Baadhi
ya walimu wakuu wa shule za sekondari Tanzania kanda ya mashariki
kupitia umoja wao TAHOSSA wakimsikiliza ofisa elimu mkoa wa pwani hayupo
alipofungua mkutano wao mjini Kibaha.
Picha ya pamoja na baadhi ya walimu wakuu wanaounda umoja wao wa TAHOSSA Kanda ya mashariki.
Na John Gagarini, Kibaha
OFISA
Elimu Mkoa wa Pwani Yusufu Kipengele amewataka walimu mkoani humo
kuachana
Walimu washauriwa kuacha kutumia VIROBA wakati wa kufundisha
↧
↧
Mh. Lowassa amjulia hali mwalimu wake wa Siasa
Waziri
Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akimjulia hali
Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Arusha,Mzee Jackson Kaaya nyumbani
kwake Poli Meru wakati alipofika kumuona na kumsabahi.Pembeni ni mkewe
Bibi Jacobert Kaaya.Mzee Kaaya mwenye umri wa miaka 94 alikuwa
Mwenyekiti wa kwanza wa TANU Mkoa wa Arusha hadi alipostaafu mwaka 1984.
Mh.
Lowassa alikuwa Katibu wa
↧
Majani ya Mapapai hayatibu Dengue....Wananchi washauriwa kutokubali kudanganywa na waganga wa jadi
Halmashauri ya manispaa ya Ilala imesema kuwa majani ya mapapai si tiba ya ugonjwa wa dengue hivyo ni vyema wananchi wakafika hospitalini kupatiwa dawa kuliko kudanganywa na waganga wa jadi....
Kauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam jana na kaimu mganga mkuu wa manispaa ya Ilala, Dr Willy Sango, wakati wakitoa mafunzo kwa wenyeviti wa serikali za
↧
Magazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 19 May 2014
↧
Hili ni Jibu la Irene Uwoya baada ya kuulizwa uhusiano wake na Msami wa THT.
May 28 kupitia You heard ya XXL Clouds FM ilikua ni stori kuhusu
uhusiano wa Msami wa THT na mwigizaji toka Bongo Movie Irene Uwoya na
jana alisikika Msami ambaye alikanusha uhusiano lakini mpenzi wake
Rehema aliweka wazi kuwa ni kweli Msami ana uhusiano wa kimapenzi na
Irene Uwoya.
Sasa
May 29 2014 ishu hii imeendela ambapo katafutwa Irene Uwoya na kuulizwa
na Soudy Brown kama ni
↧
↧
Mchawi kutoka Tanzania ahukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela nchini Kenya baada ya kumdanganya mama mmoja
Mchawi kutoka Tanzania amehukumiwa kifungo cha miaka
mitatu nchini Kenya kwa kumlaghai mwanamke mfanyabiashara mkenya na
kumuibia shilingi milioni tisa.
Mchawi huyo alimhadaa mama huyo kuwa kwa kupitia njia za kichawi angeweza kuzifanya pesa hizo kuwa maradufu yaani milioni 18.
Bwana Amos Chipeta pia ataongezwa
kifungo cha miezi tatu kwa kupatikana na vifaa vinavyoumiwa kufanya
↧
Mtoto aliyekuwa amefichwa ndani ya boksi aanza kupumulia Mashine......
MTOTO Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi kwa miaka minne
mkoani Morogoro, sasa anaopumulia mashine katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili
.Nasra, alilazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,
alipohamishiwa Mei 26 mwaka huu kwa ajili ya uchunguzi zaidi akitokea
katika Hospitali ya mkoa wa Morogoro.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Daktari
↧
Wabunge wa Kambi rasmi ya upinzani wasusia bajeti ya wizara ya nishati na madini na kutoka nje ya bunge
Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman
Mbowe amewatoa wabunge wote wa upinzani Bungeni ikiwa ni shinikizo la
kuipinga Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kama ilivyokuwa
imewasilishwa na Waziri wa Wizara hiyo Professa Sospeter Muhongo.
"Hatuwezi kuendelea kuzungumzia bajeti ya Serikali isiyokuwa na
sera,mimi kama Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni siwezi
↧
Magazeti ya Leo Jumamosi ya tarehe 31 May 2014
↧
↧
Huyu jamaa alipelekwa Mahakamani kwa kesi ya kubaka, alipofika Mahakamani akataka kumbaka mtu tena
Watu wa karibu wa Mtuhumiwa huyu walijitokeza Mahakamani ili
kuangalia kama ndugu yao aitwae Simon Ngozi (21) ataweza kupata dhamana
kwenye kesi inayomkabili ya kubaka mtoto wa miaka tisa.
