Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mizizi 29 Power Ni Dawa Ya Nguvu Za Kiume Ambayo Imechanganywa Na Mizizi 29

$
0
0
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wazee hata na vijana kupungukiwa au kutokuwa kabisa na nguvu za kiume nanimekuwa nikipigiwa simu na wanawake wakilalamika ndoa zao zipo mashakani maana hawaridhishwi na Waume au wapenzi wao pale wanapoaza kushiriki tendo la ndoa 

Kwa Nini Ujione Mpweke Pale Ukutanapo Na Mpenzi Au Mke Wako Kisa Eti Hauna Nguvu Za Kiume? ;Tumia MIZIZI 29 POWER, hii ndio tiba itakayorudisha heshima ya ndoa yako . 

Dawa hii itakufanya;
 1 Uchelewe kufika kileleni mda wa dakika 15-25 kwa tendo la kwanza 
2 Dawa hii itakupa uwezo wa kurudia tendo zaidi ya Mara tatu 
3  Dawa hii uhimalisha misuri iliyolegea na kusinyaa?dawa hizi hazina madhara kwa mtumiaji nani tofauti na ulizowai kutumia ata wazee wenye umri mkubwa wanapona 

NSONSOMA; Dawa hii itakufanya umridhishe  mke au mpenzi wako kwani uboresha uume saizi upendayo urfu wa nchi 5,6,7 na 8 na unene wa sentimita 2,3,4 na 5 dawa  hii ipo ya kupaka na kunywa 

NSHOLA; NI dawa ya uzazi kwa waliongaika mda mrefu bila kupata mtoto 

MWITA; Dawa hii humvuta meme, mke,au mpenzi mliyetengana pia umrudisha mtu kazini haliyefukuzwa, kumpatanisha mwajiliwa na bosi wake 

Tunatibu presha kisukari, busha ,vidonda vya tumbo tumbo kuunguruma kujaa gesi na kukosa choo 

MAHALI ILIPO OFISI; PANDA DALADALA SHUKA BUGURUNI MALAPA AU ROZANA NA MWANZA YUPO WAKALA PIGA SIMU 0752348593 DR NYAROBI .Kama hauna nafasi ya kuja ofisini utaletewa popote ulipo huduma hizi

Mchungaji Msigwa aeleza sababu za mawakili wake kujitoa....Mahakama Yampa Siku 5

$
0
0
Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amesema sababu ya mawakili wake kujitoa ni kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa kesi.

Ameyasema hayo leo Jumatatu Novemba 12, 2018 wakati akiiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam impe muda wa kutafuta wakili mwingine baada ya wakili aliyekuwa anamtetea Jamuhuri Jonson kujitoa.

Agosti 23, 2018 wakili Jeremiah Mtobesya alijitoa kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa kesi na Novenba 8, 2018 wakili Jamuhuri Jonson naye alijitoa kutokana na sababu hizo hizo.

Mchungaji Msigwa ameieleza Mahakama baada ya wakili wake kujitoa Novemba 8, 2018 kwamba muda ulikuwa mchache hivyo hakuweza kutafuta wakili na anaiomba Mahakama impe muda wa kutafuta wakili.

"Mawakili wangu wamekuwa wakijitoa kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa Mahakama jinsi inavyoendesha kesi zake.

"Naiomba Mahakama inipe muda wa kutosha ili niweze kutafuta wakili mzuri atakayeniwakilisha kutokana na uzito wa kesi.” Amedai Mchungaji Msigwa

Kutokana na hali hiyo, Hakimu Wilbard Mashauri ametoa siku tano kwa Msigwa kuhakikisha anapata wakili wa kumtetea katika kesi hiyo. Kesi hiyo imeahirishwa hadi Novemba 23, mwaka huu.

Msigwa na viongozi wengine wa Chadema akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, wanashtakiwa kwa makosa tisa likiwamo la uchochezi na kuhamasisha mkusanyiko usio halali uliosababisha cha mwanafunzi Aqwilina

Habari Njema Kwa Mlioathirika Na Magonjwa Ya Mwili Na Akili.

$
0
0
Sasa Dokta MBALU ana uwezo mkubwa wa kutibu magonjwa yaliyoshindikana,Kama umehangaika kwa muda mrefu bila mafanikio DK.MBALU Ni kiboko kabisaa.

TIBA ATOAZO NI:- (a)Vidonga vya tumbo,kilungulia,Tumbo kujaa gesi.

 (b)Kifua kikuu(TB),Pumu(ATHMA) na Rovu

(c)Miguu kuwaka moto,nyama za magoti kuuma,kiuno na mgongo.

(d)Uzazi na chango.

 (e)Nguvu za kiume,kurefusha na kunenepesha uume,busha,mshipa wa ngiri na tezi dume.

(f)Elimu mwanafunzi kuwa na uwezo mkubwa darasani na kufanya vizuri katika mitihani yake, kupandishwa cheo kazini, kulipwa madeni au mafao yako.

(g) kutoa ushauri nasaha kwa wenye matatizo ya kisaikolojia.

      AINA ZA DAWA.

NINJIWE:-,Hutibu vidonda vya tumbo,tumbo kujaa gesi,na kilungulia,vidonge 16 kwa muda wa siku nne na ya unga.

MPALAMA:-,Hutibu Kifua kikuu (TB), Pumu (ATHMA),na wenye tatizo la uvimbe katika koromeo yaani (ROVU),Huisha na kutorudi Tena.,dozi siku 6.

NKOLA:-,Hutibu miguu kuwaka moto,nyama za goti kuuma,kiuno na mgongo dozi siku 10.

MWATYA:-,Hutibu Uzazi au chango,dozi siku 30,na tatizo kupona kabisa.

LYONGO POWER:-,Hii ni dawa ya heshima kwa akina baba yenye uwezo wa kurefusha na kunenepesha uume kwa wale wenye maumbile madogo yaani (KIBAMIA).

NENGONENGO(4)POWER:-,Hutibu Nguvu za kiume na kuleta hamu ya tendo hivyo kuchelewa kufika kileleni na kuweza kurudia tendo zaidi ya mara (4),ina Nguvu mno Kama Ni muhanga wa tatizo hili   tumia NENGONENGO (4)POWER Ipo aina ya vidonge na unga dozi Ni siku 5 unapona kabisaa wahi Sasa.

NTUNDWA:-,Hutibu busha,mshipa wa ngiri na tezi dume,Busha dozi Ni siku (30),bila kufanyiwa operation,Mshipa wa ngiri dozi siku (4) na tezi dume dozi siku (10).

MWICHA:-, Humfanya mwanafunzi kuwa na uwezo mkubwa darasani na kufanya vizuri katika mitihani yake.

NUGWANO:-, Humfanya mtu kuheshimika na kupandishwa cheo kazini pia kulipwa madeni au mafao kwa wakati muafaka.

NKOMA:-, Hurudisha mke,mme,hawara, mchumba ndani ya siku mbili atatimiza mahitaji yote hata Kama yupo mbali na kumfunga asiwe na mtu mwingine..

  Huduma zinatolewa ndani ya masaa 12,Saa moja asubuhi Hadi kumi na mbili jioni,DAR ES SALAAM NA KAHAMA wa mikoani unapata huduma kwa njia ya kusafirisha..na huduma yetu inakufikia ukiwa ofisini au nyumbani kwako..,

CONTACTS; 0767171773 au  0716608959 

OUR SERVICES ARE EASY.

