Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Kangi Lugola aibukia Zanzibar

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameibuka visiwani Zanzibar kwa ajili ya ziara ya Kikazi visiwani humo ambapo amekutana na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Rais wa Zanzibar Dkt Ally Mohamed Shein.

Waziri huyo amekutana na Rais wa Zanzibar Dkt Shein leo novemba 19 ikulu ambapo alifika ofisini kwa kiongozi huyo wa nchi kwa nia ya kujitambulisha akiambatana na baadhi ya viongozi wake wa wizara.

Miongoni mwa viongozi walioambatana na Kangi Lugola ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Kailima Ramadhani.

Hii ni mara ya kwanza kwa Kangi Lugola kuwasili visiwani humo tangu alipoteuliwa na Rais Magufuli kushika nafasi hiyo julai 1 mwaka huu baada kuenguliwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba kwa makosa mbalimbali ikiwemo kushindwa kudhibiti ajali za barabarani.



Dkt. Mahiga amwakilisha Mhe. Rais Magufuli katika Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa AU

$
0
0

Mhe. Augustine P. Mahiga (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alimwakilisha Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Mkutano Maalum wa 11 wa Wakuu Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika uliyofanyika tarehe 17-18 Novemba, 2018 mjini Addis Ababa, Ethiopia. 

Mkutano huo, uliitishwa kufuatia maamuzi ya Mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika uliofanyika mwezi Julai 2018 mjini Nouakchott, Mauritania ambapo Wakuu hao walielekeza uitishwe Mkutano Maalum kujadili kwa kina mabadiliko ya kitaasisi ndani ya Umoja huo.

Mkutano huo ulijadili na kutolea maamuzi mapendekezo kuhusu Muundo wa Uongozi (Portfolios) za Kamisheni za Umoja wa Afrika; chaguzi za Uongozi wa Kamisheni; Kusitisha ajira za viongozi wa Kamisheni; na Mabadiliko ya kiutawala na fedha ikijumuisha utendaji.
 
Mkutano ulikubaliana kupunguza idadi ya wajumbe wa Kamisheni klutoka 10 hadi 8 ambao ni Mwenyekiti wa Kamisheni, Makama Mwenyekiti na Makamishna 6. Maamuzi hayo yataanza kutekelezwa mwaka 2021 baada ya uongozi wa Kamisheni uliopo sasa kumaliza muda wake. Maamuzi yote yaliyotolewa yalilenga kuboresha utendaji wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika.

Mhe. Waziri aliungana na viongozi wengine waliochangia katika mjadala wa kuboresha utendaji wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika kwa kuunga mkono mabadiliko ya kitaasisi katika Umoja huo. Mhe. Waziri alieleza kwamba maamuzi hayo yanalenga kuleta ufanisi kwenye kutekeleza majukumu ya Kamisheni na kuhakikisha Afrika inapata maendeleo inayostahili haswa kwa kuzingatia Agenda 2063 ya Umoja wa Afrika.

Katika Mkutano huo Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Mhe. Paul Kagame alitoa salamu za rambirambi kwa Serikali za Tanzania, DRC na Malawi kufuatia vifo vya walinda amani wa nchi hizo nchini DRC.
 
Mhe. Waziri alimshukuru Mhe. Kagame kwa salamu hizo za rambirambi na kuahidi kwamba Tanzania itaendelea kuwa mstari wa mbele kupigania amani ya kudumu barani Afrika.

Mkutano pia ulijadili Mamlaka ya Wakala wa Maendeleo ya Umoja wa Afrika (African Union Development Agency - AUDA). Mkutano ulifahamishwa kuwa mchakato wa kubadilisha Taasisi ya Ushirikiano wa Maendeleo ya Uchumi (New Economic Partnership for Africa’s Development – NEPAD) kuwa AUDA utakamilika Februari 2019 kama inavyoelekezwa katika Maaumuzi ya Umoja wa Afrika Na. 691. Mkutano ulikubaliana na mapendekezo yote kuhusu Mamlaka ya AUDA na kwamba programu na miradi ya AUDA itafadhiliwa kupitia bajeti ya Umoja wa Afrika na misaada ya washirika wa maendeleo.

Agenda nyingine iliyojadiliwa wakati wa mkutano huo ni mabadiliko katika Taasisi ya Mchakato wa Kujitathimini kiutawala Bora Africa (African Peer Review Mechanism - APRM), ambapo mapendekezo yalitolewa ya kuiunganisha APRM kuwa moja ya taasisi za Umoja wa Afrika na kugharamia shughuli zake kwa kutumia bajeti ya Umoja huo. Aidha, iliamuliwa kuwa Wanachama wote wa Umoja wa Afrika wawe Wanachama wa APRM na APRM iwe huru katika kutekeleza majukumu yake.

Agenda nyingine kuu iliyojadiliwa na kutolewa maamuzi ni mapendekezo ya makadirio mapya ya viwango vya kuchangia Umoja wa Afrika na mapendekezo ya adhabu kwa Nchi ambazo zitachelewa kulipa michango yake. Mkutano uliazimia kuitishwa kwa Mkutano kati ya Kamati ya Kudumu ya Mabalozi, Wataalam wa masuala ya Fedha kutoka nchi wanachama na Kamati ya Mawaziri wa Fedha kupitia makabrasha yote yanayohusu Viwango vya kuchangia na adhabu kwa nchi ambazo hazitoa michango yao kwa wakati. Mkutano huo, unatarajiwa kufanyika tarehe 28-29 Novemba, 2018, Addis Ababa, Ethiopia na mapendekezo ya wataalam yatawasilishwa kwenye Kikao kijacho cha Baraza la Mawaziri mwezi Februari 2019.

