Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Sakata la Mwanamke aliyehukumiwa KUNYONGWA na KUCHAPWA VIBOKO 100 kwa kubadili dini na kuolewa na mume Mkristo

$
0
0
Mahakama nchini Sudan imemuhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanaume mkristo. Daktari Mariam Yahya Ibrahim Ishag ambae baba yake ni muisilamu alishitakiwa kwa kosa la kuasi dini pamoja na kufanya zinaa kwa kuolewa na mwanamume mkristo kitu ambacho dini ya kiisilamu imeharamisha kwa Wanawake. BBC wamesema Mariam mwenye umri wa miaka 28 pia ni

"Sijawahi Lia eti kisa Nimeachwa na Mwanaume .......Mwanaume hawezi kunifanya nimwage machozi" .. Jack Wolper

$
0
0
  Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa tangu aanze kujihusisha na masuala ya mapenzi hajawahi kulia. Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper ambaye ana muonekano wa ‘kigumu’, alisema siku zote anaamini katika kupambana hivyo hawezi kumlilia mwanaume hata iweje.   “Sijawahi kulia pale nilipoachwa wala kuachana na mwanaume, akili yangu yote inaamini katika

Hatimaye Mbunge Vicky Kamata Kuolewa..Huyu Ndio Mchumba Wake, Ndoa yao itagharimu Sh. milioni 96 za kitanzania

$
0
0
Habari ya mjini ni maandalizi kabambe ya harusi ya staa wa Bongo Fleva na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha Vijana Mkoa wa Geita, Vicky Pascal Kamata ikidaiwa kuwa shughuli hiyo itatafuna kiasi cha Sh. milioni 96. Habari kutoka kwa chanzo cha ndani zinasema kuwa Vicky anatarajia kufunga pingu za maisha Mei 24, mwaka huu na mchumba wake wa muda mrefu anayejulikana kwa jina la

Magazeti ya Leo Jumamosi ya tarehe 17 May 2014

$
0
0
Magazeti  ya  Leo  Jumamosi  ya  tarehe  17  May  2014

Mume Afyeka NYETI za mke wake na kutokomea kusikojulikana......Kisa na mkasa ni Wivu wa mapenzi

$
0
0
Gasto Edward (32) amemkata mkewe Mwelu Raymond sehemu zake za siri. Tukio hilo lilitanguliwa na kumpiga mkewe huyo na kipande cha nondo kichwani hali iliyosababisha apoteze fahamu papo hapo na kutekeleza azma yake.    Bwana Gasto Edward na mkewe ambaye anadaiwa kumkata nyeti zake. Imeelezwa kuwa, tukio hilo lenye sura ya majonzi, lililovuta hisia za watu wengi lilitokea Jumatano ya

Rehema Fabian aambulia mvua ya Matusi baada ya kuposti picha yake mtandaoni akiwa Nusu Uchi

$
0
0
Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii wa Instagram kisha kuambulia mvua ya matusi. Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha kwa kumpa za chembe.   “Huwezi kuwa mtu unayejiheshimu

Mrema ashauri Polisi wapewe asilimia 10 ya Mali wanayokamata ili iwe kichocheo cha kufanya kazi kwa bidii

$
0
0
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Augustine Mrema (MB, Vunjo, TLP) amependekeza askari polisi wapewe asilimia 10 ya thamani ya mali wanayokamata ili iwe kichocheo cha kufanya kazi kwa bidii na kuacha kuomba na kupokea rushwa. Pia, alishauri askari kuongezewa posho kutoka shilingi 5,000 ya sasa mpaka 7,500/= kwa sababu fedha hiyo ya

Nape asema UKAWA ni sawa na Boko Haram

$
0
0
  NA MOHAMMED ISSA, Gazeti la UHURU KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amesema kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni kundi  hatari linaloeneza chuki na kusambaza uongo kwa wananchi. Amelifananisha kundi hilo na Boko Haramu na kwamba tofauti yake ni kwamba UKAWA linatumia silaha ya kusambaza chuki, fitina kwa lengo la kuwagawa

Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere amtokea Mkewe Ndotoni na kumpa UJUMBE mzito kuhusu mwelekeo wa Tanzania.....Bofya hapa kuona alichosema

$
0
0
MKE wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria, amesikitishwa na jinsi baadhi ya watu wanavyomkosoa mwasisi huyo kwa kuwa enzi za uhai wake alifanya kazi kwa bidii katika kulitumikia taifa kiasi cha wakati mwingine kuisahau familia kwa muda. Akiongea na waandishi nyumbani kwake Msasani, jana, Mama Maria alisema kwa uchungu kuwa mumewe ambaye alifariki miaka 15 iliyopita,

Breaking News:Msanii wa Filamu, Adam Kuambiana afariki dunia

$
0
0
Mwigizaji  na Director  wa  filamu maarufu   hapa  nchini, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya kuamkia leo.  Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar. Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo.

