Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Rudisha heshima yako Kwa Mpenzi Wako, Mke Wako...Tumia Tiba Hii ya Asili

0
0
Rudisha heshima yako sasa kwa kutumia Dawa hii iitwayo SUPER GAFINA, kwa ajili ya nguvu za kiume na NKOLOMIJE ni kwaajili ya kuongeza maumbile.

Kwa mwanaume aliye kamilika anatakiwa awe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya Mara mbili ,ila ukiwa unapiga moja tena kwa shida wewe ujue  unamatatizo ya upungufu wa nguvu za kiume.

TIBA YA TATIZO LAKO NI; Dawa iitwayo SUPER GAFINA, dawa hii ipo kwenye mfumo wa vidonge na unga wa asili ambavyo havina madhara kwa mtumiaji ambayo hutibu matatizo matatu kwa pamoja;-

1).itakufanya urudie tendo la ndoa zaidi ya Mara tatu bila kuchoka.

2).ltakufanya uchelewe kufika kileleni kwa dk.15 hadi 20 kwa tendo la kwanza.

3).lnaimarisha uume uliolegea na uliosinyaa na kuupa nguvu maradufu.

Je unamaumbile madogo pamoja na uume mfupi? NKOLOMIJE ni suluisho la tatizo lako. Na ni dawa inayoboresha maumbile ya kiume kwa kunenepesha na kurefusha kwa saizi kuanzia inch. 5 hadi 8 kwa muda mfupi sana .Dawa hizi huanza kufanya kazi kwa mda wa dk.30 ukisha tumia guarantee miaka 50  ikishakutibu.

Pia ninatibu;- KISUKARI, PRESHA, UZAZI, NGIRI, PUMU, MALARIA SUGU, VIDONDA VYA TUMBO, CHANGO AINA ZOTE ,BP, NK.

IGULYATI, ni dawa ya mvuto wa biashara, kazi,kupandishwa cheo na humfanya mfanyakazi kupendwa na mwajiri wake. Pia humvuta mke,Mme,hawara ,mchumba unae muitaji utampata kwa dk.30 tu na atatulia na kumfunga asitoke nje ya ndoa, Pia natoa Pete za bahati ambazo zimetajirisha wengi.

Pia ipo dawa ya kupunguza matiti,unene ,tumbo,na kitambi ,hupunguza mafuta ,kuondoa makovu,chunusi,michilizi mwilini na kuongeza hipsi, makalio na mguu wa bia nk. 

Kwa maelezo zaidi wasiliana na DR,HOSUTWA .Anapatikana Mbagara

Simu no, 0756241666 na 0672186977.

       Huduma hii utaipata popote ulipo

Taarifa Kwa Umma Kuhusu Siku Ya Wanawake Duniani 2019

0
0
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto) inapenda kuwajulisha wadau wa maendeleo ya jinsia na wanawake pamoja na Watanzania kwa ujumla kuwa Tanzania itaungana na Nchi Nyingine Wanachama wa Umoja wa Mataifa kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa tarehe 8, Machi ya kila mwaka.

Kaulimbiu ya Kitaifa ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa mwaka 2019 inasema:“Badili Fikra Kufikia Usawa wa Kijinsia kwa Maendeleo Endelevu”.

Kwa mwaka huu, Maadhimisho yataendelea kufanyika katika ngazi ya Mkoa ili kutoa wigo mpana kwa wanawake, wadau mbalimbali na kila Mtanzania kutathmini hatua tulizofikia kama Taifa katika masuala ya usawa wa kijinsia na uwezeshaji wanawake na wasichana. 

Aidha, Maadhimisho haya ni fursa ya kujadiliana namna ya kukabiliana na changamoto katika kufikia Maendeleo jumuishi.

Kiboko Ya Matatizo Ya Nguvu Za Kiume, Maumbile Madogo Mvuto Wa Mapenzi

0
0
*************************
KIBOKO YA  MATATIZO YA  NGUVU  ZA  KIUME MAUMBILE MADOGO MVUTO  WA  MAPENZI .
MAGONJWA SUGU
*************************
Wanaume  wengi wana  upungufu wa  nguvu  za kiume nakuwa  na  maumbile madogo  ya kiume magonjwa kama  kisukari, presha, ngiri  korodani kuvumba, busha, tumbo kuunguruma na kujaa  gesi  na  kutopata  choo  vizuri, punyeto  NK.
___________________________
Huchangia kwa  kiasi kikumbwa upotevu  wa nguvu  za kiume tumia dawa nzuri ya  mitishamba ambayo haina madhara kwa mtumiaji ata uwe  na  miaka 80 inatibu na kumaliza matatizo  hayo:

 SUPER SHAFT 
********'****************
HII NI DAWA  YENYE  UWEZO  MKUBWA WA  KUOGEZA  NGUVU ZA KIUME MARA  DUFU NA MAUMBILE MADOGO  YA KIUME
************************
(1) Itakufanya uwe  na nguvu za  ajabu ukiwa unafanya tendo la ndoa.
___________________________
(2 ) Inaongeza hamu ya kurudia tendo la ndoa zaidi  ya mara  tatu bila kuchoka.
___________________________
(3)Itakufanya uchelewe kufika kileleni ndani ya dk 30 nakukupa nguvu ya ajabu.
___________________________
(4) Pia itakupa nguvu za kusimamisha uume wako barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa.
___________________________

NYATI POWER
*****************
INAREFUSHA NA KUNENE PESHA MAUMBILE YA KIUME  SAIZI UTAKAVYO kuazia Inchi 1 -8 unene sm 2-4.
*************************
(5) Itaimarisha mirija ya uume iliyolegea au kusinyaa.
___________________________
(6)lnasaidia kisafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaidia kuogeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya uume.
___________________________
(7) Usaidia kuurudisha nje uume ulioingia ndani.
___________________________
(8) Inasaidia kuogeza  manini  nyingi abazo vinaviini vya  uzazi.
___________________________
(9)Husaidia kutibu  madhara ya punyeto.
___________________________
Matumizi makali ya madawa  ya kizungu mirungi, bangi na  sigara.
*************************
TUNATIBU MAGONJWA YOTE SUGU, NGIRI, KORODANI KUVIMBA,  BUSHA BILA KUFANYIWA OPARESHENI, TEZI DUME, KISUKARI, PRESHA AINA ZOTE, UGONJWA WA MOYO STROKU. KWIKWI, KICHOMI MIGUU KUFA NGAZI NK
*************************
ANAPATIKANA MAGOMENI MIKUMI, KARIBU NA  KANISA KATOLIKI, TUMAINI HEARST CLINC NDIYO  SULUHISHO LA MATATIZO YOTE
*************************
PIGA  SIMU
📞0745495181 AU
📞0682644040 
*************************
WOTE  MNAKARIBISHWA
*************************
Kama huna nafasi ya kufika ofisini  kwetu  huduma  hii  utaletewa mahali  ulipo na wa mikoani  mtaipata kirahisi.
KWA MENGINEYO INGIA HAPA
*************************

