Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Okoa Ndoa Yako Mke,Mume Na Afya Yako Sasa Kwa Kutumia Dawa Za Asili

$
0
0
Asilimia kubwa ya binadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wengi wamejaribu kutumia tiba sehemu tofauti bila mafanikio na  kukata tamaa hasa kina baba ambao ndoa zao au mahusiano yao na wapenzi wao yapo hatarini kuvunjika kwa sababu Mume hana uwezo wa kumridhisha mpenzi wake 

KWA NINI UJIONE MPWEKE PALE UKUTANAPO NA MKE AU MPENZI WAKO SABABU ETI UNAUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME AU UUME MDOGO: tumia dawa ya NSENWA POWER ;dawa hii hutibu na kuponesha tatizo la  nguvu za kiume .

1 itakupa uwezo wa kurudia tendo zaidi ya Mara tatu 
2 itakupa uwezo kuchelewa kukojoa mda wa dakika 15-20 na kumfanya mpenzi wako naye aridhike 
3 huimalisha misuri iliyo legea na kusinyaa 

JE UNA UUME MFUPI NA MWEMBAMBA : tumia dawa ya MASHESHE NO 2; hii huboresha uume saizi upendayo kuazia urefu wa inch 5,6,7,8 na unene  wa sentumita 2,3,4,5, dawa hizi hazina madhara yeyote kwa mtumiaji hata wazee hutumia na kupona 

MASANZA ni dawa ya vidonda vya tumbo zipo dawa za mvuto wa biashara ,mpenzi,uzazi ngiri,korodani kuvimba miguu. mgongo,kiuno kuuma nk 

MAHALI ILIPO OFISI UNAWEZA UKASHUKIA BUGURUNI MALAPA AU BUGURUNI ROZANA na MWANZA YUPO WAKALA pia unaweza ukaletewa popote ulipo wasiliana nami 0783185060  0752348593 DR AGU

Moto Wazuka Jengo la Benjamin Mkapa Dar

$
0
0
Moto umezuka leo katika jengo la Benjamin Mkapa, Millennium Tower – Dar ambapo unasadikiwa umeanzia kwenye ghorofa ya tatu. 

Mkaguzi msaidizi wa kikosi cha zimamoto na uokoaji, Elinimo Shang'a amesema chanzo cha moto huo ni hitilafu ya umeme ilioanzia stoo.

Amesema kutokana na uwazi katika chumba hicho moshi ulisambaa na kusababisha taharuki.

Kuhusu madhara amesema hakuna madhara kwa mtu yeyote lakini uchunguzi unaendelea kujua hasara iliyopatikana.


Waziri Mkuu Mgeni Rasmi Urithi Festival Mkoani Arusha

$
0
0
Na Ahmed Mahmoud, Arusha
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa anatarajiwa kufunga maadhimisho ya tamasha la mwezi wa Urithi wa Utamaduni mkoani hapa

Akizungumza na waandishi wa habari Jijini hapa jana na kaimu mkuu wa mkoa wa Arusha Theresia Mahongo ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Karatu,  alisema maadhimisho hayo yatafanyika wilayani  Karatu kuanzia Oktoba nane mwaka huu.

Alisema maadhimisho hayo ambayo yalizinduliwa Jijini Dodoma Septemba 15 mwaka huu na makamu wa rais Samia Suluhu Hassan yaliendelea kufanyika maeneo mbalimbali nchini ikwemo Zanzibar,Mwanza na Dar es Salaam.

Alisema kabla ya kilele hicho maadhimsho hayo yatafanyika kwa siku  tano kuanzia Oktaba nane hadi 12 wilayani Karatu  kwenye viwanja vya mazingira  ambapo yatakwenda sambamba na maonyesho  mbalimbali ya kiutamaduni.

“Maadhimisho haya yenye jina la “Urithi Festival Celebrate our Heritage kimkoa yataanza kuadhimishwa wilayani Karatu kuanzia  Oktoba 8  na kilele caheke kitakuwa Oktoba 13 mwaka huu katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid uliopo Jijini Arusha”.

Aliongeza”Maonyesho hayo yatashirikisha ngoma za makabila 10 ya mkoa huu,maigizo,kutembelea vituo mbalimbali vya utalii pamona na michezo mbalimbali ya asili”

Licha ya maonyesho hayo pia wananchi wa mkoa wa Arusha watapata fursa ya kutembelea  vivutio mbalimbali vya utalii kitamaduni ikwemo makumbusho mbalimbali na bonde la Ngorongoro kwa gharama ndogo

Huna Sababu Ya Kuaibikatena............ Jipatie Dawa Bora Ya Nguvu Za Kiume, Maumbile Madogo Na Mvuto Wa Mapenz

$
0
0
Usikate tamaa ondoa maradhi yako, maana matatizo haya yamekua yakiasili watuwengi kisaikolojia hasa baada ya kujiona wako tofauti sana na wengine kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamapunguvu katika mwiliwake.

Kunasababu nyingi sana zinazosababisha matatizo haya, chango hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngili :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli. Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na marakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kushindwa kabisa

MASISA 3POWER :- nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa mfumo wa vidonge, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka 15-90 , inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uludie tendo la ndoa zaidi ya mara nne (4) birahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk (20-30 )

YONINANI:- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwa mda mfupi sana,

SUPER MORINA :- nidawa inayotibu ama kutatua tatizo la kisukali kwawaliohangaika bila mafanikio, huondoa tatizo la kisukali na kupona kabisa, vilevile ninadawa ya magonjwa sugu km vile presha, vidondo vya tumbo, miguu kuwakamoto, muwasho mwilin, kaswende,uzazi nk.

LUGIMBA :- nidawa ya mvuto wa mapenzi, humtuliza mke, mme, mchumba, hawara au mtu yoyote umpendae na kumfanya akutimizie chochotekile unachokitaka kutoka kwake na kumfunga asiwe na mtu yoyote zaidi yako.

WASILIANA NA DR CHIPUPA NAPATIKANA DAR ES SALAAM KUMBUKA HUDUMAHII ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO  0759208637 / 0622344969

Rais Magufuli Apokea hati za utambulisho wa mabalozi 5.....Atoa Neno Ujenzi wa Stiegler's Gorge na kiwanda cha kuchakata gesi

$
0
0
Rais John Magufuli leo Oktoba 4, 2018 amepokea hati za utambulisho wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini, mabalozi hao ni kutoka Palestina, Kuwait, Norway, Ubelgiji na Sweden.

Rais Magufuli amepokea hati hizo Ikulu jijini Dar es Salaam.Miongoni mwa watu waliohudhuria hafla hiyo ni pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga na viongozi wengine.

