Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mpango Mkakati Wa Kitaifa Umeimarisha Wigo Wa Haki Za Binadamu

$
0
0
Na Ismail Ngayonga,MAELEZO
SERIKALI inao wajibu wa kulinda na kukuza Haki za Binadamu kama ilivyoelezwa na kufafanuliwa ndani ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Mikataba ya Kimataifa na Kikanda ya Haki za Binadamu na sheria mbalimbali za nchi.

Kwa kutimiza wajibu wa kulinda na kukuza Haki za Binadamu, Tanzania ni miongoni mwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa zilizoridhia mikataba mingi ya kimataifa inayohusu Haki za Binadamu.

Miongoni mwa mikataba hiyo ni pamoja na Tamko la Ulimwengu juu ya Haki za Binadamu la 1948, Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasa wa 1966, Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiuchumi, Kijamii na Kiutamaduni 1966, Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Watoto 1989, Mkataba wa Kimataifa wa Kuondoa aina zote za Ubaguzi wa mwaka 1965 n.k.

Aidha, pamoja na kuridhia mikataba hii, Serikali imekuwa ikiandaa ripoti mbalimbali za utekelezaji wa Haki za Binadamu ambazo zimekuwa zikiwasilishwa kwenye vyombo vya kimataifa kwa ajili ya kujadiliwa na kutolewa mapendekezo ya utekelezaji.

Katika kuhakikisha kuwa Tanzania inakuwa kinara wa kujali Haki za Binadamu, Serikali imeanzisha taasisi mbalimbali zinazoshughulikia masuala ya kulinda na kukuza haki nchini, ikiwemo Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora; Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi; Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); Bunge na Mahakama.

Serikali pia imejenga mazingira mazuri na kuruhusu taasisi zisizo za kiserikali kuanzishwa kwa lengo la kusaidia juhudi zake za kuimarisha Haki za Binadamu hapa nchini, ambapo hadi sasa kuna takribani mashirika 5,000 yasiyo ya kiserikali yanayojihusisha na utetezi wa Haki za Binadamu.

Ili kuboresha mazingira ya upatikanaji na utoaji wa Haki za Binadamu nchini, Serikali imeendelea kuweka misingi imara ya kuhakikisha kuwa wananchi wote hasa wale wa kawaida, wanapata msaada wa kisheria kwa kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo Kuanzisha mchakato wa kuwa na Sekretarieti ya Huduma za Kisheria.

Akiwasilisha Makadirio ya Hotuba ya Bajeti kwa mwaka 2018/19, Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi anasema  katika Mwaka wa Fedha 2017/2018 Wizara iliendelea kuimarisha na kusimamia haki za binadamu kama zilivyoainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria za nchi.

Anaongeza kuwa katika kipindi hicho, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali iliratibu maandalizi ya Rasimu ya Taarifa ya Nchi ya Utekelezaji wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Watu Wenye Ulemavu wa Mwaka 2009 na pia kutoa mafunzo kwa maafisa wa Serikali wakiwemo Mawakili wa Serikali kuhusu masuala ya haki za binadamu na biashara yaliyofanyika Bagamoyo, Pwani mwezi Agosti, 2017.

Prof. Kabudi anasema Serikali iliendelea kuiwezesha Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ili iweze kutekeleza majukumu yake ya msingi ya kufuatilia na kutoa ushauri kwa Serikali na taasisi zake kuhusu utekelezaji wa Haki za Binadamu na misingi ya utawala bora nchini.

Akifafanua zaidi anasema Kutokana na juhudi hizo za pamoja (kati ya Serikali na Tume), Tume imefanikiwa kupata Daraja la “A” baada ya kufanyiwa Tathmini na Mtandao wa Tume za Haki za Binadamu Duniani, ambapo mafanikio hayo kielelezo dhahiri kuwa nchi Serikali inaheshimu na kuzingatia haki za binadamu.

Kwa mujibu wa Prof. Kabudi anasema Serikali kupitia Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imeendelea kufuatilia haki za binadamu kwa watu walio katika makundi yenye mahitaji maalum, mahabusu na wafungwa; na kufanya uchunguzi wa malalamiko ya uvunjwaji wa haki za binadamu na ukiukwaji wa misingi ya utawala bora.

“Katika kipindi cha kuishia mwezi Machi, 2018, Tume ilifanya ukaguzi katika magereza 28 na vituo vya polisi 21 katika mikoa ya Ruvuma, Njombe, Geita, Kagera, Simiyu, Shinyanga, Morogoro na Dodoma na kukagua taasisi ya Isanga inayohifadhi wagonjwa wa maradhi ya akili ambao awali walishtakiwa kwa kutenda makosa ya jinai wakiwa na maradhi ya akili” anasema Prof Kabudi.

Waziri Kabudi anasema Tume pia ilishughulikia malalamiko ya uvunjifu wa haki za binadamu na ukiukwaji wa misingi ya utawala bora ambapo kufikia Machi, 2018 ilipokea malalamiko mapya 431 na kufanya jumla ya malalamiko kuwa 7,055, ambapo malalamiko 412 yamefanyiwa uchunguzi na kuhitimishwa na mengine 6,610 yanaendelea kuchunguzwa.

Anasema Tume pia ilifanya uchunguzi wa hadhara wa migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji; na wananchi na wawekezaji katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Singida na Manyara na kuwasilisha mapendekezo yake kwa taasisi zinazohusika na migogoro hiyo.

Prof Kabudi anasema  katika Mwaka wa Fedha 2017/2018, Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi ya upatikanaji wa huduma ya msaada wa kisheria nchini na kuandaa Kanuni za Sheria ya Msaada wa Kisheria zilizotangazwa katika Tangazo la Serikali Na. 44 la tarehe 9 Februari, 2018 na kufanya uteuzi wa Msajili wa Watoa Huduma ya Msaada wa Kisheria.

“Wizara kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais, TAMISEMI imekamilisha uteuzi wa Wasajili Wasaidizi wa watoa huduma ya msaada wa kisheria ngazi ya mikoa na wilaya Tanzania Bara. Mafunzo kwa ajili ya Wasajili hao yameanza kutolewa mwezi Aprili, 2018 ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi” anasema Prof Kabudi.