Vunja Kero 3 Power: Dawa Bora Ya Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

0
0
VUNJA KERO 3 POWER ni dawa Bora ya vidoge asilia hutibu tatizo la nguvu za kiume na huanza kufanya kazi baada y dk 30 
(1)Huongeza nguvu za kiume Mara dufu 
( 2) Huimarisha misuli ya uume iliyolegea na kusinyaa  pia dawa hii itakufanya ufurahie tendo la ndoa zaidi ya Mara ( 4) nne bila kuchoka
 ( 3) Hunenepesha na kurefusha uume kwa saizi uipendayo kuanzia nchi (6-7) 

Pia dawa hii hutibu maumivu ya mgongo ,kiuno tumbo kujaa gesi na kuunguruma ,kutopata choo vizuri ,ngiri na busha bila kupasuliwa         

Dr saidi anauwezo mkumbwa aliyojaliwa wa kumvuta na kumrudisha mmeo  ama mpenzi wako alikuacha au aliyembali nawe au hakutimizii shida zako

Pia Dr saidi anadawa ya kutibu kisukali,vidonda vya tumbo na miguu kuwaka Moto.  

DR SAID ANAPATIKANA DAR ES SALAAM BUGULUNI ROZANA  KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NO 0758 199338 Au 0786243789

Reli Ya Zamani Yaanza Kukarabatiwa.....Treni Sasa Kukimbia Km 70 Kwa Saa

0
0
Reli Ya zamani imeaanza kukarabatiwa ambapo hadi sasa ukarabati umefikia asilimia 10. Baada ya zoezi hilo,Treni Sasa  itaweza kubeba mizigo mingi zaidi na kukimbia Km 70 kwa Saa badala kim35 za awali.

==>>Tazama video hapo chini

Wapinzani Kulipeleka Sakata la Sh. 1.5 trilioni Kwa Wananchi

0
0
Wabunge wa kambi ya upinzani wamesema watalihamishia sakata la utata wa Sh.1.5 Trilioni majimboni kwao baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuhitimisha kuwa fedha hizo hazikuibiwa au kupotea.

Uamuzi huo wa wapinzani umetolewa na Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali (CUF). Bobali amesema kuwa ingawa kamati imehitimisha hivyo, wao wataendelea kuwasha moto akidai kuwa fedha hizo zilitumika bila idhini ya Bunge.

“Pale tunapohoji ni nani aliyeruhusu fedha hizo zikatumika bila idhini ya Bunge, na ni fedha nyingi. Sasa mjadala ndio kwanza unaanza na ni lazima moto uwake na ukweli ujulikane,” Gazeti la Mwananchi limemkariri Bobali.

Awali, Mwenyekiti wa PAC, Naghenjwa akisoma taarifa yake Bungeni alieleza kuwa uchunguzi wa kamati hiyo umebaini kuwa fedha hizo hazikuibiwa au kupotea kama ilivyokuwa ikidaiwa.

Alisema kuwa baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kupitiwa na kufanyiwa marekebisho, ilionekana kuwa suala la upotevu au wizi wa kiasi hicho cha fedha halipo.

Naye Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka wananchi kuzingatia maelezo yaliyotolewa na PAC ambayo ni kamati inayoongozwa na wapinzani na kuachana na maelezo ya mtu mmoja mmoja ambayo amesema ni ya uongo.
 
Mwaka jana, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe alidai kuwa ripoti ya CAG inaonesha kuna upotevu wa Sh.1.5 na kuitaka Serikali kulitolea ufafanuzi.

Siku chache baadaye, Rais John Magufuli akiwa Ikulu jijini Dar es Salaam, alimuuliza CAG kama kuna suala la wizi wa kiasi hicho cha fedha kwenye ripoti yake na msomi huyo wa mahesabu na fedha akasema hakuna.

Wafanyabiashara wa Dawa za kulevya Wabuni Mbinu Mpya za Kusafisha....Tazama Hapa Walivyonaswa na Jeshi la Polisi

0
0
Na  Dixon Busagaga,Moshi
Wafanyabiashara  wa Dawa za kulevya aina ya Mirungi wamebuni mbinu mpya za kusafirisha Dawa hizo kwa kutumia magari ya Kifahari yakiwemo Toyota Land Cruser ,Toyota Alphasad,Toyota Vanguard huku wengine wakilazimka kuzifanyia mabadiliko gari aina ya Toyota Noah ili kurahisisha ubebaji wa Mirungi kwa kificho.
 
Hata hivyo tayari jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro limebaini mbinu hizo baada ya kufanikiwa kukamata gari aina ya Toyota Noah lenye namba za usajili T 443 DET lililokuwa limebeba kilogramu 102 za Mirungi likielekea Kondoa mkoani Dodoma.
 
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,Kamishna Msaidizi wa Polisi ,Hamis Issah alithibitisha kukamatwa kwa gari hilo majira ya saa 6:30 za usiku katika kizuizi cha askari eneo la Kwa Wasomali likielekea njia ya Arusha.
 
“Tumeendelea na zoezi la kukamata wasafirishaji wa Dawa za kulevya ,tumekamata kwa mara nyingine gari aina ya Noah ,hili gari limetokea maeneo ya mkoani Kilimanjaro ,linaelekea mkoani Dodoma katika wilaya ya Kondoa “alisema Kamanda Issah.
 
“Hili gari limebadilishwa badilishwa ndani  ,ukilitizama limejengewa vyumba maeneo tofauti tofauti kwa ajili ya kuekea Mirungi,Bampa la mbele lina vyumba ,ndani kumetobolewa na kuchomelewa vizuri ,yaani limefanyiwa mabadiliko makubwa kwa ajili ya shughul hii ya usafirishaji wa Mirungi,ukikagua kwa mashaka huwezi gundua kwa mara moja”aliongeza Kamanda Issah.
 
Alisema hadi sasa watu wawili wanashikiliwa huku akiwataja majina kuwa ni Simoni Boaa mkazi wa Babati  na aliyekuwa dereva wa gari hilo na Abushil Abdalah mkazi wa Kondoa na kwamba taratibu zikikamilika watafikishwa mahakamani huku akitoa onyo kwa wafanyabiashara wa Mirungi walioshindwa kuacha biashara hiyo .
 
“Kwa sasa mbali na kukamata tu hawa wasafirishaji ,tutaenda mbali zaidi kwenda kuangalia na mali zao hasa hizi zinao tumika katika usafirishaji ikibidi tushauri sheria ifanyiwe mabadiliko wasipate kabisa haya magari yao “alisema Kamanda Issah .
 