Mabalozi hao walipowasili Ikulu kila mmoja kwa wakati wake kwa msafara maalum wa askari polisi wenye pikipiki, walipigiwa wimbo wa taifa kabla ya kuendelea na hatua ya kukabidhi hati.

Mara baada ya kila mmoja kuwasilisha hati zao, wamefanya mazungumzo na Rais Magufuli kwa muda mfupi kisha kutoka na kupigiwa wimbo wa Taifa huku gari aliloingia nalo, linapandishwa bendera ya nchi yake wakati anaondoka.

Balozi wa Norway kabla ya kuja nchini alifanya kazi nchini Afghanistan kwa miaka mitano huku wa Kuwait alifanya kazi Romania na Marekani

Katika utambulisho huo, balozi wa Palestina alimsalimia Rais Magufuli kwa lugha ya Kiswahili akichanganya na Kiarabu.

“...Asalamu aleykum, nimefurahi kukutana na Rais wa Tanzania...” alisikika akisema

Mara baada ya mabalozi hao kumaliza kupokea hati, Balozi Mahiga amesema Rais Magufuli amemsisitiza Balozi wa Norway kuikumbusha nchi yake kumaliza mapema mazungumzo kuhusu kampuni ya State oil na Sheli.

Amesema mazungumzo hayo yanayoendelea kwa kusuasua, lengo lake ni kampuni hizo mbili kushirikiana kujenga kiwanda cha kuchakata gesi ili iuzwe nje ya nchi.

Balozi Mahiga amesema eneo la kujenga kiwanda limeshapatikana na gesi pia ipo, hivyo mazungumzo hayo yakikamilika kila kitu kitakwenda kama kilivyopangwa.

Kuhusu ujenzi wa mradi wa umeme katika maporomoko ya maji ya mto Rufiji (Stiegler's Gorge), Rais Magufuli amemwambia balozi wa Sweden mbuga ya Selous haina manufaa kwa Tanzania bali kwa ulimwengu mzima.

“Rais amemueleza ni asilimia 1.3 ya eneo la mbuga ya Selous ndiyo limetumika kwenye mradi huo, ambao ni muhimu kwa sababu ukikamilika utawahakikishia Watanzania nishati ya umeme, tofauti na hapo wataendelea kukata miti na hata hiyo mbuga haitakuwapo tena, ”amesema Balozi Mahiga.

Amesema Rais Magufuli amemweleza Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo imetenga asilimia 32.5 ya ardhi yake kwa ajili ya hifadhi ya misitu na wanyama.

Maboresho Ya Mfumo Wa Haki Umelejesha Imani Ya Mahakama Kwa Wananchi

$
0
0
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO
KATIKA kuimarisha mfumo wa utoaji haki kwa wananchi, Serikali imeweka mazingira rafiki ya kisera na ya kisheria ya kuwezesha utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Taifa, kudumisha hali ya amani, utulivu na utangamano wa kitaifa.

Serikali kupitia Mahakama ya Tanzania inatekeleza Mpango Mkakati wa Maboresho ya Mahakama miaka unaolenga kuboresha huduma zinazotolewa kwa wadau na wateja ili kuifanya Mahakama kuwa ya kisasa na kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati.

Mpango huo unaotekelezwa katika kipindi cha miaka 5 (2015-2020) pamoja na mambo mengine umekusudia pia kuifanya Mahakama kuendesha shughuli zake kwa muundo wa mahakama za kimataifa ikiwa ni mwanzo wa kufikia malengo matatu yenye matokeo makubwa 17 katika uendeshwaji wa mahakama nchini.

Maboresho hayo yameeenda sambamba na kuongeza Mahakama Kuu 7, uanzishwaji wa mahakama za wilaya 108 katika wilaya 28 na Mahakama za mwanzo ili kuwawezesha watanzania millioni 21 ambao wanatokea katika maeneo ambayo hayana mahakama hizo kupata huduma.

Wadau na wananchi mbalimbali nchini wamekuwa na malalamiko mbalimbali kuhusu utaratibu mzima wa uendeshaji wa kesi Mahakamani, na kuelekeza tuhuma kwa Mahakama kuwa ndiyo inayosababisha kesi kuchukua muda mrefu mpaka kumalizika ikiwemo na dhana ya upokeaji wa rushwa kwa baadhi ya watumishi wa Mahakama wasio waaminifu.

Aidha kwa muda mrefu kumekuwa na malalamiko kutoka kuwa Mahakama inachelewesha kesi bila sababu za msingi, ambapo malalamiko haya yamekuwa yakitolewa kwa njia mbalimbali kupitia magazeti, runinga, mitandao ya kijamii na Makongamano.

Aidha Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Serikali  imeendelea kufanya tathmini ya hali ya utekelezaji wa sheria nchini kwa lengo la kuhakikisha kuwa sheria za nchi zinakwenda sambamba na mipango mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kuwawezesha wananchi kushiriki kikamilifu aktika ujenzi wa uchumi wa viwanda.

Akiwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Bajeti kwa mwaka 2018/19, Waziri wa Katiba na Sheria, Palamagamba Kabudi anasema kwa muda mrefu suala la kupunguza mlundikano wa mashauri mahakamani limekuwa ni moja ya vipaumbele muhimu vya Serikali katika kuhakikisha kuwa wananchi wote wanapata haki kwa wakati.

Prof. Kabudi anasema hadi kufikia mwezi machi 2018, Mahakama imeamua jumla ya mashauri 141,107 katika ngazi zote za Mahakama sawa na asilimia 98 ya mashauri yaliyosajiliwa katika kipindi hicho, na asilimia 67 ya mashauri yote yaliyokuwepo mahakamani kwa kipindi hicho.

“Katika kupunguza mlundikano wa mashauri, Serikali kupitia Mahakama ya Tanzania imefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika Mahakama za Mwanzo, Wilaya na za Hakimu Mkazi, mafanikio haya ni matunda ya utaratibu waliojiwekea Waheshimiwa Majaji na Mahakimu wa kuweka ukomo wa chini wa idadi ya mashauri anayotakiwa kuamua Jaji au Hakimu” anasema Prof. Kabudi.

Kwa mujibu wa Prof. Kabudi anasema kupitia Mpango wa Maboresho, Mahakama ya Tanzania imekusudia kuweka mifumo imara na ujenzi wa miundombinu ya utoaji huduma ikiwemo ujenzi wa Mahakama za Wilaya za Bagamoyo, Ilala, Kigamboni na Mkuranga na kuanza ujenzi wa Mahakama Kuu katika Mikoa ya Kigoma na Mara.