Usimamizi wa Haki za Binadamu na ujenzi wa Maadili mema ndani ya jamii yetu, ni jukumu la kila mmoja wetu, kila mmoja  kwa namna moja au nyingine anawajibu wa kulinda, kuheshimu na kudumisha Haki za Binadamu.

Jeshi la Polisi Mwanza Lazungumzia Tukio la 'Kutekwa' Mkuu wa Chuo cha Nyakato Islamic Institute, Sheikh Bashir Gora

$
0
0
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jonathan Shanna ameeleza juu ya tukio la kupotea kwa Mkuu wa Chuo  cha Nyakato Islamic Institute kilichopo chini ya Taasisi ya Elimu ya The Registered Trustees of Islamic, Sheikh Bashir Gora na kudai jeshi linaendelea kumtafuta.

Kamanda Shanna amesema ni kweli wamepokea taarifa za kupotea kwa Sheikh huyo hivyo ameagiza kufungwa kwa mipaka yote ya Mkoa wa Mwanza ili kuhakikisha kiongozi huyo anapatikana mapema iwezekanavyo.

"Ni kweli tumezipata taarifa za kupotea kwake, lakini unajua mtu akipotea huwezi kujua tatizo ni nini, na hatujui kwanini hapatikani na tumemtafuta kila mahali hapatikani, tumeshafunga mitambo yetu kwenye maeneo yetu yote."

Akizungumza hivi karibuni, Katibu wa Bodi wa taasisi hiyo, Sadik Mchola alisema tukio hilo lilitokea Disemba 6 chuoni hapo ambapo alikuja kijana mmoja kuulizia nafasi za kujiunga na chuo kwaajili ya mdogo wake.

“Kijana huyo alitukuta ofisini, Sheikh akamwambia aje Januari mwakani atapewa utaratibu, kijana aliondoka lakini baada ya muda kidogo akarudi tena kuulizia malipo, Sheikh akamwambia Januari ndiyo tutakueleza kila kitu, akaondoka."

“Baada ya hapo wakawa wanazungumza na Sheikh huku anamsindikiza kumbe walikuwa wameegesha gari yao nyuma ya chuo walipoikaribia, alitoka kijana mwingine kwenye gari hiyo wakambeba Sheikh na kumuingiza ndani kisha gari likaondoka kwa speed (mwendo) mkali,” alisimulia.

Makanga 3 Power, Dawa Bora Za Nguvu Za Kiume .

$
0
0
Kutibu nguvu za kiume dakika(10) na kupona muda wa siku tatu tuu. Kuimarisha misuli ya uume uliolegea, pia ipo Dawa ya kurefusha uume mfupi inchi NNE hadi saba na kunenepesha uume mfupi sentimita NNE.
 
Tiba ya kudumu kutibu maumivu ya mgongo,kiuno, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, kupata choo vizuri, na kutibu uzazi, kutibu busha bila operesheni, kisukari, presha ,miguu kuuma, uzazi, fangas sugu, vidonda vya tumbo.
 
Ni docta bingwa wa kutibu magonjwa sugu, kutoa ndagu za utajiri kwa kutumia Pete, kazi ,cheni, mikufu maalumu ya bahati, una kesi umedhulumiwa Mali au pesa? Zitarudi muda wa Masaa matatu tuu.
 
Onana na Dr SHILINDE,  shida zako zote zitakwisha, anatoa Dawa za utajiri kwa wafanyakazi, wakulima, na wafugaji, wafanyabiashara na wachimba madini kwa kutumia pete, kazi kwa yeyote anaetaka kuwa na pesa nyingi.
 
Pia tunatoa Dawa kumrudisha Mume, mke, mpenzi, hawara, kwa muda wa SAA moja tuu, na kuomba msamaha kwa kukupigia magoti na yeyote yule. Kupunguza unene, kupunguza matiti makubwa, tumbo na nyama uzembe muda wa siku sita unapata saizi uipendayo.
 
Kutoa makovu mwilini, chunusi, upele na mabaka, pia tunayo Dawa ya kuongeza hipsi, makalio, mguu wa bia na kupata shepu safi kwa muda wa siku saba tuu.

Anapatikana Dar es Salaam maeneo ya Buguruni Sheli. 
 
Mawasiliano: 0784460348 au  0657 314701

Wa mikoani mtapata huduma popote mlipo.

TTCL yasaini na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote kupeleka huduma vijijini Katika Kara 173

$
0
0
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe ameshuhudia hafla ya utiaji saini baina ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na kampuni nne za simu za mkononi ambazo zimepatiwa ruzuku na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya shilingi bilioni 173 ya kupeleka huduma za mawasiliano vijijini kwenye kata 173  zilizopo kwenye maeneo mbali mbali nchi nzima.

 Kampuni nne zilizosaini mkataba na UCSAF ya kupeleka mawasiliano ni Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Kampuni ya Vodacom Tanzania, Kampuni ya Viettel Tanzania (Halotel) na Kampuni ya MIC Tanzania (TIGO).

Wakati akishuhudia utiaji saini huo, Mhandisi Kamwelwe amesema kuwa dunia hivi sasa iko kiganjani ambapo kila mwananchi anatakiwa apate mawasiliano ya uhakika kama ambavyo Ilani ya Chama cha Mapinduzi inavyotutaka tuhakikishe tunawapatia watanzania wote huduma za mawasiliano

“Tumekubaliana na Shirika la Posta Tanzania (TPC) kuwa waanze kutoa huduma za kifedha na watumie huduma za Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) ili mawasiliano yaweze kufika vijijini kwa kuwa TPC na TTCL ni taasisi kongwe na wana mtandao mpana wa ofisi zao nchi nzima”, amesema Kamwelwe.