Hatma Ya Dhamana Freeman Mbowe Na Mbunge Wa Tarime Kujulikana Novemba 23,2018

$
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema Novemba 23.2018 itatoa uamuzi wa kumfutia dhamana ama la Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini Ester Matiko baada ya wiki iliyopita kutoa amri ya kukamatwa kwa washtakiwa hao kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana.

Hatua hiyo imekuja baada ya watuhumiwa hao kufika mahakamani wenyewe na kujieleza.

Akitoa maelezo yake mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, Mbowe amedai kuwa anaiheshimu mahakama sana na anatambua kama kiongozi na kama raia nafasi ya Mahakama katika kusimamia haki kwenye taifa.

"Imani yangu mheshimiwa hakimu, mwenendo wote wa Mahakama hii unatupa ugumu wa kubalansi heshima yetu kwa Mahakama na majukumu yetu nje ya Mahakama," ameeleza Mbowe mahakamani hapo.

“Oktoba 25, mwaka huu nilikuwepo mahakamani wakati huo kamati za bunge zilikuwa zikiendelea na leo Novemba 12 mwaka huu tupo katika Mahakama yako wakati Bunge likiendelea na kwamba siku hiyo Mahakama iliipanga kesi hiyo kuendelea Novemba Mosi mwaka huu,” ameongeza.

Mbowe ameIeleza Mahakama kuwa Oktoba 28, 2018 alisafiri kwenda Washington DC nchini Marekani kwenye mkutano wa Oktoba 30, 2018 na kwamba kwa ratiba yake alistahili kuondoka huko Oktoba 30, usiku na kurejea Dar es Salaam Oktoba 31 kwa ajili ya kuendelea na kesi Novemba Mosi, 2018.

Mshtakiwa huyo wa kwanza katika kesi ya jinai namba 112 ya mwaka huu, Mbowe amedai kabla hajaanza safari hiyo alipata matatizo ya ugonjwa na kwamba kwa mazingira aliyokuwepo haikumruhusu kusafiri safari ndefu ya ndege kwa ushauri wa kitabibu na miiko ya kinachomsumbua.

Amedai jitihada za kujaribu kupata matibabu nchini Marekani zilikwamishwa na bima yake ya matibabu ya kimataifa kwa sababu ilikuwa inaruhusu matibabu katika nchi ambazo si Marekani wala Ulaya bali inaruhusu atibiwe kati nchi za Afrika Mashariki, Afrika Kusini na Dubai.

Mbowe amesema kwa misingi hiyo ilimlazimu kutafuta ‘apointiment’ kwenda kwenye matibabu katika nchi za Emirates na kwamba hiyo ni kutokana na ushauri aliopewa mbali na bima, kutokana na utofauti wa saa kati ya tano iwapo atatoka alipo kwenda Dubai kwa matibabu na ni zaidi ya 24 iwapo angekuwa nchini .

Amedai alikwenda Dubai ambako aliweza kupata matibabu na amepewa mapumziko hadi atakaporejea tena huko kwenye matibabu Novemba 17, 2018.

Amedai licha ya kupewa mapumziko na wakati akisubiri kurejea katika matibabu yake Novemba 17, 2018 aliona taarifa mbalimbali zenye kupotosha kuhusiana na ugonjwa wake na matibabu anapopata kwa ujumla.

Pia, akaona Mahakama ilivyokwazika kutokana na kutokuwepo kwake na kwamba haikuwa rahisi kwa yeye kutuma taarifa za matibabu kwa sababu bado wanaendelea na matibabu na kwamba taarifa ya ugonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari.

Pia, ameiarifu Mahakama kuwa alipatwa na msiba wa ndugu yake ambao ulifanyika nyumbani kwake Hai Kilimanjaro. “Hivyo niliondoka Dubai Novemba 9, 2018 kwenda Nairobi na hatimaye kwenda Hai Kilimanjaro kuhudhuria mazishi hayo.” Amesema.

Ameomba kuweka kumbukumbu mahakamani hapo kuwa yeye ni mgonjwa wa moyo kwa miaka mingi na kwamba magonjwa wa moyo si homa na wala si ugonjwa wa majeraha ndiyo sababu Wazungu wanauita "Silent Killer' ni ugonjwa ambao unastahili uangalizi.

Mbowe ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni amesema anawasilisha nyaraka zake za safari, za matibabu, bima ya matibabu kama uthibitisho mahakamani hapo.

Baada ya Mbowe kueleza hayo, Wakili wa Serikali, Jacqline Nyantori amedai amemsikiliza Mbowe kwa umakini akiishawishi Mahakama isimfutie dhamana kwa kukiuka masharti ya dhamana.

Nyantori amedai washtakiwa hao Mbowe na wenzake ni kama washtakiwa wengine wowote na kwamba kwa mujibu wa hati ya mashtaka inayowakabili walipaswa kufuata taratibu za Mahakama na masharti ya dhamana na amri walizopewa.

Walipewa dhamana Aprili, 2018 walitakiwa kufika mahakamani bila ya kukosa na kuripoti Polisi Ijumaa ya kila wiki.

Nyantori amedai kutokufika mahakamani kutokana na kazi za kibunge, ubunge ni mhimili kama ulivyo mhimili wa Mahakama hivyo kwa kuwa washtakiwa wameshtakiwa kwa kesi ya jinai ratiba zao zinatakiwa kuendana na ratiba za Mahakama.

Wakili huyo wa Serikali aliendelea kudai kuwa mdhamini wa Mbowe wakati akitekeleza jukumu lake la udhamini alieleza kuwa Mbowe alikuwa mgonjwa mahututi na alikimbizwa Afrika Kusini kwa matibabu. Na kwamba kwa maneno ya mdhamini hali aliyokuwa nayo hakuweza hata kuzungumza.

Nyantori amedai Mahakama ilichukua maneno hayo katika kumbukumbu za Mahakama na kuahirisha Kesi hadi Novemba 8, 2018 huku ikieleza uthibitisho wa kuumwa kwa Mbowe upelekwe mahakamani hapo.

“Leo Mbowe anatueleza alikwenda Washington DC badala ya Afrika Kusini na kwamba anatibiwa Dubai. Hii inaonyesha udanganyifu kutokana na kutofautiana kwa mshtakiwa na mdhamini wake,” ameeleza Nyantori.

Hata hivyo Nyantori  ametoa hati ya kusafiria ya Mbowe akionyesha kuwa Novemba 7, 2018 alikuwa Dubai na alitibiwa Novemba 8, 2018. Pia, amedai Novemba 2, 2018 Mbowe alikuwa Brussles Ubelgiji ambapo alitoka Novemba 6, 2018 kwenda Dubai.

Nyantori amedai wanaonyesha hayo kwa sababu ya kuionyesha Mahakama mshtakiwa alikuwa anaumwa anatibiwa Dubai.

Pia wakili hiyo kuiwasilisha hati ya kiapo kutoka kwa kamanda wa polisi mkoa wa Ilala Kamishna Msaidizi Salum Hamduni ambaye washtakiwa walipewa jukumu na Mahakama kuripoti kwake kila Ijumaa ya kila wiki.

Katika viapo hivyo, wakili huyo amedai mshtakiwa wa kwanza na wenzake hawakwenda kuripoti Polisi kama walivyotakiwa na Mahakama wakati walipewa masharti ya dhamana.

