Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

CHADEMA Wamvaa Spika Ndugai Sakata la Ubunge wa Tundu Lissu

0
0
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeamua kuingilia kati kufuatia kauli ya Spika wa Bunge wa Job Ndugai kumtaka Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu lissu arudi nchini kwa kuwa hana ruhusa ya kuwa huko

Akizungumzia kauli hiyo ya Spika Ndugai, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi na Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mrema amesema kauli ya Spika haina tija kwa kuwa Tundu Lissu bado hajapewa ruhusa na Daktari wake kurejea nchini kwa madai kuwa amepona kabisa.

"Spika si Daktari mpaka aseme kuwa Lissu amepona na hajawahi kumtembelea kwa kipindi chote tokea apelekwe hospitali. 

"Tunakumbuka aliyewahi kuwa waziri wakati wa serikali ya awamu ya nne, Prof. Mwandosya aliugua kwa zaidi ya mwaka, lakini hatukusikia kauli za aina hii." Amesema Mrema.

Alipoulizwa  kwa nini Tundu Lissu ameanza kutembelea nchi kama Uingereza, aliyoitembelea wiki iliyopita, ilhali bado ni mgonjwa, Mrema alisema Ubelgiji na Uingereza si mbali kwa kuwa ni saa moja tu kwa usafiri wa ndege.

Jana Spika Ndugai alimtaka Mbunge Tundu Lissu huyo kurejea nchini ili kuendelea na shughuli za Bunge kwa kuwa hana kibali cha kuwa nje ya nchi.

Spika Ndugai aliongeza Lissu hana ruhusa ya kuwa nje ya Bunge, hivyo anatakiwa kurejea nchini kuendelea na shughuli za ubunge.

Utomvu Wa Kunenepesha Na Kurefusha Maumbile Ya Kiume Yaliyosinyaa Kisa Kujichua

0
0
Je una maumbile ya kiume yaliyo sinyaa na kunywea kwa sababu ya kufanya punyeto kwa muda mrefu? Umejaribu tiba mbalimbali bila mafanikio?

Unataka kupata tiba ya uhakika ya tatizo lako ?
Kama jibu lako  ni NDIO basi HII NI HABARI NJEMA SANA KWAKO.

Neema Herbalist ni wauzaji wa DAWA mbalimbali za.asili.

Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kwamba tunao utomvu wa asili ambao unasaidia kunenepesha na kurefusha maumbile ya kiume yaliyo sinyaa kwa sababu ya kufanya punyeto kwa muda mrefu.

Utomvu huu wa asili ambao unatumika kwa kunywa unasaidia kunenepesha na kurefusha maumbile ya kiume yaliyo sinyaa kwa punyeto ndani ya siku thelathini.

Mbali na kusaidia katika kunenepesha na kurefusha maumbile ya kiume yaliyo sinyaa kwa sababu ya punyeto utomvu huu pia unasaidia kuwatibu wanawaume wenye tatizo la kutoa mbegu chache .

Vile vile utomvu huu unasaidia pia KUONGEZA uteute kwenye joints mbalimbali mwilini.

Kupata tiba hii fika katika duka letu lililopo UBUNGO jijini DAR ES SALAAM jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.

WASILIANA NASI KUPITIA SIMU NAMBA 0693 005 189.

NA KWA TAARIFA ZAIDI KUHUSU HUDUMA ZETU TUTEMBELEE KUPITIA BLOGU YETU:

Hali Si Swahi Zimbabwe: Rais Mnangagwa Asitisha ziara yake ya nchi za Nje

0
0
Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa amekatisha ziara yake nchi za nje kufuatia kuongezeka kwa vurugu zilizosababishwa na vyombo vya ulinzi vinavyopambana na waandamanaji wanaoipinga serikali.

Kiongozi huyo alipaswa kuelekea jijini Davos, Uswisi kushiriki katika Jukwaa la Kiuchumi duniani, kwa lengo la kutafuta vitega uchumi kwa ajili ya kuinusuru nchi yake iliyoporomoka kiuchumi ambapo amesema kuwa kipaumbele chake cha kwanza ni kuifanya Zimbabwe kuwa na utulivu na imara.

