Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Batuli afunguka..."Sijawahi kumpenda mwanaume kama nilivyompenda Mtunis"

$
0
0
KWA mara nyingine, staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf  ‘Batuli’ amemwaga data za kimapenzi akidai hajawahi kumpenda mwanaume kama alivyompenda Nice Mohammed ‘Mtunis’.   Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Batuli alisema licha ya kuwa walimwagana na staa huyo lakini hatokuja kupenda mwanaume kama alivyompenda Mtunis.   “Nilivyompenda Mtunis ni ngumu sana kumpenda

Basi Lagonga Lori na kuua watu 10....Lilikuwa likitoka Mwanza kwenda Bunda, Hospitali yatangaza majina ya majeruhi

$
0
0
WATU 10 wamekufa na wengine 10 kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa na kokoto lililoegeshwa kando ya barabara kisha kupinduka katika eneo la Nyamhongholo, jijini Mwanza.   Akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Rufaa ya Bugando, Daktari wa Idara ya Dharura, Dk Regina Mutayangulwa, alisema miili ya abiria hao na majeruhi

Serikali yasema VIPIMO na MATIBABU ya homa ya Dengue ni BURE

$
0
0
Magreth Kinabo – MAELEZO Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, amewataka wananchi wa mkoa huo wanapohisi wana dalili za ugonjwa wa dengue kuwenda katika hospitali za Serikali kwa kuwa matibabu hutolewa bila malipo. Aliyasema hayo kwenye ukumbi wa mkutano wa Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuulizwa swali juu ya

Jambazi HATARI ambaye ni Kinara wa Uporaji katika Mabenki Atajwa....Jambazi huyu ni mume wa kigogo wa benki ya Barclays, Ana mtandao hatari unaohusisha Vigogo

$
0
0
PRESS RELEASE 14/05/2014 POLISI WAMGUNDUA KINARA WA MTANDAO WA WIZI KATIKA MABENKI JIJINI D’SALAAM (PICHA YAKE YATOLEWA HADHARANI) ANATAFUTWA NA JESHI LA POLISI Jeshi la Polisi Kanda Maalum D’Salaam limefanikiwa kumbaini mtuhumiwa mhimu ambaye ni kinara wa mtandao wa wizi katika mabenki ambaye anajulikana kwa jina la RONALD S/O MOLLEL, umri miaka 37, mfanyabishara na mkazi wa Kimara

UCHAWI watajwa kutawala katika penzi la Ray na Chuchu Hans

$
0
0
UCHAWI umetajwa kwenye mapenzi ya staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na ubavu wake wa sasa, Chuchu Hans. Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, mapenzi ya Ray kwa Chuchu ni makubwa sana kiasi kwamba hayawezi kuwa ya hivihivi tu kwani msichana huyo ni mtoto wa Kitanga anayejua jinsi ya kumshika mwanaume kama Ray.   “Unajua siku moja niliongea na mtu, sitaki kumtaja jina. Akasema

Kunguni watikisa shule ya Pugu aliyofundisha mwalimu Nyerere, wanafunzi walala madarasani

$
0
0
Moja kati ya maadui wakubwa wa usingizi ni mdudu ‘kunguni’ ambaye anaweza kumfanya mtu anayepanga kujipumzisha kuhisi anaadhibiwa kwa kufinywa.   Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Pugu iliyoko Dar es Salaam, ambayo ina historia ya pekee kwa kuwa ni moja kati ya shule alizofundisha muasisi wa Taifa hili, mwalimu Julius Kambarage Nyerere wamekumbwa na mtihani mkubwa na kulazimika

VIDEO: Msikilize Diamond akiongea na Gestina George baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo kubwa za BET ( BET Awards 2014 )

$
0
0
Mwaka huu unaonekana kuwa mwaka wa mafanikio zaidi kwa Diamond PlatinumZ ambaye anazidi kuongeza ukubwa wa CV yake katika muziki kwa kupanda ngazi na majukwaa ya kimataifa.   Mshindi huyo wa tuzo saba za KTMA2014 ametajwa jana (May 14) kuwania tuzo kubwa duniani zinazotolewa na Black Entertainment Television (BET Awards 2014) katika kipengele cha Best International Act Africa huku

Kwanini Wema Sepetu hatumii umaarufu wa Diamond kutafuta fursa ya kufanya filamu za kimataifa?

