Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

TTCL Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Kupunguza Wafanyakazi 550


JWTZ Kuwa Mwenyeji Wa Mazoezi Ya Majeshi Ya Nchi Za Jumuiya Ya Afrika Mashariki Mkoani Tanga

$
0
0
Jeshi  la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wanatarajia kuwa wenyeji wa zoezi la mafunzo yaitwayo Ushirikiano imara 2018 litakaloshirikisha nchi za Afrika Mashariki zikiwemo Burundi, Rwanda, Kenya na Uganda ambapo mafunzo yataendeshwa mkoani Tanga .

Akizungumza na wanahabari jijini Dar es salaam Mkuu wa Mafunzo na Operesheni  (JWTZ) Meja Jenerali Alfred Fabian Kapinga amesema kuwa, zoezi hilo ni la medani na litafanyika katika wilaya za mijini pamoja na Wilaya ya Muheza mkoani Tanga.

Ameeleza kuwa zoezi hilo litaanza rasmi tarehe 05 mpaka 21, sambamba na hilo mafunzo hayo yatalenga kujenga uwezo wa kukabiliana na uharifu pamoja na majanga.

Pia amesema kuwa dhumuni la zoezi hilo kikanda ni kubadilishana uzoefu wa kiutendaji, kuimarisha mahusiano baina ya nchi, majeshi ya Afrika Mashariki pamoja na taasisi zingine za kiraia ambazo zitashiriki zoezi hilo.

Sanjari na hilo kutakuwa na kazi za kusaidia jamii katika shughuli mbalimbali zikiwemo ujenzi wa madarasa, ofisi za walimu pamoja na vyoo katika Shule ya msingi ya Machemba iliyopo Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, pia kutakuwa na utoaji wa huduma za tiba kwa wananchi katika eneo la zoezi.

Hivyo, Meja Fabian ametoa rai kwa wakazi wa Tanga kuonyesha ukarimu pamoja na amani baina ya wageni watakaokua kwa kipindi chote cha mafunzo kama walivoonyesha mwaka jana ambapo mafunzo yalikua yakiendeshwa.

Trafiki Wanaoomba Rushwa Washtakiwa Kwa Waziri Mkuu.....Waziri Mkuu akabidhi majina hayo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga kwa hatua

$
0
0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela orodha ya matrafiki wanaodaiwa kuwaomba rushwa madereva wa noah wilayani Lushoto.

Majina ya trafiki hao wanadaiwa kuomba rushwa kwa madereva wa noah wanaofanya kazi ya kusafirisha abiria ndani ya wilaya hiyo yaliwasilishwa kwa Waziri Mkuu kupitia mabango.
 
Waziri Mkuu alimkabidhi majina hayo jana jioni (Jumatano, Oktoba 31, 2018) baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Sabasaba, Lushoto mjini.

Baada ya kumkabidhi majina hayo alimuagiza afanye uchunguzi wa tuhuma za rushwa zinazowakabili askari hao na kisha awasilishe taarifa kwake leo Alhamisi Novemba 1, 2018.

Mbali ya wananchi kuwasilisha malalamiko hayo, Pia mbunge wa Lushoto, Shaaban Shekilindi alimuomba Waziri Mkuu awasaidie kutatua kero hiyo inayowakabili wananchi.

Awali, Waziri Mkuu alizungumza na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Lushoto katika ukumbi wa chuo cha Mahakama Lushoto ambapo aliwasisitiza wafanye kazi kwa bidii.

Alisema Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli haina msamaha na mtumishi wa umma asiyetaka kufanya kazi kwa bidii na kuzingatia weledi.

Alisema watumishi wa umma wanatakiwa kufanya kazi kwa kufuata maadili ya utumishi ili waweze kutimiza lengo la Serikali la kuwahudumia wananchi kwa kutumia taaluma zao.

Waziri Mkuu ambaye alikuwa katika siku ya pili ya ziara yake ya kikazi mkoani Tanga alisema Serikali haina msamaha na mtumishi asietaka kubadilika na kufanya kazi.

