Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Serikali Yaombwa Kuweka Jicho La Pekee Kunusuru Zao La Ngozi

0
0
Umoja wa Wataalam Wasaidizi Tanzania (TAVEPA), umeiomba Serikali kuweka mkakati wa makusudi wa kunusuru zao la ngozi kwa kuwa sasa hivi hakuna soko la uhakika la zao hilo.

Mwenyekiti wa (TAVEPA) Bw. Salim Msellem, alisema hayo jana (03.12.2018) Jijini Arusha wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 14 wa wataalam wasaidizi wa afya ya mifugo nchini.

“Ngozi nyingi hutupwa, kitu ambacho kinaletea hasara taifa kwa kukosa fedha za kigeni, pia kudhoofisha uchumi wa mfanyabiashara mmoja mmoja wa ngozi hapa nchini,” alisema Bw. Msellem.

Alisema pia lazima kuwe na mkakati wa dhati wa kuanzisha viwanda vidogo vidogo vya kuchakata ngozi utasaidia kunusuru zao la ngozi.

Akizungumzia uwezo mdogo wa wahitimu wa stashahada ya afya na uzalishaji mifugo (DAHP), alisema, TAVEPA imepata malalamiko toka maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu suala hilo.

“Wahitimu wa DAHP imebainika muda wa mwaka mmoja wa masomo ya stashahada ya afya ya Mifugo (DAHP) hautoshi, ombi letu tunaomba stashahada iwe kama awali, ya miaka miwili au miaka mitatu na msisitizo uwe mafunzo kwa vitendo ili kumuandaa mhitimu kufanya kazi kwa ufanisi kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.

“Kwa sasa inaonekana wanasoma kwa ajili ya kwenda vyuo vikuu na siyo kwenda kuwasaidia wafugaji kule vijijini, hakika uwezo wao kwa vitendo ni mdogo sana,” alisema Bw. Msellem.

Aidha umoja huo umeiomba serikali kuandaa mkakati wa dhati wa kusimamia mafunzo rejea kwenye tiba, matumizi sahihi ya dawa, ukaguzi wa vyama, ubora wa ngozi na ubora wa wanyama wanaotaka kuchinjwa kwa watumishi wa umma na sekta binafsi mara kwa mara ili kuwajengea uwezo.

Mwenyekiti wa Chama cha Madaktari wa Mifugo (TVA), Prof. Dominic Kambarage, alisema Tanzania ina ng'ombe wengi na inauza ng'ombe hizo nchi mbalimbali za Afrika Mashariki hivyo ni vyema wafugaji wakachangamkia Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Prof. Kambarage alisema ni vyema sasa wafugaji wakapewa elimu ya kutosha pamoja na upatikanaji wa chanjo za mifugo ili kudhibiti magonjwa pamoja na kupata masoko ya uhakika ili kila mtu anufaike na rasilimali hiyo.

"Sekta ya mifugo ni sekta muhimu katika ukuaji wa uchumi na Tanzania ni ya pili Barani Afrika kwa kuwa na mifugo mingi, hivyo mifugo hiyo ikitumika vyema itasaidia kupunguza tatizo la ajira na kuongeza kipato, " alisema.

Naye Msajili wa Baraza la  Veterinari (VCT) nchini, Dkt. Bedan Masuruli, alisema ni vyema kudhibiti magonjwa yatokanayo na mifugo kwani asilimia 70 ya magonjwa ya kupe yanaua mifugo hivyo ni vyema wafugaji wakaogesha mara kwa mara mifugo yao ili kudhibiti ugonjwa wa kupe.

MWISHO.

Imetolewa: Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
                   Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Makamba Afunguka Sakata la Membe na Katibu Mkuu CCM

0
0
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi na Baba Mzazi wa January Makamba, Mzee Yusuph Makamba ameingilia kati sakata la Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt Bashiru Ally kumuita hadharani kada maarufu wa chama hicho, Bernard Membe na kulitetea suala hilo ni la kawaida.

Kwa mujibu wa Makamba, utaratibu wa kuitana hadharani kwa viongozi wa chama hicho ni wa muda mrefu tangu enzi za TANU, na kubainisha kuwa yeye alishafanyiwa hivyo kwa zaidi ya mara moja.

"Mimi niliwahi kuitwa na John Mhavile, wakati nilipokuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga, kwa sababu yalitokea maneno pale Tanga niliambiwa njoo, tena si kwa simu, pia niliwahi kuitwa na Mwakawago kwa hiyo,  haya mambo hayajaanza jana," amesema Makamba.

"Kwa hiyo kuitwa na wakubwa ni jambo la kawaida msiwaonee kwa njia waliyoitumia, Katibu Mkuu yuko sahihi, Katibu Mkuu amemuita Memba na aliyeitwa kakubali utaratibu ndiyo huo," ameongeza.

Hivi karibuni kumezuka mvutano wa maneno baina ya Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally, juu ya namna alivyotumia mikutano ya hadhara kumuita Membe jambo ambalo kupitia akaunti ya twitter, Membe alihoji njia hiyo.

Awali Dkt Bashiru alimuita Memba kwa ajili ya kujibu tuhuma zinazomkabili ikiwemo kupanga njama za kumkwamisha Mwenyekiti wa chama hicho ambaye pia ni Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.

Mnyukano umeonekana kuendelea tena kupitia mitandao ya kijamii ambapo kumekuwa na kampeni mbalimbali zikimtaja Bernard Membe kuwa mgombea Urais katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Kwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Mafupi na Upungufu wa Nguvu za Kiume? Suluhisho Hili Hapa

0
0
KWANINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MAFUPI NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME... DR SITTA NDO SULULISHO LAKO

Tatiza, hili limekuwa likiwaathiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako tofauti na wanaume wengine. Kwa kawaida, mwanaume anatakiwa awe na uume, usiopungua nchi 6-7au-8 ,vinginevyo mtu huyo anamatatizo.

Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hilo... baadhi ni  upungufu wa vichocheo vya, HORMONES ZA CETROGEN .

SUPER MIZIZI, ni dawa inayozalisha HORMONES ZA CETROGEN,na kufanya, uume kukuwa na kuongzeka sazi utakayo na kuzibua mrija iliyosinyaa,

NSHOLA; ni dawa bora, ya kurudisha nguvu za kiume kwa kutibu kabisa  tatizo hilo na kukupa  hamu ya  kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara nne 4 bila kuchoka 

Pia  kuna dawa za kutibu presha ya kupanda na kushuka, kisukari , kuondoa mafuta  mwilini na maumivu ya mgogo kiuno, matazo, ya hedhi kwa wanawake, hedhi zisizokuwa na mpangilio.

