Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Wasimamizi Wa Uchaguzi Mdogo Watakiwa Kuzingatia Sheria, Kanuni Na Taratibu.

0
0
NEC – Dodoma, 29 Septemba 2018.
Wasimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Ubunge na Udiwani utakaofanyika Oktoba 13 mwaka huu katika jimbo la Liwale na kwenye Kata 37 za Tanzania Bara wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia matakwa ya Katiba, Sheria na Kanuni za uchaguzi.

Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mbarouk Salim Mbarouk ameyasema hayo leo jijini Dodoma wakati akifungua mafunzo ya siku 3 kwa Wasimamizi wa Uchaguzi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kutoka katika maeneo yenye uchaguzi.

Jaji Mbarouk amewataka Wasimamizi hao kufanya kazi kwa ufanisi, uhuru, uwazi na bila kuegemea upande wowote ili uchaguzi huo ufanyike kwa amani na utulivu.

Amesema uchaguzi ni mchakato unaojumuisha hatua na taratibu mbalimbali zinazopaswa kufuatwa na kuzingatiwa akisisitiza kwamba hatua na taratibu hizo ndiyo msingi wa uchaguzi mzuri wenye ufanisi usio na malalamiko au vurugu.

“ Tunakutana hapa ili kwa pamoja tubadilishane uzoefu, tujadili namna ya kufanikisha zoezi la uchaguzi lakini pia namna ya kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza katika hatua zote za uchaguzi, natumaini mtatumia fursa hii kubadilishana uzoefu katika kutekeleza jukumu hili lililo mbele yenu”  Amesema Jaji Mbarouk.

Jaji Mbarouk ametoa wito Wasimamizi hao waepuke madhara yanayotokana na ukiukaji wa Sheria, Kanuni na taratibu za Uchaguzi akisisitiza kwamba katika kipindi hiki chaguzi  zinafanyika katika mazingira ambayo yana hamasa kubwa ya Kisiasa, kutoaminiana na wakati mwingine kutawaliwa na mihemko ambayo imekuwa chanzo cha uvunjifu wa amani.

Aidha, amewaeleza Wasimamizi hao kuwa wameaminiwa na kuteuliwa katika nafasi hizo kwa kuwa wanao uwezo mkubwa wa kufanya kazi hivyo wajiamini na kujitambua.

Ametoa wito kwa Wasimamizi hao kuhakikisha kwamba wanayaelewa vema maeneo yao ya kazi na wanawatumia vyema wasaidizi walio nao katika maeneo yao ya kazi kwa matokeo bora.

“Naomba mjue mna jukumu la kuimarisha imani ya wananchi pamoja na wadau wote wa uchaguzi kwa Tume. Hivyo mfanye kazi kwa ufanisi wa hali ya juu, bila kuegemea upande wowote.Kufanya kazi kwa uhuru na kwa uwazi kutasaidia kudumisha amani katika maeneo yenu ya Uchaguzi” Amesema.

Kuhusu kufanyika kwa Uchaguzi huo mdogo Oktoba 13 mwaka huu,  Jaji Mbarouk amesema kuwa kwa kuzingatia matakwa ya kifungu cha 37 (1) (b) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura 343 kikisomwa pamoja na kifungu cha 13(3) cha Sheria ya Serikali za Mitaa, Sura 292, ni jukumu la Tume kusimamia, kuendesha na kuratibu uchaguzi wa kujaza nafasi zilizo wazi.

Amesema kwa nyakati tofauti Tume imepokea taarifa kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye kwa kuzingatia Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura 343 aliitaarifu Tume uwepo wa nafasi wazi za Ubunge katika jimbo la Liwale.

Pia amefafanua kuwa Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa, ambaye kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 13(1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali ya Mitaa, Sura, 292 alitoa taarifa ya uwepo wa nafasi wazi za Madiwani katika Kata 37 kutoka katika Halmashauri 27 zilizopo katika Mikoa 13 ya Tanzania Bara.

Katika hatua nyingine Makamu Mwenyekiti wa NEC  Jaji Mbarouk Salim Mbarouk ameeleza kuwa jumla ya wagombea 6 waliteuliwa kugombea ubunge katika jimbo la liwale ambapo mgombea mmoja alijitoa baada ya uteuzi huo kukamilika.

Ameongeza kuwa katika Kata 37 za Tanzania Bara jumla ya wagombea 56 waliteuliwa kugombea udiwani katika Kata hizo.

MWISHO

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Septemba 30

Mkebe Spesho Wa Dawa Ya Mitishamba Yenye Uwezo Mkubwa Wa Kumsaidia Mtu Aliyeathirika Na Upungufu Wa Nguvu Za Kiume

0
0
Je, Unamatatizo haya na yamekusumbua kwa muda mrefu bila kupata tiba?

Wanaume wengi wanaupungufu wa nguvu za kiume. na kuwa na maumbile madogo ya kiume. 

Magonjwa kama. kisukari. presha, ngiri, kolodani kuvimba busha tumbo kuunguruma kujaa ngesi na kutopata choo vizuri , punyeto nk huchangia kwa kiasi kikubwa upotevu wa nguvu za kiume 

Tumia dawa nzuri ya mitishamba ambayo haina madhara kwa mtumiaji ata uwe na miaka 80 ,    inatibu na kuponyesha matatizo haya yote         

 SUPER SHAFT;  ni dawa yenye uwezo mkubwa wa kuogeza nguvu za kiume mara dufu na maumbile madogo ya uume                                    
 (1) itakufanya uwe na nguvu za ajabu ukiwa unafanya tendo la ndoa                                        
 (2) inaongeza hamu ya kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila kuchoka.                           
 (3) itakufanya uchelewe kufika kileleni ndani ya dk 30 na kuimalika uume zaidi                                  
(4) pia itakupa nguvu za kusimamisha uume wako barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa 
    