Pia, Waziri Mkuu aliwataka watumishi wa umma wahakikishe fedha zinazotolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo zinatumika kama ilivyokusudiwa.

Kadhalika, Waziri Mkuu aliwataka Wakuu wa Idara kutumia kitabu cha ilani ya uchaguzi cha CCM cha mwaka 2015/2020 kwa sababu kina maelekezo wanayopaswa kuyatekeleza.

“Kitabu kile kina maelezo ya msingi yaliyotolewa na Rais. Dkt. Magufuli ambayo yanatakiwa yapewe kipaumbele cha utekelezwaji, wakuu wa Idara ni muhimu musome na kutekeleza.”

Waziri Mkuu alitumia fursa hiyo kuwataka wakuu wa wilaya wahakikishe wanasimamia utekelezwaji wa maelekezo yote yaliyoainishwa kwenye kitabu cha Ilani katika maeneo yao.

Kuhusu changamoto ya upungufu wa watumishi wa kada mbalimbali nchini, Waziri Mkuu alisema Serikali inatambua na kwamba suala hilo linaendelea kufanyiwa kazi.

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu alizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba na kuwapongeza wakazi hao kwa kutunza misitu.

Alisema maeneo mengi nchini wananchi wamekata miti na kusababisha kukauka kwa vyanzo vya maji, ambapo ni tofauti na wilaya ya Lushoto ambayo bado ina misitu minene.

Kufuatia hali hiyo Waziri Mkuu aliwaagiza watendaji wote wa vijiji na kata waainishe sehemu  zote zenye misitu na vyanzo vya maji katika maeneo yao na wahakikishe wanayalinda.

Alisema mtu yeyote atakayebainika kuharibu mazingira hayo iwe kwa kuchoma au kukata miti achukulie hatua kali. “Ni marufuku mtu yeyote kukata miti bila kibali cha Serikali.”

Nae, Mbunge wa Lushoto Shekilindi alimuomba Waziri Mkuu awasaidie katika kuwatatulia changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa katika jimbo hilo ikiwemo ya afya.

Mbunge alisema kwa sasa hospitali ya wilaya hiyo inakabiliwa na ukosefu wa mashine ya x

rey, hivyo kusababisha wananchi kusafiri hadi Korogwe au Tanga kufuata huduama hiyo.

Waziri Mkuu alisema tayari ameshamuagiza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kupeleka mashine ya x-rey katika hospitali hiyo.

IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
ALHAMISI, NOVEMBA 1, 2018.

Video mpya ya Masanja Mkandamizaji - Kemea Pepo

$
0
0
Masanja Mkandamizaji anakukaribisha kutazama video ya wimbo wake mpya uitwao Kemea Pepo. Itazame hapa.

Video: G Nako ft. Naphie - Tingisha

$
0
0
Msanii wa muziki Bongo kutoka kundi la Weusi, G Nako anakukaribisha kutazama video ya wimbo wake mpya uitwao Tingisha ambao amemshirikisha Naphie. Itazame hapa.

Video Mpya: Jah Prayzah X Harmonize - Ndoenda

$
0
0
Jah Prayzah kwa kushirikiana na Harmonize wanakukaribisha kusikiliza video ya wimbo wao mpya uitwao  Ndoenda. Itazame hapa.

Rosa Ree Katoa Wimbo Mpya Unaitwa Banjuka...Utazame Hapa

$
0
0
Rapper Mkali wa Kike Bongo Rosa Ree ameachia Wimbo Mpya unaokwenda kwa jina la Banjuka

Unaweza Usikiliza ama kudownload Hapa Chini:


==>>Usikilize hapo chini

LIVE: Rais Magufuli Ndani ya Kongamano la Uchumi na Siasa Nchini - UDSM

$
0
0
LIVE: Rais Magufuli  Ndani ya Kongamano la Uchumi na Siasa Nchini - UDSM

Mbowe Amkingia Kifua Zitto Kabwe Baada ya Kumatwa na Kunyimwa Dhamana

$
0
0
Sakata la kukamatwa kwa Mbunge wa Kigoma mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe na kushindwa kupatiwa dhamana jana Oktoba 31, kumemuibua kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe na kudai kuwa wabunge waupinzani waachwe wafanye kazi yao.
 