Mkutano pia ulipokea mapendekeo ya mgawanyiko wa majukumu kati ya AU, Jumuiya za Kikanda na Nchi Wanachama. Mgawanyo wa majukumu unapendekezwa kuwezesha Jumuiya za Kikanda, Umoja wa Afrika na Nchi Wanachama kila moja kutekeleza majukumu yake na yale ambayo watachangia kwa pamoja.

Pembezoni mwa Mkutano huho wa Dharura Wakuu wa Nchi na Serikali walizindua Mfuko wa Amani wa Umoja wa Afrika (AU Peace Fund) ambao utashughulikia masuala yote ya Amani na Usalama katika Nchi Wanachama  ikiwemo viashiria vya uvunjifu wa Amani ili kuzuia kuibuka kwa migogoro. Mhe. Waziri alishiriki katika uzinduzi huo.
 
-Mwisho-
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dodoma, 19 Novemba 2018

Magazeti Yasiyohuishwa Kufutwa..... ”Yamo Jamhuri, Jamvi la Habari, Uhuru, Tanzania Daima"

$
0
0
Serikali kupitia Idara ya Habari-MAELEZO imetoa siku saba (7) kuanzia leo tarehe 19 Novemba,2018  kwa wamiliki wa machapisho/majarida ambayo muda wa leseni zao  umekwisha kuhuisha leseni zao.

Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Bw. Patrick Kipangula kwa niaba ya Mkurugenzi Idara ya Habari-MAELEZO inasema kuwa,  kuendelea kuchapisha na kusambaza machapisho ambayo muda wa leseni iliyoyolewa umekwisha ni kosa kisheria na Idara haitasita kuchukua hatua za kisheria ikiwa  ni pamoja na kufuta chapisho au jarida katika orodha ya machapisho yaliyopo.

Aidha, taarifa hiyo inasema kuwa, ili kupata majina ya machapisho ambayo muda wa leseni zao umekwisha tembelea tovuti ya Idara ya Habari – MAELEZO www.maelezo.go.tz sehemu ya chini kipengele cha “NIfanyeje” au kwa ufafanuzi zaidi wasiliana nao kwa namba zifuatazo 0622 664606 na 0717 312417.

Katika kutimiza utekelezaji wa matakwa ya Kifungu 5(e) cha Sheria ya Huduma za Habari na 12ya 2016 kikisomwa pamoja na kanuni zake 8(3)(4) na 12 ya Kanuni za Sheria za Huduma za Habari 2017 Tangazo la Serikali Na.18 la tarehe 3/2/2017 Idara ya Habari-MAELEZO inaendelea na zoezi la kuhuisha leseni za machapisho na majarida ambayo muda wake umefikia ukomo tangu kutolewa kwa leseni hizo.

Vera Sidika 'Amvua Nguo' Otile Brown Baada ya Kuachana

$
0
0
Licha ya kuachana, Vera Sidika na Otile Brown wameshindwa kuachana kiungwana kabisa .Hii ni baada ya Vera kuweka hadharani sms walizokuwa wakichati na Otile ambazo sio nzuri.

“Nakwambia sipendi kufanya mapenzi mara kwa mara, mimi napendelea Romance unitomase kifuani na kuninyonya shingoni na sehemu nyeti. Kiukweli napenda romance kuliko kufanya mapenzi mara kwa mara kwani nakosa hisia unaniumiza, unaponiingilia bila kuniandaa," haya ni baadhi ya maelezo ya moja ya Screenshots alizoweka Vera Sidika akichati na Otile Brown kipindi wakiwa wapenzi.

Vera kwenye screenshot hizo, kuna sehemu anamwambia Otile kuwa, yeye huwa haangalii ukubwa wa maumbile ya mwanaume bali anaangalia performance kitandani, kwani kuna watu wamejaliwa maumbile makubwa ila kitandani Zero.

Hata hivyo, Otile Brown kupitia majibizano hayo alimuuliza Vera kama amepata Bwana mwingine afute meseji zote alizomtumia, akilalamika kuhusu matatizo hayo, lakini Vera alikataa kufanya hivyo akidai kuwa hana mume.

Otile pia kwenye baadhi ya screenshot hizo, alimtaka Vera aache mchezo wa kujichua na angemfanyia vitu hivyo anavyovihitaji kwenye mapenzi.

Utakumbuka August 17, 2018 Vera Sidika alitangaza rasmi kuvunjika kwa mahusiano yake na Otile Brown ikiwa ni siku kadhaa kupita tangu kuonekana kwenye video ya muimbaji huyo unayokwenda kwa jina la Baby Love, hata hivyo walikuja kuachana tena.

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumanne Ya Novemba 20

Wimbo Mpya | Sam Wa Ukweli - VIMBA

$
0
0
Wimbo Mpya  | Sam Wa Ukweli - VIMBA

==>>Utazame hapo chini

Wimbo Mpya wa Mkaliwenu - Tumbo la Pombe

$
0
0
Mchekeshaji Mkaliwenu anakukaribisha kusikiliza wimbo wake mpya uitwao Tumbo la Pombe la Pombe. Usikilize hapa

Taarifa Kwa Umma Kutoka Mamlaka Ya Vitambulisho Vya Taifa (NIDA)

$
0
0
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuwajulisha Wananchi wote kuwa; imefungua Dawati maalumu la Usajili wa Vitambulisho vya Taifa na kushughulikia maombi yote ya haraka kwa wateja wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wenye hitaji la kufungua Kampuni, Kusajili Nembo za Biashara n.k

Huduma hii ya haraka (Fast Tracking) inatolewa kwenye ofisi zote za NIDA zilipo nchi nzima. Muhimu kuwa na nyaraka za Utambulisho zinazoonyesha hitaji la kufungua Kampuni au kusajili Nembo ya Biashara kulingana na utaratibu utakao elekezwa kwenye kituo chetu.