Jamaa alikua amepelekwa Mahakamani Makadara
Nairobi nchini Kenya lakini ghafla akamshangaza kila mtu baada ya kutaka kumbaka
Mwanamke aliyekua karibu yake baada ya kuanza kumshikashika.
↧
Mtoto Nasra aliyekuwa amefichwa ndani ya Boksi aondolewa mashine maalumu ya kumsaidia kupumua
Hali ya mtoto Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi kwa miaka
minne, inaendelea kuimarika baada ya kutolewa mashine maalumu ya
kumsaidia kupumua.
Siku mbili zilizopita, Nasra aliwekewa mashine na kupata hewa ya
oksijeni baada ya kushindwa kupumua vizuri kutokana na nemonia.
Kutokana na nafuu hiyo, juzi usiku jopo la madaktari bingwa wa watoto
katika Hospitali ya Taifa
↧
Jeshi la Polisi lasema, Vijana 17 waliokamatwa jijini Arusha si Al shabaab bali ni watuhumiwa waliohusika na tukio la ulipuaji wa bomu
JESHI la Polisi nchini limekanusha kwamba watuhumiwa 14 waliokamatwa
na kufikishwa mahakamani mkoani Arusha hawahusiki na kundi la
Al-Shabaab kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapo
jana.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,
Mkurugezi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu, alisema
waliokamatwa ni watuhumiwa waliohusika na
↧
Profesa Peter Mutharika ashinda kinyang'anyiro cha Urais Nchini Malawi....Joyce Banda akamata nafasi ya tatu
Hatimaye Malawi imepata Rais mpya baada ya mivutano ya kisheria kwa wiki nzima. Mwandishi
wa BBC Baruan Muhuza amesema kutoka mjini Blantyre kuwa Profesa Peter
Mutharika ameshinda uchaguzi huo kwa kupata asilimia 36.4 ya kura zote
akifuatiwa na Dr Lazarus Chakwera mwenye asilimia 27.8 huku Rais
anayemaliza muda wake Dr Joyce Banda akishika nafasi ya tatu kwa
asilimia 20.2 na Atupele
↧
↧
Breaking News: Msanii Mwingine wa bongo muvi, George Tyson ambaye alikuwa ni mume wa Monalisa afariki dunia kwa ajali ya gari
NI pigo tena kwa tasnia ya Bongo Muvi, mwongozi filamu Bongo na aliyekuwa mume wa staa wa filamu Bongo, Yvonny Cherry 'Monalisa',
George Tyson amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari eneo
la Morogoro akitokea mkoani Dodoma.
Dj Choka ambae kwa sehemu kubwa alikua kwenye safari moja ya Dodoma na Marehemu George Tyson, ameandika kwenye blog yake kwamba Marehemu
↧
Picha: Mwili wa marehemu George Tyson ukitolewa hospitali ya mkoa Morogoro na kupelekwa Dar
↧
Picha ya Majeruhi aliyekuwa pamoja na marehem George Tyson wakati gari yao ilipopata ajali
↧
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam afariki dunia katika mazingira ya kutatanisha
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Happiness Sakabenga,
jana amefariki ghafla chumbani kwake baada ya kutoka kwenye vipindi vya
masomo asubuhi, chuoni hapo.
Mwanafunzi huyo wa mwaka wa pili
aliyekuwa akichukua Shahada ya kwanza ya Biashara na Uhasibu, baada ya
kutoka darasani alikwenda kupumzika na hakuamka tena.
Habari za ndani kutoka kwa marafiki zake zimeiambia
↧
↧
Ray C sasa ahitaji mpenzi mzee....Asema Mapenzi ya vijana yamempa majuto ya milele na kumdhalilisha mbele ya jamii
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesema
kwa sasa hana mpango wa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu, na kama
ikitokea basi atamtaka kuwa na miaka kuanzia 60.
Akizungumza katika kipindi cha ‘The Sporah Show’, Ray C alisema
anahitaji wanaume wa umri mkubwa, kwa kuwa wanajua wanachokifanya, na
kukiri kwamba vijana walichangia katika kurudisha nyuma maisha
↧
Audio: DJ Choka ailezea ajali ya gari alilokuwemo marehemu George Tyson na hali ya waliokuwa kwenye gari hilo
Jana usiku wadau wa filamu na vipindi vya TV walipatwa na mshituko
baada ya kupata taarifa kuwa muongozaji mahiri wa filamu na vipindi vya
runinga, George Tyson amefariki katika ajali ya gari.
DJ Choka alikuwa miongoni mwa watu waliokuwa kwenye msafara mmoja na
timu ya The Mboni Show na marehemu George walioelekea Dodoma kutoka Dar
es Salaam Alhamisi (May 29) na kurudi wote (May 30).
↧
Magazeti ya Leo Jumapili ya tarehe 1 June 2014
↧
More Pages to Explore .....