NYATI POWER; inarefusha na kunenepesha uume saizi utakavyo kuazia 1_8 unene  sm 2_4 
(1) inaimalisha mirija ya uume iliyo legea ama kusinyaa                                                                       
(2) inasaidia kusafisha mirija ya kwenye uume na hivyo kusaidia kuongeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya uume                        
(3) Husaidi kuurudisha nje uume uliyoigia ndani      
(4) inasaidia kuongeza manii nyingi ambazo zina viini vya uzazi                                                              
(5) Husaidia kutibu madhara ya punyeto matumizi makari ya madawa ya kizungu mirungi bangi na sigara

Tunatibu Magonjwa Yote Sugu Ngiri Kolodani Kuvimba Busha Bila Kufanyiwa Opresheni Tezi Dume Kisukari Presha Aina Zote Ugonjwa Wa Moyo Kwikwi Kichomi Miguu Kufa Ngazi Nk

Tunapatikana Magomeni Mikumi Karibu Na Kanisa Katoriki La Roma

Tumaini Tradition Clinc Ndiyo Sululisho La Matatizo Tote 

PIGA SIMU 0745_495181 AU  0682_ 644040                               
WOTE MNAKARIBISHWA TUMAINI TRADITION CLINC 
 

Waziri Mpango Awaonya Watumishi Wa TRA Wasiotaka Kubadilika

0
0
Na Benny Mwaipaja, WFM, Tanga
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango ameuagiza uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA, kuwachukulia hatua kali za kisheria na kinidhamu wafanyakazi wake wanaojihusisha na vitendo vya ukiukwaji wa maadili ikiwemo rushwa na kutumia njia zisizokubalika wakati wa kukusanya kodi za Serikali.

Dkt. Mpango ametoa maelekezo hayo wakati akizungumza na wafanyakazi wa TRA Mkoa wa Tanga, ambapo ameagiza wafanyakazi wawili wa mamlaka hiyo, Robinson Munisi na Abraham Maleko waondolewe kwenye kazi wanazofanya sasa na kupangiwa kazi nyingine baada ya kuwepo kwa tuhuma za ulevi wa kupindukia na kujihusisha na mtandao wa wafanyabiashara unaotumika kuikosesha Serikali mapato yake

Amewataka watumishi wa mamlaka hiyo kuwa waadilifu kwa kujiepusha na vitendo vya rushwa na lugha za kuudhi kwa wateja wao ili kupunguza malalamiko kutoka kwa walipa kodi na kuonya kuwa serikali haitomvumilia mtumishi yeyote atakayefanya kazi kinyume na maadili ili kujenga nidhamu kwa watumishi hao na hatimaye kuongeza ufanisi katika ukusanyaji mapato ya Serikali.

“Mwambieni Kamishna Mkuu wa TRA (Bw. Charles Kichere) kwa watumishi hawa siwataki, wapelekeni maeneo mengine mbali huko na muendelee kuwachunguza, na nataka kupata taarifa ya watumishi wanaokwenda kinyume na maadili ya utumishi wa umma ikiwemo kujihusisha na rushwa” alisisitiza Dkt. Mpango

Aidha, amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James na Kamishna Mkuu wa TRA, Bw. Charles Kichere, kuhakikisha boti la doria katika Mwambao wa Bahari mkoani Tanga linapatikana haraka ili kuzuia biashara ya magendo inayoyofanywa kwa kutumia bandari bubu hivyo kuikosesha Serikali mapato yake.

“Ni lazima jambo hili lifanyike haraka kwa sababu ya umuhimu wake kwasababu si tu kwamba Serikali inapoteza mapato yake kutokana na vitendo hivyo vya kuvusha magendo kupitia bandari bubu lakini pia ni hatari kwa usalama wa Taifa kwa sababu maadui wanaweza kupitisha silaha” alionya Dkt. Mpango.

Akisoma taarifa fupi ya utekelezaji wa majukumu ya Mamalaka hiyo, Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga Bw. Masawa Masawa alisema makusanyo ya Mkoa huo yamekuwa yakiongezeka Mwaka hadi Mwaka kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia Mwaka 2013 hadi 2017 ambapo katika Mwaka 2016/17 Mkoa ulikusanya Shilingi bilioni 107.39 kati ya Shilingi bilioni 131.06 ya malengo kwa Mwaka huo ambayo ni sawa asilimia 82 ya makusanyo. 

Kuhusu maadili ya wafanyakazi wa Mamlaka hiyo mkoani Tanga, Bw. Masawa amesema kuwa pamoja na kuwapa elimu kuhusu maadili mema kupitia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU, wamekuwa wakiwachukulia hatua kali watumishi wao wanaobainika kujihusisha na vitendo vinavyochafua taswira ya mamlaka hiyo.

Akihitimisha mkutano huo, Dkt. Mpango, alimwagiza Meneja huyo kupandisha kiwango cha ukusanyaji mapato kwa asilimia 100 na kutoa onyo kwa Mameneja wote wa TRA nchini watakaoshindwa kufikia lengo hilo wajitathmini kama wanatosha kwenye nafasi zao.

CCM Yatoa ONYO La Mwisho Kwa Wanachama Wake

0
0
Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imempitisha Ramadhani Hamza  Chande kuwa mgombea wa uwakilishi wa Jang’ombe katika uchaguzi mdogo  utakaofanyika Oktoba 12.

Taarifa iliyotolewa  na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole imesema kamati hiyo chini ya Mwenyekiti Rais John Magufuli iliketi katika ofisi ndogo za chama hicho Lumumba jijini Dar es Salaam.

Katika taarifa hiyo, alisema CCM imerudia kuwaonya wanachama wake wanaokiuka Katiba na kanuni za uchaguzi kwa kuanza kufanya kampeni za chinichini za urais wa Zanzibar.

“CCM imetoa karipio la mwisho kwa wana CCM wanaokiuka Katiba, kanuni za uchaguzi, kanuni za uongozi na maadili kwa kuanza kufanya kampeni za kificho na za wazi za urais wa Zanzibar na kwenda kinyume na utamaduni na desturi njema za chama chetu ambazo kwa pamoja hutuongoza kuwapata viongozi wa CCM na Serikali zake,” imesema taarifa hiyo.

Kwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Mafupi na Upungufu wa Nguvu za Kiume? Suluhisho Hili Hapa

0
0
KWANINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MAFUPI NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME... DR SITTA NDO SULULISHO LAKO

Tatiza, hili limekuwa likiwaathiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako tofauti na wanaume wengine. Kwa kawaida, mwanaume anatakiwa awe na uume, usiopungua nchi 6-7au-8 ,vinginevyo mtu huyo anamatatizo.

Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hilo... baadhi ni  upungufu wa vichocheo vya, HORMONES ZA CETROGEN .

SUPER MIZIZI, ni dawa inayozalisha HORMONES ZA CETROGEN,na kufanya, uume kukuwa na kuongzeka sazi utakayo na kuzibua mrija iliyosinyaa,

NSHOLA; ni dawa bora, ya kurudisha nguvu za kiume kwa kutibu kabisa  tatizo hilo na kukupa  hamu ya  kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara nne 4 bila kuchoka 

Pia  kuna dawa za kutibu presha ya kupanda na kushuka, kisukari , kuondoa mafuta  mwilini na maumivu ya mgogo kiuno, matazo, ya hedhi kwa wanawake, hedhi zisizokuwa na mpangilio.

NKANYA; ni dawa ya mvuto wa kimapenzi ,mchumba mpenzi aliyekuacha, mke, mme atakurudia .

NKOMA; Ni dawa kuongeza HIPS na mguu wa bia kwa wadada ,

NGAKAMA ,ni dawa ya kutibu miguu kufa ganzi na kuwaka moto, huduma zetu ,zipo ,vizuri, popote pale dawa utaletewa! 

DR SITTA, amebobea kwa tiba asili

SONGEA BOMBAMBILI, SHINYANGA- KAHAMA MJINI, 

KWA MAELEZO ZAIDI  PIGA SIMU; 0763172670/ 0715172670,/

WOTE  MNAKARIBISHWA... KAMA, UTAKUWA NA TATIZO, UTAHUDUMIWA,

Sakala la TZ Sweetheart Lamuibua Diva.....Amkubali Hamisa Mobetto kuliko Wema Sepetu

0
0
Mambo yanazidi kuwa moto kwenye vita ya jina la Tanzania Sweetheart ambalo Wema Sepetu amekuwa akilitumia kwa muda mrefu na kinachoelezwa sasa jina hilo kakabidhiwa Hamisa Mobetto.

Sasa Mtangazaji wa Clouds FM, Diva ametoa ya moyoni kuhusu ishu hiyo ya Tanzania Sweetheart na kueleza kuwa jina hilo kwa sasa ni la Hamisa Mobetto. 

==>>Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;

Tanzania Sweetheart, Africa sweetheart, world sweetheart ... asietaka anywe Panado extra, 💩 ndio nshasema Point Blank Period ... mi sipendi kabisa tabia ya kupindisha maneno meyaweka wazi kabisa ..

My baby For life @hamisamobetto 😍😍😍 came thru dripping, we wanyooshe tu baby.... hamna jinsi ... 😋 Damshi ka lote ❤️ edit ka zote, urembo ka wote, so Proud Of you My Love, work harddddd mama- Jaman y'all know me sina tatizo na mtu yoyote Maana naona mapovu ka yote, sina beef sina slice za mkate, ni kwamba tu mi ni muwazi na mkweli na nasema ninachojisikia as long as makes me happy sababu pia hii ni page yangu, mi na @hamisamobetto kitambo sana ni vile tu ushoga wetu uko very private.

But she is my baby for life na narudia tena kusema huyu hapa @hamisamobetto ndio Tanzania Sweetheart, Africa sweetheart and world sweetheart na nampenda sana and not gon change a shit or delete a shit  kila mtu na sweetheart wake jaman ... and yes ma keep on working sooo hard, keep shining mi amore , soo proud of you my darling.

So ka hutaki unakuja comment maneno mengi sana mi huwa sijali ... na sipendi unafiki ndio maana meweka wazi hapa katika page yangu , kiukweli , zero fcks given 💩 memaliza , Jumamosi Njema muende movie afu 🤣🤣 mkapunguze stress za maisha , why so serious jaman maisha yenyewe mafupi sana have fun be happy n smileee 👋🏼. life is too short oh.

Diamond kumsaidia Hawa kutibiwa India

0
0
Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz amesema kuwa yupo kwenye mchakato wa kumpeleka Hawa kutibiwa India.

Hatua huyo imekuja baada ya hivi karibani mama mzazi wa Hawa kuweka wazi kuwa muimbaji yupo kwenye hali mbali kiafya.

"Niko namshughurikia now kwenda india kutibiwa, ila sikutaka kutangaza coz staki watu wachukulie msaada wangu ni kiki but kwakuwa maswali yamekuwa mengi juu yake, imebidi nijibu, na matibabu yake si chini ya milioni 50 na nitadeal nayo tu," ameeleza Diamond kupitia mtandao wa Twitter.

Utakumbuka Diamond alimshirikiwa Hawa kwenye wimbo wake unaokwenda kwa jina la Nitarejea ambao ulifanya vizuri kabisa.

Jipatie Tiba ya Asili ya Ngiri, Vidonda vya Tumbo,Kisukari na Nguvu za Kiume

0
0
Super nzoka IKEMEKO TRDITONAL clinic Ni dawa ya Asili ya vidonge iliyotengenezwa kwa techknojia ya kisasa na ubora wa hali ya juu 

Huongeza nguvu za kiume maradufu hata kwa wale wasiojiweza kabisa kufanya tendo la ndoa na wapo abao hata wakifanya hushindwa kutoa maji maji maji ambayo ndani yake kuna mbegu za kiume zinazotakitakiwa kurutubisha yai

Dawa hii huboresha na tunatibu nakumaliza matatizo haya kwa muda mfupi tu na haina madhara kwa mtumiaji yeyote hata wa umri wa miaka 80 na kuendelea.... inaongeza hamu, urijali kwa wanaoshindwa kuendelea na tendo la ndoa.