NKANYA; ni dawa ya mvuto wa kimapenzi ,mchumba mpenzi aliyekuacha, mke, mme atakurudia .

NKOMA; Ni dawa kuongeza HIPS na mguu wa bia kwa wadada ,

NGAKAMA ,ni dawa ya kutibu miguu kufa ganzi na kuwaka moto, huduma zetu ,zipo ,vizuri, popote pale dawa utaletewa! 

DR SITTA, amebobea kwa tiba asilia 

Kwa DAR ANAPATIKANA MBAGALA ZAKHEM, SONGEA BOMBAMBILI, SHINYANGA- KAHAMA MJINI, 

KWA MAELEZO ZAIDI  PIGA SIMU; 0763172670/ 0715172670,/

WOTE  MNAKARIBISHWA... KAMA, UTAKUWA NA TATIZO, UTAHUDUMIWA,

Je Wewe ni Mwanasiasa, Mfanyabiashara.?...... Tunazo dawa na PETE za bahati Zenye Uwezo wa Kubadili Maisha Yako

0
0

Je Wewe ni Mwanasiasa, Mfanyabiashara, Msanii wa Maigizo, Mwanamziki, ama mwanafunzi tunazo Dawa na PETE za Bahati zenye uwezo mkubwa wa kuyabadilisha maisha yako nakukupatia mafanikio makubwa ndani ya mda mfupi tu.

Kutana na Sheikh Jumaa Bilal. Yeye ni mtaalam na mtabibu wa nyota za binadam na bingwa wa tiba za asili Afrika mashariki. 

Wasiliana na mtaalam huyu kwani yeye ufaulu pale wote waliko shindwa na pia humaliza kazi zilizo shindikana ama zilizo achwa ndani ya siku1 tu. Sheikh Jumaa Bilal ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOPIGA SIMU ZA SHUKRANI NA KUTOASHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO SAIDIA-  Sheikh Sasa amezianza ziara zake za mikoani na atayatembelea maeneo mbali mbali ndani na Nje ya nchi.

Anatibu magonjwa sugu yanaojulikana nayasiojulikana kwakutumia QUR_AN MAJI , KIOO MAJINI NA MITISHAMBA.

Anazo dawa za mapenzi( Mpigie Simu sasa Hivi Ujionee Muujiza wa Papo Anauwezo wa Kurudisha Mahusiano yako na Kuimarisha NDOA Ndani ya saa 12 tu LIMBWATA) kumrudishaa alipote, kutoa Mikosi, Kutatuwa shida za chumaulete, mvuto wa biashara na sehem za kazi, kusafisha nyota, kurudisha mali zilizo ibiwa, zilizpotea, ama zilizodhulumiwa, kushika wezi na wachawi, Kutoa kinga ya mwili, nyumba, Biashara, kufukuza majini wabaya, KUUZA kwa haraka (shamba, NYUMBA, GARI..), Kuweka Zindiko ya mwili, nyumba, shamba, Gari, kupata Kazi na kupandishwa cheo, mali na UTAJIRI bila masharti na mengine mengi ya Siri. (Anazo Pia Pochi zisizo kwisha Hela MAGIC WALLET)

*{لَا يُؤَاخِذُكُمُ اللَّهُ بِاللَّغْوِ فِي أيْمَانِكُمْ وَلَٰكِنْ يُؤَاخِذُكُمْ بِمَا عَقَّدْتُمُ الْأَيْمَانَ ۖ فَكَفَّارَتُهُ إِطْعَامُ عَشَرَةِمَسَاكِينَ مِنْ أَوْسَطِ مَا تُطْعِمُونَ أَهْلِيكُمْ أَوْ كِسْوَتُهُمْ أَوْ تَحْرِيرُ رَقَبَةٍ ۖ فَمَنْ لَمْ يَجِدْ فَصِيَامُ ثَلَاثَةِ أَيَّامٍ ۚ ذَٰلِكَ كَفَّارَةُ أَيْمَانِكُمْ إِذَا حَلَفْتُمْ ۚ وَاحْفَظُوا أَيْمَانَكُمْ ۚ كَذَٰلِكَ يُبَيِّنُ اللَّهُ لَكُمْ آيَاتِهِ لَعَلَّكُمْ تَشْكُرُونَ }* ﴿٨٩﴾

✨Wabillahhi Tawfiq Asallam  Alaikum

Kwa tiba na ushauri wasiliana na ofisi kwa
nambari ya simu

+255 688 745 790
+255 672 861 042
Whatsapp :  0762 252 102

CCM Yatoa Ufafanuzi Tena Sakata la Membe na Katibu Mkuu wa Chama Hicho

0
0
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewaonya watu wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii kuweka habari za uongo zinazowahusu viongozi wa chama hicho tawala.

Pia, kimesema Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Bashiru Ally hana akaunti ya mtandao wa kijamii wa Twitter.

Chama hicho tawala kimetoa taarifa yenye ufafanuzi huo leo Jumatano Desemba 5, 2018 ikiwa ni siku moja tangu Dk Bashiru Ally  kukanusha taarifa za mtandaoni zilizomnukuu akimjibu aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.

Taarifa hiyo iliyotolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole inaeleza kuwa watu wanaotumia vibaya mitandao ya jamii wana lengo la kuleta taharuki.

“Kuna akaunti ya mtandao wa Twitter yenye jina la Bashiru Ally na inatoa kauli ambazo sio zake,” inaeleza taarifa hiyo.

“Jana katika mitandao ya kijamii watu wenye hila, fitna, husuda na kila chembe ya uzandiki wametengeneza kauli ya kubeza, potofu na isiyo na ukweli kuwa Bashiru Ally amemjibu kiongozi mstaafu, mwanachama wa CCM na kada mwenzetu mzee Pius Msekwa,” imeongeza.

Mbali na hayo, Polepole amesema kulikuwa na upotoshwaji wa taarifa za chama hicho iliyodai kuwepo kwa mkutano wa wanahabari katika ofisi ndogo za makao makuu ya CCM Lumumba Dar es Salaam.

“Utaratibu wa CCM msemaji ni mmoja naye ni mwenyekiti, kwa niaba ya chama anayekasimiwa dhamana ya kusema ni Katibu wa halmashauri kuu ya Taifa, mwenye dhamana ya itikadi na uenezi na si vinginevyo,” amesema Polepole.

Polepole amezitaka mamlaka zinazohusika kuchunguza na kuchukua hatua zinazostahili kwa watu wanaotumia vibaya mitandao ya jamii.