Maandamano hayo yamesababishwa na kupanda kwa bei ya mafuta mwishoni mwa wiki iliyopita, huku kundi moja la haki za binadamu likisema majeshi ya ulinzi toka kuanza kwa maandamano hayo yameua watu kumi na mbili na kuwakamata zaidi ya mia moja.

Akizungumza na gazeti la serikali Msemaji wa Rais, George Charamba amekilaumu chama cha upinzani cha Movement for Democratic Change (MDC) kwa ghasia hizo zinazotokea kwa kuunga mkono waandamanaji.

”Kiongozi wa MDC imekuwa ikisisitiza ujumbe wake kwamba itatumia ghasia za mtaani kuyapindua matokeo ya uchaguzi wa mwaka uliopita” amesema Charamba.

Serikali Yaweka Mkakati Kuboresha Sekta Ya Mifugo

0
0
Na.Alex Sonna,Singida
Serikali imeandaa mkakati wa kuboresha sekta ya mifugo pamoja  na kudhibiti magonjwa ya mifugo  huku ikiwahimiza wafugaji kuzingatia matumizi ya majosho yenye dawa.

Kauli hiyo imetolewa na   Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdalah Ulega wakati wa zoezi la uhamasishaji  wa uogeshaji wa ngo’mbe kanda ya kati mkoani Singida, katika kijiji cha Mgori kilichopo halmshauri ya wilaya ya Singida  vijijini.

Katika uhamasishaji huo waziri Ulega aliwataka wafugaji kufanya zoezi la uogeshaji wa mifugo uliyoanzishwa uwe wenye tija na  endelevu, kwa vile hivi sasa hakuna sababu za kushindwa kuogesha mifugo yao katika majosho yenye dawa ya kudhibiditi kupe.

Aidha alisema kuwa kwa sasa serikali katika zoezi hili, imetoa dawa bure kwa halmashauri zote nchini, na kukarabati majosho yote yaliyokuwa hayafanyi kazi, ili wafungaji waweze kuogesha mifugo yao , kukinga ugonjwa hatari unaoenezwa na kupe, ambao unaoongozwa katika vifo vya ng’ombe hapa nchini.

“Mwanzo shughuli hizo zilikuwa zikifanywa kwa ,kutofuata taratibu nzuri za makusanyo yalikuwa yakitoka kwa wafugaji walipokuwa wakipata huduma za kuongesha mifugo yao, hazikuwa na taarifa ya mapato na matumizi na hivyo kushindwa kuwa na utaratibu endelevu wa shughuli hiyo, majosho mengi yalisimama kufanya kazi”alisema Ulega

Katika kampeni hii ya uhamamishaji wa uongeshaji wa mifugo tozo imepunguwa ambapo hivi  sasa kila ng’ombe ana ogeshwa katika majosho ni shilingi 50 tu, huko nyuma uogeshaji ulikuwa unatozwa  wastani wa shilingi mia 2 kwa kila ngo’mbe na kwa mbuzi ilikuwa shilingi 10.

“Nyie wafugaji msikalie rasialimali hii ya mifugo mliokuwa mnayo, kwani ni uchumi mkubwa sana mliyokuwa nayo kwenu na pia kwa Taifa ili  kuongeza mapato, yanayotokana na mifugo yenu”alisisitiza Ulega.

Aidha alifafanua kuwa ufungaji kwa kufuata taratibu za ufugaji wa kisasa na kibiashara kwa kuvuna mifugo inapozidi katika eneo uliyokuwa nayo, itakusaidia kupata kipato katika kuboresha maisha yako na ya familia.

Uhamasishaji huu unafuatia uzinduzi wa kampeni ya uogeshaji wa mifugo,iliyofanywa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mh. Luhaga Mpina katikati ya mwezi jana katika kijiji cha Buzirayombo halmashauri ya chato.

Israel Yazishambulia kwa Makombora ngome za Iran nchini Syria

0
0
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limeeleza kuwa limepiga maeneo yenye wapiganaji wa Iran ndani ya Syria ambapo majeshi ya nchi hizo na washirika wake yamekutana.