Pia, kuwasilisha kiapo cha Kamanda wa Uhamiaji, Steven Mhina ambaye alimhudumia Mbowe wakati akianza safari na kwamba amedai siku hiyo Mbowe alikuwa mzima na hakusindikizwa na wala hakuwa na msaada wa mtu yeyote.

Amedai kamanda Mhina alimhoji Mbowe kuwa anasafiri kwa ajili ya kufanya nini na kwamba akamueleza kwa mapumziko.

Viapo hivyo vimewasilishwa mahakamani hapo pamoja na kiapo cha wakili wa Serikali Mkuu, Dk Zainabu Mango.

Baada ya kueleza hayo, Wakili Nyantori ameiomba Mahakama iwafutie dhamana washtakiwa wote kwa sababu za uvunjifu wa masharti ya dhamana. Sheria ichukue mkondo wake na shauri liendelee kusikilizwa.

Kwa upande wa mshtakiwa Esther Matiko alidai kuwa yeye hajawahi kuidharau mahakama na hatowahi.

Alidai Novemba 8 hakuwepo mahakamani alikuwepo katika ziara ya kibunge nchini Burundi ambazo nilikuwa Novemba 4 hadi 9, mwaka huu na kwamba ulikuwa ni muhimu na alikuwa akiiwakilisha nchi na alimtuma mdhamini wake kumuwakilisha mahakamani hapo akiwa nabarua na tiketi.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Novemba 23, 2018 kesi hiyo itakapokuja kwa ajili ya. Kutolewa uamuzi kama dhamana dhidi ya washtakiwa ifutwe ama la.

Waziri Mpya wa Kilimo: Lazima Tutoke Kwenye Kilimo Cha Kujikimu Na Kuwa Na Kilimo Biashara

$
0
0
Na Mathias Canal-WK, Dar es salaam
SERIKALI kupitia Wizara ya Kilimo inatekeleza Programu ya Kuendeleza Sekta ya kilimo Awamu ya Pili (ASDP II) ambayo ni utekelezaji wa Mpango wa Uwekezaji katika Sekta ya Kilimo Nchini (TASFIP) unaolenga kukuza kilimo kwa asilimia 6 kwa mwaka.

Kwa kuzingatia hatua hizo, Wizara ya Kilimo imekusudia kuleta mageuzi ya kilimo kutoka mtazamo uliopo wa kilimo cha kujikimu hadi kufikia uendeshaji wa kilimo kwa mfumo wa kibiashara.

Hayo yamebainishwa leo Tarehe 12 Novemba 2018 na Waziri wa kilimo Mhe Japhet Ngailonga Hasunga (Mb) wakati akifanya mahojiano na Televisheni ya Taifa (TBC 1) Mara baada ya kuapishwa kuongoza Wizara hiyo Ikulu Jijini Dar es salaam.

Mhe Hasunga ameyataja maeneo matatu ambayo yanahitaji utekelezaji wa haraka. Mosi, Utekelezaji wa adhma ya serikali kuendeleza kilimo kupitia Programu ya Kuendeleza Sekta ya kilimo Awamu ya Pili (ASDP II) kwa kusimamia thabiti nguzo ya programu hiyo ikiwemo Usimamizi endelevu wa matumizi ya maji na ardhi.

Alisema kuwa Lengo la ASDP II ni kuleta mageuzi katika  Sekta ya kilimo ili kuongeza uzalishaji na tija, kilimo cha kibiashara, kuongeza pato kwa wakulima hivyo nilazima kuwekwa mkakati madhubuti wa utekelezaji ili kufikia nalengo yaliyokusudiwa.

Pili, Hasunga alisema kuwa atashirikiana na wataalamu wote Wizarani ili Kuongeza tija na faida kwenye mazao na kuendeleza kilimo cha biashara na kuongeza thamani ya mazao.

Vilevile, alisema kuwa serikali imekusudia Kuboresha mazingira wezeshi, uratibu, ufatiliaji na tathmini katika sekta ya kilimo hivyo wataalamu katika Wizara ya kilimo wanapaswa kuongeza kasi ya uwajibikaji ili kutimizi adhma hiyo.

Alisema Wizara ya kilimo itaweka mkakati madhubuti wa kuhakikisha kuwa bei ya Mazao inaimarika huku akisisitiza kuwa kwa ushirikiano na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji atahakikisha wakulima wanapata masoko ya mazao yao.

Jambo la tatu alilolieleza Waziri Hasunga kuhusu utendaji wake katika Wizara ya kilimo ni pamoja na kusimamia kwa weledi upatikanaji wa pembejeo za kilimo na ili ziweze kuwafikia wakulima kwa wakati kote mchini.

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Wizara ya kilimo Mhe Innocent Lugha Bashungwa alisema kuwa anatambua kuwa asilimia zaidi ya 70 ya wananchi wanajishughulisha na kilimo hivyo Wizara itaweka mkakati madhubuti kuhakikisha kuwa kilimo kina imarika na kuwa na tija kwa wakulima wote.

Aliongeza kuwa upotevu wa mazao baada ya mavuno ni suala linalohitaji kuzingatiwa kwa kiasi kikubwa ili kunusuru hasara inayowakumba wakulima.

Alisema, Changamoto hiyo inadumaza uzalishaji hivyo kufifisha ndoto ya kufikia uchumi wa viwanda kwa wakati kama ilivyokusudiwa. Licha ya changamoto hiyo, Tanzania imeendelea kuzalisha chakula kwa wingi kupita mahitaji yaliyopo.

Bashungwa alisisitiza kuwa Upotevu huo una uhusiano na uchumi wa viwanda kwani mazao yanayopotea au kuharibika yalipaswa kusindikwa lakini kwa kutokupelekwa kwake, yanaharibika kabla ya kumfikia mlaji hivyo kusababisha hasara kwa wakulima waliowekeza nguvu na rasilimali nyinginezo kwa muda mrefu.

Sambamba na hayo alisema kuwa Kitaasisi Serikali inalenga kuleta muafaka na mlingano kati ya kazi za Wizara ya Kilimo na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji hasa kwenye kazi zinazohusu miundombinu ya uhifadhi na utawala, kupunguza upotevu wa mazao kwa kuongeza thamani na uchakataji wa mazao ya kilimo.

Charles Mwijage: Nikiwa Benchi Ndo Napendeza Zaidi

$
0
0
Aliyekuwa Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amezungumzia hatua ya Rais John Magufuli kumwengua kwenye wadhifa wake akisema anakuwa mzuri anapotokea benchi.

Amesema hayo leo Novemba 12, 2018 Ikulu jijini Dar es Salaam, mara baada ya kuapishwa mawaziri wawili na manaibu waziri wanne akiwamo anayechukua nafasi yake Joseph Kakunda.

“Mimi wanaonijua, wanafahamu kazi yangu, nikiwa benchi ninakuwa mzuri zaidi, mimi ndiyo nilishiriki kubadilisha sera ya mafuta na tozo ya Rea ambapo Serikali ilikuwa inapoteza bilioni 600,” amesema Mwijage.

Mwijage amesema waziri yeyote wakiwamo hao walioteuliwa akitaka ushirikiano yupo tayari kufanya hivyo, na kuongeza kuwa kitu anachokumbuka na alichokiacha kama alama ni kuwaelewesha Watanzania kuhusu dhamira ya kuwa na nchi ya viwanda, ambapo hivi sasa nchi nzima wanazungumza viwanda.

