Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Loveness Diva kufanya Video ya ‘Mashallah’ na Director wa Kenya

$
0
0
Diva The Bawse ambaye ametoa wimbo wake mpya ‘Mashallah’ siku chache zilizopita, amesema anajiandaa kuufanyia video pamoja na kuanza tour ya kuutangaza wimbo huo. “Video tunatarajia kufanya na aliyefanya ‘Asante’ ya Ay,” Diva ameiambia Mpekuzi leo.   Ameongeza kuwa kwasasa ameamua kuingia kwenye muziki kwa miguu yote miwili, ndio sababu anatarajia kuanza kufanya tour mikoani

Orodha ya wasanii wa Kili Music Tour 2014 yatajwa, tweet ya Jaydee yamponza, aachwa mwaka huu

$
0
0
Orodha ya wasanii watakaoshiriki kwenye Kili Music Tour 2014 imetangazwa leo.   Mwaka huu zaidi ya wasanii 30 watashiriki katika ziara hiyo kwenye mikoa zaidi ya 10 nchini  itakayoanza Mei hadi Septemba 2014. Wasanii hao ni pamoja na Diamond, Ommy Dimpoz, Linex, Proffesor Jay, Izzo Biznes, Kala Jeremiah, Fid Q, Snura, Weusi, Ben Pol, Mzee Yusuph, Shilole na Mwasiti.   Wengine

Nigeria yasema iko tayari kulegeza Msimamo kwa wafungwa wa Boko Haram ili wasichana waliotekwa waweza kuachiwa huru

$
0
0
Serikali ya Nigeria inasema kuwa iko tayari kuzingatia mbinu zote zitakazowezesha kuachiliwa huru  na  salama kwa zaidi ya wasichana mia mbili wa shule waliotekwa nyara na wanamgambo wa kiislamu wa Boko Haram. Awali waziri wa serikali alikuwa ameshikilia msimamo mkali kama vile kukatalia mbali pendekezo la kiongozi wa Boko Haram la kubadililishana wafungwa wa Boko Haram wanaozuiliwa

Kichanga chatupwa mto Ng'ombe jirani na Rasco, Mwananyamala jijini Dar.....Kinakadiriwa kuwa na siku mbili, kilikuwa ndani ya Rambo

$
0
0
MWILI wa kichanga kinachokadiriwa kuwa na siku mbili umeokotwa ukiwa umetupwa eneo la mto Ng'ombe jirani na Rasco, Mwananyamala jijini Dar.   Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, kichanga hicho cha kiume kimekutwa eneo hilo jana  asubuhi kikiwa kwenye mfuko wa Rambo.    Mwandishi wetu  alifanikiwa kuongea na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Makumbusho, Bi. Husna aliyetoa rai kwa

Wema awagombanisha Diamond na Prezzo.....Prezzo ajisifu kumvua nguo Wema,Diamond awa mbogo

$
0
0
RAIS wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul  ‘Diamond’ yuko ndani ya bifu zito na mwanamuziki kiwango cha juu kutoka nchini Kenya, Jackson Ngechu Makini ‘Prezzo’ chanzo kikidaiwa ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. Bifu la wawili hao limekuja kufuatia madai kwamba, Prezzo amemtundika Diamond kwenye mtandao akimkejeli kwa kitendo chake cha kurudiana na Wema na kuweka mambo hadharani.