IDF imeeleza kuwa imefanya oparesheni maalum ya kijeshi kulenga wapiganaji wa kundi la Quds ambalo linafanya kazi kwa ushirika na Jeshi la Mapinduzi la Iran (Iranian Revolutionary Guards).

Hata hivyo, Jeshi hilo la Israel halikutoa maelezo zaidi kuhusu madhara yaliyopatikana, lakini limeeleza kuwa maeneo waliyoyapiga alfajiri ya leo ni sehemu ya mji mkuu wa Syria, Damascus.

Hata hivyo, vyombo vya habari vya Syria vimeripoti kuwa kikosi cha anga cha nchi hiyo vimezuia mashambulizi ya Jeshi la Israel katika maeneo ya Damascus nchini Syria.

Shirika la Habari la Syria limekikariri chanzo kimoja cha jeshi kikieleza kuwa vikosi vya nchi hiyo vilidungua makombora kadhaa yaliyokuwa yamerushwa na Israel.

Mashuhuda waliokaririwa na Reuters wameeleza kuwa walisikia milio ya makombora katika maeneo kadhaa ya Damascus.

Hatua hiyo ya Israel imekuja ikiwa ni miezi kadhaa baada ya  kueleza kuwa majeshi ya Iran yamefyatua makombora kwa kutumia ndege zisizo na rubani yakilenga vikosi vyake kwenye eneo la Golan.

Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu alipozuru Chad Jumapili alionya kuwa vikosi vya nchi yake vitashambulia vikosi vya Iran nchini Syria kujibu mashambulizi ambayo alidai yalifanywa awali na hao mahasimu wao.

“Tumeandaa sera, kulenga vikosi vya Iran nchini Syria, na kuwadhuru wale wote wanaotaka kutudhuru,” alisema Netanyahu.

Israel imekuwa ikipinga hatua ya Iran kupeleka majeshi yake Syria kwa lengo la kumsaidia Rais Bashar al-Assad ambaye amekuwa wakipambana na vikosi vya waasi vyenye itikadi kali tangu mwaka 2011.

PICHA: CAG Profesa Mussa Assad Kaitikia Wito na Yuko Kuhojiwa na Kamati ya Bunge

0
0
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof Mussa Assad ameitikia wito wa Spika wa Bunge Job Ndugai kumtaka afike kwenye Kamati ya Haki,Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhojiwa kufuatia kauli za kudhalilisha Bunge. 

 Profesa Assad tayari yupo mbele ya Kamati ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge muda huu kwaajili ya kuhojiwa

Mtumishi Wa Wizara Ya Mifugo Na Uvuvi Amepotea na Haijulikani Alipo

Tiba Bora ya Nguvu za Kiume, Kisukari, Ngiri, Miguu Kuvimba

0
0
Matatizo ya nguvu za kiume yanawaathiri watu wengi kisaikolojia hasa baada ya kujiona tofauti sana na wengine. Kawaida mwanaume anatakiwa kuwa na uume kuanzia nchi 6- 8, vinginevyo mtu huwa na matatizo. Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hilo. 

Baadhi ni upungufu wa vichocheo hivi; Homoni za getrogen ambazo mwanaume anapobalehe, vichochea hivi huchochea ukuaji wa uume.

Ngiri; Hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na hufanya tumbo kuunguruma na kujaa gesi. Sababu zingine ni korodani moja kuvimba, kupopata choo vizuri.

Sababu hizi na zingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara kwa mara husababisha kukosa tendo ya kurudia tendo na baadae kushindwa kabisa

MWIFU: Ni dawa inayozalisha homoni zxa Gestrogen na kufanya uume kukua na kuongezeka hadi nchi 6-8
 
WET POWER: Ni dawa bora ya vidonge iliyotengenezwa kwa mitishamba na matunda ambayo huongeza nguvu za kiume kuanzia miaka 15-95 na hukomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi, ina imariisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa na itakufanya uwe na hamu ya kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara mbili bila hamu kuisha na pia itakuchelewesha kufika kileleni

Pia tunatibu kisukari, presha, ngiri, miguu kuvimba na kuwaka moto

Wasiliana na Sheikh Khatib akutatulie matatizo yako. Namba zake; 0782682648  au 0656 551 093  au 0746473974

Je Kwanini Baadhi Ya Wanaume Wengi Wana Ukosefu Ama Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

0
0
JE KWANINI BAADHI YA WANAUME WENGI WANA UKOSEFU AMA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO ???