“Ilikuwa kazi ngumu na nisiyoweza kuisahau, kuwaeleza Watanzania hadi waelewe viwanda ni nini na wanatakiwa kufanya nini, kwa sababu wengi walikuwa na mawazo ya kuwa na mitambo mikubwa, mashine nyingi, lakini niliwaambia hata ukiwa nazo cherehani nne kama alizokuwa nazo A to Z unaweza kuanzisha kiwanda na baadaye kikakua,” ameongeza.

Awali Rais Dkt John Pombe Magufuli ametaja sababu ya kuwatumbua waliokuwa Mawaziri wa Kilimo, Dkt Charles Tizeba, pamoja na Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage kuwa walishindwa kumaliza mgogoro wa zao la korosho, huku akiwapongeza kwa kuhudhuria hafla ya uapisho.

"Kwa dhati kabisa nawapongeza aliyekuwa Waziri Charles Tizeba na Charles Mwijage kuja kushuhudia kuapishwa kwa wenzao, huu ni moyo wa kiungwana", amesema Rais Magufuli.

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumanne Ya November 13

Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike Ajitosa Kukabili Changamoto ya Uhaba wa Nyumba za Askari

$
0
0
Na Lucas Mboje, Njombe
WAKUU wa Magereza yote nchini wametakiwa kuwa wabunifu ili kutatua changamoto ya uhaba wa makazi ya askari kwa kutumia nguvukazi ya wafungwa na rasilimali nyinginezo zilizopo katika maeneo yao.

Wito huo umetolewa jana Novemba 12, 2018 na Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike alipofanya ziara ya kikazi ya kukagua magereza yote ya Mkoa wa Njombe ambayo yanaendeshwa na Jeshi hilo.

Kamishna Jenerali Kasike amesema kuwa lazima wakuu wa magereza wawe wabunifu katika kutatua tatizo hilo la uhaba wa nyumba kwani Jeshi hilo linazo fursa nyingi ikiwemo nguvu kazi ya wafungwa.

“Mkoa wa Njombe na mingineyo nchini haipo sababu ya kuwa na tatizo la uhaba wa nyumba za askari kwani kuna fursa ya kutosha ya kufyatua tofali za kuchoma  kwa kuwatumia wafungwa ili kumaliza tatizo hili nchini”. Amesisitiza Jenerali Kasike.

Aidha, Kamishna Jenerali Kasike amewataka mafisa na askari wote kuendelea kutimiza majukumu yao kwa kuzingatia maadili, sheria na kanuni mbalimbali za uendeshaji wa Jeshi hilo.

Awali, akisoma taarifa ya Gereza la Wilaya Njombe, Mkuu wa Gereza hilo, SP. Charls Mihinga amesema kuwa  tayari wameanzisha mradi wa ufyatuaji wa tofali za kuchoma katika kambi ya mdandu ili kumaliza tatizo la uhaba wa nyumba za watumishi wa gereza hilo.

“Katika msimu huu tumeweza kufyatua tofali kubwa zipatazo 30,000 ambazo tayari zimeshachomwa, tofali hizi zitatumika katika ujenzi wa nyumba za askari pamoja na ujenzi wa Ofisi mpya ya Mkuu wa Magereza Mkoani Njombe”. Alisema SP. Mihinga.

Pia, ameongeza kuwa  malengo ya baadaye ni kuifanya kambi hiyo ya Gereza Njombe kuwa na taswira ya uzalishaji wa matofali kwa wingi kwa ajili ya kufanya biashara na hivyo kuongeza maduhuri serikalini.

Jeshi la Magereza linakabiliwa na uhaba wa nyumba za kuishi za Maafisa na askari hapa nchini, mkakati uliopo hivi sasa chini ya uongozi wa Kamishna Jenerali wa Magereza ni kuhakikisha kuwa tatizo hilo linatatulika kwa kutumia njia ya ubunifu pamoja na fursa mbalimbali zilizopo ndani ya Jeshi hilo.

Jipatie Dawa ya Asili ya Kupunguza Maziwa, Kupunguza Tumbo,Kuongeza Unene, Kuongeza Maumbile ya Kiume na Kuondoa Chunusi

$
0
0
NATURAL BEAUTY PROD. Tumeingiza mzigo mpya ni bidhaa zilizothibitishwa kiafya na kupewa kibali original cha kuuzwa hadharani.  Bidhaa hizi zimetengenezwa kwa mimea na matunda hazina chemical wala madhara yoyote kwa mtumiaji. Ukinunua bidhaa kuanzia mbili utapatiwa offer ya bidhaaa nyingine yoyote uipendayo wewe.

1. SHARK POWER--Hii ni dawa ya kupaka ya kuongeza uume urefu na upana mpaka nchi 7.5 inapatikana kwa @170,000/=

2. VIGA 84000---Hii dawa ya kuspray yenye uwezo mkubwa wa kuchelewesha wakati wa tendo la ndoa @160,000/=

3. HANDSOME UP ORIGINAL-- Hichi ni kifaa cha kuongeza maumbile kwa size uipendayo pamoja na kuimalisha misuli kifaa hichi kinapatikana kwa @230,000/=

4. MAXMAN CAPSULE--- Hii ni dawa ya vidonge ya kuongeza uume urefu na upana pamoja na kuongeza nguvu za kiume kwa wiki mbili tu bei yake ni @200,000/=

5. VIG RX---- Hii ni dawa ya kupaka ya kuongeza uume urefu na upana mpaka nchi 10 inapatikana kwa @190,000/=

6. BODY BOOSTER---Hii ni dawa ya kunywa ya kuongeza mwili pamoja na hamu ya kula vizuri @150,000/=

7. BOTCHO MULT PLUS-- Hii ni dawa ya kunywa ya kuongeza (hips mapaja na makalio) kwa size uipendayo unaipata kwa @200,000/=

8. WHITE COLLECTION---- Ni vidonge vya kuwa mweupe mwili mzima pamoja na kuwa soft @150,000/= N.K  Wasiliana nasi kwa simu

NO:. +255 759029968  AU +255 659618585

Popote ulipo utapata huduma zetu.

Pia hakikisha unapatiwa risiti yenye muhuri halisi wa NATURAL BEAUTY PROD ununuapo bidhaa kampuni hii.  WELCOME ALL

Video Mpya ya Nay wa Mitego - Hakuna Maisha Magumu

$
0
0
Msanii wa muziki Bongo, Nay wa Mitego ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Hakuna Maisha Magumu. Itazame hapa.

Neno la DC Jokate Mwegelo kwa Rais Magufuli Kuhusu Uteuzi Anaoufanya

$
0
0
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe,  Jokate Mwegelo amempongeza Mkurugenzi Mkuu mteule wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Japhet Justine Sayi ambapo amemtaka awawawakilishe vijana vizuri.

DC Jokate pia amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwaamini vijana wenye sifa na weledi kufanya vitu vikubwa kwa maendeleo ya nchi yetu.

Jokate ametoa ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, ambapo ameandika  kuwa ana ufahamu uwezo wa Japhet na kuamini kuwa suala la Korosho atalisimamia vyema.

"Rais kaomba leo Ikulu uthibitishwe kijana mdogo uwe Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania. - TADB. 

"Tunaamini kwa akili na uwezo wako mkubwa sasa wakulima watafutwa machozi yao na hili la korosho utalisimamia vyema. Sina shaka na uwezo wako kabisa. Mwenyezi Mungu aendelee kukuongoza . 

"Asante Mhe Rais kwa kuendelea kuamini vijana wenye sifa na weledi kufanya vitu vikubwa kwa maendeleo ya nchi yetu," ameandika Jokate kupitia ukurasa wake wa Instagram leo.