Rudisha Heshima ya Ndoa Yako.....Pata Tiba Bora ya Tatizo la Nguvu za Kiume

0
0
Wanaume wengi hawawaridhishi wake au wapenzi wao kwa kutokuwa na nguvu za kiume au uume mdogo? 

Kawaida mwanamke huwa anachukua dakika saba 7 adi kumi 10 ili aweze kufika kileleni na wakati wanaume wengi kwa sasa hutumia dakika tatu 3 hadi tano 5 ameshafika kileleni , hapo utagundua kabisa mke au mpenzi wako hujamtendea haki yake. Dr Nyalobi  anakuletea dawa imara na yenye nguvu tatu?

Simpo power; Hutibu matatizo yafatayo;

1.itakufanya uchelewe kufika kileleni dk 15-20 kwa tendo la kwanza

 2. itakupa uwezo wa kurudia tendo zaidi mara nne 

3 Huimalisha misuli iliyolegea na kusinyaa 

4 Hutoa uchovu pale umalizapo kufanya tendo

 Je kwa nini uzidi kuona aibu pale ukutanapo na mpenzi wako kwa sabubu uume wako mdogo na mwembamba? 

Promix; hii ni dawa ya kuongeza uume saizi upendayo.Dawa zetu ni za mitishamba na hazina madhara yoyote na ni tofauti na ulizowai kutumia ata wazee hutumia 

Mkuya; hii ni dawa ya kisukari dozi siku 21 

Mwaru; hii ni dawa ya uzazi hufungua mirija ya uzazi ata kama uzazi umefungwa

Markusi; ni dawa ya presha zipo dwa za korodani kuvimba,, vindonda vya tumbo, kupunguza kitambi, na minyama uzembe 

Fika ofisini kwetu Buguruni Malapa na Mwanza yupo wakala wetu au piga simu 0752348593 -Dokta Nyalobi

Oparesheni Nzagamba Yang'oa Watumishi Wanne

0
0
Na Frank Mvungi- MAELEZO
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina ameagiza Kuondolewa mara moja kwa watumishi wa Wanaosimamia Kituo cha Ukaguzi Kibaha Mkoani Pwani kwa kushindwa kusimamia rasilimali za Sekta ya Mifugo na Uvuvi. Akizungumza leo Jijini Dodoma wakati  wa kikao cha Tathmini ya Operesheni Nzagamba Awamu ya Pili iliyofanyika  kati ya mwezi Oktoba na Novemba 2018 ikilenga Kuinua mchango wa Sekta ya Mifugo katika Pato la Taifa Waziri Mpina amesema kuwa dhamira ya Serikali ni kudhibiti upotevu wa mapato ya Serikali yatokanayo na biashara ya Mifugo na Mazao yake.

“ Watumishi wote walioshiriki katika Operesheni Nzagamba Awamu ya Pili wamefanya kazi kubwa na kwa uzalendo mkubwa hivyo nawapongeza kwa kuwa mmeonesha kuwa tunao uwezo wa kusimamia rasilimali zetu ili zitoe mchango stahiki katika pato la Taifa”.Alisisitiza Mhe. Mpina. Akifafanua amesema watumishi wasio waadilfu na wanaoshindwa kutekeleza majukumu yao hawana nafasi katika Wizara hiyo ndio maana ameagiza kuondolewa mara moja kwa watumishi wanaofanya kazi ya ukaguzi wa rasilimali hizo katika kituo cha Kibaha.
Aliongeza kuwa Operesheni Nzagamba awamu ya Pili, 2018 imedhihirisha kwamba usimamizi thabiti wa Sheria, Kanuni na Taratibu katika Sekta ya Mifugo unaweza kuleta tija kwa kuongeza uzalishaji bora wa mazao ya mifugo ambayo ni malighafi ya Viwanda na hivyo kuchangia ipasavyo katika kuendeleza uchumi wa Viwanda.

“ Ni mategemeo yangu kuwa wananchi mtakuwa wazalendo kwa nchi yetu kwa kufuata Sheria, Kanuni na Taratibu za Kufanya biashara ya mifugo pia kutoa taarifa pale mnapobaini utoroshaji wa mifugo kwenda nchi jirani bila kulipiwa ushuru na tozo stahiki ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya watu hao”. Alibainisha Mhe. Mpina. Pia aliwaasa Watumishi wa Wizara hiyo na wale wa Halmashauri kuhakikisha kuwa wanasimamia kwa makini utekelezaji wa Sheria, Kanuni na Taratibu zote zinazosimamia biashara ya Mifugo na Mazao yake hususan mabadiliko ya Kanuni mpya iliyotolewa mwezi Agosti, 2018.

Katika kuhakikisha minada yote ya awali na ile ya Upili pamaoja na ile ya mipakani inatoa matokea chanya, Waziri Mpina amesema kuwa  usimamizi utaendelea kuimarishwa ili kuwezesha biashara ya mifugo kufanyika kwa ufanisi na hivyo kurahisisha ukusanyaji wa maduhuli, tozo na ushuru wa Serikali. Alizitaka Mamlaka zinazotoa Leseni kwa wafanyabishara wanaosafirisha Mifugo nje ya nchi kuweka utaratibu rafiki utakaosaidia  kundi hilo kutoa mchango wake katika ujenzi wa Taifa na kuondoa au kupunguza vitendo vya biashara ya magendo. Aidha Waziri Mpina aliagiza kufunguliwa kwa Ofisi za Kanda ili kuimarisha usimamizi wa rasilimali za mazao ya mifugo hapa nchini.

Kwa Upande wake Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel amesema kuwa Operesheni hiyo ilishirikisha watendaji 152 waliogawanyika katika timu 14 zilizofanya kazi katika nchi nzima. Akizungumzia mafanikio ya Operesheni hiyo amesema kuwa kwa mfano katika Mji wa Bunda zilikuwa zikikusanywa shilingi milioni mbili na nusu  (2.5) hapo awali ambapo kwa sasa baada ya kuimarisha ukusanyaji mapato katika eneo hilo yamefikia milioni nane  (8)kwa siku.

Udhibiti wa Biashara ya Mifugo na Mazao yake uliofanyika kupitia Operesheni Nzagamba II kuanzia tarehe 11 Oktoba, 2018 hadi tarehe 30 Novemba, 2018 (siku 50) umeiwezesha Wizara yangu kupitia Sekta ya Mifugo kukusanya kiasi cha shilingi Bilioni 5,773,074,768. Makusanyo haya yanapelekea Wizara hiyo katika sekta ya Mifugo tu kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 9,764,241,926.28 kwa kipindi cha Julai hadi Novemba, 2018 sawa na asilimia 52.87 ya lengo lililowekwa na Wizara ya Fedha.