Ameongeza kuwa kampuni za simu za mkononi zililenga zaidi kutoa huduma za mawasiliano mijini ila Serikali ikaone ni muhimu ianzishe Mfuko wa UCSAF ili ipeleke mawasiliano kwa wananchi wote vijijini na kwenye maeneo ambayo hayana mvuto wa kibiashara 

“Sasa tuna TTCL, lengo ni kuhakikisha  kuwa TTCL inaenda kila kona kwa kuwa hizi fedha za ruzuku tunazowapa kampuni za simu za mkononi ni za walipa kodi,” amefafanua Kamwelwe. Amesema kuwa tunataka wajenge minara ya simu za mkononi kwenye maeneo yaliyoainishwa kwa kuwa yale ni maeneo ya ndani kabisa  ili kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2020 kusiwe na mwananchi ambaye hapati mawasiliano

Naye Mtendaji Mkuu wa UCSAF Mhandisi Peter Ulanga amesema kuwa kampuni nne za mawasiliano za simu za mkononi zimeshinda zabuni ya Awamu ya Tatu ya kupeleka mawasiliano kwenye kata 178 kwa gharama ya shilingi bilioni 28. Mhandisi Ulanga ameongeza kuwa hadi hivi sasa UCSAF imepeleka mawasiliano kwenye jumla ya kata 703 nchi nzima kwa kujumuisha awamu za awali za mradi

Amefafanua kuwa UCSAF imefikisha huduma za mawasiliano kwa wananchi walio wengi ambao awali hawakuwahi kuwa na huduma hiyo muhimu ambapo imeboresha maisha ya wananchi kupitia TEHAMA

Akizungumza bada ya kusaini mkataba huo, mkurugenzi Mkuu wa TTCL Waziri Waziri Kindamba amesema kuwa TTCL itapeleka mawasiliano kwenye kata 60 katika mradi wa awamu hii ya tatu ambapo jumla ya vijiji 141 vitanufaika na mradi huu wa TTCL ambapo jumla ya wanakijiji wasiopungua laki sita watanufaika. Ameongeza kuwa TTCL tutatekeleza mkataba huu kwa kasi na kwa viwango  kama ambavyo Sheria iliyoanzisha TTCL inatutaka kupeleka mawasiliano kwa watanzania. “Tumejipanga kuhakikisha kuwa kila kona wananchi wanapata mawasiliano,” amesisitiza Kindamba

Nchi Zilizoendelea Zatakiwa Kutimiza Wajibu wa Kutoa Michango ya Fedha Ili Kukabiliana na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi

$
0
0
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima amezitaka nchi zilizoendelea kutimiza wajibu wao wa kutoa michango ya fedha na kuwezesha upatikanaji wa teknolojia za kisasa kwa nchi zinazoendelea kwa ajili ya kutekeleza miradi ya kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya Tabianchi kwa mujibu wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi pamoja na Makubaliano ya Paris.       

Akihutubia Mkutano wa 24 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi unaoendeleo Nchini Poland Mhe. Sima ameeleza kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoathirika zaidi na athari za mabadiliko ya tabianchi duniani, ikiwa ni pamoja na kuathiriwa na ukame, mafuriko na kuongezeka kwa ujazo wa bahari, jambo ambalo huathiri zaidi wakazi wa mwambao wa bahari pamoja na shughuli zao za kiuchumi ambazo ni msingi wa maisha yao.

Mhe. Sima amesema kuwa athari hizo zimethibitishwa pia katika taarifa maalumu ya kisayansi iliyotolewa na Jopo la Kimataifa la Wataalamu wa Mabadiliko ya Tabianchi kuhusu athari zitakazojitokeza iwapo joto la dunia litaongezeka zaidi ya nyuzijoto 1.5 (1.50C). “Kwa sasa joto la dunia limeongezeka kwa nyuzijoto 0.85 kulinganisha na kipindi kabla ya mapinduzi ya viwanda, natoa rai kwa jumuia ya kimataifa kuchukua hatua za haraka na za makusudi kukabiliana na changamoto hii” Sima alisisitiza.

Katika Hotuba yake Naibu Waziri ameeleza juhudi za Tanzania katika kukabiliana na changamoto hizi ambazo zinaendana na mpango wa maendeleo wa Taifa ikiwa ni pamoja na ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), Mfumo wa usafiri wa mwendo kasi katika jiji la Dar es Salaam, ujenzi wa barabara za juu (flyovers and interchange) na ujenzi wa bwawa la umeme wa maji katika mto Rufiji ambao unatarajiwa kuzalisha umeme kiasi cha MW 2,115.

Mhe. Sima amesema kuwa nishati ya umeme ambayo ni salama kimazingira itasaidia katika ukuaji wa uchumi wa viwanda, undeshaji wa treni za umeme na kurahisisha upatikanaji wa nishati ya uhakika kwa matumizi ya majumbani na kusisitiza kuwa kuwa hizi ni hatua muhimu katika kusaidia kupunguza uzalishaji wa gesijoto zinazochangia ongezeko la joto duniani.

Mhe. Mussa Sima yuko nchini Poland akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano huu ulioanza tangu tarehe 2 Desemba 2018 na utamalizika tarehe 14 Desemba, 2018.

PICHA: Rais Magufuli Akutana Na Kufanya Mazungumzo Na Wakuu Wa Mikoa Pamoja Na Makatibu Tawala Wa Mikoa Ikulu Jijini Dar Es Salaam

$
0
0
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika kikao kilichowahusisha Wakuu wote wa Mikoa pamoja na Makatibu Tawala wa Mikoa. 

Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Adelardus Kilangi, baadhi ya Mawaziri pamoja na Makatibu Wakuu wa baadhi ya Wizara, Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Adelardus Kilangi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Mkuchika, Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo pamoja na Wakuu wa Mikoa yote mara baada ya kikao chao pamoja na Makatibu Tawala kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Badilisha Simu Yako na TECNO Camon 11 Mpya

$
0
0
TECNO, miongoni mwa kampuni bora za simu ulimwenguni imezindua rasmi TECNO camon 11 ikiwa ni  mwendelezo wa toleo la simu za TECNO camon. 

Simu za TECNO camon zimekuwa zenye ushawishi  mkubwa sana kutokana na uwezo wa kamera na muonekano wake kwa ujumla, na katika uzinduzi huo  TECNO ilitoa tamko rasmi kuhusiana na zoezi la ubadilishaji wa simu za camon kwa camon 11 mpya  ikiwa imeambatana na ofa ya GB 15 kwa miezi mitatu bure kutoka Vodacom Plc. 

Akiwa anazungumza na vyombo vya habari afisa wa mahusiano wa kampuni ya simu ya TECNO Bwana  Eric Mkomoya alisema, “TECNO camon 11 ni simu ya kwanza ya TECNO kuwa na teknolojia ya AI kwenye  kamera za pande zote mbili zenye kubeba pixel 16 mbele na 13+2 nyuma, na kioo chenye notch.  