Japhet Justine Sayi alikuwa Kaimu Mkurugenzi wa Benki hiyo kabla ya jana Rais Magufuli kuelelekeza Waziri husika anayeshughulikia benki hiyo kumthibitisha Rasmi kuwa Mkurugenzi mkuu.

Rais Magufuli Ahudhuria Misa Ya Kushukuru Rais Mstaafu Benjamini Mkapa Kutimiza Miaka 80

$
0
0
Rais John Magufuli amempongeza Rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa kwa mchango mkubwa alioutoa wakati wa uongozi wake na kueleza Watanzania wataendelea kumkumbuka.

Rais Magufuli ametoa pongezi hizo jana Jumatatu Novemba 12, 2018 wakati wa  misa takatifu ya shukrani ya uhai kwa Mkapa ambaye ametimiza miaka 80 tangu kuzaliwa iliyofanyika katika Parokia ya Bikira Maria Imakulata, Upanga Jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.

Rais Magufuli alisema wakati akiwa madarakani Mkapa alifanya mambo mengi na muhimu kwa Taifa na amebainisha Watanzania wataendelea kumkumbuka kwa kazi nzuri aliyoifanya.

“Rais mstaafu Mkapa wakati wa uongozi wako ulifanya kazi kubwa na kwa miaka ambayo nilifanya kazi na wewe baada ya kuniteua kuwa naibu waziri na baadaye waziri nilijifunza kuwa wewe ni mcha Mungu, mwadilifu, mnyenyekevu kwa Mungu na mchapakazi.”

“Leo unapotimiza miaka 80 nakushukuru na kukupongeza sana, nakuombea mwenyezi Mungu aendelee kukupa afya njema wewe na familia yako na sisi viongozi tuliopo sasa tutaendelea kuyaenzi mazuri yote uliyoyafanya” alisema Rais Magufuli.

Kwa upande wake, Mkapa alimpongeza Rais Magufuli kwa uongozi wake kwa kuwa Tanzania imeendelea kuwa na sifa nzuri ya amani na umoja na kwamba hata akiwa nje ya nchi anapoulizwa siri ya Tanzania kuwa na marais wastaafu watatu ambao wanaishi vizuri nchini mwao, huwajibu siri kubwa ni uwepo wa amani, umoja na mshikamano.

Pia amemshukuru Rais  Magufuli kwa kumtakia heri, amewashukuru maaskofu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mwandamizi Jude Thadaeus Ruwai’chi na Askofu Msaidizi Eusebius Nzigirwa walioongoza misa hiyo pamoja na viongozi wengine na waumini wenzake.

Misa hiyo imehudhuriwa pia na mke wa Rais Magufuli, Mama Janeth Magufuli na mke wa rais mstaafu wa Mkapa, Mama Anna Mkapa.

Lawrence Masha Ateuliwa Kuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Fastjet Tanzania

$
0
0
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha ameteuliwa kuwa mwenyekiti mtendaji wa kampuni ya usafiri wa anga, Fastjet.

Taarifa ya kampuni hiyo inasema Masha atashirikiana kwa ukaribu na meneja mkuu wa Fastjet, Derrick Luembe pamoja na menejimenti kunyoosha operesheni zake nchini.

Jukumu jingine atakalolisimamia kwa ukaribu ni mpango wa Fastjet Tanzania kujitegemea kutoka Fastjet PLC yenye makao makuu yake nchini Uingereza.

“Kwa uzoefu alionao, bodi inaamini atakuwa na mchango mkubwa kwenye kampuni hii,” inasema taarifa hiyo.

Mbali na kuteuliwa kushika wadhifa huo wa juu ndani ya Fastjet, Masha pia ni mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Kiwanda cha Saruji cha Tanga na Ecoprotection Limited na mjumbe wa bodi ya kampuni ya Newforest na mshirika mtendaji wa kampuni ya uwakili ya Gabriel and Co.

Fastjet ilifungua ofisi zake nchini mwaka 2012 kisha kuanza kutoa huduma za usafiri kwenda mikoa ya Kilimanjaro na Mwanza. Baadaye ilijitanua kwa kuwa na ofisi jijini Nairobi (Kenya), Accra (Ghana) na Luanda (Angola).

Masha aliwahi kuwa mbunge wa Nyamagama kati ya mwaka 2005 hadi 2010 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kabla baadaye hajatimkia Chadema alikodumu kwa miaka miwili na kurejea tena CCM.

Masha amewahi kuwa naibu waziri wa nishati na madini, waziri wa mambo ya ndani na mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Oxygen.

Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

$
0
0
Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo Ya Uume Limekuwa Kubwa Kwa Lika Zote Hapa Kwetu Na Duniani Kote. Tatizo Si Tatizo Bali Ni Iletiba Sahihi Ya Matatizo Haya Chanzo Chake Na Visababisho Vyake.

DALILI;mwili kuchoka, maumivu ya mgongo na kiuno, kutopata choo vizuri hata ukipata choo kinakuwa kigumu au gololi kama mavi ya mbuzi. misuli ya uume kulegea na kusinyaa hata uume kulegea na kushindwa kufika kileleni. miguu kuuma na kuwaka moto.

 TIBA YAKE;LUKUBA 4mix ni dawa pekee inayoweza kutibu matatizo hayo inarudisha nguvu za kiume mara dufu na kufanya urudie tendo la mara tatu bila kuchoka. 

LUKUBA 3 pump; ni dawa inayorefusha na kunenepesha uume hadi inchi 7 hadi 9 na kunenepesha kwa CM 2 na kukupa umbile la uhakika. ITUMIE TIBA HII KUOKOA NDOA YAKO NA KUOKOA KUKIMBIWA NA UMPENDAYE,

 ISABILO; Ni dawa itoayo mafanikio na utajili kwa watu walioshindwa kufanikiwa kimaisha, 

MWITE; Ni dawa ya mvuto kumvuta umpendaye na kumrudisha aliyembali na atakutimizia ahadi zote awe mwanamke au mwanaume. 

LUTA CD; Ni dawa inayotibu magonywa nyemelezi yanayopunguza kinga za mwili na kusababisha mwili kuzoofu na inaondoa miwasho na kuondoa kemikali na taka zinazozagaa mwilini. 

KISUKARI; Tunayo dawa ya DAYON inayotibu na kuzalisha insulin kwa wingi na kumfanya mwenye tatizo hili kupona kabisa ugonjwa wa kisukari, kwani husababisha misuli ya mwili kutokufanya kazi vizuri

MPIGIE DR DAGOTIMAN NDIYE SULUHISHO LA MATATIZO YAKO   0658920640/ 0754372325 / 0620806813
 
HUDUMA HII INAWEZA KULETWA POPOTE ULIPO OFISI ZETU ZIPO MBAGALA ZAKHEM DAR ES SALAAM.

Rayvanny aandika waraka kujitetea Baada ya BASATA Kuufungia Wimbo Wake wa NYEGEZI- MWANZA Aliomshirikisaha Diamond

$
0
0
Msanii wa muziki Rayvanny bado hajaondoa wimbo ‘Mwanza’ mtandaoni kama alivyoagizwa na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kwa madai wimbo huo hauendani na maadili ya Kitanzania.

Rayvanny kupitia waraka huu hapa chini ameeleza sababu za kuandaa wimbo huo huku akikosoa mambo mengi yaliyoelezwa na baraza hilo.