Huanza kufanya kazi baada ya dakika 60 tu na kufanya uchelewe kufika kileleni dakika 20 kwa tendo la kwanza itakuwa unauhakika wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya Mara tatu bila kuhisi kuchoka 

SILYA; inakuza uume uliosinyaa kurefusha umbile dogo urefu inchi (6-9)na unene wa cm 4 za upenyo kwa wenye kasoro za kimaumbile na walioathiriwa na kupiga punyeto pamoja na matatizo ya kiafya

Tiba hii ni ya kudumu.Pia tunatibu ngiri ya kupanda na kushuka,tumbo kuuguruma chini ya kitovu ,kaswende kisukari ,maumivu ya mgongo, kiuno, kutopata choo vizuri na uvimbe kupitia njia ya mkojo, presha, vidonda vya tumbo

Wasiliana Nasi kwa namba;  0716343218,0789289945. TUNAPATIKANA MBAGALA ZAKIEM STENDI ya musanga

Makonda: Huwezi ng’ang’ania TZ Sweetheart baada ya kuachwa, tumia hata Buguruni Sweetheart

0
0
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametoa kauli yake juu ya mvutano unaoendelea kati ya Wema Sepetu na team Hamisa Mobetto juu ya jina la TZ Sweetheart. 

Mkuu huyo alikuwa mmoja kati ya wageni waliohudhuria Birthday Gala ya mwanadada huyo wa filamu mwenye mvuto nchini Tanzania.

==>>Msikilize hapo chini

Taarifa Ya Bei Elekezi ya Korosho Msimu wa 2018/ 2019

Dkt Tizeba Asema Bei Ya Korosho Imeimarika Kutokana Na Matumizi Bora Ya Mfumo Wa Stakabadhi Ghalani Na Ushirika

0
0
Na Mathias Canal-WK, Mtwara
Uwepo wa mfumo wa stakabadhi ghalani umekuwa ni mkombozi pekee kwa wakulima wadogo na wa kati kwa kuwawezesha kupata bei nzuri ya mazao yao, ukilinganisha na bei zilizokuwa zinatolewa na wafanyabiashara wanaponunua mazao yakiwa shambani kwa kutumia vipimo ambavyo sio sahihi.

Kabla ya mfumo huo kuanza wakulima walikuwa wakipunjwa bei ya mazao na wafanyabiashara ambapo hata hivyo kumekuwepo na mwamko miongoni mwa wakulima, kupitia vyama vyao vya msingi, wa kutumia mfumo halisi wa stakabadhi ghalani pasipo kuchukua mikopo toka Taasisi za Fedha. Katika msimu wa mwaka 2017/2018 vyama vyote viliweza kukusanya na kuuza mazao bila kukopa benki.

Hayo yamebainishwa tarehe 29 Septemba 2018 na Waziri wa Kilimo Mhe Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb) wakati akifungua Mkutano Mkuu wa wadau wa tasnia ya korosho uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Benki kuu ya Tanzania tawi la Mtwara.

Alitaja kuwa ushirika ni dhana ya kuleta maendeleo kwa kushirikiana, Dhana hiyo imefanikiwa kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kijamii katika kipindi cha miaka kadhaa iliyopita ambapo uanzishwaji wa vyama vingi vya ushirika kwa sasa unatokana na elimu watu wengi waliyoipata kuhusu Ushirika. 

“Ni wazi kuwa katika kipindi cha miaka miwili hivi, imani kwa vyama vya ushirika imeongezeka na vyama vingi vinaendelea kuundwa hasa vile vya kuweka na kukopa, yaani SACCOS” Alikaririwa Dkt Tizeba

Dkt Tizeba alitoa wito kwa vyama vya ushirika kuendelee kukusanya korosho kwa msimu huu ili soko na bei iendelee kuwa imara pamoja na kuwa na misuko suko mingi ya masoko Duniani. 

“Aidha ni vyema Wakulima wote wakajiandisha na kuwa Wanachama wa vyama vya Ushirika amabpo watapata faida nyingi ikiwemo kufanya maamuzi kwa pamoja” Alisema Dkt Tizeba

Alitaja mafanikio katika zao hilo kuwa ni pamoja na kuimarishwa kwa usimamizi wa zao, uratibu mzuri wa ununuzi na usambazaji wa pembejeo za ruzuku, usimamizi wa karibu unaofanywa na viongozi wa serikali katika ngazi zote, na hamasa mpya ya wakulima kujishughulisha na kilimo cha korosho katika maeneo asilia na maeneo mapya.

Dkt Tizeba alisisitiza kuwa hali hiyo ikiendelea kuna uwezekano wa kuzalisha zaidi ya kiwango cha sasa na kuwa na malighafi inayoweza kutumika kwa mwaka mzima kwa kuuza nje na viwanda vya ndani.

Katika hatua nyingine aliongeza kuwa pamoja na kuwa na mafanikio makubwa kwenye zao la korosho lakini zipo changamoto mbalimbali ambazo ni pamoja na kuwepo kwa mashamba makubwa ya mikorosho iliyotelekezwa, Uchelewashaji wa malipo kwa Mkulima, Wanunuzi kulalamikia upotevu wa Korosho, ubora hafifu na ubadhilifu, pamoja na Ucheleweshaji wa malipo toka wa Mabenki kwenda vyama na uwepo wasuspence account ambazo zinaathiri malipo kwa Mkulima.

Hivyo katika kufanikisha na kuwa na maendeleo katika zao hilo yanatakiwa kufanyika  mabadiliko ambayo yatahitaji ushirikiano wa wadau na hasa Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi katika usimamizi ili kuhakikisha Mkulima anapata fedha kwa Wakati.

Ameelekeza kuwa katika msimu huu kila Halmashauri ianzishe sehemu maalumu ya Malipo kwa Wakulima (Payment centre) ambapo wataalamu watasaidia vyama hususani toka Vyama Msingi kwenda kwa Wakulima baada ya ukokotoaji wa gharama mbalimbali na kupeleka benki kwa wakati jambo ambalo litasaidia kubaini mapungufu ya kimalipo kwa mabenki na au unaosababishwa na Watendaji wa Vyama.

