Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Msanii Natasha naye augua Dengue na kulazwa...."nilihisi naaga dunia kiukweli lakini niliwahi kwenda hospitali, nimepata tiba, nimeruhusiwa"

$
0
0
STAA mkongwe wa filamu Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ ameongeza listi ya mastaa ambao wameathirika na ugonjwa wa dengue  (Dengue Fever).   Akiongea na mwandishi wetu, Natasha alisema tangu Rais Jakaya Kikwete aingie madarakani, hajawahi kuugua hata homa lakini kwa mara ya kwanza mwaka huu homa ya dengue imemlaza.   “Nilianza kusikia baridi kali sana kisha nikawa naishiwa nguvu na

Jack Wolper apiga mwereka ukumbini baada ya kunywa pombe kupita kiasi

$
0
0
Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kuwa tilalila na kujikuta akipiga mwereka kwenye shughuli ya kibao kata cha mwigizaji mwenzake, Vanita Omary. Kwa mujibu wa ‘shushushu’ wetu aliyekuwa ndani ya nyumba, tukio hilo lilijiri kwenye Ukumbi wa PG Hall (zamani FM Club), Kinondoni jijini Dar ambapo mastaa kibao walihudhuria.   Ndani ya kibao kata hicho, Wolper

Nape asema NDOA ya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi ni ya ubabaishaji.....Akumbushia jinsi Tundu Lissu alivyoitukana na kuikejeli CUF

$
0
0
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema ‘ndoa’ upinzani bungeni iliyozaa Baraza Kivuli la Mawaziri la vyama vya Chedema, CUF na NCCR-Mageuzi, ni mwendelezo wa ubabaishaji na matusi makubwa kwa vyama vingine vilivyokubali ndoa hiyo hasa CUF.   Nape amesema hayo jana wakati akihutubia mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya Parking mjini Nzega na

Mahaba ya Snura awapo Sita kwa Sita yatishia kuvunja kitanda

$
0
0
Staa  wa  kike  anayetikisa  kwenye  tasnia  ya  filamu  na  muziki, Snura  Mushi  a.k.a  Majanga  anadaiwa  kuwa  ni  mmoja  wa  mastaa  wa  kike  wenye  ujuzi  mkubwa  kimahaba  kiasi  cha  kuwapagawisha mno  wanaume  anaokuwa  nao  katika  mahusiano..... Chanzo  chetu  cha habari  ambacho  kiko  karibu  na  staa  huyo  kilieleza  kuwa  Snura  huwa  na  tabia  ya  kupandisha  mzuka  wa 

Kutovaa nguo za ndani kwamuumbua Naomi Campbell....!

$
0
0
Mwanamitindo  wa  kimataifa  wa  Marekani, Naomi  Campbell  mwishoni  mwa  wiki  jana  alikumbwa  na  tukio  la  aibu  baada  ya tatizo  lake  la  kusahau  kuvaa  chupi  kumsababishia  tatizo  kubwa  wakati  akishuka  kwenye  gari  lake  na  kukumbana  na  camera  za  wapiga  picha  za  kidaku....! Kutokana  na  kutovaa  nguo  hiyo  ya  ndani, Naomi  wakati  akishuka  kwenye  gari  lake 

Avunja Ndoa yake kwa kutamani maisha ya Wema Sepetu.....

$
0
0
Kuiga  ni  kawaida  kwa  wengi.Wapo  walioiga  mambo  fulani  na   hatimaye  wakafanikiwa, na  pia  wapo  walioiga  vitu  flani  wakaharibikiwa.Huyu  aliiga  na  akaharibu  kila  kitu... Ni  msanii  wa  siku  nyingi  katika  fani.Alitamba  zaidi  akiwa  Kaole, na  hata  mwanzoni  mwa  ujio  wa  filamu  za  Kanumba  alizidi  tu  kashaini.... Kiasili  ni  mweusi  japo  siku  hizi  kuna 