    Part 1; HABARI ZA ASUBUHI NDUGU ZANGU…….
TAARIFA ZA KUFUNGIWA KWA WIMBO WANGU NIMEZIPATA…..
 
LAKINI KATIKA HILI NINA HAYA MACHACHE YAKUSEMA…… ..

1.SANAA NI NINI??? ….
SANAA NI NENO LILILOTOKANA NA LUGHA YA KIARABU…. LENYE MAANA NI UFUNDI ANAOUTUMIA MWANADAMU, KUWASILISHA FIKRA AU MAWAZO YALIYO NDANI YA FIKRA ZAKE…..VILE VILE SANAA NI UZURI UNAOJIIBUA KATIKA UMBO #LILILOSANIFIWA…. #KUSANIFU NI KUUMBA/KUFANYA KITU KWA KUTUMIA USTADI ILI KIWEZE KUVUTIA WATU KWA UZURI WAKE…. HIVYO KAZI YOYOTE YA SANAA INATEGEMEA IONYESHE UFUNDI WA HALI YA JUU, ILI IWE NA MVUTO KWA HADHIRA YAKE #ILIOKUSUDIWA………… HAYO MANENO SI YANGU MIMI NI TAFSIRI YA NENO SANAA………. .
 
    ….2.DHAMIRA YA WIMBO……..
DHAMIRA YETU HAIKUA KUTUKANA, KAMA INAVYOONEKANA SASA… DHAMIRA YETU ILIKUA KUTOA BURUDANI KWA HADHIRA ILIOKUSUDIWA AMBAO NI VIJANA WENZETU LAKINI PIA NA MAFUNDIOSHO AMBAYO KILA SIKU SERIKALI IMEKUA IKIYAPIGA VITA……
 
SWALA KAMA LA AMBEL RUTI…. KATIKA WIMBO WETU TUMESEMA…. (NAMI NAOGOPA SENTRO MICHEZO YA AMBEL RUTI, KWAMBA KIJANA YOYOTE ANAESIKILIZA AOGOPE KITENDO HICHO ATAISHIA PABAYA……..
 
PIA KUNA MISTARI INASEMA…. (HAPENDAGI MPASUO….ATAKI SHIDA BASATA) UKIWA NA MAANA YA KUKATAZA MAVAZI MABAYA/ MAVAZI YA WAZI NAKUSISITIZIA KWAMBA HATA BASATA HAYARUHUSIWI….. UKIANGALIA HAYA YOTE NI MAFUNDISHO AMBAYO MWANASANAA LAZIMA UYAFIKISHE KATIKA LIGHA ILIOSANIFIWA………..

3.KWANINI MWANZA…….
TUNGEWEZA KUUITA HUU WIMBO JINA LINGINE LOLOTE , MBEYA ,KIGOMA AU MKOA WOWOTE TOFAUTI LAKINI KWANINI #MWANZA…… IKUMBUKWE SIKU CHACHE ZILIZOPITA KUMETOKEA MAAFA MAKUBWA YALIYOWAKUTA NDUGU ZETU WA MWANZA…. WATU WAMEPOTEZA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI…..KAMA WASANII TULIWAZA SANA HUSUSANI KWA VIJANA WENZETU WA MWANZA TUWAFANYIE KITU GANI IKIWA NI SEHEMU YA FARAJA KWAO….. NDIPO LILIPOKUJA WAZO LA KUTENGENEZA WIMBO KWA AJILI YA #MWANZA……. 

UNAOSEMA KWETU MWANZA #NYEGEZI LAKINI TUKASEMA USIENDE HIVYO TU UWE NA MAFUNDISHO NDANI YAKE LAKINI PIA BURUDANI KWA VIJANA WA MWANZA NA MAENEO MENGINE….NA KIUKWELI WIMBO HUU UMEPOKELEWA VIZURI SANA MWANZA NA MAENEO MBALIMBALI IKIWA NI ISHARA YA ILE DHAMIRA TULIO IKUSUDIA IMEFANYA KAZI…….

    PART 2……. 1.KUFUNGIWA……..
 KUNA VYOMBO VYA HABARI…NA SEHEMU MBALI MBALI MIZIKI YETU INAPOSIKIKA YAWEZEKANA KUKAWA NA WATOTO PENGINE WIMBO HUU HAIKUA NI HADHIRA TULIOIKUSUDIA….. HIVYO UKISIKIKA KWAO IKAWA NI KINYUME NA MAADILI KWA SABABU HADHIRA TULIOIKUSUDIA NI YA WATU WAZIMA YANI MIAKA 18 NA KUENDELEA…
AMBAO TUNAAMINI NDIO WAPO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII…NA NDIO WANUNUZI WA KAZI ZETU….NA NDIO WAHUDHULIAJI WA MATAMASHA YETU…….. 

2..MAONI YANGU…….. 
NILIKUA NAONA SWALA LA KUFUNGIA WIMBO HUU KWA VIJANA WENZETU NI KUTUNYIMA KUFIKISHA UJUMBE…BURUDANI KWA HADHIRA YETU YA SANAA…..MFANO… MITANDAO YA KIJAMII, HAKUNA MTOTO ATAKE INGIA KATIKA MITANDAO….LAKINI PIA KWENYE MATAMASHA KAMA WASAFI FESTIVAL PALE WANAOKUJA NI WATU WAZIMA….AMBAO WIMBO HUU HAUNA MADHARA KWAO…… 

KWENYE TV NA REDIO NAWEZA KUSEMA NI SAWA KUTOKANA NA WATOTO WATAKAO TAZAMA WIMBO HUU ILA MITANDAO YA KIJAMII NA KWENYE MATAMASHA NAOMBA BARAZA LA SANAA TANZANIA (BASATA) MKIWA KAMA WALEZI WASANII MULITAZAME HILI NA KUONA MNATUSAIDIAJE….. SANAA NI KAZI / SANAA NI AJIRA LAKINI PIA SANAA NI UBUNIFU ASANTE…….

Serikali Yaionya Yanga....Yamtaka Yusuf Manji Asithubutu Kuichezea Serikali

$
0
0
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amemweleza wazi Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji, kuwa aache kuichezea Serikali, kama bado ana mapenzi na klabu hiyo achukue fomu kugombea nafasi, huku akiwaonya wale wote wanaopinga uchaguzi wa klabu hiyo waache mara moja.

Kauli ya Mwakyembe imekuja baada ya Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini Yanga, Kapteni Mstaafu, George Mkuchika, kutangaza juzi kuwa Manji ataendelea na kazi yake kama Mwenyekiti mwakani pindi afya yake itakapoimarika.

Mwakyembe aliyasema hayo jana, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, ambapo alieleza kama Yanga wanampenda Manji basi wamshawishi achukue fomu na kama wanaona inafaa sana basi wamchukulie.

Alisema Manji aliandika barua Mei 20, 2017, tena kwa Kiingereza kujiuzulu na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti, Clement Sanga, alichukua nafasi kuwa Mwenyekiti wa Yanga na kuiongoza klabu hiyo.

“Tusicheze hii ni Serikali, achukue fomu agombee au wamchukulie, tulipata tabu sana pale Manji alipojiweka pembeni kwani Yanga ilitakiwa kushiriki kwenye mashindano ya kimataifa lakini ilikuwa haina fedha.

“Kutokana na hali hiyo, baadhi ya wadau ambao si viongozi walijitutumua kuchangia chochote, lakini hakuna hata senti tano iliyotoka kwa Mwenyekiti huyo wanayemlilia leo, tumechoka kuwabeba, umefika wakati Yanga ichague viongozi wake na tuione ikisimama kwa miguu yake, hilo ndilo lengo la Serikali, tumeichoka kuwa ombaomba.