Waziri Tizeba pia ameelekeza kuwa, Mtiririko wa Malipo kwa Mkulima unapaswa kusimamiwa vizuri na kila Halmashauri ya Wilaya iwe na kituo kitakachorahisisha malipo kwa Mkulima mara baada ya fedha kutoka Chama Kikuu cha Ushirika kwenda AMCOS (Payment Clinc Centre), Secretatiati za Mikoa, Halmashauri, Kamati za Ulinza, Bodi ya Korosho,  Mrajis wa Vyama vya Ushirika na mabenki kushirikiana kuhakikisha jambo hilo linatekelezeka ili kumpunguzia Mkulima adha ya Malipo

MWISHO

Mageuzi Sekta ya Madini Yaongeza Mapato....Tanzania sasa ni ‘DONOR COUNTRY’ sekta ya Afya

0
0
Serikali  kupitia mradi kabambe wa ujenzi wa vituo vya afya ngazi ya kata, kwa mwaka huu tayari imekamilisha vituo 210 ndani ya mwaka mmoja kutoka vituo 115 vya afya tangu wakati wa Uhuru.

Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Dk Hassan Abbasi kwa vyombo vya habari imesema, vituo hivyo vinawekewa vifaa vya kisasa vya upasuaji na wodi za kina mama na nyumba za watumishi kujengwa.

“Serikali haijawekeza katika hospitali kubwa bali kwa sasa huduma muhimu zinapelekwa kwa wananchi kwa kujenga Hospitali za Rufaa katika mikoa saba, hospitali za wilaya 67 zinajengwa mwaka huu (tangu Uhuru tuna hospitali 77 za wilaya). Sh bilioni 105 zimetengwa kwa hospitali za wilaya 67,” alisema.

Amesema uwekezaji mkubwa wa vifaa, wataalamu na majengo umefanyika hospitali za Muhimbili, Mloganzila, MOI, Bugando, Benjamin Mkapa na sasa tiba kubwa za upasuaji wa moyo, operesheni ya kuongeza uwezo wa kusikia, tiba za kisasa za mifupa, kupandikiza figo, kutenganisha watoto zinafanywa nchini.

“Wagonjwa kutoka nchi jirani wameanza kuja Tanzania kupata huduma za kibingwa zenye hadhi ya juu na bei rahisi. Tumekuwa “donor country,” nchi wahisani katika afya. (Nchi za Comoro, Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Malawi, DRC, Zambia na wataalamu wa nje),” aliongeza.

Akizungumzia hali ya uchumi wa nchi, alisema umeendelea kuwa imara ukikua kwa asilimia 7.0 mpaka 7.1 kwa mwaka na ukiwa miongoni mwa uchumi unaokua kwa kasi duniani na Afrika kwa mujibu wa ripoti mbalimbali za kimataifa kama vile Jukwaa la Uchumi Duniani na taasisi mbalimbali za kimataifa.

Alisema kwa dunia Tanzania ni ya tisa na kwa Afrika ni ya tano kwa uchumi unaokua kwa kasi kama takwimu ya 7.0 itaingizwa kwenye ripoti zijazo.

Alisema Serikali ya Awamu ya Tano katika kukuza uchumi wa nchi, iliasisi mageuzi katika sekta ya madini ikiwemo kutunga sheria mbili mpya, kuanzisha mashauriano na Kampuni ya Barrick, kujenga ukuta Mirerani na kuzuia mabaki (kaboni) za dhahabu kusafirishwa na kuchakatwa nje ya mkoa zinakozalishwa.

“Kwa kutunga sheria mpya na kufanya mashauriano na Barrick, Tanzania imesifika duniani na nchi nyingine zimeanza kuiga….Wizara ilipanga kukusanya Sh bilioni 194.6 mwaka 2017/18, lakini ikakusanya zaidi yaani Sh bilioni 301.6 ambayo ni zaidi ya asilimia 55 ya lengo,” alifafanua.

Amesema Septemba 20, 2017 Rais John Magufuli aliagiza kujengwa ukuta Mirerani na Aprili mwaka huu ulikamilika ukiwa na eneo la mraba la kilometa 24.5 na mapato yameongezeka kutoka kilo 164.6 zenye thamani ya Sh milioni 71.8 mwaka 2016 hadi (Januari -Juni, 2018 pekee) kilo 449.6 zenye thamani ya Sh milioni 893.8.

Amesema Wizara ya Madini inaendelea na mageuzi mbalimbali ikiwemo kujenga vituo saba vya umahiri vitakavyokamilika Desemba mwaka huu kwa thamani ya Sh bilioni 11.9 kuwapatia wachimbaji wadogo mafunzo na utaalamu zaidi wa uchimbaji.

Aidha, alisema vituo vinne vya mfano pia vitajengwa kwa thamani ya Sh bilioni 5.2 kuwasaidia wachimbaji kupata teknolojia rahisi ya uchenjuaji wa madini na kuyaongezea thamani.

Dk Abbasi amesema serikali inatumia fedha za ndani kugharamia elimu bure kuanzia ngazi ya awali hadi kidato cha nne ambapo Sh bilioni 23.85 zinatumika kila mwezi ikiwemo gharama za uendeshaji wa shule na elimu ya juu utaratibu mpya na wenye ufanisi wa mikopo umeondoa kero za wanafunzi kugomagoma.

Makanga 3 Power; Dawa Bora Nguvu Za Kiume

0
0
Kutibu nguvu za kiume dakika(10) na kupona muda wa siku tatu tuu. Kuimarisha misuli ya uume uliolegea, pia ipo Dawa ya kurefusha uume mfupi inchi NNE hadi saba na kunenepesha uume mfupi sentimita NNE.

Tiba ya kudumu kutibu maumivu ya mgongo,kiuno, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, kupata choo vizuri, na kutibu uzazi, kutibu busha bila operesheni, kisukari, presha ,miguu kuuma, uzazi, fangas sugu, vidonda vya tumbo.

Ni docta bingwa wa kutibu magonjwa sugu, kutoa ndagu za utajiri kwa kutumia Pete, kazi ,cheni, mikufu maalumu ya bahati, una kesi umedhulumiwa Mali au pesa? Zitarudi muda wa Masaa matatu tuu.

