Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Magazeti ya Leo Alhamisi ya tarehe 5 June 2014

$
0
0
  Magazeti  ya  Leo  Alhamisi  ya  tarehe  5  June  2014

Waganga wanaodai kutibu UKIMWI sasa kukamatwa.......

$
0
0
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeagiza vyombo vya dola, kukamata waganga wa jadi, wanaojitangaza kutibu magonjwa ya Ukimwi, kisukari na shinikizo la damu.Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dk Seif Rashid alipokuwa akiwasilisha bungeni hotuba ya  bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2014/15.Aliwasihi wataalamu wa tiba asili na tiba mbadala, kuacha mara moja,

Mwenge wa Uhuru wapata ajali, polisi watatu wajeruhiwa

$
0
0
Askari polisi watatu kati ya watano, wameumia vibaya baada ya gari walilokuwa wakisindikizia Mwenge wa Uhuru kupata ajali mkoani Singida huku waandishi wa habari na wapigapicha wakinyang’anywa vitendea kazi na kiongozi wa Mbio za Mwenge, Rachel Steven.    Kitendo hicho kilielezwa kuwa ni kuwazuia waandishi wa habari kutuma taarifa za ajali hiyo kwenye vyombo vyao vya habari. Mzozo

UKAWA wagawanyika Vipande Vipande......

$
0
0
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umeendelea kushikilia hatima ya kupatikana kwa Katiba Mpya yenye maridhiano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayopaswa kupendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba kwa wananchi kwa ajili ya kupigiwa kura ya maoni. Hata hivyo, licha ya UKAWA kuhodhi upatikanaji wa Katiba Mpya yenye maridhiano, taarifa zinabainisha kwamba uamuzi wa jumla wa wajumbe wake

Rais Kikwete akutana na mjumbe maalumu wa Rais wa Afrika Kusini leo Ikulu Dar es Salaam

$
0
0
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Rais Jacob Zuma wa Afrika kusini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mama Maite Nkoana-Mashabane Ikulu jijini Dar es Salaam leo Juni 5, 2014. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernad Membe alikuwepo pia.    (PICHA NA IKULU) <!-- adsense -->

Ukuaji wa deni la taifa waumiza vichwa wabunge.....Mpaka sasa kila mtanzania anadaiwa Tsh.600,000

$
0
0
Bunge la bajeti linaendelea bungeni mjini Dodoma ambapo sasa ni zamu ya wizara ya fedha na uchumi. Bajeti yake imewasilishwa na waziri wa fedha Saada Mkuya Salum ambapo bajeti yake imepita huku suala la deni la taifa likiendelea kuumiza vichwa vya wabunge wengi kwa kuendelea kukua siku hadi siku.   Suala hilo limeonekana kuwashtua wabunge wengi akiwemo Mheshimiwa Christina Lissu

Magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 6 June 2014

$
0
0
Magazeti  ya  leo  Ijumaa  ya  tarehe  6  June  2014

Kijana aliyedaiwa kupotea kwa Imani za kishirikina mkoani Mara apatikana akiwa katika hali ya kutisha huku mwili wake ukiwa umejaa tope

$
0
0
Kijana mmoja mkazi wa kijiji cha Nyambogo wilayani Rorya mkoani Mara, ambaye anadaiwa kupotea nyumbani kwa imani za kishirikina hatimaye amepatikana huku akiwa katika hali ya kutisha bila kujitambua na mwili wake ukiwa umejaa tope jingi, tukio ambalo limevuta mamia ya wananchi wa kijiji hicho.    Kijana huyo Kenedy oguko mwenye umri wa miaka 22 amekutwa nje ya nyumba yao asubuhi ya

Audio: Mtoto wa marehemu George Tyson 'Sonia' atoa ujumbe mzito wa majonzi kumuaga baba yake

$
0
0
Juzi  simanzi ma majonzi vilitawala katika viwanja vya Leaders Club wakati mamia ya watu walipokuwa wakiaga mwili wa muongozaji wa filamu na vipindi vya televisheni, George Tyson aliyefariki katika ajali ya gari.   Moja kati ya matukio yaliyowatoa machozi mamia ya watu waliohudhuria katika tukio la kumuaga Tyson, ni pale mtoto wake wa kike aitwae Sonia alipokuwa akitoa neno/ujumbe

Ugomvi wa baba na mama wasababisha kifo cha mtoto.

$
0
0
Polisi mkoani  Rukwa inamshikilia baba  mzazi  huku ikimsaka  mama wa mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja, Denis Umera aliyefariki dunia kutokana na kilichodaiwa ni ugomvi wa wazazi hao uliotokana na wivu wa mapenzi.   Kamanda wa Polisi  Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema kifo hicho kilitokea  saa 11 alfajiri, Juni 2, mwaka huu kijijini Mlanda katika Wilaya ya Sumbawanga baada ya mama

Mtoto afariki Dunia baada ya kutumbukia kisimani

$
0
0
Mtoto Jeremiah Nyamuhanga (2) mkazi wa Machimbo amekufa baada ya kutumbukia kwenye kisima cha maji karibu na nyumbani kwao.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi alisema, mtoto huyo alitumbukia juzi saa 10 jioni katika eneo la Machimbo, Kitunda, Wilaya ya Ilala.   Alisema maiti yake ilikutwa ikielea ndani ya kisima hicho kilicho karibu na nyumba yao. Inasadikiwa mtoto huyo