Kwa wateja ambao hawajaanza taratibu za Usajili wa Vitambulisho vya Taifa mnashauriwa kuanzia Serikali ya Mtaa/Kijiji unakoishi, kujaza fomu ya maombi ya Vitambulisho vya Taifa na kufika kwenye ofisi zetu kwa hatua ya kupiga picha, na kuchuliwa alama za vidole. Muhimu kuzingatia taratibu zote za Usajili na Utambuzi ni lazima zifuatwe kwa mujibu wa kanuni, taratibu na miongozo ya Usajili.

Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0673 – 333444.

Limetolewa na;

Akital

Dkt. Arnold Kihaule, 
MKURUGENZI MKUU 
19 NOVEMBA 2018

Video Mpya ya Lava Lava - Nitake Nini

$
0
0
Msanii wa muziki Bongo, Lava Lava ameachia  video ya wimbo wake mpya uitwao Nitake Nini. Utazame hapa.

Makampuni Saba Ya Uturuki Kuja Kuwekeza Nchini.....Watanzania 1400 Kunufaika na Ajira

$
0
0
Watanzania zaidi ya 1,400 wanatarajia kupata ajira za moja kwa moja kutokana na kampuni saba za Uturuki kuwekeza nchini.

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Damas Ndumbaro alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari juu ya ujio wa kampuni hizo.

“Ajira zaidi ya 1,400 zitapatikana endapo uwekezaji ukikamilika, lakini kuanzia mwaka 1990 hadi 2017 ajira zaidi ya 3,500 zimeshatengenezwa na kampuni za Uturuki 48 zilizokwishawekeza nchini zikiwa na thamani ya Dola za Marekani bilioni 324,” alisema Dk. Ndumbaro.

Alisema kampuni hizo zinakuja nchini kuwekeza kwenye viwanda vya pamba mkoani Simiyu kutokana na mkoa huo kulima pamba kwa wingi na kwamba zimevutiwa na juhudi zinazoonyeshwa na Mkuu wa Mkoa huo, Anthony Mtaka kwenye uwekezaji wa viwanda.

Dk. Ndumbaro alisema Waturuki pia watawekeza kwenye viwanda vya sukari, saruji, kuchakata mazao ya kilimo na kutengeneza vifaa vya ujenzi pamoja na kuwekeza katika sekta ya nishati.

Alisema wawakilishi wa kampuni hizo tayari wameshawasili nchini na leo watakuwa Kituo cha Uwekezaji (TIC) watakapokutana na wenyeji wao ambao ni Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Wizara ya Mambo ya Nje, Taasisi ya Sekta Binafsi, Chama cha Wafanyabiashara Wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA).

Alisema wawekezaji hao pia watakutana na Mamlaka ya Ukanda wa Uwekezaji (EPZA), Shirika la Umeme (Tanesco) na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura).

Dk. Ndumbaro alisema mbali na kufanya uwekezaji kwenye viwanda, kampuni hizo pia zitajenga hoteli zenye hadhi ya nyota tano na maduka makubwa ya biashara jijini Dodoma.

Alisema uhusiano kati ya Tanzania na Uturuki ni wa kipekee na wa siku nyingi, akieleza kuwa mwaka 2009 nchi hiyo ilifungua ubalozi wake nchini na mwaka 2016, Tanzania ikafungua ubalozi Uturuki.

Alisema Tanzania imekuwa ikipeleka kwa wingi Uturuki mazao kama vile pamba, mbegu za mafuta, tumbaku na korosho.

Alisema idadi ya watalii wanaotoka Uturuki kuja Tanzania imekuwa ikiongezeka, akibainisha kuwa mwaka 2012, watalii 2,700 kutoka Uturuki walikuja Tanzania.

Alisema ujio wa kampuni hizo ni mwendelezo wa juhudi za Rais John Magufuli wa kuhakikisha Tanzania inakuwa nchi ya viwanda na yenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

Waziri Mkuu Aipongeza Halmashauri Ya Wilaya Ya Ruangwa....Ni baada ya kushika nafasi ya kwanza matokeo ya darasa la saba

$
0
0

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Ruangwa kwa kushika nafasi ya kwanza katika matokeo ya mtihani wa kumaliza darasa la saba kwa mkoa wa Lindi mwaka huu.

Amesema Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt. Magufuli imefanya maboresho makubwa kwa sekta ya eilimu nchini ikiwa ni pamoja na kufuta michango yote ya hovyo iliyokuwa ikiwakera wazazi na walezi.

Waziri Mkuu ametoa pongezi hizo jana (Jumapili, Novemba 18, 2018) katika mkutano wa kuwapongeza walimu wa wilaya ya Ruangwa na baadhi ya wanafunzi waliofanya vizuri katika mtihani wa kumaliza darasa la saba mwaka huu.Aliongeza kuwa  matokeo ya mwaka jana halmashauri ya wilaya ya Ruangwa ilishika nafasi ya tano kimkoa na kitaifa ilikuwa nafasi ya 141, ambapo kwa mwaka huu imepanda na kuwa nafasi ya kwanza kimkoa na kitaifa kuwa nafasi ya 84. 
 
