Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Lulu iataka BASATA na mamlaka zingine ziwaruhusu waigize wakiwa nusu Uchi ili kuendana na soko la kimataifa.

0
0
  DIVA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameziomba mamlaka zinazosimamia maadili ya filamu nchini ziwaruhusu wasanii waigize nusu uchi  ili kuendana na soko la kimataifa.    Akitetea hoja yake mbele ya mwandishi wetu, staa huyo aliyeitendea haki filamu ya Foolish Age alitolea mfano Tamthiliya ya Shuga iliyomtoa Lupita Nyong’o ambayo alicheza akiwa nusu utupu.   “Wanasema

Wema Sepetu na Diamond wamfanyia Visa Jokate.....Wapigana denda mbele yake, Jokate ajificha

0
0
WAKATI  msanii  wa  kizazi  kipya  anayefanya  vizuri  kwa  sasa  na  kujizolea  tuzo  7  alizokuwa  anawania  kupitia  Kilimanjaro  Tanzania  Music  Awards  2014, Naseeb  Abdul  'Diamond  akiibuka  shujaa  Mlimani  City  jijini  Dar  ambako  hafla  hiyo  ya  utoaji  tuzo  ilifanyika, usiku  huo  ulikuwa  mbaya  kwa  mpenzi  wake  wa  zamani,Jokate  Mwegelo  ambaye  huenda  alijuta  kufika 

Upinzani watoa masharti magumu kushiriki Uchaguzi Mkuu 2015....Wasema hawezi kushiriki uchaguzi huo bila ya mgombea binafsi au matokeo ya Rais kupingwa mahakamani

0
0
Serikali imetakiwa kuandaa taratibu za mpito za kushughulikia Uchaguzi Mkuu ujao ili kunusuru nchi kuingia katika mtanziko unaoweza kuwa chanzo cha machafuko ya kisiasa, endapo utafanyika bila kupatikana kwa Katiba Mpya la sivyo Kambi Rasmi ya  upinzani  haitashiriki.    Hayo yalielezwa jana na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe alipokuwa akitoa hotuba ya kambi

Video Mpya : Jose Chameleone – Gimme Gimme

0
0
Jose Chameleone amekasirika. Baada ya miaka mingi kutengeneza video za kawaida tu zilizokuwa zinashindwa kupewa nafasi kwenye vituo vikubwa vya runinga kama Trace TV au MTV Base, staa huyo wa Uganda ameachia video ya wimbo wake ‘Gimme Gimme’ yenye utofauti kidogo. Itazame hapa.

Mtanzania mwingine akamatwa Airport Nairobi akiwa na mzigo wa dawa za kulevya wenye thamani ya Milioni sh.24

0
0
Mwanaume mmoja Mtanzania amekamwata katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta Nairobi Kenya akiwa amebeba dawa za kulevya akiwa njiani kuelekea Antananarivo ambapo mzigo huo ulitokea Tanga kisha ukapita Mombasa na baadae kwa ndege mpaka Nairobi.  Mzigo wenyewe ni wa cocaine na Heroin ambazo zote zina thamani ya zaidi ya shilingi milioni 24 za Kitanzania na dawa hizo alikua 

Picha 10 za Mahabusu waliovua nguo na kung'ang'ania mlingoti wa bendera ya taifa kushinikiza kesi zao kusikilizwa haraka

0
0
Inspector Henry akiwasihi mahabusu hao wawili wanaotuhumiwa kwa kesi za mauaji, kuachia mlingoti wa Bendera ya Taifa na kurudi kwenye chumba cha mahakama kwaajiri ya taratibu za kesi. ********* Matukio ya ajabu yanayofanywa na mahabusu wanaoshinikiza kesi zao kusikilizwa haraka ikiwa ni mbinu wanazoamini zitasaidia katika kile wanachoeleza kuwa ni kudai haki zao yanaendelea kuonekana

Picha kutoka Bungeni mjini Dodoma Leo.....