Mbowe ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa, amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa kijamii wa twitter ambapo ameandika kuwa, "Mhe Zitto kasema na Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimehusishwa. Wanasiasa wa Upinzani waachwe wafanye kazi yao, mtuhumiwa asiwe Hakimu. Serikali ijibu hoja kwa vielelezo, ikilazimu iunde tume huru za uchunguzi na CHADEMA tutasimama na ACT".

Zitto alikamatwa na polisi jana saa 5 asubuhi na kupelekwa kituo cha polisi Oysterbay ambako alihojiwa kwa takribani saa tatu, kisha kuhamishiwa kituo kikuu cha polisi ambapo Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Liberatus Sabas aliwaeleza wanahabari kuwa wanamshikilia Zitto kutokana na matamshi aliyoyatoa hivi karibuni kuhusiana na mauaji ya askari na raia wilayani Uvinza mkoani Kigoma.

Mpaka jana usiku kwa mujibu wa Wakili wake, Jebra Kambole, mwanasiasa huyo amenyimwa dhamana na Jeshi la Polisi ambalo limesema kuwa ataendelea kushikiliwa kwa ajili ya mahojiano zaidi.

Tromex Power : Dawa Bora Na Imara Ya Nguvu Za Kiume

$
0
0
TROMEX POWER DAWA BORA NA IMARA ya   NGUVU ZA KIUME; Baada ya kufanyiwa utafiti na majaribio sasa imeingia sokoni 

Habari njema kwa tanzania pamoja na africa nzima mkombozi wa ndoa yako ni dawa anbayoitwa TROMEX. 

Dawa hii imeonyesha uwezo wa hali ya juu katka kutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ,dawa hii ni mpya na inapatikana katika clinic yetu 

Dawa hii ni dawa ya asilia ya mitishamba,mwaka juzi tuliipeleka nchini Ghana kwa ajili ya utafiti  katika utafiti ilishindanishwa na dawa zingine 4 kutoka nchi kenya, Uganda, msumbiji, pamoja na kongo, na imeonyesha asilimia 92 imeonyesha inauwezo mkubwa wa kutibu tatizo kwa mda mfupi sana 

Katika utafiti huo watu 1839 ambao walikuwa legelege walipewa dawa hii kwa ajili ya majaribio,baada ya kuitumia watu 1792 walipona kabisa na sasa wanaweza kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara 3 kwa wakati mmoja na watu 38 hawakupona kabisa pia watu 9 hawakurudi kuleta majibu 

Dawa hii ukiitumia itakufanya uwe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara 3 bila hamu kuisha

Dalili za upungufu wa nguvu za kiume ni kushindwa kurudia tendo la ndoa...Kutojisikia hamu ya tendo la ndoa....Korodani moja kuvimba,tumbo kuunguluma na kujaa gesi, pia inazalisha homons za uzazi kwa mwanaume ambaye mbegu zake za uzazi ni nyepesi ambazo hazina virutubisho vya kuweza kumzalisha mwanamke 

Pia inauwezo wa kufanya maumbile yawe marefu kama yameingia ndani na kuwa mafupi sana, pia inatibu magonjwa zaidi ya 6 

Itumie sasa dawa hii inapatikana katika Clinic yetu iliyopo Kawe DAR mikoani tunatuma kwa njia ya mabasi 

Ukiwa nje ya nchi tunatuma kwa njia ya EMS ..maelezo zaidi 0756726865/ 0716096205 au tembelea    www.kihembehebalist.blogspot.com

Masunzu Power Mix Dawa Bora Ya Nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo

$
0
0
🌸MASUNZU POWER MIX; ni dawa ya asilia yenye mchanganyiko wa mitishamba 7 yenye maajabu yafuatayo (1) inatibu upungufu wa nguvu za kiume Mara dufu na kuimalisha uume   uliolegea wakati wa tendo la ndoa 
(2) kurefusha uume uliorudi ndani nchi 5-8 
(3) kunenepesha uume sm4 ya upana itakufanya uchelewe kufika kileleni dk (15-20) kwa tendo la kwanza na utakuwa nauwezo wa kurudia tendo la ndoa Mara (2-4) bila hamu kuisha nainatibu kabisa. 