Kufuatia matokeo hayo mazuri Waziri Mkuu kwa kushirikiana na halmashauri ya wilaya ya Ruangwa imetoa zawadi mbalimbali kwa kata tatu bora zilizofanya vizuri, shule 10 bora, walimu ambao wanafunzi wao wamepata daraja A katika masomo mbalimbali wanayofundisha pamoja na wanafunzi 10 bora.
 
Miongoni mwa zawadi hizo ni pamoja na fedha taslimu, kompyuta kwa ajili ya matumizi ya shule zilizofanya vizuri, ikiwa ni kichocheo cha kuongeza  bidii ili mwakani wapate matokeo mazuri zaidi.
 
Awali, akizungumza katika hadhara hiyo, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa aliupongeza uongozi wa mkoa wa Lindi kwa mikakati waliyoiweka kwa ajili ya kuboresha elimu, ambayo imesababisha kupatikana kwa matokeo hayo mazuri.

“Nawapongeza kwa sasa mimi kitaaluma ni mwalimu hivyo nafahamu ili mwanafunzi apate matokeo mazuri ni lazima mwalimu afanye juhudi kubwa zitakazomuwezesha mwanafunzi kufaulu masomo yake.”

Alisema matokeo mazuri ya wanafunzi ndiyo yatakayowafanya walimu wafurahi. “Matokeo haya yasiishie hapa mwakani tuongeze bidii tuweze kupata matokeo mazuri zaidi yatakayotuwezesha kushika nafasi ya kwanza Kitaifa.”

Kwa upande wake, Afisa Elimu Msingi wa wilaya ya Ruangwa, Mwalimu Selemani Mrope alisema kuanzia mwaka 2015 hadi 2017 hali ya ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba haikuwa nzuri kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya utoro.

Mwalimu Mrope alitaja sababu nyingine kuwa ni walimu kutowajibika ipasavyo, ufuatiliaji na usimamizi duni wa taaluma shuleni, ambapo viongozi wengi wa shule na kata walishindwa kusimamia ipasavyo majukumu yao na kuwaacha walimu wafanye kazi kwa mazoea.

“Wazazi wengi kukosa kuwajibika ipasavyo katika elimu ya watoto wao na kuona elimu haina maana kwao na kushindwa kuwahimiza watoto kwenda shule na kusababisha utoro huku wengine wakidiriki kuwashawishi watoto wao wafanye vibaya kwenye mitihani yao.”

Baada ya tathmini waliamua kuweka lengo la ufaulu wa asilimia 80 kwa mwaka huu na asilimia 90 mwaka 2019, hivyo walishirikisha wadau wote wakiwemo viongozi wa Serikali, walimu, wanafunzi, wazazi, viongozi wa dini, wazee maarufu na viogozi wa siasa.

IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU

Naibu Waziri wa Madin: Taarifa za Utafiti wa Madini Zitolewe kwa Wananchi

$
0
0
Na Greyson Mwase, Singida
Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko ameuagiza Mgodi wa Dhahabu wa Shanta uliopo katika wilaya ya Ikungi mkoani Singida kuhakikisha unatoa taarifa za tafiti zake zilizofanyika katika maeneo mbalimbali ili wachimbaji wadogo waweze kuzitumia katika kubaini madini yaliyopo na kuanza kuchimba kwa kufuata sheria na kanuni za madini.

Naibu Waziri Biteko alitoa agizo hilo jana tarehe 19 Novemba 2018 kwenye mkutano wa hadhara na wachimbaji wadogo wa madini uliofanyika katika tarafa ya Mang’onyi wilayani Ikungi mkoani Singida kama sehemu ya ziara yake katika mkoa huo yenye lengo la kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wachimbaji wa madini

Aliongeza kuwa Serikali kupitia Wizara ya Madini imeweka mazingira bora ya uchimbaji  wa madini kwa wachimbaji wadogo ikiwa ni pamoja na kuwapatia taarifa mbalimbali za utafiti zilizofanywa na Wakala wa Utafiti na Jiolojia Tanzania (GST) na kampuni za utafiti wa madini lengo  likiwa ni kuhakikisha kuwa uchimbaji wao unakuwa wa uhakika na sio wa kubahatisha.

Akielezea maboresho mengine yaliyofanywa katika sekta ya madini, Biteko alisema Serikali imeboresha  Sheria ya Madini inayotambua madini kama mali ya watanzania yanayosimamiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.

Aliendelea kusema kuwa, Serikali imeweka mkakati wa kurasimisha wachimbaji wadogo wa madini wasio rasmi na kuwapatia  leseni za madini ili uchimbaji wao ulete tija kwenye ukuaji wa uchumi wa nchi.

Katika hatua nyingine, Naibu Waziri Biteko aliwataka wachimbaji wadogo wa madini kuunda vikundi na kupewa leseni ili waanze kuchimba   na kulipa kodi serikalini.

“Sisi kama Serikali kupitia Wizara ya Madini lengo letu ni kuhakikisha kuwa tunaweka mazingira bora kwa wachimbaji wadogo wa madini ili uchimbaji uongeze kasi ya ukuaji wa uchumi kupitia kodi na tozo mbalimbali,” alisema Biteko.

Wakati huohuo Biteko aliwataka wananchi wanaoishi karibu na Mgodi wa Dhahabu wa Shanta kutokuharibu miundombinu  ya maji iliyowekwa ili iweze kunufaisha wananchi wote.

Awali wakiwasilisha kero mbalimbali wakazi hao waliiomba Wizara ya Madini kuwapatia maeneo kwa ajili ya uchimbaji wa madini ili waweze kujiingizia kipato na kulipa kodi serikalini.