Anaongeza katika kuhakikisha na kuongeza fursa ya upatikanaji wa haki kwa wakati Mahakama ya Tanzania imeboresha na inaendelea kuboresha  miundombinu ya majengo ya Mahakama katika ngazi zote kuanzia Mahakama za Mwanzo, Mahakama za Wilaya, Mahakama za Hakimu Mkazi na Mahakama Kuu mijini na vijijini.

“Mahakama inaendelea na ujenzi wa Mahakama za Hakimu Mkazi katika mikoa ya Geita, Njombe,   katavi, Lindi na Simiyu, Mahakama za Wilaya 16 na kukamilisha  ujenzi wa Mahakama za Mwanzo nane, pamoja na Mpango wa kuwa na Mahakama Kuu kila Mkoa,   Mahakama za Hakimu Mkazi katika mikoa yote nchini” anasema Prof. Kabudi.

Ili kurahisisha upatikanaji wa haki kwa wakati; Majaji na Mahakimu vyema waweke utaratibu na mpango maalum ikiwa ni pamoja na kuwa na idadi maalum ya kesi ambazo wanatakiwa kuzisikiliza na kuzimaliza kwa mwaka pamoja na kutoa elimu kwa umma kuhusu taratibu na hatua za kesi inapotia Mahakamani ikiwa ni pamoja na kufanyiwa kazi kwa pamoja na wadau wake.

Mchungaji Atiwa Mbaroni Kwa Kuendrsha Ibada UCHI Na Wanawake 7 Ambao ni Wake za Watu

$
0
0
Polisi katika eneo la Rukiga nchini Uganda, wamewashikilia wanawake 7 na mchungaji wao, kwa kusali wakiwa watupu ndani ya nyumba ambayo wao wamedai kuwa ndio kanisa lao.

Watu hao ambao wamedai ni waumini wa kanisa la Full Gospel wamekutwa kwenye nyumba ya mmoja wao anayejulikana kwa jina la Adah Kahababo, huko Rukiga.

Akizungumzia kukamatwa kwao Kamishna wa makazi wa wilaya Emmy Ngabirano na Mkuu wa Polisi wa eneo hilo, wamesema kwamba watu hao ambao ni wake za watu, wameshangazwa na kitendo hicho, ambacho licha ya kuvunja maadili, pia ni jambo la kushangaza.

“Tunaheshimu uhuru wa kuabudu, lakini watu lazima wafuate utaratibu wa kuendesha kanisa, watu waliokamatwa walikuwa wanaendesha kusanyiko kinyume na sheria, tena ndani ya nyumba ya mtu ambayo wamedai ni kanisa lao, sisi kama watu wa usalama hatuwezi kuliacha kwa sababu mwaka 2000 kuna watu walichomwa moto kanisani kwa tukio kama hili”, amesema Kamishna Ngabirano.

Hata hivyo waume wa wanawake hao wamesema wake zao wameyakimbia makazi yao kwa takriban wiki mpaka sasa, na kwenda kuweka kambi kwa Bi. Kahabado kwa ajili ya maombi ya usiku na mchana.

Waliokamatwa ni Mch. Agrey Elias Mubangizi, Adah Kahabado, Christina Arinda, Hope Nyamurungi, Apohia Tumusiime, Anna Mugabirwe, Angela Nyangoma na Moreen Nyangoma.

CUF Lipumba Kumkamata Maalim Seif Akitua Liwale

$
0
0
Mbunge wa jimbo la Kaliua kupitia tiketi ya CUF, Magdalena Sakaya amesema kuwa endapo Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamadi atajaribu kufika katika jimbo la Liwale kwa nia ya kumnadi mgombea bila kufuata utaratibu kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama hicho anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya siasa nchini kiongozi huyo atakamatwa na Jeshi la Polisi.

Hatua hiyo inakuja ikiwa ni siku chache tangu Maalim Seif atangaze mpango wa kwenda kumnadi Mgombea wa jimbo la Liwale, Mohamed Mtesa ambaye alipitishwa na upande wa Profesa Lipumba. Ambapo licha ya pande hizo zote  kuwa na migogoro zimenonesha kumuunga mkono mgombea huyo.

Sakaya amesema “Maalim Seif itakuwa ngumu kuingia Liwale, kwa sababu baada ya kukihujumu chama kwa muda mrefu tulitoa taarifa kwamba popote atakapofika akamatwe kwa sababu atahujumu tena, Makamanda wa mikoa na vituo vyote vya polisi Tanzania bara wanataarifa, akilazimisha kupanda jukwaa la kampeni atakumbana na nguvu ya Dola ".

“Sisi tulishawajua wao ni wahujumu siku zote, wamekuja kutuunga mkono kwa sababu CHADEMA wamejitoa kwenye uchaguzi, kwa hiyo tulikuwa tumeshawaandaa askari wetu ili wakionesha njama ya kutuhujumu wakamatwe, akitaka kuja kufunga kampeni lazima afuate taratibu, afike ofisini ili apangiwe na Mwenyekiti.” Ameongeza Sakaya

Kupitia Naibu Mkurugenzi wa Habari wa CUF upande wa Maalim Seif, Mbarara Maharagande hivi karibuni alisema,

 “Sisi upande wetu hatuna tatizo, kwa sababu yule ni Mwenyekiti wetu wa Halmashauri na viongozi wetu wameshaelekea huko kumuunga mkono, Maalim Seif wiki hii anatarajia kwenda kufunga kampeni, Sisi ndio tulimwambia akachukue fomu na apitishe kwa upande wa Lipumba kwa sababu ndie anayetambuliwa na dola ".

Alikiba Kataja Sababu za Kufuta Wimbo Wake YouTube

$
0
0
Msanii wa muziki Bongo, Alikiba  ambaye siku ya jana alikumbana na lawama na kejeli za mashabiki wake mitandaoni baada ya kufuta wimbo wake mpya wa ‘HELA’ aliouachia usiku kupitia mtandao wa YouTube kisha kuufuta asubuhi, amefunguka sababu za kufuta wimbo huo.

Alikiba ametaja sababu kubwa ya kufuta wimbo huo ni siku ambayo aliachia, kwani haikuwa siku ambayo huitumia kuachia nyimbo mpya.

“Siku yenyewe haikuwa siku yangu ambayo napenda ku-release nyimbo, ilikuwa siku ya Jumanne, so tukamwambia jamaa autoe, inatakiwa siku kama ya leo Alhamisi, ndiyo maana ulikuta umetoka kwenye YouTube, ila sasa hivi ukiingia utaikuta”, amesema Alikiba.