Alisema katika kipindi kisichozidi siku 10 tayari yamekamatwa magari matatu likiwemo Toyota Alphasad lenye namba za usajili T 308 DMS  lililokamatwa hivi karibuni likiwa na kilogramu 320 za Dawa za kulevya aina ya Mirungi likisafirisha kuelekea mkoani Arusha.
 
Kamanda Issah alisema tukio jingine la hivi karibuni ni lile la kikosi cha  Pikipiki cha jeshi hilo kilikamata kilogramu 80 za Mirungi iliyokuwa ikisafirishwa kwa kutumia pikipiki kutoka nchi jirani ya Kenya.
 
Kukamatwa kwa Dawa hizo nyingine zinafanya idadi kamili ya Dawa za kuevya aina ya Mirungi zilizokamatwa hadi sasa kufikia kilogramu 502 pamoja na vyombo vya usafiri yakiwemo magari mawili na pikipiki moja.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Kamishina Msaidizi wa Polisi ,Hamis Issah  akiangalia gari aina ya Noah iliyokutwa na Dawa za Kulevya aina ya Mirungi ikiwa imefichwa katika maeneo mbalimbali.

Wema Sepetu: Sijakatwa Utumbo, Nimekonda Kisa Stress

0
0
Msanii kiwango Bongo Muvi, Wema Sepetu ameibua jipya kuhusiana na ishu yake ya kupungua uzito ambapo amesema sababu hasa iliyomfanya awe hivyo ni msongo wa mawazo ‘stress’.

Wema kwa mara ya kwanza amesema kuwa hajawahi kukata utumbo ili apungue kama watu wanavyodai, isipokuwa kipindi alichopitia kwenye lile sakata la kuvuja kwa picha zake za chumbani na Patric Christopher ‘PCK’ kilikuwa kigumu mno kwani alikuwa anapitisha hata siku tatu bila kula chochote mpaka anapepesuka.

“Watu nawashangaa sana, wanaona kukatwa utumbo ni kitu rahisi ee? Mimi nimekon­da kwa sababu ya mawazo makali niliyokuwa nayo na si vitu vingine maana nilikuwa kwenye wakati mgumu sana", amesema Wema Sepetu na kuongeza;

"Yaani hujui tu ninavyoufura­hia huu mwili wangu wa sasa, nimekuwa sio mzito tena na navaa nguo ambazo nataka na napendeza zaidi tofauti na ilivyokuwa huko nyuma, kwa kifupi najipenda hivi nilivyo".

Dr Mbalu: Bingwa Wa Tiba Asili Hutibu Matatizo Yafuatayo

0
0
NKURURU:-ni dawa inayotibu miguu kuwaka moto, kiuno tumbo kupooza kupoteza fahamu 

MALABALA; hutibu kisukari , uti wa mgogo, Change, pumu, busha, kaswende, kifua kikuu, muwasho sehemu ya siri 

3 POWER :-ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume ni vidonge 20 

MPERAMPERA:- ni dawa ya kurudisha Mke, mme, mpenzi,mchumba aliyekuacha /kuteseka, ni kwa mda wa siku 2 tu kusafisha , pia kuna dawa za kupunguza vitambi(nyama uzembe), maziwa makubwa,michirizi, mikovu makubwa, chunusi sugu. 

NR SIX POWER:-inatibu upungufu wa nguvu za kiume kwa wasio weza kumudu tendo la ndoa itakufanya uwe na hamu ya kurudia tendo la ndoa zaidi ya Mara 4 bila hamu Kuisha, inaboresha maumbile madogo na inaimarisha misuri iliyo legea na kusinyaa una pona kabisa, ndani ya siku 4 tu 

GASELA:-ni dawa ya maajabu (9) yaliyoshindikana. (1)-Kisukari, vidonda vya tumbo, tezi dume,walioshindikanika kupata watoto(ugumba),busha bila oparesheni, (2) (chuma ulete) ndo kiboko yao kumkamata mwizi aliye kuibia vitu vyako pikipiki, gari, n, k( 2) (4)kukutolea sumu uliyo ikanyaga
 
Haya yote yanawezekana kwa DR MBALU popote ulipo . Muone  DR MBALU,anatibu nguvu za kiume anarefusha na kunenepesha uume kwa saizi uipendayo kwa muda mfupi sana, pamoja na kuwa na hamu ya kurudia tendo la ndoa mara 4 bila hamu kuisha Na utachelewa kufika kileleni kwa muda wa dakika 40 bila kuchoka .

Angalizo usitume meseji wala kubipu..
 
You can get it in all East African countries,,our service is fast and easy... contact Whatsapp 0784,47,59,46.Dar es salaam Tanzania. ,..Dr. MBALU  0744,92,29,82...You are welcome.

Super Mkongo: Kiboko ya Matatizo ya Nguvu za Kiume

0
0
********************************
SUPER MKONGO MPYA,
_______________________________
********************************
Ni dawa bora ya kutibu na kumaliza matatizo yote ya nguvu za kiume na sababu zake zote kama vile,

- kuwahi kufika kileleni dakika moja ushakojoa
- maumbile kusinyaa na kulegea wakati wa tendo
- kukosa hamu ya tendo la ndoa
- kushindwa kurudia tendo la ndoa
- uume kusimama kwa kulegea
- uume kulegea katikati ya tendo
- kuathirika kwa kujichua kwa muda mrefu
- kuishiwa nguvu kutokana na punyeto.

Epuka aibu hii leo kwa kutumia SUPER MCONGO MPYA, kiboko ya matatizo haya.
_______________________________
Pia kuna MCONGO POWER Kiboko ya uume mdogo inaboresha maumbile ya uume kwa kurefusha na kunenepesha kwa saizi uipendayo haijalishi umri hata kwa walioathirika na upigaji punyeto.
_______________________________
Kwanza fahamu sababu zinazopelekea kuwa na upungufu wa nguvu za kiume na uume mdogo.
_______________________________
(1) kujichua (punyeto) kwa muda mrefu maana hupelekea misuli ya uume kulegea.
(2) ngiri
(3) kuugua chango la uzazi kwa muda mrefu.
(4) kupungukiwa hormone za testosterone.
(5) ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi na visivyo na virutubisho  vya kutosha.
(6) kutokufanya mazoezi na mwenendo wa maisha.
(7) kisukari.
(8) tumbo kuunguruma na kujaa gesi.
(9) maumivu ya kiuno nk.
_______________________________
Kwanini uhangaike? Kwanini uhuzunike?
Hii ni spesho kwa waliotumia madawa mengi bila kufanikiwa hakika hautajuta kuitumia. _______________________________
WASILIANA NA:
DR. MCONGOMANI
SIMU NO:
📞0658816558
📞0682323682
Popote ulipo huduma hii inakufikia
_______________________________
********************************

Kuwa Wakwanza Kupokea Habari Zetu....Download App Yetu Kwa Kubonyeza Hapa, Huhitaji tena kuwa na Computer

0
0
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa urahisi kabisa kupitia simu yako ya mkononi muda wowote hata usiku wa manane au ukiwa kazini...