Na muonekano wa nje wa TECNO camon 11 unaofahamika kama ‘diamond fire design’ unaifanya camon  11 kuwa simu yenye kuvutia zaidi kati ya zote. Na japokuwa ni simu ya kwanza kuzalishwa na kampuni  ya TECNO yenye teknolojia mpya katika kioo inayofahamika kama ‘notch’ lakini bado TECNO  imehakikisha inaongeza mvuto katika simu hiyo kwa umbo jembamba lenye upana wa nchi 6.2HD+ na  uwiano wa 19:9”.
Mteja akibadilisha simu ya camon x kwa camon 11 katika duka la TECNO Smart Hub Kariakoo. 
 
Alimaliza kwa kusema, “zoezi zima la ubadilishaji wa simu za TECNO camon (camon cx, camon cx air,   camon cm, camon x na x pro) linafanyika katika mikoa sita katika maduka ya TECNO yenye promosheni  ambayo ni TECNO exclusive Bus Terminal, TECNO Triple B, TECNO Exclusive CCM Babadi Arusha shop,  TECNO Exclusive China Plaza Smart Hub, TECNO Exclusive Mlimani City Smart Hub, TECNO Exclusive 
Samora Smart Hub, TECNO Exclusive Pablo Dodoma, TECNO Exclusive Mbeya Muna Shop, TECNO  Exclusive Jambo Mwanza Shop na TECNO Exclusive Tabora Shop”. 


Ofa hii ya ubadilishaji wa simu za camon kwa camon 11 litakuhitaji kufika kati ya maduka hapo juu ukiwa  na simu ya TECNO camon na mshiko kidogo ili uweze kupatiwa camon 11 mpya na ofa ya GB 15 kuanzia  sasa hadi tarehe 30 ya mwezi huu wa sikukuu za Christmas. 


Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea kurasa zetu katika mitandao ya kijamii.  


https://web.facebook.com/TECNOMobileTanzania/ 
https://www.instagram.com/tecnomobiletanzania/
https://bit.ly/2rm0qF1

Kesi ya Zitto Kabwe Kuchukua Mashahidi 15

$
0
0
Mashahidi 15 kutokea Upande wa Mashtaka wanatarajiwa kutoa ushahidi wao katika kesi ya uchochezi inayomkabili mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe.

Hayo yameelezwa na Wakili Serikali, Wankyo Simon mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi baada ya kumaliza kumsomea Zitto maelezo ya awali (Ph).

Akisoma Maelezo ya awali ya kesi hiyo, Wankyo amedai Oktoba 28, 2018 mshtakiwa akiwa katika mkutano na waandishi wa habari, uliofanyika katika Makao Mkuu ya Ofisi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Kijitonyama jijini Dar es Salaam alitoa maneno ya uchochezi yenye kuleta hisia ya hofu na chuki.

Amesema kuwa Zitto alianza kwa kudai kuwa, anamnukuu…. “Watu ambao walikuwa ni majeruni katika tukio la mapambano baina ya wananchi na polisi wakiwa wamekwenda kupata matibabu katika kituo cha Afya Nguruka, polisi wakapata taarifa kuwa kuna watu wanne wamekwenda kituo cha afya Nguruka kupata matibabu wakawafuata kule wakawaua.” Mwisho wa Kunukuu.

Wankyo amedai kuwa maneno hayo sio tu yalichochea chuki lakini pia yalitengeneza uhasama kwenye mamlaka halali na kusababisha mijadala miongoni mwa makundi mbali mbali katika jamii na kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa ujumla.

Wankyo amesema Zitto alikamatwa Oktoba 30, mwaka huu akiwa nyumbani kwake Masaki, Dar na kuwekwa mahabausu ya polisi na pia nakala ya taarifa ya vyombo vya habari polisi wali ikuchukua baada ya kuwa Zitto amekamatwa. Baada ya Saimon kumaliza kumsomea maelezo hayo, Zitto alikubali majina yake, alikubali kuwa yeye ni Mbunge na pia alikubali kuwa alikamatwa nyumbani kwake Masaki.

Hata hivyo alikataa kuwa yeye si Mwenyekiti wa ACT Wazalendo na nakala ya taarifa hiyo haikukutwa nyumbani kwake wakati anakamatwa. Pia, Zitto aliyakana maelezo mengine yote aliyosomewa mahakamani hapo.  Kesi imeahirishwa hadi Januari14, 2019 kwa ajili ya kutajwa na itaendelea kusikilizwa Januari 29, 2019.

Kura ya kutokuwa na imani na Theresa May Yashindwa Kuzaa Matunda

$
0
0
Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ameshinda kura za wa-Conservative 200 dhidi ya 117 katika bunge la uingereza na sasa ataendelea na wadhifa wake

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amenusurika kura ya kutokuwa na Imani naye na hivyo kuendelea na wadhifa wake na kuzuia changamoto nyingine kwa uongozi kwa mwaka mmoja. May ameshinda kura za wa-Conservative 200 dhidi ya 117 katika bunge la uingereza jana Jumatano.

Katika mkutano wa faragha na wabunge wa-Conservative kabla ya kura kuanza, May alisema atajiuzulu kama kiongozi wa Uingereza kabla ya uchaguzi uliotarajiwa kufanyika 2022 hatua ambayo huwenda imemsaidia kupata uungaji mkono wa baadhi ya wabunge ambao walikuwa hawajafanya maamuzi wakati wanakwenda kupiga kura ya siri. Tangazo la May la kutowania kuchaguliwa tena lilithibitishwa na waziri katika baraza la mawaziri, Amber Rudd na wabunge wa-conservative Alec Shelbrooke na Robert Buckland.

Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Labor Party, Ian Lavery alieleza katika taarifa kwamba ‘mapungufu na kushindwa kwa May kumezuia kabisa serikali kusonga mbele katika wakati huu muhimu kwa nchi”.

Bado haijafahamika kama kura itamsaidia May kupata uungaji mkono anaouhitaji sana kwenye makubaliano ya Brexit ambayo anafanya majadiliano nao.

Uingereza inatarajia kujitoa kutoka Umoja wa Ulaya Machi 29 mwakani, ikiwa ni matokeo ya kura ya maoni ya mwaka 2016. Pande hizo mbili zilifanya kazi misingi ya kuachana baada ya mashauriano marefu, lakini lazima yaidhinishwe na bunge la Uingereza. Mapema wiki hii, May aliakhirisha upigaji kura uliopangwa ambao ulionekana ungefeli.
 
