VIJANA wawili waliokuwa katika pikipiki aina ya Boxer wamenusurika
kuuawa na wananchi wenye hasira kali eneo la Kijitonyama baada ya
kumpora dada mmoja mkoba.
Vibaka hao walifanikiwa kumpora dada huyo aliyekuwa akitembea kwa
miguu akitokea Benki ya Access katika maeneo ya showroom ya Akachube
iliyopo Kijitonyama jijini Dar.
Wakati wa uporaji huo, alikuwepo msamaria mmoja
Vibaka wanusurika kifo Kijitonyama jijini Dar......
↧
↧
Picha kutoka Bungeni mjini Dodoma Leo......
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali ya wabunge wakati alipohitimisha
hoja ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma Mei 9,
2014.
Spika
wa Bunge Mhe.Anna Makinda akiwa anaendesha kikao cha Bunge leo wakati wa
majadiliano ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na TAMISEMI.
Wabunge wakifuatilia mjadala ndani ya Bunge.
Spika
wa zamani ambaye pia ni
↧
Wanafunzi 212 wa Uaskari chuo cha taaluma ya Polisi Moshi wafukuzwa baada ya kubainika kutumia Vyeti Feki
CHUO
cha mafunzo ya taaluma ya Jeshi la polisi Moshi (MPA), kimewafukuzisha
mafunzo jumla ya wanafunzi wa uaskari 212, kutokana na sababu za
kughushi vyeti vya elimu ya sekondari..
Hayo
yamesemwa leo na Mkuu wa Taaluma na Utumishi wa jeshi la Polisi,
Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye katika kikao na waandishi wa
habari kilichofanyika kwenye ukumbi wa chuo cha mafunzo ya taluma ya
↧
Freeman Mbowe atangaza baraza jipya la Mawaziri Kivuli....Baraza hilo kwa sasa linavihusisha vyama vya CHADEMA (25), CUF (11) na NCCR-Mageuzi (4)
Kambi rasmi ya upinzani imetangaza baraza la mawazili kivuli katika
wizara 29 ambao wanashika hatamu za uongozi kwa kipindi kilichobakia
kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani.
Akitangaza rasmi Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Freeman
Mbowe amewataka viongozi walio teuliwa kutumikia vilivyo nafasi zao kwa
maendeleo ya watanzania
Walioteuliwa ni
↧
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amwagiza CAG na TAKUKURU wachunguze wizi wa mabilioni IPTL
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) pamoja na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wameagizwa kuchunguza na kujiridhisha kama kweli upo uchotaji wa mabilioni ya shilingi katika akaunti ya Escrow iliyokuwa imefunguliwa ndani ya Benki Kuu (BoT) kwa ajili ya kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alisema hayo jana
↧
↧
Steve Nyerere ampa ONYO Wema Sepetu....
MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven
Mengere ‘Stive Nyerere’ ameibuka na kumuonya Wema Sepetu kupiga kazi na
kuepuka umaarufu bila kazi.
Nyerere amemtaka Wema aachane na skendo za kila kukicha kwani hazina
maana kama kazi ya sanaa aliyoichagua kama njia ya kumuingizia kipato.
“Kwanza nampongeza sana Diamond kwa tuzo zote alizopata kwa kuwa
alistahili lakini Wema naye
↧
Jackline Wolper: Wanaosema Kifo Cha Kanumba Kimeshusha Soko La Filamu Ni Waongo.
Muigizaji
wa filamu mwenye jina kubwa nchini Jackline Wolper amesema kuwa watu
wanaosema kuwa soko la filamu nchini limeshuka baada ya Kanumba kufariki
ni waongo kwasababu kila mtu ana mashabiki wake na Kanumba hakuwa
ameliteka soko peke yake.
Akizungumza katika The
Sporah Show,Wolper alisema kuwa wanaosema hivyo itakuwa ni
mashabiki wa Kanumba ndiyo maana baada ya kufariki
↧
Dr Cheni aruhusiwa baada ya kulazwa kwa ugojwa wa Dengeu
Msanii wa filamu Dr Cheni ameruhusiwa jana kutoka katika hospitali ya
Buruhani jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kutokana kuugua na
ugonjwa wa Dengeu.
Kupitia Instagram jana ameandika: Asanteni sana ndugu marafiki
washabiki kwa dua zenu leo nimeruhusiwa sina cha kuwalipa, mungu
atawalipa kwa sala (maombi) yenu amin”
Dr Cheni alilazwa May 6, mwaka huu baada ya kuugua na
↧
INASIKITISHA:...Huyu ni binti aliyembukizwa Virusi Vya Ukimwi na Mwanamke Msagaji, na hapa anasimulia ilivyokuwa
Zuwena ( sio jina lake halisi ), ni mwanamke wa kitanzania mwenye umri wa miaka 43. Kwa sasa mwanadada huyu anaishi na virusi vya ukimwi.
Mwanadada huyu anabainisha namna alivyo pata maambukizi ya VVU kwa kujamiiana na mwanamke mwenzake, ama kwa lugha nyingine, Zuwena anaeleza namna ambavyo mwanamke msagaji alimuambukiza v.v.u wakati wakiwa na uhusiano wa jinsi moja...