Akizungumza kwa niaba ya wachimbaji wadogo wa madini katika tarafa ya Mang’onyi iliyopo wilayani Ikungi mkoani Singida, Consolata Joseph alisema kuwa uchimbaji wao  umekuwa ni wa kubahatisha na hata kuvamia maeneo yenye leseni kubwa ya madini inayomilikiwa na Kampuni ya Dhahabu ya Shanta.

Aliongeza kuwa, kama wachimbaji wadogo wapo tayari kulipa kodi stahiki serikalini mara baada ya kupatiwa maeneo na kuanza kuendesha shughuli za uchimbaji wa madini.

Awali akizungumza katika ziara hiyo, Meneja Mkuu  wa Mgodi wa Dhahabu wa Shanta uliopo wilayani Ikungi mkoani Singida, Philbert Rweyemamu alisema mgodi umeshaanza kutoa fidia na kuongeza kuwa mpaka sasa umeshatoa shilingi bilioni 2.6 pamoja na ujenzi wa makazi mbadala ambapo mpaka sasa wameshajenga nyumba sita.

Aliongeza kuwa mpaka ifikapo mwishoni mwa mwezi Desemba mwaka huu, mgodi unatarajia kukamilisha ujenzi wa nyumba nyingine sita na kufanya idadi ya nyumba kuwa 12 kama sehemu ya kuhakikisha wananchi wanaolipwa fidia wanaishi katika mazingira mazuri.

Akizungumzia changamoto za mgodi wake, Rweyemamu alieleza kuwa ni pamoja na wachimbaji wadogo haramu kuvamia eneo la mgodi  na kuchimba madini, miundombinu kuhujumiwa na baadhi ya wananchi kugomea fidia inayotolewa na kampuni hiyo.

Jipatie Dawa ya Asili ya Kupunguza Maziwa, Kupunguza Tumbo,Kuongeza Unene, Kuongeza Maumbile ya Kiume na Kuondoa Chunusi

$
0
0
NATURAL BEAUTY PROD. Tumeshusha bei za bidhaa zetu ili kila mmoja aweze kupata bidhaa hizi na azifurahie wahi sasa kwani ofa hii ni ya muda mfupi tu.                             

Bidhaa hizi zimetengenezwa kwa mimea na matunda hazina chemical wala madhara yoyote kwa mtumiaji. Ukinunua bidhaa kuanzia mbili utapatiwa offer ya bidhaaa nyingine yoyote uipendayo wewe.

1. SHARK POWER--Hii ni dawa ya kupaka ya kuongeza uume urefu na upana mpaka nchi 7.5 ilikua inapatikana kwa @170,000/= sasa ni @150,000/= tu

2. VIGA 84000---Hii dawa ya kuspray yenye uwezo mkubwa wa kuchelewesha wakati wa tendo la ndoa ilikua ni  @160,000/=. Sasa ni 140,000/= tu

3. HANDSOME UP ORIGINAL-- Hichi ni kifaa cha kuongeza maumbile kwa size uipendayo wewe pamoja na kuimalisha misuli kifaa hichi kilikua kinapatikana kwa @230,000/=. Sasa ni 200,000/= tu

4. MAXMAN CAPSULE--- Hii ni dawa ya vidonge ya kuongeza uume urefu na upana pamoja na kuongeza nguvu za kiume kwa wiki mbili ilikua inapatikana kwa @200,000/=. Sasa ni 170,000/= tu

5. VIG RX---- Hii ni dawa ya kupaka ya kuongeza uume urefu na upana mpaka nchi 10 ilikua inapatikana kwa @190,000/=. Bei ya sasa ni 170,000/=

6. BODY BOOSTER---Hii ni dawa ya kunywa ya kuongeza mwili pamoja na hamu ya kula vizuri ilikua inapatikana kwa @150,000/=. Sasa ni 130,000/=

7. BOTCHO MULT PLUS-- Hii ni dawa ya kunywa ya kuongeza (hips mapaja na makalio) kwa size uipendayo ilikua inapatikana kwa @200,000/=.  Sasa ni 180,000/=

8. WHITE COLLECTION---- Ni vidonge vya kuwa mweupe mwili mzima pamoja na kuwa soft ilikua inapatikana kwa @150,000/=   Sasa ni @140,000/= tu N.K  Wasiliana nasi kwa simu

NO:. +255 759029968 

                      AU

           +255 659618585


Popote ulipo utapata huduma zetu.

Pia hakikisha unapatiwa risiti yenye muhuri halisi wa NATURAL BEAUTY PROD ununuapo bidhaa kampuni hii.

   
                WELCOME ALL

Habari Njema Kwa Wenye Matatizo Ya Nguvu za Kiume, vitambi, nyama uzembe

$
0
0
(1).Fikiria ulianzia wapi? Je,ulifanikiwa au bado?

(2).Upo tayari kupona kwa haraka?

TIBA ZITOLEWAZO NI,

NGORO 4 POWER; Huongeza nguvu za kiume yenye mfumo wa unga na vidonge dozi siku(6).

MELAMELA; Hurefusha na kunenepesha uume ipo katika mfumo wa unga dozi siku (4).

KASELA; Hurudisha mke,mme,mchumba na hawara ndani ya siku mbili tu,atatimiza mahitaji yote hata Kama yupo mbali na kumfunga asiwe na mtu mwingine.

IKUMBUJA; Humfanya mtu  kupandishwa cheo kazini na kulipwa madeni au mafao yako pia na kumaliza kesi kabisa.

DUDUMA; Huongeza hips,makalio na mguu wa bia.