Onana na Dr shilindes shida zako zote zitakwisha, anatoa Dawa za utajiri kwa wafanyakazi, wakulima, na wafugaji, wafanyabiashara na wachimba madini kwa kutumia pete, kazi kwa yeyote anaetaka kuwa na pesa nyingi.

Pia anaboresha akili kwa wanafunzi darasani, masomo na kufaulu mitihani pia kushinda bahati nasibu yeyote.

Pia tunatoa Dawa kumrudisha Mume, mke, mpenzi, hawara, kwa muda wa SAA moja tuu, na kuomba msamaha kwa kukupigia magoti na yeyote yule, unaemtaka kimapenzi au kuoana, utampata na kumfunga asitoke nje ya ndoa daima na kutekeleza shida zako zote. Kupunguza unene, kupunguza matiti makubwa, tumbo na nyama uzembe muda wa siku sita unapata saizi uipendayo.

Kutoa makovu mwilini, chunusi, upele na mabaka, pia tunayo Dawa ya kuongeza hipsi, makalio, mguu wa bia na kupata shepu safi kwa muda wa siku saba tuu.

Wa mikoani mtapata huduma popote mlipo.
Tupo dar es salam mbagala rangi tatu.

Mawasiliano simu namba: 0784 460 348.

Okoa Ndoa Yako Mke,Mume Na Afya Yako Sasa Kwa Kutumia Dawa Za Asili

0
0
Asilimia kubwa ya binadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wengi wamejaribu kutumia tiba sehemu tofauti bila mafanikio na  kukata tamaa hasa kina baba ambao ndoa zao au mahusiano yao na wapenzi wao yapo hatarini kuvunjika kwa sababu Mume hana uwezo wa kumridhisha mpenzi wake 

KWA NINI UJIONE MPWEKE PALE UKUTANAPO NA MKE AU MPENZI WAKO SABABU ETI UNAUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME AU UUME MDOGO: tumia dawa ya NSENWA POWER ;dawa hii hutibu na kuponesha tatizo la  nguvu za kiume .

1 itakupa uwezo wa kurudia tendo zaidi ya Mara tatu 
2 itakupa uwezo kuchelewa kukojoa mda wa dakika 15-20 na kumfanya mpenzi wako naye aridhike 
3 huimalisha misuri iliyo legea na kusinyaa 

JE UNA UUME MFUPI NA MWEMBAMBA : tumia dawa ya MASHESHE NO 2; hii huboresha uume saizi upendayo kuazia urefu wa inch 5,6,7,8 na unene  wa sentumita 2,3,4,5, dawa hizi hazina madhara yeyote kwa mtumiaji hata wazee hutumia na kupona 

MASANZA ni dawa ya vidonda vya tumbo zipo dawa za mvuto wa biashara ,mpenzi,uzazi ngiri,korodani kuvimba miguu. mgongo,kiuno kuuma nk 

MAHALI ILIPO OFISI UNAWEZA UKASHUKIA BUGURUNI MALAPA AU BUGURUNI ROZANA na MWANZA YUPO WAKALA pia unaweza ukaletewa popote ulipo wasiliana nami 0783185060  0752348593 DR AGU

TAA Kuifungua Tanzania Ulimwenguni

0
0
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imejipanga kupitia kaulimbiu yake kuifungua Tanzania kwa ulimwengu kupitia sekta ya Utalii nchini, kwa kuimarisha usafiri wa anga ili kuhakikisha watalii wote wanafikia vivutio vyote vya utalii kwa haraka zaidi.

Hayo yamebainishwa juzi na Mkurugenzi Mkuu wa TAA, Bw. Richard Mayongela alipokuwa akizumgumza na waandishi wa habari siku ya ushiriki wa Mamlaka katika Tamasha la Urithi Wetu linaloanza leo Jumatatu (Oktoba Mosi, 2018) kwa Mkoa wa Dar es Salaam.

“Viwanja vyetu vya ndege ndio milango mikuu wa watalii kupita, hivyo tupo hapa kuwaambia wananchi, wadau pamoja na Jumuiya za Kimataifa kwamba sasa kuna fursa ya kutanganza vivutio vya kitalii kupitia viwanja vyetu vya ndege kwa kuwa vinatumika kwa usafiri wa anga lakini pia tunaweza kuvitumia kibiashara kwa kutangaza vivutio vyetu” alisema Bw. Mayongela.

Bw Mayongela pia amewapa wito Watendaji wa Wizara ya Maliasili na Utalii kutangaza vivutio vilivyopo kupitia Viwanja vya ndege lakini pia kuwaeleza wadau kwa njia mbalimbali zilizopo Tanzania ili watalii wanapowasili waweze kupata picha halisi ya maeneo ya kutembelea akiwa nchini.

Aidha Bw. Mayongela ameongeza kwamba Mamlaka ina mtandao mkubwa na inasimamia viwanja 58 vilivyopo chini ya serikali, ambavyo vipo kila sehemu penye vivutio vya utalii na wamejiimarisha kuhakikisha huduma bora ya usafiri wa anga.

“Sehemu ya Kaskazini mwa nchi yetu ambapo ndio kuna vivutio vingi, vipo viwanja vya ndege vya kutosha, tuna Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA), Kiwanja cha Lake Manyara ambacho kimejengwa kwa mkakati wa kutumika kwa watalii na kinafanya vizuri sana kwa kuingiza watalii wengi, vilevile tuna mpango wa kujenga kiwanja kipya katika Mkoa wa Manyara,” alibainisha Bw. Mayongela.

Akizungumzia miundombinu ya Viwanja vya Ndege kwa Kanda ya Kusini ameeleza kwamba serikali imejitoa kufanya maboresho ya kiwanja cha Mtwara kwa lengo moja kuu la kuvutia watalii wengi zaidi ili waweze kushuhudia vivutio vya utalii vilivyopo maeneo hayo.