May amekuwa akijaribu mara kwa mara kuokoa mkataba kupitia mazungumzo na viongozi wa ulaya. Lakini maafisa wa EU wamekuwa thabiti kuhusu kutokuwa na hamu ya kufanya tena mashauriano kwa misingi hiyo.

Rais wa baraza la Umoja wa ulaya, Donald Tusk alisema baada ya kile alichokiita “mazungumzo marefu na ya wazi” na May siku ya Jumanne kwamba ni Dhahiri wanachama wengine wa EU wanataka kusaidia kutatua hali hii lakini “swali linakuja kwa njia ipi?”

Tusk ameitisha mkutano na viongozi wa EU hivi leo Alhamisi kuzungumzia Brexit ikiwemo uwezekano kwamba Machi 29 itafika na hakuna makubaliano yaliopo.

Mahakama Yamwachia Huru mfanyabiashara Gulamali

$
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Singida imetupilia mbali kesi ya rushwa iliyokuwa ikimkabili mfanyabiashara, Haider Hussein Gulamali baada ya kutokuwa na kesi ya kujibu.

Uamuzi huo umetolewa jana na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Consolata Singano ambapo amesema amezingatia ushahidi wa mashahidi 9 wa upande wa Jamuhuri waliofika mahakamani hapo ambapo hakuna ushahidi unaomgusa Gulamali moja kwa moja.

Katika kesi hiyo ambapo Mawakili wa Gulamali alikuwa Godfrey Wasonga, Hakimu Singano amesema moja ya sababu ni kutofautiana kwa mashahidi watatu kuhusu bahasha iliyobeba fedha.

Amesema katika ushahidi wao kila shahidi ametaja rangi tofauti ambapo mmoja ametaja Kaki, mwingine nyeupe, huku wa mwisho akitaja Brown jambo ambalo mahakama imeshindwa kuelewa bahasha ipi ilibeba fedha.

Pia amesema hata hatua za ukamataji hazikuanishwa vizuri kwani hakuna mahali iliyoonyesha Pesa ziliwahi kutaifishwa hadi zilipofikishwa mahakamani, pia namna zilivyotunzwa mpaka kufikishwa kama ushahidi.

Kutokana na hatua hiyo, Hakimu Singano amesema anatupilia mbali kesi hiyo na kumfanya Gulamali ambaye alikuwa ni mgombea wa ubunge wa (CCM) Singida Kaskazini kuwa huru.

Katika kesi hiyo, miongoni mwa mashahidi hao ni Ofisa Usalama mkoa wa Singida, Kiseo Nzowa anayedaiwa kupewa rushwa hiyo ambapo amedai anafanya kazi kwa mujibu wa sheria.

Shahidi huyo amedai kuwa Gulamali alimpa Sh.Mil 2 ili amsaidie kupitisha jina lake kwenye kinyang’anyiro cha ubunge Singida Kaskazini na kwamba yeye hakuwa Mjumbe Kamati ya Siasa Wilaya.

Mabehewa TRL Yapandisha Vigogo 18 Kizimbani

$
0
0
Aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) sasa TRC, Kipallo Kisamfu na wenzake 17 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka 15 ya matumizi mabaya ya madaraka.

Kisamfu na wenzake ambao ni wahandisi na mameneja walipandishwa kizimbani jana Jumatano Desemba12, 2018 kwa kuingia mikataba ya zabuni ya ununuzi wa vichwa vya treni na kuipa zabuni hiyo kampuni ya Hindusthan Engineering and Industries Limited

Hayo yalielezwa na mwendesha mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Maghela Ndimbo mbele ya HakimuMkazi Mkuu, Wilbroad Mashauri

Mbali na Kisamfu washtakiwa wengine ni Gilbert Alfred Minja ambaye alisomewa mashtaka bila kuwepo mahakamani pamoja na Paschal John Mafikiri (Kaimu mhandisi mitambo mkuu).

Wengine ni Anthony Emmanuel Munishi (meneja usambazaji) Charles Ndenge (kaimu meneja wa usafirishaji), Ferdinand Soka (kaimu meneja msaidizi wa usambazaji), Muungano Kaupunda (kaimu mkuu wa kitengo cha ufundi).

Joseph Syaizyagi, Kedmond Mapunda, Lowland Simtengu, Ngoso Ngosomwile, Yonah Shija, Malumbo Malumbo, Stephan Kavombwe, Donatus Bandebe, John Charles na Ally Mwangila.

Katika shtaka la kwanza dhidi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TRL,  Kipallo Kisamfu inadaiwa Machi 21 mwaka 2013 huko katika makao makuu ya kampuni hiyo, alitumia madaraka yake vibaya kwa kusaini mkataba wa zabuni kwa Kampuni ya Hindusthan Engeering and Industries Limited bila kuhakiki  mkataba huo utatekelezeka kwa kuzingatia masharti ya mkataba.

Aidha imedaiwa, Kaimu Mhandisi Mkuu wa Ufundi, Paschal Mafikiri, anadaiwa kati ya Februari 21 na Agosti 15 mwaka 2013  alishindwa kutoa taarifa ya mkataba wa zabuni wa kampuni hiyo na kusababisha Kampuni hiyo ijipatie manufaa.

Pia inadaiwa, Mafikiri aliidhinisha michoro 274 ya mabehewa ya mizigo kwa Kampuni ya Hindusthan kinyume na mkataba wa zabuni.

Mshtakiwa huyo pia anadaiwa kwamba kinyume na mkataba aliidhinisha michoro ya mabehewa iliyoandaliwa na Kampuni ya Hindusthan.

Aidha mshtakiwa Kaupunda, kiwa Kaimu Mhandisi wa Ufundi na Mkuu wa Idara anadaiwa  Kuidhinisha mchoro wa mabehewa na mafuta iliyoandaliwa na kampuni hiyo.

Pia,  washtakiwa, Kaupunda, Syaizyagi, Mapunda na Simtengu  wanadaiwa kati ya Januari 10 na Februari 20 wakiwa waajiriwa wa TRL kwa nafasi zao za Mhandisi Mkuu wa Ufundi, Mchoraji Mkuu na Msaidizi Mkuu wa Meneja wa Usafirishaji wa Reli na wote wajumbe Kamati ya uthamini walitumia madaraka vibaya kwa kushindwa kufanya uchambuzi za zabuni.