Huna Sababu Ya Kuaibika tena............ Jipatie Dawa Bora Ya Nguvu Za Kiume, Maumbile Madogo Na Mvuto Wa Mapenz

0
0
Usikate tamaa ondoa maradhi yako, maana matatizo haya yamekua yakiasili watuwengi kisaikolojia hasa baada ya kujiona wako tofauti sana na wengine kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamapunguvu katika mwiliwake.

Kunasababu nyingi sana zinazosababisha matatizo haya, chango hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngili :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli. Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na marakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kushindwa kabisa

MASISA 3POWER :- nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa mfumo wa vidonge, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka 15-90 , inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uludie tendo la ndoa zaidi ya mara nne (4) birahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk (20-30 )

YONINANI:- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwa mda mfupi sana,

SUPER MORINA :- nidawa inayotibu ama kutatua tatizo la kisukali kwawaliohangaika bila mafanikio, huondoa tatizo la kisukali na kupona kabisa, vilevile ninadawa ya magonjwa sugu km vile presha, vidondo vya tumbo, miguu kuwakamoto, muwasho mwilin, kaswende,uzazi nk.

LUGIMBA :- nidawa ya mvuto wa mapenzi, humtuliza mke, mme, mchumba, hawara au mtu yoyote umpendae na kumfanya akutimizie chochotekile unachokitaka kutoka kwake na kumfunga asiwe na mtu yoyote zaidi yako.

WASILIANA NA DR CHIPUPA NAPATIKANA DAR ES SALAAM KUMBUKA HUDUMAHII ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO  0620510598  / 0743543944

Jeshi la Polisi Mwanza Lakamata Majambazi Watano Wakiwa na Noti Bandia Milioni 2

0
0
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kwa kushirikiana na kikosi kazi kabambe cha kanda ya ziwa chenye uwelediwa hali ya juu na chenye uaminifu uliotukuka tukishirikiana na Maofisa wa Tanapa –Serengeti. Tumefanikiwa kuwakamata jumla ya majambazi watano sugu wakiwa na noti bandia zenye thamani ya kiasi cha Milioni mbili laki nane na elfu thelasini (TSH 2,830,000/=) na vifaa mbalimbali vya kutengenezea fedha hizo huko mtaa wa Kiloleli B, kata ya Nyasaka Wilayani Ilemela, kitendo ambacho ni kosa la jinai.

Katika operesheni hiyo maalumu iliyochukua takbrani masaa 48 kuanzia tarehe 03/12/2018 majira ya 04/04/2018 imefanyika baada ya kupatikana kwa  taarifa za kiintelejensia kwamba katika mtaa wa Kiloleli B wapo watu wanaotengeneza noti bandia.

Baada ya kupatikana kwa taarifa hizo kikosi hicho maalumu cha askari wa mikoa ya kanda ya ziwa toka Mkoa wa Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara na Tanapa –Serengeti kilifanya msako mkali katika mtaa huo na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa tajwa hapo juu wakiwa na kiasi hicho cha noti bandia.

Watuhumiwa wawili  wamekamatwa maeneo ya Mugumu Serengeti ambao ni;

  • Swedi Amani Mrete @ Kongo, miaka 40, mfanyabiashara, mkazi wa buhongwa Mwanza
  •  Cosmas Busiga Bereka, miaka 40, fundi chuma, Mkazi wa Mandu Mwanza.
Aidha watuhumiwa wengine wawili wamekamatwa mtaa wa Kiloleli B kwenye nyumba ambayo ndipo wanapotengenezea fedha hizo bandia ambao ni;
  • Baraka Dominiko @ Mwanga, miaka 26, mfanya biashara, mkazi wa kiloleli B.
  •  Khadija Musa Elias, miaka 20, mkulima, Mkazi wa Kiloleli B.
Vilevile mtuhumiwa aliyetoroka amekamatwa huko mto Malagarasi Kasulu Kigoma, mtuhumiwa huyo ni;
  •  Batisti Msafiri Katumbi, miaka 40, mfanya biashara, mkazi wa Igoma Mwanza
Sambamba na hilo watuhumiwa hao wamekamatwa wakiwa na noti hizo bandia zikiwa katika makundi yafuatayo;
  •   Noti za elfu kumi zimekamatwa zenye thamani ya  kiasi cha laki mbili na elfu thelasini (TSH 2,230,000)
  •  noti za elfu tano zimekamatwa zenye thamani ya laki nne na elfu sabini (TSH 470,000/=)
  •  Noti za elfu mbili zimekamatwa zenye thamani ya  elfu sitini ( TSH 60,000/=).
  •   Noti za dola mia kumi na nne. 
  •   Jumla kuu TSH 2,830,000/=
Aidha watuhumiwa hao wamekamatwa wakiwa na vifaa vifuatavyo vya kutengenezea noti hizo bandia.
  •     Mashine moja ya printer aina ya HP.
  •     Paper cutter moja
  •     Pasi tatu za umeme
  •     Cartilage nane
  •     Ink refuels chupa nane.
  •     Sirinji /Sindano 4 na
  •     Rim paper
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, tunaendelea na mahojiano na watuhumiwa wote watano pindi uchunguzi ukikamilika  watafikishwa mahakamani. Pia msako mkali wa kuwatafuta watuhumiwa wengine ambao walifanikiwa kutoroka bado unaendelea katika maeneo yote ya Jiji na Mkoa wa Mwanza na maeneo ya Mikoa Jirani.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza tunatoa onyo kwa baadhi ya wananchi wanaojihusisha na utengenezaji wa noti bandia kuwa waache tabia hiyo mara moja kwani ni kosa la jinai na endapo mtu atabainika hatua stahiki za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.


 Sambamba na hilo tunaendelea kutoa wito kwa wananchi waendelee kutoa ushirikiano kwa kutupa taarifa mapema za uhalifu na wahalifu ili waweze kukamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sheria. Wananchi wawe makini, fedha hizo zingeingia mtaani zingeleta kilio kikubwa sana tena sana.

Nape Nnauye: CCM Imevamiwa na Wasaka Tonge

0
0
Na Bakari Chijumba, Mtwara.
Wakati sakata la Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dr.Bashiru Ally na kada wa Chama hicho, Bernard Membe likiendelea kuchukua nafasi kubwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii, mbunge wa Mtama Nape Nnauye ameibuka na kusema CCM imevamiwa na wasaka Tonge wenye maslahi na matumbo yao kuliko chama.

Nape Nnauye ambaye ni mbuge wa Mtama, ametoa kauli hiyo baada ya kuenea kwa taarifa kuhusu madai ya  kuanzishwa kwa chama kipya kitakachoitwa USAWA, ambapo Bernard Membe na Nape Nnauye wametajwa kuwa miongoni mwa watakaotimkia kwenye chama hicho kipya.