Pata kurasa za mbele Magazetini, habari za kitaifa, matukio yote ya kisiasa, burudani na udaku   kupitia simu yako ya mkononi.

Huhitaji tena kuwa na Computer. Ingia Play Store, pakua App yetu  tukuhabarishe masaa 24.

Maambukizi ya Fangasi katika Sehemu za Siri

0
0
Kati ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi. Inakisiwa asilimia 75 ya wanawake wote duniani hupata maambukizi haya katika kipindi cha uhai wao.

Maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na uwepo wa fangasi wanaojulikana kitaalamu kama Candida albicans. 

Maambukizi haya pia hujulikana kama yeast infection au thrush. Fangasi hupatikana kama vimelea vya kawaida katika mdomo, mpira wa kupitisha chakula sehemu inayojulikana kama pharynx, katika kibofu cha mkojo, uume na hata kwenye uke.

Mfumo mzuri wa kinga wa mwili pamoja aina fulani za bakteria wanaoishi pamoja na fangasi hawa husaidia sana katika kuthibiti maambukizi yanayoyosababishwa na aina hi ya fangasi. 
 
Nini hutokea?
Kwa kawaida, Candida albicans huishi kwenye uke na sehemu nyingine (kama zilivyoelezewa hapo juu) bila kusababisha madhara yoyote yale isipokuwa pale mazingira ya eneo husika yanapobadilika kama vile mabadiliko katika hali ya pH ya  eneo husika (ifahamike ya kwamba pH ya kawaida ndani ya  uke ni 4.0 - 4.5) au uwiano wake na vimelea  (microorganisms) wengine unapoharibiwa kutokana na sababu mbalimbali kama vile matumizi ya madawa aina ya antibiotics, kupungua kwa kinga mwilini kutokana na magonjwa mbalimbali n.k.

Maambukizi haya ya fangasi yanaweza kugawanywa katika sehemu kuu mbili
  1. Maambukizi yasiyo makali yaani uncomplicated thrush: Katika kundi hili, mgonjwa hupatwa na maambukizi  mara moja hadi nne kwa mwaka na dalili zake huwa si mbaya sana na maambukizi haya husababishwa na fangasi wa jamii hii ya Candida albicans.
  2. Maambukizi makali yaani complicated thrush: Katika kundi hili, mgonjwa hupatwa na maambukizi zaidi ya mara nne kwa mwaka, dalili zake kuwa mbaya zaidi au kama maambukizi  yatakuwa yametokea kipindi cha ujauzito, ugonjwa wa kisukari, upungufu wa kinga mwilini. Aina hii kusababishwa na vimelea vya aina nyingine tofauti na Candida albicans.
Vihatarishi
Watu walio katika hatari ya kupata maambukizi ya fangasi hawa ni  wale wenye

• Kutumia sana dawa aina ya detergents kwenye sehemu za siri au douches (vifaa vinavyotumiwa kusafishia uke kwa kutumia maji yaliyochanganywa na siki au antiseptic yoyote ile) kwa sababu hali husababisha kuharibika kwa uwiano wa fangasi na aina nyingine ya vinyemelezi kama bakteria aina ya lactobacilli

• Kutumia sana madawa aina ya antibiotics, steroids ambayo yana tabia ya kushusha kinga ya mwili

• Mabadiliko ya mfumo wa homoni mwilini ambayo husababisha mabadiliko katika s ehemu za siri na hivyo kufanya kuwepo kwa ukuaji wa kasi wa fangasi hawa

• Ujauzito (kutokana na kubadilika kwa mfumo wa homoni mwilini na kupungua kwa kinga ya mwili). Hata hivyo ieleweke hapa kuwa si kila mjamzito hupatwa na maambukizi haya.

• Matumizi ya dawa za kupanga uzazi (vidonge vya majira)

• Upungufu wa kinga mwilini kutokana na magonjwa sugu kama kisukari, saratani aina yoyote ile, ugonjwa aina ya mononucleosis na nk.

• Ugonjwa wa ukimwi (HIV/AIDS)

• Matibabu ya homoni (hormonal replacement therapy) kutokana na sababu mbalimbali

• Matibabu ya kusaidia kushika mimba kwa wale wenye matatizo ya uzazi (infertility treatment)

• Msongo wa mawazo (stress)

• Utapia mlo (malnutrition)

• Kuvaa nguo au mavazi yanayoleta joto sana sehemu za siri kwa muda mrefu kama nguo za kuogelea (swimwear), nguo za ndani (chupi)  zilizotengenezwa kwa kitambaa aina ya nylon, nguo za ndani zinazobana sana nk.

• Kujamiana kwa njia ya kawaida mara tu baada ya kujamiana  kupitia njia ya haja kubwa (anal sex) au matumizi ya vilainishi venye glycerin wakati wa kujamiana pia yamehusishwa na maambukizi haya.

• Kuvimba kwa tezi la koo (goiter)

• Saratani ya tezi la koo (thyroid cancer)

• Wanawake wenye umri wa miaka kati ya ishirini na thelathini wapo kwenye hatari kubwa ya kupata maambukizi haya wakati wale ambao wameshaacha kupata hedhi au wale ambao hawajaanza kupata hedhi kabisa hawako kwenye hatari kubwa.

Kwa wanaume vihatarishi  vya maambukizi haya ni

• Kujamiana na mwanamke mwenye tatizo hili au maambukizi haya

• Upungufu wa kinga mwilini

• Matumizi ya madawa aina ya antibiotics kwa muda mrefu bila ushauri wa daktari

• Magonjwa sugu kama kisukari, saratani ya aina yoyote ile na nk.

Dalili na viashiria kwa wanawake
• Kuwashwa  sehemu za siri  (kwenye tupu ya mwanamke)

• Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri (burning sensation)

• Kufanya kama vidonda katika sehemu za siri (soreness)

• Maumivu wakati wa kujamiana (superficial dyspareunia)

• Maumivu  au usumbufu wakati wa kujisaidia haja ndogo (wakati mtu anakojoa)

• Kuvimba na kuwa rangi nyekundu kwa  mdomo wa nje wa tupu ya mwanamke (labia minora)

• Kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au nyeupe kijivu, unaoweza kuwa mwepesi, majimaji au mzito na ambao umefanana na jibini (cottage cheese like discharge) wenye muonekano unaojulikana pia kama curd-like appearance. Kwa kawaida, uchafu huu haumbatani na harufu yoyote isipokuwa panapokuwa na tatizo la ziada kama ugonjwa wa zinaa aina ya Bacteria vaginosis. Uchafu huu unaotoka hapa unaweza kuenea kwenye maeneo mengine yaliyokaribu na tupu ya mwanamke kama kwenye mitoki (groin area) au perineum na kusababisha kuharibika kwa ngozi katika sehemu hizo.