Pata sululisho la matatizo haya na  magonjwa mengine utapona kwa mda mfupi sana hatakama ulihangaika mpaka ukakata tamaaa 

GALIMBO 3 MIX  ni dawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa aina mbili ili kukidhi mahitaji ya mtumiaji, imetengenezwa kwa muundo wa vidonge pamoja na unga kwaajili ya kuponesha tatizo moja kwa moja , huimalisha misuli ya uume iliyolegea wakato wa tendo la mdoa ,na kukufanya ucherewe kufika kileleni kwa mda wa dk ( 20 - 45 ) itakufanya uludie tendo la ndoa zaidi ya Mara tatu nira hamu kuisha wara kuhisi kuchoka vilivile huzalisha viini vya uzazi ( manii ) 

YOLAN  hurefusha na kunenepesha  maumbile madogo ya uume na kuwa na uume kuanzia nchi (6-8) tiba kwa mda mfupi sana

Zipo sananu nyingi sana zinazosababisha matatizo hayo  km vile -:punyeto, kisukali,ngili,chango,vidonda vya tumbo,  tumbo kuunguluma na kujaa gesi maumivu ya mgongo ama kiume ,kolodani moja kuvimba ama kuingia ndani  presha nk 

Matatizo haya yote sio mageni, kigeni ni tiba sahihi ya kuponesha matatizo hayo

SUPER MBUKE -:  nidawa ya kuponesha tatizo la kisukali kwa mda mfupi sana , usihangaike wara kuteseka tumia dawa ya mitishamba kwaajili ya tatizo hili na upone kabisa

NTINJIWA  nidawa ya mvuto wa biashara,kazi, kupandishwa cheo,kumfanya mfanyakazi apendwe na bos wake

Pia ninadawa za kumvuta mme , mke,mchumba,hawara, au mtu yoyote unaemuhitaji katika maisha yako hata km yupo mbali na atatulia na kukutimizia cjovjote utakacho na kumfunga asiwe na mtu mwingime ,

Pata tiba za magonjwa mbalimbali ikiwemo miguu kuwaka moto, mgongo,bawasili ,kaswende ,gono na mengine mengi

KWAUSHAULI NA TIBA WASILIANA NA DR CHIKAGO    0743543944   0620510598

Km huna nafasi ya kufika ofisini hudumahii utaletewa hapo ulipo , kwa wale wa mikoani natuma kwanjia ya basi

VIDEO mpya : Manengo - Habari

0
0
VIDEO mpya : Manengo - Habari

Tundu Lissu ajibu kauli ya Spika kuhusu kutokuwa na ruhusa, kuzurura Ulaya

0
0
Baada ya Spika Job Ndugai  kumtaka Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Aniphas Lissu kurejea nchini kwakuwa hana kibali cha kuzurura huko Ulaya, mbunge huyo amemjibu Spika akidai amejuaje kama amepona ilhali hajawahi kumjulia hali kwa simu.

Lissu ambaye alipelekwa nchini Ubelgiji kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 amesema kwamba Spika Ndugai hajui chochote kwasababu hajataka kujua tofauti na watu wengine ambao wanamtafuta na kumjulia hali.

Akifanya mahojiano na gazeti la Mwananchi, Lissu amesema kwamba, "Spika Ndugai hajui chochote, hajui nimepona au sijapona. Hajui kwa sababu hajataka kujua, hajataka kunipigia simu kuniuliza kama ambavyo wengine wananipigia simu. Hajataka kuwasiliana na familia yangu, hajui kwa sababu ametaka kubaki asiyejua"

“Spika anajuaje kwamba nimepona?. Anajua masharti niliyopewa na daktari ni yapi?. Anajua nimetokaje hospitalini?”, amehoji Tundu Lissu.