Taarifa iliyoandikwa kwenye ukurasa wa facebook unaofahamika kwa jina la "Sauti ya Kisonge" na kuenezwa kwenye mitandao hii leo, inadai Chama hicho kinachotarajiwa kusajiliwa hivi karibuni, kinawahusisha pia  mawaziri kadhaa wa utawala uliopita, mawaziri wanne kutoka Zanzibar  na mabalozi kadhaa wastaafu na waliopo nje.

"Chama Kipya kinachotarajiwa kusajiliwa hivi karibuni kwa jina la USAWA ndio kilichomuhusisha Membe na Nape Mnauye na mawaziri kadhaa wa utawala uliopita na mawaziri wanne wa kutoka Visiwani Zanzibar  mabalozi mbali mbali waliopo nje na Mabalozi wastaafu,Wanajeshi wastaafu na makamanda wa Jeshi la Polisi inasemekana wamekibariki Chama kipya cha USAWA .Kauli za Katibu Mkuu wa CCM Dr Bashiru,na Mpiga debe wa CCM Musiba walianza kupiga kelele baada ya taarifa ya ujio wa chama hichi kipya kilichovutia Wanaharakati wengi wa CCM Wasioridhishwa nchi inavyoendeshwa" imesomeka taarifa hiyo.

Sasa baada ya kuenea  kwa taarifa hizo mbunge wa Mtama Nape Nnauye, ameibuka na kujibu tuhuma hizo, kuwa yeye bado yupo sana CCM na kwamba wanaosambaza taarifa za uongo ndio ambao wataondoka na kumuacha yeye ndani ya chama.

Kauli hiyo ya Nape, ameitoa kupitia akaunti yake ya twitter, ambapo ameiita taarifa hiyo kuwa ni ya kipuuzi na iliyojaa uongo.

"Niliposoma upuuzi huu sasa ninaamini CCM imevamiwa na wasaka tonge wasio jua imani wala itikadi ya chama,hawana wanachokiamini isipokuwa matumbo yao,uongo huu ni kwa faida ya nani? watatoka wao,wenye chama tupo sana"umesomeka ujumbe huo.

Huu unakuwa ujumbe wa tatu kutoka kwa Nape Nnauye tangu kuanza kwa mjadala wa Membe ambapo juzi aliweka picha ya pundamilia wakinywa maji na kuandika maneno yaliyoashiria kutounga mkono kwake kwa kinachoendelea ndani ya chama.

"Mkinywa maji ya mto mmoja si busara kuyatibua maji kwa miguu kwani wote mtakunywa Maji machafu! Yanini kutibua maji bila sababu!?" Aliandika Nape kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Nape hakuishia hapo, jana pia kupitia ukurasa wake wa Twitter, akaweka picha ya Mzee Kinana (Katibu mkuu aliyepita wa CCM) akiwa amebeba jembe begani na akaandika;

"🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️shambani tu! "

Hii si mara ya kwanza kwa Nape Nnauye kuhusishwa na kuasisi vyama vyenye mrengo huo, ikumbukwe mwaka 2010 kiliibuka chama kilichoitwa Chama Cha Jamii (CCJ) ambapo Nape, Mwakyembe na Marehemu Samwel Sitta walitajwa kukiasisi ingawa wenyewe walikanusha.

Mara kadhaa Nape Nnauye amekuwa akikosoa wahamaji wa vyama wanaohama vyama vyao kwenda CCM, akisema hawana itikadi ya chama hicho bali huwa wanahama kufuata maslahi na vyeo.

Kauli ya Nape inakuja sambamba na ile ya Katibu Mkuu wa CCM,  Dk Bashiru Ally ambaye naye amelikana andiko  linalosambaa mtandaoni likionyesha kuwa ameendeleza mjadala unaomuhusu aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.

Dk Bashiru amesema andiko hilo si lake na hayupo katika mfumo wowote unaomuwezesha kuwasiliana kupitia mitandao ya kijamii zaidi ya kupiga simu na kutuma ujumbe mfupi wa maneno.

Sehemu ya andiko hilo linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii linasema,

 “Zipo taarifa kwamba yupo kiongozi mmoja aliyewahi kuwa mwandamizi wa Taifa hili eti kanikosoa kuhusu utaratibu niliotumia kumwita ndugu Membe, mimi niombe hawa wastaafu watulie ili tukiweke chama sawa...Na nirudie tu kusema ndugu Membe kama atakuwa hajafika ofisini kabla ya tarehe 17 na 18, 2018 nitakiomba kikao cha kamati kuu ya NEC kimwazimie.”

Dk Bashiru amesema waliofanya hivyo ni wale waliozoea kuendesha nchi kiholela na bado watazua mengi.

 “Watu wanaonijua wanafahamu jinsi ninavyotumia simu, sipo huko na  sina Instagram, Twitter, WhatsApp, Facebook wala mfumo wa barua pepe kwenye simu yangu, ni wazushi hao puuzeni hizo habari, ”amesisitiza

Waziri Mkuu Atoa onyo kwa wanaotumia vibaya mitando ya kijamii, asisitiza sheria ipo

0
0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli imetoa kipaumbele kwenye matumizi ya TEHAMA ili kuongeza uwazi, uwajibikaji na ufanisi katika utendaji kazi wa shughuli za Serikali za kila siku.

Hivyo, amewataka wananchi kutumia vizuri teknolojia hiyo ya habari na mawasiliano kwenye shughuli za uzalishaji mali na utoaji huduma katika sekta mbalimbali kwa lengo la  kukuza uchumi na kuwapunguzia wananchi umaskini pamoja na kuongeza ajira.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumatano, Desemba 5, 2018) katika sherehe za utoaji tuzo za mashindano ya TEHAMA ya HUAWEI yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, ambapo ametumia fursa hiyo kuwaonya watu wote wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii nchini.

“Nawaonya watu wote wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii waache. Ni vema wakatumia mitandao hiyo kwa kuhamasishana mambo mema zikiwemo shughuli mbalimbali za maendeleo. Na kwa wataokiuka sheria ipo na inaendelea kufanya kazi.”

Amsema Serikali inaamini kuwa matumizi ya TEHAMA yataongeza ufanisi katika kuwahudumia ipasavyo wananchi, mfano katika sekta ya elimu mwalimu mmoja anaweza kufundisha wanafunzi wengi kutoka katika shule tofauti kwa wakati mmoja.