“Serikali inaboresha kwa kufanya upanuzi na ukarabati mkubwa wa Kiwanja Cha Ndege cha Mtwara, pamoja na sababu za kiuchumi lakini pia lengo ni kuvutia watalii wengi zaidi ili waweze kushuhudia vivutio vilivyopo, sio hivyo tu lakini pia Kilwa masoko tuna kiwanja, Lindi tuna kiwanja, Nachingwea mpaka Masasi kote tuna viwanja” Alisema Bw. Mayongela.

Akizungumzia upande wa nyanda za juu Kusini Bw. Mayongela amebainisha kwamba baada ya ukarabati mkubwa kukamilika kutakuwa na kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Songwe, Njombe mpaka Iringa kutakuwa na viwanja vizuri vya ndege ili kuhakikisha kwamba vivutio vilivyopo Tanzania vinafikika kwa urahisi.

Katika hatua nyingine Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Prof Audax Mabula ameeleza kwamba Tamasha la Urithi Wetu lililobuniwa na Wizara ya Maliasili na Utalii lina madhumuni makuu mawili ikiwemo ya kuwezesha kuonyesha fursa zote zinazoizunguka tasnia hii.

“Madhumuni makuu ni kuendeleza, kutambua na kuhifadhi urithi wetu wa utamaduni kwa ajili ya kizazi kilichopo na kinacho kuja lakini pili ni kubadili urithi wetu wa utamaduni kuwa zao la utalii hayo ndio malengo makuu mawili” alisema Prof Mabula.

TAA wametoa msaada wa fulana 100 kwa ajili ya washiriki wa tamasha la Urithi Wetu, ambalo litafikia tamati Oktoba 6, 2018 kwa kufungwa na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa.

Imeandaliwa na Idara ya Uhusiano Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA).

Barrick yanunua kampuni ya madini Afrika Kusini

0
0
Kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick Gold imekubali kuinunua Kampuni ya Randgold ya Afrika Kusini ambayo ni mshindani wake mkubwa kibiashara.

Barrick ndiyo mmiliki mkubwa wa Kampuni ya Acacia Mining Plc ikiwa na umiliki wa asilimia 64 ya hisa.

Wakati mpango wa ununuzi wenye thamani ya Dola bilioni sita za Marekani ukikamilika, Ofisa Mtendaji Mkuu mpya wa kampuni mpya itakayozaliwa, Mark Bristow, ameonyesha nia ya kumaliza mgogoro kati ya Acacia na Serikali ya Tanzania.

Huku wachambuzi wa sekta ya madini wakisema uzoefu wake muda mrefu  katika biashara ya madini barani Afrika utasaidia kufanikisha majadiliano kati ya Acacia na Serikali ya Tanzania.

Bristow alinukuliwa na gazeti la Financial Times akisema: “Tuna fursa kubwa ya kufanya kazi na Acacia kwa kutafuta suluhisho ili kutengeneza thamani na uwazi zaidi kwa Tanzania.”

Tangu Acacia ilipozuiliwa kusafirisha makinikia nje ya nchi, hisa zake zimeanguka kwa zaidi ya asilimia 75.

Pia wachambuzi hao walisema uamuzi wa Barrick kumnunua mshindani wake ni sehemu ya mkakati wa kampuni hiyo ya Canada kujitutumua kwa kuwa wawekezaji wengi waliikimbia kutokana na miaka mingi ya matumizi makubwa na faida ndogo.

Kutokana na ununuzi huo, Barrick itakuwa kampuni kubwa ya uchimbaji dhahabu duniani ikiwa na mtaji wenye thamani ya Dola bilioni 18 za Marekani utakaotumika kuendeshea miradi yenye faida kubwa Afrika na Marekani.

Hata hivyo, uzalishaji wa dhahabu kwa Barrick umekuwa si mzuri kutokana na kuanguka kutoka ‘ounce’ milioni nane katika kipindi cha muongo mmoja uliopita kufikia ‘ounce’ milioni 5.3 kwa sasa.

Taarifa za masoko zinaonyesha hisa za Barrick zimeanguka kwa asilimia 30 mwaka huu wakati zile za Randgold zikianguka kwa kiasi hicho hicho huku ikikabiliwa na matatizo mengine kama mgomo katika mgodi wake mkubwa na sheria mpya za madini nchini Congo.

Kwa mujibu wa Financial Times, kampuni hiyo mpya inatarajia kuzalisha ‘ounce’ milioni 6.5 za dhahabu kwa mwaka na kumpiku mshindani wake mkubwa Kampuni ya Newmont Mining ya Marekani huku ikiandikishwa katika Soko la Hisa la Toronto nchini Canada na New York nchini Marekani.

“Sekta yetu imekuwa ikilaumiwa kutokana na kuwa na malengo yasiyolenga mbali, ukuwaji usioridhisha na faida ndogo,” alisema na kuongeza Bristow ambaye ni Mkurugenzi na mwanzilishi wa Randgold:

“Kampuni mpya inayozaliwa itakuwa tofauti tukiwa na malengo ya muda mrefu na kutengeneza faida nzuri. Ili kufika tunapotaka lazima tuangalie upya na kwa umakini mali zetu, namna tunavyofanya biashara na kufanya uamuzi mgumu pale inapobidi.”

Kampuni hiyo mpya itamiliki na kuendesha migodi mikubwa zaidi duniani na yenye kutengeneza faida nzuri ikiwa ni pamoja na Mgodi wa Cortez na Goldstrike ya Nevada, Marekani, Kibali wa Congo na Luo-Gounkoto uliopo nchini Mali.

“Kipimo cha mafanikio yetu itakuwa ni faida tunayozalisha na sio ounce tunazozalisha,” alisema John Thornton ambaye ni Mwenyekiti Mtendaji wa Barrick.

Credit: Mtanzania

Huna Sababu Ya Kuaibikatena............ Jipatie Dawa Bora Ya Nguvu Za Kiume, Maumbile Madogo Na Mvuto Wa Mapenz

0
0
Usikate tamaa ondoa maradhi yako, maana matatizo haya yamekua yakiasili watuwengi kisaikolojia hasa baada ya kujiona wako tofauti sana na wengine kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamapunguvu katika mwiliwake.