Alikiba amelazimika kutoa maelezo hayo baada ya kushambuliwa na mashabiki kuwa ameutoa wimbo huo kwa kuwa ni mbaya huku wengine wakidai amerudia wimbo wake wa zamani.

Jishindie Gari la Bure Toka Japan.....Kushiriki Ni Bure Kabisa

Mabasi Yanayokalisha Abiria Kwenye Ndoo Yapewa Onyo

$
0
0
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani
Kamanda wa polisi mkoani Pwani (ACP)  Wankyo Nyigesa ameweka bayana, askari wa usalama barabarani hawataona muhali kuchukua hatua dhidi ya mabasi ya abiria yatakayojaza abiria pamoja na yanayokalisha abiria waliozidi kwenye ndoo za lita 20.
 
Aidha ameyaasa ,magari ya watoto wa shule mengi ni machakavu  hivyo ameelekeza wayapeleke yakaguliwe kabla ya kubeba wanafunzi .
 
Akitoa rai hiyo kwa waandishi wa habari, Nyigesa alisema ,haiwezekani madereva wakakiuka sheria za usalama barabarani kwa makusudi wakitegemea kutoa faini bali wanachotakiwa ni kufuata sheria zilizopo. 
 
Aliwataka ,abiria na jamii kutoa ushirikiano kwa askari hao kwa kutoa taarifa ama kuyafichua magari ya abiria yanayojaza abiria kupita kiasi ili wayachukulie hatua ikiwemo kupigwa faini. 
 
Nyigesa alieleza, magari ya watoto wa shule mengi ni machakavu  hivyo ameelekeza wayapeleke yakaguliwe kabla ya kubeba wanafunzi .
 
Aliwataka,  waendeshaji wa vyombo vya moto kutii sheria, na kwamba magari yao yatakaguliwa yawapo ndani ya mkoa huo.
 
“Magari ya watoto yaliyo mengi hayana mikanda sasa ni jukumu lao kujikaguwa kabla hawajakaguliwa na kukamatwa ,
“Hakuna polisi atakayemuonea aya dereva wala hatutaona muhali katika suala hili la kudhibiti ajali”alisisitiza Nyigesa.
Kamanda huyo alieleza, kila mmoja atii sheria bila kushurutishwa .

Tume Ya Madini Yatoa Leseni Mpya Za Madini 7879

$
0
0
Na Greyson  Mwase, Dodoma
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa kati ya kipindi cha mwezi Mei hadi Septemba mwaka huu, Tume ya Madini, imetoa leseni 7879 ambazo maombi yake yaliidhinishwa kupitia kikao cha Tume kilichofanyika tarehe 25 Septemba, 2018 kilicholenga  kujadili taarifa za Kamati za Tume na utendaji kazi katika kipindi cha mwezi Mei hadi Septemba, 2018.

Profesa Kikula ameyasema hayo leo tarehe 04 Oktoba, 2018 kupitia mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika katika Ofisi za  Tume ya Madini zilizopo jijini Dodoma.

Akielezea kuhusu maombi ya leseni za madini  7879 yaliyoidhinishwa katika kikao cha Tume, Profesa Kikula  alieleza kuwa ni pamoja na  Leseni za Utafutaji wa Madini (Prospecting License – (PL) 263; Leseni Kubwa (Special Mining License – (SML) 03;(ziliidhinishwa ili kupelekwa     kwenye mamlaka husika ambayo ni Baraza la Mawaziri) Leseni za Uchimbaji wa Kati (Mining License – (ML) 14 pamoja na leseni 1 ya Sihia (Transfer) ya uchimbaji wa Kati.

Aliendelea kufafanua kuwa, maombi leseni za  uchimbaji wa kati 14 yaliyopitishwa kuwa ni pamoja na  kampuni za Dangote Industries Limited kwa ajili ya uchimbaji wa madini ya chokaa katika eneo la Mtwara;  Nazareth Mining Investment Co Limited kwa ajili ya uchimbaji wa madini ya kinywe (graphite) katika eneo la Ruangwa mkoani Lindi na kampuni ya Sunshine Mining (T) Limited kwa ajili ya uchimbaji wa madini dhahabu katika eneo la Chunya mkoani Mbeya.

Aliendelea kutaja kampuni nyingine kuwa ni pamoja na Said Seif Abdallah kwa ajili ya uchimbaji wa madini ya ujenzi katika eneo la Masasi mkoani Mtwara; Off Route Technologies (T) Limited kwa ajili ya uchimbaji wa makaa ya mawe katika eneo la Ileje mkoani Mbeya; leseni yenye ubia kati ya Shabani Daud Ibrahim, Andrew Bollen, Dunstan M. Mongi na Vedastus Mtesigwa kwa ajili ya uchimbaji wa madini ya dhahabu katika mkoa wa Geita.

Maombi mengine yaliyopitishwa ni pamoja na leseni yenye ubia kati ya  Jumbo Limited, na Ally Mbarak Mohamed kwa ajili ya uchimbaji wa madini ya kinywe (graphite) katika eneo la Ruangwa mkoani Lindi, Jacana Resources (Tanzania) Limited kwa ajili ya uchimbaji wa mchanga bahari (mineral sand) katika eneo la Temeke lililopo jijini Dar es Salaam na P. B. Mining Company kwa ajili ya uchimbaji wa madini ya  fedha, dhahabu, shaba, zinki na galena katika eneo la Chunya lililopo mkoani Mbeya.

Profesa Kikula alisisitiza kuwa, kikao hicho pia kilipitisha ombi la kubadili umiliki kutoka kwa Mbarouk Saleh Mbarouk kwenda katika kampuni ya M. B. Mining (T) Limited kwa ajili ya uchimbaji wa madini ya ujenzi katika eneo la Morogoro.

Profesa Kikula aliendelea kutaja maombi ya leseni nyingine zilizopitishwa katika kikao hicho kuwa ni pamoja na Leseni za Uchimbaji Mdogo (Primary Mining License – (PML) 6313; Leseni za Uchenjuaji wa Madini (Processing License) 08 na leseni za Biashara ya Madini ambapo leseni kubwa (Dealers License) ni  557; na leseni Ndogo (Broker’s License) 720

Katika hatua nyingine Profesa Kikula alisema kuwa, Mipango ya Ushirikishwaji wa Utoaji wa Huduma na Bidhaa kwa Wazawa katika Miradi ya Madini (local content plan) 19 ilipitishwa kati ya mipango 26 iliyowasilishwa kutoka katika kampuni mbalimbali za utafutaji na uchimbaji wa kati na mkubwa wa madini.