Juma lililoisha, Spika wa Bunge, Job Ndugai alimtaka Mbunge huyo wa Singida Mashariki (CHADEMA), kurejea nyumbani kwa kuwa hana kibali cha kuwa nje ya nchi huku akiongeza kwamba hawezi kumpangia Lissu mambo ya kusema ila ajue hana kibali cha kuendelea kuwa nje ya nchi wakati ofisi ya Spika haina taarifa.

Kamati ya maadili Ya Bunge Yatumia zaidi ya saa tatu kumhoji CAG.....Tazama Hapa Walichokisema

0
0
Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imetumia zaidi ya saa tatu kumhoji Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG), Prof.Mussa Assad kufuatia wito wa Spika Job Ndugai kumtaka kufika kwenye kamati kutokana na kauli yake ya kuliita bunge dhaifu.

Prof.Assad ameanza kuhojiwa 5:06 asubuhi na mahojiano yake yalihitimishwa saa 8:47 mchana.

Awali baada ya kuingia kwenye ukumbi  Prof.Assad alitoka nje ya ukumbi saa 6:45 mchana akisubiri kamati ikijadili hoja zake na mwenendo wa mahojiano ili kama kuna haja ya kufafanua aitwe tena.

Baadate ameitwa saa 7:15 mchana na kutoka 7:57 mchana ambapo alikaa kwa muda kusubiri kuitwa tena saa 8:35 mchana kuelezwa uamuzi wa shauri lake.

Kamati hiyo ilimaliza mahojiano naye saa 8:47 mchana chini ya Mwenyekiti wake Emmanuel Mwakasaka.

“CAG Prof. Assad amefika leo mbele ya kamati baada ya wito aliopewa na Spika na tumemhoji. Sisi kwa kanuni zetu hapa tunamwita mtuhumiwa, tukishakamilisha hili suala tunalipeleka kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai,” amesema Mwakasaka.

Aidha, Mwakasaka amesema Prof. Assad ameonyesha ushirikiano mkubwa kwa maswali aliyoulizwa kamati hiyo.

Super Mkongo: Kiboko ya Matatizo ya Nguvu za Kiume

0
0
********************************
SUPER MKONGO MPYA,
_______________________________
********************************
Ni dawa bora ya kutibu na kumaliza matatizo yote ya nguvu za kiume na sababu zake zote kama vile,

- kuwahi kufika kileleni dakika moja ushakojoa
- maumbile kusinyaa na kulegea wakati wa tendo
- kukosa hamu ya tendo la ndoa
- kushindwa kurudia tendo la ndoa
- uume kusimama kwa kulegea
- uume kulegea katikati ya tendo
- kuathirika kwa kujichua kwa muda mrefu
- kuishiwa nguvu kutokana na punyeto.

Epuka aibu hii leo kwa kutumia SUPER MCONGO MPYA, kiboko ya matatizo haya.
_______________________________
Pia kuna MCONGO POWER Kiboko ya uume mdogo inaboresha maumbile ya uume kwa kurefusha na kunenepesha kwa saizi uipendayo haijalishi umri hata kwa walioathirika na upigaji punyeto.
_______________________________
Kwanza fahamu sababu zinazopelekea kuwa na upungufu wa nguvu za kiume na uume mdogo.
_______________________________
(1) kujichua (punyeto) kwa muda mrefu maana hupelekea misuli ya uume kulegea.
(2) ngiri
(3) kuugua chango la uzazi kwa muda mrefu.
(4) kupungukiwa hormone za testosterone.
(5) ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi na visivyo na virutubisho  vya kutosha.
(6) kutokufanya mazoezi na mwenendo wa maisha.
(7) kisukari.
(8) tumbo kuunguruma na kujaa gesi.
(9) maumivu ya kiuno nk.
_______________________________
Kwanini uhangaike? Kwanini uhuzunike?
Hii ni spesho kwa waliotumia madawa mengi bila kufanikiwa hakika hautajuta kuitumia. _______________________________
WASILIANA NA:
DR. MCONGOMANI
SIMU NO:
📞0658816558
📞0682323682
Popote ulipo huduma hii inakufikia
_______________________________
********************************