Dawa hii haina madhara yoyote kwa mtumiaji huanza kufanya  kazi baada ya dk 50 tu🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾      

 MATATIZO HAYA HUSABABISHWA NA ;ngiri. au umejichua kwa muda mrefu. Punyeto kisukari. Presha. Tumbo kujaa gesi na kuunguruma chini ya Kitovu. Kutopata choo vizuri. Msongo wa mawazo. Kaswende. Gono. Haya yote husababisha kuwa na maumbile madogo na kukosa nguvu za kiume 

🌸SOSOMA DX. ni dawa ya kumvuta mme au mke au mpenzi wako arudi haraka na kuanza mapenzi mapya kama mlivyo anza mwanzo baada ya masaa 2 atarudi na kutulia ndani ya nyumba na kutimiza ahadi yako 

🌸GINDU EXTRA; ni dawa ya kutibu kisukari siku 14 unapona kabisa hata kama imepanda itashuka haraka Sana. Tunatibu busha bila upasuaji nk. 

Dar es salaam tunapatikana Buguruni chama au unaweza kuletewa popote ulipo wasiliana na tabibu ATHUMAN SIMU +255767104343 / +255653207272

Habari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba,Ngiri, Miguu Kufa Ganzi Pamoja na Matatizo ya Nguvu za Kiume

$
0
0
Ni dawa pekee iliyotibu watu wengi nchini na nje ya nchini kwa kufanya kazi Mara 3 kwa wakati mmoja 1 ...kurefusha uume na kunenepesha saizi upendayo, kuogeza nguvu za kiume na inatibu matatizo , ikisha tibu aina madhara inaimalisha mishipa ilio regea na uzalishaji wa mbegu za kiume. TAHADHARI HAKIKISHA UNA MKE AU    MPENZI. 

NINI HUCHANGIA MATAZO HAYA . Ngiri ni chanzo Kikubwa cha matatizo,haya kujua kwamba una ngiri dalili zake ni 1.kufika haraka kileleni wakati  watendo la ndoa 
2.Kushindwa kulundia tendo la ndoa 
3.Kutoa choo kama cha mbuzi 
4. Tumbo kujaa gesi na kuunguruma 
5 kukosa choo kabisa 
6 Maumbile kuingia ndani na kuwa mafupi 
7 korondani moja kuvimba 
8 kutosikia hamu ya tendo la ndoa
 9 maumivu ya kiuno na mgongo  

Pia tunatibu busha bila kufanyiwa opresheni .Umeachwa na umpendae na bado unamwitaji?

WASILIANA  NA MTALAM  CHALLO 0714 006521. YUPO MBAGALA.

Bodi Ya Nyama Yasema Nyama inayouzwa kwenye ndoo au kukatwa kwa kutumia magogo si salama

$
0
0
Bodi  ya Nyama Tanzania imetoa tahadhari kwa wananchi na kuwataka kuacha kula nyama  inayouzwa ikiwa imewekwa kwenye ndoo au kupangwa kwenye meza za mabucha kwa sababu  si salama kwa afya.

Vilevile imewataka wauza nyama kwenye mabucha kuacha kukata nyama kwa kutumia magogo kwa vile    wanahatarisha usalama wa walaji.

Akizungumza na waandishi wa habari   Dar es Salaam jana, Ofisa Nyama wa Bodi hiyo, Edgar Mbio, alisema  nyama hiyo na ile inayokaa buchani zaidi ya saa nne.

Mbio alisema kwa utaalamu nyama kama hiyo inakosa sifa ya kuwa na ubora unaofaa kwa matumizi ya binadamu.

“Biashara ya mifugo hufanyika machinjioni na buchani, hatutegemei kuona kinyume na hapo.