Mke wa mtu achomwa bisibisi Shingoni akiwa katika harakati za kumfumania mumewe

$
0
0
Tofauti na inavyoaminika na wengi kuwa mfumaniwaji huwa mpole, kibao kimebadilika, mfanyakazi wa ndani aliyejulikana kwa jina la Niachie amegeuka mbogo na kumchoma bisibisi bosi wake, Amina ‘Mama Zai’ aliyemfumania akiwa na mumewe aitwaye Amri. Tukio hilo lilitokea juzikati maeneo ya Mbagala jijini Dar ambako mama Zai alimwekea mtego mfanyakazi wake huyo wa ndani baada ya kubaini

Chatu mkubwa auawa jijini Arusha.....Chatu huyo alikuwa amefungwa kitambaa chenye maandishi mekundu

$
0
0
Wiki chache zilizopita wakazi wa Kinondoni walimuua Mamba ambaye alikua akiishi karibu na bwawa maeneo ya Kinondoni block 41 na ni baada ya kuchoshwa naye wakaamua kumuua,sasa baada ya mamba  kuna Chatu  wa ajabu aliyeuwawa Arusha.   Kwa mujibu wa Arusha yetu Blog wanasema kuwa Chatu huyo aliuawa na wananchi mchana wa June 05 na ni baada ya kuonekana  maeneo ya Sakina Arusha akiwa

Machangudoa toka nchini Rwanda watiwa mbaroni mkoani Dodoma.....Mmoja wao ahukumiwa jela miaka miwili

$
0
0
Wanawake wanne raia wa Rwanda wametiwa mbaroni mjini Dodoma kutokana na kuingia nchini kinyemela na kujihusisha na biashara ya ukahaba.    Watuhumiwa  watatu kati ya hao, Saidat  Umotoni (28), Asha Abimana (25) na Asia Umotoni  Wase (30), hii ni mara yao ya pili kukamatwa mjini hapa wakidaiwa kujihusisha na biashara hiyo.    Mara ya kwanza ilikuwa Novemba mwaka jana ambapo wote  ( Asia,

Sakata la Mfanyakazi wa ndani ( House Girl ) aliyefungiwa ndani na bosi wake jijini Dar kwa miaka mitatu na kupewa mateso makali ikiwemo kuchomwa pasi na kung'atwa

$
0
0
Mfanyakazi wa ndani, Yusta Lucas (20) amekumbana na masahibu yanayofanana na yale ya mtoto Nasra Mvungi (4) aliyekuwa amefungiwa kwenye boksi kwa miaka karibu minne huko Morogoro. Huyu amelazwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam akiuguza majeraha yanayotokana na kuteswa na kufungiwa ndani kwa miaka mitatu.    Binti huyo, mwenyeji wa Mkoa wa Tabora, katika Kijiji cha

H Baba alazwa Muhimbili baada ya kuugua Dengue

$
0
0
Mwimbaji wa bongo Flava, H Baba amelazwa hostpitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya madaktari kugundua kuwa ana ugonjwa wa dengue ambao umeshawauguza watu mbalimbali.   H Baba alipelekwa hospitalini hapo jana usiku, na inaelezwa kuwa alianza kujisikia anaumwa tangu Jumatano (June 5), wakati anajiandaa kwenda kuuaga mwili wa marehemu George Tyson aliyefariki kwa ajali ya gari.  

Harusi ya Mbunge Joshua Nassari ni Kesho, Hakuna kiingilio.........Wote mnakaribishwa

$
0
0
MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Mh Joshua Nassari kesho anatarajia kufunga ndoa na Bi Anande Nko katika kanisa la Pentekoste, Kilinga lililoko wilaya ya Meru ambako Mh Nassari alianzia masuala ya Kiimani ikifuatiwa na Sherehe kubwa ya Harusi itakayo fanyika katika viwanja vya Usa-River Academy jirani na Hotel ya Ngurdoto.   Kwa Mujibu wa Mh Nassari ,sherehe hizo zitakazoanza majira ya

Diamond Platinumz azidi kupiga hatua baada ya akaunti yake ya Twitter kuwa 'Verified'

$
0
0
Diamond Platinumz ambaye yuko Durban Afrika Kusini akijiandaa na tuzo za   MTV, ameongeza sababu nyingine ya kutabasamu baada ya akaunti yake ya Twitter kuwa Verified.   Mkali huyo mwenye Followers Zaidi ya 34,000  ametambuliwa na Twitter kuwa mmiliki pekee/halali wa akaunti yake.   “Thank you Twitter.” Diamond ameandika. <!-- adsense -->

Vicky Kamata azungumzia ndoa yake baada ya kudaiwa kuzuiliwa kufungwa

$
0
0
Mwanamuziki wa zamani na mbunge Vicky Kamata baada ya ndoa yake kudaiwa kuzuiliwa kufungwa kutokana na kudaiwa mwanaume aliyetaka kufunga naye ndoa ana ndoa nyingine, amefunguka kwa kudai kuwa hizo zilikuwa ni habari za kutungwa na hazikuwa na ukweli wowote.   Vicky ameiambia amplifaya ya Clouds fm jana kuwa maneno mengi ambayo yalikuwa yanazungumzwa kuhusu ndoa yake kutofungwa

Alichosema Mhe. Komba baada ya picha kusambaa akiwa na binti chumbani.

$
0
0
Baada ya kusambaa kwa picha ambazo si nzuri katika mazingira ya kawaida zikimuonyesha Mhe. Kaptein Komba akiwa amepiga picha na msichana chumban huku zikimuonyesha msichana huyo amevaa kanga na wakati mwingine bila kuwa na nguo, mbunge  huyo  ameamua  kulitolea  ufafanuzi  sakata  hilo.   Akizungumzia tukio hilo moja kwa moja kutoka Dodoma Mhe. Komba anasema hajui kuhusiana na picha
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images