Penny: Sitaki kusikia habari za Diamond....Nina mpenzi wangu mwingine

$
0
0
Zilipendwa wa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’,  amefunguka kuwa hataki kumsikia mpenzi wake huyo wa zamani kwa madai kuwa amefungua ukurasa mpya wa uhusiano na mtu ambaye hata hivyo hakuwa tayari kumweka wazi.    Penny alisema hayo hivi karibuni jijini Dar wakati akizungumza na Risasi lililotaka kujua anazungumziaje tuzo saba za

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga asema FORM SIX atakayekacha mafunzo ya JKT atafikishwa mahakamani

$
0
0
Vijana wasiopungua 45,000 watakaomaliza kidato cha sita watajiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria na watakaokwepa mafunzo hayo ya miezi mitatu, watashtakiwa.    Mpango huo wa kupitisha JKT wahitimu wa kidato cha sita na vyuo, ambao ulifutwa mwanzoni mwa miaka ya 90 kutokana na matatizo ya kifedha na kurejeshwa bila mafanikio ya miaka ya hivi karibuni, ulilenga

Magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 14 May 2014

$
0
0
Magazeti  ya  leo  Jumatano  ya  tarehe  14  May  2014

Mlevi afariki dunia baada ya kunywa VIROBA vingi bila kula chakula

$
0
0
Michael  Silanda ( 26 )   mkazi  wa  kijiji  cha  Ibindi, tarafa  ya  Nsimbo  wilaya  ya  Mlele  mkoani  Katavi  amefariki  dunia  baada  ya  kunywa  pombe ( Viroba )  aina  ya  Zed  kupita  kiasi  bila  kula  chakula.... Kamanda  wa  polisi  mkoani  Katavi,Kamishna  Msaidizi  Mwandamizi,Dhahiri Kidavashari  amesema  tukio  hilo  limetokea  wiki  iliyopita  majira  ya  saa  sita  usiku 

Abiria wa Bodaboda wageuziwa Kibao.....Abiria Ukikutwa umepanda pikipiki isiyo na lesini utafikishwa mahakamani

$
0
0
Meya  wa  jiji  la  Dar es Salaam,Dr Didas Massaburi  amesema  abiria  wataokutwa  wakiwa  wamepanda  Pikipiki  maarufu  kama  Boda boda  katika  maeneo  ambayo  pikipiki  hizo  hazina  leseni  ya  kufanya  biashara  watakamatwa  na  kufikishwa  mahakamani  pamoja  na  dereva..... Alisema  pia  wafanyabiashara  wadogo  wataokutwa  wakifanya  biashara  katika  maeneo  yasiyoruhusiwa 

Je, Unasumbuliwa na tatizo la Vidonda vya Tumbo???.....Kama jibu ni Ndiyo, basi BOFYA hapa ukutane na maajabu ya dawa ya Mkatavido katika kutibu na kuponyesha tatizo hilo

$
0
0
Vidonda  vya  tumbo  ni  tatizo  linalo  wasumbua   watu  wengi  duniani .  Kwa   mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, takribani mtu mmoja kati ya watu kumi anasumbuliwa  na  tatizo  la  vidonda vya tumbo.        VIDONDA    VYA   TUMBO    NI    NINI   ? Kwa  lugha  nyepesi  na  yenye  kueleweka  kwa  kila  mmoja, vidonda  vya  tumbo  ni  majeraha  ndani  ya  tumbo  yanayo 

Jeshi la wananchi wa Tanzania ( JWTZ ) lasema liko tayari kwa lolote na Linasubiri Amri tu....Laonya haliyumbishwi na kauli za wanasiasa

$
0
0
NA THEODOS MGOMBA  wa gazeti la UHURU JESHI la Wanachi wa Tanzania (JWTZ), limeonya kuwa liko imara na litaendelea kusimamia na kutii amri na maelekezo ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete.   Pia, limesema kamwe halitayumbishwa na hila na kauli za kisiasa zinazotolewa kwenye majukwaa.   Kauli hiyo ya wapiganaji na walinzi wa taifa ilitolewa bungeni jana na Waziri wa Ulinzi na