Alielekeza waombaji leseni za madini kuwasilisha mipango yao kwa wakati ili iweze kupitiwa na kamati husika na kuwezesha leseni kutolewa mapema.

Pia aliwataka waombaji wote wa leseni za madini kufuatilia leseni zao kwenye Ofisi za Madini zilizopo mikoani walikoombea leseni zao na kusisitiza kuwa orodha ya leseni zilizoidhinishwa inapatikana katika tovuti ya Tume.

Wakati huohuo Profesa Kikula alisema kuwa Tume ya Madini imejipanga katika kuhakikisha kila mtanzania ananufaika ipasavyo na rasilimali za madini nchini

Aliongeza kuwa, Tume imeweka mikakati ya kuwasaidia wachimbaji wadogo wa madini kwa kuwatengea maeneo kwa ajili ya uchimbaji madini na kuwataka kuunda vikundi na kusajiliwa kupitia viongozi wao hivyo kuwezesha upatikanaji wa leseni za madini na kufanya shughuli zao pasipo kikwazo chochote.

“Sisi kama Tume ya Madini tunatambua mchango mkubwa wa wachimbaji wadogo wa madini na ndio maana tumekuwa tukifanya ziara katika maeneo ya wachimbaji wadogo na  kutatua changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na migogoro; tunataka wafanye kazi katika mazingira salama kabisa,” alisema Profesa Kikula.

Naye Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya akielezea mchango wa Sheria Mpya ya Madini alisema kuwa tangu kuanza kwa utekelezaji wa sheria mpya iliyoweka ongezeko la kutoka asilimia nne hadi sita za mrabaha na tozo la asilimia moja la kodi ya ukaguzi wa madini,  makusanyo yameongezeka kutoka shilingi bilioni  194 hadi shilingi bilioni 301 kwa mwaka likiwa ni ongezeko la asilimia 55.

Pia, Mkurugenzi wa Leseni na TEHAMA kutoka Tume ya Madini, Torece Ngole akielezea mikakati ya Tume katika kukabiliana na changamoto ya migogoro kwenye uchimbaji wa madini inayosababishwa na wachimbaji wadogo kwa kuvamia maeneo yenye leseni kubwa, alisema kuwa Tume imeshaanza kutenga maeneo kwa ajili ya wachimbaji wadogo na kusisitiza kuwa mpaka sasa imeshatenga maeneo 74

Alisisitiza kuwa Tume imekuwa ikiwaelimisha wachimbaji wadogo kuhusu sheria na kanuni za madini na kusisitiza kuunda vikundi ili waweze kupatiwa maeneo na leseni za uchimbaji madini.

Mhadhiri UDOM Atiwa Mbaroni Kwa Rushwa ya Ngono

$
0
0
TAKUKURU Mkoa wa Dodoma jana usiku iliweka mtego na kufanikiwa kumkamata Jacob Paul Nyangusi ambaye ni Mhadhiri wa Kitivo cha Sayansi ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kosa la kumtaka mwanafunzi wa mwaka wa kwanza kingono ili amsaidie katika mitihani ya marudio aliyofanya hivi karibuni.

Kosa hili ni kinyume na kifungu cha 25 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na rushwa Na. 11/2007.

Mhadhiri huyo alikamatwa saa tatu usiku katika eneo la nyumba mia tatu kata ya Nzuguni jijini Dodoma akiwa chumbani na mwanafunzi huyo. 

Awali TAKUKURU ilipokea taarifa za Mhadhiri huyo kutaka rushwa ya ngono kwa mwanafunzi wake ambaye jina limehifadhiwa ili amwezeshe kufanya mitihani ya marudio baada ya kufeli na pia amsaidie wakati wa usahihishaji.

Baada ya kupokea taarifa hizo TAKUKURU ilifanya uchunguzi wa awali na kuandaa mtego uliofanikisha kukamatwa kwake. 

TAKUKURU inaendelea na uchunguzi na mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani pindi kibali cha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kikitolewa.

TAKUKURU Mkoa wa Dodoma imekuwa inapokea taarifa za baadhi ya wahadhiri wasio waadilifu kuwataka wanachuo hasa wa kike kingono ili wawasaidie katika masomo yao.

 Aidha, baadhi wanawafelisha wanafunzi kwa makusudi na baadaye kuwataka rushwa ili warekebishe matokeo yao.

TAKUKURU inatoa wito kwa wanafunzi wa kike na wananchi wote kwa ujumla kutoa taarifa za vitendo vya rushwa ya ngono wanapokutana navyo.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya October 5

Waziri Mkuu: Mradi Wa Stiegler’s Utasadia Kutunza Mazingira

$
0
0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa Serikali ya awamu ya tano wa kujenga mradi wa kuzalisha umeme kwenye maporomoko ya mto Rufiji, Stiegler’s Gorge utasaidia sana kudhibiti uharibifu wa mazingira nchini.

Akizungumza baada ya kutembelea eneo utakapojengwa mradi huo, leo (Alhamisi, Oktoba 4, 2018), Waziri Mkuu amesema umeme utakaotokana na maji, utazalishwa kwa gharama nafuu na utakuwa wa uhakika zaidi.

Amesema kwa vile umeme utakaozalishwa katika mradi wa Stiegler’s Gorge utakuwa wa bei nafuu na hivyo kuwa rafiki kwa wananchi wa kipato cha chini, utatumika kama nishati mbadala kwa kuni na mkaa  ambao umechangia sana kwenye uharibifu wa mazingira hasa ukataji miti.

Waziri Mkuu Majaliwa amewaomba viongozi wa Serikali na vyama vya siasa wawaelimishe Watanzania kuwa mradi wa Stiegler’s Gorge una faida kubwa kwa Taifa kiuchumi na hauna athari za mazingira na badala yake utayaboresha.

Amewahakikishia Watanzania kuwa mradi huo utajengwa na utakamilika katika muda uliokusudiwa ambao ni miezi 36 kuanzia siku mkandarasi atakapokabidhiwa kazi hiyo.

Akizungumzia usalama katika eneo la mradi, Waziri Mkuu amesema viongozi wa mikoa ya Morogoro na Pwani wahakikishe kwamba wanaweka ulinzi wa kutosha kuanzia sasa na wakati  ujenzi utakapoanza ili kuzuia hujuma  na vitendo vya wizi na udokozi vinavyoweza kuvuruga kasi ya ujenzi wa mradi.

Amesema vifaa vitakavyoletwa na mkadarasi lazima vilindwe na wajenzi watakaoshiriki katika ujenzi wa mradi wahakikishiwe usalama wao na mali zao.