“Watu wanaonunua nyama kwenye meza… ndoo hizi ndizo zinazoleta madhara kwa sababu hazijakaguliwa, pia wale wanaonunua nyama ambayo imeshinda inanig’inia buchani nayo inakuwa imeshapoteza ubora kwa kuwa kwa kawaida nyama inapaswa kuhifadhiwa si zadi ya saa nane,” alisema Mbio.

Alisema wapo pia ambao hununua nyama katika  bucha  ambayo wanatumia vibao kukatia navyo si salama kwa sababu muuzaji anapokata anaacha ubora wa kitoweo hicho kwenye kibao.

Alisema mtu yeyote anayekula nyama iliyochinjwa na kuhifahiwa holela lazima apate madhara  kwa kuwa inakuwa si bora na salama hivyo haifai kwa matumizi ya binadamu.

Ofisa huyo alisema bodi ya nyama inaamini nyama bora na salama inaanzia kwa mfugaji kwa kufauta kanuni za ufugaji bora  zinazofuata taratibu ikiwamo kuuza  ng’ombe wa umri  chini ya miaka kumi.

Awali, Kaimu Msajili wa Bodi hiyo,  Imani Sichalwe aliwataka wananchi kuongeza kasi ya kula  nyama ili kufikia kilo 50 kwa mwaka  kwa kila mmoja.

Mbio alisema hicho  ndicho kiwango kilichopendekezwa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO).

Alisema takwimu zinaonyesha kila mwananchi nchini kwa kwa sasa anakula kilo 15 tu ya nyama  kwa mwaka hivyo   kuwa  na tofauti ya kiko 35  kwa kila mlaji.

“Tunakula nyama kwa kiwango cha chini ikilinganishwa  na  mahitaji yanayopaswa  ndani ya miili yetu.

“Pamoja na hali ya uzalishaji wa nyama nchini kuwa juu lakini bado watu hawali nyama,” alisema Sichalwe.

Alisema uchunguzi uliofanywa na bodi umebaini hali hiyo inatokana na bidhaa hiyo kuuzwa kwa bei ghali ambayo kwa wastani huuzwa kuanzia Sh 6,000 hadi Sh 15,000 kwa kilo moja.

Alisema ili kuboresha ulaji wa nyama bodi  imeanza kuhamasisha utumiaji wa mizani za digitali ambao utamuwezesha mlaji kununua kulingana na uwezo.

“Hii mizani itawaisaidia wananchi ambao wanahitaji kula nyama lakini  hawana fedha za kununua  kwa bei ya kiwango cha mizani iliyopo sasa.

“Mfano mwenye bucha akiwa na mzani wa digitali anaweza kumuuzia mlaji nyama hata ya Sh 500, tunaamini tutaongeza idadi ya walaji kwa njia hii,” alisema Sichalwe.

Alisema  kwa mujibu wa bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi,   Tanzania ni nchi ya pili  ikifuatiwa na Ethiopiakwa mifugo mingi.

Kwa sasa nchi  ina   ng’ombe wapatao  milioni 30.5, mbuzi milioni 18.8, kondoo milioni 5.3, kuku wa asili milioni 38.2, kuku wa kisasa milioni 36.6, nguruwe milioni 1.9  na punda 595,160.

Alisema bajeti hiyo imeonyesha pia  uzalishaji nyama nchini   mwaka 2017/18  ulikuwa  tani 679,992  za nyama ya ng’ombe, mbuzi, kondoo na nguruwe.

“Kati ya  tani 2,608.93 za nyama, tani 1,030.78 ni za ng’ombe, tani 1,248.14 mbuzi, kondoo tani 50.00 na punda tani 280.00 ziliuzwa nje ya nchi,” alisema Sichalwe.

Alisema   tani 1,224.55 za nyama  ikiwamo nguruwe tani 506.05, ng’ombe tani 711.03 na kondoo tani 7.47 ziliingizwa ndani ya nchini.

Kiboko Ya Matatizo Ya Nguvu Za Kiume,maumbile Madogo, Mvuto Wa Mapenzi ,magonjwa Sugu

$
0
0
Matatizo ya nguvu za kiume  yamekua yakiathiri watu wengi sana kisaikologia hasa baada ya kujiona wakotofauti sana na wengine, kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamatatizo.

Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hili, chango :- hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngiri :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba namarakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kukosa kabisa

MIHINI:- Nidawa ya vidonge iliyotengenezwa kwa mitishamba, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka (15-80) inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) ,inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uwe na hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi ya maratatu bilahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kilelen Kwa mda wa dk (18-25).

SUNUPER :- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwamda mfupi sana , ni Dr GALIMU mtatuzi wa matatizo yako kunadawa ya kupunguza unene, kitambi (nyamazembe),matiti makubwa kuwa madogo, uzazi, kuludisha mali iliyopotea, kuuzavitu bila kununuliwa, biashara, wachimba madini kusafisha nyota, kuludishwa kazini mvuto wa mapenzi nk.

KWAHUDUMA NA MSAADA WASILIANA NA DR GALIMBO ATAKUSAIDIA SM NO :- 0744391089  au  0653182109

Kesi ya Jamali Malinzi yakwama tena Mahakamani

$
0
0
Kesi  inayomkabili, aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na wenzake wanne imekwama kusikilizwa kwa sababu kiongozi wa jopo la mawakili wa utetezi, Richard Rweyongeza anaumwa.

Kesi hiyo imekwama kuendelea leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.

Wakili wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Swai amedai kesi hiyo ilipangwa kwa ajili ya kusikilizwa, wamejiandaa na shahidi yupo mahakamani.

Wakili wa utetezi, Abraham Senguji aliieleza mahakama kuwa kiongozi wa jopo la mawakili wa utetezi, Wakili Rweyongeza bado anaumwa.

Wakili Rweyongeza yeye ndiye aliyemsikiliza shahidi wa nane anayeendelea kutoa ushahidi katika kesi hiyo upande wa mashtaka kwa kirefu, aliomba wapewe ahirisho fupi ili aweze kuwepo.

Hakimu Mashauri baada ya kusikiliza pande hizo mbili aliiahirisha kesi hiyo hadi Novemba 15, 2018 kwa ajili ya kutajwa.

Mahakama ilipanga  Novemba 21 na 22, mwaka huu kesi hiyo itasikilizwa kwa ushahidi wa mashahidi wa upande wa mashtaka.

Shahidi huyo wa nane wa upande wa mashtaka ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kidao Mzigama Wilfred (41).

Washtakiwa katika kesi hiyo mbali na aliyekuwa rais TFF, Jamal Emil Malinzi(57) wengine ni Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Joas Selestine(46) na Mhasibu wa TFF,  Nsiande Isawayo Mwanga(27).

Meneja wa  Ofisi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Miriam Zayumba na Karani wa TFF, Flora Rauya ambao kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka 30 katika kesi ya jinai namba 213 ya mwaka 2017 yakiwamo ya kula njama, kughushi, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na utakatishaji wa fedha wa Dola za Marekani 173,335 na Sh 43,100,000.

Malinzi, Mwesigwa na Nsiande wapo rumande kwa kukabiliwa na mashtaka ya utakatishaji wa fedha kuwa miongoni mwa mashtaka  ambayo kwa mujibu wa sheria hayana dhamana huku wenzao Zayumba na Frola wapo nje kwa dhamana.

Godbless Lema Naye Kujitosa Sakata la Mauaji ya Raia na Polisi Kigoma, Amtaja Zitto Kabwe

$
0
0
Waziri Kivuli wa masuala ya mambo ya ndani ya nchi Gobless Lema amesema anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari juu ya madai ya kuwepo kwa mauaji ya raia na jeshi la polisi mkoani Kigoma eneo la Uvinza.

Kwa mujibu wa Lema licha ya kutotaja siku na muda husika ambao atazungumza, pia ameeleza kwenye mkutano wake huo atazungumzia hatua ya kukamatwa kwa Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe na kuhojiwa  na jeshi la polisi jana kwa kutoa taarifa za ambazo zinatajwa ni tofauti na jeshi la polisi.