“Kama kuna wana Yanga wanaona wataugua bila kuwapo Manji, basi wanaweza kumshawishi achukue fomu agombee lakini si kupitia njia ya mkato, kwanza wachague viongozi ambao wana uchungu na timu hiyo,” alisema.

Alisema kama Manji anataka kugombea lazima afuate sheria za uchaguzi, kwani pamoja na vyombo vya sheria kumhoji tangu Juni hadi Oktoba, mwaka huu, kuhusu kurudi kwake bado alikataa akisema hawezi kurudi Yanga.

“Hatuwezi kuwa na sheria mbili za uchaguzi moja ya Yanga na nyingine ya klabu nyingine, utaratibu wa klabu yoyote ni kwamba pale inapotokea kuna mapengo ya uongozi wanatakiwa kufanya uchaguzi na ufanyike kidemokrasia,” alisema.

Mbali na Manji, viongozi wengine wa Yanga waliojiuzulu ni Makamu Mwenyekiti, Sanga na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Utendaji, Hashim Abdallah, Salum Mkemi na Omar Said.

Wakati Mwakyembe akiyasema hayo, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ally Mchungahela, amesema uchaguzi huo upo pale pale ikiwemo ya kujaza nafasi ya Manji.

“Sisi uchaguzi unaendelea kama kawaida, hata nafasi ya Manji pia watu wanachukua fomu kama tulivyoelekezwa na Serikali.

“Kama Manji wanamtaka aendelee kuongoza basi waje wamchukulie fomu au aje achukue fomu, sisi tunafuata taratibu,” alisema.

Mchungahela aliweka wazi wanachama wote ambao wamekuwa vinara wa fujo na kuyumbisha zoezi hilo, habari zao zimeshafika kwenye kamati ya maadili akiwemo Mkuchika na muda wowote kuanzia sasa wataitwa na kuhojiwa.

Kwa upande wake, Rais wa TFF, Wallace Karia, amesisitiza iwe isiwe lazima klabu ya Yanga ifanye uchaguzi, kama walivyoelekezwa na Serikali kupitia Baraza la Michezo Tanzania (BMT).

“Sina la kusema lakini niwaambie neno moja, uchaguzi lazima ufanyike kutokana na agizo la Waziri Mwakyembe, hakuna kitakachozuia watambue wasitambue sisi haituhusu,” alisema Karia.

Uchaguzi huo umepangwa kufanyika Januari 13, ukisimamiwa na TFF ambao utajikita kwenye kutafuta mwenyekiti, makamu wake pamoja na wajumbe wanne.

Jinsi Punyeto Inavyo Sababisha Kusinyaa Na Kudumaa Kwa Maumbile Ya Kiume

$
0
0
Wanaume  wanao  jihusisha  na  upigaji  wa  punyeto  kwa  muda  mrefu  husalia  kuwa  na  maumbile  ya  kiume  yaliyo  sinyaa  na  kudumaa.

Kwa mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, kufanya  punyeto  kwa  muda  mrefu  huathiri  na  kuharibu  mishipa  na  misuli  ya  uume na  hivyo kusababisha  kujengeka  kwa  mafuta na  tishu  zisizo vutika  kwenye  mishipa  ya  ateri na  hivyo  kuzuia  mishipa ya  ateri  kupanuka na  kuongezeka  pamoja  na  damu  kutiririka  kwenda  kwenye  misuli  ya  uume.

Mambo  hayo  mawili yanapotokea  huathiri  uzalishaji  wa homoni muhimu  zinazo  husika  na ukuaji wa misuli ya  uume, na hatimaye  hufanya  uume  wa  mhusika  kudumaa, kusinyaa, kunywea  na  kurudi ndani  kiasi  cha  kuufanya  uonekane  kama wa  mtoto.

 Homoni  hizo hujulikana   kitaalamu kama  HGH  na  huzalishwa  kwenye  ini.

Sababu nyingine   inayo  tajwa  na  wataalamu  ni kwamba, mtu  anaye fanya punyeto   hutumia  akili,  nguvu na  nishati  nyingi sana, jambo ambalo  huathiri utendaji  wa  ogani  nyingine  muhimu  katika  mwili , likiwemo  ini.

Na kwamba  ini  linapo kosa  nishati   ya kutosha  hushindwa  kufanya kazi  zake  vizuri  na  moja  kati  ya  kazi kubwa  za  ini  ni  pamoja  na  uzalishaji  wa  homoni  zijulikanazo  kitaalamu kama  HGH  ambazo  kama  ilivyo andikwa  hapo juu, zinahusika na  kuchochea  ukuaji  wa  sehemu mbalimbali  katika  mwili  wa  mwanadamu  ikiwemo   misuli  ya  uume.

Mbali na  kuathiri  utendaji  wa  ogani  nyingine  mwilini, upigaji  punyeto  husababisha  athari nyingine  kwenye  mwili wa  mwanadamu  kama  vile uchovu  sugu  wa mwili  pamoja na kunyonyoka kwa  nywele.

Athari nyingine  za  upigaji punyeto  ni  pamoja  na  kupoteza  kumbukumbu, kuwahi  kufika  kileleni  ambako  husababishwa  na  kulegea  kwa  mishipa  ya  ateri, kushindwa  kurudia  tendo  la  ndoa, kukosa  hamu  ya  tendo  la  ndoa, uume  kusimama  katika  hali  ya  ulegelege,   maumivu  wakati  wa  tendo  la  ndoa  husuani  wakati  wa  kurudia  tendo  la pili na    mara  baada  ya  tendo  la  ndoa  la  kwanza.

KWANINI   WATU WENGI  WANAO  JIHUSISHA  NA  UPIGAJI  PUNYETO  WANA  MAUMBILE  MADOGO  YA  KIUME YALIYO  DUMAA, SINYAA  NA  KURUDI NDANI.

Uzeofu  unaonyesha  kuwa,  asilimia  kubwa  ya  wanaume  ambao  wamewahi  kufanya  punyeto  kwa  muda  mrefu, wanakabiliwa  na  tatizo  la kuwa  na  maumbile  ya  kiume yaliyo dumaa, sinyaa  na  kurudi ndani.

SABABU  KUBWA   NI  HII  HAPA
Sababu  kubwa  ni kwamba   vijana wengi  wa  kiume, huanza  kujihusisha  na  punyeto   wakiwa  na  miaka  kumi  na sita , kumi na  saba  au  chini  ya  hapo.

Hiki ni  kipindi  ambacho  vijana  hawa  ndio  wanakuwa  wamebalehe.

Na kwa mujibu  wa  tafiti  za kisayansi, katika  kipindi  hiki cha  balehe  ndio  kipindi  ambacho  homoni za  HGH  ambazo huhusika  na  ukuaji  wa  sehemu  mbalimbali  za  mwili  ikiwemo  maumbile ya  kiume, huzalishwa  kwa wingi.

Kama  tulivyo ona  hapo  juu, upigaji  punyeto  huathiri  uzalishwaji  wa   homoni  hizo.

Mwisho wa  siku  maumbile  ya  kiume  ya  wahusika, hushindwa  kukua  na  kuishia  kudumaa na  kusinyaa.