Waziri Mkuu ameongeza kuwa “Matumizi ya TEHAMA kwa kiasi kikubwa yatapunguza gharamaza za uendeshaji kwani yanaweza kufanikisha mawasiliano binafsi, warsha na maelekezo mbalimbali kuwafikia walengwa bila ya kusafiri nje ya vituo vyao vya kazi.”

Ametoa mfano Juni 2017 Rais Dkt. Magufuli alizindua mfumo wa ukusanyaji Mapato ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) na Ushuru wa Bidhaa (Excise Duty) kwa njia ya kielektroniki na kudhihirisha kuwa, sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano ni muhimili muhimu wa maendeleo kwenye sekta zote, ikiwemo viwanda, utalii, ujenzi, elimu, afya, kilimo, uvuvi na ufugaji.

“Kwa kuzingatia hayo, mwezi Juni 2018 wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Serikali ilizindua mifumo tisa ya TEHAMA, ambayo inalenga kuimarisha utendaji wa Serikali hususan katika kuwahudumia wananchi kwenye sekta mbalimbali ikiwemo afya, ukusanyaji mapato na utoaji wa taarifa.”

Kadhalika, Waziri Mkuu amesema Serikali itaendelea kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika kutengeneza mifumo ya TEHAMA ili kutekeleza kwa vitendo azmaya kuwapatia wananchi maendeleo hususani waishio maeneo ya vijijini huduma bora na kwa wakati.

Amesema kwa sasa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) inauwezo wa kuona na kubaini makusanyo yanayoendelea kukusanywa katika halmashauri mbalimbali nchini na kiasi kinachoingizwa benki kwa kupitia TEHAMA.

Pia, Waziri Mkuu amsema Serikali imeendelea kuunganisha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwenye taasisi zake ili kufanikisha azma ya kutumia Serikali mtandao, zoezi ambalo linakwenda sambamba na kuunganisha baadhi ya shule za msingi, shule za Sekondari, Ofisi za Wakuu wa Wilaya, Polisi, Hospitali za Wilaya, Vyuo Vikuu na Vituo vya Posta.

Wakati huo huo,Waziri Mkuu ameipongeza kampuni ya HUAWEI kwa uzinduzi wa program yao ya Seed of the Futureambayo inalengo la kuwajengea uwezo wa TEHAMA wanafunzi mbalimbali nchini katika hatua za awali kabisa.

Amesema iwapo TEHAMA itatumika vizuri itatoa fursa kwa watu wote kupata elimu, kuleta usawa katika elimu, kujenga mazingira na mbinu bora za ufundishaji na kujifunza, kuongeza weledi wa walimu, kuimarisha usimamizi wa masuala ya elimu, uongozi na utawala. 

Mashindano hayo ya TEHAMA ya HUAWEI yaliasisiwa mwaka 2015 na baadaye mwaka 2016 yakazinduliwa huko Afrika Kusini, ambapo hadi kufikia mwaka 2017 tayari wanafunzi wapatao 40,000 wameshiriki mashindano hayo.

Kwa upande wa Tanzania, yamezinduliwa mwaka huu, ambapo wanafunzi 500 walishiriki na baadaye kubaki 50, ambapo  waliokabidhiwa tuzo ni saba na watatu kati yao na mkufunzi mmoja wamepata fursa ya kushiriki hatua inayofuata ya mashindano hayo nchini Afrika Kusini.

Sherehe hizo zimehudhuliwa na Balozi wa China nchini Tanzania, Balozi Wang Ke, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, Naibu Wazri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, Mkurugenzi Mtendaji wa HUAWEI Tanzania Frank Zhou na wawakilishi mbalimbali wa taasisi za Umoja wa Mataifa nchini.

 IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,

Kutana na Mtaalamu wa Magonjwa Sugu Anayetumia Tiba Asili Kumaliza Tatizo.....Anatibu UTI Sugu,PreshaUzazi

0
0
Je, unahitaji Huduma ya kutibu magonjwa na matatizo mbalimbali na umehangaika bila mafanikio, Sasa suluhisho lipo kwa Dr.mjukuu wa SAMIKI.,Hutibu magonjwa yafuatayo.

Tatizo la Nguvu za kiume,dawa yake Ni HOORO 4 POWER,Hutibu na tatizo kupona kabisa dozi siku 6,garama sh.175,000/=.

Kisukari ya kupanda na kushuka,dawa yake Ni SASI inaponesha kabisaa dozi siku 14 ya kupanda garama sh.250,000/= na ya kushuka dozi siku 6 garama sh.140,000/=

Busha bila operation,dawa yake Ni SHOOLA Hutibu Busha bila operation ndani ya siku 30 husambaa na kutorudi Tena.garama sh.340,000/=.

Vidonda vya tumbo,dawa yake Ni TULILA inatibu vidonda vya tumbo na kupona kabisa Ni ya unga na vidonge dozi siku 8 garama sh.130,000/=.

Tezi dume, Dawa yake Ni KALEMELA  Hutibu tezi dume dozi yake Ni siku 14 na kupona kabisa bila kuwekewa mirija Wala kwenda india,garama sh.620,000/=.

Miguu kuwaka moto, kuvimba, magoti kuuma,kiuno,mgongo,dawa yake Ni KOOLA Dawa hii Ni kiboko ya magonjwa hayo, Dozi siku 7 na garama Ni sh.120,000/=.

Maleria sugu na U.T.I ,SALALA Dozi siku 4 garama Ni sh.40,000/=.

Presha ya kupanda na kushuka,SWASWA Hutibu Presha ya kupanda na kushuka,ya kupanda dozi siku (6) na ya kushuka dozi siku (14)   garama Ni sh.200,000/=.

Uzazi,dawa yake Ni MPEELA MIXER wenye ugumba na utasa dawa hii hapa dozi siku (12),garama Ni sh.200,000/=.

Pia natatua matatizo mbalimbali Kama,
   *Kumtuliza mke/mme asietulia ndani,kumrudisha mpenz au mchumba aliekuacha
    *Kuua kesi kwa mda mfupi
    *Kulipwa madeni au kwa alietapeliwa kurudishiwa.
   *Kutimiziwa ahadi ulizo ahidiwa.
    *Kutupiwa majini,kurogwa na kuweka Zindiko katika eneo la biashara ama nyumbani kwako.

  Pia kwa wanaohitaji mabadiliko ya mwili kama;  (1)kurefusha uume na kunenepesha DUDUMA MIXER POWER  nchi 6 kwa sm 4 Dozi siku 3,garama 120,000/=
    (2)kuongeza hips na makalio 86,000/=
     (3)matiti kuwa makubwa au kupunguza kuwa madogo 40,000/=.

    ( 4) chunusi sugu, michirizi,na makovu 45,000/=
     (5)Mguu wa bia,40,000/=.