Kunasababu nyingi sana zinazosababisha matatizo haya, chango hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngili :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli. Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na marakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kushindwa kabisa

MASISA 3POWER :- nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa mfumo wa vidonge, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka 15-90 , inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uludie tendo la ndoa zaidi ya mara nne (4) birahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk (20-30 )

YONINANI:- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwa mda mfupi sana,

SUPER MORINA :- nidawa inayotibu ama kutatua tatizo la kisukali kwawaliohangaika bila mafanikio, huondoa tatizo la kisukali na kupona kabisa, vilevile ninadawa ya magonjwa sugu km vile presha, vidondo vya tumbo, miguu kuwakamoto, muwasho mwilin, kaswende,uzazi nk.

LUGIMBA :- nidawa ya mvuto wa mapenzi, humtuliza mke, mme, mchumba, hawara au mtu yoyote umpendae na kumfanya akutimizie chochotekile unachokitaka kutoka kwake na kumfunga asiwe na mtu yoyote zaidi yako.

WASILIANA NA DR CHIPUPA NAPATIKANA DAR ES SALAAM KUMBUKA HUDUMAHII ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO  0759208637 / 0622344969

Korea Kaskazini: Hatutaharibu silaha zetu ikiwa vikwazo vya Marekani vitaendelea kuwepo

0
0
Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Korea Kaskazini ameonya kwa kusema kuwa nchi yake haiwezi kuharibu zana za nyuklia wakati Marekani bado inaendelea kuiwekea vikwazo.

Ri Yong-ho aliuambia mkutano wa Umoja wa Mataifa kuwa vikwazo hivo vinapunguza imani yake kwa Marekani.

Hivi karibuni Korea Kaskazini imerejelea wito wake wa kuitaka Marekani na Umoja wa Mataifa kuondoa vikwazo na imeungwa mkono kutoka China na Urusi.

Lakini uongozi wa Trump unasema kuwa vikwazo hivi vitadumu hadi pale Korea Kaskazini itakapoharibu zana zake za nyuklia.

"Bila ya imani kwa Marekani hatuwezi kuwa na uhakika kwa usalama wetu wa kitaifa na katika hali kama hiyo hakuna vile tutaharibu silaha zetu kwanza." alisema Ri

"Imani kuwa vikwazo vinaweza kuchangia sisi kusalimu amri ni ndoto," aliongeza.

Rais Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un walifanya mkutano wa kihistoria mwezi Juni huko Singapore ambapo Bw Kim aliahidi kuharibu zana za nyuklia.
 
Makubaliano yaliyoafikiwa huko yalisema kuwa Korea Kaskazini ingeharibu zana zake za nyuklia lakini hayakuwa na mwongozo au muda au njia kuthibitisha mchakato huo.

Mwezi Agosti Rais Trump aliilaumu China ambaye ni mshirika wa Korea Kaskazini kwa suala hilo kutokana na tofauti zake za kibiashara na Marekani.

Askofu Wa Kanisa La Mungu Awaombea Wanafunzi Kidato Cha Nne

0
0
Na John Walter-Babati
Wakati wanafunzi wa kidato cha nne kote  nchini wakijiandaa kufanya mitihani yao ya mwisho ya kuhitimu mwezi oktoba mwaka huu, wazazi wametakiwa kuwa karibu na watoto wao pamoja na kufuatilia mwenendo mashuleni.

Wito huo umetolewa na Makamu Askofu Mkuu wa kanisa la Mungu la Tanzania Askofu Boniface Msufa, alipokuwa akizungumza na wazazi,walimu na wanafunzi wa kidato cha nne katika Mahafali ya 18 ya shule ya sekondari Aldersgate iliyopo mjini Babati mkoani Manyara yaliyofanyika mwishoni mwa wiki.

Askofu Msuva aliwataka wazazi kushiriki kwa pamoja kuwaombea wanafunzi wa kidato cha nne katika mitihani yao ili waweze kufanya vyema.

“Kwa sasa hivi kwa sera ya nchi yetu elimu hiyo mliyonayo ni elimu ya msingi,elimu ya awali kwa hiyo bado kuna safari mbele mnahitaji kukazana zaidi”alisema askofu Msufa.

Akizungumzia mafanikio waliyoyapata mpaka sasa mkuu wa shule hiyo Mwalimu Fredson Dillo, amesema shule imefanikiwa kuwa na mradi wa Ng’ombe wa Maziwa na nyama pamoja na kuanzisha programme ya wanafunzi kusoma kupitia mitandao inayojulikana kama E-Learning.

Akizungumzia matokeo ya kidato cha nne mwaka 2017  alisema, Division one zilikuwa 2,Division two 35,Division three 34 na Division four 6,Division 0 haikuwepo,kwa hiyo tulifaulu kwa asilimia 100% na jumla ya watahiniwa walikuwa 97.

Mwalimu Dillo ameeleza kuwa katika matokeo ya kidato cha nne  mwaka 2017 shule ilishika nafasi ya nne Kimkoa kati ya 180, 108 Kimkoa na 249 kati ya shule 3280 Kitaifa.

Shule ya Sekondari Aldesgate ambayo ipo chini ya Kanisa la Mungu La Tanzania yenye namba ya Usajili S-941 na namba ya mtihani S- 1093 ni ya mchepuo wa Biashara na Sayansi, ambayo ina walimu  wa kike 6 na wa kiume  27 ambao wanawahudumia wanafunzi 738, wavulana wakiwa 388 huku wasichana wakiwa 370 na  inaendeshwa kwa kuzingatia kanuni na sheria zote za wizara ya elimu kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.

Kwa upande wa meneja msaidizi wa Bank  of Afrika tawi la Babati mjini Julius Mnkande aliwasihi wanafunzi kusoma kwa bidii ili kuendana na soko la ajira ambalo linahitaji wasomi na kuepuka vishawishi ambavyo vitawasababishia kushindwa kufikia malengo yao katika elimu.

Jumla ya wanafunzi 127 wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari Aldersgate,wasichana 59 na wavulana 68 wanatarajia kufanya mitihani yao ya kuhitimu kidato cha nne.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images