Amewataka wananchi pia washiriki katika ulinzi kwa kutoa taarifa  kwa vyombo vya dola kuhusu watu wenye mienendo inayoweza kuzorotesha ujenzi wa mradi huo kwani jukumu la ulinzi si la polisi peke yao.

Kuhusu ajira kwa vijana wanaotoka katika maeneo yanayozunguka mradi, Waziri Mkuu amesema utaratibu utawekwa ili vijana wenye sifa wapewe nafasi ya kushiriki kwenye usaili na ikibidi watafanyiwa mchujo kwenye maeneo yatakayofikiwa na wengi.

Aliwaasa wote watakaobahatika kupata ajira ya kushiriki katika ujenzi wa mradi huo wawe waadilifu na wachapakazi ili kulinda heshima ya vijana wa Kitanzania na kuwashawishi wajenzi wa mradi kuajiri vijana wengine zaidi.

Kuhusu Wizara ambazo zinaguswa na maandalizi ya ujenzi wa miundombinu inayohitajika katika ujenzi wa mradi wa Stiegler’s Gorge, Waziri Mkuu ameagiza wizara hizo zishirikiane ili kuhakikisha kwamba kila Wizara inatimiza majukumu iliyopangiwa kwa wakati.

Wizara ambazo tayari zimeanza kuweka miundombinu wezeshi kwa mradi huo ni pamoja na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inayosimamia ujenzi wa barabara na tawi la reli itakayounganisha eneo la mradi na stesheni ya  Fuga katika reli ya TAZARA kazi ambayo imeanza na Waziri Mkuu wenyewe aliikagua.

Wizara ya maji nayo tayari imetimiza jukumu lake la kupeka maji katika eneo la mradi wakati wizara ya nishati imepeleka umeme. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi pamoja na Wizara ya Kilimo nazo zipo kwenye eneo la mradi kutimiza majukumu yote yanayozigusa.

Awali, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani aliishukuru Serikali kwa kukubali kutoa fedha ambazo zimesaidia sana katika ujenzi wa miundombinu ya maandalizi ya ujenzi wa mradi.

IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
ALHAMISI, OKTOBA 04, 2018.

Vitu 6 Usivyo Vijua Kuhusu Hizi Saa za Kisasa ( Smart Watch)

$
0
0
Vitu 6 Usivyo Vijua Kuhusu Hizi Saa za Kisasa ( Smart Watch)

  •     specificication zake

  1. ina piga na kupokea simu  na meseji pia
  2. ina pima mapigo ya moyo
  3. ina hesabu kilometer ulizotembea kwa siku
  4. ina hesabu hatua ulizotembea kwa siku
  5. ina pima kiasi cha usingizi ulicholala kwa siku
  6. battery yake ukichaji ina kaa siku mbili

  • JINSI YA KUIPATA

  • bonyeza link hii >>> https://goo.gl/mAezRE  njoo whatsapp moja kwa moja ukshabonyeza  hapa   https://goo.gl/mAezRE
  • utaagiza na sisi tutakutumia  saa hiyo utalipia mzigo ukifika maeneo yafuato  arusha mjini,moshi mjini ,mwanza jijini, mbeya jijini, tanga jijini, zanzbar mjini ,dodoma jijini ,tunduma mjini ,songea mjini, iringa mjini ,mafinga mjini ,kigoma mjini ,tabora mjini ,sumbawanga mjini ,mtwara na lindi mjini

    Simba Mmoja Awajeruhi Morani 8

    $
    0
    0
    Vijana wanane wa jamii ya wafugaji ya Kimasai (morani) kutoka Kitongoji cha Oldonyo Lengai, Kijiji cha Loondolwo, Longido mkoani Arusha, wamenusurika kifo baada ya kujeruhiwa na simba.

    Kwa mujibu wa vijana hao, walikutwa na simba majira ya saa nane alasiri juzi kisha kushambuliwa wakati wakichimba kisima kutafuta maji ya kunyweshea mifugo.

    "Tulijaribu kupiga kelele, simba akaanza kutushambulia. Kuona hivyo, wengine wakawa wanapiga simu kuomba msaada na kila aliyekuwa anakuja kutoa msaada alishambuliwa," alisema Mibaku Mundesyo (35) mmoja wa manusura hao.

    Alisema walishambuliwa maeneo mbalimbali ya mwili hali iliyosababisha moja wao kuwahishwa Hospitali ya Rufani ya Seliani ya jijini hapa kwa matibabu zaidi.

    Wengine walionusurika ni Melubo Sung'are (24) Milya Lemayaka (28), Loning'o Sung'are (20), Sakaya Osikarari (20), Ng'ahari ole Bainu (30), Leng'arwua Loda (20) na Laari Olchuda (21).

    Kwa mujibu wa jamii ya wafugaji ya Kimaasai, morani wana umri wa miaka kuanzia 18 hadi 40.

    Mtaalamu wa wanyamapori na uwindaji anayemiliki kampuni ya uwindaji ya Mantheakis Safaris Ltd, Michel Mantheakis, alisema alimfuatilia simba huyo kuchunguza tukio la kujeruhiwa kwa vijana hao, akabaini kwamba simba ndiye aliyewashambulia vijana hao.

    "Ni kweli simba aliwavamia vijana hao lakini jambo la kushangaza hakuweza kuua mtu zaidi ya kuwajeruhi kwa kucha.

    "Nilipomfuatilia huyo simba, hakuonekana kuwa na jeraha kwani hata tembea yake haikuwa na shida na kama alirushiwa mkuki haukumpata vyema.

    "Nimeshangazwa na tukio hili kwani haijawahi kutokea watu wanane kujeruhiwa na simba bila kuwa kwenye uwindaji,” alisema.

    Hata hivyo, aliitaka jamii hiyo wakimwona simba wamwache ili sheria zifuatwe.

    Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe, aliyefika katika kitongoji hicho na kukutana na wananchi, aliwasihi kuacha kuwinda wanyama kinyume cha sheria.

    Alisema wanyamapori huingiza fedha nyingi kijiji hapo kutoka kwa kampuni za uwindaji.

    Pia aliwataka kuwa walinzi wa wanyamapori na akalaani vitendo vya baadhi yao kuharibu mitego na kamera zilizowekwa na wawekezaji walioingia nao mikataba.

    Ripoti ya Benki ya Dunia: Uchumi wa Afrika unaporomoka

    $
    0
    0
    Mchumi Mkuu wa Benki ya Dunia kwa Afrika, Albert Zeufack 
    ****
    Benki  ya Dunia imepunguza matarajio ya ukuaji wa uchumi kwa eneo la Afrika, chini ya jangwa la Sahara mwaka 2018 hadi asilimia 2.7 badala ya utabiri wa awali wa asilimia 3.1.