Batuli, Dude, Shija na Bondi waelezea jinsi walivyopokea kwa uchungu taarifa za msiba wa Adam Kuambiana

$
0
0
Baadhi ya wasanii wa filamu akiwemo Yobnesh Yusuphn(Batuli),Bondi Bin Salim aka Bond, Deogratius Shija na Kulwa Kikumba ‘Dude’wameelezea jinsi walivyopokea kwa uchungu taarifa za kifo cha msanii mwenzao Adam Kumbiana aliyefariki dunia  leo. Wakizungumza na mtandao  huu, wasanii hao kwa nyakati tofauti tofauti kila mmoja ameonesha kuguswa na taarifa hiyo huku kila mmoja akielezea jinsi

Mwili wa Msanii Adam Kuambiana watolewa Hospitali ya Mama Ngoma na kuhifadhiwa Hospitali ya taifa Muhibili.....Wasanii wazimia kwa vilio

$
0
0
Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwekwa kwenye gari tayari kupelekwa Muhimbili kuhifadhiwa.  Hospitali  ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam alikofia Msanii Kuambiana.  Msanii aliekuwa akicheza filamu moja na marehemu katika Hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy, Dar akilia kwa uchungu nje ya Hospitali ya Mama Ngoma leo mchana huu.  Wasanii Q Chilla na

AUDIO: Steve Nyerere akiongelea msiba wa Adam Kuambiana, Chanzo cha Umauti na taratibu zingine za msiba

$
0
0
Mwenyekiti wa Bongo Movie Steve Nyerere amezungumza   na  Clouds Fm  muda  mfupi  uliopita  kuhusiana  na  kifo  cha  ghafla  cha  msanii  mwenzao, Adam Kuambiana  ambapo ameleeza kiundani  chanzo  cha  kifo  hicho  na  taratibu  zingine  za  msiba. "Mwenzetu Adam Philipo Kuambiana amefariki akiwa Location ana shoot,mimi nimepigiwa simu saa 3 asubuhi kuwa hospitali pale Mwenge niende

Picha za Nusu Uchi za Irene Uwoya akiwa Bafuni zasambaa Kwa Kasi ....

$
0
0
Picha zinazodaiwa kuwa ni mpya za star wa filamu nchini Irene Uwoya akiwa bafuni na taulo na picha nyingine akiwa ameondoa taulo kifuani na kujiziba kwa mikono zimeanza kusambaa mitandaoni kwa kasi.  Uwoya alikuwa kimya kidogo huku habari zake zikiendelea kutawala mitandaoni na magazetini kama kawaida lakini kwa picha hizi inaonekana ametoa  ishara  kuwa yupo kama kawa...  

Mfuko kuboresha makazi ya askari waanzishwa

$
0
0
MFUKO maalumu wa kukusanya fedha kwa ajili ya kuboresha makazi ya watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwemo askari, umeanzishwa ukilenga kuwezesha kupata nyumba na ofisi zaidi bila kutegemea bajeti ya serikali.   Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe ambaye bajeti ya wizara yake iliidhinishwa juzi, alitoa taarifa hiyo wakati akihitimisha mjadala kuhusu bajeti ya

Polisi Yanasa mtandao wa watu wanaosafirisha wasichana Toka Tanzania na kuwapeleka China kwa ajili ya Kuwatumikisha Kingono

$
0
0
BAADA ya kuwepo malalamiko ya wasichana wadogo wa nchini kusafirishwa kwenda China kutumikishwa katika biashara ya ngono pamoja na dawa za kulevya, sasa serikali imenasa mtandao huo.   Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe alitoa taarifa hiyo juzi bungeni wakati akihitimisha michango kuhusu bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2014/15 iliyopitishwa.   Chikawe ambaye hata hivyo

Daktari asahau kitambaa tumboni mwa Mgonjwa mkoani Tabora....Mgonjwa atolewa Kizazi na kukatwa sehemu ya Utumbo ili kukitoa kitambaa hicho

$
0
0
Waziri  wa  Afya MKAZI wa wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Mwamini Adamu ametolewa mfuko wa kizazi na kukatwa sehemu ya utumbo baada ya mganga wa idara ya upasuaji katika wilaya hiyo kusahau kitambaa tumboni kwa mwanamama huyo wakati akijifungua.   Kutokana na kumsababishia ulemavu huo kwa uzembe, Mwamini ameifikisha Halmashauri ya wilaya ya Urambo kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Magharibi

Adam Kuambiana kuzikwa Jumanne katika makaburi ya Kinondoni, jijini Dar

$
0
0
Mazishi ya muongozaji na msanii wa filamu Adam Kuambiana yatafanyika Jumanne (May 20) katika makaburi ya Kinondni jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Mpekuzi, mwenyekiti wa bongo movie ,Steve Nyerere amesema kuwa marehemu ataagwa Leaders Club siku hiyo hiyo kabla ya mazishi.   “Habari za mazishi ni kwamba atazikwa siku ya jumanne na tutazika katika makaburi ya Kinondoni, kuagwa

UKAWA wapata Pigo mkoani Iringa.....Wapokelewa kwa Mabango ya kuwapinga, Mkutano wagubikwa na vurugu kubwa

$
0
0
UMOJA  wa  Katiba  ya  Wananchi  (  UKAWA )   umepokelwa  kwa  mabango  yanayowapinga  wilaya  ya  Mufindi  mkoani  Iringa  yaliyokuwa  yamebebwa  na  vijana.... Mabango  hayo  yalikuwa  yanasomeka  kuwa, "Tuna  mashaka  na  ndoa  ya  UKAWA  watauza  nchi", huku  yakisisitiza  umuhimu  wa  vijana  wa  Wilaya  ya  Mufindi  kutaka  Serikali  mbili..... Pia  mabango  hayo  yalikuwa 

Diamond Mpaka Sasa anaongoza Kwa Kura za BET Awards.....Bonyeza hapa ili Umpigie Kura

$
0
0
Ni siku chache tu zilizopita toka Diamond Platnumz ametangazwa kuwania tuzo za kituo cha Television cha Marekani BET akiwa ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo hiyo huku wengine wakitoka Nigeria, Ghana na Togo. (Best International Act: Africa )   Habari njema ni kwamba katika mchakato wa kura sasa hivi Diamond anashika nafasi ya Kwanza katika list ya
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images