Rwanda yamkataa Balozi wa Tanzania

$
0
0
Rwanda imemkataa Balozi  mteule wa Tanzania, Mussa Siwa, ambaye alitakia na serikali kwenda kufanya kazi kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo.Taarifa kutoka Rwanda na duru za ndani ya serikali ya Tanzania zimeeleza serikali ya nchi hiyo imemkataa balozi huyo kwasababu mbalimbali zikiwemo za kiusalama.    Habari kutoka ndani ya Ikulu ya Rwanda zinaeleza kuwa serikali ya nchi hiyo imemkataa

Zitto Kabwe achaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa kamati za mahesabu za nchi za Afrika(Afropac)....Huu ni ujumbe wake alioutoa facebook

$
0
0
  Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa umoja wa kamati za mahesabu za nchi za Afrika(Afropac) ili kuziba nafasi ambayo ilikuwa iikishikiliwa na nchi ya Msumbiji.    Baada ya kuchaguliwa kupitia ukurasa wake wa Facebook hiki ndicho alichokiandika. <!-- adsense -->

Kundi la kig*idi la Boko Haram latoa masharti ya kuwaachilia wasichana wa Nigeria lililowateka nyara...Hii ni video yao wakiwa wamesilimishwa

$
0
0
Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo wanaozuiliwa na serikali ya Nigeria wataachiliwa huru.   Katika kanda mpya iliyotolewa na kundi hilo, kiongozi huyo, amesema kuwa wasichana hao waliweza kusilimu katika kipindi cha wiki nne zilizopita tangu watekwe nyara. Wasichana ambao kundi

Aunty Lulu Avua Nguo Hadharani Ukweni baada ya pombe kupanda kichwani

$
0
0
Msichana wa mjini asiyeishiwa na matukio Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’, kwa mara nyingine amefanya kituko cha aina yake baada ya kuzua timbwili kisha kusaula nguo zote hadharani bila kujali yupo ukweni.  Aunty Lulu ana uhusiano wa kimapenzi na kijana anayejulikana kwa jina moja la Amani.   Habari zisizokuwa na chembe ya ‘dauti’ zilidai kuwa hivi karibuni, Aunty Lulu na

Majina na utaratibu wa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa ( JKT ) kwa wahitimu wa kidato cha sita 2014

$
0
0
UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2014. AWAMU YA KWANZA; Vijana 20,000 wataripoti kwenye makambi ya mafunzo ya JKT kuanzia tarehe 01 Juni 2014 na kuanza rasmi mafunzo yao tarehe 08 Juni 2014 na kumaliza tarehe 04 Septemba 2014. Orodha yao itaanza kuonekana kwenye website ya JKT tarehe 11 Mei 2014 kuanzia saa nne (4)

Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa homa ya Dengue......

$
0
0
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UGONJWA WA HOMA YA DENGUE “DENGUE FEVER” Utangulizi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kutoa taarifa kwa Umma juu ya mwenendo wa ugonjwa wa homa ya dengue yaani “dengue fever” hapa nchini.Ugonjwa huu umethibitishwabaada ya sampuli zilizochukuliwa kutoka kwa watu waliohisiwa kuwa na ugonjwa huu jijini Dar es Salaam kupelekwa kwenye maabara yetu ya Taifa

Daktari wa Mwanza Afia Gesti jijini Dar

$
0
0
Mwili wa Dk. Raymond Simion ukitolewa kwenye chumba cha kulala wageni na polisi. MTU mmoja aliyedaiwa kuwa ni daktari wa jijini Mwanza, Raymond Simion (36) amekutwa amekufa ndani ya chumba kwenye nyumba ya kulala wageni ‘gesti’ ijulikanayo kwa jina la Nesta iliyopo Ubungo NHC wilayani Kinondoni jijini Dar. Taarifa kutoka katika gesti hiyo zinasema marehemu alijiorodhesha kwenye kitabu

Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 13 May 2014

$
0
0
      Magazeti  ya  leo  Jumanne  ya  tarehe  13  May  2014

Wachina 9 walazwa kwa homa ya Dengue.....Rais Kikwete aagiza hatua za dharura zichukuliwe haraka

$
0
0
Wakati raia tisa wa China wakibainika kuugua ugonjwa wa dengue na kulazwa hapa nchini, Rais Jakaya Kikwete amevunja ukimya na kuagiza wizara zake mbili kukabiliana na ugonjwa huo kwa dharura.    Ugonjwa huo uliingia nchini tangu mwaka 2010 lakini mlipuko wake mkubwa ulibainika Machi mwaka huu na hadi jana wagonjwa zaidi ya 400 walikuwa wameambukizwa, huku watatu wakiripotiwa kufariki

Baraza kivuli la UKAWA halina mashiko kisiasa

$
0
0
KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Alikael Mbowe ametangaza baraza lake kivuli, kufuatia ahadi yake ya hivi karibuni kuwa atalivunja lile la awali, lililokuwa likiundwa na wabunge kutoka Chadema pekee, ili sasa awajumuishe na wabunge wa vyama vingine vya siasa kutoka upinzani.   Baraza hilo jipya limetangazwa likiwa na mawaziri vivuli kutoka vyama vya Chadema, CUF na

Albino auawa kwa kukatwa mapanga mkoani Simuyu....Anyofolewa mguu wa kushoto na vidole vitatu

$
0
0
MAREHEMU Nughu Lugata ambaye ni albino ameuawa na viungo vyake kuchukuliwa na watu wasiojulikana jana majira ya saa moja jioni huko Bariadi mkoani Simiyu.   Nughu ameuawa kwa kukatwa mapanga na baadhi ya viungo vyake kama mguu wa kushoto na vidole vitatu kuchukuliwa na watu wasiojulikana.   Marehemu alikuwa mkazi wa Gasuma akijishughulisha na kilimo. <!-- adsense -->

Jokate Mwegelo awataka wahitimu wa chuo kikuu kujiajiri.....

$
0
0
Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili wa mwaka 2006, Jokate Mwegelo akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika kongamano la 2014 Market Forum lililofanyika kwenye ukumbi wa Nkrumah. Mrembo na mbunifu wa mitindo huyo aliwataka wanafunzi wajiajiri mara wamalizapo masomo yao kutokana na ugumu wa soko la ajira. Mbunifu wa mitindo na Miss Tanzania namba mbili

Pombe yamponza Wema Sepetu........Augua, ajirusha

$
0
0
Wakati  ishu  ya  kuolewa  ikiwa  bado  inamsumbua  kichwani  Miss  Tanzania  2006 ,Wema  Sepetu  amejikuta  akiugua  gonjwa  linalosababishwa  na  vinywaji  baridi.... Bi  shosti  huyo  ambaye  aling'ara  usiku  wa  tuzo  za  Kili  akiwa  na  mpenzi  wake  Diamond  alisema  kuwa  anasumbuliwa  na  ugonjwa  wa  mafindofindo (Tonsils)  ambao  umemfanya  kutokunywa  vinywaji  anavyovipenda 

Haikuwa Rahisi: Nick wa Pili asimulia ugumu wa maisha, aliuza SAMBUSA darasa la 3 hadi la 7 hadi saa nne usiku

$
0
0
Drake anasema ‘We started from the Bottom’ lakini Mweusi Nick wa Pili anasema ‘Haikuwa Rahisi’.   Nick wa Pili ambaye ni moja kati ya rappers bora zaidi Tanzania na mshindi wa tuzo ya KTMA ameelezea jinsi alivyohangaika wakati akiwa shule ya msingi katika maisha ya kawaida ambayo wapo watanzania wengi wanayoyaishi hadi hivi sasa.   Akizungumza katika kipindi cha The Jump Off ambapo
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images