Shtaka la saba kwa mshtakiwa Munishi , Meneja Mkuu wa Usambazaji, anadaiwa kuidhinisha usambazaji wa mabehewa 274 Febriaro11,2013 bila kuwasilisha ripoti hiyo kwenye bodi ya zabuni .

Washtakiwa Minja, Mafikiri, Massae,  Munishi na Ndenge, wanadaiwa Februari 20,2013 kwa kutumia madaraka yao vibaya waliidhinisha mapendekezo ya kamati ya uthamini katika mkataba wa Kampuni ya Hindusthan kusambaza mabehewa 274 .

Aidha,  mshtakiwa Ngosomwiles, anadaiwa Aprili 10 mwaka 2014 huko Katika maeneo ya karakana ya Tiljala India akiwa Kaimu Mhandisi Mkuu wa Ufundi alitumia madaraka vibaya kwa kuidhinisha uzalishaji wa mabehewa 50 bila kufuata masharti

Wakili Ndimbo amedai mshtakiwa Shija na Malumbo, wanashtakiwa kwamba Julai 16,2014 waliidhinisha Kampuni ya Hindusthan kuzalisha mabehewa 174 ya mizigo na shtaka la 11 linamkabili  Kavombwe na Bandebe wanadaiwa Septemba 4,2014 huko Santragachi India waliidhinisha kampuni hiyo kuzalisha mabehewa 50 ya matanki ya mafuta Shija na Malumbo wanadaiwa Julai 17,2014 waliidhinisha kusafirishwa kwa mabehewa 50, Pia mshtakiwa Kavombwe na Bandebe wanadaiwa kuidhinisha kusafirishwa kwa mabehewa 174 kuingia nchini bila kufuata masharti ya mkataba .

Pia washtakiwa Charles na Mwangila wanadaiwa kati ya Aprili 26 na 27 mwaka 2015 walitumia vibaya kwa kuidhinisha Kampuni ya Hindusthan kuingiza nchini mabehewa 50 ya mafuta na 27 ya mizigo bila kuwa na uhakika kwamba mkataba utatekelezeka .

Washtakiwa wote walikana mashtaka yao na wako nje kwa dhamana hadi Januari 18 kesi itakapotajwa. Kwa mujibu wa upande wa mashtaka upelekezi katika kesi hiyo bado haujakamilika

Ofa! Sale! Tumeshusha tena bei za Viwanja: Bunju na Mapinga

$
0
0
Ofa! Sale! Tumeshusha tena bei za Viwanja: Bunju na Mapinga

Kwa msimu huu wa sikukuu, tumeshusha sana bei za viwanja kwa Bunju na Mapinga ili kila Mtanzania mwenye uhitaji wa Ardhi (Kiwanja) apate kulipia haraka na kumilikishwa kiwanja chake. Ofa hii inaanza leo mpaka tarehe 30 dec

Kwa Mapinga vipo viwanja vifuatavyo:
sqm 400 (mita 20/20) kwa bei ya tsh 4,000,000/=
sqm 450 (mita 15/30) kwa bei ya tsh 4,500,000/=
sqm 800 (mita 20/40) kwa bei ya tsh 8,000,000/=
sqm 1120 (mita 32/35) kwa bei ya tsh 11,200,000/=
sqm 1364 (mita 35/38) kwa bei ya tsh 13, 640,000/=
sqm 1600 (mita 40/40) kwa bei ya tsh 16,000,000/=
sqm 1900 (mita 42/45) kwa bei ya tsh 19,000,000/=
sqm 2400 (mita 40/60) kwa bei ya tsh 28,000,000/=
sqm 3000 (mita 50/60) kwa bei ya tsh 34,000,000/=
Viwanja hivi viko umbali wa km 3 tu kutoka main road (Bagamoyo Road)

Kwa Bunju vipo viwanja 2 tu kama ifuatavyo:
sqm 600 kwa bei ya tsh 18,000,000/=
sqm 1700 kwa bei ya tsh 51,000,000/=
Viwanja hivi viko umbali wa km 1 tu kutoka main road (Bagamoyo Road)

Biashara hii haina dalali, mpigie mhusika: 0758603077, whatsap 0757489709

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa ya Disemba 14

Video Mpya: Cheed ft. K-2GA & Alikiba - Masozy

$
0
0
Msanii kutokea Kings Music, Cheed ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Masozy ambao amemshirikisha  K - 2GA na Alikiba. Itazame hapo chini

Video : Dudu Baya X Rayvanny - KONKI

$
0
0
Video : Dudu Baya X Rayvanny - KONKI

Serikali Kuzishushia Rungu Taasisi Zisizojiunga Na Mfumo wa Kielektroniki wa Ukusanyaji wa Mapato ya Serikali

$
0
0
Na. Josephine Majura na Peter Haule WFM, Dodoma
Serikali imezitaka taasisi zote ambazo bado hazijajiunga na Mfumo wa Kielektroniki wa Ukusanyaji wa Mapato ya Serikali (GePG) kuhakikisha wamejiunga na mfumo huo kabla ya  Juni 30, 2019.

Agizo hilo limetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatib Kazungu, kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Doto James, wakati wa Mkutano wa mwaka wa  wadau wa utumiaji wa mfumo wa GePG Jijini Dodoma. 

Dkt. Kazungu, alisema kuwa hakutokuwa na fedha yoyote ya umma itakayokusanywa nje ya Mfumo wa GePG, hivyo wakati mwafaka wa kujiunga na kuunganishwa  na mfumo huo ni sasa.

“Napenda kusisitiza kuwa, ni lazima kutumia mfumo huu kwa kuwa unaongeza ufanisi na uwazi katika ukusanyaji wa Fedha za Umma na pia utaratibu wa matumizi ya  GePG unatoa fursa ya kuwa na njia nyingi za kulipia na kuwapa walipaji wa huduma za Serikali utaratibu rafiki wa kufanya malipo”, alieleza Dkt. Kazungu.

Utaratibu wa makusanyo kabla ya mfumo wa GePG haukua rafiki kwa kuwa ilikuwa ni vigumu kuthibitisha malipo na pia  kuwa na foleni ndefu kwenye Ofisi za Serikali zilizosababishwa na zoezi la kufanyiwa tathmini ya malipo ya huduma na kuthibitisha malipo.