    Kwa kiasi kikubwa hali hiyo inatokana na ukuaji wa pole pole wa uchumi katika bara hilo, kwa mujibu wa taarifa ya benki hiyo juzi Jumatano.

    Eneo hilo, ambalo lilikuwa na ukuaji wa viwango vya wastani vya uchumi miaka kadhaa kuelekea mwaka 2015, ilipata hasara kubwa katika kasi ya ukuaji wake baada ya bei za bidhaa kushuka mwaka 2015 – 2016.

    Mwezi Aprili, Benki ya Dunia ilibashiri kwamba ukuaji huenda ungekuwa kwa kasi zaidi mwaka 2018, ukuaji wa wastani ukiwa katika kiwango cha asilimia 3.1, ikiwa ni juu kutoka ukuaji wa asilimia 2.3 mwaka 2017.

    “Kasi ya ukuaji wa pole pole barani Afrika chini ya jangwa la Sahara, unaelezewa kuwa unatokana na upanuzi usiotabirika wa kiuchumi katika mataifa matatu yenye uchumi mzuri ya Nigeria, Angola na Afrika Kusini,” taarifa ya benki imesema.

    Kushuka kwa uzalishaji mafuta nchini Angola na Nigeria kumesababisha kupanda kwa bei za mafuta na nchini Afrika Kusini, ukuaji dhaifu wa matumizi ya majumbani kumetokana na kupungua kwa shughuli za kilimo, taarifa ya Benki ya Dunia imesema.

    Nchi zingine katika bara hilo zimekuwa na ukuaji usiotetereka mwaka 2018, zikiwamo zile ambazo hazitegemei bidhaa, kama vile Ivory Coast, Kenya na Rwanda, benki imeongezeka kusema.

    Albert Zeufack, mchumi mkuu kwa Afrika katika Benki ya Dunia, amezisihi serikali katika eneo hilo kuacha kutumia fedha vibaya na badala yake kuboresha uzalishaji ili kusaidia katika harakati za kufufua uchumi.

    Madeni makubwa ya umma katika baadhi ya nchi kwenye bara hilo, ukichanganya na sarafu dhaifu na kupanda kwa viwango vya riba, huenda kukahatarisha uwezo wa kulipa madeni yao, Benki ya Dunia imeonya.

    “Watunga sera katika eneo hilo lazima wajiweke sawa kukabiliana na hatari mpya ambazo zinajitokeza kutokana na mabadiliko katika mtiririko wa mitaji na madeni,” Zuefack anaesema.

    Ujenzi wa Terminal 3 Katika Uwanja wa Ndege JNIA Kugharimu Bilioni 560.....Utakuwa na Uwezo wa Kupokea Ndege 19 kubwa na Ndogo 11 Kwa Mpigo

    $
    0
    0
    Jumanne wiki hii, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Geoffrey Mwambe, alifanya ziara ya ukaguzi wa maendeleo na hatua iliyofikiwa katika upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

    Uwanja huo una historia ndefu. Ulianzia katika kipindi kirefu miaka 62 iliyopita katika zama kabla ya uhuru wa Tanganyika, ikiitwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam.

    Baadaye lilijengwa jengo jipya la kisasa zaidi, ambalo baadaye likaitwa ‘Terminal Two’ wastani wa miongo mitatu na nusu iliyopita, kazi iliyoendana na upanuzi wa njia na mahitaji mengine ya uwanjani, kukidhi maboresho ya vigezo vya kimataifa nchini.

    Baadaye, ikiwa ni kutambua mchango wa Rais wa Kwanza, Hayati Julius Nyerere, mageuzi na maboresho ya uwanja huo yanayoendelea kulingana na kukua mahitaji ya wateja wake, uwanja huo ulipewa jina lake.

    Hivi sasa kuna mwendelezo wa awamu nyingine, sasa kuna mradi mkubwa wa ujenzi wa uwanja huo unaoelekea ukingoni kwa miaka mitano hivi sasa na kuongeza kipande kingine cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ‘Terminal Three.’

    Ujenzi huo ambao hadi kukamilika kwake utagharimu zaidi ya Sh. bilioni 560, ulianza mwezi Juni mwaka 2013 na unatarajiwa kukamilika mwakani mwezi Mei na hadi sasa umekamilika kwa asilimia 82.

    Akizungumza uwanjani hapo, Mwambe anaeleza kuwa uwanja huo utatokea fursa za uwekezaji, ikiwamo kujitokeza kwa kampuni mpya za ndege kuanza kutua Tanzania.

    “Kampuni za ndege zikiongezeka maana yake kutakuwa na ushindani kwenye soko, hivyo itasaidia kupunguza gharama za usafiri wa ndege kwa wananchi. Ushindani huu ukiwapo maana yake abiria atachagua asafiri na aina ya shirika la ndege,” anaeleza.

    Mwonekano wa uwanja huo mpya unabebwa na jengo lenye ghorofa tatu, ambayo ya kwanza itatumika kwa ajili ya wasafiri wanaofika, ghorofa ya pili ni kwa wasafiri wanaoondoka na ya tatu ni kwa ajili ya masuala ya utawala.

    Mwambe anasema kukamilika kwa ujenzi wa uwanja huo, utasaidia kuongeza tija kwenye uwekezaji, ambayo ni eneo analolisimamia kupitia TIC.

    “Ni ukweli usiopingika kwamba, duniani nchi zenye miundombinu bora kama viwanja vya ndege vya kimataifa, barabara, bandari ndizo zinazopata wawekezaji wengi.

    “Tumeshuhudia kupitia serikali ya awamu ya tano, chini ya Rais John Magufuli, maeneo haya niliyotaja amekuwa akiyapa kipaumbele ili kuhakikisha Tanzania ijayo inakuwa yenye uwekezaji mkubwa,” anasema.

    Mwambe anasema, wiki iliyopita Watanzania walishuhudia Rais Dk. Magufuli alipozindua Barabara ya Juu ya Mfugale, iliyopo katika makutano ya Barabara ya Julius Nyerere kutoka Uwanja wa Ndege kuelekea mjini na ile ya Mandela, kutoka Ubungo kwenda Bandarini.

    Pia, Mwambe anafafanua kuwa ujenzi wa reli ya kisasa (standard gauge) unaendelea na taratibu za kuanza kwa mradi mkubwa wa kuzalisha umeme nchini ‘Stiegler's Gorge’ zinaendelea.