0
0
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta jambo na Mbunge wa Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta, bungeni mjini Dodoma leo Mei 8, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza jambo na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, bungeni mjini Dodoma leo Mei 8, 2014. Mbunge wa Viti Maalum Pauline Gekul akiwa Bungeni. Naibu Spika wa Bunge,

Ufuska Bongo Movie wamkosesha dili Nora.....

0
0
MWANADADA wa muda mrefu kwenye sanaa ya uigizaji amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukosa dili za kazi za maana kutokana na tabia za kifuska kwa baadhi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie. Akiongea nasi, Nora alisema amekuwa akitembelea katika ofisi mbalimbali  na kila anapojitambulisha kwamba ni msanii wa filamu watu wanashtuka na sehemu nyingine anakosa dili za maana kutokana na

Maimartha awauzia mastaa dawa za kukuza makalio.....

0
0
MTANGAZAJI aliyepata kuwika katika vituo mbalimbali vya runinga Bongo, Maimartha Jesse, amedaiwa kuwauzia mastaa wa mjini dawa za kuongeza makalio.Habari za moto kutoka kwa chanzo  cha  kuaminika, zinasema kuwa Maimartha ambaye pia huitwa Mai amefikia hatua hiyo baada ya yeye kutumia na kufanikiwa. “Hamshangai siku hizi kila staa anaonekana kuwa na makalio makubwa? Ni kazi ya Mai hiyo

Bob Junior akanusha tetesi za gazeti la udaku kuwa amemloga Diamond...."Niupumb***vu kuandika kitu kama hicho, nimekasirika sana"

0
0
Msanii wa muziki na producer wa Sharobaro Record, Bob Junior amekanusha habari zilizoandikwa na gazeti moja  la udaku kuwa anamloga Diamond. Amesema hawezi Kufanya kitu kama hicho na Diamond atabaki kama Diamond na yeye kama yeye.   “Niupu…vu kuandika kitu kama hicho, nani mambo ya ki..nge,mimi nimekasirika sana,huwezi andika kitu kama hicho. Hivi mimi naweza nikamloga Diamond,

Exclusive interview: Jaqueline Wolper aongelea kuhusu kubadili dini, kuachana na usagaji

0
0
Ni muda mrefu  kidogo  baada  mwigizaji Mtanzania Jaqueline Wolper kutosikika  akiyatoa ya moyoni kuhusu yote yaliyompata kwenye miezi iliyopita na kumfanya amiliki sana headlines za magazeti, blogs, website pia facebook na twitter huku wengi wakiwa na hamu ya kusikia akiyaongelea. Kwenye Exclusive interview na mtangazaji Sporah wa The Sporah show, Jack amekanusha kwamba yeye ni

Shaa, mkali wa "Sugua Gaga " afunguka kuhusu siri ya Uzuri wake na mambo mengine kibao.... "I have many pair of shoes and sometime huwa navigawa kwa ndugu zangu"

0
0
Ni mmoja kati ya wasanii wa kike wanaofanya poa sana katika music industry hapa Tanzania na kupelekea kupata fans wengi kila kukicha, hapa anatuelezea style 1.Unaweza  ukatuelezea  kuhusu  style  zako? Napenda  kujiweka  simple katika mwili wangu bila kuwa na vikorokoro kibao may be utanikuta na miwani, saa na hereni na kama ni nguo napenda kuvaa different styles it depend na wapi

Askofu wa Kanisa la KKKT lililolipuliwa bomu jijini Mwanza atoa kauli nzito...."Tunalaani kitendo hicho kilichofanyika kwenye eneo la Kanisa letu"

0
0
Miongoni mwa habari  kubwa wiki hii ni hii ya bomu kulipuliwa kwenye kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) Mwanza ambapo lilijeruhi mtu mmoja alielazwa hospitali ya Bugando.    Mkuu wa dayosisi Askofu Andrew Gulle anasema: "May 5 2014 bomu limelipuka katika usharika wa kanisa kuu Imani kwenye eneo la rest house saa mbili usiku, ni bomu la kutengenezwa kwa mkono na lilikua

Magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 9 May 2014

0
0
Magazeti  ya  leo  Ijumaa  ya  tarehe 9 May  2014

Wema Sepetu anasa ushahidi Kajala kumuibia bwana.....Team Wema wafanya umafia, wanasa meseji za kimapenzi....Wema ageuka Mbogo

0
0
Unaweza ukaficha siri na ukaamini hakuna atakayejua bila kukumbuka kuwa hakuna siri ya watu wawili! Hatimaye Wema Isaac Sepetu amenasa ushahidi wa aliyekuwa rafikiye kipenzi, Kajala Masanja wa kumwibia aliyekuwa bwana’ke, Clement au CK. MIL. 13 KISINGIZIO TU Habari za mjini kwa wiki nzima ni kusambaa kwa ujumbe mfupi (SMS) za kimapenzi za Kajala na CK ambazo sasa zimefunua kisa

Vyuo vitano vyabainika kutoa mikopo hewa kwa wanafunzi....Wanafunzi hao ni wale walio feli na wengine kuahirisha masomo

0
0
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amebaini kuwapo kwa wanafunzi wanaopatiwa mikopo katika vyuo vitano nchini licha ya kufeli au kuahirisha masomo yao. Kwa mujibu wa taarifa ya CAG ya ukaguzi wa Mashirika ya Umma kwa mwaka wa fedha 2012/13, mikopo ya kiasi cha Sh. milioni 201.5 ilitolewa kwa wanafunzi hao. Taarifa hiyo imevitaja baadhi ya vyuo na kiasi cha fedha

Rais Kikwete awapa rambirambi Wanigeria.

0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa salamu za rambirambi na pole nyingi kwa Rais wa Jamhuri ya Nigeria Mheshimiwa Goodluck Jonathan na wananchi wa Nigeria kufuatia mfululizo wa vitendo vya ugaidi ambavyo vimepoteza maisha ya maelefu ya wananchi wa nchi hiyo na kutekwa nyara kwa mamia ya watu wakiwemo wanafunzi wa kike wa sekondari.   Katika

Dereva wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida afariki dunia akifanya mapenzi Gesti na mhudumu wa baa

0
0
Dereva wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Juma Juma (52), amefariki dunia wakati akifanya mapenzi kwenye nyumba ya kulala wageni akiwa na mwanamke ambaye imedaiwa ni mhudumu wa baa.    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Geofrey Kamwela alisema tukio hilo lilitokea  Mei 3, saa 4:00 usiku chumba kwenye Na. S.2 cha nyumba ya kulala wageni ijulikanayo kwa jina la Top Life

Dereva wa basi la Summry aliyesababisha vifo ya watu 19 mkoani Singida AKAMATWA....Tundu Lissu aahidi kutoa msaada wa Kisheria

0
0
JESHI la Polisi mkoa wa Singida limefanikiwa kumkamata dereva wa basi la Summry T.799 BET, Paul Njilo mkazi wa jijini Dar-es-salaam aliyegonga askari polisi wanne na wananchi 15 na kusababisha vifo vyao.   Ajali hilo ilitokea Aprili 28 saa 2.45 usiku katika babara kuu ya Singida-Dodoma eneo la kijiji cha Utaho tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi mkoani Singida.   Kamanda wa Jeshi la

Basi la Dar Express lapata ajali eneo la Wami

0
0
Zaidi ya abiria 60 wamenusurika kifo, baada ya basi la Dar express lililokuwa linatoka Dar Es Salaam kwenda Nairobi kupinduka eneo la Msata karibu na daraja la Wami. Chanzo  cha ajali hiyo  ni kupasuka kwa tairi la mbele la kushoto la basi hilo. <!-- adsense -->
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images