Dalili na viashiria hivi huwa mbaya zaidi wakati  mwanamke anapokaribia  kupata hedhi.

Dalili na viashiria kwa wanaume ni
• Kuwashwa sehemu za siri 
• Kuvimba na kuwa rangi nyekundu kwenye ncha ya uume
• Kuwepo kwa uchafu wa rangi nyeupe (kama nilivyoeleza hapo juu) kwenye sehemu ya juu ya uume.
• Kuwa na vidonda vidogo kwenye uume (sore on the glans)

Hata hivyo, mara nyingi wanaume hawaoneshi dalili zozote zile, ni vizuri kwa mwanamke kumueleza mwenza wake pale anapopata maambukizi haya ili naye pia apate kutibiwa. 
 

Matibabu
Matibabu ya fangasi huusisha dawa za kutibu fangasi (antifungal drugs) kama vile dawa za kupaka za topical Clotrimazole, topical Nystatin, Fluconazole au topical Ketoconazole. 

Wagonjwa wenye maambukizi yasiyo makali yaani uncomplicated vaginal candidiasis wanaweza kutumia dawa za kupaka (cream) kutoka dawa za fangasi za jamii ya -azole kama vile Butoconozale, Miconazole, Clotricomazole nk. 

Dawa hizi hutumika kwa muda wa siku 3-7 kulingana na aina ya dawa. Mgonjwa anashauriwa kupaka dawa ndani ya uke pamoja na maeneo yote yanayozunguka sehemu hiyo. Jinsi ya kupaka dawa hizi ni kuanzia mbele kuelekea nyuma.

Aidha mgonjwa anaweza kupewa dawa za kutumbukiza ukeni ambayo atatumia kwa muda wa siku 3-14 kulingana na aina ya dawa. Dawa hizo ni pamoja na Miconazole, Tiaconazole, Terconazole, Nystatin nk.

Kidonge cha kumeza aina ya fluconzole pia huweza kutolewa. Dawa hizi nilizotaja hapa juu zina kawaida ya kuharibu ubora wa mipira ya kondomu zilizotengenezwa na mpira aina ya latex (latex condoms) pamoja na vifaa vya upangaji uzazi aina ya diaphragms.

Ni vizuri kwa daktari kabla ya kumpa mgonjwa dawa hizi kumfahamisha kwa ufasaha jinsi ya kuzitumia na tahadhari anayotakiwa mgonjwa kuchukua. Inashauriwa kama baada ya matumizi haya bado mgonjwa ana dalili za maambukizi au mgonjwa akapata tena maambukizi haya ndani ya miezi miwili baada ya matibabu ya awali, basi anashauriwa kwenda kumuona daktari ili apate matibabu zaidi.
 
Kinga ya maambukizi ya fangasi
• Kuosha sehemu ya siri kwa kutumia kitambaa kisafi kila siku na kuosha kuanzia mbele kuelekea nyuma, epuka kurudia ukishafika nyuma.

• Epuka matumizi ya sabuni zenye manukato, bubble baths, vaginal deodorant products, feminine hygiene, na bath powder.

• Vaa chupi ambazo hazibani sana na zilizotengenezwa kwa kutumia pamba au hariri (silk), epuka synthetic underwear.

• Epuka mavazi yoyote ya kubana kama jeans za kubana nk.

• Badilisha nguo za ndani (chupi) kila zinapopata unyevunyevu.

• Fua chupi zako kwa maji yenye nyuzi joto 90 na kuendelea.

• Tumia pad wakati tu unapozihitaji (kama umeingia kwenye mzunguko wako wa hedhi)

• Kula mlo wenye virutubisho vyote kamili (balanced diet)

• Epuka kufanya mapenzi  na mpenzi wako ambaye amepata maambukizi ya fangasi.

• Epuka kuoga  maji moto sana (hot baths) tumia maji ya uvuguvugu, hii kwa wale ambao wanaishi kwenye ukanda wa joto (tropical climate).

• Matumizi ya vifaa vya ngono (sex toys), vifaa vya upangaji uzazi (diaphragms, cervical caps) yanaweza kuleta kujirudia kwa maambukizi ya fangasi kama havitaoshwa  na kukaushwa vizuri baada ya kutumiwa.

• Baadhi ya tafiti zilizofanyika, zimethibitisha ya kwamba unywaji wa maziwa ya mtindi yenye live culture, husaidia kupunguza maambukizi ya fangasi.

Kanuni bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji(kuku Asili)....Soma Hapa Uwe Tajiri

0
0
Ufugaji wa kuku wa asili ni nyenzo muhimu katika kupambana na wimbi la umasikini kwa kuongeza kipato cha kaya. 

Hata hivyo, pamoja na soko la uhakika, bado ufugaji kuku haujaweza kutumika ipasavyo kupambana na umaskini unaowakabili Watanzania wengi.

 Ni mazoea kwa jamii nyingi hapa Tanzania kufuga kuku wa asili kama sehemu ya mila na desturi zao. Kuku wa asili amekuwa akifugwa bila ya kupatiwa huduma muhimu kama makaazi bora, chakula cha ziada, tiba, kinga za magonjwa mbali mbali. 

Muhtasari huu unatoa muongozo wa ufugaji wa kuku wa asili ili uweze kuzalisha na hatimae kukuza kuku kwa wingi.

Usafi wa vyombo na mazingira ya kuku
Uchafu ni mama wa magonjwa, hivyo zingatia haya;
1.  Vyombo vya chakula na maji visafishwe mara kwa mara kwa maji safi na sabuni.

2. Pumba au chakula kilicholowana na kuchanganyika na kinyesi cha kuku kitolowe na kufukiwa.

3.  Choma moto au zika kwenye shimo refu kuku waliokufa kwa ugonjwa.

4.  Usifuge kuku na ndege wa jamii nyingine kwa mfano bata katika banda moja.

5.  Ondoa mbolea mara kwa mara kutoka katika banda la kuku.

6.  Tumia dawa za kuulia vimelea kusafishia banda na upake chokaa angalau mara moja kwa mwaka.

7.Ziba matundu yote yanayoweza kuruhusu panya na wanyama wakali kama vicheche kuingia katika banda la kuku.


Magonjwa na kinga kwa kuku wote

1.Ndui ya kuku
Huathiri sana vifaranga wanaokua na ujitokeza kwa wingi wakati wa mvua za muda mrefu. Husababisha vivimbe katika uso/ kishungi na hata sehemu nyengine zisizo na manyoya.

2.Mdondo/kideri
Mdondo, au kwa majina mengine lufuo, au kideri ni ugonjwa hatari katika magonjwa ya kuku wa asili. Ni ugojwa wa virusi ambao huathiri kuku wa rika zote, huweza kuangamiza kuku wote kijijni.

