa tanzana,kuwapunguzia muda wa kwenda mahakamani, kuwapa uhuru wa kuweza kufanya shughuli zao na kuwapa elimu wananchi juu ya haki zao za msingi katika mahakama.

Mpaka sasa serikali imeshanunua magari mawili yenye uwezo wa kusikiliza mashauri ya wananchi kwa aslimia 100, na kwa awamu hii ya kwanza wameanza na Mahakama ya mwanzo na Mahakama ya Wilaya hivyo kadri siku zitakavyozidi serikali inatalajiwa kuongeza magari mengine kutokana na mwamko wa wananchi.

Magari hayo ya Mahakama zinazotembea zinatarajia kuanza katika mkoa wa Dar es Salaam na Mwanza hii yote kutokana na wingi wa mashauli, uchache wa mahakama na idadi ya watu hasa waishio Dar es Salaam katika maeneo mbalimbali katikaikoa tajwa .

Mbali na kusikiliza kesi, mahakama hizi zinatoa elimu kwa umma na kuelimisha wananchi juu ya kupata huduma za mahakama,  kufanya usuluishi kwa jamii na kuhusika kwenye oparesheni  maalumu za kiusalama  endapo zikitokea.

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano ya February 6


Rais Magufuli awahakikishia Watanzania kuwa Taifa linakwenda vizuri.

$
0
0
Rais Magufuli amewahakikishia Watanzania wote kuwa Taifa linakwenda katika mwelekeo mzuri hasa baada ya Serikali ya Awamu ya Tano kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha uchumi na huduma za kijamii kama vile afya, elimu, maji, nishati na miundombinu ya usafiri.

Rais Magufuli amesema hayo jana alipokutana na wananchi katika Mtaa wa Zanaki, Wilaya ya Ilala  muda mfupi baada ya kutembelea Kampuni ya Africa Media Group (AMGL) yenye vituo vinne vya televisheni ikiwemo Channel Ten na vituo viwili vya redio ikiwemo Magic FM, ambayo kwa sasa inamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).

Rais Magufuli amesema pamoja na mafanikio hayo, Serikali itaendelea kupambana na dhuluma na matumizi mabaya ya rasilimali za Taifa na ametoa wito kwa Watanzania wote kuiunga mkono kwa kuhakikishia wanatanguliza maslahi ya Taifa.

Ilichokiamua Mahakama Kuhusu Kesi ya Utakatishaji fedha na kumiliki mali zilizozidi kipato chake inayomkabili aliyekuwa Mhasibu Mkuu Takukuru

$
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga kusikiliza kwa siku tatu mfululizo kesi ya Utakatishaji fedha na kumiliki mali zilizozidi kipato chake, inayomkabili aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Takukuru,Godfrey Gugai.

Wakili kutoka (TAKUKURU) Vitalis Peter mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba jana alisema kuwa kesi hiyo ilitakiwa kuendelea lakini wameshindwa kuleta mashahidi kutokana na kutokuwa na taarifa kama Hakimu amemaliza likizo.

Wakili wa utetezi Alex Mgongolwa akaiomba Mahakama itoe ahirisho fupi ili dhamira ya kumaliza kesi hiyo ionekane kwani wateja wake wamekaa ndani kwa muda mrefu.

Baada ya Maelezo hayo Hakimu Simba aliutaka upande wa mashtaka kuleta mashahidi tarehe itakayopangwa ili kesi hiyo ikamilike kwa wakati na washtakiwa waweze kujua hatma yao.Kesi hiyo imeairishwa hadi Februari 19,20 na 21, 2019.

Gugai na mwenzake watatu wanakabiliwa na makosa 43, kati ya hayo, makosa 19 ni ya kughushi, 23 ni utakatishaji fedha na moja ni kumiliki mali zilizozidi kipato halali, ambalo linamkabili Gugai.

Wasanii Kutembelea mradi wa reli ya kisasa (SGR) Aprili 07/2019

$
0
0
Wasanii takribani 300 nchini Tanzania wanatarajiwa kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kati ya Dar es Salaam na Morogoro.

Akizungumzia safari hiyo jana, Msanii wa filamu nchini ambaye pia ni mratibu wa msafara huo Bw. Steve Nyerere amepongeza uongozi wa shirika la reli (TRC) kwa kuwapa fursa wasanii na kutambua mchango wao katika jamii.

Steve Nyerere alimpongeza Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kwa kufanikisha safari hiyo ambayo itawahusisha waimbaji wa muziki wa bendi, Bongo Fleva, Taarab, Singeli, Wigizaji wa Filamu , Bongo Movie, Komedi , Wachezaji wa zamani wa mpira wa miguu na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali ikiwemo mitandao ya kijamii.

Safari hiyo itaanza saa moja asubuhi kwa treni ya (TRC) kutoka Kamata jijini Dar es salaam na kupitia maeneo yote ambayo mradi huo unatekelezwa huku wakipata maelezo mbalimbali kutoka kwa mainjinia wa shirika la reli  na wale wa kampuni ya Yapi Merkezi wanaojenga reli hiyo ya kisasa.

Nape Nnauye: Wanasiasa tuwe na akiba ya maneno

$
0
0
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye amewataka Wanasiasa kujiwekea utaratibu wa kuwa na akiba ya maneno pindi wanapozungumza mambo ikiwemo kupinga jambo.