SWASWA: Hupunguza maziwa makubwa, kitambi, nyama uzembe, michirizi na muwasho sehem za Siri,na harufu mdomoni.

KOOLA;Hutibu magonjwa sugu ya zinaa, tumbo kujaa gesi,kuuma chini ya kitovu, kiuno ,fangasi za miguu, na kuvimba miguu au miguu kuwaka Moto.

Kwa hayo na mengineyo mfatilie DR.HINDU kwani ana uwezo wa kuhudumia ndani na nje ya TANZANIA.Kwa Dar es salaam anapatikana BUGURUNI MALAPA pia KAHAMA anapatikana MARUNGA.

Kwa wasio na mda wa kufika ofisini kwangu Nina vijana wa kukuletea mpaka ulipo kazini ama nyumbani kwako.

OFISI ZINAFUNGULIWA SAA 07 :00 ASUBUHI.

CONTACTS 0744 922 982(WhatsApp), 0716608959 / 0784475946

  "WOTE MNAKARIBISHWA".DR   HINDU NI SULUHISHO LAKO.

Waziri Mkuu Azindua Msikiti Na Kusisitiza Utumike Vizuri ....Awataka Waumini Wautumie Kwa Kufanya Ibada Na Kuhamasisha Amani

$
0
0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua msikiti wa Nandagala na amewataka waumini wa dini ya Kiislamu katika Kata ya Nandagala wilayani Ruangwa wautumie vizuri msikiti huo kwa kufanya ibada na kuhamasisha amani na si vinginevyo.

“Msikiti huu ninauzindua leo (jana) naomba tuutunze vizuri na tuutumie kwa kufanya ibada na si ibada za kiuanaharakati. Watakaokuja msikitini na kufanya mambo ya hovyo Mwenyezi Mungu atawalaani.”

Waziri Mkuu alizindua msikiti huo jana jioni (Jumatatu, Novemba 19, 2018), ambapo alitumia fursa hiyo kuwasisitiza waumini wa dini ya Kiislamu kuhakikisha muda wa kufanya swala unapofika waende msikitini hapo kufanya ibada.

Kadhalika, Waziri Mkuu aliwataka waumini hao waanzishe madrasa na kuwafundisha watoto quran lengo likiwa ni kuwafundisha misingi ya dini na kuwaandaa vizuri na kuwawezesha kukua kiimani ili waje kuwa waja wema.

Hata hivyo, Waziri Mkuu alimshukuru Mzee Suleiman na familia yake kwa uamuzi wao wa kujitolea kujenga msikiti huo ambao utawawezesha waumini katika kijiji cha Nandagala kufanya ibada zao. “Namshukuru na Mzee Mamboleo na mkewe kwa kutoa eneo lao bure ili litumike kujengea msikiti.”

Kwa upande wake Sheikh Hilal Kipozeo ambaye alihudhuria uzinduzi wa msikiti huo aliwasisitiza waumini wa dini ya Kiislam watumie muda mwingi kwa ajili ya kufanya ibada na wajiepushe na vitendo vyenye kumuasi Mwenyezi Mungu na wadumishe amani.

“Mtume Muhammad (S.A.W) baada ya kutoka katika mji wa Makka na kuhamia Madina kitu cha kwanza alijenga msikiti ili watu waweze kumwabudu Mwenyezi Mungu, alijenga soko ili watu washiriki shughuli za kiuchumi na alifanya upatanishi kwa makabila mawili kwa lengo la kuonesha kuwa kuishi kwa amani ni kitu bora.”

Wananchi na waumini wa dini ya Kiislamu katika kijiji cha Nandagala walimshukuru mfadhili aliyejenga msikiti huo kwa sababu utawawezesha kuwa na eneo la kufanyia ibada baada ya lile la awali kubomolewa kwa kuwa walijenga katika hifadhi ya barabara.

IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
JUMANNE, NOVEMBA 20, 2018.

Diwani wa CUF akamatwa akilangua korosho kwa wakulima

$
0
0
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Juma Homela.
Zaidi ya watu 20 wanaojihusisha kununua korosho kwa utaratibu usio rasmi kwa wakulima, maarufu kama kangomba wamekamatwa wilayani hapa akiwemo diwani wa Chama cha Wananchi (CUF).

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Juma Homera, alisema watu 14 tayari wamefikishwa mahakamani na wengine akiwemo diwani huyo wanaendelea kushikiliwa na polisi.

“Wananchi walitutumia sms (ujumbe mfupi wa simu) na tulitumia pia vyanzo vyetu vingine vilivyoko vijijini kubaini kangomba,” alisema Homera.

Alisema walimkamata mtu mmoja aliyekutwa akibadilishana na wakulima kwa kuwapa kilo moja ya nyama kwa kilo tatu za korosho.

“Huyo mtu alikutwa nyumbani katika Kijiji cha Nangorembe akiwa amechinja ng’ombe wanne, anagawa nyama kwa wananchi,” alisema.

Homera alisema pia katika Kijiji cha Kitanda walikamata watu saba waliokutwa na tani saba za korosho zenye thamani ya Sh milioni 75.

Alisema watu hao walikamatwa katika vijiji vya Mneche, Tinginya, Namiungo, Majimaji na Kitanda.

Kuhusu Diwani wa Kata ya Nalasi Magharibi, Khalifa Kabango (CUF), alisema alikamatwa juzi katika operesheni iliyofanywa Tarafa ya Nalasi ambako vilikamatwa viroba vya korosho 31 vikiwemo vya diwani huyo.