3.Ukosefu wa vitamini A
Ugonjwa huu husababisha macho kuvimba na kutoa uchafu mziito kama sabuni iliyolowana. Kuku wenye dalili hizi hawaponi na hata kufa. Ugonjwa hujitokeza baada ya kipindi kirefu cha kiangazi kwa ajili ya ukosefu wa majani mabichi.

4.Kosidiosisi
Huathiri kuku wa umri wowote lakini huuwa zaidi vifaranga na kuku wanaokua. Kuku hudhoofika, manyoya huvurugika na kuku huwa kama wamevaa koti. Kuku huarisha damu au kinyesi cha kahawia na huzubaa na kuonekana kama wamevaa koti.

5.Viroboto, chawa na utitiri
Hawa ni wadudu wa nje wanaoshambulia ngozi. Huweza kusababisha ugonjwa kutokana na kunyonya damu. Viroboto hushambulia kichwa na kunata huku wakinyonya damu. Viroboto huuwa vifaranga. Chawa na utitiri hughasi kuku hadi wakashindwa kutaga na kuatamia.

6.Minyoo
Minyoo huweza kudhofisha kuku na kuwafanya waweze kuugua maradhi mengine kirahisi. Muone mtaalaam ukihisi kuku wako wana minyoo.


Chakula cha ziada
1.Wapatie vifaranga nyongeza ya protini kwa kuwachanganyia vumbi la dagaa au vichwa vya dagaa vilivyotwangwa kwenye pumba za mahindi.

2.Changanya kikombe kimoja cha vumbi la dagaa na vikombe vitano vya pumba za mahindi (tumia kikombe kidogo cha chai).

3.Mchwa na wadudu wengine wanaweza kutumika kama nyongeza ya protini.

4.Vuna mchwa kwenye vichuguu au tengeneza mchwa katika njia za mchwa.

5. Kutengeneza mchwa: changanya kinyesi cha ng’ombe na majani makavu, mabua ya mahindi au maranda ya mbao katika chungu au ndoo ya zamani.

6Mwagia maji hadi kila kilichomo kilowane kisha weka katika chombo kama ndoo au chungu. Weka chombo chako katika njia ya mchwa ukikigeuza juu chini na subiri hadi kesho yake asubuhi, kisha beba vyote vilivyomo na uwamwagie kuku mahali walipo.

Utotoleshaji wa vifaranga
Chagua jogoo bora na tetea bora kuzalisha kuku.

Sifa za jogoo bora
1.  Awe na umbo kubwa, awe ukiko mzuri na usioangukia upande mmoja.

2.  Apende kuwa na himaya yake. Ukimpata jogoo mwenye sifa hizi mueke yeye na matetea kumi. Hivyo ukiwa na matetea ishirini jogoo wawili wanatosha.

Sifa za tetea bora
Tetea bora ni yule mwenye umbo kubwa, mwenye uwezo wa kutaga mayai ya kutosha, kuatamia na hatimaye kutotoa vifaranga.

Uhifadhi wa mayai
1.  Weka mayai mahali safi na penye hewa ya kutosha.

2.  Tumia kasha lililokatwa na kujaza mchanga mkavu na safi au kasha la kuhifadhia mayai.

3.  Weka sehemu butu ya yai iwe upande wa juu na ile iliyochongoka itizame chini.

4.  Andika namba au tarehe katika siku lilipotagwa.

5.  Mayai yakishatagwa yatolewe na kuhifadhiwa na moja liachwe kwenye kiota ili kumuita kuku kuja kutaga kesho yake.

Kuatamiza mayai
1.  Kuku awekewe mayai yatakayokuwa na uwezo wa kuyaatamia na kuyatotoa yote.

2.  Mayi 10 hadi 12 yanatosha kuatamia.

3.  Mayai ya kuatamiza yasizidi wiki 2 toka kutagwa.

4.  Yai la mwisho kutagwa liwe la kwanza kuchaguliwa hadi yapatikane mayai 10 mpaka 12, na apewe kuku wa kuyaatamia.

5.  Mayai ya kuatamiza yasafishwe kwa kitambaa kikavu na safi au kilichowekwa spiriti

Kutotolesha vifaranga wengi kwa wakati mmoja
1.  Kama unataka kuku zaidi ya mmoja watamie na kutotoa kwa mpigo fanya yafuatayo;

2.  Kuku wa kwanza akianza kuatamia muwekee mayai yasiyo na mbegu mfano mayai ya kuku wa kisasa au kuku asiye na jogoo.

3.  Rudia zoezi hilo hadi utakapofikisha kuku watano kisha wawekee kuku wote mayai yenye mbegu.

Matunzo ya vifaranga ili kuzuia vifo
Vifaranga wengi hufa kabla ya kufikisha miezi miwili kutokana na magonjwa, baridi na kuliwa na wanyama wengine. Ili kupunguza vifo vya vifaranga wa siku 1 hadi miezi miwili zingatia yafuatayo;

Ulinzi dhidi ya mwewe na wanyama wengine
1.  Weka vifarang kwenye tega na kuwafunika ili wasiende mbali wakati wa mchana. Wape maji na chakula. Hakikisha hawapigwi jua wala kunyeshewa mvua. Wakati wa usiku walale na mama yao.

Chanjo ya mdondo kideri/lufuo
Kama tetea alichanjwa kabla ya kuanza kutaga vifaranga wanaoanguliwa huwa na kinga ya mdondo ya kuwatosha kwa wiki 3 za kwanza za maisha yao. Wachanje vifaranga hao dhidi ya mdondo wafikishapo umri wa siku 18.

Vifaranga ambao historia ya chanjo ya mama haijulikani, wapewe chanjo ya mdondo siku tatu baada ya kuanguliwa, rudia hadi wakifikisha wiki tatu kisha uchanje kila baada ya miezi 3

Kinga dhidi ya kosidiosisi
Kinga ya kosidiosisi kwa vifaranga, itolewe hata kama ugonjwa haujajitokeza.

1.  Wape dawa ya amprolium kwa muda wa siku tatu mfululizo mara wafikishapo siku saba tokea waanguliwe kama kinga ya kosidiosisi.

2.  Dawa inaweza kutolewa hata kama wamevuka umri huo. Fuata maelekezo ya mtaalam juu ya kiasi cha dawa kinachopaswa kuchanganwa katika maji au pumba

3.  Kama vifaranga wadogo wataonesha dalili za kuzubaa kama kuvaa koti wapewe dawa ya amprolium kwenye maji kwa utaratibu ufuatao;

Dawa siku tatu mfululizo: usiwape kwa siku mbili; gawa tena kwa siku tatu

Hitimisho
1.  Hakikisha banda na vyombo vya chakula cha kuku ni visafi kuepusha magonjwa.