Fuatilia kisa hiki
↧
↧
Magazeti ya leo Jumapili ya tarehe 11 May 2014
↧
Ufafanuzi wa Serikali kuhusu taarifa ya kufukuzwa wakurugenzi wa Wizara ya Maliasili na Utalii.... " Prof. Alexander Songorwa na Prof. Jafari Kideghesho hawajawahi kufukuzwa kazi ama kuadhibiwa."
Serikali
inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu zinazoendelea
kuchapishwa na kutangazwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuhusu
Watumishi Waandamizi wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Prof. Alexander
Songorwa ambaye ni Mkurugenzi, Idara ya Wanyamapori na Prof. Jafari
Kideghesho, Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya Matumizi Endelevu ya
Wanyamapori.
Kumekuwa na taarifa kwenye
↧
Wazee wawili wafikishwa mahakamani kwa kosa la KUWALAWITI wanafunzi sita wa shule za msingi
Wazee wawili akiwemo mlinzi mmoja wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)
ya wilaya ya Bunda, mkoani Mara, wamefikishwa mahakamani kwa kosa la
kulawiti wanafunzi sita wa shule za msingi zilizoko wilayani hapa.
Waliofikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bunda, ni pamoja na Thomas
Machugu (72) ambaye ni mlinzi na mkazi wa mtaa wa Saranga.
Mwingine ni Salum Mfumbasi (66) ambaye ni
↧
Nay wa Mitego aongea kuhusu kusambaa kwa picha ya mchumba wake akivishwa pete na ‘pedeshee’
Hatimaye Nay wa Mitego amezungumzia scandal iliyokuwa ikimhusu
mchumba wake aitwaye Siwema ambaye mwezi uliopita ilisambaa video na
picha kwenye mtandao wa Instagram inayomuonesha akivishwa pete na
pedeshee.
Maelezo kuhusu video/picha hizi yalisema:
“Siwema demu wa Nay Wa Mitego amevalishwa pete ya uchumba na
jibaba ( pedeshee ) linalomuweka mjini na ndilo lililomnunulia magari
↧
↧
UKAWA wapigwa marufuku Bunge la bajeti.
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda amesema ni marufuku kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kufanya shughuli zake ndani ya Bunge la Bajeti.
Alisema hayo juzi bungeni baada ya
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe kutangaza baraza
kivuli la mawaziri na kusema hicho ndiko kikosi cha ukawa ndani ya
Bunge.
Spika Makinda alimtaka Mbowe
↧
Kijana Aua Wazazi Wake Wawili na Kuchoma Moto nyumba yao Mkoani Kilimanjaro
WANANDOA wawili wameuawa kinyama baada ya mtu mmoja aliyefahamika kwa
jina la Yusuf Njau (32), anayeaminika kuwa ni mtoto wa
wanandoa hao, kuwacharanga kwa shoka kisha kuchoma moto nyumba
yao na kutokomea kusiko julikana.
Tukio hilo la kusikitisha na la aina yake limetokea juzi majira ya saa
12:30 jioni katika kijiji cha Masama-Roo, Kata ya Machame
Mashariki,wilaya ya Hai,
↧
Huu ni Wimbo mpya wa Diamond ULIOVUJA jana na kauli ya msanii huyo baada ya wimbo huu uitwao ‘Kitorondo’ kuvuja....
Ugonjwa wa kuvuja kwa nyimbo ambazo hazijakamilika au muda wake wa
kutoka haujafika umemkuta tena mshindi wa tuzo saba za KTMA, Diamond
Platnumz. Wimbo huo uliopewa jina la ‘Kitorondo’ umesambaa jana katika
baadhi ya mitandao ya kijamii.
Platnumz ametoa kauli kuhusiana na wimbo huo:
“Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta
mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa
↧
Habari NJEMA kwa wanaume na wanawake wenye MATUMBO makubwa ( VITAMBI )........Bofya hapa kulipunguza tumbo
Neema Herbalist &
Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa
dawa mbalimbali za asili.
Tunayo dawa nzuri ya
asili inayo ondoa kitambi
na kulifanya tumbo lako kuwa flat kabisa
ndani ya siku kumi
na nne.
Dawa ni ya asili kabisa " Pure Herbal",
haijachanganywa na kemikali
yoyote na haina side effects kwa
mtumiaji .
BEI YAKE NI SHILINGI ELFU
↧
↧
Mwilli wa mtu waokotwa mto Mzinga,Kongowe jijini Dar
Mwili wa mtu huyo ukielea kwenye maji ya mto Mzinga.
Mwili baada ya kutolewa nje kabla ya kuzikwa na jiji.
************
Mwili wa mtu mmoja ambaye hakufahamika
jina lake umenaswa ukielea ndani ya Mto Mzinga maeneo ya Kongowe jijini Dar es
Salaam.....
Mwili wa mtu huyo ulipatikana baada ya wakazi wa eneo hilo kudai kuwa
harufu kali ilikuwa ikitoka eneo hilo na ndipo
↧
Magazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 12 May 2014
↧
Daktari Bingwa wa magonjwa ya akili nchini afariki dunia kwa ugonjwa wa Dengue
DAKTARI wa Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam, Dk. Gilbert
Bubelwa, amefariki dunia juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
baada ya kuugua ugonjwa wa homa ya Dengue.
Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho jana kwa njia ya simu, Msemaji
wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Aminiel Algaeshi, alisema daktari
huyo ambaye alilazwa hospitalini hapo tangu Alhamisi ya wiki iliyopita,
↧
More Pages to Explore .....