Aidha, Godbles Lema ambaye pia ni Mbunge wa Arusha Mjini amesema atazungumzia hatua ya kukamatwa kwa ndugu wa mfanyabiashara Rostam Aziz anayefahamika kwa jina la Akram Aziz ambaye jana alifikishwa mahakamani kwa kosa la kukutwa na nyara za serikali bila kuwa na kibali.

“Kwanza ninatoa pole kwa familia za Polisi na raia ambao ndugu zao wamepoteza maisha huko Mpeta Uvinza, nitaongea na vyombo vya habari kuhusu mauaji hayo na kukamatwa kwa Zitto Kabwe pamoja na sakata la mfanya biashara Akram Aziz” Amesema Lema

Mpaka sasa si jeshi la polisi au waziri husika ambaye amejitokeza kuzungumzia masuala hayo.

Mara kwa mara Mbunge huyo amekuwa akijitokeza kutoa maoni ya kambi rasmi ya upinzani bungeni juu ya matukio yanayotokea nchini ambapo, oktoba 16 mwaka huu alijitokeza na kuzungumzia sakata la kupotea kwa  mfanyabiashara Mohamed Dewji.

Polisi wafanya upekuzi nyumbani kwa Zitto Kabwe

$
0
0
Jeshi la Polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni limefanya upekuzi nyumbani kwa Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe.

Jebra Kambole, wakili wa mbunge huyo wa Kigoma Mjini amesema kuwa upekuzi huo umefanyika Masaki jijini hapa, nyumbani kwa mbunge huyo.

Jana  asubuhi Zitto alikamatwa na polisi akiwa nyumbani kwake na kupeleka katika Kituo cha polisi Oysterbay ambako alihojiwa kwa saa tatu na kuhamishiwa kituo kikuu cha polisi.

Kambole amesema baada ya mteja wake kupelekwa kituo kikuu cha polisi, hakulala hapo alihamishiwa kituo kingine kilichopo Mburahati ambako aliondolewa leo asubuhi na kurudishwa kituo cha polisi Oysterbay.

“Leo asubuhi mteja wangu aliongozana na polisi hadi nyumbani kwake Masaki kwa ajili ya kufanya upekuzi kisha akarudishwa kwenye kituo cha Oysterbay,” amesema.

BREAKING NEWS: Wema Sepetu afikishwa Mahakama ya Kisutu Dar

$
0
0
Mwigizaji  na mlimbwende  wa Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Alhamisi Novemba Mosi, 2018.

Wema amefikishwa mahakamani hapo saa 4 asubuhi na kupelekwa katika chumba cha mahabusu kusubiri kusomewa mashtaka ya usambazaji wa picha za faragha mtandaoni

Amefikishwa mahakamani hapo akisindikizwa na polisi huku akiwa amevaa miwani na kujitanda ushungi.

==>>Endelea kuwa nasi kwa habari zaidi

Kuwa Wakwanza Kupokea Habari Zetu....Download App Yetu Kwa Kubonyeza Hapa, Huhitaji tena kuwa na Computer

$
0
0
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa urahisi kabisa kupitia simu yako ya mkononi muda wowote hata usiku wa manane au ukiwa kazini...

Pata kurasa za mbele Magazetini, habari za kitaifa, matukio yote ya kisiasa, burudani na udaku   kupitia simu yako ya mkononi.

Huhitaji tena kuwa na Computer. Ingia Play Store, pakua App yetu  tukuhabarishe masaa 24.

Updates: Wema sepetu Kasomewa Shitaka Moja na Kuachiwa kwa Dhamana

$
0
0
Msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu,  leo Novemba 1, 2018 amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kusambaza video  ya ngono kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.

Wema amesomewa shtaka hilo mbele ya Hakimu Mahira Kasonde ambapo amekana kosa hilo kisha kuachiwa kwa dhamana ya Sh. milioni 10 kupitia kwa Salim Limu.

Aidha, Wema ambaye alikuwa akiwakilishwa na wakili  Reuben Simwanza, ametakiwa asiposti video au picha yoyote isiyo na maadili au inayoashiria ngono kwenye mitandao.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Novemba 20, mwaka huu.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images