2.  Usichanganye kuku na bata katika banda moja

3.  Lisha chakula cha ziada hasa kwa vifaranga.

4.  Kideri, kosidiosisi, ndui na upungufu wa vitamini A ni vyanzo vikuu vya vifo vya kuku wako. Kumbuka kukinga kuku wako dhidi ya magojwa haya.

5.  Kumbuka kuchagua mayai ya kuatamiza kama ilivyoelekezwa ili kuepuka kupata mayai viza.

6.  Vifaranga wadogo hadi wiki nane huhitaji matunzo mazuri, fuata maelezo kuzuia vifo.

7.  Kumbuka ukiuza kuku wengi kwa mpigo utaongeza mapato yako, jitahidi kuzalisha vifaranga kwa wingi ili upate kuku wengi baadae.

8.  Muone mtaalam wa mifugo ulie karibu nae kwa ushauri zaidi.

Serikali Kuendelea kumuenzi mgunduzi wa Madini ya Tanzanite

0
0
Serikali imeahidi itaendelea kumuenzi mgunduzi madini ya Tanzanite, Jumanne Mhero Ngoma (80) aliyefariki na kuzikwa wiki iliyopita.
 
Akizungumza wakati wa mazishi yake yaliyofanyika Jumamosi Waziri wa Madini, Dotto Biteko, alisema Serikali inatambua na kuheshimu ugunduzi wa Tanzanite uliofanywa na Mzee Ngoma.
 
Alisema ugunduzi wake umeijengea Tanzania heshima kubwa Duniani kote na kuboresha maisha ya watu wengi ndani na nje ya nchi kutokana na kazi zake nzuri.Alisema Mzee Ngoma ni shujaa wa Taifa.
 
"Inasikitisha kuona kuna baadhi ya wenzetu ambao wana tabia ya kuenzi ugunduzi uliofanywa na watu wa nje na kupuuza ule unaofanywa na Watanzania, si ajabu kusikia ya kuwa kuna Watanzania wenzetu ambao pia walipinga ugunduzi uliofanywa na Mzee Ngoma, jambo ambalo halipendezi," alisema na kuongeza;
 
"Sisi kwa upande wetu kama Serikali tutaendelea kumuenzi Mzee Ngoma na ugunduzi wake alioufanya na wakati huo huo kukabiliana na wale wote ambao wanalenga kudhoofisha na kuhujumu kazi nzuri aliyoifanya shujaa huyu wa Taifa letu, hii ndiyo itakuwa siku zote tofauti yetu na wale wote wasioitakia mema Tanzania na watu wake."
 

Kesi ya Malinzi na Wenzake Yapata Hakimu Mpya

0
0
Kesi inayomkabili, aliyekuwa rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na wenzake wa wanne imeshindwa kuendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana na Hakimu aliyepangiwa kesi hiyo kuomba muda wa kupitia ushahidi uliotolewa.

Kesi hiyo awali ilikuwa mbele ya Hakimu Wilbard Mashauri ambaye aliteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu hivyo kesi hiyo kupangiwa Hakimu Mkazi Maira Kasonde.

Wakili kutoka Taasisi ya kuzuia kupambana na rushwa (Takukuru) Leonard Swai alidai kuwa kesi hiyo imekuja kwaajili ya uamuzi lakini kwakuwa imepangwa kwa Hakimu mwingine washtakiwa wanahaki yakuomba iendelea au ianze upya.

"Shauri lilikuwa mbele ya Mheshimiwa Mashauri na sasa limehamishiwa kwako hivyo washtakiwa wanaweza kusema tuendelee au shauri lianze upya," alidai Wakili Swai.

Hakimu Kasonde alieleza kuwa kesi hiyo imepangwa kwake asubuhi kwa kuwa ilikuwa kwa Hakimu mwingine hivyo anahitaji nafasi nzuri kwaajili ya kupitia ushahidi na vielelezo ambavyo vimeshatolewa.

Baada ya maelezo hayo Hakimu Kasonde aliahirisha kesi hiyo hadi February 19, mwaka huu, tayari mashahidi 11 wa upande wa Mashtaka wameshatoa ushahidi katika kesi hiyo.

Kiboko Ya Matatizo Ya Nguvu Za Kiume, Maumbile Madogo Mvuto Wa Mapenzi

0
0
*************************
KIBOKO YA  MATATIZO YA  NGUVU  ZA  KIUME MAUMBILE MADOGO MVUTO  WA  MAPENZI .
MAGONJWA SUGU
*************************
Wanaume  wengi wana  upungufu wa  nguvu  za kiume nakuwa  na  maumbile madogo  ya kiume magonjwa kama  kisukari, presha, ngiri  korodani kuvumba, busha, tumbo kuunguruma na kujaa  gesi  na  kutopata  choo  vizuri, punyeto  NK.
___________________________
Huchangia kwa  kiasi kikumbwa upotevu  wa nguvu  za kiume tumia dawa nzuri ya  mitishamba ambayo haina madhara kwa mtumiaji ata uwe  na  miaka 80 inatibu na kumaliza matatizo  hayo:

 SUPER SHAFT 
********'****************
HII NI DAWA  YENYE  UWEZO  MKUBWA WA  KUOGEZA  NGUVU ZA KIUME MARA  DUFU NA MAUMBILE MADOGO  YA KIUME
************************
(1) Itakufanya uwe  na nguvu za  ajabu ukiwa unafanya tendo la ndoa.
___________________________
(2 ) Inaongeza hamu ya kurudia tendo la ndoa zaidi  ya mara  tatu bila kuchoka.
___________________________
(3)Itakufanya uchelewe kufika kileleni ndani ya dk 30 nakukupa nguvu ya ajabu.
___________________________
(4) Pia itakupa nguvu za kusimamisha uume wako barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa.
___________________________

NYATI POWER
*****************
INAREFUSHA NA KUNENE PESHA MAUMBILE YA KIUME  SAIZI UTAKAVYO kuazia Inchi 1 -8 unene sm 2-4.
*************************
(5) Itaimarisha mirija ya uume iliyolegea au kusinyaa.
___________________________
(6)lnasaidia kisafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaidia kuogeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya uume.
___________________________
(7) Usaidia kuurudisha nje uume ulioingia ndani.
___________________________
(8) Inasaidia kuogeza  manini  nyingi abazo vinaviini vya  uzazi.
___________________________
(9)Husaidia kutibu  madhara ya punyeto.
___________________________
Matumizi makali ya madawa  ya kizungu mirungi, bangi na  sigara.
*************************
TUNATIBU MAGONJWA YOTE SUGU, NGIRI, KORODANI KUVIMBA,  BUSHA BILA KUFANYIWA OPARESHENI, TEZI DUME, KISUKARI, PRESHA AINA ZOTE, UGONJWA WA MOYO STROKU. KWIKWI, KICHOMI MIGUU KUFA NGAZI NK
*************************
ANAPATIKANA MAGOMENI MIKUMI, KARIBU NA  KANISA KATOLIKI, TUMAINI HEARST CLINC NDIYO  SULUHISHO LA MATATIZO YOTE
*************************
PIGA  SIMU
📞0745495181 AU
📞0682644040 
*************************
WOTE  MNAKARIBISHWA
*************************
Kama huna nafasi ya kufika ofisini  kwetu  huduma  hii  utaletewa mahali  ulipo na wa mikoani  mtaipata kirahisi.
KWA MENGINEYO INGIA HAPA
*************************