Tazama Hapa Habari MUHIMU Toka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais IKULU Kuhusu ya Madeni ya TANESO Zanzibar

Serikali Yakanusha Taarifa Iliyosambazwa Kupitia CCTV- Afrika kwamba Tanzania Kuna Tishio la Al Shabaab


Katibu wa CCM Hai Akamatwa kisa maandamano, DC Sabaya atoa tamko

0
0
Katibu wa CCM wilaya ya Hai, Laurence Kumotola, amekamatwa na polisi kwa tuhuma ya kuwazuia askari kufanya kazi yao ya ulinzi, wakati wakitaka kuingia katika ofisi za halmashauri ya wilaya ya Hai.

Tukio hilo limetokea leo majira ya saa 5:45 asubuhi, wakati katibu huyo akiwa ameambatana na wafuasi wa chama hicho pamoja na viongozi mbalimbali, walipodaiwa kuvamia ofisi ya mkuu wa wilaya kwa maandamano na kuzuia watu kuingia katika ofisi hizo hadi wao watakaporuhusiwa na kusikilizwa na mkuu wa wilaya hiyo, Lengai Ole Sabaya.

Katibu huyo akiwa na wafuasi hao, walitumia zaidi ya dakika 10 wakiwa katika geti la kuingia katika ofisi hizo, hadi pale mkuu wa wilaya ya Hai alipotoka na kuruhusu wafunguliwe awasikilize.

Wakati mkuu huyo wa wilaya akizungumza na watu hao, ndipo mkuu wa polisi wilaya ya Hai, Lwelwe Mpina alipoingia na kumwambia mkuu wa wilaya kuwa anamkamata katibu wa CCM kwa kuwa amemzuia kufanya kazi yake.

"Mkuu naomba kumchukua katibu, amenizuia kuingia hapa wakati mimi ndiye nasimamia ulinzi na usalama hapa," alisema OCD.

Akizungumza na waandamanaji hao, Lengai Ole Sabaya amesema hakuna kiongozi yeyote atakayeruhusiwa kulizuia jeshi kufanya kazi na yeyote atakayefanya hivyo atachukuliwa hatua za kisheria.

"Tumesitisha ufanyaji wa siasa kwa vyama vyote kwa sababu uchaguzi bado haujafika na hata tulipofikia kwa sasa mtu yeyote atakayehusika kulizuia jeshi la polisi achukuliwe hatua."

"Na nyinyi CCM kama mnalalamika mtumie njia ambayo ni rasmi lakini si kufanya maandamano." ameongeza Sabaya

Tundu Lissu Ahofia Kuvuliwa Ubunge.....Spika Ndugai Asema Hana Kibali cha Kuzurura Ulaya, Arudi Nyumbani

0
0
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, (Chadema), amedai kuwa kuna mkakati wa kutaka kumvua Ubunge kwa madai kuwa ni mtoro bungeni.

Akizungumzia kwa undani mkakati wa kutaka kumvua Ubunge, kupitia waraka wake alioutoa, Lissu alidai kuwa kuna hoja inajengwa kuwa Mbunge huyo ni mtoro kwani hajaonekana Bungeni na hajamwandikia barua Katibu wa Bunge taarifa yoyote ya maandishi kuhusu kuumwa kwake wala matibabu yake.
 
Mbunge huyo ameeleza kuwa  hana sababu yoyote ya kutilia shaka taarifa hizi kwani waliomtonya ni watu wenye dhamana kubwa Bungeni na Serikalini ambao alidai hawaridhishwi na mkakati huo.

“Sijashangazwa na kuwepo kwa mkakati huu.Kilichonishangaza ni hoja zinazojengwa kuhalalisha uovu huu.


“Ni taarifa gani ya maandishi watu hawa wanahitaji wakati nilishambuliwa nikiwa kwenye vikao vya Bunge Dodoma?,” alihoji Lissu na kuongeza kuwa.