Alisema diwani huyo bado anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani Tunduru na kwamba alikuwa akinunua korosho kwa bei ya Sh 1,500 kwa kilo ili apeleke vyama vya msingi akapate fedha zaidi.

“Baadhi ya matajiri wamekuwa wakituma fedha vijijini na wenyeji ndio wanaonunua korosho hizo halafu wakikamatwa ndio wanawataja mabosi waliowatumia,” alisema.

Mkuu huyo wa wilaya alisema pia baadhi ya makarani wa vyama vya msingi wamekuwa wakitumia mawe ya mzani yaliyochezewa na kuwapunja wakulima.

Kwa mujibu wa DC huyo, mawe yaliyochezewa ni ya kilo 50 na kwamba katika kila jiwe la aina hiyo mkulima anaibiwa wastani wa kilo 5.5 hadi 6.

Alisema wamemkamata karani wa chama cha msingi, Mohamed Msamati kwa madai kuwa alikuwa akiwaibia wananchi kilo 5.5.

Kuhusu wakulima waliolipwa alisema hadi sasa wamelipwa 534 na Sh milioni 550.7 zimetumika.

“Tukimtilia mtu shaka kama kilo zake zimezidi tunakwenda kuangalia shamba lake kwanza halafu tunalinganisha na kilo alizopata mwaka jana,” alisema Homera.

Alisema hadi sasa zaidi ya tani 5,000 zimeshakusanywa katika maghala na zinaendelea kusafirishwa kupelekwa katika ghala kuu Mtwara kwa usimamizi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

“Hadi sasa tumeshasafirisha tani 166 na kilo 891 na magari matano ya JWTZ yameshaondoka na mengine matano yanaendelea kupakiwa,” alisema.

Homera alisema bado wanaendelea na kazi ya uhakiki wa majina ya wakuliwa wanaostahili kulipwa na kama kuna udanganyifu hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wahusika.

Hata hivyo juzi wakati uhakiki wa majina ya wakulima wa korosho ukiendelea mkoani Mtwara, iliripotiwa kuibuka kwa majina hewa, likiwamo la mwenza wa karani wa chama cha msingi.

Katika uhakiki huo ambao unafanyika usiku na mchana kwa ajili ya malipo ya wakulima, yamebainika majina matatu katika Chama cha Msingi cha Makonga wilayani Newala.

Akizungumzia hali hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Newala, Aziza Mangosongo, alisema walibaini majina hayo baada ya kupata taarifa kutoka kwa wananchi.

Alisema mmoja wa makarani wa Makonga (jina linahifadhiwa), aliandika malipo hewa kwa jina la mpenzi wake (jina linahifadhiwa).

“Kutokana na uhusiano wao wa mapenzi, ameamua kumwandikia malipo hewa na kuna wengine wameandika ndugu zao.

“Tumekamata kilo 200 ambazo zimeandikwa malipo hewa, kama hali ndiyo hii kwa makarani wengine ikoje?

“Tunawaomba wananchi waendelee kutoa ushirikiano, wajumbe wa bodi, wenyeviti na makatibu wa Amcos zote wawe makini na waandike kile ambacho ni sahihi,” alisema Mangosongo.

Alisema karani huyo na wote waliohusika kuandika majina hewa wanaendelea kuhojiwa na utafanyika uhakiki katika kila shamba la mkulima na kujiridhisha na korosho alizowasilisha.

“Mtu hana shamba lakini unakuta jina lipo na akaunti namba, tukiwagundua wengine tutakula nao sahani moja,” alisema.

Makanga 3 Power, Dawa Bora Za Nguvu Za Kiume .

$
0
0
Kutibu nguvu za kiume dakika(10) na kupona muda wa siku tatu tuu. Kuimarisha misuli ya uume uliolegea, pia ipo Dawa ya kurefusha uume mfupi inchi NNE hadi saba na kunenepesha uume mfupi sentimita NNE.
 
Tiba ya kudumu kutibu maumivu ya mgongo,kiuno, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, kupata choo vizuri, na kutibu uzazi, kutibu busha bila operesheni, kisukari, presha ,miguu kuuma, uzazi, fangas sugu, vidonda vya tumbo.
 
Ni docta bingwa wa kutibu magonjwa sugu, kutoa ndagu za utajiri kwa kutumia Pete, kazi ,cheni, mikufu maalumu ya bahati, una kesi umedhulumiwa Mali au pesa? Zitarudi muda wa Masaa matatu tuu.
 
Onana na Dr SHILINDE,  shida zako zote zitakwisha, anatoa Dawa za utajiri kwa wafanyakazi, wakulima, na wafugaji, wafanyabiashara na wachimba madini kwa kutumia pete, kazi kwa yeyote anaetaka kuwa na pesa nyingi.
 
Pia tunatoa Dawa kumrudisha Mume, mke, mpenzi, hawara, kwa muda wa SAA moja tuu, na kuomba msamaha kwa kukupigia magoti na yeyote yule. Kupunguza unene, kupunguza matiti makubwa, tumbo na nyama uzembe muda wa siku sita unapata saizi uipendayo.
 
Kutoa makovu mwilini, chunusi, upele na mabaka, pia tunayo Dawa ya kuongeza hipsi, makalio, mguu wa bia na kupata shepu safi kwa muda wa siku saba tuu.

Anapatikana Dar es Salaam maeneo ya Buguruni Sheli. 
 
Mawasiliano: 0784460348 au  0657 314701

Wa mikoani mtapata huduma popote mlipo.

Kwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Mafupi na Upungufu wa Nguvu za Kiume? Suluhisho Hili Hapa

$
0
0
KWANINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MAFUPI NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME... DR SITTA NDO SULULISHO LAKO

Tatiza, hili limekuwa likiwaathiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako tofauti na wanaume wengine. Kwa kawaida, mwanaume anatakiwa awe na uume, usiopungua nchi 6-7au-8 ,vinginevyo mtu huyo anamatatizo.

Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hilo... baadhi ni  upungufu wa vichocheo vya, HORMONES ZA CETROGEN .

SUPER MIZIZI, ni dawa inayozalisha HORMONES ZA CETROGEN,na kufanya, uume kukuwa na kuongzeka sazi utakayo na kuzibua mrija iliyosinyaa,

NSHOLA; ni dawa bora, ya kurudisha nguvu za kiume kwa kutibu kabisa  tatizo hilo na kukupa  hamu ya  kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara nne 4 bila kuchoka 

Pia  kuna dawa za kutibu presha ya kupanda na kushuka, kisukari , kuondoa mafuta  mwilini na maumivu ya mgogo kiuno, matazo, ya hedhi kwa wanawake, hedhi zisizokuwa na mpangilio.

NKANYA; ni dawa ya mvuto wa kimapenzi ,mchumba mpenzi aliyekuacha, mke, mme atakurudia .

NKOMA; Ni dawa kuongeza HIPS na mguu wa bia kwa wadada ,

NGAKAMA ,ni dawa ya kutibu miguu kufa ganzi na kuwaka moto, huduma zetu ,zipo ,vizuri, popote pale dawa utaletewa! 

DR SITTA, amebobea kwa tiba asilia 

Kwa DAR ANAPATIKANA MBAGALA ZAKHEM, SONGEA BOMBAMBILI, SHINYANGA- KAHAMA MJINI, 

KWA MAELEZO ZAIDI  PIGA SIMU; 0763172670/ 0715172670,/

WOTE  MNAKARIBISHWA... KAMA, UTAKUWA NA TATIZO, UTAHUDUMIWA,

Jela Miaka 20 Kwa Kukutwa na Meno ya Tembo

$
0
0
Mahakama  ya Hakimu Mkazi Kisutu imewatia hatiani na kuwahukumu kifungo cha miaka 20 wafanyabiashara wawili kwa kosa la kukutwa na meno ya tembo.

Hukumu hiyo ilitolewa jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi baada ya mahakama kuridhishwa na ushahidi wa upande wa Jamhuri.

Katika kesi hiyo, Jamhuri ilikuwa na mashahidi sita na upande wa utetezi washtakiwa walijitetea wenyewe.

Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Shaidi alisema upande wa mashtaka umethibitisha kosa bila kuacha shaka, hivyo mahakama inawatia hatiani washtakiwa kwa mashtaka mawili yanayowakabili.

Washtakiwa waliotiwa hatiani ni Amri Kigahhey, Jairan Rashidi na Ibrahimu Mkande kwa kosa la kuendesha mtandao wa kihalifu na kukutwa na vipande vitano vya meno ya tembo vyenye thamani ya Sh 65,640,000.

Tukio hilo lilitokea kati ya Januari 15 na Januari 22 mwaka 2016.
 
Wakili wa Serikali Elizabeth Mkunde aliiomba mahakama kuwapa adhabu kali washtakiwa kulingana na sheria ili iwe fundisho kwa wengine.

Hakimu Shaidi alisema kwa makosa hayo mawili kila mshtakiwa atakwenda jela miaka 20.
 
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Mutalemwa Kishenyi alisema wameridhishwa na hukumu ya mahakama kwani uamuzi huo ni ushindi katika vita ya kupambana na biashara ya nyara za Serikali.

Elimu ya kodi kuingizwa kwenye mitaala(syllabus) ya elimu nchini

$
0
0
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imesema ipo katika mchakato wa kuweka elimu ya kodi katika mitaala (syllabus) ya elimu nchini ili wanafunzi waanze kufundishwa maana ya kodi tangu wakiwa wadogo.

Hatua hiyo inatokana na kuwapo kwa uelewa mdogo katika masuala ya kodi ambao unachangia kwa kiasi kikubwa wafanyabiashara wengi hasa wanaoanzisha biashara kuona ulipaji kodi ni mzigo.

Akizungumza katika mafunzo ya kodi kwa wafanyabiashara wadogo na wakati, Ofisa Elimu Mkuu kwa Mlipakodi kutoka TRA, Rose Mahendeka amesema mchakato huo unatarajiwa kukamilika hivi karibuni.

Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Taasisi ya The Tanzanian Associate kwa kushirikiana na Kampuni ya Abel and Fernandes Communications, yalilenga kuwakuelimisha jamii kuhusu masuala ya kodi.

Aidha, Mahendeka alisema bado kuna changamoto ya baadhi ya wafanyabiashara kutoelewa umuhimu wa kulipa kodi pamoja na kuweka kumbukumbu za mapato na matumizi katika biashara zao.

“Wafanyabiashara wengi hawana uelewa wa kodi ila tupo katika mchakato wa kuweka elimu ya kodi katika mitaala ya elimu waanze kupata wakiwa wadogo kabisa kule mashule ili waanze kupata uelewa wakiwa wadogo kabisa  kwamba nini maana ya kodi, inahusu nini na jinsi gani kodi inalipwa Tanzania, tunaamini kwa njia hiyo watu wengi wataelewa,” amesema.

Naye Mshauri wa masuala ya Kodi, Petro Francis alisema ni muhimu sana kwa wafanyabiashara wa ngazi zote kuelewa maana ya kodi na umuhimu wa kulipa kodi.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images