Nkoma: Tiba Asili ya Tatizo la Nguvu za Kiume

0
0
NKOMA
_________________________
NKOMA Ni dawa bora ya nguvu za kiume  yenye mchanganyiko wa mitishamba (7) yenye maajabu yafuatayo/

🔖 (1) inatibu upungufu wa nguvu za kiume mara dufu na kuimalisha misuli ya uume uliolengea wakati wa tendo la ndoa/
🔖 (2) Kurefusha maumbile ya kiume yaliyorudi ndani kuazia nchi 5 - 9/
🔖 (3) kunenepesha uume cm 5 ya upana itakufanya uchelewe kufika kileleni dk 15 - 20 kwa tendo la kwanza na utakuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya 2-4 bila hamu kuisha/

📌 Na inatibu kabisa, unashauriwa uitumie dawa hii kama kinga ya magonjwa sugu./
 📌 Haijalishi umri hata kama una miaka 85 itumie huanza kufanya kazi dk 50 tu na haina madhara yoyote kwa mtumiaji/

📍📍📍📍📍📍📍📍📍
            MATATIZO HAYA HUSABABISHWA NA.
_________________________
🔖 (1)Tumbo kujaa gesi, na kuunguruma chini ya kitovu/
🔖 (2)Choo kama cha mbuzi/
🔖(3)Ngiri/
🔖(4)Kama umejichua sana punyeto/
🔖(4)Kaswende/
🔖(5)Gono/

📌Haya yote husababisha kuishiwa nguvu za kiume na kuwa na uume mdogo/
📌 Itumie leo, bado hujachelewa ni tofauti na nyingine.
_________________________
DR MAKOBA ANAPATIKANA DAR ES SALAAM, PIA UNAWEZA KULETEWA POPOTE ULIPO.
___________________________
WASILIANA NA
Dr MAKOBA SIMU.
📞0754832349
📞0683490600
____________________________
*****************************

Spika Ndugai: Baada ya Simba Yakupigwa bao 5 Nilizima Tv....Waziri Mkuu Usingizi Ulikata

0
0
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema kipigo walichokipata Simba nchini Misri, bado kimemuumiza na kuwaumiza Watanzania wengine.

Simba ilikubali kipigo cha mabao 5-0 kutoka kwa Al Ahly katika mchezo wa tatu wa Kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika uliofanyika Jumamosi.

Ndugai ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Februari 4, 2019 bungeni wakati wa kipindi cha maswali na majibu ambapo amewataka Watanzania kuwa wazalendo na timu zao zinapocheza nje ya nchi.

“Asubuhi nilikutana na Mkuchika (Waziri) akawa anaonyesha mkono na kunyoosha vidole vitano, nikakutana na Mwigulu Nchemba naye akawa ananifanyia kama anaendesha bodaboda, nikamuuliza Waziri Mkuu hii maana yake nini, daa ni kipigo cha juzi kweli tulipigwa jamani,” amesema Ndugai na kudai kuwa ilimbid aizime kabisa Tv yake maana hakuweza kuendelea kuangalia.

Spika Ndugai amesema kipigo cha mfululizo kwa timu hiyo kwenye mashindano makubwa ya Ligi ya Mabingwa kinawaumiza wapenzi na mashabiki.

Amewataka wapenzi wa timu nyingine kuunga mkono timu za wenzao wanapocheza na timu za nje ya nchi ili ukifika wakati wote wafanye vizuri.

Hata hivyo aliwatania wabunge kuwa kilichoiponza Simba ni suala zima la baridi ambapo sasa timu ya Al Ahly ikija nchini watalazimika kucheza saa nane mchana ili nao wachezaji wao waumizwe na jua kali.

Waganga tiba asili Bariadi wapewa siku 16 kuwa na vitambulisho vya Wajasiliamali

0
0
Waganga wa tiba asili waliopo wilayani humo, wamepewa siku 16 kuhakikisha kila mmoja anakuwa na kitambulisho cha wajasiriamali kilichotolewa na Rais John Magufuli.

Agizo hilo limetolewa leo na Mkuu wa Wilaya hiyo Festo Kiswaga wakati akiongea na viongozi wa waganga hao mkoa, alipokutana nao kujadili namna bora ya kuboresha kazi zao.

Kiswaga amesema kuwa katika wilaya hiyo kuna waganga wa tiba asili 600, na kwamba mganga yeyote ambaye hatakuwa na kitambulisho hicho baada ya siku hizo kuisha atafutiwa leseni yake na kuchukuliwa hatua za kisheria.

“Hadi kufikia Februari 20, mwaka huu kila mganga wa jadi awe na kitambulisho hicho, usipokuwa nacho tutakunyang’anya leseni yako kukuzuia kuendelea kufanya kazi zako, baada ya muda huo,” amesema.

Naye Mwenyekiti wa Chama cha Waganga hao, Samson Maduhu amesema ndani ya muda huo waganga wote 600 wanafikiwa na kupatiwa vitambulisho hivyo.

28 Watiwa Mbaroni Mauaji ya Watoto Njombe

0
0
Watu 28 wakiwemo   wafanyabiashara wa miji ya Njombe na Makambako mkoani Njombe wanashikiliwa na polisi wakituhusishwa na na mwendelezo wa matukio ya utekaji na mauaji ya watoto yanayoendelea wilayani Njombe.

Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe, Renata Mzinga amesema leo Jumatatu Februari 04, 2019 ofisini kwake wakati akitoa taarifa ya msako wa kubaini mtandao wa watu wanaojihusisha na matukio hayo.

Amesema pia waganga sita wanaodaiwa kujihusisha na matukio hayo wametiwa mbaroni na wanaendelea na mahojiano dhidi yao.

"Tunaendelea na msako mkali kwa kushirikiana na kikosi maalumu kutoka makao na hadi leo hii tunawashikilia watu 28 wakiwamo waganga wa jadi sita, wafanyabiashara na watu wengine wa kawaida," amesema.

Amesema matukio yote yaliyojitokeza ya mauaji, wamekamatwa watu kuhusiana na uhusika wao na vyombo vya dola vinaendelea na upelelezi wa kuwabaini wahalifu.

“Tunaendelea kuwasihi wananchi wa Njombe waendelee kutoa ushirikiano wa kuwabaini wahusika wa mauaji ya watoto wadogo wasio na hatia,” amesema.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images