    “Kwetu TIC maboresho haya ni faraja, kwani yatachagiza uwepo wa mazingira bora ya biashara na uwekezaji na kuwezesha kuunga mkono juhudi zetu za kuvutia na kushawishi wawekezaji kuja kuwekeza nchini,” anaeleza.

    Mwambe anataja maeneo mengine ya uwekezaji ya wawekezaji wazawa wanakoshauriwa kuyachangamkia ni ya uendeshaji wa biashara ya magari madogo, maegesho, maduka, hoteli na maduka ya mvinyo.

    Anasema matarajio ya serikali kwenye uwekezaji huo, ni kuhakikisha unatoa huduma nzuri kwa wadau wakiwamo watalii, wafanyabiashara na wawekezaji.

    “Kuhakikisha unavutia zaidi wawekezaji, inatengeneza ajira kwa Watanzania, kodi inakusanywa kwa ajili ya kuendesha huduma za jamii na kuinua hali ya Watanzania na uchumi wa taifa,” anasema na kuongeza:

    Mwambe anaishukuru serikali kujikita katika kuboresha na kuimarisha miundombinu ambayo itakayoleta mapinduzi ya ukuaji uchumi.

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Anga Tanzania (TAA), Richard Mayongela, anasema kuwa uwanja huo utakapokamilika, utaondoa msongamano wa abiria wanaotumia sehemu ya ‘Terminal Two.’

    “Terminal Two ilijengwa miaka 34 iliyopita, kwa lengo la kuboresha huduma za usafiri zilizokuwa zikitolewa na ‘Terminal One’ iliyojengwa mwaka 1956 na ilikuwa na uwezo wa kuhudumia abiria 500,000 tu kwa mwaka,” anasema.

    Anabainisha kuwa ‘Terminal Two’ ilijengwa kuwahudumia abiria milioni moja na nusu, lakini kwa sasa inahudumia hadi milioni 2.5 kwa mwaka.

    “Idadi hii ni kubwa na imetokana na ongezeko la abiria na shughuli nyingine za usafirishaji, jambo ambalo linasababisha changamoto katika sekta ya anga kubaki palepale, ikiwamo kukosa ufanisi katika kutoa huduma bora kwa wadau na mahitaji yao kwa ujumla,” anasema.

    Mayongela anafafanua kwamba, kuna dira ya kukamilika upanuzi huo wa uwanja kutaleta mapinduzi makubwa ya kiuchumi na maendeleo nchini katika sekta ya anga na kutaongeza safari za ndege nyingi, kutua Tanzania.

    “Mashirika ya ndege duniani yakiongezeka hapa, kutaongeza mapato kwa serikali na vilevile kutawezesha kuitangaza Tanzania kimataifa,” anasema na kuongeza:

    “Ujenzi wa uwanja huu, ni mkombozi mkubwa wa Watanzania katika kuboresha sekta ya anga. Uwanja wa ndege tunaoutumia sasa, ulijengwa mwaka 1984. Hivyo, ni miaka 34 iliyopita,” anasema.

    Anafafanua zaidi: “Kwa hiyo, utaona ni jinsi gani tunatoa huduma za usafiri wa anga kwa sasa, kwa miundombinu iliyokuwa imelenga kuhudumia abiria wachache wa kipindi cha miaka ya 1980.”

    Kama alivyo bosi wa TIC, Mayongela anaishukuru serikali kwa maamuzi ya kuupanua uwanja huo, kwani umefanyika kwa wakati muafaka ukiendana na ukuaji uchumi na maendeleo ya nchi.

    Mkurugenzi huyo anabainisha kuwa ‘Terminal Three’ itakapokamilika, itaruhusu ndege kubwa (Dream liner 8) kupakia na kushusha abiria na mizigo yao kwa wakati mmoja, wakati huo huo ndege tatu zikiwa kwenye eneo la maegesho.

    “Kwa namna upanuzi huu ulivyofanyika, utawezesha kuhudumia ndege kubwa za kawaida zipatazo 19 na ndege ndogo 11 zinazoingia na kutoka nchini kwa wakati mmoja,” anasema.

    Ziara hiyo ya Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, imefanyika kutokana na kituo hicho cha uwekezaji kuwa mdau mkubwa wa uwekezaji, pia kubadilishana mawazo, uzoefu na kushauriana na Mkurugenzi Mkuu wa TAA, kuhusu uwanja huo wa ndege.

    Mayongela anasema, lengo lao ni kuhakikisha uwekezaji huo unavutia na kuchochea wawekezaji kuja zaidi Tanzania na kuirudishia faida serikali, Watanzania na taifa kwa jumla.

    Kwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Mafupi na Upungufu wa Nguvu za Kiume? Suluhisho Hili Hapa

    $
    0
    0
    KWANINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MAFUPI NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME... DR SITTA NDO SULULISHO LAKO

    Tatiza, hili limekuwa likiwaathiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako tofauti na wanaume wengine. Kwa kawaida, mwanaume anatakiwa awe na uume, usiopungua nchi 6-7au-8 ,vinginevyo mtu huyo anamatatizo.

    Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hilo... baadhi ni  upungufu wa vichocheo vya, HORMONES ZA CETROGEN .

    SUPER MIZIZI, ni dawa inayozalisha HORMONES ZA CETROGEN,na kufanya, uume kukuwa na kuongzeka sazi utakayo na kuzibua mrija iliyosinyaa,

    NSHOLA; ni dawa bora, ya kurudisha nguvu za kiume kwa kutibu kabisa  tatizo hilo na kukupa  hamu ya  kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara nne 4 bila kuchoka 

    Pia  kuna dawa za kutibu presha ya kupanda na kushuka, kisukari , kuondoa mafuta  mwilini na maumivu ya mgogo kiuno, matazo, ya hedhi kwa wanawake, hedhi zisizokuwa na mpangilio.

    NKANYA; ni dawa ya mvuto wa kimapenzi ,mchumba mpenzi aliyekuacha, mke, mme atakurudia .

    NKOMA; Ni dawa kuongeza HIPS na mguu wa bia kwa wadada ,

    NGAKAMA ,ni dawa ya kutibu miguu kufa ganzi na kuwaka moto, huduma zetu ,zipo ,vizuri, popote pale dawa utaletewa! 

    DR SITTA, amebobea kwa tiba asili

    SONGEA BOMBAMBILI, SHINYANGA- KAHAMA MJINI, 

    KWA MAELEZO ZAIDI  PIGA SIMU; 0763172670/ 0715172670,/

    WOTE  MNAKARIBISHWA... KAMA, UTAKUWA NA TATIZO, UTAHUDUMIWA,
    Viewing all 45270 articles
    Browse latest View live




    Latest Images