   UPATIKANAJI WA HUDUMA ZANGU NI TANZANIA TU,NA NI KWA DR.MJUKUU WA SAMIKI OFISI ZANGU ZIPO KAHAMA NA DAR ES SALAAM,KAMA UPO TOFAUTI NA ZILIPO OFISI ZANGU NITAKUFIKIA AU KUKUSAFIRISHIA DAWA UNAYOHITAJI..,PIGA SIMU SAA 24,

0744  922 ,982(WHATSAPP)
0716  608, 959
0784  475, 946

Serikali Yawataka Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi Kuwa Wazalendo

0
0
Na Jonas Kamaleki- MAELEZO, Dodoma
Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi wametakiwa kujiepusha na vitendo vya rushwa na kuwa wazalendo, wabunifu katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku.

Rai hiyo imetolewa leo na Jijini Dodoma na Naibu Wairi wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji wakati akifungua Kongamano la Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi.

Amesema matokeo ya ukaguzi yanaonyesha kuwa kuna viashiria vya rushwa kwenye miradi ya umma, kitu ambacho kinatisha kwa maendeleo ya Taifa na hivyo kuwataka wataalaamu wa manunuzi na ugavi kuepuka vitendo hivyo viovu.

Dkt. Kijaji amesema kuwa program na miradi mingi ya Serikali haiwezi kufanyika bila kuhusisha ununuzi na ugavi na hivyo kuwataka wataalamu hao kuwa waadilifu na kufanya kazi kwa ujuzi na weledi.

“Mafanikio yetu katika kuufikia uchumi wa kati ifikapo 2025 yatatokana na umakini wetu, ubunifu wetu na uzalendo kwa Taifa letu,” alisema Dkt. Kijaji.

Aliongeza kuwa ubunifu ndio nguzo kuu ya mafanikio ya Taifa na kuongeza kuwa uzalendo wa hali ya juu utumike katika kusimamia mipango na miradi ya Serikali.

Aidha, Dkt. Kijaji amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi wa Rais, Dkt. John Pombe Magufuli imejipambanua katika kuwaletea wananchi maendeleo, hivyo wataalamu wa ununuzi na ugavi hawana budi kutumia ujuzi wao kuhakikisha thamani ya fedha katika miradi yote inakuwa halisi.

Akisisitiza kuhusu ujenzi wa Tanzania ya viwanda, Dkt. Kijaji amesema kuwa viwanda vitachochea utoaji wa ajira, ongezeko la pato la Taifa na pato la mtu mmoja mmoja, hivyo kufanya maisha ya Watanzania kuwa bora.

“Viwanda vitaongeza uzalishaji na kufanya nchi yetu kuuza bidhaa nyingi nje ya nchi na kuongeza fedha za kigeni, na kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru Tanzania imekuwa na fedha ya kigeni ya kutosha kuagiza bidhaa toka nje kwa kipindi kisichopungua miezi sita na kuwa ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki,” aliongeza Dkt. Kijaji.

Naibu Waziri Kijaji amesititiza suala ubunifu kutiliwa mkazo ikizingatiwa kuwa Tanzania kwa suala la ubunifu ipo chini ya ailimia 50, hivyo kuitaka Bodi ya Ununuzi na Ugavi kuwekeza zaidi katika ubunifu ili kufikia maendeleo endelevu.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi, Sister, Dkt. Hellen Bandiho, amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Tano katika kipindi cha miaka mitatu imekuwa na mafanikio makubwa katika utoaji elimu bure, kuboresha utoaji wa huduma za jamii kama vile afya na uwajibikaji kwa watumishi umma, kuboresha miundombinu na ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) ikiwemo ununuzi wa ndege unaoendana na ufufuaji wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL).

Ameongeza kuwa hadi kufikia Desemba Mosi 2018, Bodi imesajili jumla ya wataalamu 10,863 katika ngazi mbalimbali za ununuzi na ugavi.

“Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi inatekeleza agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli la kuhamia Dodoma na tumefanikiwa kupata ofisi za kupanga kwenye jingo la PSSSF, hivyo Bodi inatarajia kuhamia Dodoma hivi karibuni baada ya utaratibu wa kiutawala kukamilika,”alisema Dkt. Bandiho.

Hili ni Kongamano  tisa na linafanyika kwa siku tatu Jijini Dodoma ambapo linahudhuriwa na washiriki kutoka mikoa yote ya Tanzania.

Video Mpya: Lyyn Feat Marioo – Chafu

0
0
Mwanadada maarufu Bongo, Irene Godfrey maarufu kama Official Lyyn leo ameingia rasmi kwenye Bongo Fleva kwa kutoa video yake mpya ya inayoitwa ‘Chafu’ ambayo amemshirikisha Mario. Itazame hapo chini

Freeman Mbowe Atuma Ujumbe Akiwa Gerezani

0
0
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe, amewataka wafuasi wake wasihuzunike na hatua ya yeye kuwekwa rumande kwa madai ya kutopatiwa dhamana bali watumie nafasi hiyo kuombea tume huru ya uchaguzi.

Kauli hiyo ya Mbowe imetolewa Jijini Dar es salaam na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho bara na mbunge wa Jimbo la Kibamba, John Mnyika wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea siku ya kusikilizwa rufaa ya kupata au kutopata dhamana kwa viongozi hao wawili.

"Mwenyekiti amesisitiza sana, kutomlilia yeye bali walilie taifa letu kutafuta mabadiliko, kudai tume huru ya uchaguzi, kwa sababu kesi hii msingi wake ni uchaguzi uliosababisha kifo cha Mwanafunzi wa NIT, Akwilina kwa hiyo naomba wajitokeze kwa waingi kesho," amesema Mnyika.

Wakati huohuo Mnyika amebainisha kuwa chama hicho kupitia mawakili wake kimewasilisha maombi ya kuiomba mahakama kutoa kipaumbele kwa kesi dhdi ya viongozi wake kabla ya mahakama hiyo haijaenda likizo.

Mbowe na Matiko wako mahabusu baada ya kufutiwa dhamana kwenye kesi yao ya msingi inayowakabili juu ya kusababisha kifo cha aliyekuwa mwanafunzi wa NIT, Akwilina Akwilini ambapo walifutiwa dhamana hiyo kwa madai ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana.