Alisema ili kukabiliana na changamoto hizo katika ukusanyaji wa Fedha za Umma, Juni 2017, Serikali iliifanyia marekebisho Sheria ya Fedha za Umma (PFA) ya mwaka 2001 na kuongeza kipengele kinachotaka Fedha zote za umma zikusanywe kupitia Mfumo wa Government e-Payment Gateway (GePG).

Lengo la kuanzishwa kwa GePG ni kutatua changamoto zilizopo kwenye Mfumo uliokuwepo wa ukusanyanji wa fedha za umma ili kuongeza uwazi na udhibiti wa fedha za umma, kuboresha na kurahisisha namna ya kulipia huduma za umma na pia kupunguza gharama zinazoambatana na ukusanyaji wa fedha hizo ambapo mfumo huo ulianza kutumiwa rasmi na taasisi za umma mwezi Julai 2017 baada ya majaribio yake kukamilika.

Alisema kuwa utaratibu GePG unaenda sambamba na utekelezaji wa maelekezo mengine ya Serikali yanayohusu makusanyo ikiwemo yale yanayotaka akaunti kuu za makusanyo za taasisi za umma kuwepo Benki Kuu ya Tanzania (BoT), hivyo ni lazima kuhakikisha akaunti za Taasisi za ummaa za makusanyo zilizoko Benki Kuu zimewasilishwa kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha na mipango ili ziunganishwe na GePG.

Mpaka sasa takribani Benki kumi na moja (11) na mitandao sita(6) ya malipo kwa njia ya simu za kiganjani zimeshaunganishwa na mfumo huo.

Dkt. Kazungu alisema kuwa ni vyema taasisi za Serikali kuwa na akaunti za makusanyo kwenye benki zaidi ya moja kati ya benki zilizoungwa na GePG ili kuwarahisishia walipaji wa huduma za serikali kwa kuwa malipo yote yanayopitia GePG hayatozwi ada za miamala na benki hizo, hivyo kuongeza akaunti za makusanyo hakutoongeza gharama za miamala kwa taasisi za umma.

Alibainisha kuwa kutekelezwa kwa rai hiyo kutaondoa hatari ya taasisi ya umma kukosa huduma ya malipo endapo benki inayotumiwa itashindwa kutoa huduma kwa sababu mbalimbali ikiwemo kuvunja makubaliano ya namna ya kuzihudumia akaunti zilizounganishwa kwenye mfumo wa

Naibu Katibu Mkuu Kazungu amewataka wajumbe wa mkutano huo kuwa chachu katika kuboresha utendaji kwa vitendo kwa kutoa huduma nzuri kwa wananchi zinazohusisha ukusanyaji wa Fedha za Umma katika maeneo yao ya kazi baada ya kumalizika kwa mkutano huo.

Kwa upande wake Mkurungezi wa Mifumo ya Fedha wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. John Sausi, alisema kuwa mfumo huo umekuwa na tija tangu ulipoanzishwa kwa kuwa Serikali kupitia Wizara ya Fedha inaweza kuona makusanyo yote yanayoingia hivyo kuongeza ufanisi wa upatikanaji wa mapato, uwajibikaji na uwazi.

Alisema kuwa, jumla ya Taasisi 326 zimeunganishwa na Mfumo wa GePG na miongoni  mwa Taasisi hizo ni Wakala wa Misitu, Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)

Amezitaja changamoto za Mfumo huo kuwa ni pamoja na Benki 11 tu ndizo zinazotumia mfumo huo kati ya Benki zaidi ya 50, hivyo kuleta mkanganyiko kwa wadau wanaotumia  mfumo huo.

Mkutano wa wadau wote wanaotumia Mfumo wa GePG ni wa kwanza kufanyika nchini ukiwa na lengo la kubaini na kutatua changamoto za mfumo huo tangu ulipoanzishwa.

Stendi Mpya ya Mabasi ya Mikoani Dar Hatarini Kuota Mbawa.....Waziri Atoa Siku 6

$
0
0
Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Seleman Jafo ametoa siku sita  kupata taarifa ya kina kuhusu mradi wa kituo cha mabasi cha Mbezi Luis.

Jafo aliyasema hayo jana akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa ofisi yake Magogoni Jijini Dar es Salaam na kudai kuwa iwapo hatopata maelezo ya kina, basi fedha za mradi huo zitapelekwa kwenye halmashauri nyingine ili zifanye shuguli nyingine za maendeleo.

Alisema mradi huo wa kituo cha mabasi cha Mbezi Luis umetengewa fedha nyingi ambayo ni Sh bilioni 50.9 lakini anashangazwa hadi sasa unasuasua.

“Seriakali imetenga jumla ya Shilingi bilioni 105 kwa ajili ya ujenzi wa hospitali 67 za Wilaya na shilingi bilioni 50.9 za ujenzi wa kituo cha mabasi cha Mbezi Luis.

“Dar es Salaam ni mkoa ambao umenufaika zaidi na fedha za mradi lakini mpaka sasa inasikitisha kituo cha mabasi cha Mbezi Luis kinasuausa.

Awali mradi huo ulipangwa kuanza Julai mwaka 2017 lakini mpaka sasa haujaanza kitendo ambacho kimemlazimu Waziri Jafo kutoa siku sita kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kumpa maelezo ya kina ya ujenzi wa kituo hicho.

“Ukiachia machinjio ya kisasa Vingunguti,  ujenzi wa soko la Kisutu, soko la Mburahati, soko la Magomeni kuna mradi mkubwa wa  Stendi ya Mabasi ya Mbezi Luisi.

“Bahati mbaya nimetoa maelekezo katika vipindi mbali mbali miradi hii itekelezwe ndani ya muda, lakini nasikitika hatujaridhishwa na spidi ya mradi wa mabasi ya Mbezi Luisi na una fedha nyingi zaidi.

“Natoa maelekezo mpaka Jumatano wiki ijayo tarehe 19, nipate taarifa ya mwenendo wa mradi wamefikia wapi na mkandarasi anaanza vipi kazi, na kama maelekezo haya nikiona yanasuasua, tutaziondoa fedha hizo za mradi na  kupeleka kwenye Halmashauri nyingine, hii naweka wazi.