$
0
0
Siku Diamond Platnumz anafagia tuzo saba za Kilimanjaro, ubavu wake wa kushoto Wema Sepetu alikuwa naye bega kwa bega. Na katika wakati mmoja alipanda jukwaani kutoa maneno ya shukrani kwa niaba yake na alisikika akisema anajivunia kuwa mke mtarajiwa wa staa huyo wa muziki nchini.  Wema na Diamond wana historia ndefu ya mapenzi na uhusiano wao unaongoza kwa kuandikwa zaidi na vyombo

Breaking News: Mtoto Afariki Dunia baada ya kuangukiwa na Jiwe kubwa Ilemelea jijini Mwanza ....Mtoto huyo alikuwa na wazazi wake wakichimba kokoto za kuuza

$
0
0
Mtoto  mmoja  aliyefahamika  kwa  Jina  la  Malaika  Jackson  amefariki  dunia  Muda  huu  ( saa kumi jioni )  baada  ya  kuangukiwa  na  Jiwe  kubwa  lililoporomoka wakati   baba  yake  akichimba  kokoto  katika  mlima  Giza, maarufu  kama  mlima  wa  Rada  uliopo  maeneo  ya  Kiseke, Wilaya  ya  Ilemela  mkoani  Mwanza Kabla  ya  kufikwa  na  mauti  hayo, Mtoto  huyu  alikuwa   na  baba

Wabunge 25 watarajiwa kuhama vyama vyao na kujiunga na chama kipya cha ACT-Tanzania.....Wamo wabunge 17 wa CHADEMA, Wanne wa CCM, Watatu wa NCCR-Mageuzi na mmoja wa CUF

$
0
0
Wanasiasa  kutoka  vyama  mbalimbali  vya  siasa  nchini  wakiwemo  wabunge  17 kutoka  chama  cha  Demokrasia  na  Maendeleo  ( Chadema ),wanatarajiwa  kujiunga  na  chama  kipya  cha  siasa  nchini, ACT -Tanzania, kilichopata  usajili  wa  kudumu  mapema  mwezi  huu.... Mbali  na  kuwanasa  wabunge  hao  wa  CHADEMA pia  kimefanikiwa  kuwavuta  wabunge  wanne  kutoka  chama  cha 

Hizi ni Nafasi Mpya za kazi toka Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC)

$
0
0
Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) is looking for experienced, dynamic, energetic, visionary and qualified candidates to fill the most senior positions within the Corporation’s.  These positions will provide supporting roles to the Managing Director. Specific day to day duties and responsibilities of the senior positions listed in the following.....   BONYEZA  HAPA

Mwimbaji Amina Ngaluma afariki Dunia

$
0
0
MWIMBAJI nyota wa zamani wa bendi mbalimbali nchini ikiwamo Double M Sound, African Revolution 'Wana Tamtam', Amina Ngaluma 'Japanese' amefariki dunia akiwa nchini Thailand baada ya kupatwa na uvimbe kichwani.    Mpaka mauti yanamfika, Amina alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Jambo Survivors. Msiba upo Kipunguni B, Machimbo jijini Dar es Salaam <!-- adsense -->

Magazeti ya Leo Ijumaa ya Tarehe 16 May 2014

$
0
0
Magazeti  ya  Leo  Ijumaa  ya  Tarehe  16  May  2014

Johari afunguka : Ray hawezi kumuoa Chuchu Hans, huo ni utapeli tu

$
0
0
Blandina Chagula ‘Johari’, juzikati alifunguka kwamba watu waachane na kusikiliza habari za matapeli wa mapenzi, maana suala la Vicent Kigosi ‘Ray’, kumvisha pete mchumba wake wa sasa Chuchu Hans si la kweli na kwamba huo ni utapeli. Akizungumza Ijumaa Mei 13, mwaka huu Johari alisema hana taarifa zozote za Ray kumvisha pete Chuchu na wala hatarajii kusikia tukio la wawili hao