“Nilipelekwa Nairobi nikiwa sijitambui kutokea Hospitali Kuu ya Mkoa wa Dodoma, baada ya kikao kilichomshirikisha Katibu wa Bunge wakati huo, Dk. Thomas Kashilila, Spika Ndugai na Naibu Spika Dk. Tulia Ackson.


“Waziri wa Afya Ummy Mwalimu na Katibu Mkuu wake Dk. Ulisubisya Mpoki walikuwepo kwenye kikao hicho. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wakati huo, Mwigulu Nchemba, alikuwepo; na nilisindikizwa mpaka Nairobi Hospitali na daktari kutoka Hospitali Kuu ya Mkoa wa Dodoma, sasa taarifa gani inatafutwa,?” alihoji Lissu.


Kwa mujibu wa Lissu, wakati wote ambao amekuwa kwenye matibabu, uongozi wa Bunge umewasiliana kwa maandishi na mwakilishi wa familia yake kuhusu matibabu yake na wametoa matamko mengi hadharani kuhusu kushambuliwa kwake.


“Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amekuja kuniona nikiwa hospitalini Nairobi; Balozi wa Tanzania Ubelgiji, Joseph Sokoine, amekuja kuniona hospitalini Leuven mara mbili.


“Ni Spika Ndugai na uongozi wote wa Bunge, akiwemo Katibu wa Bunge, Steven Kagaigai, na maofisa wake, ndio hawajawahi kukanyaga hospitalini kuja kumwangalia mgonjwa wao, aliyeumizwa vibaya akiwa Bungeni,” amesema Mbunge huyo.


Alipoulizwa  kuhusu madai hayo, Spika Ndugai amesema hajui kama kuna mkakati wa kumvua Ubunge, lakini kwenye hoja ya utoro kweli Lissu ni mtoro.

“Kila mtu anajua Tundu Lissu ni mgonjwa na anapata matibabu Ubelgiji, sasa ukisikia ametoka Ubelgiji na kwenda sijui Uingereza na Spika hana taarifa na analipwa mshahara, huyo mtu ni mtoro, mwambieni arudi nyumbani kama ameshapona,” alisema Ndugai 

 
Ndugai alisema Lissu anapaswa kutambua kuwa hana ruhusa ya kuzurura nje ya nchi.

“Yeye ametoka kuugua aache uzushi arudi nyumbani. Kitu muhimu ni kwamba ajue hana ruhusa ya Spika ya kuwa huko anakozurura.

"Wakati wenzake tuko bungeni tunafanya kazi za wananchi yeye yuko huko nje  kuipaka matope nchi yetu.” Alisema Ndugai

Wabunge CCM Wajipanga Kumkabili Zitto Kabwe...... Lusinde ‘Kibajaji’ Amtaka Mke wa Mtikila Amshitaki Zitto Kwa Kuiga Staili za Mumewe

0
0
Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wamejipanga kumkabili kwa hoja Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kwa madai kuwa amekuwa kinara wa upotoshaji pamoja na kuwa mstari wa mbele kupinga mamlaka ya Spika Job Ndugai kufanya kazi zake.
 
Wabunge hao wa CCM ambao walikutana kwenye kikao chao mjini Dodoma jana, katika azimio la pamoja walisema watahakikisha wanapambana na Zitto kwa kujibu hoja zake na viongozi wengine wa Upinzani.

Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kutoka kwenye kikao cha wabunge wa CCM jana mjini hapa, Mbunge wa Mbinga, Sixtus Mapunda alisema wameshangazwa na hatua za Zitto kwenda mahakamani kumzuia Spika kutekeleza majukumu yake.

Mapunda ambaye alikuwa akizungumza kwa niaba ya wabunge wenzake wa CCM, alisema katika hali ya kushangaza na iliyo kinyume cha sheria, Zitto ameshirikiana na baadhi ya wanasheria kuzuia mamlaka ya Spika kutekeleza wajibu wake.


Jambo lingine ambalo limeonekana kuwa kero kwa wabunge wa CCM ni Mbunge huyo wa Kigoma Mjini kuandika barua kwa Katibu Mkuu wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) na kutuma nakala kwa Maspika wa Mabunge yote ya Afrika kwa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara (SADC) pamoja na Wadhibiti na Wakaguzi Wakuu wa Hesabu za Serikali wa Jumuiya ya Madola.