Wanafunzi 133,747 Waliofaulu Darasa la Saba wakosa nafasi kidato cha kwanza

$
0
0
Wanafunzi 133,747, sawa na asilimia 18.24 ya waliofaulu mtihani ya darasa la saba mwaka huu hawajapata nafasi ya kuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, alibainisha changamoyo hiyo alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga kidato cha kwanza mwakani.

Jafo alisema kuwa, kati ya wanafunzi hao, 62,808 ni wavulana na 70,939 ni wasichana.

Aliitaja mikoa yenye uhaba wa vyumba vya madarasa na idadi ya wanafunzi waliokosa nafasi kuwa ni Arusha (18,719), Dodoma (5,991), Iringa (2,774), Kagera (14,046), Kigoma (12,178), Lindi (1,294), Mara (16,356).

Mingine ni Mbeya (6,395), Pwani (4,731) Rukwa (4,930), Tabora (11,209), Tanga (5,400), Manyara (5,392), Shinyanga (6,271), Katavi (1,249), Njombe (3,172) na Simiyu (12,684).

Jafo alisema jumla ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani ni599,356, sawa na asilimia 81.76 ya wanafunzi 733,103 waliofaulu.

“Nawashukuru walimu, walimu wakuu, kamati za shule, maofisa elimu kata, viongozi wa mikoa na halmashauri na wadau wote wa elimu kwa kutoa ushirikiano katika kusimamia uendeshaji na utoaji wa elimu bora nchini,” alisema.

Jafo aliagiza walimu na watendaji wa elimu katika ngazi zote kuongeza bidii katika usimamiaji, ufuatiliaji na utoaji wa elimu ili kuboresha hali ya elimu nchini.

Waziri huyo pia aliziagiza halmashauri kwa kushirikiana na wadau wa elimu kukamilisha majengo na kuandaa mazingira ya kuwapokea wanafunzi wote waliochaguliwa kuanza kidato cha kwanza mwezi ujao bila kuwapo vikwazo vya aina yoyote.

“Pasiwapo vikwazo vya aina yoyote ikiwamo michango na ada ili kutekeleza sera ya utoaji wa elimu msingi bila malipo," alisema Jafo.

Aliagiza wakuu wa mikoa na wilaya kusimamia mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha kwanza ikiwa ni pamoja na kufanya ufuatiliaji shuleni ili kubaini changamoto mbalimbali na kuzitatua kwa haraka.

Jafo aliagiza mikoa na halmashauri zilizobakiza wanafunzi waliofaulu kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa ili kuwawezesha wanafunzi hao kujiunga na kidato cha kwanza kabla ya mwisho wa Februari mwakani.

Alisema mikoa tisa ndiyo yenye mazingira mazuri ya miundombinu ya kuwawezesha wanafunzi wao wote kujiunga na elimu ya sekondari.

“Mikoa 17 ina milolongo ya idadi ya vyumba vya madarasa, hivyo idadi ya wanafunzi ukiigawa katika uwiano, hawatoshi katika madarasa,” alisema.

Okoa Ndoa Yako Sasa Kwa Kutumia Dawa Hii Iitwayo Simpo Power

$
0
0
Okoa Ndoa Yako Sasa Kwa Kutumia Dawa Hii Iitwayo Simpo Power Kwaajili Ya Nguvu Za Kiuume Na Promix Kwaajili Ya Kuongeza Maumbile;
Kwa mwanaume aliyekamilika na mwenye Afya njema ili kumridhisha mke au mpenzi anatakiwa awe na uwezo wa kurudia tendo zaidi ya Mara mbili hapo utamridhisha mpenzi wako ila ukiwa unapiga moja au mbili hapo ujue umejilidhisha wewe 

Tiba Ya Tatizo Lako Ni Dawa Hiitwayo Simpo Power No, 1; dawa hii ipo kwenye mfumo wa vidonge vya miti shamba na unga ambayo hutibu matatizo matatu kwa pamoja :-1 itakufanya urudie tendo zaidi ya mara tatu 
2 itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa dakika 15-20 kwa tendo la Kwanza 
3 huimarisha uume uliolegea na kusinyaa 

Je Una Mke Au Mpenzi Aliyebalikiwa Kuwa Na Kario Kubwa Au Mwili Mnene Na Wewe Mume Wake Una   Maumbile Mafupu?; tumia sasa dawa ya PROMIX dawa itakufanya umfikishe shemu nyeti maana inaboresha maumbile saizi upendayo.

Dawa zangu haziina madhara yoyote kwa mtumiaji 

MARKSU; ni dawa ya kisukari dozi siku 21 
MWARU; ni dawa ya uzazi,hufungua milija ya uzazi ata kwa Wale waliofungiwa uzazi  
MTUNDUU; ni dawa ya busha bila kupasua 
MAZANZA; ni dawa ya kisukar zipo dawa za miguu Kuuma,tumbo,kupunguza Matiti,kutoa minyama uzembe ngiri,vidondo vya tumbo  

FIKA OFISINI KWANGU BUGURUNI MALAPA KARIBU NA KOTA ZA POLISI AU PIGA  SIMU ULETEWE MAHALI ULIPO SIMU NO 0783185060,  0752348593  -DR AGU

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH....Anatoa Pete za Bahati, Anasafisha Nyota, Anazuia Chuma Ulete na Mengine

$
0
0
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH Adam Shariff,  Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika
Anatibu kwa Njia ya Simu Ukiwa Nchi Yoyote / Mkoa wowote
 
..JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na Chief Sultan Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU(LIMBWATA). Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine?Una Mpenzi wako ana Pesa na Unataka kumkamata? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
 
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.
Adam Shariff Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
 
Anatibu kwa Kutumia Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA,Hutoa PETE ZA BAHATI inayoendana na NYOTA YAKO. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.HUZUIA CHUMA ULETE NA KUKUPA DAWA YA KUONGEZA FAIDA KWENYE BIASHARA. HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA AU KUDHULUMIWA.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. 

Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI.Humaliza Kabisa Tatizo la Nguvu za KIUME na Kurefusha Uume kwa Saizi Unayotaka,HUMALIZA KESI YA AINA YOYOTE NDANI YA SIKU 14. na mengi zaidi

Mawasiliaono: +255715971688  au +255756914036
 
Tiba ni kwa Watu wenye Imani na Dini zote
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images