Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Kijana anusurika kufa baada ya kupigwa akituhumiwa ni mwizi jambo ambalo baadaye lilikuja kubainika kuwa siyo Mwizi

$
0
0
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina moja la sule amenusurika kifo baada ya kupigwa na watu wenye hasira kali wakimtuhumu kuwa ni mwizi jambo ambalo baadaye lilikuja kubainika kuwa hana hatia yoyote.    Wakizungumza eneo la feri jijini Dar es salaam baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa inasikitisha kuona watu wakijichukulia sheria mikononi bila kuhoji tukio ambapo mara baada

Mahakama kuu ya Tanzania Yatupilia mbali kesi dhidi ya Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda

$
0
0
Mahakama kuu ya Tanzania imetupilia mbali kesi dhidi ya waziri mkuu, Mh. Mizengo Pinda iliyofunguliwa na kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC na chama cha wanasheria Tanganyika TLS kwa sababu hawana mamlaka kisheria ya kumshtaki.    Kesi hiyo iliyokuwa inasikilizwa na jopo la majaji watatu likiongozwa na Jaji Kiongozi Fakih Jundu imetupiliwa mbali baada ya jopo hilo kukubaliana

Mwandalizi wa Mazishi aagiza Maiti Ikatwe Miguu ili kuifanya itoshe kwenye jeneza

$
0
0
Mwandalizi mmoja wa mazishi nchini Afrika Kusini,anayedaiwa kuwaagiza wafanyakazi wake kuikata miguu ya maiti moja aliyodai kuwa ndefu sana alifikishwa mahakamani Ijumaa.    Ronel Mostert anayemiliki chumba cha kuhifadhi maiti ambacho pia huendesha shughuli za mazishi, alitoa amri hiyo kwa lengo la kuhakikisha kuwa maiti hiyo ingetosha katika jeneza.   

Magazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 7 June 2014

$
0
0
Magazeti  ya  leo  Jumamosi  ya  tarehe  7 June  2014

Kijana afikishwa mahakamani jijini Mwanza kwa tuhuma za kukutwa akifanya mapenzi na mbuzi

$
0
0
MTU mmoja amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Ukerewe, Mwanza kwa tuhuma za kukutwa akifanya mapenzi na mbuzi.   Mtuhumiwa huyo, William Sebastian (21), mkazi wa Kijiji cha Mlezi alisomewa mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya wilaya hiyo, Faustine Kishenyi.   Mwendesha Mashitaka wa Polisi, Inspekta Samwel Onyango aliieleza mahakama hiyo kuwa mshitakiwa huyo

Tuzo za MTV MAMA kufanyika Leo,Durban Afrika Kusini

$
0
0
Mwigizaji maarufu nchini Marekani ambaye pia ni mchekeshaji, mwandishi wa muswada na mwongozaji wa filamu, Marlon Wayans anatarajiwa kuwa  msanii mkubwa atakayeongoza jukwaa katika hafla ya ugawaji wa Tuzo za MTV Africa Music Award 2014 zikatakazo tolewa leo jijini Durban Kwazulu - Natal nchini Afrika Kusini.   Hafla ya utoaji wa tuzo itafanyika katika Ukumbi wa Durbun

Hotuba ya Rais Shein wa Zanzibar kumuenzi David Livingstone ikiwa ni miaka 141 tangu kukomeshwa kwa biashara wa watumwa

$
0
0
Ndugu Wananchi, Tuna wajibu mkubwa wa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa afya na uzima tukaweza kujumuika leo hii. Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa viongozi wa Kanisa la Anglikana wa Dayosisi ya Zanzibar na waumini wote wa Kanisa hili kwa kunialika kuja kuungana nanyi katika uzinduzi wa kongamano la kumuenzi Dk. David Livingstone kwa kutambua mchango wake katika kukomesha

Ray C kugombea Ubunge 2015 ili kupigana na watu wanaoingiza madawa ya kulevya nchini

$
0
0
Makundi  mengi  ya  vijana  ndani  ya  mtandao  wa  facebook  yamekuwa  na  imani  kuwa  msanii  Rehema  Chamila  anaweza  kuwa  mtetezi  wao  mkubwa  endapo  ataamua  kuingia  kwenye  siasa... Vijana  hao  wanaamini  kuwa  Ray C kwa  sasa  amepitia  changamoto  nyingi   hivyo  wanaamini  kama  akipewa  nafasi  ya  kuingia  bungeni  inaweza  kuwa  chachu  ya yeye  kupigana  na  watu 

Jini Kabula ayakana Mapenzi ya Baa....Asema kama unamtaka kimapenzi mfuate nyumbani

$
0
0
Sitaki  tena....Ndivyo  unavyoweza  kusema  kutokana  na kauli  ya  nyota  wa filamu  za  kibongo  Mirium Jolwa  "Jini Kabula"  ambaye  amedai  kuwa  kwa  sasa  hataki  kusikia  mapenzi  ya  pesa  na  kama  kuna  mwanaume  anayemtaka  basi  amfuate  nyumbani  na  si  kuitana  baa..... Kabula  alisema  kuwa  wanaume  wengi  wamekuwa  na  tabia  ya  kuitana  baa  huku  wakihisi  kuwa  kila 

Maelezo ya mmiliki wa nyumba alikouwawa yule Chatu mwenye kitambaa cha maandishi ya kiarabu jijini Arusha

$
0
0
June 05 2014 mchana kupitia mitandao mbalimbali Tanzania zilisambaa taarifa zikimuhusu mmiliki wa mojawapo ya nyumba maeneo ya Sakina jijini Arusha kwamba nyoka aliyekua akimfuga kwa siku nyingi na kuhusishwa na imani za kishirikina, ameuwawa na Wananchi.  Wananchi walimuua nyoka huyo na kisha kumkata kata vipandevipande ambapo baada ya hizi taarifa kusambaa mmiliki wa nyumba hii

Serikali yawapa Uraia wakimbizi wa Kisomali 1,514.....Waziri Chikawe awapongeza kuwa Watanzania

$
0
0
Felix Mwagara SERIKALI imewapa uraia wa Tanzania Wakimbizi wa Kisomali wenye asili ya Kibantu 1,514 waliokuwa wanaishi katika Makazi ya Chogo, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga.   Wakimbizi hao ambao walikimbia nchi yao Somalia baada ya vita kutokea mwaka 1990 ambapo baadhi yao 3,000 walikimbilia nchini kwa kutambua kuwa ndipo mababu zao walikotoka, Serikali iliwapokea na kuwahifadhi

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma alazwa Hospitalini.....