Na  hii ndio  sababu  kubwa  wanaume  wanao  kabiliwa  na  tatizo  hili  husalia  kuwa  na  maumbile yenye  ukubwa  ule  ule  walio kuwa  nao wakati wa  kubalehe

NINI  TIBA  ASILIA  YA  TATIZO  LA  KUDUMAA, KUSINYAA  NA  KURUDI NDANI KWA  MAUMBILE  YA  KIUME.
Kama uume wako  umedumaa, sinyaa, legea, nywea  na  kurudi ndani  kwa  sababu  ulifanya  punyeto  kwa  muda  mrefu  na  unataka  kuondokana  na  hali  hiyo. HII  NI HABARI NJEMA  SANA  KWAKO! 
 
Ipo dawa  ya ASILI   ambayo  HUTIBU  na  KUPONYESHA  KABISA  tatizo la  KUDUMAA, KUSINYAA, KUNYWEA  NA  KURUDI NDANI  KWA MAUMBILE  YA  KIUME kunako  tokana  na  ufanyaji  punyeto  wa  muda  mrefu.
 
Ni  dawa  ya  asili  kabisa ambayo  hutibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la kudumaa  na  kusinyaa  kwa  uume  ndani ya siku thelathini.

JINSI YA  KUPATA  TIBA  HII : Kupata  tiba  hii  fika  ka6ika  duka  la  kuuza  dawa  za  aslili  la  NEEMA  HERBALIST.  Tunapatikana  UBUNGO  jijini  DAR  ES  SALAAM  jirani  na  SHULE  YA  MSINGI  UBUNGO  NATIONAL  HOUSING  nyuma  ya  jengo  la  UBUNGO  PLAZA.

Kwa wateja  waliopo  jijini  Dar  Es  Salaam  ambao  hawana  nafasi  ya  kufika  ofisini  kwetu  watapelekewa  dawa  mahali  walipo  ( HOME & OFFICE  DELIVERY )  na kwa  wateja  waliopo  nje  ya  mkoa  wa  Dar  Es  Salaam  watatumiwa  dawa  kwa  njia  ya  usafiri  wa  mabus  au  boti  kwa  waliopo  Zanzibar.

Wasiliana  nasi  kwa  simu  namba  :    0693  005 189.

Utekelezaji Maagizo Ya Rais: Timu Ya Wizara Ya Kilimo Yatua Lindi Na Mtwara kuhakiki Korosho zilizopo katika maghala makuu.

$
0
0
Na Mathias Canal-Wizara ya Kilimo, Mtwara
Ikiwa ni siku moja tu mara baada ya kuapishwa kuongoza wizara ya kilimo katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam Jana Jumatatu Novemba 12, 2018, Waziri wa kilimo Mhe Japhet Ngailonga Hasunga (Mb) Leo Tarehe 13 Novemba 2018 ameongoza viongozi wakuu wa Wizara yake kutembelea katika Mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma kwa ajili ya kuhakiki Korosho zilizopo katika maghala makuu.

Katika msafara huo Waziri Hasunga atatembelea Mkoani Mtwara ambapo ameambatana na Naibu Waziri wa kilimo Mhe Innocent Lugha Bashungwa na Katibu Mkuu Mhandisi Mathew Mtigumwe watakaotembelea Mkoa wa Lindi, na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Prof Siza Tumbo atakayetembelea Mkoa wa Ruvuma.

Katika ziara hiyo viongozi hao wakuu watahakiki usimamizi wa maghala ambao kwa sasa unasimamiwa naBodi ya usimamizi wa stakabadhi ya ghala na Usimamizi wa ziada wa Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Bodi ya Nafaka na Mazao mchanganyiko.

Vilevile watahakiki taarifa za Ubora wa maghala kama zilivyopitishwa na Bodi ya usimamizi wa Stakabadhi ya ghala (Warehouse Receipt Regulatory Board-WRRB) pamoja na Ubora wa ghala.Watahakiki uwezo wa maghala na kiasi kilichopo ghalani, na kuhakikisha taarifa ya umiliki wa Korosho zilizopo kwenye ghala.

Aidha, viongozi hao watahakiki kiasi cha Korosho kwenye ghala kwa kupitia nyaraka za mapokezi ya Korosho kwenye ghala ambazo zinawasilishwa na Vyama vya msingi (AMCOS) na kuoanisha taarifa hizo na taarifa zilizomo kwenye taarifa za stakabadhi ya ghala (Warehouse Report).

Katika ziara hiyo timu ya viongozi wakuu kutoka wizara ya kilimo wataambatana pia na Ofisini za Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Bodi ya Mazao Mchanganyiko, Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania (TARI)-Naliendele, na Bodi ya usimamizi wa Stakabadhi ya ghala (WRRB).

Swali la Kwanza La Dr Tizeba Bungeni Baada ya Rais Magufuli Kumtumbua

$
0
0
Wabunge wamemshangilia kwa makofi kwa muda wa takriban dakika moja Waziri wa zamani wa Kilimo, Dk Charles Tizeba ikiwa ni mara ya kwanza kuingia bungeni na kuuliza swali la nyongeza tangu uteuzi wake utenguliwe na Rais John Magufuli Jumamosi iliyopita  Novemba 10, 2018.

Makofi hayo yalipigwa na wabunge wa pande zote za upinzani na CCM yaliyokwenda sambamba na vigelegele hali iliyomfanya Dk Tizeba kusimama kabla ya kusubiri hadi wamalize ili kuanza kuzungumza.

Hayo yamejiri leo Jumanne Novemba 13, 2018 wakati Dk Tizeba ambaye ni mbunge wa Buchosa alipopewa fursa ya kuuliza swali la nyongeza.

Dk Tizeba ameanza kwa kushukuru Rais Magufuli kwa kumpa fursa ya kulitumikia Taifa na pia kumshukuru Spika Job Ndugai na  Naibu Spika, Dk Tulia Ackson kwa ushirikiano walioutoa kwake katika kipindi chote cha uwaziri.

Katika swali lake la nyongeza, Dk Tizeba amesema katika jimbo lake kuna visiwa 28, lakini kuna vivuko viwili  kimoja kikiwa kimepitwa na wakati na hivyo wakati mwingine kuwafanya watu kuwa na hofu kutokana na kujaa.

Amehoji ni lini Serikali itapeleka vivuko vingine kutatua tatizo hilo.

Akijibu swali hilo, Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Atashasta Nditiye amesema kuna timu imekwenda kutembelea katika eneo hilo ili kuangalia namna ya kuboresha ambayo ilikuta watu wakipigana hadi ngumi kutokana na hali ya usafiri ilivyo.

Amesema wataendelea kuboresha usafiri wa majini Tanzania.

Rayvanny atua BASATA baada ya wimbo wa Nyegezi- Mwanza Kufungiwa

$
0
0
Msanii wa muziki Rayvanny amefika kwenye ofisi za Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) baada ya kufungiwa kwa wimbo ‘Mwanza’ kwa madai wimbo huo hauendani na maadili ya Kitanzania.

Rayvany aliwasili katika baraza hilo  saa 11:30 akiwa na gari jeupe aina ya  Harrier  akiwa ameambatana na watu wawili.

Akiwa amevalia suruali nyeusi na sweta la rangi ya machungwa yenye kofia, alijifunika usoni ili kukwepa kamera za wanahabari waliojazana katika ofisi za Baraza hilo zilizopo Ilala Bungoni jijini Dar es Salaam.

Baada ya kufika hapo aliegesha gari kwa muda kabla ya kuelekea ofisi za Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Godfrey Mngereza.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images