Nape aliyasema hayo  jana wakati akichangia mapendekezo  katika taarifa mbili za Kamati ikiwemo Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii kwa mwaka 2018 pamoja na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji.

Alisema kwa niaba ya wananchi wa jimbo la Mtama wanamshukuru Rais John Magufuli kwa kukubali maombi yao ya kufuta mashamba yaliyotelekezwa.

“Tujifunze kidogo kuweka akiba ya maneno hasa tunaposhutumiana bila sababu. Wakati wa uchaguzi tulipeleka kwa Rais maombi ya kufuta baadhi ya mashamba yaliyotelekezwa,” alisema.

Alisema miongoni mwa mashamba hayo ambayo Rais alikubali ombi lililopelekwa kwake na yeye na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi  ni shamba namba 37 lililopo eneo la Maumbika jimbo la Mtama mkoani Lindi.

“Wakati mwingine tunapolishwa maneno tukaseme tuweke akiba ya maneno ya nani anapinga nini na anasema nini?  Itatusaidia sana kwa sisi wanasiasa tukiweka akiba ya maneno,” alisema.
 

Jumatatu, Nape aliandika barua kwenda kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai ya kujiuzulu nafasi ya uenyekiti  wa  kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii na hadi sasa bado haijafahamika sababu ya kujiuzulu kwake.

Serikali Yazipiga Jeki Halmashauri 12 Kutekeleza Miradi Ya Kimkakati Ya Shilingi Bilioni 13

$
0
0
Na  Saidina Msangi, WFM, Dodoma
Serikali, kupitia Wizara ya Fedha na Mipango, imezipatia Halmashauri 12 nchini ruzuku ya shilingi bilioni 137 kwa ajili ya kutekeleza Miradi 15 ya kimkakati, yenye lengo kuhakikisha Halmashauri zinaongeza mapato ya ndani  na kupunguza utegemezi wa kibajeti kutoka Serikali Kuu.

Hafla ya uwekaji wa saini mikataba ya ruzuku hiyo umefanyika Jijini Dodoma kati ya Katibu Mkuu na Mlipaji Mkuu wa Serikali Bw. Doto James na wakurugenzi wa Halmashauri huku ikishuhudiwa na Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI, Dkt. Doroth Gwajina na baadhi ya Makatibu Tawala wa Mikoa ambao Halmashauri zao zimepata ruzuku hiyo.

Katibu Mkuu Bw. Doto James amezitaka Halmashauri  zilizopata fedha hizo kutumia fedha kwa malengo yaliyokusudiwa na kuonya kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa watendaji watakao kiuka makubaliano yaliyomo kwenye Mkataba wa makubaliano.

"Maafisa Masuuli mhakikishe mnafuata na kuzingatia Sheria ya Bajeti Namba 11 ya Mwaka 2015 na Kanuni zake, ambayo pamoja na mambo mengine inasisitiza juu ya matumizi bora ya fedha kwa shughuli zilizoidhinishwa" alisisitiza Bw. James.

Amesema kuwa Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango, ilipoanzisha utaratibu huu haikuwa inatania wala kufanya mazingaombwe, inayo dhamira ya dhati ya kuzijengea uwezo halmashauri zijitegemee kiuchumi na kutoa huduma bora kwa wananchi badala ya kutegemea ruzuku ya Serikali Kuu na kuwahakikishia wadau kuwa fedha hizo zipo na kuzitaka Halmashauri zichangamkie fursa hiyo kikamilifu

Miradi inayotarajiwa kutekelezwa  inahusisha masoko ya kisasa, kiwanda cha kusindika korosho, uendelezaji wa fukwe ya Oysterbay pamoja na maegesho ya malori, iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Kigamboni, Tanga, Kibaha, Bagamoyo, Mwanza, Tarime, Hanang, Iringa na Biharamulo.

Kwa upande wake Kamishina wa Bajeti wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Mary Maganga amesema Awamu ya Pili ya Miradi ya Kimkakati kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa miradi iliyokidhi vigezo ni  15 yenye thamani ya Sh. Bilioni 137.38.

Amesema kuwa katika Awamu ya Kwanza ya Mpango huo wa Serikali wa kuzijengea uwezo Halmashauri kutekeleza miradi ya kimkakati kwa Mwaka wa Fedha 2018/2018, Halmashauri 17 zenye miradi 22 zilifuzu vigezo na kupatiwa ruzuku ya shilingi bilioni 131 hivyo kufanya miradi yote mpaka sasa kufikia 37 ikiwa na thamani ya shilingi bilioni 268.38

Naye Naibu Katibu Mkuu, kutoka Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI, Dkt. Doroth Gwajima, ameipongeza Wizara ya Fedha na Mipango kwa kufanikisha upatikanaji wa fedha ambazo zitachochea miradi ya maendeleo katika Halmashauri nchini.

Dkt. Gwajima, amezitaka Halmashauri zilizofanikiwa kusaini mikataba hiyo, kuhakikisha kuwa zinazingatia lengo la mkataba huo na kutekeleza miradi kwa muda mwafaka na viwango vilivyoainishwaa na kwamba ufuatiliaji wa miradi hiyo utakuwa ni wa kiwango cha juu.

Pia amekiagiza Chuo cha Serikali za Mitaa – Hombolo, kuandaa mafunzo ya kuzijengea uwezo Halmashauri nchini ambazo hazikufanikiwa katika uandikaji wa miradi ili ziweze kufanikiwa kwa awamu ijayo.

Mwisho
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images