Maswali 10 tata pamoja na Majibu yake kuhusu Homa ya dengue

$
0
0
Tangu ugonjwa wa homa ya dengue uibuke mkoani Dar es Salaam na baadaye maeneo mengine ya nchi, wananchi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi yenye utata ambayo sasa yamepata majibu ya wataalamu.    1. Kwa nini mbu wengine wakiwamo wanaoambukiza malaria hawawezi kuambukiza dengue? Mtafiti wa tabia za mbu kutoka Taasisi ya Afya ya Ifakara (IHI), Dk

Serikali yasema ina mpango wa kujenga MAHABUSU za watoto katika kila mkoa nchini.

$
0
0
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima amesema Serikali ina mpango wa kujenga mahabusu za watoto katika kila mkoa nchini. Alitoa kauli hiyo bungeni jana wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Omar Juma (CUF).   Katika swali lake mbunge huyo alitaka kujua lini Serikali itajenga mahabusu za watoto ili kuwapunguzia udhalilishaji na manyanyaso

Mwanafunzi wa Chuo kikuu wa SAUT jijini Mwanza auawa na wanafunzi wenzake kwa tuhuma za wizi

$
0
0
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) cha jijini Mwanza, Helma Michael (22) ameuawa kwa kupigwa mawe na wanafunzi wenzake, wakimhisi kuwa ni mwizi wa kompyuta ndogo za mkononi na deki chuoni hapo.  Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Valentino Mlowola, alisema juzi kuwa mwanafunzi huyo aliuawa Mei 13 mwaka huu saa 4.00 usiku, katika eneo la Nyamalango Malimbe, ambapo baada ya

Nafasi za Mafunzo na kazi toka RafikiElimu Foundation......Baada ya mafunzo haya wahitimu watapata nafasi ya kufanya kazi katika mradi wa 'Wanawake Salama Tanzania'

$
0
0
Taasisi  Ya  RafikiElimu  FOUNDATION   inatangaza  nafasi  za   MAFUNZO  YA  UENDESHAJI  NA  USIMAMIZI  WA  TAASISI  ZISIZO  KUWA  ZA  KISERIKALI. (  NGO  MANAGEMENT & OPERATION  )  kwa  waombaji  wenye  sifa  zifuatazo : i. Awe  wa  jinsia  ya  kike. ii. Elimu  Ya  Kuanzia  Kidato  Cha  Nne , Sita  na  kuendelea. iii.Uwezo  wa  kuwasiliana  kwa  ufasaha  kwa  lugha  za  Kiswahili  na 

Watu wanne wapoteza maisha kwenye mlipuko wa Bomu Mjini Nairobi, Kenya

$
0
0
WATU wanne wanadaiwa kupoteza maisha wakati wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya milipuko miwili ya maguruneti kutokea eneo la Gikomba mjini Nairobi, Kenya.  Mlipuko wa kwanza umetokea katika basi la abiria 'matatu' wakati wa pili ukitokea katika soko la Gikomba. <!-- adsense -->

Kijana aliyenunua makahaba wawili na kujifungia nao chumbani kwa lengo la kuwafaidi wote AUMBUKA.....Makahaba wamzidi nguvu,azima na kupoteza fahamu

$
0
0
Mwanaume  mmoja  ambaye  ni  muokota  chupa  maarufu  aliyetambuliwa  kwa  jina  moja  la  Hamad  anadaiwa  kunusurika  kufa  katika  nyumba  moja  ya  kulala  wageni  iliyoko  eneo  la  Manzese  jijini  Dar  kufuatia  kuthubutu  kwake  kufanya  ngono  na  makahaba  wawili  kwa  pamoja..... Kwa  mujibu  wa  mashuhuda  wa  tukio  hilo, inaelezwa  kwamba  mara  baada  ya  Hamad  kujipatia 
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images