Rais Magufuli Amjulia Hali Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi Anayepatiwa Matibabu Jijini Dar Es Salaam

0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali  Jijini Dar es Salaam.Disemba 5,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiomba Dua Maalumu na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi, Bi. Sitti Mwinyi (Mke wa Mzee Mwinyi) pamoja na Abdallah Mwinyi (Mtoto wa Mzee Mwinyi) alipomtembelea kumjulia hali Jijini Dar es Salaam.Disemba 5,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali  Jijini Dar es Salaam.Disemba 5,2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bi Sitti Mwinyi Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali  Rais Mstaafu Jijini Dar es Salaam.Disemba 5,2018

PICHA NA IKULU

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi ya Disemba 6

Zitto Kabwe 'Kujisalimisha' TAKUKURU Kesho Ijumaa

0
0
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, kesho anatarajia kuitikia wito wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kuhusiana na mambo aliyoandika kwenye mitandao ya kijamii.

Takukuru kupitia Naibu Mkurugenzi Mkuu wake, Brigedia Jenerali John Mbungo, ilimtaka kiongozi huyo kufika ofisini kwake kutoa ushahidi wa tuhuma alizozitoa kuwa kuna kampuni tatu za chuma zimewahonga baadhi ya viongozi wa serikali.

Sehemu ya taarifa ya wito huo ilieleza kuwa: “Tunatoa taarifa hii kupitia vyombo vya habari kumwomba Zitto Kabwe afike ofisi za Takukuru Dar es Salaam mapema iwezekanavyo ili tushirikiane katika kulishughulikia suala hili muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya taifa letu.”

Alipotafutwa Afisa Habari wa ACT-Wazalendo, Abdallah Khamis, kueleza ni lini kiongozi huyo atakwenda kuripoti Takukuru, alisema Zitto ataripoti Takukuru Ijumaa (kesho).

Kwenye mitandao ya kijamii Zitto alidaiwa kuandika kuwa amepata habari za kushtusha kuwa kampuni tatu za China, Russia na Uturuki zimewahonga baadhi ya watendaji wa serikali kuchelewesha mradi wa Mchuchuma na Liganga. Lengo ni kuhakikisha nchi hizo zinapata soko la chuma chao.

Aliendelea kuandika kuwa kuhujumu mradi wa Mchuchuma na Liganga ni uhaini. Baadhi hawawezi kusahau hujuma hiyo na yeyote anayeshiriki atasakwa mpaka kaburini kwake, ikibidi kuondoa kinga za watu ili liwe fundisho kwa uhujumu huu uchumi na uhai wa taifa letu.

Aliandika zaidi kuwa msamaha wa kodi kwa bomba la mafuta kutoka Uganda ni mkubwa na hauna faida kulinganisha na mradi wa Mchuchuma na Liganga utakaotoa ajira za kudumu 35,000 kuingiza fedha za kigeni bilioni 4.6 kwa mwaka na kuifanya nchi yetu kuwa na viwanda vikubwa.

TUCTA Yaigomea Serikali ukokotoaji mafao ya wastaafu

0
0
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) limepinga kanuni mpya ya kukokotoa mafao ya wastaafu iliyotolewa hivi karibuni likisema inakandamiza wafanyakazi.

Shirikisho hilo limesema pendekezo la wafanyakazi lilikuwa ni kuunganishwa kwa mifuko ya hifadhi ya jamii na si kanuni mpya ya vikokotoo inayolalamikiwa.

Mjadala mkubwa unaendelea nchini baada ya kutangazwa kwa kanuni mpya za sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii ya mwaka 2014 ambazo zinaelekeza pamoja na mambo mengine, kuwa wastaafu wote watalipwa mkupuo wa asilimia 25 ya mafao pindi wanapostaafu na asilimia 75 inayobaki watakuwa wakilipwa kama pensheni ya kila mwezi.

Akizungumza na waandishi wa habari jana mara baada ya kikao cha 35 cha shirikisho hilo mjini hapa, Rais wa Tucta,  Tumaini Nyamhokya alisema kanuni hizo ni kandamizi na zimepokewa na wafanyakazi kwa mtizamo hasi na zitashusha ari yao na ufanisi.

“Kuunganishwa kwa mifuko ni hoja ya Tucta tangu mwaka 2004 lakini kanuni mpya ni kinyume cha mapendekezo yetu. Sisi tulitaka kanuni zibaki kuwa za mwaka 2017 ambapo kikokotoo ni 1/540 na mkupuo ni asilimia 50, huku wastani wa umri wa kuishi ukiwa ni miaka 15.5,” alisema Nyamhokya.

Alisema hoja ya ufanisi wa mifuko kwa mkupuo wa asilimia 50 hakutakuwa na shida yoyote endapo Serikali italipa madeni yote ya mifuko na mifuko kuacha uwekezaji usio na tija au kuuza kabisa.

Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) imewahi kufafanua kuhusu deni hilo ikisema Serikali haijakopa katika mifuko ya hifadhi ya jamii tangu mwaka 2013 kwa sababu tayari ilifikia ukomo ambao ni asilimia 10 kwa mujibu wa mwongozo.

“Kwenye vitabu vya Serikali madeni yake kwa mifuko ya hifadhi ya jamii bado yapo. Serikali haijakana madeni yake tangu kuunganisha mifuko hii na mara ya mwisho ilisema itatoa hati fungani ili kulipa hayo madeni yake,” alisema Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.

Wizara ya Mawasiliano yaagiza mafundi simu wasajiliwe TCRA

0
0
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imeiagiza Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) kusajili mafundi wanaotoa huduma za matengenezo ya simu za mkononi kwa mujibu wa sheria zilizopo na kuhakikisha huduma wanaozotoa kwa wananchi zina viwango stahiki.

Agizo hilo limetolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Sekta ya Mawasiliano Dk Jim Yonaz jana Jumatano Disemba 5, alipokuwa akiwatunuku vyeti vya kuhitimu mafunzo ya miezi mitano kwa mafundi simu 68 yaliyotolewa katika Chuo cha Sayansi na Teknolojia (DIT).

Dk Yonaz amewataka mafundi simu hao kutumia elimu waliyoipata katika mafunzo hayo wakaitumie kwa kuwahudumia wananchi kwa uadilifu mkubwa na kuwa mfano kwa mafundi wa aina hiyo hapa nchini.

“Kuanzisha mafunzo haya ya kurasimisha ufundi wa simu za mkononi kutawasaidia mafundi kufanya kazi kwa weledi na ufahamu lakini pia itaisaidia TCRA kutoa leseni kwa mafundi ambao kiwango chao kinafahamika.

“Yamekuja kwa wakati muafaka na naomba yaendelee kusimamiwa vyema ili mafundi simu za mikononi nchini kote waweze kupata elimu hii, ” amesema Dk Yonaz.

Aidha Dk Yonaz ametoa rai kwa wadau wa Mawasiliano nchini kubuni mipango endelevu ya kushirikiana kuchangia katika kufanikisha mafunzo hayo.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images