“Hatua ya Zitto kukimbilia Mahakamani kupinga Mamlaka ya Spika au kuandika barua kwa mabunge ya nchi nyingine kupinga uamuzi wa Spika au kujadili mamlaka yake kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni dharau kubwa kwa mamlaka ya Spika na Muhimili wa Bunge kwa ujumla.


Mapunda alisema kuwa kanuni ya 5(4) na (5) ya kanuni za Bunge, imeweka utaratibu kuwa mbunge kama Mbunge hakuridhishwa na uamzi wa Spika, anaweza kupinga uamuzi huo na atawasilisha sababu za kutoridhishwa kwake kwa Katibu wa Bunge na malalamiko hayo yatafanyiwa kazi na Kamati ya Kanuni za Bunge na baadaye Bunge litajulishwa kuhusu uamuzi utakaotolewa.


Naye Mbunge wa Mtera, Livingistone Lusinde ‘Kibajaji’, alisema Zitto amepoteza mwelekeo na anatakiwa kujitafakari ili arudishe heshima yake ya kisiasa badala ya kupambana na siasa za upotoshaji. 


Lusinde alimtaka  Zitto Kabwe kuacha kutumia siasa kama zilizokuwa zikifanywa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha DP, marehemu Mchungaji Christopher Mtikila za kushinda mahakamani kufungua kesi.

Alisema Zitto akiendelea kufanya siasa ambazo anaendelea nazo atashitakiwa na mke wa Mtikila.

“Zitto sasa hivi anachukua ‘style’ za Mzee Mtikila za kushinda Mahakamani badala ya kushinda kutafuta hoja na watu wake wa Kigoma.

“Yaani yupo ACT Wazalendo lakini akili anazotumia ni za hayati Mtikila, nadhani mke wa Mtikila kama kungekuwa na sheria ya kusimamia stahiki za mumewe ana uwezo wa kumshtaki Zitto ili aweze kumlipa fidia kwa kutumia jina la mumewe yaani Zitto Mtikila,” alisema.


Kuhusu kauli ya Zitto, Lusinde alisema kazi ya bunge si ya kubeza, iwe mbaya au nzuri ndiyo kazi ya Bunge.

“Mimi namuona kama vile siku hizi ametoka kwenye reli kwa sababu hata ukimsikiliza vizuri mimi nadhani ana tatizo kubwa sana.

“Unawezaje kusema sheria hii ikienda bungeni itapita kwa sababu wabunge wa CCM wote ni makasuku. Zitto anapaswa kujitafakari upya kwa sababu anakoelekea anaenda shimoni kabisa,” alisema Lusinde.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya January 21

Rais Magufuli Ampongeza Felix Tshisekedi Kwa Kutangazwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC

0
0
Baada ya Mahakama Kuu ya Kikatiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kumtangaza Kiongozi wa upinzani, Bw. Felix Tshisekedi kuwa mshindi wa uchaguzi wa Urais, Rais John Magufuli amempongeza Rais huyo mteule na kumuahidi kuendeleza ushirikiano.

Rais Magufuli ametoa pongezi hizo  Januari 20, ambapo mbali na kumpongeza Rais Mteule amewapongeza pia raia wa Kongo akiwataka kuduisha  amani.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais Magufuli ameandika, "Kufuatia hukumu ya Mahakama Kuu ya Katiba. Ninampongeza Felix Tshisekedi juu ya uchaguzi wake kama Rais wa DRC.

"Ninapongeza pia Wakongo wote, ninawasihi kudumisha amani . Ninaahidi kuendeleza uhusiano wetu wa kihistoria na wa kindugu".

Katika uchaguzi huo uliofanyika Desemba 30 2018, Mgombea Martin Fayulu alidai kuwa ndiye mshindi wa kiti hicho cha Urais, amezitaka Jumuiya za kimataifa kutomtambua Tshisekedi, akidai kuwa yeye ndiye mshindi halali wa uchaguzi huo.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images