$
0
0
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amelazwa hospitalini kwa uchunguzi wa afya , atapumzika kwa muda ingawa ataendelea na majukumu akiwa nyumbani.   Taarifa hii ni kwa mujibu wa maafisa kutoka kwa ofisi yake. Taarifa hiyo ilisema kuwa Zuma atalazimika kumpumzika kwa muda ingawa ataendelea na majukumu yake ya kitaifa akiwa nyumbani.  “Hapo jana Ijumaa Rais Zuma alishauriwa kupumzika

Rais Kikwete aongoza waombolezaji kuuaga mwili wa mfanyakazi wa Ikuli, marehemu Ernest B. Ngereza

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho katika Kanisa la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Ernesti B. Ngereza, aliyekuwa mfanyakazi wa Ikulu aliyefariki dunia Mei 5, 2014, kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda nyumbani kwa marehemu Lushoto, Mkoani Tanga Ijumaa Mei 6, 2014.    Rais

Mbunge Joshua Nassari ( CHADEMA ) afunga Ndoa ya Kihistoria....Watu wamepiga Mpunga hadi wengine "wakazima"

$
0
0
Mbunge Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Samwel Nassari amefunga ndoa na Anande Nko kwenye Kanisa la Pentekoste lililopo Kilinga, Arumeru jijini Arusha ikifuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika Viwanja vya Usa-River Academy jirani na Hoteli ya Ngurdoto.   Sherehe hiyo ilianza mishale ya saa 7:00 mchana siku ya leo ambapo watu wote walialikwa wakiwemo ndugu, marafiki, jamaa

Bonyeza hapa kuangalia Majina ya Walioitwa kwenye USAILI nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji......Usaili ni tarehe 13 mwezi huu wa Juni

$
0
0
Kufuatia tangazo la kazi lililotolewa na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji la tarehe 14 na 17 Februari, 2014 kwenye magazeti ya Habari Leo, Mtanzania na Daily news; kuhusu kujaza nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi anawatangazia waombaji kuangalia katika tovuti www.moha.go.tz na www.immigration.go.tz ambapo majina ya wanaoitwa kwenye Usaili 

Ibada ya Kiislamu kufanyika Vatican ( Makao makuu ya kanisa Katoliki ) kwa mara ya Kwanza katika Historia

$
0
0
Kwa mara ya kwanza katika historia, sala na mafundisho kutoka kwenye Quran yatasikika Vatican Jumapili, ambako ni makao makuu ya kanisa katoliki duniani.   Uamuzi huo umefanywa na Papa Francis ikiwa ni hatua ya kutengeneza mazingira ya amani kati ya waisrael na wapalestina.   Kiongozi huyo wa kanisa katoliki duniani aliwaalika rais, Shimon Peres na rais wa Palestina Mahmoud Abbas kwenda

Picha za redcarpet ya MTV Awards,Diamond akiwa na Wema Sepetu na muonekano wa ukumbi

$
0
0
Hapa kuna picha za red carpet ambapo Wema na Diamond walipata picha  ya  pamoja. Utaweza kuona picha za backstage na muonekano wa stage ya show ya leo. <!-- adsense -->

Baada ya Diamond, Vanessa Mdee kawa Verified Twitter

$
0
0
Imekuwa kama zali jana, ikiwa ndio siku ya kukumbuka siku yake ya kuzaliwa, mwanamuziki na mtangazaji maarufu, Vanessa Mdee aka VeeMoney kaingizwa kwenye orodha ya watu maarufu duniani, kwa account yake ya mtandao wa kijamii wa twitter kuwa Verified. Ni wasanii wachache sana hapa afrika ya mashariki waliopata bahati hii ya kujulikana kimataifa na kuweza kuwa verified katika mtandao

Rihanna awajibu TLC waliomponda kuwa anauza ng9no kwa kuvaa nusu mtupu

$
0
0
Vazi la Rihanna katika tuzo za mitindo za CFDA mwaka huu limeendelea kuwa gumzo na wengi wamemshambulia kwa madai ya kutojali maadili.   Member wa kundi la TLC, Chilli na T-Boz nao hawakusita kumpa makavu live wakati wanafanya mahojiano na kipindi cha SunRise cha televisheni ya Australia. Walisema kuhusu mavazi hayo na kueleza kuwa Rihanna anauza ng9no.   “Ni vigumu kwetu kusema

Jennifer Lopez na Casper Smart wapigana chini

$
0
0
Miaka miwili na nusu ya mapenzi yaliyokuwa yakitajwa kama mfano wa wapendanao kweli imekamilika na story imebadilika pia baada ya Jennifer Lopez na mpenzi wake mwenye umri mdogo, Casper Smart kupigana chini.   Chanzo cha karibu na Jennifer Lopez kimeiambia Us Weekly kuwa wawili hao walianza purukushani za kuachana tangu miaka miwili iliyopita.   “Haikuwa uamuzi rahisi lakini wameamua
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images