Aua shemeji yake kwa kumkata Mapanga huko Tarime.....Kisa ni Mbwa kula Mayai

$
0
0
NA SAMSON CHACHA,Gazeti la Uhuru, TARIME MKAZI wa Kijiji cha Nyamwaga wilayani hapa mkoani Mara, Mbusiro Muyuyi, ameuawa kwa kukatwakatwa kwa panga kichwani na shemeji yake.   Mauaji hayo yaliyowashitua wengi wilayani hapa, chanzo chake ni mbwa wa mtuhumiwa, Mwita Muyuyi (17), kula mayai ya kuku wa marehemu.   Habari za kuaminika zimesema kuwa, Mbusiro (45), alimtuhumu shemeji yake

Natafuta Hata Boyfriend tu Jamani Upweke Umenishinda

$
0
0
Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua… Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake… Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi sawa Nimechoka kukaa peke yangu upweke noma sana…Nataka mtu Mstaarabu, Mpole kiasi , Mchapa Kazi mwenye Kupenda Maendeleo… Kama Vipi wacha e-mail yako ama number ya simu…ntaamua yupi

Unalichukuliaje suala la mtu kuvaa T- shirt yenye maandishi ambayo hayaendani na yeye au yenye maneno makali kama ya huyu mdau??

$
0
0
Mdau unalichukuliaje suala la mtu kuvaa T- shirt yenye maandishi ambayo hayaendani na yeye au yenye maneno makali hata yakiwa katika lugha si ngeni? Je mtu akivaa T-shirt ya namna hiyo na hajui maana ya maneno anastahili lawama?    <!-- adsense -->

Girlfriend wa Cristiano Ronaldo ashambuliwa kwa kupost picha akiwa Uchi na bango lililoandikwa #bringbackourgirls

$
0
0
Tangu wasichana 276 wa Nigeria walipotekwa nyara na kundi la Boko Haram, watu mbalimbali maarufu duniani wamepost picha kwenye mitandao ya kijamii wakiwa na mabango yaliyoandikwa ‘Bring back Our Girls’, ikimaanisha wanajiunga na kampeni ya raia wa Nigeria.   Mwana mitindo Irina Shayk ambaye ni mpenzi wa mchezaji wa mpira wa miguu Christian Ronaldo yeye amepost picha kwenye twitter

Wimbo Mpya: Victoria Kimani Feat. Diamond & Ommy Dimpoz - Prokoto

$
0
0
Msanii wa Chocolate City, Victoria Kimani ameachia wimbo wake ‘Prokoto’ ambao amewashirikisha wakali wa bongo flava, Ommy Dimpoz na Diamond. Usikilize hapa:

Siri Imefichuka: Kumbe Jay Z alitaka kwenda kwenye party ya Rihanna bila Beyonce ndio mzizi wa kupigwa na Solange ambaye ni Shemeji yake

$
0
0
Tetesi za chanzo cha mdogo wake Beyonce, Solange kumpiga Jay Z walipokuwa ndani ya lift zinazidi kuzua ripoti kutoka kwa vyanzo mbalimbali.   Kwa mujibu wa The New York Daily News, Solange anadaiwa kuwa alichukizwa na uamuzi wa Jay Z kutaka kuondoka kwenye After Party waliyokuwepo na Beyonce na Solange Standard Hotel na kutaka kwenda kwenye after party ya Rihanna bila Beyonce.  

Diamond ni moto wa kuotea mbali....Televisheni kubwa ya Marekani yamchagua kuwania Tuzo ya Msanii bora wa Kimataifa

$
0
0
Msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz ameipa ten heshima kubwa bendera ya Tanzania kwa kuwa kwenye kipengele cha msanii bora wa Kimataifa [Best International Act ], Hii na hatua kubwa kwa Diamond baada ya siku chache tu nyuma alitangazwa kwenye tuzo za MTV Base (Mama Awards).   Diamond Platnumz kwenye kipengele hichi cha tuzo kubwa za Television kubwa ya burudani Marekani ya BET 

Magazeti ya Leo Alhamisi ya tarehe 15 May 2014

$
0
0
Magazeti  ya  Leo  Alhamisi  ya  tarehe  15  May  2014 <!-- adsense -->
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>